MCH HANANJA ATOA SOMO KWA GEN Z WA KENYA, MUNGU HAPENDI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.ค. 2024

ความคิดเห็น • 29

  • @stephenmwaniki2803
    @stephenmwaniki2803 5 วันที่ผ่านมา +8

    Wacha mzee nikujuze jambo huyu mtu alipo ingia mamlakani kwanza aliondoa kazi kwa vijana pesa za wazee mlo shuleni kwa wasionjiweza huduma hospitalini acha zifurugha yani amehalimbu kila kitu na tusisahau amepeleka watoto wetu haiti kwahiyo hatumchukii bule huku maisha nikusononeka tu

    • @angellomarcel5677
      @angellomarcel5677 วันที่ผ่านมา

      Ndiyo hicho alichosema Wananch wameona Tofauti na walichotegemea

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mchungaji uko vizuri kuliko hawa watafiti wa kusoma vitabu na kuandika tafiti "mwotesho". Hili ni somo zuri kwa Wah Wabunge. Huu ndio ukweli. Viongozi dini na serikali na wazazi wasikilize hii kwa makini.

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wakosa wote. Hela ziko wapi! Mungu saidia tune na uwezo WA kufanya kazi asifanya kazi na asile.

  • @abdallahdullah8642
    @abdallahdullah8642 5 วันที่ผ่านมา +2

    Tatz waliojuu Hawana utamaduni wa kuwackiliza walio chini wkt ndio ndio waliowaweka apo juu kwa kura na ridhaa zao lkn wakipata huwasahau na mara nyingi walilalamika solution huwa kuwachapa viboko na kuwanyamazisha.

  • @bahatisilvesta
    @bahatisilvesta 6 วันที่ผ่านมา +3

    big point

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    "Utamaduni wa mazungumzano kuanzia ngazi ya familia. Walioko juu wawasikilize walioko chini na wachininwawaheshimu walioko juu wasiwapuuze walioko chini na wachini wasipuuze walioko juu. Tusipuuzane Watz. Tuipende nchi yetu kwa amani."

  • @user-me5xj1cp2e
    @user-me5xj1cp2e 3 วันที่ผ่านมา +1

    Magufuli alibadilisha kwa mda gani wachungaji semeni

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 4 วันที่ผ่านมา +1

    Wale watu wamesema wenyewe kuwa hawana cha kupoteza😢.Hawajali kabisa. NI KW E LI .Wamekata tamaa😢

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    "Maendeleo watu na maendeleo vitu viende pamoja. Mwenyenjaa hana sheria hana akili. Watu potelea mbali hawana habari, hawana la kupoteza."

  • @collinsowuor6981
    @collinsowuor6981 4 วันที่ผ่านมา +1

    Kweli kabisa, wakenya ujumbe mzuri kwenu nyinyi

  • @zulekhasaeed6046
    @zulekhasaeed6046 3 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe huijui kenya hatukuelewi

  • @user-uy3uk2ul5b
    @user-uy3uk2ul5b 5 วันที่ผ่านมา +1

    Unapopandisha Kodi razima uwandae miundombinu ya maksin ya Ali ya chini, ili asije kuraramika km wakenya.

  • @feswal22
    @feswal22 2 วันที่ผ่านมา

    Kutojua haki yako kama mwananchi ni vbaya,, this round tutawafinya lazma Kila mtu awe na haki sawa 🇰🇪🇰🇪 uongozi wa kidicteta hatutaki

  • @user-em3qx3de7z
    @user-em3qx3de7z 6 วันที่ผ่านมา +1

    Kwel kabisa mchungaji yaan ni ukwel mtupu

  • @raphaeloloo9641
    @raphaeloloo9641 4 วันที่ผ่านมา +1

    Kuja Kenya tukusalimie

  • @ngwenoh.e9725
    @ngwenoh.e9725 3 วันที่ผ่านมา

    What is he talking about? There's no politics there,it's governance,accountability,curb wastage

  • @PhestoKamsangia-nz2xx
    @PhestoKamsangia-nz2xx 3 วันที่ผ่านมา

    Huyu mze anafaa kuwa bunge kabisa

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Matarajio ya waliokuweka ktk uongozi yasipotimia shida. Je wanani walimweka nani ktk uongozi na matarajio yao nini? Taabu.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 4 วันที่ผ่านมา

    Ushabiki ni balaa ,tuongee ba siyo vurugu😮

  • @maniamba.tz_
    @maniamba.tz_ 6 วันที่ผ่านมา

    True

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 4 วันที่ผ่านมา

    Nimecheka eti watanzania ni nautical😀😀😀

  • @abdallahdullah8642
    @abdallahdullah8642 5 วันที่ผ่านมา

    Nimekuelewa mzee wengi hatujui km Kuna maendeleo vitu na Maendeleo watu kwaiyo kinachofanyika ni kuleta Maendeleo vitu tyu bila kujali Maendeleo watu ni muhm zaidi kwasabb ni rahc Maendeleo watu kuleta Maendeleo vitu lkn una una soko lkn huna uwezo wa kuweka bidhaa.

  • @douglaswawire9885
    @douglaswawire9885 3 วันที่ผ่านมา

    Come and stay in Kenya for only only month,,,,you will go back to your country,,,you don't know how people feel

  • @shukranisibale1739
    @shukranisibale1739 4 วันที่ผ่านมา

    Hakika

  • @dukeongori9067
    @dukeongori9067 5 วันที่ผ่านมา

    Bro wa suti

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 4 วันที่ผ่านมา

    Watu wanategemea kuajiriwa tu.colonilism after effects Vijana wajifunze kujiajiri na siyo kuwategemea wabunge😢😢

    • @ezekielmwakalindile1922
      @ezekielmwakalindile1922 2 วันที่ผ่านมา

      Usichukulie powa kujiajiri lazima selikari itengeneze mazingira ili wananchi wake waweze kujiajiri.Nchi nyingi hazina iyo mifumo ndio maana watu wengi wanakuwa jobless

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 4 วันที่ผ่านมา

    Ba b a waambie wa n asiasa wa Tanzania pia waanze kujitambua vinginevyo mwakani ni hayo hayo ya Kenya.Sasa tatizo la Tanzania elimu ndogo sana,kwa vijana hata baadhi ya wanasiasa😢😢 Kitakuwa kisanga wajinga watupu kupambana😢😢