Nabii ss Rollinga ni kweli nilikua naota ndoto zinatimia nikiwa mschana mama yangu alitaka kunitoa kafara nilinusurika kifo baadae akaweka majini kwa mwili yangu nimeteseka sana but throu GOD s power naskiza neno kutoka kwako
Mtumishi wa Mungu Jana jioni nimeoto manyoka mingi na vingine vidudu Mingi bya kila ina , sometimes naota Kaka yangu na Baba yangu bote balishaga kufa , naomba uniombeye
Nahitaji baba uniombee mtt wangu Amepigwa ububu ila kuna ndoto niliota....mpaka hapa niliota ndoto hatari km 3,,,,,muombee. mtt wangu anaitwa Jaylaa anamiaka miwili na muez5
Shalom pastor Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 24 nimehitimu chuo toka mwaka 2022 lakini ndoto zangu nyingi ni kufanya mitihani secondary o level ama nasoma lakini nilisha hitimu huko toka 2018 mara naota kykutana na wanawake kwenye ndoto mara niote kuokota hela ,nimefanya interviews napita written naishia oral imefika hatua hata baadhi wamenikatia tamaa Naomba uniombee
Aminaaa Barikiwa sanaa Mtumishi Mimi mwenyewe niliota kunamtu alikuwa ananiosha kichwani povu likatoka jeupe sanaaa kisha miguu yangu ikiwa miguu imetumbukizwa kwenye karai la maji akaniosha namiguu maana yake nini?
Mtumishi wa Mungu niombee kwangu uchawi umeletwa na anataka kuuwa kabara vijana please pray for my children Shalom
Duu kweli Ni injili ya Mungu iletayo wokovu, barkiwa mtumishi,uwepo baba ili tupone 😢ishiiiiiiii maisha mengi nakuombea
Aminaaa barikiwa sanaa Mtumishi wa Mungu
Amina ndio baba ni kweli❤
Ameeeeen Barikiwa Sanaa Mtumishi wa Mungu
Asante baba ubarikiwe na neno la uzima nakueleza baba nazid kuimarika
Watching this today 2.9.2024...blessings to you man of God
Nabii ss Rollinga ni kweli nilikua naota ndoto zinatimia nikiwa mschana mama yangu alitaka kunitoa kafara nilinusurika kifo baadae akaweka majini kwa mwili yangu nimeteseka sana but throu GOD s power naskiza neno kutoka kwako
Great message, may all my dreams and vision be fulfilled in Jesus Christ Mighty name Amen!!!!
Amen Amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Nimemwelewa Mtumishi
Amen nimebarikiwa nakufundishwa nikiwa uganda kasese.
Asante kwa ufafanuzi. Mara nyingi napuza sana ndoto. Kuanzia leo nitakuwa nafuatilia
Asante mtumishi wa Mungu nilikuwa na ndito lkn Sasa hazipo Tena.ASANTE MTUMISHI WA MUNGU😊😊😊
Bwana Yesu asifiwe baba,mimi naota shule ya msingi daily na kijijini kwetu tena mazngira ya zamani tuu aki nateseka baba na hizi ndoto kabsa
Halaluya mtumishi niliwah kuota kifo kwa mtu wa karibu yangu nanikawambia nanikweri haikupita mda akafa mdgo wake niombee mtumish
Unapopewa taarifa km hyo ni ili ukatae kisitokee, unatakiwa kuifuta hyo mauti kwa Damu ya Yesu, batilisha, tangua hyo mauti kwa Damu ya Yesu...
Asante baba
I built a very good house. Before building a man of God came to pray for the land but since started staying there I have never remember my dreams.
Wooooiiiyeeee!!!
Naomba MUNGU anifungue niendelee kuwasaidie wenzangu
Barikiwa saana baba,nimekuelewa
Jaman pastor ni kweli jamani mim nilikuwa hivyo ,sasahivi ndoto zinapotea amen nitajitahid kuomba ndoto zirudi
MUNGU awabariki Sana ni hakika MUNGU atusaidie tuwe watu wA kuishi sawasawa na maadiri mema
Amen 🙏🙏🙏
Mtumishi wa Mungu Jana jioni nimeoto manyoka mingi na vingine vidudu Mingi bya kila ina , sometimes naota Kaka yangu na Baba yangu bote balishaga kufa , naomba uniombeye
AMEN BABA
Napiga matabu ya kiuchawi tote kwa maisha yangu na watoto wangu kwa jina la Yesu
Amen amen 🙏🏽
Nabaikiwa sana na mahubiri ya huyu pasta
🙏🏽👏🏼in Jesus name
Asanteeee Yesu
Aminaa. Baba nikweli
Amen naomba Mungu anifungue ktk hizi ndoto Amen
Nahitaji baba uniombee mtt wangu Amepigwa ububu ila kuna ndoto niliota....mpaka hapa niliota ndoto hatari km 3,,,,,muombee. mtt wangu anaitwa Jaylaa anamiaka miwili na muez5
Bwana Yesu asifiwe nimekuwa naota naongea naraisi wa nchi mara ananipa zawadi lakini sielewi maana yake nini maana mimi si mwanasiasa
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN BABA
Amen nabariki na mafundisho omega sana niombeeni nifike kanisani Mimi Niko simanjiro manyara kijijini cha narakawo
❤❤❤❤❤ Aminaa
❤❤ Amīnaa
Thank you Jesus
Ameen
Mtumish Mimi kiukwel Hali hiyo ninayo japo cjaokoka haijatnitoka nikiota kitu kinatokea na ñinapitia Mambo magumu sana kila nikijtahd kucmama nashndwa
Mungu naomba niwe naelewa ndoto
Nikweli Mtumishi wa Mungu
Ni kweli kabisa
Ni kweli amen amen
Kweli kabisa baba
Ni kweli Baba mm hapa ndoto zinizumbua sana, kuota shule ya msingi na kuota kijijini mara kwa mara.
Mwanangu noma mimi naota nipo shuleni shule ya msingi wakati wenzangu wanaandika mimi sina peni mala sina daftali
Yaani same same to me ndungu yangu
Duh yaani nyie ni kama mm hio ni ndoto ya kukurudisha nyuma kimaendeleo yaani imenichukua kama miaka 10 hv
Hiyo yamanisha hamtatoka mahali mulipo na kuendelea imba Sana ili mola afungue milango ya kusinga mbele
jamani hili kanisa liko wapi
Amen
Mungu akutie nguvu uenderee kutufunulia
Shalom pastor Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 24 nimehitimu chuo toka mwaka 2022 lakini ndoto zangu nyingi ni kufanya mitihani secondary o level ama nasoma lakini nilisha hitimu huko toka 2018 mara naota kykutana na wanawake kwenye ndoto mara niote kuokota hela ,nimefanya interviews napita written naishia oral imefika hatua hata baadhi wamenikatia tamaa Naomba uniombee
Ndoto zangu ziliisha jamani😢,
Yani nlikua nikiota lazima Jambo litokee.ila ya kwangu ninaona tu maono wakati MTU ama shida
Mungu akubariki sasa nabii ROLINGA. Ishu si kutabiriwa ishu ni roho gani inayotabiri?
Mm huwa nikiota kitu lazma kitokew ata siku mbili bado😢😢😢😢 yaan kinatokea sanaaaaaaaaa saaaanaaa sanaaaa
Huko sawa nifanyeje nirudie ndoto zangu
Omba jitakase na umkaribishe roho mtakatifu.
Nasumbuliwa SANA na ndoto Naona WATU waliokufa mara nyingi na mara nyingine Naota Niko kanisani na ndoto nyingi huwa sikumbuki nilichoota
Ameni
Nipo.
Aminaaa Barikiwa sanaa Mtumishi Mimi mwenyewe niliota kunamtu alikuwa ananiosha kichwani povu likatoka jeupe sanaaa kisha miguu yangu ikiwa miguu imetumbukizwa kwenye karai la maji akaniosha namiguu maana yake nini?
Unatakaswa na kurejeshewa kibali
Hatari iyo, pray for God protection
Hizi za kula vitu ni hatari mno.
Ndoto nipo Shule niliyosoma zaman na nipo kijijini na pia namuota baba Alisha fariki
Hayo yote nimeota sana na nilikuwa naona yote sasa sioni tena
Ndio izo ndoto sio nzur niliisi ataongelea ndoto hizo halafu nioikuwa naota nipo shule au nilipokuwa naishi zaman
Hizi ndoto jamani zimenisumbua shule Kila siku
Mtumishi naota marakwamara nipo shuleni shule ya msingi kijijini kwetu nipo nabibizangu na walikufa siku nyingi naomba maombi
Amina
Many times
10:36
Ni kweli naota ndoto lakini sizikumbuki.
Nimeshikiliwa kiroho kumbe.
Me ndo tatazo ilo
Mimi nimewaiota ndoto nimekufa
Mambo yako yamekufa, hautasonga mbele, kama haujaokoka okoka, mwambie Yesu ayafufue maisha yako. Hatima yako imekufa.
Hii ndoto ya kutoa funza sehemu za siri nayo cjui ina maana gani
Nimm kabisa huyo naota kila kitu navoote alivofanyiwa mwanangu niliota tangu nikiwa na mimba...
hakika niliota boyfriend wangu ameniacha nakweli aliniacha na sasa amemvisha Pete ya uchumba m2 mwingine
Pole.hakuwa mpango wa Mungu kwako
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏
Amina
Ameen
Ameeen