MACHINGA WALIA NA SAMIA 'HUWEZI KUTUAMBIA TUKAFIE MBELE''

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►TH-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

ความคิดเห็น • 99

  • @levidavid1156
    @levidavid1156 หลายเดือนก่อน +19

    watanzania tunaposema nchi imepigwa mnada muelewe. nawaomba tuunganishe nguvu. kuhakikisha tunawatoa viongozi wahuni nawashenzi madalakani

    • @Focusm-se2sd
      @Focusm-se2sd หลายเดือนก่อน

      Mkome hamtaki kubadilika komaeni na ccm

    • @SuzanGabriel-tp2cx
      @SuzanGabriel-tp2cx หลายเดือนก่อน

      Akuna viongozi sasa hivi yote majambazi tuyachome moto jamani

    • @chrissamani7921
      @chrissamani7921 หลายเดือนก่อน

      Yaani mtu ambaye hajawahi kijitafuta ni vigumu kutambua utafutaji, utafutaji haunaga kikomo,hiyo sio ajira ya kustaafu, kafanikiwa hakuhitaji miaka ya kustaafu, kustaafu ni kufa tu.

  • @user-zu8ou2oe4c
    @user-zu8ou2oe4c หลายเดือนก่อน +10

    Huyu mkuu wa mkoa ni mjinga sana anafokea watu kama wafanyakaz wake anadhan yeye kuwa kuwa mkuu wa mkoa ni boss wetu tayar mtu mjinga uyu

    • @ashapearubart2624
      @ashapearubart2624 หลายเดือนก่อน

      @@user-zu8ou2oe4c alafu wakati wa kupiga kura wanakuja na uwongo mwingi.

  • @Hussein-gx4qu
    @Hussein-gx4qu หลายเดือนก่อน +9

    Mama Samia hafai kabisa Sasa Mimi nitawashangaa watakaempa Samia kura. Samia hawezi kuwasaidia kitu huyo mama mlea wezi na mafisadi raisi alikuwa magufuri sio huyu mama hafai kabisa

  • @majebelemathis9991
    @majebelemathis9991 หลายเดือนก่อน +9

    Kila siku nawambiaga Magufuli alikuwa Raisi wa watu Samia hawezi kusikiliza wananchi

  • @Zaikadena
    @Zaikadena หลายเดือนก่อน +7

    Yaan mnapofel wabongo kusema tunamuomba mama mnazani mama hajui ilo kuwa dati inajenga yeye ndo serikali kuu

  • @user-fk6mt5ib6g
    @user-fk6mt5ib6g หลายเดือนก่อน +9

    Mama ndo mlezi wa hawa wahuni. Wala hatawasaidia lolote. Kwa Rai's huyu tumeangamia.

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq หลายเดือนก่อน +6

    Miaka mitatu Kwa mikopo ya kausha damu na je yeye angeajiliwa miaka mitatu harafu afukuzwe KAZI angeweza

  • @shadyaomary
    @shadyaomary หลายเดือนก่อน +4

    Kesi ya swala unampelekea fisi unategemea nini wakipatikana watu 100 kama ,mpina,mwabukusi, mbalikiwa ,halima mdee , inchi ingebadilika kuna kazi ngumu kumbadirisha mtanzania kuwa amini kuwa anahaki na ardhi yake ni ngumu sana tunapenda kuonekana wazalendo kwenye haki zetu ,hakuna haki inadaiwa kwa kuomba mtu ni wewe na bafsi yako na mbingu zako

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x หลายเดือนก่อน +10

    Nchi ya mateso kwa wasio nacho

  • @fabianhaali8437
    @fabianhaali8437 หลายเดือนก่อน +5

    Sisi ndo wenye kauli ya mwisho acheni ujinga.

  • @user-il5pk2dr5n
    @user-il5pk2dr5n หลายเดือนก่อน +1

    Yahani watu wahali ya chini ni mateso tu..Magufuri alipinga sana huu unyanyasaji wa hali ya juu kwa wanyonge.

  • @ericlowasa3097
    @ericlowasa3097 หลายเดือนก่อน +2

    Mama samia hawezi kiwasaidia chochote subirini muone

  • @mindicarrashid3131
    @mindicarrashid3131 หลายเดือนก่อน +1

    Mze anaishi ndoto bila kujali umri, upo sahihi umri wa umachinga umekutupa, tafuta ndoto nyingine

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv หลายเดือนก่อน +3

    Kitu angekuwa Magufuli Rahaaa

  • @user-py9jj5yr9l
    @user-py9jj5yr9l หลายเดือนก่อน

    Poleni sana hii ndiyo CCM

  • @user-jh4hg2ev9s
    @user-jh4hg2ev9s หลายเดือนก่อน +2

    Dart hawajiongezi wanaweza kujenga underground au juu km fly over. Wawajengee vibanda vya kisasa waendelee na biashara

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 หลายเดือนก่อน

      Pale jirani na daraja la juu la Ubungo kuna nafasi ambayo ilikua inatumika na wajenzi hivi sasa kuna mabanda tu. Je hiyo nafasi haitoshi kuweka karakana? Tena kuna mabanda yaliyokua stoo vifaa vya ujenzi visivyofaa na kamsitu

  • @MagrethMallya-we8ui
    @MagrethMallya-we8ui หลายเดือนก่อน +1

    Mkiambiwa mlishauzwa hamuelewi eti!!! Mpaka mseme. Hakuna mama apo.

  • @johnrobert5097
    @johnrobert5097 หลายเดือนก่อน +2

    NA WAO WAWE WANAAJIRIWA SERIKALINI MIAKA MITATU WAONDOKE MADARAKI WAWAPISHE WENGINE WAPYA KWANINI WAOTE MVI WAKIWA HAPO HAPO MADARAKANI

  • @sophiemsuya6507
    @sophiemsuya6507 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani fahamuni kuwa kuna wananchi na wenye nchi. Muwe tu makini kwani migogoro kama hii inapotokea ghafla na moto unatokea na kuunguza biashara zetu. Sielewagi huo moto unatokaga wapi jamanina ni kwanini unasuburigi tu wakati km huo 🤦😭😭

  • @namaanwilson6467
    @namaanwilson6467 หลายเดือนก่อน +2

    Mmefikewa kwa Nini msiondoke mkutanoni.
    Amewaambia mkiandamana tu.ndio mwishi wenu.

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 หลายเดือนก่อน

      Ni vitisho kwa kweli. Litafutwe eneo ambalo halina changamoto, yoyote

  • @EsterAlex-dn1dx
    @EsterAlex-dn1dx 29 วันที่ผ่านมา

    Jamani watanzania tutoeni uwoga tuandamane ..chukueni mfano kwa kenya

  • @namaanwilson6467
    @namaanwilson6467 หลายเดือนก่อน +2

    Je raisinakisema muondoke mtasemaje????na je mnafikili raisi hajui kuwa dat wanataka eneo hilo.?je wenye umuhimu Kati yenu na mwendo kasi nani ni muhimu ?Dr jafo hatabadilisha kwani bunge lilipitisha sheria dat wapewe chochote wanachotaka.

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 หลายเดือนก่อน

      Madhani ile nafasi ilikua inatumiwa na wajenzi wa daraja la Mfugale ingependeza kama ingeboreshwa kwa kufanywa hiyo karakana kwani kuna mabanda tu na makorokoro chakavu

  • @VITUSPROTUS-wh4mn
    @VITUSPROTUS-wh4mn หลายเดือนก่อน +3

    Mpaka mseme...

  • @abubakarimussa9131
    @abubakarimussa9131 หลายเดือนก่อน +1

    Tz ya ccm wanyoosheeni hao Hadi wajitambue😂😂😂

  • @JuhudiJotham
    @JuhudiJotham หลายเดือนก่อน +1

    Pia umachinga si umri wa mtu,mkuu wa mkoa anakosea,biashara siyo ubunge wala ukuu wa mkoa kuwa lazima ukae miaka 2 alafu umpishe mwingine hii ni biashara,

  • @KarumeKindamba-lk1px
    @KarumeKindamba-lk1px หลายเดือนก่อน

    Machinga na viongozi wa machinga taa imewaka niwakati wakujipanga hakuna matokeo bora kutegemea wanasiasa kwasababu hawanamajibu ya kitaalam kwaasilimia kubwa.Njia pekee kuwa na tasisi ya machinga Dar ambayoitakuwa na wataalam ambao watatoa mwelekeo wapi mtakwenda.Mimi ninaamini kutoka kuwa kero namtakuwa waheshimiwa.

  • @issataslima9846
    @issataslima9846 หลายเดือนก่อน +3

    acha yawakute

  • @Rahimuurasa
    @Rahimuurasa หลายเดือนก่อน +2

    Si muandamane

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x หลายเดือนก่อน

    Kila mtu mama mama mama
    Utafikiri nimama yenu
    Lazima mjue kukataa kama mwanaume ukisema sitaki iwe. Hivo sio eti mama mama
    Huyo mama ndiye anaemteua huyo baba yenu anaewakolomea lkn mama yenu hasemi chochote inamaana anamuunga mkono

  • @khamisomar889
    @khamisomar889 หลายเดือนก่อน +2

    Unaposhiba mkumbuke mwenye njaa

  • @abdallahmanula1627
    @abdallahmanula1627 หลายเดือนก่อน +2

    Nchi ngumu saana mtanzania ana thamani kabisa

  • @lenoxbuhanza4926
    @lenoxbuhanza4926 หลายเดือนก่อน +3

    Gnz yenu iko wapi

  • @geofreychitamu366
    @geofreychitamu366 หลายเดือนก่อน +1

    Mkuu wa mkoa,tambua kuwa kuwa kiongozi kuna hekima ya uongozi,kulipa ghalama, kusikiliza na kuwa mstaarabu wa hekima ya mdomo na akili.kuna mkenya amesema kitu nikajiuliza ana maanisha nini,,kuongoza wtz wote ni rahisi mno kuliko kuongoza nyumbu 5 serengeti. Je hii ina maanisha nini ktk haya yanayoendelea nchini kwa kuongozwa na watu kama huyo kiongozi wa mkoa?

  • @allyshaban406
    @allyshaban406 หลายเดือนก่อน +1

    Msipoteze mudaa, hilo ameshawajibu huyo chalamula. Kwa maelezo hayo ya huyo chalamula yanabara ya Rais,

  • @clarencehilary5588
    @clarencehilary5588 หลายเดือนก่อน

    Kauli ya mkuu wa mkoa ni kauli ya serikari maana yake hiyo ni kauli ya Samia pigeni chini huyo mama hana msaada na tanganyika

  • @ashapearubart2624
    @ashapearubart2624 หลายเดือนก่อน +2

    Hii ichi basi tena.

  • @barakaangosi5721
    @barakaangosi5721 หลายเดือนก่อน

    Sio mama yko! yule ni rais.. 🧠

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 หลายเดือนก่อน

    Hayo ni maelekezo mama hawezi kuwasaidia.

  • @user-zg4yz7je8d
    @user-zg4yz7je8d หลายเดือนก่อน +1

    Uyu charamila ni mpumbavu sana yani kichwani kwa kweli anaupungufu wa akili, uwezi kuwafokea watu kama watoto. Wazawa awana haki ktk nchi hii. Yani wamachinga awana haki ktk hii nchi. Nawaambia wamachinga msipofunguka mtateswa sana. Mbona yeye charamila hastaafu ukuu wa mkoa? Kuna vijana wangapi awana hajira

  • @Damsonmwiga-t8q
    @Damsonmwiga-t8q หลายเดือนก่อน

    Dah hii ndy tanzania we miss you magufuli

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 หลายเดือนก่อน

    Kwakweri NI usumbufu SANA. Hivi wanawaza Nini HASA??? Kusumbua watuuu?????

  • @mamlomamlo9064
    @mamlomamlo9064 หลายเดือนก่อน

    Nendeni baharini muwe floating machinga kwenye madau na ngalawa km baadhi ya nchi za asia

  • @evelina9621
    @evelina9621 หลายเดือนก่อน

    Mngojeni.kwenye.kura.ya.kupiga.magoti.nipeni.kura.nitawasaidia.leo.wanasumbua.uchungu.mnatafuta.maslahi.wapate.maisha

  • @williampaulmashoke7402
    @williampaulmashoke7402 หลายเดือนก่อน +1

    Na ukuu wa mkoa uwe mwaka mmoja😂.

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv หลายเดือนก่อน +1

    Anajua swala hilo na mkuuu wa mkoa ameshawasiliana nae

  • @hawahussein137
    @hawahussein137 หลายเดือนก่อน

    Sijui ana jiona yeye nani

  • @hawahussein137
    @hawahussein137 หลายเดือนก่อน

    Aliyeshiba hamjui mwenye njaa

  • @andrewkissava9184
    @andrewkissava9184 หลายเดือนก่อน

    Acha kuchoka mzee hapa ni kuchukua hatua ya kuichukia na kuikataa ccm na serikali yake

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula หลายเดือนก่อน

    Haki za binadamu ziingilie kati. WanJangaishwa

  • @user-mc2zl1gj6u
    @user-mc2zl1gj6u หลายเดือนก่อน

    Pumbavu miaka 50 Bado machinga tu ww ndezi Kodi unalipa wapi Samia anataka wakioa Kodi s ww

  • @allyhasani3750
    @allyhasani3750 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani ujinga mtupu kesi ya nyani kwa ngendere unategemea nn

  • @stellamwasenga6205
    @stellamwasenga6205 หลายเดือนก่อน

    Wanyonge 😢

  • @IsmailKidongo
    @IsmailKidongo หลายเดือนก่อน

    Nchi imeunza tuungane kuiludisha mikononi kwa wanyonge

  • @salama1113
    @salama1113 หลายเดือนก่อน

    Ndomnavyo jipa moyo endeleeni kuoto ndoto ya usingizini

  • @prospermsemwa1433
    @prospermsemwa1433 หลายเดือนก่อน

    mama anaupiga mwingi hongera kama glhajaja k,koo atakuja hapo sijui

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc หลายเดือนก่อน

    Tatizo liko kwa Mbunge wenu,

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 หลายเดือนก่อน

    Watafute eneo lingine

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc หลายเดือนก่อน

    Naomba msipingane na serikali, Kibari yote,Mbunge huyo mpige chini afai

  • @rajabukitego1662
    @rajabukitego1662 หลายเดือนก่อน

    Hapo,nyie,hamna,pa,kwenda,,rais,Hilo,,analijua,,hii,ichi,ya,vilio,kwa,wanyonge

  • @cidewashington670
    @cidewashington670 หลายเดือนก่อน

    Nchi lenyewe liliisha uzwa hilo

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 หลายเดือนก่อน

    Watu watafanyaje boredha mazingira wataenda wapi

  • @kefamwakipesile275
    @kefamwakipesile275 หลายเดือนก่อน

    We have Reed leaders in our kaontriii

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 หลายเดือนก่อน +2

    Mkuu WA mkoa ana shida anahasira za kijinga

  • @patrinraura1397
    @patrinraura1397 หลายเดือนก่อน

    Wapeni vile Vitambulisho vya Hayati Dr Magufuli na wapatiwe maeneo Rafiki na Pia km kuna Gharama za Wamachinga zirejeshwe kwa kufidiwa

  • @josephinarobert3325
    @josephinarobert3325 หลายเดือนก่อน

    Waacheni ccm waibe maana magufuri ariwabana sana

  • @IsmailKidongo
    @IsmailKidongo หลายเดือนก่อน

    Mkilala na njaa ndiomtaamini ccm mbaya

  • @paull8659
    @paull8659 หลายเดือนก่อน

    wananchi huu ni wakati wakioondoa CCM. Huyo mama mnayetaka kukitana naye ndio hao hao wabaya wenu. CCM haina pumzi tena kuongoza nchi. Chalamila ni kiongozi gani?

  • @kessydieselengineers3205
    @kessydieselengineers3205 หลายเดือนก่อน

    Kauli ya mtu mmoja alisema mhamie Burundi yaani inasikitisha sana

  • @MRASISKA
    @MRASISKA หลายเดือนก่อน +3

    𝗮𝗰𝗵𝗲𝗻𝗶 𝘂𝘇𝘄𝗮𝘇𝘄𝗮 𝗻𝘆𝗶𝗲 𝗸𝘄𝗮𝗶𝘆𝗼 𝗺𝗻𝗮𝗱𝗵𝗮𝗻𝗶 𝘂𝘆𝗼 𝗺𝗮𝗺𝗮 𝘆𝗲𝗻𝘂 𝗵𝗮𝘂𝗷𝘂𝗶 𝗵𝘂𝗼 𝗺𝗿𝗮𝗱𝗶??𝗮𝘂 𝗺𝗻𝗮𝗱𝗵𝗮𝗻𝗶 𝗵𝗮𝗷𝘂𝗶 𝗸𝗮𝗺𝗮 𝗺𝗻𝗮𝘁𝗮𝗸𝗶𝘄𝗮 𝗺𝘂𝗼𝗻𝗱𝗼𝗹𝗲𝘄𝗲???

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 หลายเดือนก่อน

      😢😢😢😢

    • @EsterAlex-dn1dx
      @EsterAlex-dn1dx 29 วันที่ผ่านมา

      Katika mikoa yote hakuna mkuuu wa mkoa mjinga kama huyu anasema watu wanalia kinafki kalewa madaraka huyu

  • @kessydieselengineers3205
    @kessydieselengineers3205 หลายเดือนก่อน

    Msitoke kama ni noma Wacha iwe noma

  • @Zaikadena
    @Zaikadena หลายเดือนก่อน +4

    Ngorongoro na loliondo wameondolewa mtakua nyie

    • @godfreyfrugence4176
      @godfreyfrugence4176 หลายเดือนก่อน +1

      Na makonda mpaka leo ajafika loliondo na ngorongor kutatua kero za wananchi na nimoja ya wilaya iliyopo ndan ya mkoa wa arusha

  • @Focusm-se2sd
    @Focusm-se2sd หลายเดือนก่อน

    Komaeni na ccm

  • @JoelRichard-hj3bi
    @JoelRichard-hj3bi หลายเดือนก่อน

    Si huwa mnasema ccm mbele kwa mbele,wacha iwe hivyo mbele kwa mbele mpaka mjitambue 😂😂😂😂😂.

  • @prospermsemwa1433
    @prospermsemwa1433 หลายเดือนก่อน

    raisi anajua kabulisa hamuelewi tuu

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula หลายเดือนก่อน

    MSIKUBALI. KILA SIKU KUHANGAISHWA

  • @nabiimgongolwa8728
    @nabiimgongolwa8728 หลายเดือนก่อน

    KWANINI NAO VIONGOZI WASISTAAFU BAADA YA MIAKA MITATU? NAULIZA TU.

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 หลายเดือนก่อน

    Usiku umeendelea Sana asubuhi imekaribia sana

  • @ZaidAKissinza
    @ZaidAKissinza หลายเดือนก่อน

    Yani mpaka msemeee !!!!

  • @stellamwasenga6205
    @stellamwasenga6205 หลายเดือนก่อน

    Who is Mama???

  • @ramadhanhassan9308
    @ramadhanhassan9308 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅

  • @johnfani9380
    @johnfani9380 หลายเดือนก่อน

    Hapo tunamkumbuka makufuli

  • @thomasmollel9465
    @thomasmollel9465 หลายเดือนก่อน

    Kenya waje dar waandamane nyie waoga

  • @melejijohnson3257
    @melejijohnson3257 หลายเดือนก่อน

    Rais anajua kila kitu labda yeye ndio amepeana hiyo soko

  • @thomasmollel9465
    @thomasmollel9465 หลายเดือนก่อน

    Kama machinga kila baada ya miaka mitatu waondolewe hivyo hivyo kwa viongozi wote wa umma kila baada ya miaka mitatu waondolewe wawekwe wengine wapya