VIPI TUNAAMILIANA NA JAMAA ZETU AMBAO SI MASALAFI ؟؟ - Sheikh Kassim Mafuta Kassim حفظه الله تعالى
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 24 พ.ค. 2024
- Sheikh Abul Fadhl Kassim Mafuta Kassim Othmaan حفظه الله تعالى ورعاه
#masalafi #salafi
#sheikhkassimmafuta #maahadpongwe #dr.islam
@fauzproduction
Allah akuhifadhi sheikh Abdul fadhil Qassimu mafuta Qassimu
Nashukuru sasa mnasema Mpumbavu Mafuta SIYO MAASUUM HAPO NAWASHUKURU HOPA KUTAMBUA WAPO MAASUUM SASA TUNAANZA KUZUNGUMZA HONGERENI 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
Allah amuhifadhi shekh wetu, akulipe Kheri nyingi
Allah akuifadhi sheikh
Nyinyi kweli mnaabudia watwalaaaa
Tatizo lako unawataja watu ambao wao hakutaji sasa we hauoni kama una unaharibu heshma za watu?
Usiiifanye wewe ni mkamilifu wewe mwenyewe una madudu mengi sana tu
Soma dini yako uijue sheikh wetu analingania watu tuludi kwenye haki
@@abubakarymasuudally3907, ni kweli ukimfuata MUNAFIQ NAWE UTAKUWA MUNAFIQ , MAFUTA NI MUNAFIQ ANATENGANISHA UISLAMU AMA KWA MAKUSUDI KWA MANUFAA YA TUMBO LAKE AU BILA KUJIJUA KWA MANUFAA TENA LA TUMBO LAKE KIELIMU TUNAMSIKITIKIA NI DEBE TUPU - YOTE SAWA KWA VILI AMEAMUA KUTUMIKIA TUMBO LAKE
INSHAALLAH FINAR JAHANAM - AMEEN 🤲🤲🤲🤲