RAIS SAMIA AMCHANA MADAM RITA ALICHOMFANYIA HARMONIZE KWENYE BSS - ''MUNAFANYA KAZI NZURI SANA''...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 พ.ค. 2024
  • RAIS SAMIA AMCHANA MADAM RITA ALICHOMFANYIA HARMONIZE KWENYE BSS - ''MUNAFANYA KAZI NZURI SANA''...
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 48

  • @JulianaMatata-oq2yz
    @JulianaMatata-oq2yz 19 วันที่ผ่านมา

    Kwa kweli Mama amezidi kuwa mzuri zaidi, ubarikiwe Mama Samia Raisi wetu tunakupenda❤❤ haswa mm ntakupa Mauwa yangu Mama

  • @elizabethclement1017
    @elizabethclement1017 22 วันที่ผ่านมา

    Mama yetu unazidi kua bint nakupenda mno laisi wangu wa Tanzania natamani siku moja nije nikuone live love you so much🤗😍😍

  • @maryoswad7022
    @maryoswad7022 2 หลายเดือนก่อน +6

    jamani kamchana kampongeza kaaa waandishi kazi kweli

  • @user-ss3fq7vy7v
    @user-ss3fq7vy7v 2 หลายเดือนก่อน +7

    Waandish wa siku hiz kweli heading haieleweki na alichokisema mama

    • @AnnastaziaMniko-up2iy
      @AnnastaziaMniko-up2iy 2 หลายเดือนก่อน

      Anamuangushaje wewe nawe! Kwahiyo mnataka nchi nzima msanii awe mmoja tuu, acheni kiwavunja moyo wasanii wengine, wote niwapambanaji bhana.

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nomaaaa wakuu 🎉🎉

  • @user-yv7xg4em4s
    @user-yv7xg4em4s 2 หลายเดือนก่อน +3

    Shkamoo mama umependeza mama yetu mzuri

  • @SamTarch
    @SamTarch 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mama ni mama

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 2 หลายเดือนก่อน +2

    Aseee huyu raisi bhnaa😂😂😂

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mama nakupenda mnoo najua ipo siku nitakutana na wewe tuongee kikaz

    • @hemed4064
      @hemed4064 หลายเดือนก่อน

      😅

    • @BizeddOfficial
      @BizeddOfficial หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 utasubili sana mpaka utachacha

    • @udizungwahimalaya5213
      @udizungwahimalaya5213 หลายเดือนก่อน

      Subir kaka mvumilivu. Hula mbivu😂😂😂😂😂

  • @emmanuelShayo-dk6vf
    @emmanuelShayo-dk6vf หลายเดือนก่อน

    Hivi hii nchi ilivyo na mateso kwa sasa mambo hayaeleweki hivyo ndo vitu vya kubonga aise

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION 2 หลายเดือนก่อน

    Mchujo mzuri ule mama,,,,Harmo mbona alikuwa kapi kwao

  • @claudesimukoko1436
    @claudesimukoko1436 24 วันที่ผ่านมา

    Tupigwa na kitu kizito...

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 2 หลายเดือนก่อน

    Wow 🫶🫶🫶

  • @SebastianJohnkontable
    @SebastianJohnkontable 24 วันที่ผ่านมา

    Burudani !!

  • @ghalibmansour7857
    @ghalibmansour7857 หลายเดือนก่อน

    Yani unahitaji viewers tu baaas !! Sasa hapo kamchana au kampongeza ??!!

  • @AbisinaRashidi-wg5jt
    @AbisinaRashidi-wg5jt 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hamo ndo kila kitu achana na firimasoni

    • @sarahgaula2220
      @sarahgaula2220 2 หลายเดือนก่อน

      Yeye mwenyewe mchawi

    • @linnusaloyce6559
      @linnusaloyce6559 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe mwenyewe unaonekana mwanga maana hata kiswahili chakichawi cyo firimasoni ni freemasons pole

    • @leahmanase1034
      @leahmanase1034 หลายเดือนก่อน

      😂​@@linnusaloyce6559

  • @jullia639
    @jullia639 หลายเดือนก่อน

    Yaaani mnachokiandika tofauti na kinachosema kuku nyie

  • @princeibrah9336
    @princeibrah9336 หลายเดือนก่อน

    Watu wanaandika topic za kudanganya ndio wapate views ,,I will never see anything from this channel again

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa hap kamchan wap achen umbea

    • @user-hm2kr6hu6q
      @user-hm2kr6hu6q 2 หลายเดือนก่อน

      Bila D 2 huwezi elewa 😂😂

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 2 หลายเดือนก่อน

      @@user-hm2kr6hu6q ok

  • @AnnaGeorge-cp5iv
    @AnnaGeorge-cp5iv 2 หลายเดือนก่อน +10

    Mama Hamo anakuangusha. Cheza na Diamondi. Hutakaa ujutie maamuzi yako. I am telling you Mama. From deep of my heart.

    • @barackherieli
      @barackherieli 2 หลายเดือนก่อน +5

      Una akil wew unaweka ushabik san

    • @cheiknamouna2058
      @cheiknamouna2058 2 หลายเดือนก่อน +2

      Ushabiki mandazi pelekea ukoo wenu

    • @abdallahsaidi57
      @abdallahsaidi57 2 หลายเดือนก่อน +3

      Peleka ushabiki wa kishamba huko

    • @Rukiakadzo
      @Rukiakadzo 2 หลายเดือนก่อน +2

      Nyinyi ndio mnaushusha mziki,

    • @issazalala4907
      @issazalala4907 2 หลายเดือนก่อน +6

      Kwahyo uyo mondi akifa na mziki ufe sio 😂 pumbavu embu amka wewe