DR SULLE AFICHUA SIRI YA AJABU KUHUSU MAFUTA YA UPAKO "MAFUTA YANARUDISHA MKE ALIYEKUACHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 พ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 37

  • @ramadhaninyangasa7275
    @ramadhaninyangasa7275 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wachungaji wakiongea hata pumba ndiyo mnakubali, wakati kunavitu vingi wanawaficha wanajifanya kwa jina la yesu, huyo shekh yeye anaweka wazi mambo, kwani hayo mafuta wao wanapata wapi mbinguni 😂😂

  • @mohdmassoud749
    @mohdmassoud749 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nipeni tu like zangu leo 😊

  • @user-ed1cf9nq5w
    @user-ed1cf9nq5w หลายเดือนก่อน

    Mbona uchome moyo wa mtu akupende? Sasa ukiambiwa mchawi mbona unakataa?

  • @nomamatata754
    @nomamatata754 2 หลายเดือนก่อน

    Anafundisha uchawi na kukana nguvu za Mungu,

  • @Yoo314
    @Yoo314 2 หลายเดือนก่อน

    Nilikuwa sitaki kucomment leo lakini duhhh! Hapo kwa Alam tara mara 73 ujisomee kiganjani alafu ukamsalimie mtu na akupe hela, hiyo ilikuwa ni mpya kwangu.

  • @mosesmutharimi5837
    @mosesmutharimi5837 2 หลายเดือนก่อน

    Mungh ametuonya kuhusu Hawa , Jeremiah 14/14

  • @Dafetty
    @Dafetty หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 mbona kushungulija

  • @user-ow2jv4vn8b
    @user-ow2jv4vn8b 2 หลายเดือนก่อน

    Mlisema Sisi waganga wakieji washilikina sasa Leo sure Kawa mganga haha

  • @jayproducts5871
    @jayproducts5871 2 หลายเดือนก่อน +1

    MJUAJI SANA HUYU😊

    • @Yoo314
      @Yoo314 2 หลายเดือนก่อน +2

      Mjuaji kivipi Sasa?

    • @sleyumngolo
      @sleyumngolo 2 หลายเดือนก่อน

      Tatizo anajua

  • @lilmojr7
    @lilmojr7 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu anakoelekea ni pabaya anazidi kupoteza watu Allah amuongoze kesha kuwa mganga wa kienyeji

  • @AsuntaNgunyali-ch6kk
    @AsuntaNgunyali-ch6kk 2 หลายเดือนก่อน

    Màfuta sh.ngapi??no.ya dr Sule inapatikana vp?

  • @SameerMdumbemalongo
    @SameerMdumbemalongo 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu JAAAHILI ANA JIPYA GANI LABDA UTUFUNDISHE KUPAAA NA UNGO .......SURA IMEUNGUA NOW HALAFU UMENYOA O

  • @user-ob2ik5gy1b
    @user-ob2ik5gy1b หลายเดือนก่อน

    Dr sule unajichanganya!.Quran husomwa kwa kutanguliza jina la Mwenyenzi Mungu,Unavyosema soma Alamtara bila bismillahi unamaana gani kama sio shirki? Ushirikina na uislam ni vitu viwili tofauti!..DR Sule hayo yote unayosema ni shirki usiwapotoe watu ?ulianza vizuri ila sasa unaangukia pua.

  • @byabachwezirugemalila9838
    @byabachwezirugemalila9838 2 หลายเดือนก่อน

    Maisha magumu yanadababisha watu kudanganywa na watu kama hawa

  • @RogersSeif
    @RogersSeif 2 หลายเดือนก่อน

    Ana balaaa

  • @Yoo314
    @Yoo314 2 หลายเดือนก่อน +2

    Leo hata sitaki nicomment chohote acha nisikilize tu na msisahau kunipitia huku tukizidi kumsikiliza sulley na mbwembwe zake.

  • @user-nr1qe7cw2n
    @user-nr1qe7cw2n 2 หลายเดือนก่อน

    Hayo mafuta yanaitwaje

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 2 หลายเดือนก่อน

    huyu jamaa ana ubongo wa madini

  • @SameerMdumbemalongo
    @SameerMdumbemalongo 2 หลายเดือนก่อน

    Siri gani wakat wewe ni Mwanga saaahir....unatangaza ushirikina waziwazi....MZEEE WA NYAMBU....UNAUTUKANISHA SANA UISLAM EWE SULE.....DK NYUKI

  • @zahiruhamisi4162
    @zahiruhamisi4162 2 หลายเดือนก่อน

    Coment azijibiwi sa tunaohitaj huduma zitatufikiaj?

  • @ackimackim1880
    @ackimackim1880 2 หลายเดือนก่อน +3

    KIGAGULA SULE,MAPEPO ULIYONAYO YATAKUUWA VIBAYA,USHAANZA KUA NA DALILI ZA KUWA MWEHU.KIMBILIA KWA YESU.

    • @faudhiasaidi3669
      @faudhiasaidi3669 2 หลายเดือนก่อน +1

      Acha zarau ungekuwa weweungekuwa wewe sio kigagula ungukuwa muislamu ila wewe kama ni mkristo ndo gigagula mwenyewe

    • @ackimackim1880
      @ackimackim1880 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@faudhiasaidi3669 ukweli unauma,kaa kimya tu sister Kuna mambo huyaelewi bado.

    • @faudhiasaidi3669
      @faudhiasaidi3669 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@ackimackim1880
      Punguza propaganda

  • @user-lf4ni8jx1i
    @user-lf4ni8jx1i 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sure anapatikanaje tunashida nae jaman

    • @byabachwezirugemalila9838
      @byabachwezirugemalila9838 2 หลายเดือนก่อน

      Huyu ni tapeli tu

    • @faudhiasaidi3669
      @faudhiasaidi3669 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@byabachwezirugemalila9838
      Alikutapeli nn au unafata UPEPO? Epuka propaganda

  • @user-ed1cf9nq5w
    @user-ed1cf9nq5w หลายเดือนก่อน

    Sule mropokaji tu mjasiriamali

  • @user-nr1qe7cw2n
    @user-nr1qe7cw2n 2 หลายเดือนก่อน

    Namba zake nitapataje ninashida

  • @hatibunurdini1062
    @hatibunurdini1062 2 หลายเดือนก่อน

    Kaongooo😁😁

    • @Kujason12
      @Kujason12 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe hata historia ya familia yako hujui vipi kuhusu vitu kama ivi

    • @faudhiasaidi3669
      @faudhiasaidi3669 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@Kujason12
      😂🤣🤣🤣ni kweli

  • @alimohamedalhinduwaan7685
    @alimohamedalhinduwaan7685 2 หลายเดือนก่อน

    Aaache ushirikina wake muhuni tu huyu