Kimeumana. Pameanza kuchangamka. Gwajima awapasua vibaya watumia yai, nywele, kucha za upako.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 459

  • @StephenKaaya-w6q
    @StephenKaaya-w6q 3 หลายเดือนก่อน +6

    Amen hiyo ni injili
    Inayotakiwa mkuu. Thankyou. Man of God

  • @daudiolesironga9732
    @daudiolesironga9732 3 หลายเดือนก่อน +8

    Nimependa sana hiyo Injili Ubarikiwe Sana Mtumishi wa Mungu love you for you preching

  • @DoriceMwalukasa
    @DoriceMwalukasa 3 หลายเดือนก่อน +6

    Leo nimekuelewa sana be blessed hubirin kweli msichoke yesu anarudi MUNGU atawalipa.

  • @gloryleonard1563
    @gloryleonard1563 3 หลายเดือนก่อน +5

    Asante mtumishi wa Mungu wewe ni msema kweli hujawahi sema uongo.

  • @AlatulindaSanga
    @AlatulindaSanga 3 หลายเดือนก่อน +10

    Mtumishi hiyo Iman ni yenyewe nimeielew barikiwa sana

  • @mbokamtafya535
    @mbokamtafya535 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana mtumishi wa Mungu. Mungu akutunze Hadi mwisho, usije ukapotelea njiani. Amee

  • @alensilence8308
    @alensilence8308 3 หลายเดือนก่อน +3

    Amen! Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kwa kuusema ukweli. Vitu vyote vitapita ila neno la Mungu litadumu milele na milele. ❤🙏

  • @Gibonhmhungu
    @Gibonhmhungu 8 วันที่ผ่านมา

    Amen,,,barikiwa sana mtumish Kwa neno la kweli

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 3 หลายเดือนก่อน +6

    Safi mtumishi wa Mungu "we mwamposa una sikia na musa msikiemutu wa Mungu huyo hapo sasa

  • @katarinaJ
    @katarinaJ 3 หลายเดือนก่อน +37

    Huyu baba Gwajima AMEJAA MAANDIKO rohoni mwake hadi raha! Kila mkristo wa kweli anapaswa kuwa hivyo🎉🎉🎉

    • @EsterKiyabo
      @EsterKiyabo 3 หลายเดือนก่อน +5

      Mmh! Nae huyu huwa anabadirika badirika tu
      Unakumbuka alivyokuwa anahubiri kuwa anauqezo wa kufufua wafu?
      Hata aliwahi kuwaaminisha watu kuwa atamfufua Amina Chifupa na wengine?
      Kifupi tu ni kwamba watumishi wa Mungu kwa sasa hawapo!
      Waliopo ni washing ani tu,wanashindana kututeka sisi kuongeza umaarufu na kuongeza MA PA TO!
      Hapo hapendwi mtu

    • @bartinkahenga1196
      @bartinkahenga1196 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@EsterKiyabo Hajabadirika wewe ndio uelewi, Anafufua wafu ndio lkn kupitia Jina la Yesu kristo. Na hii ndio Injili ya kweli

    • @judicatefredymnyone5157
      @judicatefredymnyone5157 3 หลายเดือนก่อน

      Unajua agizo aliloagiza Yesu Kristo, hebu soma hapa MATHAYO 10:7-8 "Na katika kuenenda kwenu, hubirini, mkisema, Ufalme wa mbinguni umekaribia. Pozeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; mmepata bure, toeni bure." Watu wanang'ang'ana kupoza wagonjwa, kutoa pepo ila kufufua wafu ukisema unaambiwa mwongo, nabii wa uongo kumbe ni uhaba wa imani lakini agizo la Kristo ni kuhubiri watu injili wamwamini na huku kuwapa ishara ya kupoza wagonjwa, kutoa pepo na kufufua wafu, Shetani anajuu silaha kubwa itakayotetemesha ufalme wake ni pale wafu watakapo fufuka ila kutoa pepo na kuponya magonjwa anajitaidi kushinda, ndiyo maana silaha na adui wa mwisho Yesu kumshinda ni mauti, aise mauti na kuzimu ndiyo ngome shetani amewekeza nguvu zake na bila kujua anacheza na akili za wahubiri wasiguse hiyo button yake maana wanaangusha ufalme wake kwa sababu kuzimu na mauti ndiyo kitu pekee ukikishinda kwa jina YESU hakuna wa kukubabaisha hata Yesu aliposhinda alisema "Mamlaka yote mbinguni na duniani amepewa" na hiyo mamlaka amekupa kwa jina lake na wewe kama mwanafunzi wake ili upenye katika ulimwengu huu lazima utetemeshe ngome hii

    • @shubebunyesi542
      @shubebunyesi542 3 หลายเดือนก่อน

      @@bartinkahenga1196 hakuna na atotokea labda yesu arudi tena wauni ktk injili wanagombania waafuasi na fedha

    • @oscarmahanga6004
      @oscarmahanga6004 2 หลายเดือนก่อน

      @@EsterKiyaboumenena vema kaka huyu naye ndiyo walewale hana lolote nimwehu kama wehu wengine

  • @stellahkitomary4555
    @stellahkitomary4555 3 หลายเดือนก่อน +48

    Hii ndio injili tunayoitaka. Barikiwa Sana Mtumishi wa Bwana Yesu.

    • @rastheunique
      @rastheunique 3 หลายเดือนก่อน +6

      Oya hawa washazidiana technique bhana!! Huyu mwamba yeye pia ni mzee wa misukule ya upako na hatujasahau bado!!

    • @kasindejonathan978
      @kasindejonathan978 3 หลายเดือนก่อน +3

      ​@@rastheuniquewaumini wamepungua kwani ye hakuanzia huko?? Acha zako gwajima hubiri neno

    • @Dominant97
      @Dominant97 3 หลายเดือนก่อน

      Sio tu tunsyoitaka,iliyokusudia

    • @KellyKana-q1t
      @KellyKana-q1t 2 หลายเดือนก่อน

      Kabisa ❤❤❤❤

    • @StellaLwesya
      @StellaLwesya หลายเดือนก่อน

      ​@@rastheuniquekuwa makin usije pigwa na mungu kwa maneno yako

  • @gwandu8603
    @gwandu8603 3 หลายเดือนก่อน +5

    Amennnnnn
    Hizi changamoto zinatuvuruga sana ndo maana tunaona kila kitu ni sahihi.
    Mungu tusaidie tu kweli tunaangamia kwa kukosa maarifa

    • @ismailsoud3634
      @ismailsoud3634 หลายเดือนก่อน

      Ipo siku inakuja, ukweli utafunguka kwa msamiati uliyo wazi na huru kila mtu kweli itamwita na kumpambanukia hapo ndio patakuwa na kilio cha kusaga meno, kuwa tumepoteza muda wetu bure kwa kusiko na marisho wala mafao, ndipo shetani atasema sikuwa na nguvu juu yako ila nilikukonyeza ukanifuata. Nawashauli binadamu wenzangu FUNGENI SIKU ZA JUMATATU hii mtapata utambuzi wa mambo mengi sana na kupambanukiwa..
      Dunia inaisha hii.

  • @UAMSHOTV
    @UAMSHOTV 3 หลายเดือนก่อน +8

    aisee, hii ni mbegu ya mtu yule mwenye upendo wa ajabu, Baba Mbarikiwa Mwakipesile Ubarikiwe Sana Sana, JAMII YOTE INAFAHAMU SASA

  • @REBEKAMBONGE
    @REBEKAMBONGE 3 หลายเดือนก่อน +5

    Amina baba barikiwa wanawafanya wasio kuwa na maandiko na maombi wambieni tu watakatifu tujitume kuomba na kusoma neno

  • @musajonas9397
    @musajonas9397 2 หลายเดือนก่อน

    woooow this is a big massage hii ni tammmmmm sijui niseme nini ila mungu akubariki sana Bishop ngwajima nimekuelewa Sana Sanaaaaaaaa and my God bless you

  • @CharlesRehani
    @CharlesRehani 3 หลายเดือนก่อน +2

    Uyu ndiye Gwajima ❤❤ mtumishi alisi

  • @AllyMasterKitali
    @AllyMasterKitali หลายเดือนก่อน

    Tunashukuru sana mchungaji wetu mungu akupe miaka mingi huyu mwamposa na kuhani mussa mataperi makubwa yanaibia wananchi wanyongo wasiojielewa

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 3 หลายเดือนก่อน +1

    Gwaji boy, uko sahihi 100% hao wanahitaji kuombewa kuliko kuwahukumu, barikiwa sana

  • @enosdominick3485
    @enosdominick3485 3 หลายเดือนก่อน

    You are really an "Adventist",
    Brother Gwajima let GOD use you in another category to deliver unspoken truth.🤝👏

  • @josiakalinga7326
    @josiakalinga7326 3 หลายเดือนก่อน

    Be blessed for a good message servant of God, that is the kind of teaching which is needed to the people who prepare themselves for the kingdom of God

  • @aaronswai3092
    @aaronswai3092 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ubarikiwe sana baba Askofu. Mungu akutunze sana!

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 3 หลายเดือนก่อน

    Wowoo nilikumbuka haya mambo uwiiii asante b shop gwajima.nakwel umenifundisha kuzipiga . YESU akutunze

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 3 หลายเดือนก่อน +7

    Tell them Bishop J. Gwajima. Ukweli utawawe huru 👏🏽👏🏽

  • @WinnieKasambala
    @WinnieKasambala 2 หลายเดือนก่อน

    I love you Papa,nimeliweka neno lako moyoni mwangu,neno lako ni taa ya miguu yangu,Uishi maisha malefu baba Nakupenda zaidi

  • @SimonRobert-lw9nv
    @SimonRobert-lw9nv หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu

  • @EliaEmmanul
    @EliaEmmanul 2 หลายเดือนก่อน

    Amen amen ubarikiwe sana na Mungu aliye hai

  • @StellaSikawa
    @StellaSikawa 3 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mtumish wa mungu uongezew miaka ya kuish kama ezekia

  • @MerceySamson
    @MerceySamson หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana tandika injili baba wameibiwa sana

  • @annissdaprincess3846
    @annissdaprincess3846 3 หลายเดือนก่อน

    Amina ubarikiwe zaidi nazaidi Mtumishi wa MUNGU

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634 3 หลายเดือนก่อน +6

    Hawa wote wanaujuwa mchezo wanao ucheza. Wanapo zidianana akili, ujanja, ubunifu, hapo ndipo wanaanza kukorogana. Mara nyingi watu wa Mungu lao huwa moja kwa sababu wanatoka kwa aliye mmoja. Sasa inapofikia kukosowana wao kwa wao, tunajifunza nini? Shetani mjanja sana hukusanya watu akawajaza kwa elimu yake tamu harafu anawagombanisha. Ukweli unakuja maana siku inakaribia. Kila mtu atakwamwa na maneno yake mwenyewe.

    • @PENDODANIELNJILE
      @PENDODANIELNJILE หลายเดือนก่อน

      Huyoniwivu. Kazidiwanguvu. Munguhumpaampendae. Somakornto wakwanzakumi. Nambilihabariza. Karama

  • @ElineemaSulle
    @ElineemaSulle 21 วันที่ผ่านมา

    Waooooooh baba hapo umenena kumbe watu kama wewe bado mpo mungu akutunze

  • @MantizzJordan
    @MantizzJordan 3 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana am blessed a lot

  • @SEKELAGASIMFUKWE
    @SEKELAGASIMFUKWE 3 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana pastor gwajima

  • @IbuGang
    @IbuGang หลายเดือนก่อน

    Ni kweli Heshima hayupo kiroho ,yupo kimwili asilimia 💯 wala simwamini hata kidoho mwema ovyo

  • @barakafredrick9492
    @barakafredrick9492 3 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen tuamke kanisa tutaifahamu kweli nayo kweli itatuweka huru na kweli ni ÑENO LA MUNGU

  • @Pavel-x4t
    @Pavel-x4t 3 หลายเดือนก่อน +4

    Baba hiyo imesababisha kitoto kilichopo tumboni mwangu kimesujudu kwa NENO lenye kishindo kikubwa yaani (YESU ALIYE TOKA KWENYE KINYWA CHAKO) Kwa hilo NENO Mimi nina ishi.

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ubalikiwe Baba unatufundisha kupigana wakati wowote hakika umenena maneno ya mungu amen 🙏

  • @nyashangondya3660
    @nyashangondya3660 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mtumishi wa mungu

  • @MgayaBen
    @MgayaBen 3 หลายเดือนก่อน

    Amen Mungu akubariki sana jasusi la Mbinguni

  • @agneselia9000
    @agneselia9000 3 หลายเดือนก่อน +1

    Baba Mungu akuinue zaidi ya hapo ameeeeen

  • @PastorEnock-v6e
    @PastorEnock-v6e 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu Akubariki mzee Gwajima

  • @suzandavd5213
    @suzandavd5213 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe mwenyewe ulianzia kudanganya umma kwamba unafufua wafu kwa vile umekua mwanasiasa ndio kabisaa mwongo mkubwa acha wivu kila mtumishi na maono yake acha siasa wewe.

  • @VascoMwakilema
    @VascoMwakilema 2 หลายเดือนก่อน

    Nakwelewa sana baba Mungu akubarki sana

  • @christopherrichard3419
    @christopherrichard3419 3 หลายเดือนก่อน

    Nakukubali mzee ,wapigweeeeee

  • @bettykinyami5096
    @bettykinyami5096 3 หลายเดือนก่อน

    Baba nakupenda Sana, Mungu akutie nguvu

  • @NEEMAMWASENGA
    @NEEMAMWASENGA 3 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mtumishi hio sawa

  • @dassustephen731
    @dassustephen731 3 หลายเดือนก่อน +4

    Wewe hubiri yako achana na wachungaji wengine.Kama wanakosea basi Mungu atawaadhibu

    • @christinatiana9623
      @christinatiana9623 3 หลายเดือนก่อน

      Hiki sio kipindi cha kuangalia watu wanapotea

    • @christinatiana9623
      @christinatiana9623 3 หลายเดือนก่อน

      Hiyo ndiyo injili sasa atutaki utumwa wa kuabudu mafuta mtuache tunaoelewa neno la Mungu

    • @irenemwakalinga
      @irenemwakalinga 3 หลายเดือนก่อน

      Lazima aseme ili watu wapone asiposema wataponaje??

    • @winfridahaule4364
      @winfridahaule4364 3 หลายเดือนก่อน

      Tunatakiwa kumuabudu Mungu si watu na vitu mda umeisha ndugu

  • @christinamselle4490
    @christinamselle4490 13 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli
    Ubarikiwe kwa maubiri mazuri
    Amina🙏

  • @juliassindani7259
    @juliassindani7259 3 หลายเดือนก่อน

    Katika maubili yote leo pasta gwajima umenibariki sana sana ubarikiwe sana kamanda

  • @nizigamaviolette-ig9dl
    @nizigamaviolette-ig9dl 3 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mchungaji neno hilo nilauzima

  • @aploscoder4358
    @aploscoder4358 3 หลายเดือนก่อน

    Aminaa maharifa ni muhimu kuliko vituuu

  • @SamwelLaizer-o7l
    @SamwelLaizer-o7l 3 หลายเดือนก่อน

    Hakika Neno la BWANA YESU KRISTO lina nguvu tena lina ukali kuliko upanga ukatao kuwili tena lijepesi kutambua makusudi ya moyo. Jina la Bwana Yesu Lihimidiwe daima. Amen🙏🙏🙏🙏

  • @FurahaMbughi
    @FurahaMbughi 3 หลายเดือนก่อน

    Glory to our God God bless you bishop

  • @MwanawaNoah-f6m
    @MwanawaNoah-f6m 3 หลายเดือนก่อน

    Barikiwaa sana baba sema tuponeee

  • @innocentmuwila7409
    @innocentmuwila7409 3 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana siku nikianzisha huduma nitakuwa chini ya askofu huyu anamjua mungu

  • @kanezajoella6663
    @kanezajoella6663 3 หลายเดือนก่อน

    Asante sana baba MUNGU azidi kuku weka na kukuza kiroho

  • @brightontibenda2346
    @brightontibenda2346 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi wa Bwana umenena neno la Bwana. Barikiwa.

  • @lazaroeliphas8353
    @lazaroeliphas8353 3 หลายเดือนก่อน

    Barikiwaa sana mtumishi

  • @DohhodohhoEva
    @DohhodohhoEva 3 หลายเดือนก่อน

    Amin bb barikiwa sn ndo neno hai ilo😊

  • @AdrofinaRaymond
    @AdrofinaRaymond 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen sema ukwel tupate kupona

  • @jaromemwazembe6396
    @jaromemwazembe6396 3 หลายเดือนก่อน +8

    Safi sana huu ndio ufalme wa Mungu sasa ❤

  • @japhetjuma697
    @japhetjuma697 3 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi piga hao wapiga dili wapotee

  • @fabianmdachi3560
    @fabianmdachi3560 3 หลายเดือนก่อน

    ❤ameen mtumishi balikiwe sana

  • @pastor.frank.tmwaisemba7401
    @pastor.frank.tmwaisemba7401 3 หลายเดือนก่อน +10

    Enzi zake za misukule na kumfufua Amina chifupa zilitusumbua Sana

    • @ilhamswaleh3428
      @ilhamswaleh3428 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂

    • @dorcaskarago2876
      @dorcaskarago2876 3 หลายเดือนก่อน

      Wachawi walisumbiliwa sana nawewe vipi ni mchawi?

    • @raymrash
      @raymrash 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@dorcaskarago2876😂😂😂😂

    • @mbokamtafya535
      @mbokamtafya535 3 หลายเดือนก่อน

      Ulisumbukaje?

    • @allymwashambwa5920
      @allymwashambwa5920 3 หลายเดือนก่อน

      nani alitaka kumfufua ?

  • @fadhiliseme1880
    @fadhiliseme1880 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ameni Mtumishi wa Mungu very powerful message

  • @EmmanuelSungi
    @EmmanuelSungi 2 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana Gwajima

  • @AyubuKikoti-gu5mb
    @AyubuKikoti-gu5mb 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nakuelewa Sana,ila nilikuwa nasikitika kuwa Kwann ULIKUWA kimya KWENYE jambo hilii,

  • @emmanuelmwasaka303
    @emmanuelmwasaka303 3 หลายเดือนก่อน +8

    Baba Gwajima hiyo ndiyo levo yako ya uelewa wa Imani yako,,achana na Imani ya wenzio na levo zao..

    • @dorcaskayinga6373
      @dorcaskayinga6373 3 หลายเดือนก่อน

      Sio level yake kaka, huo ndio ukweli usiopingika

    • @patrenusliyumba336
      @patrenusliyumba336 3 หลายเดือนก่อน

      Umechomoa ufunguo😂😂😂

    • @DenisSylivester
      @DenisSylivester 3 หลายเดือนก่อน

      Umeumbuka

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 3 หลายเดือนก่อน

      Level ya sabuni, kitambaa , mafuta na udongo, hiyo ndiyo level, pole

    • @graceanakisenga8046
      @graceanakisenga8046 3 หลายเดือนก่อน

      Hakuna aliyeruhusiwa kuhukumu wengine.

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 3 หลายเดือนก่อน

    amen , nimepata kitu kikubwa hii leo

  • @jastinejohnmganikie3877
    @jastinejohnmganikie3877 3 หลายเดือนก่อน +3

    Machine ya moto hii kama mimi yaani!!!!

    • @HelbethMlelwa
      @HelbethMlelwa 3 หลายเดือนก่อน

      Mbona hatukuoni ukiwasha moto sasa?

  • @PeterJackson-kk3by
    @PeterJackson-kk3by 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera Bishop

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 3 หลายเดือนก่อน +13

    Kweli. Tumechoka kuonyeshwa mazingaombwe na viininacho kutoka kwa baadhi ya manabii. Nilisoma kitabu cha mchungaji Gwajima kiitwacho " jifungue mwenyewe" hamna hivo vitendea kazi vinavotumiwa na hawa watu wavivu au waongo na wapotoshaji wa imani. Endeleeni kulilinda kanisa enyi genuine teachers na manabii wa kweli mnaoikemea dhambi kama mbarikiwa na wengineo. Kweli vita ni ngumu. But times of refreshing are coming. Simameni pia na nehemia 8:10.mungu yu pamoja nanyi. Be strong and courageous.

    • @healingsschool4630
      @healingsschool4630 3 หลายเดือนก่อน

      Haya mnayoyaita mazingaumbwe ndo yalimfanya Yesu wa Galilaya ajulikane Duniani. Kanisa bila miujiza halina Mungu ndo maana mnanunua helicopter wakati masikini mmejaza kanisani. Yesu awarehemu .

    • @gwandu8603
      @gwandu8603 3 หลายเดือนก่อน

      Kupitia kiboko ya wachawi Kuna kitu tunatakiwa kujifunza na tujirejeshe kwa Mungu wa kweli.

    • @AnithaJoseph-d6e
      @AnithaJoseph-d6e วันที่ผ่านมา

      endelea kusema mazingaobwe wenzio tumepona

  • @GilbertNhigula
    @GilbertNhigula 3 หลายเดือนก่อน +1

    Gwajima Unajua Neno la Mungu Vizuri Sana , .

  • @VotanVotan-gb3hd
    @VotanVotan-gb3hd 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante Kwa mahubir mazuri mbarikiwa

  • @KarieemWaewa-om5rc
    @KarieemWaewa-om5rc 3 หลายเดือนก่อน +3

    WEWE MBONA ULIANZIA HUKOOOOO. LEO UMEJIPATA NDO UNAANZA KUKANA 😂

    • @Leeeeeeee-96
      @Leeeeeeee-96 3 หลายเดือนก่อน

      bibilia imesema mafuta yalitumika kwa watu mbalimbali sijui wenzetu wanasoma bibilia zipi, pamoja na hayo yote awo watumishi wanafundisha kumtumikia mungu kusoma neno na kuomba sasa sioni wahubiri hawa wanachokosea

    • @kellyroselwinga7999
      @kellyroselwinga7999 2 หลายเดือนก่อน

      Pole sana kama ni wale wa kutumia mafuta mwisho wa hao unafika soma Neno ,Hapo mwanzo kulikuwako Neno sio mafuta wala hakuna sehem walisema mafunuo ya chumv udongo vitambaa kupeleka kucha au nywele yatakuja

  • @SophiaMakundi
    @SophiaMakundi หลายเดือนก่อน

    Injili ni kwel ya Mungu na kweli ni neno upo sahihi baba

  • @selemanmasau2096
    @selemanmasau2096 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kwa neema tu.Bwana akubariki

  • @obedimunguachiza8434
    @obedimunguachiza8434 3 หลายเดือนก่อน

    Pameanza kuchamuka hakika, mtakuja kumpa Mbarikiwa Mwakipesile wetu sheria barikiwe shujaa wa Mungu Mbarikiwa Mwakipesile wetu.

  • @onesmomallya102
    @onesmomallya102 3 หลายเดือนก่อน

    pameanza kuchangamka kweliii😂😂❤❤

  • @DanielKawaya-pe5ox
    @DanielKawaya-pe5ox 2 หลายเดือนก่อน

    Baba yangu gwajima.ni moto wa kuhoteya mbali kweli

  • @rennyleo4874
    @rennyleo4874 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mh! Wivu tu.Haya na wewe tuoneshe misukule uliyo kuwa una tudanganya nayo

  • @elijiusdaniel9817
    @elijiusdaniel9817 3 หลายเดือนก่อน +4

    Umenena Gwajima hapo nakuelewa sana.

  • @adamsonkyando-l4i
    @adamsonkyando-l4i 3 หลายเดือนก่อน

    Dar!!!! Saidia hiki kizazi ,watu wamefubgwa sana Gwajima umenena

  • @ollykitchentz
    @ollykitchentz 3 หลายเดือนก่อน

    Nice mtumishi.. Ila nawaza kipindi kile cha misukule ilikuwaje JOMONYYY... Ngachokaa

  • @devotamwaikonyole271
    @devotamwaikonyole271 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nakupenda baba barikiwa

  • @liuu282
    @liuu282 3 หลายเดือนก่อน

    Nakupendaa adii bhasii

  • @NsubiRaphael
    @NsubiRaphael 3 หลายเดือนก่อน +3

    Acheni kulumbana mungu kampe kila mtu karama yake nyinyi wote pelekeni ujumbe kwa kubadirisha maisha yake,acheni malumbano

    • @EliyaMwangobe
      @EliyaMwangobe 3 หลายเดือนก่อน

      Hakuna karama ya kupotosha maandiko !

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli baba eti wanasema vifaa vya kiroho mafata vitambaa lakini nenohawana bali wanamaneno tu hawana tofauti na waganga wakienyeji hapa Niko pamoja nawewe japo kuwa kulekwingine tunatofautiana

  • @JANEBGOYA
    @JANEBGOYA 3 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏 NENO LA MUNGU LINATOSHA

  • @evamwasongwe6752
    @evamwasongwe6752 3 หลายเดือนก่อน

    Ukweli usiopingika,wafuasi wao sasa wezee wa keki na vitambaa,tusome neno,neno ndio kila kitu😂😂😂😂😂

  • @claudesimukoko1436
    @claudesimukoko1436 2 หลายเดือนก่อน

    Ulinzi wa bwana yesu ukai juu nawe maana hao wamafuta na maji ndo wametawala Tanzania. Amina

  • @Lupamwakyoma
    @Lupamwakyoma 14 วันที่ผ่านมา

    Bishop umesema kweli tuna potoshwa sana na maji ya upako

  • @NeemaMwakosya
    @NeemaMwakosya 3 หลายเดือนก่อน

    Ameni barikiwa sana,

  • @JoyceAnaely
    @JoyceAnaely หลายเดือนก่อน

    Kwa mahubiri haya nimekukubali barikiwa mtumishi wa MUNGU

  • @MakokotoMchanga-n5n
    @MakokotoMchanga-n5n 3 หลายเดือนก่อน +1

    Gwajima unaongea vzr lkn naww umeshawahi fanya ayo mambo miaka ya 2009 mpaka na10 ulikula pesa za watu kwakuwatapeli sana ikishirikiana na wakina Biagaze Mwangasa na Mwilu na Mac Pamoja na mdogowako Samsoni kipindi unakaa micocheni akawapiga watu pesa zao ukaenda kununu hekari 100 makurunge Kibaha unadai yawashirika ukawazima mpaka leo.. Namengi tu

  • @LakhayanLakha
    @LakhayanLakha 3 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda mnoo!!

  • @AmiWitu
    @AmiWitu 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli gwajima kahubiri kweli kwa mda mfupi,na kweli itabaki kuwa kweli na neno la Mungu ndio KWELI,YESU NDIYE kweli. Ubarikiwe mon.

  • @AllyMasterKitali
    @AllyMasterKitali หลายเดือนก่อน

    Asikofu gwajima tunashukuru sana kuelimisha watanzania bali hawana akili wanadanganuwa mali mafuta mala udongo mala vitamba mala wanaombewa utajiri wapate malasabuni hao mitume mataperi makubwa inatakiwa serikali iwafungie kansa mana wanatesa wasiojielewa wao wanachukuwa mali za wanyonge nakulimbikisa matumbo yaoo

  • @kubwalao4936
    @kubwalao4936 3 หลายเดือนก่อน +2

    Saa mbovu wakati mwingine inasema ukweli.very nice gwaj

    • @akidajulius1581
      @akidajulius1581 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂kabisa yani, inaweza kukuokoa siku yoyote

  • @LukasisimoniSilasi
    @LukasisimoniSilasi 2 หลายเดือนก่อน

    Yesu akubaliki