BIFU ZITO LIMEIBUKA KWA EX MKE WA DR MWAKA (QUEEN MASANJA) NA BATULI/NI MAZITO CHANZO CHA UGOMVI WAO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ต.ค. 2023
  • เกม

ความคิดเห็น • 16

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 8 หลายเดือนก่อน +5

    Batuli mnafiki sana. Mungu atakuhukumu tu kwa roho yako mbaya. Kila mwanamke mrembo yeye atamtoa kasoro. Batuli roho mbaya itakupeleka pabaya wewe. Queen umefanya vizuri kumfunga huyu kigagula mdomo. Roho mbaya hailipi.

  • @user-tt6jt8pz5m
    @user-tt6jt8pz5m 8 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa huyo batul atampata wapi queen. Queen chombo👌💞💯 Batul akiongea atetemeka mdomo😂😂😂😂😂queen swafiiii❤❤

  • @AnnSanga-eo6ii
    @AnnSanga-eo6ii 25 วันที่ผ่านมา

    Tuliopitia ukewenza tugonge like hapa

  • @user-le1mo8ru7u
    @user-le1mo8ru7u 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mrs mwaka punguza uzito utapendeza zaidi

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 8 หลายเดือนก่อน +1

    Batuli Ana Mdomo huyu. Dada poooooo😢

  • @habibakhalfan1065
    @habibakhalfan1065 8 หลายเดือนก่อน

    Jamani_huu_ukimwi_hauta_waacha_watu_salama_kwa_wanavyo_shea_mabwana_hatari_kubwa

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 8 หลายเดือนก่อน +4

    Yaani unatoka ktk ndoa unaingia ktk uzinifu mthan sna

    • @joycenicodemus.2232
      @joycenicodemus.2232 8 หลายเดือนก่อน +1

      Bora yeye ana akili kwanini ateseke naujinga Bora hivyo àlitoka kwamwanaume.

    • @zuheorsalim7759
      @zuheorsalim7759 8 หลายเดือนก่อน

      @@joycenicodemus.2232 ameacha ufalme ameenda kua mtumwa

    • @salimalaquimane3077
      @salimalaquimane3077 8 หลายเดือนก่อน +3

      Acha unafk una jua alikua ana pitia mangap

    • @rehemafungo7387
      @rehemafungo7387 8 หลายเดือนก่อน +1

      Kwa taarifa,wengi tumetoka😭

    • @zuheorsalim7759
      @zuheorsalim7759 8 หลายเดือนก่อน

      @@rehemafungo7387 mukaingia ktk udanguro ?😑

  • @ashnaom2270
    @ashnaom2270 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mnatangaza biashara , kuna mwanaume akipenda ata akugonge atarud Kwa aliempenda ukiona hivo jua hakukupenda alikua anafata kiburudisho

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 8 หลายเดือนก่อน +3

    Batuli pia nimrembo