"𝘏𝘪𝘬𝘮𝘢 𝘕𝘢 𝘜𝘱𝘰𝘭𝘦" | 𝗠𝗮𝗵𝗶𝘇𝗯𝗶 𝗪𝗮𝗸𝗶𝗷𝘂𝘄𝗮 𝗛𝗮𝘄𝗮𝘁𝗮𝗻𝘆𝗮𝗺𝗮𝘇𝗶𝘄𝗮 𝗪𝗮𝗸𝗶𝗸𝗵𝗮𝗹𝗶𝗳𝘂!

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 77

  • @ahlulhadeeth
    @ahlulhadeeth หลายเดือนก่อน +2

    لِّيَهۡلِكَ مَنۡ هَلَكَ عَنۢ بَيِّنَةٖ وَيَحۡيَىٰ مَنۡ حَيَّ عَنۢ بَيِّنَةٖۗ

    • @user.-_5943
      @user.-_5943 หลายเดือนก่อน

      { فَبِمَا رَحۡمَةࣲ مِّنَ ٱللَّهِ لِنتَ لَهُمۡۖ وَلَوۡ كُنتَ فَظًّا غَلِیظَ ٱلۡقَلۡبِ لَٱنفَضُّوا۟ مِنۡ حَوۡلِكَۖ فَٱعۡفُ عَنۡهُمۡ وَٱسۡتَغۡفِرۡ لَهُمۡ وَشَاوِرۡهُمۡ فِی ٱلۡأَمۡرِۖ فَإِذَا عَزَمۡتَ فَتَوَكَّلۡ عَلَى ٱللَّهِۚ إِنَّ ٱللَّهَ یُحِبُّ ٱلۡمُتَوَكِّلِینَ }
      [Surah Āli-ʿImrān: 159]

    • @user.-_5943
      @user.-_5943 หลายเดือนก่อน

      Wacheni Kudanganya Awaam Nyinyi Ndio Mahizbi Na Sifa Zote Za Uhizbi Muko Nazo Ghuluu Imewafika vichwani.Rudinii Kwa Maulama muone kina nani wako katika Haqii Ni Nyinyi muliowachagua watu fulani Mtu akiwa afwatani na Rai Zenu ni Hizbi😂😂 Huu ndio Uhizbi Rudi ukasome Fatwa za Sheikhul Islam Ibnu Taymiyyah na Ibnu Uthaymin. Pili Hii ni katika Ghiba na Khiyana Ya Kielmu Ikiwa nyinyi wa Kweli Dr.Islam Yupo Mombasa Na Ashasema Kuhusu Hiwar Si ajitokeze Mmoja wenu Sheikh Abu Hashim , Abdallah Humeid na Sheikh Qassim Mullah waende wakafanye Hiwar hii Ndio Njia ya Salaf wala Ckumzungumzia Mtu Kando kisha Kujiona Muko na Ilmu😂.Tatu Hakuna Ilmu ya Jarhu wa taadil Kwa Sasa Ilmu ya Jarhu wa taadil ilikuwa niya isnad hii munayoifanya ni Ghiiba Tubuni kwa Allah.Nne Dr hapo ameongea kwa uchache RUDINI KWA RISALA YA SHEIKH ABDUL MUHSIN AL ABAD MUKAIRADDI KAMA KWELI NYINYI MWATAFUTA HAQII😂

    • @salafi.
      @salafi.  หลายเดือนก่อน +1

      فقال: يا مُعاذُ، أفتَّانٌ أنت؟! أفتَّانٌ أنت؟!​@@user.-_5943

    • @user.-_5943
      @user.-_5943 หลายเดือนก่อน +2

      ​@salafi.
      3/634- وعن عائشة رضي الله عنها: أَن النبيَّ ﷺ قَالَ: إِنَّ اللَّهَ رَفِيقٌ يُحِبُّ الرِّفقَ، وَيُعْطِي على الرِّفق ما لا يُعطي عَلى العُنفِ، وَما لا يُعْطِي عَلى مَا سِوَاهُ رواه مسلم.
      4/635- وعنها: أَنَّ النبيَّ ﷺ قَالَ: إِنَّ الرِّفقَ لا يَكُونُ في شيءٍ إِلَّا زَانَهُ، وَلا يُنْزَعُ مِنْ شَيءٍ إِلَّا شَانَهُ رواه مسلم.
      5/636- وعن أبي هريرةَ  قَالَ: بَال أَعْرَابيٌّ في المسجِد، فَقَامَ النَّاسُ إِلَيْه لِيَقَعُوا فِيهِ، فَقَالَ النبيُّ ﷺ: دَعُوهُ، وَأَرِيقُوا عَلى بَوْلِهِ سَجْلًا مِنْ مَاءٍ، أَوْ ذَنُوبًا مِن مَاءٍ، فَإِنَّما بُعِثْتُم مُيَسِّرِينَ ولَمْ تُبْعَثُوا مُعَسِّرِينَ رواه البخاري.
      6/637- وعن أَنسٍ ، عن النبيِّ ﷺ قَالَ: يَسِّرُوا وَلا تُعَسِّروا، وَبَشِّرُوا وَلا تُنَفِّرُوا متفقٌ عَلَيْهِ.
      7/638- وعن جرير بن عبداللَّه  قالَ: سمعتُ رَسُولَ اللَّه ﷺ يقُولُ: مَنْ يُحْرَمِ الرِّفْقَ يُحْرمِ الخيْرَ كُلَّهُ رواه مسلم.
      Rudi ukasome Maneno Ya Sheikh Bin Baz Kwa موقع "yake Na Risala ya Sheikh Abdul Muhsin Al abad رفقا أهل السنة بأهل السنة utapata walivyoelezea kisha ndio muje mufanye radd

    • @nurdinali4026
      @nurdinali4026 หลายเดือนก่อน

      الرد على الافتراءت والأباطيل لالمتباهي بالكتب والأقاويل........د. إسلام محمد سالم

  • @HassanDieudone
    @HassanDieudone หลายเดือนก่อน +3

    Allah akubarik, akuhifadhi Sheikh Abdallah Humeid.
    Hii channel Allah ajaliye BARAKA Kwa kazi kubwa wanao fanya Kwa ku sambabaza Uislam sahiihi.
    Tukonafata kutoka Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬
    Allah ahifadhi naku baarik Da'awatu salafiya popote.
    Hii channel musichoke, waislam wata elewa tu

  • @AbulqassimAshirazy-yd7th
    @AbulqassimAshirazy-yd7th หลายเดือนก่อน +2

    Alhamdulillah, watetezi wa daawa salafyah Mnafanya kazi nzuri Allah akulipeni kheri.

  • @sadofaraji5999
    @sadofaraji5999 หลายเดือนก่อน +1

    “Na kwa rehema ya Mwenyezi Mungu mkawafanyia upole. Na lau ungelikuwa mkali na mgumu wa moyo wangeli jitenga nawe. Basi wapite (makosa yao), na waombee msamaha. na shauriana nao katika mambo.” [Aal ́Imran 3:159]

  • @IssaSimbilla-hw9ev
    @IssaSimbilla-hw9ev หลายเดือนก่อน +1

    ALLAH akuhifadhi shekh Abdallah humeid usichoke bainisha haq kwa mahizb nawewe umekua mwimba kwa wazushi woote kwaajili ya haq

  • @sadofaraji5999
    @sadofaraji5999 หลายเดือนก่อน +1

    "Lau Mola wako Mlezi angetaka wangeli amini watu wote katika ardhi. Basi je, wewe utawalazimisha watu kuamini?" (Qur’ani 10 99

  • @sadofaraji5999
    @sadofaraji5999 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa hiyo waonye: kazi yako pekee ni kuonya, hutakiwi kuwalazimisha."
    (Qur’ani, 88:21-22

  • @KaramaKarama-jm7qo
    @KaramaKarama-jm7qo หลายเดือนก่อน +2

    Endelea kutuelimisha na kubainisha hakki sheikh Abdallah

  • @user-yu9gy6dg3g
    @user-yu9gy6dg3g หลายเดือนก่อน

    0:35. 0:53 umepatia sana duktur ingawa una madhaifu yako kwenye baadhi ya elimu na hakuna bin adam aliyekamilika nakuunga mkono ikhwa fil imaan we endelea kutupa mawaidha achana na wanazayuni wakubwa hawa sio waislamu ni mayahudi pia. mkono wa marekani umo hakuna muumini anaweza mdhalilisha mwenziye wala kumtukana ,kumkebehi lakini hawa wanathubutu kufanya hivyo mtihani sana ni kansa ya huu umma wallahi namuomba . Allah awaongoze katika haqqi awaonyeshe uislamu safi maana hawaujui hata uislamu ni nini hadi kufika khatua ya ndugu waislamu kabsaa tena ndugu baba mmoja mama mmoja kukatana ata salamu hawatoleani sababu nini uyu asheherekea maulid nami salafi sisheherekei , huu sio uislam tunapaswa kuungana na kuwa pamoja kama waja wema waliotangulia wassalam aleykum.

  • @ShabaniJumbe
    @ShabaniJumbe หลายเดือนก่อน

    Hizo dalili alizozitoa ukiziangalia ndio zinampinga mwenyewe huyo humeid

  • @ShabaniJumbe
    @ShabaniJumbe หลายเดือนก่อน

    Shekhe humeid hio hadidh ya usma ndio inakurud mwenyewe tu

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 หลายเดือนก่อน +1

    أثلثارون ،ولمتشادقون ،ولمتفيهقون
    Tabia hizi alizichukia Mtume swalla LLAHU alayhi wassallam. Na zitawaweka wenye nazo mbali na Yeye siku ya Qiyama.Mjitathmini hamna hati miliki ya Uislamu. Nani kawapa kibali cha kuwaingiza Waislamu na kuwatowa katika Manhaj. Mjitathmini acheni uongo na hasadi. Kama mmeshindwa kufanya Daawa si mkae kimya. Na sasa husuda zenu zipo wazi mchana.

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 หลายเดือนก่อน

      Khusuma na hasadi katika pazia ya Dawat Salafiya kama ilivyo "uyahudi nyuma ya pazia la ahlul bayti.

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 หลายเดือนก่อน

      Waharibifu wa Dini. Kutafuta malumbano kila uchapo. Usifanye Daawa kama hujasoma Usul, ndo maana mnaharibu.

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 หลายเดือนก่อน +2

      Hatutoa watu katika manahaj sisi tunabainisha haqq ikiwa utafuata sawa ukiwa utabaki kwenye uhizbiyyah ni juu yako lkn haqq lazima tutabainisha ,,wewe ndio unayewatoa watoa waislamu kwenye manhaji kwa kuwa umewaita mjitathmiina tayar ushawatoa wenzako ama huoni wewe ukitoa wenzano mwajiona nyinyi mkiambia mko mahizbiy ,,

    • @bakeroabdalla7068
      @bakeroabdalla7068 หลายเดือนก่อน

      soma bro wapi ngamia na kinyesi Cha ngamia​@@ahmadmzoa74

  • @LautaroIshak
    @LautaroIshak 13 วันที่ผ่านมา

    Mtume alika pamoja na wanafik hukuwafukuza kwann na wanafik ni Watu wabaya zaid kuliko makafir

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 10 วันที่ผ่านมา

    Hasadi na khusuma nyuma ya pazia la Assalafi Asswalih. Kama ilivyo :"uyahudi nyuma ya pazia la ahlul bayti ".Wagonjwa wa mioyo.

  • @ShabaniJumbe
    @ShabaniJumbe หลายเดือนก่อน

    Sasa uoni kwamba kwa huyo mtoto kumuamlisha mtt kwanza panatakiwa hekma sasa ww unayomtusi na kumdhalilisha ulishawahi kukutana nae na kumwambia au wa umetumia hekma gani
    Shekhe umesoma ila unaonekana kama haujasoma

  • @abuuaisha6110
    @abuuaisha6110 หลายเดือนก่อน

    Wekeni picha zenu pia sio kuweka picha za watu tu zenu hamuweki

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib หลายเดือนก่อน

    Eti sassallam
    Hata kutamka hujui wewe dilele au lunch lule.

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib หลายเดือนก่อน

    Wewe mtoto hizi dalili alizozitoa dr islam sio sahihi?
    ?????

  • @GOP-Abdallah
    @GOP-Abdallah หลายเดือนก่อน +2

    chuki zinawasumbua

    • @abdulhamidyahya5904
      @abdulhamidyahya5904 หลายเดือนก่อน

      Biidhinillah utaifahamu haki

    • @GOP-Abdallah
      @GOP-Abdallah หลายเดือนก่อน

      @@abdulhamidyahya5904 tumeifahamu tayari alhamdlillah

  • @sadofaraji5999
    @sadofaraji5999 หลายเดือนก่อน +1

    Anachosema Sheikh Islam Ni kufuata quran lingania kwa niia ya Mola wako kwa hekima na mawaidha mazuri.
    Mtume ameambiwa na siyo Sheik Humeid ukiwa mkali watakukimbia ,aambiwa Rahmatu lilalaamin
    Sheikh kulea watoto ni tofauti.

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 หลายเดือนก่อน

      Ama kweli humuelewi sheikh humeid wewe,,,hebu sikiliza vizuri ,,,aya haijamaanisha kuwa mkali sio hekma na mawaidha mazuri ,,na sio lazima kila pahali na uwe mpole ndio itakuwa ni hekma na mawaidha mazuri,,,na sheikh humeid ametoa mifano mizuri tu ,,tatizo la Dr islam ni kwamba hufai kuwa mkali kabisa kila wakati na kila pahala uwe mpole tu na hii sio hekma Sasa,

    • @user.-_5943
      @user.-_5943 หลายเดือนก่อน

      ​@@ABUUJAAFAR92 Hii Ndio Shida ya Kutosoma Quran Na Kuielewa kama Salaf Walivyoelewa Ndio kujakubobojoka bila ya dalili Hivi Katika Qur'an Allah ametukataza kuwatukana makafiri sababu ni kuwa watamtukana Allah kwa uadui Sasa Nyinyi Kazi Kubeza Watu Kisha wataka watu wafwate Hilo Hizb lenu la kisalafi

  • @abuuaisha6110
    @abuuaisha6110 หลายเดือนก่อน

    Sasa Dr Islam ameitafsiri makosa aya?

  • @user-ug8hc4yh5k
    @user-ug8hc4yh5k หลายเดือนก่อน +1

    Nyinyi masalafiya jadidah
    Mmekuja kupasuwa swafa za watu wa sunaa
    Nyinyi masalafiya jadidah amzungumziagi ubaya wa maulid na watu wa bidah ya maulid
    Ni kuwatowa watu wa sunaa kwenye sunaa

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 หลายเดือนก่อน

      Si kweli mbona ubaya wa maulid wazungumziwa tu kila Mara,,,lkn pia lazima tupambane na huu uhizbiyyah na mahizbiy kwa ujumla,,,na huku siko kuupasua umma wa wanasunna Bali ndio kujenga umma wa Sunnah uliomsafi

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 หลายเดือนก่อน

      Alafu na wewe kuwaita wenzako majadida hujawagawa hapo?

  • @KubwaKuliko-dk4bm
    @KubwaKuliko-dk4bm หลายเดือนก่อน +2

    Mm sijafaham naomba nifahamishwe,,pakisemwa mahizbi panakusudiwa nini??
    Maana naona hao wanaitwa mahizbi ,naona wanajitahidi katika kutangaza sunna,,sasa sijafaham neno hili mahizbi sajafaham kasoro ya kutangazw hivyo NAOMBA MSADA WAKUFAHAMISHWA...

    • @Alakhyasirabuammar
      @Alakhyasirabuammar หลายเดือนก่อน

      Assalaam aleikum warahmatullahi @kubwakuliko .. hutaelewa bila ya kusoma , anza na hichi kitaab al usuwli althalaatha. Utaelewa

    • @zanzibaronlytv3470
      @zanzibaronlytv3470 หลายเดือนก่อน +1

      Mahizbi ni watu wanajinasibisha na sunna lakin wanasifa nyingi za bidaa mfano wao ni hiZi
      1, wanamkubali said qutub na kumkataa albani
      2,wanajificha na siasa za kidemocrasiya
      3,ni wanaharakati
      4,wanapenda maandamano
      5,wanawakosea adab viongozi ktk memmbar
      Na nyengne nyingi ,
      Ukisoma utajua zaid ya akhi

    • @AbuuDharry
      @AbuuDharry หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/inX5fhumLyU/w-d-xo.html
      "NI NINI MAANA HIZBIYYAH ??, NI NINI MAANA YA FULANI NI HIZBY ??"

    • @KubwaKuliko-dk4bm
      @KubwaKuliko-dk4bm หลายเดือนก่อน

      @@AbuuDharry allah akulipe kheri naifungua hii kwa faida ndugu allah anifahamishe

    • @user.-_5943
      @user.-_5943 หลายเดือนก่อน

      ​@@zanzibaronlytv3470 Ewe Mzungumzaji Katika Uliyoyataja Dr islam Yuko na Sifa gani Hapo😂😂😂😂😂😂

  • @rushu1232
    @rushu1232 หลายเดือนก่อน +3

    Wacha upuzi dilele na duktur wapi na wapi Dr.lslam amesoma na alim dilele ana ilmu gani ufedhuli mwingi.

    • @KaramaKarama-jm7qo
      @KaramaKarama-jm7qo หลายเดือนก่อน +1

      Kuwa na heshima kiasi.Hapa hatuongei ilmu Bali twaongea hakki.Kuwa mwerevu baba wewe pia nenda kwa sheikh Abdallah utafunzwa hata wewe

    • @rushu1232
      @rushu1232 หลายเดือนก่อน

      @@KaramaKarama-jm7qo kwangu sio sheikh hata kidogo naijua nasaba yake ya ilmu yote munawar hakumaliza kwa ufedhuli na Yemen pia hakutakharaj kwa sheikh wake alipokua akitoa darsa saba saba niliwahi kuhudhuria afadhali bahero .

    • @KaramaKarama-jm7qo
      @KaramaKarama-jm7qo หลายเดือนก่อน +1

      @@rushu1232 Usimsikize wewe Mimi namsikiza na ananifanya nijuwe hakki.Acha kuwa na kibri habib

    • @abuuawadhassalafy1594
      @abuuawadhassalafy1594 หลายเดือนก่อน +1

      I​@@rushu1232ogopa mungu Wacha kushuhudia urongo sisi shk abdallah twamjua vizuri twatoka nae mtaa mmoja usiseme urongo sheikh Abdallah munawar alimaliza nahäta huyo mufti wenu Dr Islam pia ni shahidi WA hilo na Yemen alikaa miaka yakutosha n kusoma hata kama unachuki zako kua na uadilifu kumbuka kesho utasimamushwa mbele ya mola wKo na kutoa ushuhuda wakila unachojinasi Isha nacho

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 หลายเดือนก่อน

      Maneno yako hayana natija yoyote kwa kuwa sio ya kiilmu Bali umeongea Kama shabiki tu,,,,walaakin ukweli ni kwamba sheikh humeid juhudi ni kubwa katika daawa na kufundisha kumliko Dr Islam ata Kama Ana ilmu nyingi lkn faida yake ni ndogo Sana ukiiilinganisha na sheikh humeid,,, sheikh humeid ilmu yake kidogo lkn Allah amemuafikia na anaifanyia kazi ilmu yake kwa juhud kubwa sana na huyu ndie mwenye kuzingatiwa kuwa ni aalim ,,,aalim ni yule mwenye kuifanyia kazi ilmu yake.
      Ebu tizama vitabu alivyofundisha sheikh humeid alafu linganisha na vy Dr Islam utakuta Dr Islam amaechwa mbali.
      Njoo kwenye kupambana na wazushi na kuwatahadharisha utakuta humeid yuko mbele Sana infact ata Dr Islam hajawahi tahadharisha mzushi ata mmoja .ssa vipi Sunnah itanusuriwa kupitia masheikh Kama kina Dr Islam ambao hawataki kuwatahadharisha wazushi ambao wamejaa kweli,,,hebu tafakar Sana ndugu wacha ushabiki ,,sisi hatupingi kuwa Dr Islam Ana ilmu lkn kwenye daawatu salafiya amepinda Sana.

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku หลายเดือนก่อน +1

    Huyu shehe kazi yake n chma hichi chake cha usalafi ameibuka juzi kazi n raddi tu kaa usimeshe watu acha ujadida bana karne hii neda kapige raddi wanao mkufurisha ibn taymiyya

    • @IssaSimbilla-hw9ev
      @IssaSimbilla-hw9ev หลายเดือนก่อน +1

      Nikafikil unampinga kwa hoja kumbe manenotu buree sikiliza mazungumzo ya haq ya Abdallah humeid na mifano hai

    • @sharifuburuhani1969
      @sharifuburuhani1969 หลายเดือนก่อน

      Huyu dilele na genge lake ni Mutafarrikuun
      wafarikishaji wa ummah, si watu wa kuwasikiliza wala kuwafata!

  • @sharifuburuhani1969
    @sharifuburuhani1969 หลายเดือนก่อน

    Mawahabi ni kundi la wahuni lililofadhiliwa kuwafarakanisha ummah wa waislam ili watawaliwe vizuri

    • @trickystuff5972
      @trickystuff5972 หลายเดือนก่อน

      Soma vitabu vya sheikhul Islam Muhammad ibn abdulwahhab.
      Haqqi itakuwa clear insha'Allah.
      Tuulize Allah(SWT) atuongoze.

  • @ShabaniMchemba
    @ShabaniMchemba หลายเดือนก่อน +2

    Hii channel ya kijinga sana 😂

  • @khalidabduhamidhamid8641
    @khalidabduhamidhamid8641 หลายเดือนก่อน

    Dilele kapige goti kwa Dr islam ufundishwe dini huna ujualo ...ufidhuli mwingi tu

    • @abdulhamidyahya5904
      @abdulhamidyahya5904 หลายเดือนก่อน +1

      afundishwe kuhalalisha Ribaa

    • @hishamawadh2447
      @hishamawadh2447 หลายเดือนก่อน

      Riba riba toa ushahidi dr islam amehalalisha riba si uonge urongo hapa

    • @abdulhamidyahya5904
      @abdulhamidyahya5904 หลายเดือนก่อน

      @@hishamawadh2447 gulf bank ni bank ya riba

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 หลายเดือนก่อน +3

    Wanajiita Salafi lakini sio. Wanawaita Waislamu wenzao mahizbi lakini wao mahizbi. Uongo na kufanya editing ili kubadilisha mafhum. Tabia zao mbaya. Nafsi zimeharibika kwa hasadi na khusuma. Dr.Islam usirudi nyuma,ALLAH A'ZZA WAJALLA Akuhifadhi. Kikundi hiki wagonjwa tunaelewa.

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 หลายเดือนก่อน +1

      Mbona mwajisahau si nanyi mwawaita wenzenu majadida.,,

    • @YusufAli-gc9cu
      @YusufAli-gc9cu หลายเดือนก่อน +1

      Acha kupelekwa na hisia,,,we fuata haki

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 หลายเดือนก่อน

      @@YusufAli-gc9cu Sio hisia. Nyie ndo mnapelekwa na hisia, mnakuwa kama makhawariji. Daawat Salafiya ni kazi Tukufu sana lakini nyinyi mmekuwa mnaitumia kama pazia la kupitishia matamanio yenu ya nafsi kama wanaoutumikia uzayuni nyuma ya pazia la ahlul bayti. ALLAH A'ZZA WAJALLA Daawa Ameiwekea misingi. Mtume swalla LLAHU alayhi wassallam Amekuwa ndo mfasiri wa misingi hiyo kimatendo. Nyie mnawatukuza waalimu wenu mpaka mnapitukia mipaka. Wao kama watu wanapatia na wanakosea. Tabia zao mbaya zinainyongesha Daawat Salafiya,sehemu kubwa ni ushabiki kama wa football. Watu Aqida zimeyumba akhlaqi zimepinda. Tufanye Daawa zenye Ikhlaas tuache ubishoo.

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 หลายเดือนก่อน

      @@YusufAli-gc9cu Assalafi Asswalih hawakuwa waongo, wala hawakuwa athartharuuna,wala mutashaddiquuna, wala mutafayhiquuna (almutakabbiruuna).Nyinyi mnajiita Salafi tu kwa ubishoo lakini tabia zenu na wao ni mashariki na maghribi. Mnawasingizia Waislamu,mnawatusi, mnapitukia katika yale hamna mamlaka nayo. HAPANA APASAE KUABUDIWA KWA HAQQI ILA ALLAH A'ZZA WAJALLA HANA MSHIRIKA.