TOZO ZAMUIBUA HASHIMU RUNGWE/AMPA NENO ZITO MWIGULU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • 🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
    🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV ( +255 767 400402),
    🔘WhatsApp ( +255 692 318213)
    🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
    🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

ความคิดเห็น • 207

  • @kassimmnyamisi7461
    @kassimmnyamisi7461 3 ปีที่แล้ว +22

    Mzee unachongea ni ukweli kabisa mwigulu Hana welewa na hajui alifanyalo anajiona Kama yeye msomi Sana kumbe Hana lolote

  • @febyosward6256
    @febyosward6256 3 ปีที่แล้ว +10

    😂😂😂😂😂umeongea point mzee!! Huu ni unyonyagi tumerudi kwenye ukoroni!

  • @mosesmoses1429
    @mosesmoses1429 3 ปีที่แล้ว +7

    Asante kiongozi wetu hatuweki saiz ataona

  • @hawahabibu661
    @hawahabibu661 3 ปีที่แล้ว +14

    Simpendi kabisa mwigulu puuuu!!!!!

  • @danielmbwile6136
    @danielmbwile6136 3 ปีที่แล้ว +20

    Wabunge wa ccm akuna wanachotusaidia jibu moja tu nikuwapiga chini

    • @azizawadh5973
      @azizawadh5973 3 ปีที่แล้ว

      Wanapita bila kupingwa

    • @seifkassim5872
      @seifkassim5872 3 ปีที่แล้ว

      Utawapigaje chini wakati katiba inawalinda.wanapita bila kupingwa

    • @akidasalim3859
      @akidasalim3859 3 ปีที่แล้ว

      Utawapigaje chini?tume yao

  • @nhobolasilas9366
    @nhobolasilas9366 3 ปีที่แล้ว +16

    Hogera mzee rungwe kwa kuogea ukweli

  • @susankilimtali8571
    @susankilimtali8571 3 ปีที่แล้ว +7

    Wakizuia matumizi ya kuzungusha mwenge kwa mwaka mmoja kutakusanywa hela yakutosha kwaajili ya maendeleo ya Inchi Mungu atusaidie Tanzanian

    • @manasengobei9968
      @manasengobei9968 3 ปีที่แล้ว

      Yaaani wewe umefikiria kama nilivyofikiria

  • @abdallahlibwela9761
    @abdallahlibwela9761 3 ปีที่แล้ว +5

    Tatizo la Tanzania tumekosa viongozi wenye uweledi, wanachaguana kwa kujuana na sii kuzingatia taaluma ya ya mtu.Na hii inapelekea viongozi kufanya kazi, na kutoa maamuzi bila kujua faida na hasara kwa waliowengi.
    Kiukweli hatutasonga mbele kama hatutabadilika.

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 ปีที่แล้ว +3

    Sana tozo linakera sana ukweli sisi tulioko mitaani tunapata tabu sana tunapewa maneno machafu sana

  • @umojawawatanzania3813
    @umojawawatanzania3813 3 ปีที่แล้ว +12

    ILA KUPANDA KWA UMEME + TOZO ZA MIAMALA MPAKA 2025TUTAKUWA TUMEKWISHA.

  • @omaryramadhani9790
    @omaryramadhani9790 3 ปีที่แล้ว +4

    Hashim nakukubali Sana ww ungechukua NCH ungeuza magar hayo milion 500 ndege ungeuza hiyo pesa ungejenga vituo vya afya kiukwel maneno unayo ongea yanatia uchungu Sana serikali uliangalie hili Sisi tunatoa tozo code zetu wao wanakula Bata Sasa uchaguz ujao kiukwel watatuuwa Sana Ila hatuta kubali

  • @mbenamdudu7856
    @mbenamdudu7856 3 ปีที่แล้ว +6

    Maneno kuntu kabisa mzee wangu

  • @doktamathew
    @doktamathew 3 ปีที่แล้ว +6

    Hata Mimi imenikeraa sana

  • @sabathdaychannel2985
    @sabathdaychannel2985 3 ปีที่แล้ว +6

    Hata Mimi siweki pesa kwa cm

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwigulu Nchemba na Samia lao moja maisha yetu mtaani magumu wao wanakula raha tu jamani Magufuli fufuka tu.

  • @tamimtours6934
    @tamimtours6934 3 ปีที่แล้ว +9

    SERIKALI YAVIPOFUHII NA VIZIWI. WIZI MTUPU,UNAFIKI MWINGI .USALITI MWINGI.USHENZI MAPINDUZI DAIMA ..HAHAHA HEHEHE

  • @ooafrica3626
    @ooafrica3626 3 ปีที่แล้ว +12

    Mwiguru hana lolote, atenguliwe haraka

  • @boniventurehussein7276
    @boniventurehussein7276 3 ปีที่แล้ว

    Asante mzee wngu mwigulu amekaa kuwanyonya na kuwaumiza watanzania hovyo kabsa Hana hadhi yakuwa wazir wa fedha uelewa wake finyu

  • @uwezomayonko5101
    @uwezomayonko5101 3 ปีที่แล้ว +8

    MWIGURU ni katili MKUBWA.

  • @herimbinguni9384
    @herimbinguni9384 3 ปีที่แล้ว +6

    Rais awe anajishitukia muda mwingine wanapoteza shauri yako

  • @akidasalim3859
    @akidasalim3859 3 ปีที่แล้ว

    Ni kweli Mwigulu hafai kabisa kuwa pale anatimiza watu kwa matozo na kauli zake mbaya sana kwa wana nchi.Kweli tumechokaaaaaaa

  • @togolanihassael7637
    @togolanihassael7637 3 ปีที่แล้ว

    Aliyemsikia mzee akisema tumechoka kila mahali gonga like

  • @tommykonga5767
    @tommykonga5767 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante baba

  • @sanchoorig3685
    @sanchoorig3685 3 ปีที่แล้ว

    Uko sawa mzee bado wantuumiza kwenye bidha zingine

  • @focuseric4109
    @focuseric4109 3 ปีที่แล้ว +2

    una hekima sana.

  • @yagwishaheke2524
    @yagwishaheke2524 3 ปีที่แล้ว +1

    Sawa mzee well done

  • @akidanyanje9072
    @akidanyanje9072 3 ปีที่แล้ว +4

    Mzeee kaeni kimyaa, Jpm alifanya mazuri matupu, pia mkamuona chizi ...sasa tulieni mnyoleweee

  • @ramadhanmgaya1775
    @ramadhanmgaya1775 3 ปีที่แล้ว +2

    Tozo ni kero kubwa Sana. Huu ni wizi wananchi tunashida nyingi binafsi halafu tena tozo.

  • @juliananaivasha7283
    @juliananaivasha7283 3 ปีที่แล้ว +5

    Uko visuri mzee wangu

  • @ramadhaninkenka6286
    @ramadhaninkenka6286 3 ปีที่แล้ว

    Tumechoka sana waziri wa fedha usidhani wananchi tunalokata pesa za tozo

  • @policejamiimkumbwa9405
    @policejamiimkumbwa9405 3 ปีที่แล้ว

    Sahihi.mzee

  • @richkkjr6999
    @richkkjr6999 3 ปีที่แล้ว +4

    Fair point

  • @prosperkullaya6721
    @prosperkullaya6721 3 ปีที่แล้ว

    Mwanzo more to came

  • @lugeshadaudi2281
    @lugeshadaudi2281 3 ปีที่แล้ว

    Mwigulu ni tapeli sana bora philipo mpango

  • @gideonimathew6491
    @gideonimathew6491 3 ปีที่แล้ว

    Daaaaaaaaaaaah point tupu.

  • @charlessambai8758
    @charlessambai8758 3 ปีที่แล้ว

    Tumekuelewa sana

  • @gabrieligidasanga1369
    @gabrieligidasanga1369 3 ปีที่แล้ว +1

    Mzee waubabwa Namaharage sema mweshimiwa 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @abdallahmaulid6005
    @abdallahmaulid6005 3 ปีที่แล้ว

    Dah namkumbuka sana magu miez mitanotu kama miaka kumi dah.baada yamwaka tutakuaje sisis wanyonge

  • @magulugupu5739
    @magulugupu5739 3 ปีที่แล้ว +5

    kwel mzee tusemee selikal inajifanya imeziba masikio

    • @jumahamisi2489
      @jumahamisi2489 3 ปีที่แล้ว

      MZEE RUNGWE UMEONGEA KIHEKIMA SANA VIONGOZI HUWA WANAJISAHAU SANA AMUANGALIE MWENZAO KANGE LUGOLA

  • @malackedson7706
    @malackedson7706 11 วันที่ผ่านมา

    Safi

  • @rosesylvester2772
    @rosesylvester2772 3 ปีที่แล้ว +1

    Awamu ya sita wamekuja kutuua kabisa sisi wanyonge, Magufuli si urudi baba utusaidie sisi maskini! Tukimbilie wapi? Mungu wangu

  • @saidsalum6101
    @saidsalum6101 3 ปีที่แล้ว +4

    Kweli mzee unaongea ukweli hivisasa sisi wanyonge tumeludi kule tulipokuwa zamani

  • @abelcastory209
    @abelcastory209 3 ปีที่แล้ว

    Honger sana mzee wanatuonea sana

  • @AwesomeCaptainxx
    @AwesomeCaptainxx 3 ปีที่แล้ว +1

    Hali mbaya unaongeza ndege alafu shirika halitengenezi faida sasa vip siwapunguze ndege.

  • @boniphacebenson3424
    @boniphacebenson3424 3 ปีที่แล้ว

    Mzee hongera Sana, anachonganisha Rais na serikali yake na kuwajengea kinyongo wananchi dhidi ya awamu hii ya 6,lakini siasa mchezo mbaya Sana jicho la 3 muhimu Sana ,Sasa nani atapiga pushapu kuomba kura 2025 wao ama? Hawa ni adui wakubwa wa CCM kwa jicho la 3 🙏Sifa Sifa misifa mmezidi na kujipendekeza !

  • @ayubumoha6313
    @ayubumoha6313 3 ปีที่แล้ว

    Asante mzee hakika umenena mwigulu hana kitu

  • @msabaa3962
    @msabaa3962 3 ปีที่แล้ว

    Kweli mzee baba tunakukubali sana

  • @felixwillson3525
    @felixwillson3525 3 ปีที่แล้ว +1

    Ako kawazili kafedha pesa zawanyonge atazila kwa amni wanasema Kodi niuzalendo je kukatwa paka kwenye ruku niuzalendo pia

  • @mussaluqman5729
    @mussaluqman5729 3 ปีที่แล้ว

    Mzee Lungwe sema mzee wetu.

  • @ashuramhando5285
    @ashuramhando5285 3 ปีที่แล้ว

    Mi mwenyewe hawalambi kitu naweka ya kununua vocha tu mi nipo upande wako Rungwe tupo pamoja🙏🙏🙏🙏🙏

  • @uthmanihimbawe5244
    @uthmanihimbawe5244 3 ปีที่แล้ว +1

    Umenena mzee

  • @fahmaali8945
    @fahmaali8945 3 ปีที่แล้ว

    Atajionamwamba lakini akumbuke tu.hapa tunapita hiidunia ukifanya mema utayakuta ahera .jamani.tuwaonee.huruma.masikini.ewe.mwenyenzi mungu utuongonze sisi masikini

  • @josephmwinuka3982
    @josephmwinuka3982 3 ปีที่แล้ว

    Mzee Rungwe leo nimekuelewa sana

  • @febyosward6256
    @febyosward6256 3 ปีที่แล้ว +1

    tuko mbioni kulirudi kwenye ada! Tozo itahamia huko😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @chiefndatu1895
    @chiefndatu1895 3 ปีที่แล้ว +2

    Tawile babaa

  • @chescomwakipese3422
    @chescomwakipese3422 3 ปีที่แล้ว +2

    Uko gud

  • @stellamoses9755
    @stellamoses9755 3 ปีที่แล้ว

    Kweli mzee

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 3 ปีที่แล้ว

    CCM ni mnyama dhalimu sana

  • @mgorakatembo2642
    @mgorakatembo2642 3 ปีที่แล้ว

    Kifupi wafute tozo hifaikabisaa tunaumia watanzania mama samia tuangalie kwajicho lapili hufanani kabisaa kutuangaliatu tukinyanyasika hivi mama

  • @ndakijames3152
    @ndakijames3152 3 ปีที่แล้ว

    Kweli mzee wambie wamezidi

  • @brayanmfangavo3546
    @brayanmfangavo3546 3 ปีที่แล้ว

    unasema kweli mzee

  • @kelvin7ithuiumwasamaki987
    @kelvin7ithuiumwasamaki987 3 ปีที่แล้ว

    Kwelii bwana anataka sifaa

  • @elit0vagonze560
    @elit0vagonze560 3 ปีที่แล้ว

    Na mimi siweki tena.Umesema vyema ukweli Tunaumizwa sana baba tumechoka

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 3 ปีที่แล้ว +1

    Kosa Kubwa Nchi Zetu Kila Kiongozi Akija Aendelezi Alikoachia Mwenzie Nandilo Jambo Baya Sana

  • @haroungeorge7603
    @haroungeorge7603 3 ปีที่แล้ว +5

    Wananunua ma v8 na mamishahara makubwa

  • @janethpallangyo2633
    @janethpallangyo2633 3 ปีที่แล้ว +2

    Kweli kabisa

  • @modetheo5182
    @modetheo5182 3 ปีที่แล้ว

    sawa kabisa mzee umeongea ukweli mimi mwenyewe nimechoka mara tozo mara luku daaa hela nyingi sana kwanini tukatwe wanyonge?

  • @pascalcostantine4478
    @pascalcostantine4478 3 ปีที่แล้ว

    Fact mtaalam Rungwe

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 3 ปีที่แล้ว +2

    wakulaumiwa kuhusu tozo ni zungu mbunge wa ilala.Ndiye aliyetoa wazo la tozo kwenye simu.

  • @magnussanga
    @magnussanga 3 ปีที่แล้ว

    Ni mtu mjinga pekeyake akiambiwa ukweli hataki kulipokea lakini kwa mwelevu hulipokea na kulifanyia Kazi.
    Shuklani mzee wetu nisahii kabisa

  • @umojawawatanzania3813
    @umojawawatanzania3813 3 ปีที่แล้ว +1

    TUMECHOKAAAAAAA SANA WOTE.

  • @mrpresident3620
    @mrpresident3620 3 ปีที่แล้ว

    Huyo huyo mama samia juzi 2 amempa kikwete nyumbani ww kikwete ni wakupewa nyumbani jamani pia akampa gari baba mwinyi hee mwinyi ni wakupewa gari halafu wanajidai mapato ya tunzo yatakwenda kwenye mashule na mahospital kuna mayatima tele saidia hao sio kikwete wala mwinyi hao wanamajumba na magari hata mengine hawayajui mama vipi.

  • @mahonakatani2590
    @mahonakatani2590 3 ปีที่แล้ว

    Mzee uk sahh

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 3 ปีที่แล้ว +1

    JPM ALIYAKATAA,MATUMIZI YA HOVYOOO,SASA HIVI MNAENDESHWA NA AWAMU YA 4 POLENI SANA WATANZANIA WENZETU, PINGENI MITOZO TOZOOOO

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 3 ปีที่แล้ว

    Ukiona Ivo Kuna Bomu Wenda Linaundwa Kualibu Taifa Mana Kama Wananchi Tunazidi Kulia Siku Moja Watakua Na Jaziba Mana Ali Mbaya Lakini Magali Ya Kifahali Yako2

  • @salumsuleiman8814
    @salumsuleiman8814 3 ปีที่แล้ว +1

    Uko wapi raisi wetu ivi kweli ndio unatetea wanyonge ?😭😭😭😭

  • @fredricjames774
    @fredricjames774 3 ปีที่แล้ว +1

    Hii serikali inatuumiza sana

  • @amirikoshuma3039
    @amirikoshuma3039 3 ปีที่แล้ว +1

    Serikali ya hii imepunguza Bei za vileo lakini mafuta sukari Bei juu tozo siwaweke kwenye bia na gongo

  • @alphonceelias2551
    @alphonceelias2551 3 ปีที่แล้ว

    Hawa wanatumia Kodi zetu vibaya,halafu wanatuletea tozo kubwa kuliko kipato,hivi mbona nchi imejaa rasilimali Sana lakini hamna la maana,wanakula tuuu,magari ya thamani kubwa ,yanatumia mafuta mengi,loooooh!

  • @ayubmlagala9358
    @ayubmlagala9358 2 ปีที่แล้ว

    Upo sawa ila hawata kuelewa watasema siasa

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 3 ปีที่แล้ว +2

    Viongozi wengi ni mizigo, akili ya kufikiria mbele, kutafuta vyanzo vya mapato hawana.

  • @salehemaga8733
    @salehemaga8733 3 ปีที่แล้ว

    hakuna mbunge hata mmoja tanzania mwenye huruma na wana ichiwake

  • @amanafi1288
    @amanafi1288 3 ปีที่แล้ว +3

    Hivii hawa Viongozi wetu Tanzania wana Laana auu... Hizi fikra+ za huyu Kiongozi kweli hawazielewii au Misifaa tu ya kusaka rekodii za kufanya makubwaa!!?

    • @alexbunami3185
      @alexbunami3185 3 ปีที่แล้ว

      Hawa jamaa

    • @victoriabayo7704
      @victoriabayo7704 3 ปีที่แล้ว

      Asante mzee wa ubwabwa kwa kuliona hilo

    • @victoriabayo7704
      @victoriabayo7704 3 ปีที่แล้ว

      Hele zinazotumwa zimeshakatwa kodi kwa mfano mfanyakazi mshahara kabla haujaingia kwenye account unakatwa kodi ukitaka kumtumia mzazi wako unakatwa tena sasa kodi zinakatwa mara ngapi? Kama serikali imeishiwa na wananchi watatoa wapi?

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 3 ปีที่แล้ว

    Wanatengeneza upaya na wananchi mama washauli Hana rawama anabeba yeue

  • @nantaembanusurupia5674
    @nantaembanusurupia5674 3 ปีที่แล้ว

    JPM alimuona Mwigulu sio, ndio maana alimpiga chini, mama yeye kambeba!!

    • @azizaaziza9113
      @azizaaziza9113 3 ปีที่แล้ว

      Kweli kbs mwiguru magufuli alimpiga chini baada yakuona ana mawenge lkn huyu anampa uwaziri wa fedha viongozi tuliyonao sasa hivi ndio wanatufanya tumkumbuke sana magufuli nadhiri tunavoteseka ndiyo tuzidi kajenga chuki kwa viongozi hasa waziri wa fedha na spika wa bunge

  • @thomasraiton7760
    @thomasraiton7760 3 ปีที่แล้ว

    SERIKALI IPUNGUZE MATUMIZI WANAFUJA SANA PESA ZA JASHONLA WANANCHI

  • @user-hb8vi9fx6g
    @user-hb8vi9fx6g 3 ปีที่แล้ว +1

    SERIKALI YA KUTAKA SIFA !
    HOVYO HOVYO KABISA !

  • @sabatoelia312
    @sabatoelia312 3 ปีที่แล้ว

    Mzee kachokaaa 😂😂😂

  • @frankkaiza3658
    @frankkaiza3658 3 ปีที่แล้ว +2

    🕑will tell!!

  • @simonmathias6090
    @simonmathias6090 3 ปีที่แล้ว

    Kweli babu 2mechoka

  • @iddymbewa7221
    @iddymbewa7221 3 ปีที่แล้ว

    Inauma sana

  • @antonnadenade4597
    @antonnadenade4597 3 ปีที่แล้ว

    Ndio maana mzee mangu amemutoa Hana maana sofa mm wakala nimepoteza 460000 imekata mwugulu acha sofa hizo

  • @mdsaid1527
    @mdsaid1527 3 ปีที่แล้ว

    Viongoz wa CCM shida Tu chenchin pesa iwe Dola sio shiringi mnakula nyie viongoz tunawatafutia wao Kula as tunakula Juan wao kivulin na pesa zetu Moto unawangoja

  • @ayubunemes1811
    @ayubunemes1811 3 ปีที่แล้ว

    Maguu baba uko uliko pumzk kwa amni mama samia anachotufanyia sio kizur

  • @H.sazo.
    @H.sazo. 3 ปีที่แล้ว

    Nikiona sina kitu basi napunguza mahawala faster sasa serikali ya bongo wanakwama wapi

  • @abuumaryam185
    @abuumaryam185 3 ปีที่แล้ว

    yaani kama kuna njia nyingine haya mambo ya tozo yaondolewe bana hatuyataki

  • @mozasaalim858
    @mozasaalim858 3 ปีที่แล้ว

    Mzee sema mawaziri wabunge mishahara ipunguzwe wapewe mawaziri milion 3 wabunge milioni2

  • @emmanuelsangijacosmas1737
    @emmanuelsangijacosmas1737 3 ปีที่แล้ว +1

    TUSUBILIENI 2025 CCM ITUKOME SASA MAAN HUU NI WIZI

  • @hatibushemahonge21
    @hatibushemahonge21 3 ปีที่แล้ว

    Yani. Mimi. Mwenyewe naweka pesa. Kwenye. Kibubu nikweli. Kabisa

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 3 ปีที่แล้ว

    Mpaka wa Denmark wameamua.kukimbia wizi