MKASA WA DADA WA KAZI ALIYE PEWA MIMBA NA BOSS WAKE (MUME WA MTU)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.ค. 2024

ความคิดเห็น • 24

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 วันที่ผ่านมา +1

    Mama mwenye nyumba hakuwa na nia mbaya na wewe.wewe ulikuwa na roho ya uchawi kutaka kumvunjia ndoa yake hali yakuwa hajakukosea.sasa mungu amekulaani uliyo tegemea yamkute mwenzio yamekukuta wewe.na ukiendelea kufatafafa ndoa yao utapata usicho kitegemea.rudi kijijini ulee mtto wako hata yatima wanakuwa bila wazazi.usilie umalaya wako ndio uliokuponza. Umechimba shimo ukaingia mwenyewe.😂😂😂😂😂

  • @aminaolver9114
    @aminaolver9114 5 วันที่ผ่านมา +2

    Dada pole sana ila naomba usidanganyike tena yaani mwanaume alikudanganya uongo ulio onekana lkn ulishindwa kuuchanganua wacha kwenda kuharibu mahusiano ya watu au nyumba ya watu ambazo tamaa zako na roho ya kumshusha mwenzako ili wewe upande Mungu hapendi tafuta kazi lea mwanao miaka 3 unaweza kabisa kufanya biashara ukamtunza mwisho wa ubaya ni aibu na hao ndio wanaume pole sana

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 4 วันที่ผ่านมา +2

    Yani ww ni malaya tu 😂😂 usituchoshe mkubwa ivyo ulidanganywa nn ulitaka mwenyewe yani hawa wadada wa kazi wengi mnajisahsu mnatamani kuwa mama mwenye nyumba ndio mnaalibu iyo imekula kwakooooooo lea tu mwanaoooo msaada kwa uyo mwanaume ukingangania utakutesaaaa

  • @hadijahadija4699
    @hadijahadija4699 4 วันที่ผ่านมา +3

    Unalia.nn.pumbavu.yani.ndomana.munarongwa

    • @jeanmusamba8448
      @jeanmusamba8448 2 วันที่ผ่านมา

      hahahahhahah dada Hadija noma sana hahahhahahah

  • @souvenirweber7169
    @souvenirweber7169 6 วันที่ผ่านมา +1

    Sasa kwanini usiseme ndio unasema yeah na kingereza hukijui yaani waswahili mna tatizo kubwa kichwani

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 2 วันที่ผ่านมา

    hahahha ulikuwa unakatika unadhani unamwagia mwajia unampa mdogo na na kukata mauno unategemea nini?wala si issue kabisa

  • @angonzamujunangoma8775
    @angonzamujunangoma8775 4 วันที่ผ่านมา

    Pole kwa changamoto,kipindi hicho ulikuwa ma ulimbukeni,tafuta maisha dada

  • @rose76312
    @rose76312 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mmmmmhh!!!! Unafanya dhambi kwa ajili ya familia??

  • @kulthumsaif2856
    @kulthumsaif2856 3 วันที่ผ่านมา

    Pumbavu nyooooo😏😏😏kenge ww Amuache mkewe kisa eti mwanaume wangu wa kwanza Lia mpaka ufe

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 วันที่ผ่านมา

    Hiyo NI hasara kubwa sana kwanini hamtaki kazi ya kilimo ?? Zamani mabinte walijishuhulusha sana na kilimo na baada ya mda wengi wao hupata wanaume na kuolewa then hupata family zao sio kuzuruka na kupata mimba zisio tarajiwa na kua singles mother

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 วันที่ผ่านมา

    Atajijua, avune alichopanda

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 2 วันที่ผ่านมา

    Kwani hiyo Mumbai alirushiwa kama risasi ? Si walikubaliana?

  • @nillap767
    @nillap767 5 วันที่ผ่านมา

    🇰🇪 poverty is like punishment for a crime you did not commit 😢

  • @Leylah-pz5sc
    @Leylah-pz5sc 4 วันที่ผ่านมา +1

    Familia haijakupush ufanye zinaa ni umalaya wako tu

    • @marymanoni5536
      @marymanoni5536 4 วันที่ผ่านมา +1

      Kweli umalaya wako tu na uyo kafiki yako awe makini utalala na bwana akeee

  • @irenembura8045
    @irenembura8045 5 วันที่ผ่านมา

    Ama kweli tamaa zinapeleka wasichana pabaya!!! Na unatamka Mungu akupe nguvu wakati wewe ni Msaliti???

  • @marryngaiza2061
    @marryngaiza2061 3 วันที่ผ่านมา

    DADA POLE KWA KUTOTIMIZA MALENGO YAKO, SHETANI ALIINGILIA KATI(YULE BABA) . MTEGEMEE MUNGU MLEE MTT. MFAHAMISHE MJE WAKE YOTE YALIYOTOKEA ILI AJUE KUWA CHANZO NI MUME WAKE. MUNGU AWE NAWE. POLE

  • @hadijahadija4699
    @hadijahadija4699 4 วันที่ผ่านมา

    Yani.mungu.atakulani

  • @mukeshimanataussi6939
    @mukeshimanataussi6939 5 วันที่ผ่านมา

    Wewe binding Sasa unakuja kutenganisha ndowa kweli? Hatakuowa hata ufanye je?

  • @AnnaMariaKiimbila
    @AnnaMariaKiimbila 5 วันที่ผ่านมา

    Aaaa

  • @jerusabasweti7212
    @jerusabasweti7212 5 วันที่ผ่านมา

    Lakini si yu were being pd