KUNA SIRI GANI? HILI NI FUMBO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ม.ค. 2024
  • #HaleluyaTv #ProphetRolinga #OmegaMinistriesChurchofAllNations #OCOAN
    Kuendelea kupata Shuhuda mbalimbali na Maneno zaidi, tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamii:-
    Haleluya APP : play.google.com/store/apps/de...
    Facebook : / prophetrolinga
    Instagram : / prophetrolinga
    TH-cam : / haleluyatv
    Audiomack : audiomack.com/prophetrolinga

ความคิดเห็น • 310

  • @user-mk9vk5pe6i
    @user-mk9vk5pe6i 4 หลายเดือนก่อน +3

    Tusibeze maneno ya wachundaji,tumuweke Mungu wetu kwenye kila hatu tupingayo,Yarabii,tusamehe na utulinde Walinde viongozi wetu na nchi yatu,Afrika, na dunia yote Amen.

  • @user-hw7ce8gf6v
    @user-hw7ce8gf6v 3 หลายเดือนก่อน +3

    AMOSI 3
    7 HAKIKA BWANA MUNGU HATAFANYA NENO LO LOTE, BILA KUWAFUNULIA WATUMISHI WAKE MANABII SIRI YAKE.
    AMEN❤❤❤

  • @fiziparadise7808
    @fiziparadise7808 6 หลายเดือนก่อน +11

    The only nabii president ambaye alitumwa na Mungu ni Magufuli. Nabii ahana heshima kwaho…love and respect from Congo🇨🇩

  • @user-xq9se2hj7p
    @user-xq9se2hj7p 5 หลายเดือนก่อน +4

    Imani yako imekuponya enenda zako usitende dhambi tena mungu anazungumza na waliyo wake sasa hama huamini shauli yako

  • @Big-Lunya
    @Big-Lunya 4 หลายเดือนก่อน +4

    huyu jamaa ni nabii kweliii

  • @JELSONMAUKI
    @JELSONMAUKI 2 หลายเดือนก่อน +1

    Awamu ya 4 ni 🔥🔥🔥🔥. Kwa mwamba atapoteza kumbukumbu 😮😮😮😮😮😮😮😮😮

  • @spipa.tv0tz
    @spipa.tv0tz 6 หลายเดือนก่อน +14

    Watuwengi wanasema mengi kusu Manabii wa Mungu kitu ambacho sio sahihi,
    Kazi ya nabii ni kufikisha ujumbe baada ya kufikisha ujumbe au kutoa unabii huwa kuna maelekezo yanayofwata, na maelekezo huwa n kwaajili ya wahusika waliotolewa unabii , ivyo basi wasipo fwata maelekezo pengine kutakua na badiliko au lisiwepo,
    Kumbukeni habari ya yona
    Alitumwa kweemda ninawi kuwaambia watu watubu mana wasipo tubu wataangamizwa walipotubu hawakuangamizwa,
    Ivyo kueni makini sana msijikwae

  • @leonardnzigo2437
    @leonardnzigo2437 5 หลายเดือนก่อน +3

    This is man of God, nadhani wamesha tangza mzee Mwinyi ni mgonjwa....tuheshmu na kutii saut ya Mungu

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 4 หลายเดือนก่อน

      Yes, halafu inaonekana hii mambo ya lowasa ndo yamefanya kuwe kimya!
      Subiri wazike tutapata habari

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wow God is awesome 🎉❤

  • @ipyanahebronmwasumbwe4834
    @ipyanahebronmwasumbwe4834 6 หลายเดือนก่อน +7

    Brother Rolinga, Mzee Mwinyi kwenye miaka aliyonayo hata akifa atakuwa anapumzika , wanafamilia wakihuzunika ni hali ya kawaida tu ya kibinadamu, lakini kwa umri aliotunukiwa mzee wetu mpaka sasa wanafamilia hata likitokea lakutokea watapaswa kusherehekea zawadi umri mrefu aliwapatia Mungu kupitia Mzee Ruksa.
    Barikiwa, neema zaidi kwako.

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 6 หลายเดือนก่อน

      Analijua hilo ndio maana anasema ameoneshwa,vichwa mchunga wapande imani ikitokea😂😂😂😂

    • @viktamade
      @viktamade 6 หลายเดือนก่อน +2

      Kaka msiba wowote unauma kwa wafiwa ....ila kama hujafiwa wewe sema kapumzika

  • @oscarjeremiah7377
    @oscarjeremiah7377 6 หลายเดือนก่อน +6

    When God servant speak forth the wise listen

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 5 หลายเดือนก่อน

    Thanks Jesus 🎉

  • @RehemaGodfrey
    @RehemaGodfrey 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kwakuwa unampenda Sanaa au,niwewe sasa unayesema ivo.. we mwache mungu afanya yake bwana weee,!

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 5 หลายเดือนก่อน +1

    Very interesting topic

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mimi ni muislam lkn huyu Rev namkubali ila waislam hutabiribmpaka miaka atakayokufa mtubkwa umri gani dishangai na ninachokijua ndani ya ccm kwa sasa utabiri wa mama ni sawa kabisa she knows na ndo maana teuzi zake za ndani ya chama kwa sasa hawasikilizi wale watu tena amesha gundua mikakati yao vizuri tusiseme mengi lkn hongera sana Rev

    • @JELSONMAUKI
      @JELSONMAUKI 2 หลายเดือนก่อน

      Hata Kwa jpm alitabiri kabla ya tukio.🙏🙏🙏

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 5 หลายเดือนก่อน +2

    Thank you Jesus for Revelation

  • @LucyLivanga-lo6qk
    @LucyLivanga-lo6qk 6 หลายเดือนก่อน +10

    Hapo nimeelewa kitu mungu anataka atubadilishie kiongozi wa ich 2025
    Mungu ibaliki Tanzania 🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 6 หลายเดือนก่อน

      Ninyi watu ni wasomi ila hamna akili bogaz kbsa

    • @mariamfaicalhassan2890
      @mariamfaicalhassan2890 4 หลายเดือนก่อน

      Na iwe hivyo in Jesus name

    • @emanuelmkama1325
      @emanuelmkama1325 หลายเดือนก่อน

      e​@@hafidhwajina6718acha iwe

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nakukubali nabii jah akubless

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 6 หลายเดือนก่อน

      Funga bila kula uende mbinguni

  • @marthamungure1777
    @marthamungure1777 4 หลายเดือนก่อน +2

    Umri wa kiongozi wa pili ni mkubwa sana, hivyo ni sawa tu kupumzika😊

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 6 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo akifa ni sawa mzee

  • @martinjohn7854
    @martinjohn7854 5 หลายเดือนก่อน +2

    NI KWELI.
    KUNA SIRI.

  • @jessymakura3318
    @jessymakura3318 6 หลายเดือนก่อน +2

    Usaniii mmmh

  • @DIANAJACOB-qw1mw
    @DIANAJACOB-qw1mw 17 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 4 หลายเดือนก่อน +3

    Ww uwe wa kwanza kufa

  • @pendomushi6351
    @pendomushi6351 6 หลายเดือนก่อน +2

    Tuombe sana kwaajili ya inchi yetu hakika hapo kunasiri nzito sanaa Mungu tusaidie na utufumbue kwenye hili giza 😢😢😢

  • @jadenkabalaza-cq2jj
    @jadenkabalaza-cq2jj 4 หลายเดือนก่อน +1

    Rest In Peace Mzee Mwinyi

  • @user-xq9se2hj7p
    @user-xq9se2hj7p 4 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu alisema msiponikubali mimi basi zikubalini kazi zangu

  • @Afyayamifupa
    @Afyayamifupa 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mmmh imeendana kwkwl

  • @desolz3809
    @desolz3809 6 หลายเดือนก่อน +3

    Naona Rais mwingine wa kikatiba 2025 kinabii.... Mungu atusaidie

  • @geofreydamas1697
    @geofreydamas1697 6 หลายเดือนก่อน +1

    Imeisha hiyoooooooo basi

  • @lightnessmushi8137
    @lightnessmushi8137 6 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mmmh hii ni hatari sana😊😊😊

    • @JELSONMAUKI
      @JELSONMAUKI 2 หลายเดือนก่อน

      Balaaaa

  • @erastoleonard8625
    @erastoleonard8625 6 หลายเดือนก่อน

    Sizani Kama nisahihi sana kutokusimama ns lile mungu alilokuonyesha na kulitangaza na kuamua kuogopa mamlaka ya nchi na si mamlaka ya mbinguni

    • @nuruabraham3769
      @nuruabraham3769 5 หลายเดือนก่อน

      lakini si umesikia? yasije yakatokea ukasema hukusikia. Ni muda wa kumuomba sana Mungu ili yasitokee sio muda wa kulaumu wanaosema maono waliyopewa kana kwamba ni waongo. Kama umesikia jambo baya litakalo ipata nchi wewe omba

    • @AntonyRudibuka
      @AntonyRudibuka 5 หลายเดือนก่อน

      Anamanisha kupinduliwa

  • @DIANAJACOB-qw1mw
    @DIANAJACOB-qw1mw 17 วันที่ผ่านมา

    Niombee Nabii nina mengi mwanao

  • @user-ei3iy5fu1i
    @user-ei3iy5fu1i 11 วันที่ผ่านมา

    Onanyoka wariva pangana wamemuua mwenzao

  • @user-vo8md7vm4s
    @user-vo8md7vm4s 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mwaka 2024/2025 Ni miaka ya chaguzi mbalimbali Tanzania hivyo chama kikubwa Kama CCM misukosuko nijambo la kawaida kabisa. Musimtie Mama hofu mwacheni achape Kazi.

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mabadiliko

  • @magangiralucas6516
    @magangiralucas6516 4 หลายเดือนก่อน

    Awamu ya 6 atapi❤

  • @law93king
    @law93king 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tumeelewa nabii Mungu aendelee kukutumia kwa ajili yetu

  • @masterpizo7451
    @masterpizo7451 6 หลายเดือนก่อน +5

    HAKUNA UNABII UTAKAOTOKA KWA MUNGU USIWE NA MAJIBU NA HAKUNA UJUMBE MUNGU ATAUSHUSHA KWA NABII WAKE HALAFU UWE NUSU ETI NABII ANASEMA MENGINE SIONGEI MAANA YAKE SIO SAUTI YA MUNGU ILIYOMPA UNABII NA UNABII HUWA UNAKUJA KWA MAMBO YAJAYO ILI YAFANYIWE MAREKEBISHO PALE PANAPOHITAJIKA

    • @jessymakura3318
      @jessymakura3318 6 หลายเดือนก่อน

      Kweli mtumishi mungu haji bila kuonyesha njia

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 5 หลายเดือนก่อน

      Sio kweli unabii unakuja ili palekebishwe, kuna nabii zikija lazima litokee, pia hekima ni muhimu sana unapopewa unabii toka kwa Mungu, sio kila nabii unaiongea hadhalani.

    • @janethmunishi6279
      @janethmunishi6279 5 หลายเดือนก่อน

      mnasomaga bibilia? nabii Isaya alipeleka ujumbe kwa Ezekia kwamba atakufa hakupewa jibu lingine na alipotoa ujumbe aliondoka. Ezekia akaomba akamlilia Mungu Mungu akamponya

    • @janethmunishi6279
      @janethmunishi6279 5 หลายเดือนก่อน

      cha ajabu ni nini apoo! yeye kapewa Ujumbe wahusika wakisikia waombe

  • @marylisso2822
    @marylisso2822 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tumeshaelewa mtumishi tunasubir tu tamko......

  • @user-jv2fn7kx7p
    @user-jv2fn7kx7p 4 หลายเดือนก่อน

    Ndugu zangu ni bora ukanyamaza kuliko kuandika utumbo heri utumie wahuni wenzio text mungu endelea kumtumia mtumishi wako na mpe moyo wa Iman

  • @hamisimuhammad3656
    @hamisimuhammad3656 4 หลายเดือนก่อน +2

    Upuuzi 😊😊😊

  • @MSOMBAAlon-gh3ps
    @MSOMBAAlon-gh3ps 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa umri alionao huyo wa awamu ya pili anaombewa Nini kama ni miaka ya kuishi kavuka hata Ile tuliyopewa na Mungu Sasa munataka Aishi milele? Wapo watoto yatima na wajane na masikini hao ndo waombewe sio mtu ana tisini na Kenda munamuombea Nini kama ana zambi atubu Kwa Mungu Ili apumnzike. Salaama

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 hili jamaa janja sana kinaenda na upepo, saa 7mchana jua litakuwa kali wakati kila mtu anajua kuwa muda huo jua huwa kal

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 5 หลายเดือนก่อน +1

    Yes indeed Daddy

  • @thevoiceofdeliverance6061
    @thevoiceofdeliverance6061 6 หลายเดือนก่อน +6

    Ndg zangu watu hawahitaji mambo ya hizo orodha za watawala wa nchi .
    Wanataka kusikia Yesu anawasaidiaje na matatizo waliyonayo .
    Watumishi wengi wakishapata tu MAFANIKIO basi wanaliacha kusudi .

    • @barakalawrence742
      @barakalawrence742 6 หลายเดือนก่อน

      Simtetei na wala sio mshirika wake ila kuna kitu naomba uelewe, Kusudi kuu Ni injili ihubiriwe lakini ndani yake kila mtu ameitwa tofauti na mwingine kufikisha kusudi kuu, thats why kuna huduma kuu tano zote hukenga kusudi moja kutimia,, zaidi ya hayo kila mtu ana karama yake hatufanani, hata sare za shule fulani nitofauti na ingine, japo zote lengo kuu ni kupata elimu. Kuna mambo mengi zaidi ya kuyajua kuhusu Mungu, so usihukumu kwa haraka hivyo

    • @kakanicodemus3632
      @kakanicodemus3632 6 หลายเดือนก่อน

      Huyu jamaa simfahamu huyo mtumish, lakin najaribu tu kuwaza saut, sasa kwanini kitabu cha wafalme kiliandikwa ktk biblia?!

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 5 หลายเดือนก่อน

      Ulishaenda kanisani kwake ukaona haubili anayowausu waumni wake na maisha Yao? Yeye kama ni Prophet atawaambia kile Mungu alichomuonyesha na wakati huohuo atahubili na kufundisha neno. Unajua Ibadan zake zina masaa mangapi?

    • @Jerryminenewtony-fc5cp
      @Jerryminenewtony-fc5cp 4 หลายเดือนก่อน

      2 wathesalonike 2:1-12 jamani emu tumuombe MUNGU atupe ROHO MTAKATIFU na ufahamu pia,sabu imekuwa tamthilia episodi ya ya kwanza tunasubiria ya pili(UNABII)
      NABII anatakiwa aseme so afiche jambo inamaana,YEREMIA 15:19

  • @neliusdidas8749
    @neliusdidas8749 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mtume maliyabwana

  • @user-zr7pc7qs4o
    @user-zr7pc7qs4o 4 หลายเดือนก่อน

    imetokea

  • @MwaupinaMwaupina-br7kz
    @MwaupinaMwaupina-br7kz 4 หลายเดือนก่อน

    mungu awe yupo nawe milele

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 5 หลายเดือนก่อน +2

    Na yesu alituonyesha ishara izo tu basi bila kutupa mwanga mbele kunanini alitupa mikono ivyo tu basi? naamini Mungu yupo ila ilo ndo Swali langu tu

  • @ansmsimbe1236
    @ansmsimbe1236 4 หลายเดือนก่อน

    What God planned will happen, God wants to rule the world from Tanzania. Isaiah 19. What was planned was opted and will be.

  • @bakarikaoneka1080
    @bakarikaoneka1080 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mmmmmm!!!

  • @naisonjohn6770
    @naisonjohn6770 3 หลายเดือนก่อน

    Acha kumdanganya watanzania

  • @user-hq8xg4yi8b
    @user-hq8xg4yi8b 6 หลายเดือนก่อน +3

    Hawa ndio manabii wa ungo wapo wengi Sana ila yote ya hayo ni njaa tu ndani ya bibilia imeandikwa watakuja manabii wa ungo na haijaandika kutokea tena manabii wengne sasa sijui Huyu anafata bibilia gani na hao wanaomfata wanafata bibilia gani

    • @janemujuni
      @janemujuni 6 หลายเดือนก่อน

      Manabii wapo,angalia kwenye kamusi maana ya neno nabii

    • @felistusmweni2582
      @felistusmweni2582 6 หลายเดือนก่อน

      We baki tu na unabii wa uwongo.. You should have a discernment spirit to guide you whelther you are in the right or wrong direction. Mungu akusaidie sana na uwe makini unapo toa comment. Jeremiah 1:5

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 5 หลายเดือนก่อน

      Biblia gani ilisema hapakuwa na manabii tena, haiaandikwa Kama vijana watatabili na wazee wataota ndoto? Si mtaalamu wa biblia kihivyo lakini nilishawahi kukuana na Hilo neno acha uongo

  • @momylaviel
    @momylaviel 4 หลายเดือนก่อน

    Ni kwel kabisaaa uwiiii

  • @Byeragordian3572
    @Byeragordian3572 4 หลายเดือนก่อน

    si mzee Mwinyi keshajizeekea jamani alaf kwann watu wengine wanapata magonjwa wanakufa ila viongozi tudhani kana kwamba wasife?? We are all humans and death is part of us all...mtumishi Mungu akufunulie siri zake za ufalme maana wengine wanamsingizia Mungu

  • @jamesrichard3971
    @jamesrichard3971 4 หลายเดือนก่อน +2

    Jamaa liongo kweli yani, 😂

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 4 หลายเดือนก่อน

      Kadanganya nn?
      Au ht humfuatilii mambo
      Maana kuna ambayo yashatimia ,Wiki 2 zilizopita

  • @huseinramadhani5723
    @huseinramadhani5723 5 หลายเดือนก่อน +1

    Sadaka zinawaaibisha watu aisee

  • @jenipherkamugisha4687
    @jenipherkamugisha4687 3 หลายเดือนก่อน

    Yametimia

  • @MichaelNdamulans
    @MichaelNdamulans 3 หลายเดือนก่อน

    Ulimwengu wa roho unanguvu nyingi sana sema wanaojaji hawajui.mtume wa mungu je unaundugu wwte bukoba?

  • @BabaBalingasi-hp6gd
    @BabaBalingasi-hp6gd 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi kuna maombi mazito nafanya na kila alichoongea ni kama kwelii. Nilisikitika sana baada ya Rais Magufuli kutuacha. Nilisikitika sana. HAYATI RAIS MAGUFULI angeipeleka Tanzania Mbali sana aisee..
    Ila maombi siachii. Lazima malipo ni hapahapa Duniani. Mtu ataikimbia...

    • @rayyahinay-hp7jf
      @rayyahinay-hp7jf 5 หลายเดือนก่อน

      Ystawashinda IshaAllah"

    • @BabaBalingasi-hp6gd
      @BabaBalingasi-hp6gd 5 หลายเดือนก่อน

      @@rayyahinay-hp7jf mbona sijakuelewa?

  • @petermuganda7322
    @petermuganda7322 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi weee kiboko uko sahihi

  • @user-je8hj2fv1q
    @user-je8hj2fv1q 4 หลายเดือนก่อน

    Ukisikia Mtu ansema huko mbele siendelei,yanatosha ukute labda nayeye hajui,

    • @martinisadru
      @martinisadru 4 หลายเดือนก่อน +1

      Anajua, ila anaogopa kusema, hata yesu alikimbia pale alipotaka kupigwa mawe, ije kua mtume mdogo kama huyu.

    • @JELSONMAUKI
      @JELSONMAUKI 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@martinisadru😅😅😅😅😅😅🙌🙌🙌🙌 nimekuelewa kka

  • @mtimti3912
    @mtimti3912 6 หลายเดือนก่อน

    Wanadamu wanapaswa kulinda ufalme wao kwa kufuata ufalme wao

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 6 หลายเดือนก่อน +4

    HUYO BORA APOTEZE KUMBUKUMBU.MAANA ANAIYUMBISHA NCHI YETU.

    • @kissamwamunyange1018
      @kissamwamunyange1018 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @JELSONMAUKI
      @JELSONMAUKI 2 หลายเดือนก่อน

      Una mwanasheria kka 😅😅😅😅😅😅😅

  • @godfreyngajilo3795
    @godfreyngajilo3795 6 หลายเดือนก่อน +5

    Ila matapeli hawa😂😂😂

    • @simondogtrainer7498
      @simondogtrainer7498 9 วันที่ผ่านมา

      Matapel wakati unabii umetimia awamu ya pili ameshafarik

  • @user-ie2sr4fi4k
    @user-ie2sr4fi4k 4 หลายเดือนก่อน

    Upuuz mtupu

  • @getajo1153
    @getajo1153 2 หลายเดือนก่อน

    Awamu ya 7 ni MAKONDA...

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 6 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi acha kutisha wanadam ukiona kitu omba kimya kimya kifo pia Ni mpango was Mungu,Yan ukiongea hivo watu wanakuwa wanahofu

    • @viktamade
      @viktamade 6 หลายเดือนก่อน

      Kwaiyo hapo anatisha

  • @fredoola7534
    @fredoola7534 6 หลายเดือนก่อน

    Mkalimani jamani!

  • @Wami-Sababisho
    @Wami-Sababisho 6 หลายเดือนก่อน +3

    Hapo kwenye vitendo au basi.... Nimekuelewa 😂😂

    • @JELSONMAUKI
      @JELSONMAUKI 2 หลายเดือนก่อน

      Hapo ni -------- muramura ndani ya CCM 🤔🤔🤔🤔🤔🤔

    • @JELSONMAUKI
      @JELSONMAUKI 2 หลายเดือนก่อน

      Umeelewa nini .jibu kma umekamatwa na watu wasiojulikana 😄😄😄😄😄😄

  • @doreensamwely8740
    @doreensamwely8740 4 หลายเดือนก่อน

    Nimejua hapo, atapindiliwa asipoo mtii Munguu😅😅😅

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 4 หลายเดือนก่อน

    Hili lijamaa linajigamba na liuongo lake

  • @masterminder4377
    @masterminder4377 2 หลายเดือนก่อน

    😢

  • @WilisonBagumya
    @WilisonBagumya 6 หลายเดือนก่อน +2

    kuna mabo hayatakiwi kuendelea ili makusudi ya mungu yapate kutimia

  • @user-tx7df1lk9k
    @user-tx7df1lk9k 5 หลายเดือนก่อน

    Mzee mwinyi age go, anything can happen

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 4 หลายเดือนก่อน

    HUYO NI MTU MZIMAA. HAITAKUWA AJABU SANA.

  • @josegambi7149
    @josegambi7149 4 หลายเดือนก่อน

    Leo nimekubali baada ya kuona maono yako awamu ya pili imesha potea. Maumini tusiwe wakaidi juu ya haya. Mungu atusaidie

  • @allykondo8406
    @allykondo8406 4 หลายเดือนก่อน

    No one know tomorrow even me

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman8963 4 หลายเดือนก่อน

    Audhubillah huyo mungu wenu yuko tofauti mnamuona nyie tu sisi hatujawahi muona wallahi Ww muongo😂😂😂😂😂😂😂

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 5 หลายเดือนก่อน

    Kikwete anaonekana mgojwa

  • @user-ei3iy5fu1i
    @user-ei3iy5fu1i 3 หลายเดือนก่อน

    Kubuke wanakataa himani zakweri yesu wana amini eti mutumemuhamad mwarabu koko

  • @gharibsomali4595
    @gharibsomali4595 4 หลายเดือนก่อน

    Tena hao mbwa wenzio umewakusanya na kuwaaminisha

  • @gharibsomali4595
    @gharibsomali4595 4 หลายเดือนก่อน

    Acha kudanganya watu ww mpuuzi ww nabii gani hujui idadi ya nywele zako kichwani ziko ngap ukajue mipango ya mungu mbwa ww

    • @martinisadru
      @martinisadru 4 หลายเดือนก่อน

      Hakuna jipya chini ya jua, watu kama nyie hamtaisha Hadi kiama, utakufa wewe, atainuka mwengine kama wewe, na hata wewe! Upon kama wale, walowasema mitume kwa chuki, na hutajitambua, kwa kua upon kifungoni.

  • @sultansallah8772
    @sultansallah8772 4 หลายเดือนก่อน

    Ambo aya yanapatika kwenye taasisi ya ukiristo tu

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 4 หลายเดือนก่อน

    Mpubavu sana,nyoko yako,na ww unakufa lini

  • @osmond9266
    @osmond9266 3 หลายเดือนก่อน

    Imetokea tayari endeleeni kuponda mie nawaomba tu mjue kuwa Mungu hadhihakiwi

  • @FedyKafyulilo-iz2nw
    @FedyKafyulilo-iz2nw 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu nabii akitabiri lazima iwe

  • @user-zj1oz5wl5r
    @user-zj1oz5wl5r 4 หลายเดือนก่อน

    Hivi kwa nini Tanzania tunaandamwa sana na majanga,je mungu ametuchukia Tanzania,Kama taifa tumite mungu

    • @alphoncewilliam4325
      @alphoncewilliam4325 4 หลายเดือนก่อน

      Kwa upande wa awamu ya 6 kuna vitu ilivikataa vya awam ya 5 mungu ni wa haki

  • @cheyompongolo4513
    @cheyompongolo4513 6 หลายเดือนก่อน +4

    UPUUZI MTUPU:

  • @fxmeddy9567
    @fxmeddy9567 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi ni muislamu ila nakubali utabiri wako maana naona unayo tabiri yanatokea

  • @wilfredbyabato4732
    @wilfredbyabato4732 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona Mambo yote umeonyeshwa ni mabaya kwani haujaoneshwa mazuri au hakuna mazuri kabisa 😅

  • @MariamYusuph-ik9it
    @MariamYusuph-ik9it 3 หลายเดือนก่อน

    Unabii hauhubiriwi kanisani

  • @mariamfaicalhassan2890
    @mariamfaicalhassan2890 4 หลายเดือนก่อน

    Rolinga Nakuita mara 3 muache augue bwana

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 6 หลายเดือนก่อน

    Hawa manabii kama waganga wa kienyeji Tu wanaenda Na upepo Mzee Hassan umri umeenda maradhi ya uzee yanamwandama akienda muda umefika utabiri miyeyusho ukienda Kwa mganga wa kienyeji akikuuliza umeoa ukamjibu ujaoa umesha MPa jibu la matatizo yako atakwambia acha zinaa utafanikiwa

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mchungaji utaishia kuwadanganya kondoo wako tu kama ni kweli tupe taarifa na wale waliokufa wanahali gani?😂😂😂

  • @user-uc5py2ll5n
    @user-uc5py2ll5n 4 หลายเดือนก่อน

    Tapeli mkubwa

  • @salimchimwaga8384
    @salimchimwaga8384 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa sijui anatumia uchawi wa nchi gani au naijeria??😂

  • @iluvjesus313
    @iluvjesus313 5 หลายเดือนก่อน

    Huwezi kumuamini nabii mpaka MUNGU akujaaliye roho ya kinabii ndani yako..ndiyo utamwamini nabii
    Nikama vile ili uuamini uongo ni lazima roho ya uongo ikae ndani yako
    Kilichotamkwa kimetamkwa na tuliojaaliwa kusikia tumesikia..
    Kwamba ni cha kweli au si cha kweli, muda utatuambia...
    Ulipotolewa unabii wa kifo cha Jpm walikuwepo wapingaji wakapinga kwa maneno ya dharau, yalipotimia tu haohao wakageuka na kulaumu eti kama ulijua kifo kitatokea mbona hukumuombea asife...yaani watz ni buree kabisa.
    Wanafamilia mumeambiwa muombe, sasa zembeeni mulie kilio cha kusaga meno
    MUNGU ambariki nabii wake

  • @wisemangodfrey921
    @wisemangodfrey921 5 หลายเดือนก่อน

    The woman will soon go