RUNGWE ATEMA NYONGO JUU YA BANDARI "SERIKALI IMESHINDWA KUENDESHA/RUSHWA IMETAWALA WATU WA CCM"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • RUNGWE ATEMA NYONGO JUU YA BANDARI "SERIKALI IMESHINDWA KUENDESHA/RUSHWA IMETAWALA WATU WA CCM"
    🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
    🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
    🔘WhatsApp (+255 767 400402)
    🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
    🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

ความคิดเห็น • 47

  • @sulimanmzee2310
    @sulimanmzee2310 ปีที่แล้ว +11

    HUYU MAMA ANAUZA BANDARI YA BARA KWA MASLAI YA ZANZBAR NA VIZAZI VYAO

  • @edwardnatharyblessed7067
    @edwardnatharyblessed7067 ปีที่แล้ว

    Kweli Rushwa imetawala CCM, ila Mimi ni mwana CCM ila wataona moto uchaguzi unokuja

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna wabunge Tanzania,ni vibaraka wa Rais wa CCM

  • @borcherwilliamborchert3090
    @borcherwilliamborchert3090 ปีที่แล้ว

    Kwenye kauli ya ccm kushindwa kuendesha nchi nakupongeza. Nikweli Hawa uwezo nguvu ya Dola hasa polis nawao wanaingilia jambo lao kma vile wao sio watz inashangaza

  • @juliusringo2493
    @juliusringo2493 ปีที่แล้ว +2

    Rungwe kaongea mambo makubwa kwa kifupi nimemwelewa sana

    • @thomastarimo
      @thomastarimo ปีที่แล้ว

      kila sehemu ni watu wa ccm akuna licha lichafu kama la ccm

  • @khamisjuma8501
    @khamisjuma8501 ปีที่แล้ว

    Good job rugwe we understand

  • @bundalaizina652
    @bundalaizina652 ปีที่แล้ว +1

    Spika alikuwa hawapi wabunge muda alikuwa anaigilia ingilia tu badala ya kumwachia waziri mwenye zamana kuelimsha wananchi kwa hiyo wananchi bado hajaelewa vizuri, ni waxiri mwenye zamana tu ndiye wananchi wanamuhitaji ajitokeze na si spika au mh Nape au Mb msukuma hapana

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 ปีที่แล้ว +2

    WATANGANYIKA NI MASHOGA NA MAMA ATAWAUZA WOTE KWA WAARABU. CCM OYEE

  • @sskondopoleani9616
    @sskondopoleani9616 ปีที่แล้ว +2

    KAPIKE UBWABWA WATU WAKO WALE.

  • @sulimanmzee2310
    @sulimanmzee2310 ปีที่แล้ว +1

    WATANZANIA MUUNGANO AUWEZI IKAWA FOREVER TUSIKUBARI

    • @sskondopoleani9616
      @sskondopoleani9616 ปีที่แล้ว

      TUSIKUBARI wewe na mwenzio nani??

    • @sulimanmzee2310
      @sulimanmzee2310 ปีที่แล้ว

      @@sskondopoleani9616 WATANZANIA wengi tu kwanza kamchagua Nani mpaka afanye yake

  • @VascoKasambala-wb3ep
    @VascoKasambala-wb3ep ปีที่แล้ว

    IINCHI TUANGALUAGE MTU WA KUMPA URAISI AWAGE RAISI MZAWA

  • @user-le1mo8ru7u
    @user-le1mo8ru7u ปีที่แล้ว +2

    Soma mkataba kwanza ndio uhojiwe huna point

  • @safarichui8551
    @safarichui8551 ปีที่แล้ว

    Hahaha Spunda mie nakukubali sana vibaya mno 😂😂😂 yaani wewe mcheshi balaa 😂😂😂, afu mwandishi usipomstopisha na kumuuliza swali jengine jamaa anapenda maiki atazungumza tena atatoka nje ya biti hadi balaa😂😂😂😂

  • @mussai.sillas3796
    @mussai.sillas3796 ปีที่แล้ว

    Hata hiyo bandari,haikodishwi yote. Zinakodishwa gati 3 tu. Namba 5,6 na 7. Gati zingine zitaendelea kuendeshwa TPA.

  • @jovinjulius9852
    @jovinjulius9852 ปีที่แล้ว

    Mi naomba CCM Ibinafisishwe

  • @deomajiji1789
    @deomajiji1789 ปีที่แล้ว +1

    Eti, Mkataba ...hauna ubaya?' Huyo Hashim ni msomi wa Sheria au ni wa Ubwabwata? Hata swali lenyewe halielewi! Hata huyu ni Mamluki wa CCM piam

    • @festinamwakipale3919
      @festinamwakipale3919 ปีที่แล้ว

      Sijui kuhusu ushoga tumefikia wapi ma'ana wawekezaji wapo ni kujadiliana tu ikishindikana wawekezaji wanakaa kimya ikiwezekana wanaingia niko pamoja na mzee huyu vijana jana jitahidi.kuwasikiliza wazee kama hawa kuna hekima.ndani yao mm binafsi nimependa mzee.huyu anatulia fujo hazionekan kwenye maongezi yake

    • @deomajiji1789
      @deomajiji1789 ปีที่แล้ว

      @@festinamwakipale3919 Na je, kuhusu kuuzwa kwa Bandari za Tanganyika huyi mxee Ryngwe jasema nini la kweli? Alichifanya huyo asamia, Jije la Kiarabu ni kuiuza nchi kwa Matrilioni ya Dollar, zake bi

    • @festinamwakipale3919
      @festinamwakipale3919 ปีที่แล้ว

      @@deomajiji1789 sijasikiapo kuuzwa bandari labda wametangaza kwenye vyombo vya habari ya zambia uwekezaji upo miaka Mingi tangu.enzi za nyerere watanzania tuombee sana mabalaa ya ushoga mabaraa ya ilawiti kwA watoto mabalaa ya njaa hayo mengine yatafuata

  • @baghabaghaingwengwe1750
    @baghabaghaingwengwe1750 ปีที่แล้ว

    Maramba, Masanju, N. Kiula nk

  • @coolruler6820
    @coolruler6820 ปีที่แล้ว

    Mzee wa shaba

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm ปีที่แล้ว +1

    Mzee kaa pembeni. Unasemaje mkataba uko Sawa. Soma uelewe. Zimeanza kuhamisha.

  • @marthadominick2212
    @marthadominick2212 ปีที่แล้ว +2

    Magufuri mbona aliweza alikuwa na nn kwa nn mama ashindwe kuna watu wanamudanganya halafu wao wanakaa pembeni kwa nn magufuli aliweza?????????????????

    • @kunyaobelela4062
      @kunyaobelela4062 ปีที่แล้ว +1

      Jibu ni rahisi tu, MAGUFULI alikuwa mzalendo, huyu aliyepo sio mzalendo.

    • @juma2979
      @juma2979 ปีที่แล้ว

      Vip ww

    • @gibsonjosephat6352
      @gibsonjosephat6352 ปีที่แล้ว

      Alikuwa Mzalendo, mchapakazi na mfuatiliaji wa mambo muhimu. Kumbuka alikuwa anatembelea maeneo yote Bandari, Viwanja vya ndege, Machimboni nk. na kutoa maelekezo na kuwaondoa walioshindwa Kazi. Leo hakuna kitu kama hicho lazima vyanzo hivyo vya uchumi wa nchi.

    • @SaidimaulidiMaulidi-lf9de
      @SaidimaulidiMaulidi-lf9de ปีที่แล้ว

      ​@@gibsonjosephat6352tatizo udini tu hamna zaidi,magu Mambo yake hamshirikishi yoyote,lakini mama anaweka wazi Mambo yake lakini bado mnamuona mbaya ,

    • @SaidimaulidiMaulidi-lf9de
      @SaidimaulidiMaulidi-lf9de ปีที่แล้ว

      Magufuri dikteta tu,acha ujinga

  • @kunyaobelela4062
    @kunyaobelela4062 ปีที่แล้ว

    Hauna ubaya, au unataka ukuu wa wilaya.

  • @kenedysimon3566
    @kenedysimon3566 ปีที่แล้ว

    Umeongea vema

  • @abdulhakeem959
    @abdulhakeem959 ปีที่แล้ว

    Rungwe,hiyo bendera ya tz vipi imekaaje.ndo unataka nchi kumbe hata mkao wa bendera ya nchi yako huujui???

  • @emmanuelmkeba7901
    @emmanuelmkeba7901 ปีที่แล้ว

    KWA NN JAMBO LA JAMHURI LIWE LA TANGANYIKA PEKE YAKE HIYO IBARA YA 26 KIGUNGU CHA KWANZA KIDOGO NA CHA PILI?!

  • @juliusringo2493
    @juliusringo2493 ปีที่แล้ว

    Tutulize akili

  • @sulimanmzee2310
    @sulimanmzee2310 ปีที่แล้ว

    Wambie wamludishe kakoko

  • @erestizacharia4758
    @erestizacharia4758 ปีที่แล้ว +1

    Mzee rungwe waulize serikali wakibinafsisha bandari yetu wao watabaki wakitekeleza Nini? Kweli! Tunawaza tu binafsisha miradi mikubwa Kama bandari! Na Ni kitovu Cha uchumi wa nchi yetu jmn, watuambie nchi ikiwashindwa.

    • @SaidimaulidiMaulidi-lf9de
      @SaidimaulidiMaulidi-lf9de ปีที่แล้ว

      Wewe watanzania kazi wanayoiweza ni ufisadi,hatuna uzalendo ,hawawezi kuongoza miladi mikubwa,wacha mama abinafsishe,kikubwa tupate ushuru wetu

  • @charlesbayona7735
    @charlesbayona7735 ปีที่แล้ว

    Kama bandari kuna Friday haina shida. Tatizo ni mkataba ukoje?

  • @rashidsleman5545
    @rashidsleman5545 ปีที่แล้ว

    Tatizo sio uwekezaji lakini wafanyakazi wanao ajiriwa hawana uwezo baharesa mtu wa kawaida lakini anaendesha biashara kama ulaya kwanini yeye aweze wao washidwe na kama wameshindwa hapo basi arijojo hiyo kesho muhimbili halafu umeme

    • @christophercostantine7497
      @christophercostantine7497 ปีที่แล้ว

      shida ndugu yangu Tz wafanyakazi wengi wanapenda kujinufaisha wenyewe maana tungekuwa waaminifu haya yasingetukuta