Majibu ya kielimu kwa Mh Bachu! Baada yakushindwa kuutetea ukafiri wa Ibnu Taymiyah! Shafii Basalim

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 พ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 124

  • @hasheemcarrick3141
    @hasheemcarrick3141 หลายเดือนก่อน +3

    Namkubali sana Ibni Taymia na Sheikh Muhammad Bachu Allah awahifadhi

  • @adamcity9441
    @adamcity9441 หลายเดือนก่อน

    Sheikh Shafi unafahamisha vizuri sana.
    Mtume (s.a.w) hakuwahi kumuona au kumuota Mungu huo ni uzushi wa Mawahabi.

  • @user-ot9mv1lq3f
    @user-ot9mv1lq3f หลายเดือนก่อน +2

    ماشاء عليك بارك الله فيك ❤فرحنا جدا ❤😅

  • @RamaNassry
    @RamaNassry หลายเดือนก่อน +1

    KWA HAKIKA UISLAMU WA KWELI NI "KUIFUATA QUR,AAN,SUNNAH KWA UFAHAMU WA WEMA WALIOTANGULIA{MTUME NA MASWAHABA NA WALIOWAFUATA KAMA WAO WALIVYO},KUACHANA NA UZUSHI KTK DINI YA ALLAH ILIYOKAMILIFU" HIYO INANITOSHA MIMI KAMA MUISLAMU

  • @user-lp3gi5wd4e
    @user-lp3gi5wd4e 2 หลายเดือนก่อน +3

    MAWAHABI wamepotea,Yani Mwenyez kafanana na kijana mdogo mwenye nywele!!, Subhanallah!

  • @NassirSaidmassoud
    @NassirSaidmassoud 2 หลายเดือนก่อน +3

    Shafii m mungu akulinde akusadie akupe zaidi nazaidi katik elimu afya uchamungu mawahabi nimakafiri

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e หลายเดือนก่อน +1

      Ukafiri wao upo wwapi?? Au wasikiza upuuzi wa huyu jahili nitajie ukafiri wa wahabi?? Ww naww mshia unamsaidia mshia mwenzio kukufuru sio

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e หลายเดือนก่อน

      Vipofu kwa vipofu mnasaidiana Sasa nguruwe wa kishia huyu kashindwa kujibu maswali ya bachu anaogelea kwenye kisima jibu na uthibitishe anaropa ropa tuu hapo moyoni anakubali kashindwa bachu no ingine kusanyikeni masufi mashia njoeni na vitabu vyenu hamumuwezi yule Simba wa makhurafi

  • @adamcity9441
    @adamcity9441 หลายเดือนก่อน +2

    Tumekuelewa vizuri Shaikh Shafi

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e หลายเดือนก่อน

      Umemuelewaje nguruwe wa motoni Hawa vipofu kwa vipofu mwasaifiana 😂😂😂 bachu hamumuwezi hata nukata moja kashindwa yeye kuthibitisha anafunga mjadala wakati kashindwa

  • @JumbiSecondary
    @JumbiSecondary 2 หลายเดือนก่อน +3

    Allah hana mshabaha hakika

  • @NganziSalimu
    @NganziSalimu 2 หลายเดือนก่อน +3

    Akida za kiwahabi ni akida za kiyahudi wanamfikiria mungu ni umbo fulan ambalo liko juu limekaa...! na ndio maan hufikia kusema kuwa mungu anashuka usiku kuja kuwasikiliza wanaohitaji (subhallah)...! Pia wanamuona bwana Mtume wetu Muhammad saww ni kiumbe wa kawaida ambaye anaweza kuota ndoto na zikawa za kipuuzi (Aùdhubillah) au kufanya makosa kama kumkunjia kipofu uso...🤔 Mambo ambayo muumini na mchamungu wa kawaida hawezi kufanya! hawaelewi kwamb chochote anachokiota Mtume ni WAHYI na ni mafundisho ya Allah (s. w.t)
    Shukran sana Shkh Shafii na tunamuomba Allah amlaani IBN TAYMIYYAH

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e หลายเดือนก่อน

      Akifa za mashia ndo akida sahihi za kutukana maswahaba na kumtukana mke wa mtume Aisha na kusema Ally Ni mungu na kusema mtume alikosea kupewa utume ndo akida ya sawa hiyo kweli kuna watu mapunguani duniani na wamepotea xana yani ww uwatukane waahabi uwasifie mashia et Wana akida nzuri akida ya kumtukania wakeze mtume huo ndo uislamu huo au kusema muhammadi alikosea kupewa utume utume ilitakiwa uende kwa ally? Jambo hilo utalikuta kwa wahabi au kwa mashia raana tullah hivi ninyi masufi na mashia mnaajenda gani na dini ya mwenyezi mungu kumpiga Vita mtume na kuuwa sunna zake hasa kwa dalili hizo za kutukana maswahaba Jambo hilo lipo kwa wahabi au kwa mashia??

  • @AzzizaAli
    @AzzizaAli หลายเดือนก่อน +1

    Hivi Jamani hawa Mawahabi wanaakili gani
    Yaani mtu anatetea hadithi inayosema Mwenyenzi Mungu anafanana na kijana
    Subhaanallah huu niukafiri wawazi kabisa

  • @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
    @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh 2 หลายเดือนก่อน +1

    Shukran sanaa sheikh twakuelewa vema

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e หลายเดือนก่อน

      Mtamuelewa vzr mtkapo kutana katika Moto wa jahanamu saivi so pumzi za wahadaa ngoja ifike siku utamuona adui huyu alokupotosha ukaamini watu wa memtus hadi mke wa mtume Aisha na mtume mwenyewe ajaachwa salama Allh yupo yaani Aisha mkewe mtume kafia kwenye nyumba ya Aisha Abubakary alimuhami mtume pangoni bado hajasalimika kwa mashia raana tullah viumbe wa baya sana Hawa kama mtume memtukana arafu mnajifanya mnpenda kumbe wanafiki wakubwa inatuuma xana watu wanaowasaidia mashia mtume kafia kwenye mikono ya Aisha leo wanamuita mzinifu wakati Aya za mwenyezi mungu zilimsafisha ipo siku tuu arafu wadai Ni waislamu Hawa wameficha ukafiri moyoni Wana makubwa zaidi ya wanayodhihirisha

  • @AzzizaAli
    @AzzizaAli หลายเดือนก่อน

    Maulana ushamaliza kazi na tamefahamu yakwamba Mawahabi wanamfananusha Allah na viumbe wake
    Hivyo hili halina mjadala kabisa

  • @salimabdalla6290
    @salimabdalla6290 หลายเดือนก่อน +1

    Maaa Shaa Allah ❤ baaraka Allahu fiik

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e หลายเดือนก่อน

      Acha unafiki kwa lipi unalompongeza huyu guruwe wa kishia najisi kabisa hawa bora ukashike ngozi ya nguruwe kuliko kukaa na mshia kashindwa hojja anaropa ropa kaamua kufunga mjadala chezea bachu Nini ile bahari ingine kabisa kusanyikeni mashia wote na vibaraka wenu masufi mje kutetea batwil zenu kama mtamueeza

    • @salimabdalla6290
      @salimabdalla6290 หลายเดือนก่อน

      @@user-yj5on8cz3e sasa tulia vituko vya bachu viko njiani tawhidi si hii ya sahii ni hiyo inayokuja

  • @manrectorz
    @manrectorz 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe unashida sana katika Uwelewa wako, Mbona Sheikh Muhammad Bachu ameeleza vizuri kuwa Hadith hiyo ameinukuu sheikh Ibnu Taimiyya ikiwa ni sehemu ya kuonyesha Riyawa zote 4 zinazozungumzia KUMUONA ALLAH ima ni sahihi au sio sahihi hazipaswi kuwekewa AKIDA.

  • @hassanmzandy1421
    @hassanmzandy1421 หลายเดือนก่อน +4

    Comment za Mashia makafir wengi sana humu

  • @NuruJuma-zv3yz
    @NuruJuma-zv3yz หลายเดือนก่อน +2

    Vichwa ngumu kweli nyinyi uchambuzi wote alioutoa bado tu hamjamuelewa?

  • @adamcity9441
    @adamcity9441 หลายเดือนก่อน

    Astaghfirullah Mungu kabebwa mzega mzega, Mawahabi muogopeni Allah.

  • @KombHaji-dr5pd
    @KombHaji-dr5pd 2 หลายเดือนก่อน +2

    shekh hasani alisagaf alikuwa kichwa na mwiba kwa mawahbi alibali alifumba mdomowake muhmdi bini wshabi Allha amrehe shekh letu sagaf

  • @jumafaki2891
    @jumafaki2891 2 หลายเดือนก่อน +1

    shafii twakufahamu mungu akubariki huyu bachu nilisema zamani sana masuala yahukumu za hadithi Bali hata hukumu za kifikhi ndio maana heshi kupauka

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e หลายเดือนก่อน

      Vipofu kwa vipofu mwapingezana Sasa ushindi gani alipata huyo kwani Shia ni waislamu Hawa si makafiri kama makafiri wengine tuu, alichoshinda kitu gani misikioni kinachowafanya mupongeze munampongeza kuwatukana wanazuoni walotangulia hilo la kushabikia washangilieni si wamewtukana hadi maswahaba na wakeze mtume mbona hapo hamshangilii shangilieni na hilo mtume kuambiwa tupu yake itaenda motoni au hulijui hilo?? Mnajitoa ufahamu kwa watu najinis bora ya nguruwe so mashia

  • @JabirBakar-ys8dw
    @JabirBakar-ys8dw 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sheikh shafii allah akubarik sana unaeleweka sana

    • @user-uj2ym8ku8p
      @user-uj2ym8ku8p 2 หลายเดือนก่อน

      Unamfariji? 😂😂 😂

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw 2 หลายเดือนก่อน

      @@user-uj2ym8ku8p kwann uumie sasa

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw 2 หลายเดือนก่อน

      @@user-uj2ym8ku8p yote ni sababu mungu wenu mawahabi ni kijana kisokoto cha nywele

  • @NassirSaidmassoud
    @NassirSaidmassoud 2 หลายเดือนก่อน

    Mawahabi nimayaudi nimaadui wa wisilamu m mungu awalani

    • @othman3909
      @othman3909 หลายเดือนก่อน +1

      Allah akuongoze

  • @juanmadata5212
    @juanmadata5212 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ww ndo umepoteza maudhui Huna hoja !

  • @binhussein4411
    @binhussein4411 หลายเดือนก่อน +1

    Shafii Wacha kwenda Kwa mmbo ya ujahiliya. Kama wajua ni mmbo ya ujahiliya waongelea Nini imekuuma..bachu kafungua vitabu..wewe uliyakata maneno Kisha wakataa.
    Haqqi twaiona sisi umekwepa maneno kabisaa

  • @JumbiSecondary
    @JumbiSecondary 2 หลายเดือนก่อน +1

    Allah haha mshabaha hakika

  • @NganziSalimu
    @NganziSalimu 2 หลายเดือนก่อน

    Ahsantum

  • @HassanSalim-hl8qs
    @HassanSalim-hl8qs หลายเดือนก่อน +1

    Wewe shia golo mbona huelewi unachotafuta utakipata

  • @husseinkhalfan8378
    @husseinkhalfan8378 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yan wew unafkir wanao fatilia ni watu wajinga wew ushafeli hii mada labda uende kwenye maulid hapa umefeli mjomba

  • @hassanrangambo8007
    @hassanrangambo8007 2 หลายเดือนก่อน

    Maashaalla wenye kutafuta elimu tunazidi kuelimika leta elimu sheikh

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e หลายเดือนก่อน

      Ilmu ya kuwatukana waja wema Mimi mashia siwashangai ntakuona wasjabu kama utamuunga mkono Shia na ww so Shia kama Shia sawa maana ni mapunguani wale guruwe wa motoni we kama mtume wamemtusi matusi makubwa na wakeze watamuacha mwanazuoni

  • @SaidAbdallah-sm1ft
    @SaidAbdallah-sm1ft 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wacha ujinga kusha shindwa hoja na UST bacho na Bado atakushughulikia mpaka ukome MKUFURISHAJI MKUBWA NA FAHAMU
    من قال لأخيه يا كافر فقد باء لأحدهما

  • @salimabdalla6290
    @salimabdalla6290 หลายเดือนก่อน

    Ahmad bin hanbal shekhe ni mtu katka haqqi ni kweli maneno yke hakipingana na Quran hatutayachkua lkni ni kwasababu hyo ndo Mtume akasema mujtahid hulipwa mara mbili akipata na mara moja akikosani mioungoni mwa masaadah wanne wa fiqh hta hvyo hakuyakubli hyo hpo ni kuanza kuangalia mualif wa kitbu alafu mawahabi waisome tawhidi yke na wanafunzi wake waliyoyaandika

  • @user-lp3gi5wd4e
    @user-lp3gi5wd4e 2 หลายเดือนก่อน +1

    Shafii Kiboko yamawahabi

    • @user-uj2ym8ku8p
      @user-uj2ym8ku8p 2 หลายเดือนก่อน

      Kiboko? au kenge😂😂

    • @user-lp3gi5wd4e
      @user-lp3gi5wd4e 2 หลายเดือนก่อน

      @@user-uj2ym8ku8p Kumbe na wewe unaabudu mungu mwenye vinywele vilivyo sokotana!

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e หลายเดือนก่อน

      Kiboko nguruwe wa kishia huyo ukiboko gani au wafata bendera kama upepo hivi Sasa watu wamtukana mtume na wakeze mtume na maswahaba hawakusalimika na Hawa watu kinacho kushangaza Nini au na ww walewale maana mwenye kumtetea kafiri nae kafiri pia yaeezekana ndugu yako maana kama mtume wamtusi kwenye vitabu vyao matusi makubwa makubwa sembuse mwanazuoni huyo ukiambiwa mashia Ni makafiri unadhani urongo kwani hakuna alichoeleza huyu kashindwa mjadala kaamua kufunga mbona alikuwa anatoka nje ya mada et shafi kiboko kiboko nguruwe tu huyo kafiri

  • @HumeidKimazi01
    @HumeidKimazi01 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni Mshia

  • @AllyAhmad-zg2yp
    @AllyAhmad-zg2yp 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sijawahi kuona mtu mjinga kuliko yule anaetoka nje ya mada wanayoizungumza

  • @YahyaYahya-vp2pp
    @YahyaYahya-vp2pp หลายเดือนก่อน

    Kijana siku njengine kama huna la kuongea nyamaza kimya ibu kubwa hii unajitia .. Huna hoja za mashiko kabisa

  • @SugowFarah-up3db
    @SugowFarah-up3db 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu hafai tena kujibiwa maana ni kama ni mgonjwa wa kuelewa
    Na hawezi kuielewa kitabu cha Ibn Taimiya mpaka asilimu

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu shia hataki tuu kuelewa ila anajua kila kitu anatafuta kiki na kutrend shia n kafiri tu

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e หลายเดือนก่อน

    Hili jamaa jahli kweli mtetezi ma mashia hasa unafunga mjadala ww wakati ww ndo umeshindwa kuthibitisha ukafiri wa bin teimia unaropokwa tuuh umekbia hoja unatoka nje ya mada hamna kitu kichwani hapo

  • @juanmadata5212
    @juanmadata5212 2 หลายเดือนก่อน

    Leo sheikh umepotea!!

  • @NassirSaidmassoud
    @NassirSaidmassoud 2 หลายเดือนก่อน

    Ujanja wa mawahabi ni ujanja wa mayaudi nikuwagawa watu

  • @bacteria5184
    @bacteria5184 หลายเดือนก่อน

    Haya njoo usema umar na abubakar na maswahaba wengine ni makafiri ili tukujue vizuri mrengo wako.

  • @adamcity9441
    @adamcity9441 หลายเดือนก่อน

    Riwaya ya Mungu baro baro hata mwendazimu haikubali, hawa Mawahabi ni pote potevu basi usanii mwingi na wafuasi hawajielewi wamekuwa kama wafuasi wa Paulo katika biblia.
    Inasikitisha Muislamu mwenye akili zake timamu kuwa Wahabi.

  • @salimabdalla6290
    @salimabdalla6290 หลายเดือนก่อน

    Wacha sasa nkamskize kule najua atabaranganya tuu hna lengine zaidi ya kukimbia kuwa riwaya ni batwil na akijisahau atasema ni swahih😂

  • @user-wb3rm2dw9i
    @user-wb3rm2dw9i 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wew shia golo huna jambo halafu elimu huna kubainishwa kote huko bado huelewi tu

  • @MB-yq3ty
    @MB-yq3ty 2 หลายเดือนก่อน

    Na nawakumbusha tu vile vijishia humu Sheikh Wenu asema hautambui Ushia. Yeye sio Shia.
    Mkumbusheni amerudia matapishi alotapika mwanzo.
    Halafu kwanini anawaaibisha hivi?

  • @user-mf5xp1nf4j
    @user-mf5xp1nf4j 2 หลายเดือนก่อน +1

    Siyo kila unacho kinukuu huwa wakifahamu wakati mwengine wasikia sikia tu 😊

  • @HashimSalim-qj7zn
    @HashimSalim-qj7zn 2 หลายเดือนก่อน

    KWA ALIE MSIKILIZA BACHU TOKEA MWANZO KWA KWELI ATAMUONA HUYU SHAFI NI MWEHU TU

  • @RachidaIacine
    @RachidaIacine 2 หลายเดือนก่อน +1

    We golo umelaaniwa, ogopa, we umepata laana, yaani ufafanuzi wa sheikh bachu uote ule kupitia kitabu cha ibun taimya, we golo hukufahamu? We umelaaniwa, wislam wote wana haki ya kukulaani kwa sababu ww sasa unafanya mzah. Unataka utuchezee akilizetu,

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty 2 หลายเดือนก่อน

      Anavifuniko kwenye masikio

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh naomba nikusifu unaroho ngumu kuwatusi na kuwakufurisha wanazuoni? Jipange simuda mrefu tutafumba macho ujue hilo

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e หลายเดือนก่อน

      Ww hawa Shia wamekufuru kama mtume wa memtukana Aisha mkewe mtume wamemtusi na kumwita kafiri na maswahaba wote wamewaita makafiri unashangaa hili ndugu ndo dini yao kuwatusi wanazuoni na kuwatusi maswahaba na mtume mwenyewe hivi mtu mwenye akili unaweza sema tupu ya mtume itaenda motoni Ni sawa hilo tuu ukitamka linakutowa katika uislamu lakini Hawa jamaa wanaroho ya ajabu xana Allah mwenyewe hajasalimika na Hawa watu sembuse huyu

  • @husseinkhalfan8378
    @husseinkhalfan8378 2 หลายเดือนก่อน

    Unakichaa wew shafii

    • @AbdillahAlly-fl4vh
      @AbdillahAlly-fl4vh หลายเดือนก่อน

      Kichaa wew sheikh shafii yeye abainisha ukweli na uwongo wa mawahabi shekh shafii shukran twapata ilmu endelea kutufaidisha na ALLAH Akulinde inshaallah

  • @ExcitedChefHat-ef5jt
    @ExcitedChefHat-ef5jt 2 หลายเดือนก่อน

    Atakayemwita mtu ‘kafir’ [kafiri] au akasema ‘Ewe adui wa Mwenyezi Mungu’ na hali yeye si mmoja, (mashtaka) yatamrudia” (Imepokewa na Al-Bukhari na Muslim). “Mtu hamuiti mwingine kuwa ni fasiq au kafir, isipokuwa atakuwa ni murtadi ikiwa huyo mwingine si kweli” (imesimuliwa na Al-Bukhari).
    Wewe umemwita Ibn Taymiyya kafiri . Haliyakuwa si kafiri.
    Tushajua wewe mi kafiri tuu tenaa laanatul Allah aleyk. Wajifanya umesoma kumbe wapoteza watuu ilmu yako mbovu. Roho chafu na uhasidi kwa walimu wetu wa sunna. Kafiri ni wewe kwa mujibu wa hadith .

  • @HumeidKimazi01
    @HumeidKimazi01 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli wewe Kichwa. Sheikh Bachu achana na hili jinga endelea kutuelimisha tushaelewa kuwa hana hoja.Wewe ulisema Ibn Taymiyyah katunga na kumuita kafiri sasa muite Ibn Hambal pia ni kafiri

  • @amadeomarsaide5023
    @amadeomarsaide5023 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu kama mnyama alie kosa mchunga. Hoja ni hii ( Ibnu taimiya ni kafiri kwa kunukuu hiyo hadithi) je na walio nukuu kabla yake wana hukmu gani? Kama wao si makafiri kwa nini akufurishwe Ibnu taimiya pekeake wakati wapo walio mtangulia kuinukuu? Jibu suali tafadhali wacha kurukaruka kama chura

    • @MuhidiniNassor
      @MuhidiniNassor หลายเดือนก่อน

      Atakayemfananisha ALLAH na binadamu huyo hatuulizi Ni kafiri tu

  • @UB40X1
    @UB40X1 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa mtu anamkufurisha ibn Taymiyyah na hali yeye mwenyewe yuko kwenye ukafiri😁. Mtihani

    • @muhibbualii4580
      @muhibbualii4580 หลายเดือนก่อน

      Ibn taymiya haina pingamizi kuwa kafiri kweli na inauma nyinyi kumtetea Mungu kijana wenu 😂😂😂

  • @NassirSaidmassoud
    @NassirSaidmassoud 2 หลายเดือนก่อน

    Uwahabi ni mzogo Kama mizoga mingine nakwenye mizoga nzi uwa wengi na mawahabi ni nzi makafiri

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e หลายเดือนก่อน

      Sawa tukaneni sana Allah anawaona tuu ipo siku na mashia mnawawatetea Hawa Allah atawajibu tuuh, wala hatushangai wamemtusi Aisha mke wa mtume wamewatusi maswahaba sembuse hhili ninyi washabikieni hata motoni mtaenda kushabikia hivyo hivyo

  • @khalidabas252
    @khalidabas252 2 หลายเดือนก่อน

    Kitabu kikubwa unachokijua ni baiquni tu.

  • @abdallahzahor1676
    @abdallahzahor1676 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huna hoja Acha kutuchosha ewe kafiri

  • @khalidabas252
    @khalidabas252 2 หลายเดือนก่อน

    Kwn kuitwa shia na kuitwa kafiri lipi kubwa?

  • @eng.saalim8646
    @eng.saalim8646 2 หลายเดือนก่อน

    Nasaha zangu shafii ungekaa kmyaaa. Unazidi kujitia aibuu hahahaha.... na bachu atakutia aibuu ukiendelea kuongea hahahahaha. Sura yako tuu na ongea yako inaonyesha umepanic unaforce kujbu kwakuwa huez kukaa kimyaaa hahahaha

  • @ahmedseif-cu4ex
    @ahmedseif-cu4ex 2 หลายเดือนก่อน

    Unatia huruma saiv unalalamika kwa qaul za kejel ni hali ww ndio wa kwanza ww ni shia golo 2 nuna vimba pasuka

  • @HashimSalim-qj7zn
    @HashimSalim-qj7zn 2 หลายเดือนก่อน

    UNATUMALIZIA MB ZETU TU KWA UTMBO WAKO UNAO UONGEA MAANA KWA MWENYE AKILI HAKKI AMESHAIJUA JUU HILO MNALO JADILIANA

    • @muhibbualii4580
      @muhibbualii4580 หลายเดือนก่อน

      Mungu kijana wenu mleteni tukacheze Mpira naye

  • @khalidabas252
    @khalidabas252 2 หลายเดือนก่อน

    TOKOMEZA USHIA
    Shia goloooooooooo

  • @salimuawadhi8043
    @salimuawadhi8043 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mgonjwa huyu

  • @iddijuma6152
    @iddijuma6152 2 หลายเดือนก่อน

    tushamuuelewa bachu huna hoja muongo na talbisi ndio zenu mashia

  • @AllyAhmad-zg2yp
    @AllyAhmad-zg2yp 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂kichwa maji , mashia viziwi, mabubu, vipofu basi wao hawaamini. Nenda irani uko ukaomboleze😂😂😂😂😂

  • @hassanmohamedlaizer569
    @hassanmohamedlaizer569 2 หลายเดือนก่อน

    Yani unataka kutuambia maulamaa ambao ibn taymiyyah kapita kwao nao makafiri...kama imam ahmad?....nashukia hapa tafadhali endelea na safari yako

  • @salimabdalla6290
    @salimabdalla6290 หลายเดือนก่อน

    Hhhhh nimetoka kuskiza clip yke 😂 ata ni vichekesho wapoteza tym na hyu kijna na angalia Allah ni mkubwa amfanya yy mwenywe aitangaza tawhid asoma fatwa za wanazuoni wakbwa kina imam suyutwi na ghazali ingawaje awataja kwa kuwadharau lkni najua kuna watu flni wafwatilia hzi na watamjibu kwa kuwarushia mkono aitangaza tawhid kwa qudra yake Allah Alhamdulillah asema akionekna kwa ndoto lkni aitakidi kuwa Allah ametakasika na mwili yy aona amewin kumbe ndo ajijibu na kujikandamiza aficha tajsim ya ibnu taymia. Lkni twajua ibnu taymia na tawhidi zke tatu ywaamini Allah ni jism kwngine huruka😂 asema mm stki hyo yni masala tofauti ubatili wa hzi hdth na kuonekna kwa Allah mwnzo hdthi wamezitunga kuleta tajsim kisha watumia maneno ya wanazuoni kijipa kivuli alfu baadae warudi kuzitibitisha hdith ni swahihi na ndo dhati ya Allah na maulama wamesema lau hatoamini kuwa yko kama alivyomuona ndo kina albani waandika vtbu wakivuita khaqu adam ala suurati Rahman😮 enyewe ile clip ilkuwa hjibu hii ilkuwa ajibu za nyuma yani ata hajielewi yule utapata tabu bure Shekhe lkni kazi nzuri maa shaa Allah nafurahi kuwaona mkiitetea tawhid ndo akigusa kule kunako pinga tajsim asema haya ni masala mapana baina ytu na watu wa bidaa yani ile qauliya kusema tusiamini kuwa yuko hvyo ndo wao huamini ndo huleta hzo za masala mapana kwnni sababu kina ghazali walikuwa waitetea tawhid yani mmbo yko bayana nashangaa bdo wtu hawaelewi humpigia mkofi

  • @eng.saalim8646
    @eng.saalim8646 2 หลายเดือนก่อน

    Kila mara bachu anasema tusihame madaa. Jamaaa ameruka futii miaaaa kaleta mada zengne. Sisi hatutoki hapoooo. Mada ni kuwa ibn tayymiyya n kafiri na ukaleta ushahid wako kuwa ibn taymiyya anasema kuwa uonaji ulkuwa sio ndoton. Kiri kuwa umemsngizia hahahaha ndo tuendelee😂😂😂😂😂

  • @AllyAhmad-zg2yp
    @AllyAhmad-zg2yp 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 ananukuu vitabu vya kishia. Kwani shia ni waislamuuuuuu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @saidimkwinzu9106
    @saidimkwinzu9106 2 หลายเดือนก่อน

    Mashia golo wengi walio comment hapa wakimpongeza shafii na kumponda bacho hawajamsikiliza sheikh Muhammad bacho bali wanakurupuka mana hata Muhammad bacho kashasema ALLAH hafanani na chochote na mas,ala haya kashayaweka wazi kwenye raddi zake alizomradi huyu shafii bali shafii anajifanya kichwa ngumu na analeta tal,biis nyingi sana wakat hiyo hadith ishaelezewa😂😂😂😂 mashia msiporud kwa ALLAH na kua wakweli mtaangamia

    • @SugowFarah-up3db
      @SugowFarah-up3db 2 หลายเดือนก่อน

      Wala hawawezi kumsikiliza Bachu kwasababu wataona aibu na uzumbukuku wa shia lao

  • @khalidabas252
    @khalidabas252 2 หลายเดือนก่อน

    Maudhui ya mada ni ibnu taimia ni kafiri

  • @bafaaabuu
    @bafaaabuu 2 หลายเดือนก่อน

    Ww mwehu2 wadanganye makafiri wenzio

    • @muhibbualii4580
      @muhibbualii4580 หลายเดือนก่อน

      Mbona mnashindwa kutetea Mungu kijana wenu mwenye nyele dengu 😂😂😂ntamlipia saloon atengezwe rasta zikishakuwa

  • @abuhafswin2686
    @abuhafswin2686 หลายเดือนก่อน

    Miongoni mwa watu wajinga zaidi duniani ni huyu mtu mrongo asonahaya namuomba Allah akuongoze au auvunje mgongo wako

  • @HashimSalim-qj7zn
    @HashimSalim-qj7zn 2 หลายเดือนก่อน

    ACHA IBNU TAIMIA ULIZUNGUMZIWA WANAWACHUONI WASIO PUNGUA WATANO WAKIIJADILI HIO HADITHI HEBU ANZA HUKO NA UELEZEE KIELIMU KAMA ALIVO ELEZEA BACHU KIELIMU NA SIO KUVUNGA VUNGA KM UNAVO VUNGA WW

    • @MuhidiniNassor
      @MuhidiniNassor หลายเดือนก่อน

      TUJAALIE WANAZUONI WAMESEMA JE! WEWE UNAKUBALIANA NAO KUA ALLAH KAONEKANA KWA. SURA YA KIJANA?

  • @abdulrahmanabubakar5127
    @abdulrahmanabubakar5127 หลายเดือนก่อน

    Sura yako Tu yakaa imejaa giza kwa chuki yako kuchukia Haki na sunnah

  • @darajanida
    @darajanida 2 หลายเดือนก่อน

    ust kwako wewe abuu huraira nikama nani mbona unamdharau kiasi hicho

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty 2 หลายเดือนก่อน

      Unamuuliza juu ya Abuu Huraira haya maghulaat haya. Jua kwetu sisi aliye juu kifadhila ni Abubakari ila kwao wanamwita Sanamu Sembuse Abuu Huraira kwao ni kama takataka flani hivi. Soma vitabu vya Tijani utaona wanavyomtuhumu.

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty 2 หลายเดือนก่อน

      Usione Sura imemkakamaa hivi haina ata nuru ni Shauri ya roho zao mbaya.

  • @user-wh3et9pu3h
    @user-wh3et9pu3h 2 หลายเดือนก่อน

    umeangukia pua tushakujuwa elimu yako ndogo

  • @saidabdallah5448
    @saidabdallah5448 หลายเดือนก่อน

    Wewe umechukia kuitwa golo wewe kumwita ibn taimia kafiri sawa
    Kweli shia niujinga

  • @ABUUJAAFAR92
    @ABUUJAAFAR92 2 หลายเดือนก่อน

    Jishia golo mgonjwa wa akili ,,,tumekufahamu Sasa huna hujualo wako ni ubishi wa kijinga

  • @HassanSalim-hl8qs
    @HassanSalim-hl8qs หลายเดือนก่อน

    Wewe Ropoka tuu kiboko yako anakusikiliza nae ni bachu atakubachua

    • @MuhidiniNassor
      @MuhidiniNassor หลายเดือนก่อน

      Bachu hamuezi huyu ni levo nyengine bachu hajui lugha Wala Sheria baada ya munaqash wa kenya ilibidi abakie ili afundishwe baadhi ya mambo ktk Sheria lkn ni muda mdogo Sana hawezi kubobea Sheria kwa muda huo

  • @izmamuizmamu6521
    @izmamuizmamu6521 2 หลายเดือนก่อน

    Unaumwa wewe Sasa hapo hoja iko wapi

    • @user-uj2ym8ku8p
      @user-uj2ym8ku8p 2 หลายเดือนก่อน

      Hawezi tetea hoja hata moja huyu gologolo

  • @user-uj2ym8ku8p
    @user-uj2ym8ku8p 2 หลายเดือนก่อน +1

    Golo wewe

    • @user-lp3gi5wd4e
      @user-lp3gi5wd4e 2 หลายเดือนก่อน

      MWENYEZ MUNGU nikijana mwenye nywele.
      Tumia hata akili kidogo.

    • @user-lp3gi5wd4e
      @user-lp3gi5wd4e 2 หลายเดือนก่อน

      MWENYEZ MUNGU nikijana mwenye nywele.
      Tumia hata akili kidogo.

    • @user-uj2ym8ku8p
      @user-uj2ym8ku8p 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-lp3gi5wd4e Yani we ndo gologolo kweli hakuna hata mmoja kati yetu anaesema Allah yuko hivo

  • @ibrahimselemani-nq2nc
    @ibrahimselemani-nq2nc 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani hyu mtt ana taqiya sana yani kma ni shafi kama shafi aswadiq media inafanya nn hapo duh wwshia ni kafiri mtembea uchi ni mnafiki sana ww sagafi ni mshia toka lino

  • @HumeidKimazi01
    @HumeidKimazi01 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli wewe Kichwa. Sheikh Bachu achana na hili jinga endelea kutuelimisha tushaelewa kuwa hana hoja.Wewe ulisema Ibn Taymiyyah katunga na kumuita kafiri sasa muite Ibn Hambal pia ni kafiri

  • @HumeidKimazi01
    @HumeidKimazi01 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli wewe Kichwa. Sheikh Bachu achana na hili jinga endelea kutuelimisha tushaelewa kuwa hana hoja.Wewe ulisema Ibn Taymiyyah katunga na kumuita kafiri sasa muite Ibn Hambal pia ni kafiri