Mungu aliyejuu,naifahamu kiasi familiya ya Mwambukusi ni wapiga injili watu wa maombi,Tuzidi kuliombea taifa letu kila aliyepewa mamlaka asimamie haki.Mungu usiliache taifa lako la Tanzania likaangamia.
Watanzania bara ktk ofisi za serekali kutelewa na huyu mama shida huyu mama ni dictator chini ya jakaya kikwete kwanza hapendi watu kutoka bara ktk sehemu nyeti za serekali kwa nn huyu mama anakomoa watu toka bara ni kama analipiza kisasi ya Zanzibar ndio maana kaweka watu wanaoteka wa bara tuu na anajaribu kuchonganisha mazehebu ya dini nchini Jeshi letu wasipoangalia hili na kutumia akili za ziada ktk utawala wa huyu mama litakalipuka hii nchi hautatawalika tena kutakuwa na magrup mengi Kila mtuu atataka kuwa kiongozi halo hapo kutukuwa na uduni ubara na upwani tunatoa taazri kwa jeshi letu jinsi huyu mama anakoipeleka nchi yetu hatari tupu jeshi amkeni rudisheni nchi ktk mikono salama kutii sheria za mtu hatari ktk katiba ni sawa na kutii ushikilie bom mkononi likiwa limetegwa usitingishike mtoa amri liachie anasafiri kwenda pasipojulikana ni hatari kubwa ktk taifa letu tusililiona mbele ya safari ktk utawala wa ccm elimu ya maono ktk taifa letu ubara na visasi mwalimu katangeneza mtu wa bara Benjamin mkapa kikwete ally Hasan mwinyi kaharibu makufuli kangeneza manage kaja Katia hara kubwa na matatizo makubwa nchini na kuuza bandari lenyewe na kuanza kuwapa watu wa bara mipaka ktk sehemu nyeti lakini kuwapa watu wao vilele Haitakuwa rahisi kuwabagua watu wa pwani na wa bara kwa sababu za kiuchumi ndani ya daresalama Tanga morogoro hayo mawazo kwa kikwete asahau fanyeni uchunguzi wenyewe kwa haya niloyasema Leo bila uwoga ktk utafiti viongozi wetu wote mkatalieni huyo mama na genge lake uchaguzi uwe huru ili turegebishe haya mambo vinginevyo mtayaona mbeleni
Kama ukinunua kitu zanzibar, ukijanacho bara unakilipia kodi,bas ni nchi2 tofauti, ok, nchi zaweza kuungana zikakubaliana mambo flani wasi shee, ok nafikiri ni muda muafaka watuletee mezani nyaraka za muungano tuzidadavue then tupige kura, kama kweli kuna nia njema
@@austorb.nyondo2708 Hakuna ustarabu ni kuwa ulikuwa upende unaelekea kwenu Kuna Viongozi wa juu walisema Zanzibar hawakubali wajitenge Sasa imekuwa Tanganyika wanataka kujitenga kivyao
Wewe ni mchungaji wa utabiri tu huna siku ukatabiri mema ya nchi unazungumza haki gani wewe hapo ulipo una hubiri bila vitisho lakini unauwambia uma maneno ya kuwatisha kana kwamba kuna vita acha kuleta unabii wako unatuchosha babu
NI KUTABIRI TUUU KULIKO HATA UTAKATIFUUU...BADALA KUWAONYA HAO WANYANG'ANYI...ZAIDI KUMWAMBIA MWABUKUSI KUJIOMBEA...KEMEA KM UNAKEMIA SIO KUCHUKUA TUUU ATTENTION ZA WATU
Mwambukusi Bwana Yesu akukinge sana na mabalaa maana hii ni vita yako....
Mungu aliyejuu,naifahamu kiasi familiya ya Mwambukusi ni wapiga injili watu wa maombi,Tuzidi kuliombea taifa letu kila aliyepewa mamlaka asimamie haki.Mungu usiliache taifa lako la Tanzania likaangamia.
Mungu aliyemweka hiyo nafasi... Atamlinda
Bwana Yesu anamlinda, tunamuombea
Mungu alinde huyu mama afai kbs
May God stand by Mwabukusi.
Mungu atamlinda mwabukusi tunamwombea na watanzania kwa ujumla
Mwambukusi endelea nakazi uliyopewa Mungu.
Mungu aturahissi shie amchukue tu namba moja mapema
Ninacho shukulu anamjua mungu ,Cha msingi tumuombee
Damu ya Yesu imfunike
Mwakubusi Allah akulinde mno
Huyu mama hatumutaki na hatumuhitaji kabda hujamtabilia ,sababu anapiga sana bara halafu anatukandamiza
Safi sana, anatafsiri hiyo safi, na shauri hata Chadema awe wanafanya hivyo ili dunia yote, ielewe kinachoendelea Tz.
Wakati ni ukuta,Serikali ya Tanganyika haiepukiki Tena,Hilo ni neno la Mungu
Kama zanzibar ipo ni haki ya Tanganyika kuwepo. Hongera sana Mtumishi wa Mungu.
Watanzania bara ktk ofisi za serekali kutelewa na huyu mama shida huyu mama ni dictator chini ya jakaya kikwete kwanza hapendi watu kutoka bara ktk sehemu nyeti za serekali kwa nn huyu mama anakomoa watu toka bara ni kama analipiza kisasi ya Zanzibar ndio maana kaweka watu wanaoteka wa bara tuu na anajaribu kuchonganisha mazehebu ya dini nchini
Jeshi letu wasipoangalia hili na kutumia akili za ziada ktk utawala wa huyu mama litakalipuka hii nchi hautatawalika tena kutakuwa na magrup mengi Kila mtuu atataka kuwa kiongozi halo hapo kutukuwa na uduni ubara na upwani tunatoa taazri kwa jeshi letu jinsi huyu mama anakoipeleka nchi yetu hatari tupu jeshi amkeni rudisheni nchi ktk mikono salama kutii sheria za mtu hatari ktk katiba ni sawa na kutii ushikilie bom mkononi likiwa limetegwa usitingishike mtoa amri liachie anasafiri kwenda pasipojulikana ni hatari kubwa ktk taifa letu tusililiona mbele ya safari ktk utawala wa ccm elimu ya maono ktk taifa letu ubara na visasi mwalimu katangeneza mtu wa bara Benjamin mkapa kikwete ally Hasan mwinyi kaharibu makufuli kangeneza manage kaja Katia hara kubwa na matatizo makubwa nchini na kuuza bandari lenyewe na kuanza kuwapa watu wa bara mipaka ktk sehemu nyeti lakini kuwapa watu wao vilele
Haitakuwa rahisi kuwabagua watu wa pwani na wa bara kwa sababu za kiuchumi ndani ya daresalama Tanga morogoro hayo mawazo kwa kikwete asahau fanyeni uchunguzi wenyewe kwa haya niloyasema Leo bila uwoga ktk utafiti viongozi wetu wote mkatalieni huyo mama na genge lake uchaguzi uwe huru ili turegebishe haya mambo vinginevyo mtayaona mbeleni
Ni wazanzibari tu wanaofaidi huu muungano!
Mungu aisaidie TZ sana Kenya tu mwenye Tumbo la samaki hatujui tutatapikwa wapi.Neema itoshe
Kenya mbona mko vizuri tuu. msijali..we are praying for Kenya. when she is safe her neighbors are safe too
Mungu aliye hai asimame atetee taifa la Tanzania.
With you God all things are possible.
Tanganyika
Exactly
Rais wa Tanzania karibun Mwabukuci.Natabir.Mdawake u nakuja
ingawa ndo watakiwa kuiombea lakini unatakiwa uitumikie kisawasawa lasivo Mungu Anakuondoa kweny nafasi hiyo.
Ila tuko vizuri mbona Tanzania? Tumshukuru Mungu. Nchi zengine zinalia. Nenda West Africa utona
Acha kuwatishia
Nimeanza kukuelewa mno
Tunatakiwa kumwombea sisi sote,siyo yeye peke yake.
Mabadiliko Haya ni kwa ushauri wa mtu fulani
Kama umesema watawaacha
MUNGU simama nasi twakusihi❤❤😢😢
Anasikia maombi2 yetu na tunatanguliza shukrani Kwake
Kama ukinunua kitu zanzibar, ukijanacho bara unakilipia kodi,bas ni nchi2 tofauti, ok, nchi zaweza kuungana zikakubaliana mambo flani wasi shee, ok nafikiri ni muda muafaka watuletee mezani nyaraka za muungano tuzidadavue then tupige kura, kama kweli kuna nia njema
Wingi wa kura za bara zitashinda kwakuwa ni wengi
Hawa walikuwa hawajuwi kama ni Wa Tanganyika Tumpe mauwa yake Rais Samiha kuwafunguwa Wa Tanganyika
Usitudhalilishe.....watanganyika niwastaarabu sana sie
@@austorb.nyondo2708 Hakuna ustarabu ni kuwa ulikuwa upende unaelekea kwenu Kuna Viongozi wa juu walisema Zanzibar hawakubali wajitenge Sasa imekuwa Tanganyika wanataka kujitenga kivyao
Kumbe ndio maana tu anyanyaxwa
Wewe ni mchungaji wa utabiri tu huna siku ukatabiri mema ya nchi unazungumza haki gani wewe hapo ulipo una hubiri bila vitisho lakini unauwambia uma maneno ya kuwatisha kana kwamba kuna vita acha kuleta unabii wako unatuchosha babu
Mimi sijui tofauti yake na mganga wa kienyeji. Na sijui nini faida ya huo utabiri wake?
Huwa anasema na mazuri pia tatizo hufatilii na akisema kuhusu mabaya huwa anataka tuombe wote kwa pamoja
Mubukusi anafaa kuwa raisi
Tanganyika tunaitaka
Muombee mwabukusi na tundu lisu namboe uwa komboeeee nabiiiiii
NI KUTABIRI TUUU KULIKO HATA UTAKATIFUUU...BADALA KUWAONYA HAO WANYANG'ANYI...ZAIDI KUMWAMBIA MWABUKUSI KUJIOMBEA...KEMEA KM UNAKEMIA SIO KUCHUKUA TUUU ATTENTION ZA WATU
😏😏😏😏😏
Kama nakuelewa vile mtumishi!
Shida ya baadhi ya binadamu wa linchi hili, ni uchawi na kuteka,
Watekaji wote Mungu Baba Atashughulika nayo.