MAPYA YAIBUKA WANAOFANYA SURGERY MATATANI ZAIDI KWA KIFO.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 มิ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 20

  • @yusuphibrahim-yq9mv
    @yusuphibrahim-yq9mv 9 วันที่ผ่านมา +8

    Dada letu tuna kupenda sana ndugu zako waislamu kwahilo vazi maashaalllahu

  • @user-jh7ru2sl6p
    @user-jh7ru2sl6p 9 วันที่ผ่านมา +9

    Unapendeza sasa sasa mtangazaji wetu stara inakufanya uwe mrembo sana

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 4 วันที่ผ่านมา +2

    Sikuhizi mtangazaji unapendeza.👏

  • @user-nk3dp9cv9c
    @user-nk3dp9cv9c 9 วันที่ผ่านมา +3

    Tatizo lipo kwa Watanzania wakike ,Kila kitu kinachoingia tunakupokea kwa Miko 2 bila kujua na kujali afya, pia tuangalie upande w2 wanao tuletea hizi huduma wao wanazitumia au Watanzania ni Kama jalala?!

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 8 วันที่ผ่านมา +3

    Umevaa vizur sio kila siku upo kama chizi

    • @RynoFiree
      @RynoFiree 8 วันที่ผ่านมา +1

      Tumia lugha nzuri 😮😮

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 8 วันที่ผ่านมา +3

    Bora wakifanyiwa wote wafe

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 8 วันที่ผ่านมา +2

    Dk umeongea point kwawenye akili tumekupata vizuri ,,,kwamba ukishafanya surgery huo ni mwanzo tu bado utahitajika kwenda tu khitilafu Inajitokeza kila kukicha 😂😂😂 wanataka kumkosoa mungu

  • @user-tw7qm5mw4b
    @user-tw7qm5mw4b 6 วันที่ผ่านมา

    Wanamkosoa sana mwenyezi Mungu wafege tu kwakweli na hao madaktari jamani wapatage hofu ya mwenyezi Mungu wamekua kama Mungu watu ewe mwenyezi Mungu tujaalie mwisho mwema maana daa watu wana force mpaka dhambi

  • @nantaembanusurupia5674
    @nantaembanusurupia5674 8 วันที่ผ่านมา +1

    Sio kujificha dada utaftaji ni mgumu hivyo unaona ukashinde kituoni ushinde njaa na watoto au ukatafute ule na watoto😢

  • @user-mb2ln1et5w
    @user-mb2ln1et5w 9 วันที่ผ่านมา +1

    Wangejua familia zilizofiwa na wale vijana maumivu zinayoyapitia

  • @user-fl1xz3ln3c
    @user-fl1xz3ln3c 9 วันที่ผ่านมา

    Hatari sana hii

  • @Marjeby
    @Marjeby 5 วันที่ผ่านมา

    Nyie Mbengo online tv narudia tena kangalieni sana haka katangazaji kana waacha muda sio mwingi cz soko letu kubwa nowadays linataka presenter wa aina yake so wangalieni wakubwa

    • @mbengotv
      @mbengotv  5 วันที่ผ่านมา

      Sawa

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 8 วันที่ผ่านมา

    Bure ukipata kuonana nadocta labda ulale apo apo

  • @naifathassan2607
    @naifathassan2607 5 วันที่ผ่านมา

    Jamani mnanitisha me nishalipia kufanya tummy tuck

    • @mshambaused3840
      @mshambaused3840 5 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂Nenda achana na ushauri wadokt

    • @sophiakimaro5174
      @sophiakimaro5174 5 วันที่ผ่านมา

      Kuna wakati nilianza kuwekeza hela nikapata ushauri wa doctors mmmh!! Nikala hela yangu.haya mambo kuna wakati inatisha ukifikiria kwenda theatre bila kuumwa.mmmmh!!!

    • @zainabwage4658
      @zainabwage4658 3 วันที่ผ่านมา

      Ushaur mzr😂😂😂​@@mshambaused3840