"Dr Mwaka Alinifanyisha Kazi Bila Malipo | Aliniambia Nimuachie Kila Kitu"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2023
  • Queen Mke wa Dr Mwaka akifunguka kuhusu sababu ya kuomba talaka kwenye Jahazi ya Clouds FM

ความคิดเห็น • 326

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS ปีที่แล้ว +27

    Mke mwema kakosa mume mwema. dada anza upya na Mungu atakulipa kwa mema yote uliyo mtendea.Pia una busara sana.

    • @mwanatz5980
      @mwanatz5980 ปีที่แล้ว +2

      Kwenye miti hakuna wajenzi

  • @faisalyasin5721
    @faisalyasin5721 ปีที่แล้ว +3

    You got alot of wisdom with you ! And very articulated in your case your Haq will prevailed,be strong and keep on trust in Allah swt. There is always a challenge in life . Kudos Iron lady !!!

  • @getrudejohnson
    @getrudejohnson ปีที่แล้ว +9

    Pole sana dada ila tambua kabisa hakuna aliemsaliti Yesu akabaki salama
    Tubu dhambi hio kisha jikabidhi mbele za Mungu mazito atayarahisisha.
    Mwanaume amekuacha ila Yesu hatakuacha atakufanyia wepesi kwa unayoyapitia Yesu atakufuta machozi.

  • @julianaswai7846
    @julianaswai7846 ปีที่แล้ว +20

    Jaman huyu Dada n mzuri sana. Ndio maan doct Mwak hataki kumpa talaka.. pole Dada kwa misukosuk unayopitia.

    • @ngwacahnyagwaswa9979
      @ngwacahnyagwaswa9979 ปีที่แล้ว

      Kabisa roho Ina muuma

    • @swalehemrombo9301
      @swalehemrombo9301 ปีที่แล้ว +1

      Kuna kizuri zaidi ya pesa ktk Dunia ya sasaa.!? Mgongano hapo uko kwenye maslahi tuu ya Mali lkn si uzuri wa huyo dada no.!!

  • @ashooraashoora1180
    @ashooraashoora1180 ปีที่แล้ว +14

    Chozi la mnyonge hulipwa na mwenyez Mungu mkabidhi nyumba yake mungu atakufunguria rizki nyingine kuliko kupitia manyanyaso makubwaa utajapata maradhi ya moyo bure

  • @zaynamushi7565
    @zaynamushi7565 ปีที่แล้ว +16

    Huyu dada ndoa anaiweza SaaAAAN Allah ambariki apate mume kwenye kheri kwke😔🙏

    • @amosibilingi4299
      @amosibilingi4299 ปีที่แล้ว +1

      Hata atakaempata bado atadai talaka tuu

    • @karaoglan9444
      @karaoglan9444 ปีที่แล้ว +1

      Unamtetea mwanamke mwenzako? Unadhani huyu na zile faking love moments wanafanana??

    • @dativadaud4300
      @dativadaud4300 ปีที่แล้ว

      Uyu ni mke sahihi

  • @misschagga8042
    @misschagga8042 ปีที่แล้ว +37

    Dada umeniliza wewe mimi Mungu akujaalie riziki na ulee watoto wako.

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 ปีที่แล้ว +2

      Wanawake wapumbavu ndio wataona Queen kakosea lkn Ana haki ht mie machoz yamenitoka 😥

    • @Rogathe-Rogathe
      @Rogathe-Rogathe ปีที่แล้ว

      Jamani mie pia nimelia mpk bac....km vile dadangu anapitia hayo magumu

    • @karaoglan9444
      @karaoglan9444 ปีที่แล้ว

      Wanawake ni mtihani sana...

  • @daudifungo5521
    @daudifungo5521 ปีที่แล้ว +3

    Pole Sana Hizi Ndoa za Kupostiana Mitandaoni Zina Changamoto Mno
    Tataizo Husda Watu Sio Wazuri Kabisa Hapo Wanafurahi.
    LEA WATOTO WAKO KM UNAHITAJI STARA MI NIPO.

  • @zeddybass6672
    @zeddybass6672 ปีที่แล้ว +4

    USILIE MAMA KWANZA NI MZURI HARAFU UNAJITAMBUA .HARAFU NI MWANAMKE NA NUSU .KWA DUNIA HII YA LEO SIO RAHISI MWANAMKE KULEA WATOTO WA WAKE WENZA .NAKUPENDA BUREE♥️♥️

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 ปีที่แล้ว +15

    Very sad this woman she’s too cute

  • @mimifineliving2022
    @mimifineliving2022 ปีที่แล้ว +17

    Utadhani dada yake zari, mzuri huyu dada. Yani hapo bila makeup

    • @rosemasune8404
      @rosemasune8404 ปีที่แล้ว +1

      huyu ni mzuri sio mrembo, warembo akiamka asubuhi ukikutana nae utakimbia

    • @ahz6907
      @ahz6907 ปีที่แล้ว

      Ishi nae ndio utajua uzuri na ubaya wake.

  • @jasiminjasimin7694
    @jasiminjasimin7694 ปีที่แล้ว +6

    Pole Sanaa mungu akusimamie hata sisi tupo tunapambana na watoto wetu tushaterekezewa natujawai kupatwa hata huduma tunakomaa wenyewee mpaka watoto wanafikia umri wa miaka 17natunasonga mungu anasaidia

  • @blandinamyinga9489
    @blandinamyinga9489 ปีที่แล้ว +3

    yr the best mama n GOD is going to take you through.

  • @farouqnnanguje277
    @farouqnnanguje277 ปีที่แล้ว +1

    Pole saga dada ,
    Be strong 💪🏿 it happen in life , usihuzunike …. U have to thanks for allah …. Tupo pamoja na wewe sister, everything it will be fine dada …. Don’t worry…. Tutaku saport inshalah 🙏🙏🙏🙏

  • @mwaibolaiman2763
    @mwaibolaiman2763 ปีที่แล้ว +7

    clouds mbona hii story haijulikani imeanzia wap imeishia wap vipande vingi vingi havieleweki kama hii muendelezo wake mpaka ukabaatishe huko, viwekeni kwa mtiririko ili watu wanao weza kumsaidia waelewe stori yake,

  • @amoslucas1247
    @amoslucas1247 ปีที่แล้ว +13

    Ndoa ya mke Zaid ya mmoja n changamoto sana🙆🏾‍♂️

    • @karaoglan9444
      @karaoglan9444 ปีที่แล้ว

      Ila uzinzi hauna changamoto??

    • @TahilaRamadhan-hz3pd
      @TahilaRamadhan-hz3pd 9 หลายเดือนก่อน

      It depends on kind of husband that u have

    • @amoslucas1247
      @amoslucas1247 9 หลายเดือนก่อน

      @@TahilaRamadhan-hz3pd maybe

  • @abdourazakndeze4157
    @abdourazakndeze4157 ปีที่แล้ว +15

    Hio ndio tabia ya waganga ni watu wenye roho mbaya yule sio Dr bali ni mganga wa kienyeji kazi yake ni kuganga na kupiga ramuri na kuwadanganya wanawake sijuwi kwa nini watu huwa wanamuita dr Mwaka.. sio dokter bali ni mpiga ramuri. Dada nakuomba usitoke kwenye nyumba yako...

    • @rehemamkalawa3801
      @rehemamkalawa3801 ปีที่แล้ว

      😂😂🤸 ila watu nyie

    • @mahmoudukusso4488
      @mahmoudukusso4488 ปีที่แล้ว

      Ramuri ndiyo nini?

    • @abdulazizkilume8641
      @abdulazizkilume8641 ปีที่แล้ว +1

      We mwanaume wa aina gan unaanza kutoa shombo ambazo hazina Tija kw hyo anachokiongea huyo dada waona Yuko sahh sna acha izo zarau

    • @abdulazizkilume8641
      @abdulazizkilume8641 ปีที่แล้ว

      Kila siku mwanamke anajianika mtandaon anaongea vitu ambavyo havielewek huko ni kujidhalilisha mwanamke anashindwa kuita pande zote mbil wakae wamalizane wao kujianika mtandaon au kuwa na waandishi wa habar hiyo sio njia ya kusolve tatzo bali n kutafta umaaruf usio kua na maadili ya ndoa

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 ปีที่แล้ว +4

    Njoo mwaya uwe wifi yangu Yan we Ni mzur jmn asiye kupenca achana naye njoo huku Kaka yangu yupo😍

  • @hokororoflora5639
    @hokororoflora5639 ปีที่แล้ว +3

    Nakutakia ushindi my dear! Maneno yako ya busara mungu atakuondosha kwenye ndoa hiyo ya mateso

  • @bahatirobert1009
    @bahatirobert1009 ปีที่แล้ว +13

    Dada nakuelewa sana MUNGU akutie nguvu Kwa hili na akupe nguvu ulee watoto wako

  • @GadssonLutaha
    @GadssonLutaha วันที่ผ่านมา

    Na uwanaume wangu chozi limenitoka mungu yupo anakuona na anasikia, Amini atakusaidia

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 ปีที่แล้ว +3

    Wanawake bana, mwanamke akifanya manyago yake atajilizaliza ili aaminiwe ila ukweli n kwmb wanawake n waongo na n matapeli tu hamna ukweli wowote hapa..

  • @mwanamnyika4085
    @mwanamnyika4085 ปีที่แล้ว +20

    Hakuna mwaka ana tembelea nyota ya uyo dada ndio Mana ataki kumuacha tumien hakiri viumbe vya mungu ,akuna jambo likakosa nyisho wake na Hilo litapita tu

    • @maryvelasquez3601
      @maryvelasquez3601 ปีที่แล้ว +1

      Well said,Queen ananyota kali sana

    • @abdull_hafidh
      @abdull_hafidh ปีที่แล้ว

      Uyu dada anangara

    • @glorymsopa4221
      @glorymsopa4221 ปีที่แล้ว +1

      Nikweli kbs jmn daa kuna watu mnaona mbali sana

    • @hani2095
      @hani2095 ปีที่แล้ว

      Mrembo sana lazima atapitia matatizo hawezi kumwacha na atamtia kichaa

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 ปีที่แล้ว +6

    Pole sana Queen Sina neno ila neno Langu ni Moja mpe mahari zake bac akiitaji Mali pia mpe ni vya Dunia na vinatafutwa na mungu atakubariki

    • @vintagemusicgroup9236
      @vintagemusicgroup9236 ปีที่แล้ว +1

      Hivi wanawake si muwe na nyie mnajenga nyumba za kwenu zenye majina yenu? Why utake vya mwenzio tu?

    • @khadidjasuleiman8006
      @khadidjasuleiman8006 ปีที่แล้ว

      @@vintagemusicgroup9236 Hmh Mke pia anahaki mmali ya mume si mbaya

    • @vintagemusicgroup9236
      @vintagemusicgroup9236 ปีที่แล้ว +1

      @@khadidjasuleiman8006 Na mume nae ana haki kwa mali ya nani?

  • @khadijajuma7873
    @khadijajuma7873 ปีที่แล้ว +3

    Mama uso wako una Nuru. Mashallah Mungu muombe tu yatafunguka yote hayo hatakuacha mkono.

  • @innocentchikoya5060
    @innocentchikoya5060 ปีที่แล้ว +5

    Sisi wanaume tuwe na upendo na mwanamke anaekujali huyo Dr Mwaka Mungu anamuona kabisa asimnyanyase Huyo Queen Mwanamke anataka kupambwa ili isianguke waziri wa haki za wanawake naomba hii iichukuliwe hatua

  • @bintally4891
    @bintally4891 ปีที่แล้ว

    Pole Sana dada Queen. Naamini M/mungu atakulinda. Ndoa hakuna hapo.viongozi wa dini wakishindwa kuamua wanawake tutakutetea. Acha kulia kwasababu ya mtu asiyejua thamani yako.

  • @hopesesilius6104
    @hopesesilius6104 ปีที่แล้ว +6

    Mungu atakusimamia.zidi kumuomba Mungu

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS ปีที่แล้ว +6

    NENO MNATAFUTA MNACHUMA ILA WANATUMIA WENZIO LIMENITOA MACHOZI
    😭😭😭😭

  • @asharamadhan1090
    @asharamadhan1090 ปีที่แล้ว +1

    Duuuuh!pole sanaaa tuko wanawake wengi tunaolea watoto peke yetu kwa mateso magumu,fikiria ulee watoto peke yako na yeye akusumbue mtihani sana ila usife moyo usilie futa machozi yupo Mungu atakusaidia sababu Mungu ndio kila kitu

  • @zainawakahiu6967
    @zainawakahiu6967 ปีที่แล้ว +1

    Asalam alleikum warah matulahi wabarakatu...dadangu kwanza Masha Allah Kwa kumjua Allah.... Allah azidi kukuongoza Ameen...pili karibu Kwa club ya single mother's...watoto watakua Kwa nguvu za Allah ...

  • @carolinafesto4858
    @carolinafesto4858 ปีที่แล้ว +20

    😢😢😢 very sad kabisa how can i help her please please dada rudi kanisani utapata more amani more

    • @rashidbuzubona6577
      @rashidbuzubona6577 ปีที่แล้ว

      Acha ushauri wa kijinga ww

    • @malkiachristopher8732
      @malkiachristopher8732 ปีที่แล้ว +1

      Sasa ndugu yangu kwan kuna mahali kasema anaikosa aman kwenye uislaam, dini na mahusiano ya ndoa havihusiani so imani yake ndo imempa nguvu ya kufika hapa alipo leo

    • @mao9622
      @mao9622 ปีที่แล้ว

      Ndoa za kikristo ndio zina stress hatari.Hebu acha kuchanganya mambo

    • @rithadonatus8110
      @rithadonatus8110 ปีที่แล้ว

      ​@@mao9622 pole sana

    • @marysdiosa8764
      @marysdiosa8764 ปีที่แล้ว

      @@malkiachristopher8732 waislam ni wabinafsi na roho mbaya sana ,aisee nlisemaga hata rafik wa kiislam stak kumsikia, na washirikina hatar

  • @zainabually2968
    @zainabually2968 ปีที่แล้ว +9

    Mwaka bado anampenda Queen ndo maana anafanya yote hayo

  • @fayeezabdallah2217
    @fayeezabdallah2217 ปีที่แล้ว

    Jap haipend lkn kawek kaniamba MashaAllah Allah akulnd sistr

  • @consolatabenedict6580
    @consolatabenedict6580 ปีที่แล้ว +4

    Nyie hyu dada ni mzuriiiiii

  • @alijuma7882
    @alijuma7882 ปีที่แล้ว +1

    Dada ukimaliza na na Dr Mwaka karibu kwangu utapata utulivu sina bugudha wala kero

  • @faridasuleiman2437
    @faridasuleiman2437 ปีที่แล้ว

    Pole Sana aisee apo shida Mali tu anais Kam anaibiw achana nae Allah atakupa aliyesahihi na Bora kwako pambana n wanao mama bado u mzuri uso una Nuru mashallah Allah akujaalie wew na wanao na wakulinde zaid

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 ปีที่แล้ว +5

    nyumba kama amekupa n haki yako n akikupokonya itakuwa amekudhulumu na nimakosa hata kidini yeye kikubwa kadhi akuachishe aibu hii kaitaka mwenyewe mungekuwa mumemalizana chumbani ulimwengu usingejuwa sasa Dr.mwaka anaona haya

    • @husna34562
      @husna34562 ปีที่แล้ว +1

      Anamkomoa huyu dada sio vzr mungu hapendi amuache tu kwa talaqa ndoa sio manyanyaso

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 ปีที่แล้ว +1

    Mbona mnajidhalilisha saana mitandaoni dada zetu wa kiislam aibu wallahi

  • @fadhiangumbi8039
    @fadhiangumbi8039 ปีที่แล้ว +3

    Dada jasiri Sana but mungu akupe nguvu ya kuyashinda haya

  • @hasinahasina8190
    @hasinahasina8190 ปีที่แล้ว +3

    Nakuoneya huruma pole. Yataisha mwenyezi Muungu Yuko pamoja na wewe au pamoja nasisi wanawake wenziko

  • @shamsakiobia6421
    @shamsakiobia6421 ปีที่แล้ว +12

    Pole dada kwa mitihani uliyopitia, Allah atakulipa

  • @waminzashunu831
    @waminzashunu831 ปีที่แล้ว +1

    Pole dada, kwani yuhu Dr mwaka ni kabila Gani natamani nijue ustarabu Hana zero kabisaaa

  • @elizabethcharles6527
    @elizabethcharles6527 ปีที่แล้ว +11

    😭😭😭😭 mama we mzur sana usilie unaniliza mimi

  • @salumally663
    @salumally663 ปีที่แล้ว

    Pole sana dada kwa mateso..haya sio mafundisho ya Uislamu vitisho havina nafasi...Ila Allah anayaona magomvi yenu na ndio atakaewahukumu.

  • @jennifermmanyema6693
    @jennifermmanyema6693 ปีที่แล้ว +1

    Duuuh pole Sana dada huyu Dr ni kabila gan???? Jaman kwann asimuachie hiyo nyumba akalea watoto wake??? Jmn

  • @gracealbin1555
    @gracealbin1555 ปีที่แล้ว +7

    Jipe moyo litapita Dada.

  • @rahmasuleiman9334
    @rahmasuleiman9334 ปีที่แล้ว +3

    Hakuna kurudisha nyumba kuna jasho lako humo na alikupa kisheria mbele kwa mbele ushindi ni wako imekula kwake yaani nimekuelewa vizuri sana na nimegundua una akili sana na unamaono makali keep it up very good na ikawe fundisho kwa vidume wengine

  • @anyesmanga462
    @anyesmanga462 ปีที่แล้ว +7

    Dad umejua kutuliza daaaa wanaume🙌🙌

    • @swalehemrombo9301
      @swalehemrombo9301 ปีที่แล้ว +1

      Kwahiyo wewe ukisikia ya upande mmoja tu basi unaliaa.!! 😂😂😅

    • @stevenbushiri2291
      @stevenbushiri2291 ปีที่แล้ว +1

      Wanawake Huwa hawawakosei wanaume

    • @swalehemrombo9301
      @swalehemrombo9301 ปีที่แล้ว

      @@stevenbushiri2291 ...mmmmh hujakutana na Mikasa wewee broo.!! inafikiaga mpk wale wenye roho ndogo wanauwa mtu anaona potelea mbali liwalo na liwe kutokana na adha ya Hawa viumbe wanawake achaa kabisa broo.!!

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 ปีที่แล้ว +6

    Yani Yule mwaka ni mshamba sanaa

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 ปีที่แล้ว +2

    Jamani mwenyenyumba haina mtu ampe huyu dada akae , arudishe kibanda cha watu cha masumbulizi ,kikubwa awe na talaka yake

  • @elinapouljensen9244
    @elinapouljensen9244 ปีที่แล้ว

    Usimpe Usiogope wala usilie, ushaamua kuachana nae aachane pia nawewe sio lazima Kwani angetaka yeye kukuacha ungemlazimisha ivi angekubali ..aende zake uko unavyomuogopa ndio anapata kichwa kuwa mgumu Akitaka mpigane pigana usimuogope yeye sio mungu, haliwi jambo bila idhini ya mungu unaogopa bure na kujistress bure.. Hali iyo umemzalia Vipi ungekua hujamzalia, au alivyokua anawapanga watatu watatu alikua anaona nanyie mnaenjoy ayo maisha kama yeye, kumbe mmekaza tu mioyo zamu yake imefika inamuuma nini sasa, liwalo na liwe Usiogope akiachwa aachike

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 ปีที่แล้ว +1

    Waombe radhi wazazi wako kwanza watanzania wanakuangalia wala hawaumii ila wazazi ndio wenye mtihani. Huko South ulikuwa umekwendaje alikupeleka yeye mumeo au uliondoka mwenyewe? Umeanza malumbano sasa unayandeleza mwenyewe fikiria athari zake.

  • @twahashearer8302
    @twahashearer8302 ปีที่แล้ว +1

    Nimekuelewa Doctor Mwaka

  • @tzasafaritv9937
    @tzasafaritv9937 ปีที่แล้ว

    Allah akupe subra na atahukumu mchana kweupe ili iwe mazingatio kwa jamii.

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 ปีที่แล้ว

    Mungu akutiengu Dada inasikitisha kwakweli doctor Mwaka anajifanya mtu mzuri mbona anamuhangaisha hivi mwenziwe kwani ndoa vita mapenzi yashaisha kwanini analazimisha.

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 ปีที่แล้ว +4

    Baba anarohoo ngumu hyo jmn .Eee Mungu wasikie wakina mama

  • @claudia1500
    @claudia1500 ปีที่แล้ว +1

    Mume kutoka Kigoma...no hapana...ungesoma alama za nyakati my dear,kwanza nakupa hata hongera kumchomoka! Inua moyo utafika mbali

    • @herikaniugu
      @herikaniugu ปีที่แล้ว

      Nyie ndio mnaempoteza, atateseka sana

  • @johngerald4677
    @johngerald4677 ปีที่แล้ว +2

    Nahic uyo dada ana yake nyuma ya pazia

  • @binurusm8886
    @binurusm8886 ปีที่แล้ว

    Mimi naona hata kama Watakufuata Waandishi wa Habari Ni Kunyamaza tu, Kwani Mwenyezi Mungu Mwenyewe anajua yaliyokupata Na atakusaidia Kwa njia zake, Kuliko kila Lililokutokea kuliweka mitandaoni. Lia na Mwenyezi Mungu, Usilie katika mitandao.

  • @ibrahimabdul6586
    @ibrahimabdul6586 ปีที่แล้ว +1

    Am trying to understand her but kisheria ya kislamu ukidai talaka lazima urudishe Mali ya mumeo alizokupa.

  • @mbarakaubuguyu7448
    @mbarakaubuguyu7448 ปีที่แล้ว +1

    Wadada mjifunze mapenzi Sio Hela Hela chimbuko lake ni shetani ndani Kuna mauza uza

  • @jamilaalli
    @jamilaalli 11 หลายเดือนก่อน

    Pole mama kwayote unayo yapitiya Allah akulipa kwamem abaya tumeumbiwa wanadam piy hats mazur vilevil kikubwa wewe no mwamke jasir

  • @danielsighis9953
    @danielsighis9953 ปีที่แล้ว +6

    Kweli dada alijitahidi na amefanya kila kitu....

  • @elizabethcharles6527
    @elizabethcharles6527 ปีที่แล้ว +1

    Jaman Mamy usilie we nimzur San Wala asikubabaishe

  • @makanjetemsizwa121
    @makanjetemsizwa121 ปีที่แล้ว +2

    Kiukweli huyu mama ni mrembo sana na mjomba nani ataki kutoa kalaka wivu unamtesa😂

  • @hasinahasina8190
    @hasinahasina8190 ปีที่แล้ว +1

    Umeniliza Sana pole yatakaa Sawa pole

  • @dannysix4475
    @dannysix4475 ปีที่แล้ว

    Dr huyu ni mkeo tu. Nikufumba macho na kujishusha hakuna aliye mkamilifu kwa hili. Na hii kuangalia bona kuna masingo mother wengi tu sio kauli zakuendekeza.

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 ปีที่แล้ว +1

    Hata huyo dada Mwaka alimloga ndio akamwoa!

  • @ceciliamtei1108
    @ceciliamtei1108 ปีที่แล้ว

    Kina Mama tunaunaumizwa sana, nakuombea Mwanamke mwenzangu Mungu akutie nguvu hasa unapopitia machungu ya ndoa ya mtu asiyeona thamani yako.Pole sana

    • @stevenbushiri2291
      @stevenbushiri2291 ปีที่แล้ว

      Ila nyie hamuumizi

    • @manish-fp1fb
      @manish-fp1fb ปีที่แล้ว +1

      Unafikir kila kitu ni nyinyi tu ndio mnaonewa.... aachie nyumba tu apewe talaka.

  • @serengetishipping2196
    @serengetishipping2196 ปีที่แล้ว +1

    Mama acha kucheza na hisia za watazamaji acheni uongo na unafiki

  • @salimsaleh4773
    @salimsaleh4773 ปีที่แล้ว +1

    Pole Dada, lakini wajua kwamba wewe pia ulimwacha bwana yako na ukamfuata dr Mwaka..kwa hivo malipo ni hapa hapa duniani tu maana yule bwana uliomuacha pia alihisi vipaya na wewe ukaona pesa ndio muimu. Kwa hivyo dada usilie saana.

  • @salumabdallahkaziiendelee9654
    @salumabdallahkaziiendelee9654 ปีที่แล้ว +4

    Sasa nmefaham kumbe tatzo ubinafsi na tamaa ya mali

  • @daudimwidimakihanda5386
    @daudimwidimakihanda5386 ปีที่แล้ว

    Jamani jamani hakikisheni mnalitumia Jiti vizuri, jiti ni sehemu ya amani ndani ya ndoa kama jiti hukulipiga vizuri na hukujua hisia za mwenzako zinataka nini matokeo yake ndio hayo.

  • @karaoglan9444
    @karaoglan9444 ปีที่แล้ว

    Ukiskia mwanamke anasema "ninapambana kulisha wanangu...." Ogopa sana..anaweza kufanya yasiyoandikika!...Hawa wanawake wa Kiswahili tatizo sana Hawa!

  • @janethjonas1700
    @janethjonas1700 ปีที่แล้ว +1

    Naumia mimi jamani kwanini lakini mtu ateseke hivi????? Uwiiiii?????

  • @simaraphaellucas8469
    @simaraphaellucas8469 ปีที่แล้ว +2

    Naomba namba ya kwini nimuoe nimpumzishe nahizo kadhia nimpe penzi Amusahau mwaka nipo mz

    • @neemanziku5403
      @neemanziku5403 ปีที่แล้ว

      Kaka hata Mimi namtaka awe wifi yangu

  • @serengetishipping2196
    @serengetishipping2196 ปีที่แล้ว

    Huyu dada muongo sana , huwezi kukaa ukaongea mambo yako na mumeo katika mitandao …. Kumbuka ulipotoka …. Kuwa na shukran

    • @sheckycobb5240
      @sheckycobb5240 ปีที่แล้ว

      Uongo ni upi hapo, haya tuambie wewe ukweli maana unaishi nao

  • @johanjoha5262
    @johanjoha5262 ปีที่แล้ว +1

    Mwanamuke mzuri Masha Allah

  • @merycianachangarawe8979
    @merycianachangarawe8979 ปีที่แล้ว

    Mungu uliyehai ,ukatende haki

  • @oyay2821
    @oyay2821 ปีที่แล้ว +1

    Machozi ya uongo hayo. Ukitaka talaka wewe nenda kajivue ndoa, kitu anacho taka ni mali sio talaka. Hii sio mara ya kwanza alimfanyia hivyo hivyo mume wa kwanza akamla mali kibao

  • @salumabdallahkaziiendelee9654
    @salumabdallahkaziiendelee9654 ปีที่แล้ว +2

    Sasa huko mtandaoni unatafuta nini tena au ndo kuendeleleza aibu umesababisha taharuki kubwa katika jamii Ina tosha tulia fuatilia jambo lako ktk vyombo husika mitandao Haina msaada na wewe

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Mwaka ni freemason

  • @marceljohnkimaty4986
    @marceljohnkimaty4986 ปีที่แล้ว

    Jamani SERIKALI YETU iko wapi? Mtu anadhulumiwa haki zake mchana kweupe kila mtu akiona na serikali inatazama tu? Jamani hata mtu wa kukemea tu hayupo? Tumwogopeni Mungu.

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 ปีที่แล้ว +1

    Dada usikubali tena mahojiano usitangaze tena

  • @sophiamvungi1425
    @sophiamvungi1425 ปีที่แล้ว

    Jaman pole3 dada hao wake wenzio uliowalelea watoto wao wako wapi

  • @HanifaBruno-lv1qf
    @HanifaBruno-lv1qf หลายเดือนก่อน

    Dada Mauri jamani afu anabusara sana

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 ปีที่แล้ว

    Dokta mwaka huyu mwanamke muache akiwa salama .usipende huyu mwanamke awe anadondosha machozi kiukweli sio vizuri kabisa naitakugalimu

  • @yeunhiasrwetze8377
    @yeunhiasrwetze8377 ปีที่แล้ว +1

    Imeandikwa mwanamke n kiumbe dhaifu Kwan ulikuwa unamfanyia kaz yeye au ulikuwa unafanya kaz kwa ajili ya family yako au haujazaa nae? Au ulikuwa house girl?

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh ปีที่แล้ว +19

    Dada nyota yako kubwa sana wewe muachie tu kila kitu miez kadhaa kwa uwezo wa Allah s.w umeshapata vyote hivo

  • @constanciapeter2497
    @constanciapeter2497 ปีที่แล้ว

    Sakata la huyu mama tunaomba lishiishie njiani..Gadna na mwenzio..libebeni to the END POINT...Yaani Lina mafundisho mengi sana katika Dini, na ndoa kwa ujumla

  • @kassimualli1755
    @kassimualli1755 ปีที่แล้ว +1

    Jamani pamoja na yote wanawake Wana vitimbi na mitihani,natumaini Kwa aliyepo ktk ndoa anajua vitimbi vya wanawake,tunaweza kusema kaonewa kumbe hatujui Siri ya ndoa yao

    • @w4058
      @w4058 ปีที่แล้ว

      Vikubwa tena

    • @w4058
      @w4058 ปีที่แล้ว

      Jee mshasilikiza na ya Dr Mwaka au mko satisfied na story ya one side of the coin

  • @raishahatibu7095
    @raishahatibu7095 ปีที่แล้ว

    Mungu atasimama nawe,muachie kila kitu hana aliyekuja na mali duniani

  • @Frolianagabito3000
    @Frolianagabito3000 10 หลายเดือนก่อน

    Kama uwajui wanawake unaweza kidhani uyu dada kaonewa ila kwa sisi tunao wajua hawa viumbe tulishajua tatizo mpm

  • @danielijackson8700
    @danielijackson8700 ปีที่แล้ว

    Unachoreka mama mlitaftana wawili leo kuachana mitandao inahusika dah mshauri wako hafai mashehe nap wameingilia Kati dah🚶🚶🚶🚶

  • @omaryomaryally7420
    @omaryomaryally7420 ปีที่แล้ว

    Usilie siosababu ya kudai tala nikuwekana sawa2 una hoja ya kudai talaka wew mama muogope mungu

  • @fatumamsellem7622
    @fatumamsellem7622 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @rosemaryngowo2327
    @rosemaryngowo2327 ปีที่แล้ว +17

    Kazuri na kana akili

  • @furahakilanda7578
    @furahakilanda7578 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭 hutasahau

  • @rashidalmas3792
    @rashidalmas3792 ปีที่แล้ว

    Umemponza Alie kua sheikh wetu wa mkoa Alhad mussa salim