YAJUE MAKANDOKANDO YA MWALIKO WA PAPA FRANCIS KWA RAIS SAMIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ม.ค. 2024
  • Rais Samia Suluhu atatembelea Vatican mwezi Februari 2024 kukutana na Papa Francis. Kwanini? Sikiliza.
  • เพลง

ความคิดเห็น • 246

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 5 หลายเดือนก่อน +11

    UKO VIZURI SANA BROTHER...I'M PROUD OF YOU BROTHER....❤

  • @pditanzania7764
    @pditanzania7764 3 หลายเดือนก่อน +1

    Una uchambuzi mzuri sana kaka. Unatusaidia kutufikirisha ❤. Nashauri pia uwe una vipindi vya makala za kielimu za kutuelimisha juu ya masuala mbalimbali kama nishati safi, lishe na haki za binadamu na utawala bora🎉. Ahsante sana🎉

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 5 หลายเดือนก่อน +15

    Kwa tafakuri ya leo nimekupenda

  • @solomoneglesias9752
    @solomoneglesias9752 5 หลายเดือนก่อน +22

    Ameenda kujitetea kabla ya TEC haijashusha nyundo ingine

  • @ezrarafael1249
    @ezrarafael1249 5 หลายเดือนก่อน +18

    Mzee huwa nakuelewa sana Mungu akupe maisha marefu

  • @gasperelasto8842
    @gasperelasto8842 5 หลายเดือนก่อน +11

    Mzee naona hulali. Kaz kaz.

  • @stanslausmchonde7892
    @stanslausmchonde7892 5 หลายเดือนก่อน +9

    We kweli muandishi wa habari wa uchunguzi yaani mchimbi sana nimeipenda hio muandishi wa kuhoji kutafuta habari sio kupokea nakutuhabarisha sisi."Naumiss" sana uandishi wako Mzee Ngurumo Maswali Magumu

  • @eliasnganira7661
    @eliasnganira7661 5 หลายเดือนก่อน +7

    Sijaisikia hbr hiyo , Asante

  • @emmanuelpetro8110
    @emmanuelpetro8110 5 หลายเดือนก่อน +8

    Huo wote ni mtikisiko tukaze buti mpaka kieleweke wanajisahaulisha kwamba kanisa lina watu weledi kuliko kuliko

  • @pueblo148
    @pueblo148 5 หลายเดือนก่อน +8

    Sasa akaongopee huko.Kujisalimisha wamegundua huwezi shupazia wakatoliki mishipa ya shingo pale wanapokushauri jambo

  • @romanamassawe814
    @romanamassawe814 5 หลายเดือนก่อน +5

    Nakuelewa Sana mkuu, this is my favorite channel

  • @JesusChristLovesUs4ever
    @JesusChristLovesUs4ever 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi sio Papa wangu.
    My Papa ako kwa kiti chake cha kuhukumu hukooo mbinguni pamoja na mpenzi wangu Yesu.

    • @edwardmizambwa237
      @edwardmizambwa237 5 หลายเดือนก่อน

      Ndugu yangu kama ulivyo sema, papa ni ofisi/ kiti. Utakatifu ni ofisi. Kama binadamu wa kawaida hivi sasa amekumvwa na malaika Mbaya ' lusifa yule 666' . Na ndio maana Maaskofu wengi duniani wamemponda.
      Alitakiwa kujiuzuru bali yeye na mshauri wake ni wakaidi.

  • @sarahkadugu4367
    @sarahkadugu4367 5 หลายเดือนก่อน +7

    Baba Rugambwa ana kofia mbili pia ni Mshauri wa Papa kila vikao Vatican lazima yupo. Sasa hata wakiomba kuonana naye bado hawajafauru kitu, Maana Papa hataki haya mambo yote yanayoendelea hapa, wao watendee haki Watanzania, si familia zao, ndugu na marafiki zao wengine hatuthamaniwi. Mungu hachunguziki

    • @imortal5354
      @imortal5354 5 หลายเดือนก่อน

      Pengo umemsahau

    • @begukulemosobe9685
      @begukulemosobe9685 4 หลายเดือนก่อน

      Yaani inasikitisha watu wana mahela wakati wengine hawana hela ya mlo mmoja changamoto

  • @benernest5125
    @benernest5125 5 หลายเดือนก่อน +8

    Yote mema aende akabarikiwe na Papa ili Mambo yaende vizuri kwa kuwa kuna mengine kwa kweli yako vibaya sana humu nchini!!!😢😢😢😢

    • @pueblo148
      @pueblo148 5 หลายเดือนก่อน +4

      Unajitambua na fikra zako Zinaonekana ni kubwa na unaitakia mema nchi yetu.hongera Kwa mawazo mazuri

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 5 หลายเดือนก่อน +1

      👏👏👏👏🙏

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 5 หลายเดือนก่อน +5

    HATUWEZI KUWAKUBALI...PAPA NA MASHOGA WOTE HATUKUBALIII HUU UPUMBAVU...HAO MAPAPA WANABARIKI MAMBO YA HOVYOOOO HATUKUBALIII..

    • @alfredkilumilekilumile9831
      @alfredkilumilekilumile9831 5 หลายเดือนก่อน +5

      Unaropoka mdomo kichwa kimekosa ubongo

    • @Carolina-sm5zt
      @Carolina-sm5zt 5 หลายเดือนก่อน +4

      Kwani wewe ni mtenda mema hakuna mkamilifu hapa Duniani tunanuka dhambi tupu

  • @charleslukumai7875
    @charleslukumai7875 5 หลายเดือนก่อน +2

    Analysis yako imekaa vizuri kwa anaeelewa, kuhusiana na nyaraka, matamko ya TEC, na uzodoaji walofanyiwa wakati wa utiaji saini IGA

  • @Expedito2512
    @Expedito2512 5 หลายเดือนก่อน +3

    Kaaaa kaaa kooo! Hapo nimeona kweli ila kama pia hesabu imepigwa aisee! Kumbe wanapigaga hesabu eti! Akili kumtwe bwana!

  • @AmosKayega
    @AmosKayega 5 หลายเดือนก่อน +4

    Hivi nyie hamjuwi kuwa vatikan ni taifa na kiongozi wa nchi hiyo ni papa

  • @smarty1064
    @smarty1064 5 หลายเดือนก่อน +3

    Hayo mambo sisi hatuyataki, tunataka katiba mpya, uongozi bora na siasa safi, ye atutendee tunayoyataka shida kuna watu wamemzonga zonga sana kwa manufaa yao!

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 5 หลายเดือนก่อน +8

    Why wanakimbilia kwa papa....?😂
    Papa hatowasaidia lolote..
    Yeye aache udikteta...

    • @ezekielkiduge8730
      @ezekielkiduge8730 5 หลายเดือนก่อน +1

      Umesema kweliPongezi kwako

  • @user-ef2ln1mx3s
    @user-ef2ln1mx3s 5 หลายเดือนก่อน +16

    Utoto uo kwani papa ajui yanayo enderea tz kuto kwa wawakilishi wake kwanza katiba mpya papa badae sisi kiroho tuko vizuri tatizo ni kiutawala na ufisadi wizi wa Mali za wa tz na utawala usio zingatia katiba na sheria

    • @benernest5125
      @benernest5125 5 หลายเดือนก่อน

      KWELI KABISAAAA

    • @aliyageorge6794
      @aliyageorge6794 5 หลายเดือนก่อน +1

      Yaani ana utoto...
      Sana huyu mama...
      Walahi!

  • @eliasnganira7661
    @eliasnganira7661 5 หลายเดือนก่อน +6

    Ni kweli lile swala la bandari lilileta changamoto

  • @gracyusoy9435
    @gracyusoy9435 5 หลายเดือนก่อน +4

    Jamaa amechambua kisomi sana hii kitu.

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 5 หลายเดือนก่อน +4

    ASANTE SANA BWANA NGURUMO UMETUELEWESHA

  • @user-yv5cb7ec2j
    @user-yv5cb7ec2j 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe umri mrefu Sana nakufatilia na kuelewa content zako mungu akulinde brother❤

  • @MihayoMageta
    @MihayoMageta 5 หลายเดือนก่อน +6

    Kwa uchunguzi huu wa kina, SALUTE kwako mkuu, ingawa inaonekana unajua mambo mengi sana nyuma ya pazia lakini ki ustaarabu umeamua kudadavua machache.😊

  • @joejosca7594
    @joejosca7594 5 หลายเดือนก่อน +3

    Ngoja inyeshe tuendelee kuona panapo vuja

  • @user-hq5qx1hu2x
    @user-hq5qx1hu2x 5 หลายเดือนก่อน

    Aksante

  • @pastorkongoke6308
    @pastorkongoke6308 5 หลายเดือนก่อน +7

    Nimekuelewa sanaa

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 5 หลายเดือนก่อน +2

    Usemi wa Ndugai kwamba nchi imeuzwa haujafutwa

  • @nicojohn3920
    @nicojohn3920 5 หลายเดือนก่อน +1

    👏👏👏👏👏👏

  • @asacconlinemedia5343
    @asacconlinemedia5343 5 หลายเดือนก่อน +12

    Huo ni mpango mahususi wa mapicha picha.Kama Mbowe alivyotolewa gerezani na kupelekwa Ikulu kupiga picha ya kuwarubuni Watanzania kuwa wao ni watu wema hata baada ya Mateso,Sasa wanaenda kuwarubuni Wakatoliki na Watanzania kwa picha toka Vatcan.HATUDANGANYIKI TENA.

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 5 หลายเดือนก่อน

      Kwani ninyi wakatoliki mko wangapi nchi hii😅😅😅

    • @asacconlinemedia5343
      @asacconlinemedia5343 5 หลายเดือนก่อน

      @@hassanmfaume4522idadi ili iweje?

    • @Street-hermit
      @Street-hermit 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@hassanmfaume4522ni wengi kuliko nyie

  • @petrusmakupe2093
    @petrusmakupe2093 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana jomba

  • @paull8659
    @paull8659 5 หลายเดือนก่อน +5

    Kardinal amuandikie Papa, amwambie watz wanataka Katiba mpya.

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 5 หลายเดือนก่อน

      Duuu

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  5 หลายเดือนก่อน

      😄 🤣

    • @shadrackwilbard3834
      @shadrackwilbard3834 5 หลายเดือนก่อน

      Papa hana nguvu ya kumshinikiza samia,watanzania ndio wenye ngivu.

    • @paull8659
      @paull8659 5 หลายเดือนก่อน

      @@shadrackwilbard3834 Amshauri

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 5 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani huyu mama.

  • @mpwapwanewstv8204
    @mpwapwanewstv8204 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nimekuelewa sana nami nitaweka na akili zangu hapo

  • @emmamasika7586
    @emmamasika7586 5 หลายเดือนก่อน +5

    Wew kiukweli ungepewa urais wa tz tungekula kuku kwa mrija

  • @swalehejuma6611
    @swalehejuma6611 5 หลายเดือนก่อน +1

    Papa yupi, huyu aliyepingwa na maaskofu kuhusu kubariki ndoa za jinsia moja?!

  • @neemasiwakwi6528
    @neemasiwakwi6528 5 หลายเดือนก่อน

    Mmh!

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 5 หลายเดือนก่อน +12

    Kuna kosa kubwa sana akina Shekhe Mwaipopo walifanya wakati wa mijadala ya Bandari. Waliwatukana sana Maaskofu na kuwadhalilisha.Na kibaya zaidi Mpoto aliwakejeli sana Maaskofu kule ikulu huku akiwasimangia chakula. Hayo makosa yanaigharimu sana Serikali na CCM. Watu hao wamemharibia sana Raisi wetu kwa kujua au kutokujua nguvu waliyonayo Maaskofu. Maaskofu walialikwa Ikulu bila kuambiwa kuna nini. Matokeo yake huko kukawa na mada ambazo hawakutegemea kuzisikia licha ya kudharauliwa na Mpoto ktk mashairi yake. Nadhani Raisi angeshauriwa azungumze na Maaskofu kuwaombea radhi wale waliowabeza kuanzia Mashehe mpaka Msanii Mpoto. Hapo ingeleta amani mioyoni mwa Maaskofu na Raisi wetu angeingia kwenye uchaguzi akiwa na baraka za Maaskofu. Tunamwombea sana Raisi mambo yaende vizuri.

    • @roggoyacny
      @roggoyacny 5 หลายเดือนก่อน +3

      Hao maaskofu wana baraka Gani 🤣 Huyo Papa anaruhusu ushoga Hana baraka zaidi ya laana 😢

    • @edwardmizambwa237
      @edwardmizambwa237 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@roggoyacnyna ndio maana Maaskofu wengi duniani walimpuuza.

    • @amaniabdi9755
      @amaniabdi9755 5 หลายเดือนก่อน +2

      Wewe naona unatapatapa ndoa maana ulikimbia nchi Papa anahusika vipi kwenye uchaguzi ujao.Wakatoliki hata wasipomchagua atashinda tuu.

    • @richkinji2583
      @richkinji2583 5 หลายเดือนก่อน +2

      Hata hatuna haja nae bora angeondoka tu madarakani

    • @mrishojuma4695
      @mrishojuma4695 5 หลายเดือนก่อน

      Acha ujinga wewe hakuna lolote ambalo Lina husiana wakina mwaipopo! Hapo walikuwa wanaongelea maswala ya ushoga bhana.
      Hao maaskofu wanamchango gani Katika nchi yetu zaidi ya kutupeleka na kutunyonya.
      Isitoshe yule ni papa lakini ni Rais pia katika kijinchi chake kidogo hivyo Kuna maajabu gani?
      Rais wetu anaonyesha hana ubaguzi kwamaana nchi za kiarabu alikwisha kwenda sasa kaenda na nchi ya kizungu ya kikristo kwamaana anawaongoza wote. Nyie makatonta acheni ushamba

  • @user-db7kp7bl8l
    @user-db7kp7bl8l 4 หลายเดือนก่อน

    Umeeleza vizuri lakini kuna kingine kikubwa Cha malengo ya papa ambacho ni kusapoti ushoga maana ndo kauli mbiu yake ya Kila siku

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 4 หลายเดือนก่อน

    Waziri Januari alisema kama kunaombi limetumwa kutoka Tanzania la Ziar na halijachukua wakati likakubaliwa

  • @felixmsale9244
    @felixmsale9244 5 หลายเดือนก่อน

    Ngurumo uko vizuri na kila la heri ktk Tafakari zako

  • @winniefridamutakyawa5943
    @winniefridamutakyawa5943 5 หลายเดือนก่อน +1

    Someni Isaya 10:1hadì 4.

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 5 หลายเดือนก่อน

    Analysis yako imekaa vizuri

    • @annachristersimon
      @annachristersimon 4 หลายเดือนก่อน

      Mungu jidhiilishe juu ya Taifa lako

  • @yusufunguruko8080
    @yusufunguruko8080 5 หลายเดือนก่อน +13

    Sisi waafrika tutakuwa mikia hadi mwisho wa dunia, sasa huko kwenda kujipendekeza ili apate nguvu kubwa dhidi ya watanzania, yaani bila kupata backup kutoka kwa mzungu mwafrika anaona mambo hayataenda, hakika huu ni utumwa wa kifikra wa kiwango cha lami, huku ni kutojiamini 100%, mzee baba JPM asingefanya hivyo hata siku moja, inaonekana mama anausaka uraisi 2025 kwa udi na uvumba anahakikisha kona zote anaziwekea mazingira sawa, jamani urais mtamu ndio mana watu wanauwana - RIP JPM jembe letu, bado tuko na wewe kiroho.

    • @musasabuu2808
      @musasabuu2808 5 หลายเดือนก่อน

      Aya nmekuelewa

    • @magdalenapeter6106
      @magdalenapeter6106 5 หลายเดือนก่อน

      Kwel tupuuu

    • @naomikatharinaandrewmnkai6760
      @naomikatharinaandrewmnkai6760 5 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂mi simo. RIP Dad Magufuli

    • @masumbukomaganga438
      @masumbukomaganga438 4 หลายเดือนก่อน

      keanda kwa papa siyo kwenda kujipendekeza kwa wazungu bali ni kwenda kujisalimisha kwa mkuu wa marais wote duniani ambaye ni papa, mwenye kofia mbili za mamlaka, yaani kisisasa na kidini, nafikiri bado hujaijua vizuri dola ya rumi inavyoendlea kutenda kazi duniani, hii mamlaka ya upapa ni kubwa marais wote wanainama kwake, usichukulie kawaida endlea kujifunza usiwahi kuogea tu eti tunajipendekeza kwa wazungu

  • @user-lk1wu8cs5c
    @user-lk1wu8cs5c 5 หลายเดือนก่อน

    Mitazamo ni mingi sana, asante kwa maoni yako,kama endapo Kuna shida katika maswala ya bandari, serikali Haina dini ( non cecural state ) Kwa hili la bandari na ukosoaji wa maaskofu wa Tanzania kwa kilionekana uwekezaji usio na tija, PAPA Hana nafasi.

  • @user-ok6lv3je4b
    @user-ok6lv3je4b 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu atangulie ziara ihi ya mama Na papa

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona hamna shida yoyote hapo ,

  • @user-nl9xe5bu1x
    @user-nl9xe5bu1x 4 หลายเดือนก่อน

    Mzee Papa anataka kumaliza uzee wake na mama Samia

  • @sarahkadugu4367
    @sarahkadugu4367 5 หลายเดือนก่อน

    Yoooooo 🤣🤣🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️ Mhhhhhhh

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 5 หลายเดือนก่อน +3

    Acha wivu ww mzee

  • @user-fw6dp9iy4i
    @user-fw6dp9iy4i 5 หลายเดือนก่อน

    Amanda kuwashitaki😮

  • @baluhiphilipbudika7612
    @baluhiphilipbudika7612 5 หลายเดือนก่อน +2

    Acha kapate baraka ili Serikali na viongozi wake waachane na ukandamizaji wa sheria, uroho wa madaraka na dhuruma kwa Watanganyika

    • @adammj6258
      @adammj6258 5 หลายเดือนก่อน

      Baraka kwa ndoa za jinsia moja

  • @saadune
    @saadune 5 หลายเดือนก่อน +2

    Panic stations much much alive.....keep observing

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS 4 หลายเดือนก่อน

    Sinaga muda wa kujadili siasa

  • @user-md7sd3hk6l
    @user-md7sd3hk6l 5 หลายเดือนก่อน +2

    pamoja mzee nakuku bari sana

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 4 หลายเดือนก่อน

    Kuna issue kati ya kanisa katoliki Tanzania na Rais Samia ndio maana mama kaamua kuwaendea huko kwa mabosi wao...mama haivi na kanisa katoliki Tanzania ndio mana Yuko na kina malasusa

  • @kingmzebez7786
    @kingmzebez7786 5 หลายเดือนก่อน

    Watashindwa mda usha chelewa time will tel✌💪💪💪💪💪💥💥💥💥👊👊👊👊

    • @adammj6258
      @adammj6258 5 หลายเดือนก่อน

      Ndoa za jinsia moja lazima zitabarikiwa sio!?

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 5 หลายเดือนก่อน +1

    Tufungue baba tumekalia soka tu

  • @idrissamohamed1100
    @idrissamohamed1100 5 หลายเดือนก่อน

    Ramli za Zinaendelea

  • @user-yo4ww5tp9d
    @user-yo4ww5tp9d 5 หลายเดือนก่อน

    Huu ndio ukweli na hakuna ukweli mwingine zaidi ya huu. Ila yeye na aende lakini akili zetu kumkichwa!

  • @fidelismwakanyamale6787
    @fidelismwakanyamale6787 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu ana kipala cha uzushi ana lolote. Papa ana mkubali samia

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  5 หลายเดือนก่อน

      Kuna mtu anazungumzia kukubaliwa au kukataliwa? Muwe mnasikiliza vizuri ilibmchangie mada kutoka kwenye informed position. Unamjadili mtu usiyemjua kuhusu mada iliyo mezani.

  • @samuelmakara
    @samuelmakara 5 หลายเดือนก่อน

    Je kwa mtazamo wako Bwana sk itakuwa na kishindo gani kwa tec .

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 5 หลายเดือนก่อน +4

    Umenena kweli tupu kwamba watawala wamebuni njia haramu ya kuomba kuonana na Papa moja kwa moja bila kupitia baraza,na kuutangazia uma kuwa Papa ameomba kuonana ili kuvuruga msimamo thabit wa baraza la TEC ambao unatetea katiba na kuathiri msimamo hasi wa serikali kukwamisha upatikanaji wa katiba mpya.

  • @user-ib2gs1uu5h
    @user-ib2gs1uu5h 5 หลายเดือนก่อน

    Wanayajuwa wahusika na yote sawa tu

  • @husseinmwanjela8644
    @husseinmwanjela8644 5 หลายเดือนก่อน

    Tatizo sio ukatorik tatizo nibkupinga nda za jinsa mja.

  • @KobaliJunior
    @KobaliJunior 4 หลายเดือนก่อน

    Ikiwa unauelewa Unabii hauwezi kupata shida kwa kilr kinachoendelea

  • @damymzuri9989
    @damymzuri9989 5 หลายเดือนก่อน

    Aende lkn Papa hawezi fungua TEC

  • @febroniamsoma178
    @febroniamsoma178 5 หลายเดือนก่อน

    Watu wanatumia pesa nyingi za serikali kwa mambo yao binafsi na kwa ubinafsi tu, tuna ssafarindefu sana waafrika

  • @athumanmapunda
    @athumanmapunda 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kaburu wa Tanzania aliyekimbia nchi yake na kwenda kuishi ughaibuni

  • @user-vq1ve7kc3f
    @user-vq1ve7kc3f 4 หลายเดือนก่อน

    Kuna siri kubwa ndani ake onayoenda kizungumziwa dhidi ya mama samia na papa Francis, ukiangalia tupo kwenye ujumbe wa malaika wa tatu.

  • @abbiecox1
    @abbiecox1 5 หลายเดือนก่อน

    Vipi kuhusu ushoga je wakatoliki wameupokea baada ya Papa kuunga mkono

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 5 หลายเดือนก่อน

    Upinde nauona kwa mbaaaaaaaali

  • @rasheedabby2871
    @rasheedabby2871 4 หลายเดือนก่อน

    wamenuna wakatoliki sioooo

  • @jofreyulaya9842
    @jofreyulaya9842 5 หลายเดือนก่อน

    Mzee wangu ivii uliongelea ule uonevu juu ya yule mchungaji wa MBEYA...aliyefungwa miaka mitatu3 na siku 14....mimi nasikia juu juu tuuuu..tupe tufahamu kuna na kimo tafadhali

  • @user-gf2ze5xb4y
    @user-gf2ze5xb4y 5 หลายเดือนก่อน

    Inaleta mshangao kama watu hawajapata taarifa ila tumekuelew

  • @agnessangawe3844
    @agnessangawe3844 5 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅

  • @angelajoseph4643
    @angelajoseph4643 5 หลายเดือนก่อน

    Nimefurahi kusikia ajabu hii

  • @suleimankassim7523
    @suleimankassim7523 5 หลายเดือนก่อน

    Ushindi wa CCM hautegemei papa wala nyangumi

  • @user-lv7zy7mx9i
    @user-lv7zy7mx9i 5 หลายเดือนก่อน

    Umeongea matope kabisa kwani hao ndio wanamchagua rais .

  • @user-cf9sk4us6u
    @user-cf9sk4us6u 4 หลายเดือนก่อน

    Hata hivyo ni jambo jema

  • @hafidhnzota2142
    @hafidhnzota2142 5 หลายเดือนก่อน

    Donge Nono litumike kulainisha mitambo na oil nyepesi.

  • @faustampunza5501
    @faustampunza5501 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂

  • @gabrielbahat9107
    @gabrielbahat9107 4 หลายเดือนก่อน

    😅😂😂😂😅😅😅

  • @user-ls1es8sd1s
    @user-ls1es8sd1s 5 หลายเดือนก่อน +2

    Papa Ana msada gani na tanzaniA kafarki magufuri Atuja ona Ata pole selekari na dini wapi nawapi watu kama Ao wana ruhsu mapenzi ya jinsiA moja mtakah muonge nini kuA mini dini Naku Amini mungu nivitu viwiri tofa uti utumwa kitu kibaya sanna kumu Abudu mungu wa kweli🌳👃🕊️🚶🚶🚶🚶🚶

  • @simonnaivasha6393
    @simonnaivasha6393 5 หลายเดือนก่อน

    Dr. Slaa W atamsiindikiza mheshimiwa rais Vatican ,ili kumsaidia masuala ya Pope.

  • @user-ib2gs1uu5h
    @user-ib2gs1uu5h 5 หลายเดือนก่อน

    ❤😂🎉😢😮😅

  • @aziza9093
    @aziza9093 5 หลายเดือนก่อน

    Sasa papa sifurmasoni atamshauri nini

  • @barakaba8417
    @barakaba8417 5 หลายเดือนก่อน

    We acha uongo ni ishu za ushoga

  • @annapeter4994
    @annapeter4994 4 หลายเดือนก่อน

    Hataweza kununua mtu hapa. Anacheza na vichwa imeenda shule na vimejaa hekima. Atafute gia nyingine tuu

  • @abubakarayoub5401
    @abubakarayoub5401 5 หลายเดือนก่อน

    Acha kuzingua

  • @user-xc7qj7ze7m
    @user-xc7qj7ze7m 5 หลายเดือนก่อน

    Wenye maupala kichwani siku hizi ovyo

  • @user-vt6yk1tv3c
    @user-vt6yk1tv3c 4 หลายเดือนก่อน

    Huo ni umbea sana ameenda kwa papa hu shetani to jaman anataka kumtendanini Baba yetu usiende huko shetani wee

  • @HajiAmbali-jq9dr
    @HajiAmbali-jq9dr 5 หลายเดือนก่อน

    Kwani papa ndoa mwenye hii inch

    • @Street-hermit
      @Street-hermit 4 หลายเดือนก่อน

      Muulize raisi wako na ccm yao😅😅

  • @sheyosquad5755
    @sheyosquad5755 5 หลายเดือนก่อน

    Pope ndie kiongozi mkuu wa maraisi wote duniani

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ww mzee mnafiki Sana na wivu unakusumbua sana

  • @mrishojuma4695
    @mrishojuma4695 5 หลายเดือนก่อน

    Hapana alikwenda kushughulikia swala la ushoga hakuna lolote

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 5 หลายเดือนก่อน

    Wacha atuletee UPINDE

  • @hassanmfaume4522
    @hassanmfaume4522 5 หลายเดือนก่อน

    Shamba lao hili la kubunya 😅😅😅