Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Waooooooo na Mungu akutunze kwa hivyo tu kutambua nafasi yake ktk uongozi wako Pooo Mungu hakuachii wanaokuchukia we nyosha mikono juu wapambane na sir God ❤
Amiina ya rabi mungu mzindishie mtumishi wako makonda pamoja na mama yetu rais wetu na viongozi wote kwa ujumla mungu awape afya njema na umri mrefu amiin❤
Makonda wewe ni simba wa Yuda. Mwenyezi Mungu kaweka kitu kikubwa sana juu yako. Akili nyingi sana mdogo wangu. Mwenyezi mungu akujalie afya njema na uzima tele.
Mmekosa viongozi hadi mmpendekeze chawa Makonda anayetuhumiwa kuteka na kuua watu wasio na hatia,. Nilimpenda Magufuli lakini kwa hili la kututengenezea chawa na miungu watu zero kabisa. Mmewauza na kuwadhalilisha na kuwadhulumu Wamasai Ngorongoro halafu mnajisifia upumbavu na ukatili! Mnawaondoa ili kupisha waarabu wenu. Mungu anawaona na amina atawaadhibu.
Mungu Baba na Azidi kukutunza na kukulinda Mh. Makonda Mungu Baba ana kupendelea na wewe endelea Kumpenda Bwana Mungu wako na kumkumbatia kwa kuwa ndio Nguzo yako Msaada wako wa Karibu Ngome yako Jiwe Lako la Mpempeni na Matumaini yako kwa Kila siku ya Maisha yako Utukuzwe Mungu kama uishivyo kwa Ajili kiumbe wako Makonda nasi na Vizazi vyetu Milele Amina.
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Mnasema hivo ila hatujawahi ona aliye shinda
Sundar
'n @@mwanawamfalmetzMB h VC nmb MB MB MB não boa b MB MB BBC ll. Na tim kkkkd em m MB😮 HP kkkk km mmmmm😮 HPo
Waooooooo na Mungu akutunze kwa hivyo tu kutambua nafasi yake ktk uongozi wako Pooo Mungu hakuachii wanaokuchukia we nyosha mikono juu wapambane na sir God ❤
Nimeipenda hiyo safi sana makonda mungu akitangulie
Amen Kwa kutambua kuwa MUNGU yupo safiiiii sanaaaa
Makonda mi nakukubali sana brother, Mungu wetu akulinde daima
Ni kiongozi anaejiamini sana
Paul makonda, indeed you're my inspiration, i like your leadership style, asante sana mungu awe pamoja nawewe
amina
Kiongozi mzuri mbunifu anaye penda Kila mtu muadilifu ❤❤❤❤
Mwenyez mungu akupe afraid njema na uhai mrefu uje uwe rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania insha Allah.
Magufuri hajae huyo
Hapo ndipo ulipo waacha mbali wenzio viongozi wa dini ndo msingi wa amani wa Taifa hili hongera kwako @Rc Makonda
Makondaaaa we ni mwambaaaa....I like You
Makonda nakuita mjomba wangu....Mungu akubariki sana,hawakuwezi mjomba
Very creative and innovative leader may God bless you and guide you in Jesus Christ of Nazareth
Nampenda sana makonda tunatamani uwe rais wa nchi
Amiina ya rabi mungu mzindishie mtumishi wako makonda pamoja na mama yetu rais wetu na viongozi wote kwa ujumla mungu awape afya njema na umri mrefu amiin❤
Duu Makonda unatisha kwakweli. Hongera sana kwa ubunifu. Mwenye wivu ajinyonge
Hakika ajinyonge tu
Amina Kwa jina la YESU
Asante sana Paul Makonda,
Mungu kwanza
Yani huyu makonda mungu amempa kipaji na hekima ktk kuongoza
Mashaallah hongera sana
Makonda is the visionary leader, god bless him, our region is going to shine abroad. 👏
Mungu akubariki
Sana Makanda
Asante sana kaka kwa kumtanguliza MUNGU kuwa wa kwanza katka majukumu yako,muweke MUNGU mbele daima na ulinzi wa MUNGU uwe juu yako.
Makonda najua unapitia mengi na unayaweka moyoni mimi nakuombea kwamungu akulinde akupe maisha marefu ulipo nipo ❤❤💪🙏🙏🙏🙏
Mimi naona kama huyu sio yule Makonda wetu tumemzoea Mungu amtunze😢
@@talentshow2024 kapoa sanaa
Mungu mbele haleluya.
Safi sana Makonda kwa kumtanguliza Mungu kwanza
Nice 👍 Makonda God bless you 10:08
Daah furaha sana... All the best kiongozi wa mfano
Mwenyezi Mungu awe na wewe popote uendako Paul Makonda
Po Makonda una Akili kubwa Sana
Asrm aleykum
Kiukwer wakuu wa mikoa wete wangekua kama makonda Tanzania ni vigeregere tu
🫡Maombi yangu kwa RC tukubali kutawala kwa kujifunxi ili kuifanya Tanzania taifa kioo kwa watanzania Makonda Recpect
@@MedsonUlendoMungu atusaidie
@@trophywilson7211 Amina hakika
Narudia Recpect RC Makonda mungu akupe maisha marefu
Makonda wewe ni simba wa Yuda. Mwenyezi Mungu kaweka kitu kikubwa sana juu yako. Akili nyingi sana mdogo wangu. Mwenyezi mungu akujalie afya njema na uzima tele.
Muñgu Yuko pamoja nawe Muñgu kwanza mengine nyuma ❤❤ ubarikiwe Makonda
Makonda yupo sahihi anafaa kuwa raisi sio wakuu wa mikoa wengine anaangalia matumbo yao na familia zao
Hongera Sana mteule wa Mungu
Yesu Kristo ni Mungu, katika Bwana tu makonda anasimama nakwenda Basi audhihirishe ukuu wa Mungu siku zake zote.
Exemplary leadership.
Hongera sana Mh. Makonda
Mungu azidi kukulinda Mwanangu Makonda Rc.❤❤❤🎉🎉🎉
Mungu awabaliki viongozi wote mlioshiliki ktk mkutano huo kwa maneno matamu yenye kujeng taifa letu . Mungu awabaliki sana.
Nimekipenda mkutano wa rais
Makonda mungu akulinde Sana Baba yangu
Hongera sana kiongozi kwakuwa na mbegu njema ya uongozu Mungu akupe maisha marefu uweze kuongoza na kuiletea maendeleo nchi ya Tanzania
Nikikuona tu mwanangu ninafurahi sana.Mungu akuongezee hekima.Ubarikiwe sana.
Smart Men has spoken Makonda ndo mheshimiwa pekee ninaeweza kumpa airtime yangu.
RC Makonda Mungu akubariki sana ukalindwe na malaika dhidi ya maadui uishi maisha marefu. Amen
2030 Tanzania president ...Paul christian makonda......viva makonda vivaaa
Mmekosa viongozi hadi mmpendekeze chawa Makonda anayetuhumiwa kuteka na kuua watu wasio na hatia,. Nilimpenda Magufuli lakini kwa hili la kututengenezea chawa na miungu watu zero kabisa. Mmewauza na kuwadhalilisha na kuwadhulumu Wamasai Ngorongoro halafu mnajisifia upumbavu na ukatili! Mnawaondoa ili kupisha waarabu wenu. Mungu anawaona na amina atawaadhibu.
@@nkwazigatshaAcha Awe Chawa Mbowe Kashindwa kugombea anataka Lisu nasi Lisu bora Makonda Lisu anajipenda Pekee yake
@@trophywilson7211kwani unaowasifia wanakupenda wewe ?je unafaidika na nini ,kama sio wanafaidika wao na familia zao wewe umebaki kusherehesha
@@nkwazigatshaila ww unajiskia kweli
@@LightnessMassawe-to3vb Kiru! Kujisikia nini tena?
napenda hutuba zako uwa zinanipa faraja kama namsikia anko magu ongera sana kaka na asante mama rais wangu nakupenda sana
The best Rc...❤may God Bless him.
MAKONDA 🎉
Nice 👍 Makonda God bless you
Hongera sn makonda wewe ni raisi wa baadae upo vizuri sn
Makonda Mungu azidi kukusimamia
Huyu Makonda ni bonge la mtu,keep it up brother Makonda
Allah akuweke makonda mdogo wangu❤❤❤
Hongera Sanaa poor makonda M/mungu akusimamie Kila atua unayo piga akupe umri mrefu na aendelee kukupa wadhifa mkubwa kuliko huwo ulio nao♥️
Makonda unaanza🫶🏾🎉🎉
hutaki????
Mungu akubariki sana RC Makonda, kwa kumtanguliza Mungu kwanza kwa kila jambo
Mimi ni mu Congo lakini Makonda nakupenda sana una musimamo wa shujaa Magufuli Mungu akuzidishie baraka na amani ndugu language.
Ameen! Umeeleweka na umeandika vizuri sana. Kiswahili kizuri kama lugha zingine za mataifa naomba ukaribie Tanzania ujifunze zaidi.
@@MusaNgao asanteni ndugu mwenyezi Mungu akupe baraka nangetamani unufundishe kiswahili sanifu ndiyo ligha ya Tanzania ninayoipenda sana.
Amtumainiae Mungu ni kama mlima Sayuni.
Kaka Makonda katisha sana
Mungu nimwema sana Kila kuitwapo leo, tuwe wanyenyekevu tuwe watii Ili Mungu aendelee kuwa mwema kwenye maisha yetu
Kama vile namuona magufuri
Makonda Mungu akubariki sana, nimependa sana ulivyomtanguliza Mungu, angekua mwingine angeanza na hotuba yake TU.🎉🎉❤❤
Very creative
Makondaaaaaa babaaaaa you're the best leader at moment hakuna kama Makonda
Huyu jamaa makonda ndiyo rais 2030 mama mkabidhi nchi utaiacha mikono salama sana
Na Ikawe ila Mbowe Angetangulia
Amina
Makonda Hongera sana unaweza Tena unaweza unaweza sana Mungu azidi kukuongoza daima milele
Huyu Mtu ana akili ana akili tena no doubts about that Mungu amlinde na kumpa umri mrefu
Indeed
We love Mr Makonda and we need you as our next president!
Kijana piga Kazi Mungu yu pamoja nawe daima.
Mungu Baba na Azidi kukutunza na kukulinda Mh. Makonda Mungu Baba ana kupendelea na wewe endelea Kumpenda Bwana Mungu wako na kumkumbatia kwa kuwa ndio Nguzo yako Msaada wako wa Karibu Ngome yako Jiwe Lako la Mpempeni na Matumaini yako kwa Kila siku ya Maisha yako Utukuzwe Mungu kama uishivyo kwa Ajili kiumbe wako Makonda nasi na Vizazi vyetu Milele Amina.
Ubarikiwe kwa hekima uliyo nayo kwa watu wote zaidi ukimtanguliza mungu kwa kila jambo.ubarikiqe sana
Paul Makonda. Wewe ni Mfano wa Kuigwa👏👏
Mungu aenderee kukupa ujasiri mkuu wa mkoa Arusha
Hongera sana viongozi wetu
Mwamba makonda majembe wa 🇹🇿 Tanzania
MAKONDA ✔️ from 🇺🇬✌🏿
Mungu akulinde mkuu wetu wa mkoa Mungu akupe afya njema kijana wetu Makonda kumtanguliza Mungu nimeipenda hiyo Mungu ibariki Tanzania na wananchi wote
Mh. Makonda all the time anafikiria kutatua shida za watu ndo furaha yake. Ubarikiwe sana
Safi Saana
Mkuu wa mkoa Arusha safi sana kumtanguliza Mungu.
Mungu akubariki jembe letu
Mungu hawez kukuacha maana unamtanguliza na kusaidia wahitaji
I like this man makonda he's very knowledgeable and he respects and fear God, wish he was kenyan he could bring a little bit of sanity.
MAKONDAAAA🔥Mwenyez Mungu akutunzee Bro🙏🏼
Pamoja sana nawatakia usiku mwema wananchi
M barikiwe wote kwa kweli
Hekima na neema ya Mungu akutunze
Mr. Makonda you're the greatest l like your way you're 🎉take five.
Leadership ❤
Mungu ongoza amani na upendo
Ww jitayarishe kuja ongeza inci ya congo nani ana nisapoti aje rdc anipe like zangu tu
Mungu akubariki kiongozi makonda Huwa nakufuatilia sana kiongozi wangu kazi nzuri sana kiongozi
Tushuku Mungu kwaajili ya mkuu wa mkoa wetu Makonda
Safi sana MH Makonda , Endelea kumtanguliza MUNGU hivyo hivyo!
Mungu aendelee kukulinda siku zote za maisha yako mheshimiwa Makonda kwa ulivyo mbunifu na mtetezi wa wanyonge❤
Yani Makonda kila atakachokifanya kukiongea kukisema kinakuwa na maana Sana huyu Makonda anazidikupenya2
Ameen
Mungu kwanza online mkutanoni💥☀💥☀🔥🔥🇹🇿🇹🇿
Respect 🙏🏼brother 🎉