"Bajeti imepambwa sana" - Hashim Rungwe

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • Watu mbalimbali wameendelea kutoa maoni yao kuhusu Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2017/18 iliyowasilishwa Bungeni June 8, 2017 ambapo miongoni mwao ni Mwenyekiti Chaumma Hashim Rungwe aliyekaa kwenye EXCLUSIVE ya Ayo TV ambapo katika maoni yake anasema Bajeti hiyo imerembwa sana...

ความคิดเห็น • 67

  • @dicksound1838
    @dicksound1838 7 ปีที่แล้ว

    Kweli nimekukubali Mzee wetu unazijua shida zetu sisi wananchi, tofauti na hao waongo wanaotuongoza. Umenifurahisha sana hapo uliposema kwamba "vijana wengi hawana mitaji mikubwa ya kuchukua Frem za biashara, hali ambayo inawapelekea vijana wengi kuamua kuingia mitaani na tu-biashara vyao tudogodogo, huku wameshikilia mikononi au wamebeba kichwani, yani miguu na mikono ndo meza zao. Big up sana Mzee wetu

  • @deobajutha8805
    @deobajutha8805 7 ปีที่แล้ว +1

    Nimekuelewa sana Mheshimiwa rungwe.. Na wala hujaongea kinafiki hata kidogo 👍👍👍. Ebu mjitahidi kuishauri executive wawe wanasikiliza maoni

  • @stelasasala5972
    @stelasasala5972 7 ปีที่แล้ว +3

    Ambaye hajakuelewa anamatatizo sana. Big up mzee tumeyaona mwaka Jana wamepaka lakin haikufika hata asilimia 37 kit ambacho hakijawahi tokea tangu uhur umepatikana. Acha vijana washadadie ila wataumia.

  • @jimmyhabarugira4232
    @jimmyhabarugira4232 7 ปีที่แล้ว +9

    Mzee anaongeya ukweli mtupu, mtu mwenye kisha tembeya anamuelewa vizuri sana

  • @victorkellei1382
    @victorkellei1382 7 ปีที่แล้ว +5

    Daaaaah! Nimekuelewa saaaaana mzee

  • @justinemgomi9561
    @justinemgomi9561 7 ปีที่แล้ว +8

    rungwe umeichambua vizuri

  • @bitejames5926
    @bitejames5926 7 ปีที่แล้ว +5

    daaaaah nimekuelewa mzee wangu

  • @boniphasmvungi9807
    @boniphasmvungi9807 7 ปีที่แล้ว +5

    nimekuelewa mzee wangu tatizo magu anakurupuka bila kushirikisha watu wa namna hii

  • @raymondtimothygerman9428
    @raymondtimothygerman9428 7 ปีที่แล้ว +5

    uko vizuri mzee wetu

  • @mohdomar7060
    @mohdomar7060 7 ปีที่แล้ว +1

    nakuelewa sana mzee

  • @omarymkamba3045
    @omarymkamba3045 7 ปีที่แล้ว +5

    Huyu Mzee noma sana

  • @jumannemagage7948
    @jumannemagage7948 7 ปีที่แล้ว

    limenena sana bla mahaba ya kisiasa! big up mzee wa CHAUMA

  • @katyentyedanny4037
    @katyentyedanny4037 7 ปีที่แล้ว

    Mzee rungwe we kichwa sana mi binafsi nakukubali sana bs tu yani.

    • @ernesam7988
      @ernesam7988 7 ปีที่แล้ว

      nataman nigombee uraisi kama ww

  • @simonmlowe7309
    @simonmlowe7309 7 ปีที่แล้ว

    Uko vzr sana mzee, mafuta ni kilakitu,

  • @mzumaalfred9750
    @mzumaalfred9750 7 ปีที่แล้ว

    Rungwe we ni Great thinker Sana. big up sana

  • @shengezayusufu7000
    @shengezayusufu7000 7 ปีที่แล้ว +8

    huyu mzee naludia kusema anaakili sana

  • @revocatusgervas3040
    @revocatusgervas3040 7 ปีที่แล้ว

    mbwela nyingi sana mzee wetu

  • @matipukamatipuka2197
    @matipukamatipuka2197 4 ปีที่แล้ว

    Sir. Hashimu Rungwe Sipunda.

  • @benardmunna9194
    @benardmunna9194 7 ปีที่แล้ว

    siii ndio...hapo tu mzee lungwe unapo nifurahisha🤗

  • @michanomichano4931
    @michanomichano4931 7 ปีที่แล้ว +7

    rungwe we nijembeeee yani nakukubali baharia wangu kama burning spia vile

  • @EMMANUEL42541
    @EMMANUEL42541 7 ปีที่แล้ว

    Mzee nakuelewa sana, tatizo hawa viongozi wetu ni kama hawajasoma

  • @diegoadams7046
    @diegoadams7046 7 ปีที่แล้ว

    Mzee Rungwe uko vizuri unaongea vi2 vya msingi.

  • @abisairobert5894
    @abisairobert5894 7 ปีที่แล้ว

    Mtu Huyu ana ulewa sana
    Hashim Rungwe.

  • @mkwechemedy9929
    @mkwechemedy9929 7 ปีที่แล้ว

    Watu wakiambiwa tutawapa pesa wanashangilia tu awahoji wala kutafakar...Nakuelewa babu

  • @shafiihchongowe2221
    @shafiihchongowe2221 6 ปีที่แล้ว

    MZEE nakukubali

  • @dicksound1838
    @dicksound1838 7 ปีที่แล้ว

    Mzee namuelewa Sana, na isitoshe anachokiongea ni ukweli mtupu. Hakika anafaa kupewa hii nchi

  • @sinaniomar7933
    @sinaniomar7933 7 ปีที่แล้ว

    Hii bajeti wote wanaojifanya wanaichambua wanazungumzia mafuta tu.. Inachekesha sana

  • @thetreasure2230
    @thetreasure2230 7 ปีที่แล้ว +4

    Rungwe ni kichwa.

  • @saidisalumu6557
    @saidisalumu6557 7 ปีที่แล้ว +3

    nimeelewa

  • @marykitiru9212
    @marykitiru9212 7 ปีที่แล้ว +2

    upo sawa.

    • @ksmally1985
      @ksmally1985 7 ปีที่แล้ว +3

      Mary Kitiru mzee yupo sawa,hawa wanaomkejili kwa kweli ni ushabiki tu usiokuwa na maana

  • @selestinokidua884
    @selestinokidua884 7 ปีที่แล้ว

    nimekuelewa sana

  • @isayandabila7812
    @isayandabila7812 7 ปีที่แล้ว

    mzeeee kaongea fact tuuuuuuu yan xaf xana

  • @mwandiadam5490
    @mwandiadam5490 7 ปีที่แล้ว

    nimekuelew mzee

  • @karibubongo-tv636
    @karibubongo-tv636 7 ปีที่แล้ว

    good budgetary analysis

  • @kisianganijob1068
    @kisianganijob1068 7 ปีที่แล้ว

    Busara kweli

  • @easttruckers8598
    @easttruckers8598 7 ปีที่แล้ว

    point

  • @vituszack6653
    @vituszack6653 7 ปีที่แล้ว

    kwel

  • @katelula
    @katelula 7 ปีที่แล้ว +4

    Hahahahaa Rungwe nakuelewa sana Hahahaa

  • @ezekielhamis3520
    @ezekielhamis3520 7 ปีที่แล้ว +1

    ndo ivoo tz kuikomboa kaz coz most of Tanzanians elimu tatzooo so tulichobakia ushabik wa kipuuz ,mtu ka uyu anaongea point iv afu jitu haliew

  • @benderarulenge7092
    @benderarulenge7092 4 ปีที่แล้ว

    Mzee rungwe uko sahihi kabisa,ila wasaka tonge hawawezikukuelewa,

  • @karibubongo-tv636
    @karibubongo-tv636 7 ปีที่แล้ว

    it's true,2017/2018 budget of our Gvt,is costimetic.

  • @elishamwaya4074
    @elishamwaya4074 7 ปีที่แล้ว +1

    Babu mimi niko na wewe dama dama toka kitambo, ila ungetema madini haya bungeni hiyo suti yako na tai ingevutwa hadi nje ya bunge, maana wajumbe ndio hajitambui

  • @elishaalex6695
    @elishaalex6695 7 ปีที่แล้ว

    bajett mbovu ambayo itawaumiza wa Tanzania

  • @sulaimsameer2668
    @sulaimsameer2668 7 ปีที่แล้ว

    I wish ww ungekuwa Raisi kuliko alioko madarakani nw Everthing amefanya ngumuu....yuko in competition na wananchi wake na sio kuendeleza nchi

    • @hijaabbas897
      @hijaabbas897 7 ปีที่แล้ว +1

      Sulaim Sameer wameondoa hewa wameweka mzgo na mzgo wenyewe mpaka watoto walio kuwa hawajazaliwa nao pia watabebeshwa wakati wakizaliwa

    • @sulaimsameer2668
      @sulaimsameer2668 7 ปีที่แล้ว

      hija abbas @Absolutly true

    • @hijaabbas897
      @hijaabbas897 7 ปีที่แล้ว

      nmekupata mzee na nmependa kuwajulisha watu kuwa hela c zake na ofc c yake n mali yetu walipa kodi hvyo hatutaki maatumz ya ukakac lazma zheshmiwe mali zetu

  • @cleverdaud7624
    @cleverdaud7624 7 ปีที่แล้ว +4

    Uyu mzee anajisahau kichizi!!Meli zitapiga nanga Dodoma?

    • @thetreasure2230
      @thetreasure2230 7 ปีที่แล้ว +3

      acha ujinga wewe. Tuliza matacle usikilize madini hayo.

    • @jimmyhabarugira4232
      @jimmyhabarugira4232 7 ปีที่แล้ว

      Clever Daud , wew unaona kama haiwezekani? nakuelewa hujatembeya tatizo nchi inavilaza wengi comments zawatu pekeyake utajuwa kinachoendeleya hayo uyo mzee anaongeya yote yanawezekana, kadafi ametowa bahari bengazi kaileta mpaka tripoli zamani walikuwa natatizo mizigo ikifika bengazi magari yanachukuwa mpaka tripoli, ulaya zote wanafanya jambo usilolijuwa ndugu yangu kakimya

  • @charlsclement6512
    @charlsclement6512 7 ปีที่แล้ว

    Mzee nimekuelewa hapo kwenye swala la katiba.Kuna kitu watanzania inabidi tukijue

  • @yohanahaule1941
    @yohanahaule1941 7 ปีที่แล้ว

    daaah... kumbe mzee Rungwe ni kichwa kichizi, acha tu waendelee kupaka lipstick zao kwenye bajeti hewa.... haahaah

  • @amirmotors9735
    @amirmotors9735 7 ปีที่แล้ว

    sakata la makinikia limeishaj

  • @francisdaudi9894
    @francisdaudi9894 7 ปีที่แล้ว

    Bajeti ina lipstiki, Walimu wanachaji betri za watoto wetu! watu wana njaa! sisi tunanjaa, Wasakatonge! Huyu ndio Hashim Rungwe Spunda(Chama cha Ukombozi wa Umma) na alipata kura 49,256 sawa na 0.32% katika uchaguzi mkuu uliopita. Tanzania siku tukiacha unafiki na ubinafsi ndipo tutaendelea. Najua wakubwa wamenielewa.

  • @magrethaulo3084
    @magrethaulo3084 7 ปีที่แล้ว +3

    ulisubiri uchomolewe ikashindikana umeona uongee labda utafikiliwa hakuna ng'oooo

  • @joshuawwalwa3533
    @joshuawwalwa3533 7 ปีที่แล้ว

    siku zote unaweza kusoma naukawa hauna akili

  • @shadiairakoze7686
    @shadiairakoze7686 7 ปีที่แล้ว

    3 views and 2 likes

    • @amirmwamba9063
      @amirmwamba9063 7 ปีที่แล้ว

      Shasha Shadia 👊

    • @prochesimboya1712
      @prochesimboya1712 7 ปีที่แล้ว +1

      mzee unapoint unauelewa kuliko jpm lakini sikukubali atakidogo magufuli jembe

    • @mustafadaudi3258
      @mustafadaudi3258 7 ปีที่แล้ว

      Procmhesi Mboya Wewe si unafuata

  • @andrewsadiki9914
    @andrewsadiki9914 7 ปีที่แล้ว +3

    Eeeh Ccm hatari Watanzania kama hatutafanya fikra ya kuiondoa madarakani ccm basi tusahau any changes au maendeleo kwa katiba iliyokuwepo tutaishia kuona maendeleo binafsi kama Danube n.k lakini njaa na shida itakuwa ndio yetu