PAMBANO KALI SANA LINAENDELEA KATI YA CCM NA SERIKALI| IMEUNDA SERIKALI, WANAYO MAMLAKA YA KUJIKAGUA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • www.youtube.co...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 128

  • @logicsportsandentertainmen105
    @logicsportsandentertainmen105 6 หลายเดือนก่อน +19

    Makonda Hakuna haja ya ulinzi kudadeki wakimgusa makonda safari hii nchii hii itakua Kama Sudani

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 6 หลายเดือนก่อน

      Utafanya nn ww acha vitisho bwana mdogo

    • @ezekielmabwai482
      @ezekielmabwai482 6 หลายเดือนก่อน

      Wewe akili yako imekaa fyongo hata Kama mmemchanja mawembe ya uchawi, hayafui dafu, bad0 ni MHALIFU TU! Acheni kumpa ulinzi kwa dakika muone, taahira nyie!!

    • @logicsportsandentertainmen105
      @logicsportsandentertainmen105 6 หลายเดือนก่อน

      Wote nyie ni wapumbavu 😂

  • @edinamwanasenga1584
    @edinamwanasenga1584 6 หลายเดือนก่อน +2

    Baba levo upo vizuri 🎉🎉🎉🎉

  • @user-wu9zz1bm9h
    @user-wu9zz1bm9h 6 หลายเดือนก่อน +8

    Mimi najiuliza sipati majibu hivi kila asimamae kutetea wananchi utasikia aliwekewa sumu au wanataka kumuekea sumu.Hivi hao watia sumu wanataka wananchi tusulubike hadi siku ya kiyama!!? Pili hawa wanaoangamiza watetezi wao hawatakufa wataishi milele? Ok watakaa pesa hamuwezi kuzitafuta kwakujua majukumu yenu na kwahaki.mungu tusaidie waja wako na wale viongoz wote wanao tetea cc waja zako insha Allah ini.

    • @donaldbenedict5761
      @donaldbenedict5761 6 หลายเดือนก่อน

      Huyu hana lolote propaganda tu hizo,,anawazuga tu wananchi serikali ya Tanzania inaundwa na nani? Pili kama makonda anajuwa kuna watu wanawekeana sumu kwanini asiwashitaki maana serikali inaongozwa na CCM yeye mwenyewe ni CCM ushahidi anao polisi wote wapo chini ya serikali yao kwanini anashindwa kuwachukulia hatua watia sumu alafu analalamika kwa wananchi wa kawaida Makonda acha unafiki wako CCM hawana jipya tena uwezo wa kuleta maendeleo katika nchi yetu hamnao unaanza kudanganya watu amke watanzania bao la mkono hilo linakuja kipindi cha uchaguzi hiki tutasikia mengi

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 6 หลายเดือนก่อน +3

    Baba levo kumbe uko vizuri umeongea point sana

  • @omanoman-ir1ez
    @omanoman-ir1ez 6 หลายเดือนก่อน +3

    baba levo uko vizuri sana na unauelewa wa mambo

  • @haronogaden4324
    @haronogaden4324 6 หลายเดือนก่อน +1

    Following up with u from East coast Africa mombasa Kenya

  • @saidimpako5186
    @saidimpako5186 6 หลายเดือนก่อน +2

    Pole pole alisha sema kunautamaduni wa kunyamazishana ndani ya Ccm

  • @humphreybilly7437
    @humphreybilly7437 6 หลายเดือนก่อน +6

    Mimi na Imani
    Mungu Atamsaidia nitakuwa nafunga kwa ajili yake yapo mengi amesaidia watu wengi.
    Uyu ndo Tulio msubli

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 6 หลายเดือนก่อน

      Acha kuamini drama za ccm nyie

  • @FestonSimfukwe
    @FestonSimfukwe 6 หลายเดือนก่อน

    Baba levo uko vizuri mbona wakina Oscar wanabisha nini au hawaoni mikoani watu wanavyo teseka Makonda yupo vizuri sana

  • @mashimbazephania3511
    @mashimbazephania3511 6 หลายเดือนก่อน +3

    Leo b levo kaongea point sana

  • @user-wu9zz1bm9h
    @user-wu9zz1bm9h 6 หลายเดือนก่อน

    Mimi nimuombee mungu salama na mashekhe muelimishem makonda ajue halalibadili nini ili ake isomwe atakae mkusudia makonda vibaya ile anapanga kwenda kumdhuru kaba adui hajafika kumdhuru mwenyez mungu ampe sakarat limaut adui kabla hajamfikia kumdhuru makonda.

    • @hamisluwole9539
      @hamisluwole9539 6 หลายเดือนก่อน

      Ocsar acha wehu wako.
      Makonda ametupa mwanya wa kufaham hao wakurugenzi walivyo kanjanja indeed

  • @lomnyakijames6856
    @lomnyakijames6856 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hapa baba levo umewafunika wanaojiona wasomi Ila kwa kuwa napenda na ninamaliza mb kwa ajili ya makonda natangaza rasmi kwamba amenena ukweli na nchi hii hatuhitaji msaidizi kwa kuwa makonda amefanya kazi kubwa mno!

  • @dianasamson9311
    @dianasamson9311 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tujue kwa kweli. Mwenezi wetu atuambie. Hatutaki kupoteza watu .. mradi kasema atuambie anaemuwinda ... tuwindane nae.

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 6 หลายเดือนก่อน

    Hakosei mwenezi wa taifa . viongozi wa ngazi ya chini ya cCM waige uchapakazi wa Makonda .kwamaana nyingine uelewe chama ndiyo kinaisimamia serikali .siasa siyo kazi rahisi .

  • @ezekielmabwai482
    @ezekielmabwai482 6 หลายเดือนก่อน

    Makonda ni mhalifu, ana kashfa za kukiuka haki za binadamu mpaka Amepigwa marufuku Marekani. Wakimtia sumu ni sawa tu!!!

    • @isayabukwimba
      @isayabukwimba 6 หลายเดือนก่อน

      Sasa marekani wamzuie kuongea ww unahisi Nan kawaambia wamarekani?

  • @ip_header
    @ip_header 6 หลายเดือนก่อน +2

    Background sounds is annoying, try to minimize it lol😢

  • @gwakisakaswaga5249
    @gwakisakaswaga5249 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mh. Makonda ameshatamka bayana. Maadui wa CCM sio Wapinzani...bali ni Watendaji Wazembe wa Serikali. Huyo amelijua tatizo linalowakabili wananchi. Ukweli hii nchi watendaji wabovu na wazembe wanaing'arimu sana CCM...

    • @josephdogani3419
      @josephdogani3419 6 หลายเดือนก่อน

      Tatizo la nchi yetu wala so watendahi wabovu ,tatizo kubwa kuliko yote ni ccm. Anachofanya Malinda no kuwaambia watu ccm imeshindwa kusimamia nchi ccm imeoza ccm ni dhaifu na haiaminiki tena.
      Km ccm I ingekuwa iimala kelo zote hz snazokutana nazo makonda zingetoka wapi? Indkuwaje mkoani kwako mfumo mzima wa utawala ukukandamize harafu mwenezi statue shida yako km si usanii ninini
      HV tujiulize tu swali dogo hv mwenezi ni serikali ?inakuwaje mwenez ambaye si sehemu ya serikali ajipe madaraka ya mawaziri km si kukosekana kwa utawala wa sheria?
      Tatizo kubwa kabisa no kuwa ccm ilishakufa hk tunachokiita ccm sasa ni kundi la waharifu waliojivika uccm.ndo maana mambo hayaendi
      Kwanza ccm haiwezi kujenga tasisi imala sababu inajua tasisi imala ni anguko lake.unyonge udhaifu na guy mwenendo wa hovyo wa mambo ndio njia pekee iliyobaki kwa ccm kubaki madarakani.
      Ccm haiwezibkutupa haki ya kuchagua viongozi tunaowataka .ccm haiwezi kuitisha uchaguzi huru na half .itstumia haohao watendaji wazembe na dhalimu kuiba kura.
      Ccm inawahitaji watendaji wasio na uadilifu kshinda uchaguzi.ccm inawahitaji watendaji wabovu ili idumu madarakani
      Uovu uonevu na kila upuuzi unsouona unafanyika una varska za ccm.
      Dawa ni moja tu latina mpya,time huru ya uchaguzi ilintuwe na mamlaka ya kuchagua viongozi tunaowataka

  • @meshackaggrey7248
    @meshackaggrey7248 6 หลายเดือนก่อน +1

    Baba levo yupo vzurii mnooo

  • @fredrickkaaya6287
    @fredrickkaaya6287 5 หลายเดือนก่อน

    Acheni uchawa. Tumewagundua janja yenu CCM na mifumo yake lazima iondoke ili tuanze upya. Mifumo wowote ukisha expire lazima ufe kupisha mabadiliko. Makonda anachofanya ni kuhitimisha kifo Cha CCM. Hakika muda utasema.

  • @user-no2ut7yd3e
    @user-no2ut7yd3e 6 หลายเดือนก่อน +3

    Redio iwe na ukweli na siyo unafiki kushabikia uhujumu uchumi.

  • @daudkhatib-qn5tr
    @daudkhatib-qn5tr 6 หลายเดือนก่อน

    Vp mzee . Wetu . Mangula sialiwelewa sumu haikuwa chochote nawengine pia

  • @kudraahmad5670
    @kudraahmad5670 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna Cha kuhojiwa ,mungu yupo pamoja na makonda

  • @user-lw3tg3yg5b
    @user-lw3tg3yg5b 6 หลายเดือนก่อน

    Kazii nzuri makonda ila shughulikia secta zote mfano wabunge wanafanya nini Bungeni kama hawatetei wananchi?wanapitisha mikataba mibovu na miswada ya sheria ya hovyo kabisa waambie nao pia

  • @user-de2rg9kk7u
    @user-de2rg9kk7u 6 หลายเดือนก่อน

    OLE WAKE MTU AJE AJICHANGANYE AMGUSE MAKONDA TUTAMZIKA MZIMA MZIMA! Hii nchi itachafuka Vita vikali vya wenyewe kwa wenyewe vitazuka Itakua kama VITA YA WAHUTU NA WATUSI wa Burundi

  • @ssalimsalim3864
    @ssalimsalim3864 6 หลายเดือนก่อน +7

    Anachoongea Baba Levo ni sawa kwakweli it's very shame,hivyo hawa wananchi wa mikoa yote hio kila mtu ana matatizo na kuna wakuu wa mikoa,madiwani, wakurugenzi,maafisa ardhi,wakuu wa wilaya,wakuu wakata n'k wangeweza kutatua hizo kero lkn sababu ya ujeuri,ufedhuli,kujilimbikizia fedha,ulaji rushwa n'k wanashindwa kuwasaidia wananchi sasa kama ingekua Makonda hayupo nani angewasaidia hawa walala hoi??

    • @mustaphakisanzo479
      @mustaphakisanzo479 6 หลายเดือนก่อน

      2:14

    • @evaemil856
      @evaemil856 6 หลายเดือนก่อน

      Sasa hivi CCM inabidi wawe wakweli kwa sababu wapinzani wameweka sauti kubwa kupinga madudu mengi. Sasa wamejionea ukweli watabadilisha la sivyo wapinzani wanachukuwa.

    • @evaemil856
      @evaemil856 6 หลายเดือนก่อน

      Michezo Ya kuuana inajulikana.

    • @evaemil856
      @evaemil856 6 หลายเดือนก่อน

      Wengi waliona vifo vinatishiwa wakasema in public na kwenye vyombo vya ulinzi na hamna kilichofanyika. Tuombe amani.

    • @athumanmalala4025
      @athumanmalala4025 6 หลายเดือนก่อน

      qq

  • @ChristmasMaheri
    @ChristmasMaheri 6 หลายเดือนก่อน

    Haya mambo ya wananchi,mpaka tumefika hapa,CCM walikuwa wapi pamoja na serkali yake?

  • @lussiandennis4882
    @lussiandennis4882 6 หลายเดือนก่อน

    Oscar Oscar is clear of Baba Levo👍👍🙌🙌

  • @daudkhatib-qn5tr
    @daudkhatib-qn5tr 6 หลายเดือนก่อน

    Baba levo hapo umebugi sanna vyombo vya dola havina nguvu ya kuingilia mambo ya kuwekeana sumu

  • @user-tt5rn7kc6l
    @user-tt5rn7kc6l 6 หลายเดือนก่อน

    Baba levo ww mwana siasa lakn muono wako n sungura tu,edo na muelewa ameangalia mbali zaid

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 6 หลายเดือนก่อน

    We baba levo wasiwasi ni kipimo cha akili ankal mugu kashawai kutiliwa sumu.makonda kayaona mengi katika ziyara zake.mimi mwenyewe nilishuudiya wakati alipokutana na yule jamaa aliye katwa katwa na mapanga tisa kichwani tatu miguuni tatu mapajani.na wengine wakauwawa kikatili.ila jamaa kaokolewa na wanainchi wenye mioyo mizuri.ila makonda aliyaona hayo yote.tatizo sio wapinzani ni ccm wenyewe ndo wanakunjiana wao kwa wao.kama sema juu ya sumu kasha yasikiya kimya kimya kaamuwa kayatowa kable juu puplic ijuwe haraka.makonda anaweza.mungu yuko ccm na shetani vile vile yuko ccm.makonda ana roho nzuri sana na mtakiya maisha marefu.

  • @user-np5ry2bf5q
    @user-np5ry2bf5q 6 หลายเดือนก่อน +2

    Diamond pia hashituki na ma Popo... Makonde 😭😭😭

  • @user-nu3oz2ub9s
    @user-nu3oz2ub9s 6 หลายเดือนก่อน +2

    Baba levo ni genius akiamua asifanye comedy jamaa huwa ninoma sana

  • @user-eh3hx2vz8f
    @user-eh3hx2vz8f 6 หลายเดือนก่อน

    Makonda anafaa awe Raisi , anachokifanya safi sana sana kamanda makonda

  • @Dottosumun
    @Dottosumun 6 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda anawasaidia watanzania wanyonge ivyo mungu atamlinda

    • @HaruniManula
      @HaruniManula 6 หลายเดือนก่อน

      Uongo huo mbona hata kwa magufuri hamkupokelewa maombi yenu wanafki

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo2852 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wote hapo mnaogopa kuongea mambo ya msingi mnajuwa makonda akisikia tu unalo mzee wakaliiwa nakuomba dili tu na Mpira ndugu yangu bado tunakuhitaji

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 6 หลายเดือนก่อน +1

    Saa nyingine hera zinarudi serikali kuu hawataki kuwalipa wazabuni kwasababu hawajatoa rushwa

  • @user-ip9nc2bg1g
    @user-ip9nc2bg1g 6 หลายเดือนก่อน

    Nakubal fund majumbaaa

  • @RaymondCharlesSaliboko-to6vx
    @RaymondCharlesSaliboko-to6vx 6 หลายเดือนก่อน

    Tulikua tumemisi vitu kama hivo,makonda❤❤

  • @winniefridamutakyawa5943
    @winniefridamutakyawa5943 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe tunaogopa kifo?Dalili za wonga.Mwosha huoshwa.😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @feisalaley3629
    @feisalaley3629 6 หลายเดือนก่อน

    Kuhusu kutiliwa sumu hata magufuli kuna kipindi aliwahi kusema hilo

  • @user-rx6ey5ff3u
    @user-rx6ey5ff3u 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu papaa atakujaga kuanzisha chama ccm cwaelewi

  • @samniza1763
    @samniza1763 6 หลายเดือนก่อน

    Nyie wote ni machawa mbona Tundulisu hamkusema wasiojulikana wako wapi? Mlikaa kimya! Sasa hao hao wasiojulikana ndio watadeal na yeye na ndio maana amesema hayo. He has made his bed, he is gotta lie on it.

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 6 หลายเดือนก่อน

    KAMA HUYU NDIYO MWENEZI BASI NCHI INA UHABA WA VIONGOZI KANA UMEME WA TANESCO..

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 6 หลายเดือนก่อน

    Makonda kakangu hautakufa kwa jina la yesu, sahivi tupo macho kukuombea

  • @jahhloveyou4462
    @jahhloveyou4462 6 หลายเดือนก่อน

    Yaani wakubwa wazima mnamfikiria makonda zaidi ya wananchi wanaotendewa Mabaya,magu alisema kama mda wako umefikaumefikatu (yeye anajua ana tumbua llazima ajihami)

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 6 หลายเดือนก่อน +1

    Je,hivyo vyombo vyenyewe viko safi?

  • @joshuamtinangi6958
    @joshuamtinangi6958 6 หลายเดือนก่อน +1

    System failures.
    CCM IUNDE MFUMO WA KAZI NA WAUSIMAMIE MFUMO BADALA YA WAO KUSIMAMIWA NA MFUMO.
    JE WENZETU WAZUNGU WALIOENDELEA WANAFANYAJE KAZI?
    JE WANAPOTEZA NGUVU KAZI KWA KURUNDIKA WATU?

    • @AwardHakimu
      @AwardHakimu 6 หลายเดือนก่อน

      Upo sawa maana mtu mmoja kushughulika na washenzi wengi ni kazi sana Tanzania imejaa wavivu wakaidi wabinafsi N.k

    • @aidanesau5166
      @aidanesau5166 6 หลายเดือนก่อน

      Rigorous M&E system ya kusimamia performance ya government

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 6 หลายเดือนก่อน

    Kazi kubwa ya media zote ni kutafuta habari na kutoa taarifa kwa wanachi bila kuchagua.vyama vya siasa ila wasafi ipo kwaajili ya ccm

  • @daudkhatib-qn5tr
    @daudkhatib-qn5tr 6 หลายเดือนก่อน

    Mbona kuwekeana sumu ni kawaida sanna tz yetuu

  • @japhetsamson773
    @japhetsamson773 6 หลายเดือนก่อน +1

    makonda makonda makonda vita kubwa ushaianza,watu wamezoea kuwaonea wenzao,Cha ajabu wao hawataki kuonewa.Wanafiki wengi watakuwa upande wako uli wakumalize mapema

  • @luthermartin1098
    @luthermartin1098 6 หลายเดือนก่อน

    Baba Levo acha utani kwenye mamba ya msingi mazungumzo au swali linazungmziwa Sumu ya kuua

  • @othmanali7408
    @othmanali7408 6 หลายเดือนก่อน

    Maneno haya ya sumu aliyatamka marhemu Magu .
    Hivo inawezekana huu mchezo upo itafuteni clip ya Magu muiskilize.

  • @fundimagari5825
    @fundimagari5825 6 หลายเดือนก่อน

    Acheni unafiki ...
    Mzee kinana na nape Mnauye walipita na slogan yao vua gamba....walipigwa sana watu wa serikali.

  • @samniza1763
    @samniza1763 6 หลายเดือนก่อน

    Mnasaidia nchi yenu kwa kuwa machawa badala ya kusimamia kweli.

  • @uredmwasembo8579
    @uredmwasembo8579 6 หลายเดือนก่อน

    Piga kazi makonda na tunakuombea mungu sana

  • @kwilekesyakyamba3090
    @kwilekesyakyamba3090 6 หลายเดือนก่อน

    Hoja za Osca azieleweki nikama mtu anae tafuta umalufu kwa nguvu

  • @GodfridMbele-sb1ks
    @GodfridMbele-sb1ks 6 หลายเดือนก่อน

    Nyie wachambuzi wanafiki kila kitu mnachambua , mpira mpo , siasa mpo ndio maana mpira mmeshidwa

  • @omanoman-ir1ez
    @omanoman-ir1ez 6 หลายเดือนก่อน

    oscar unashindwa kuelewa anachofanya makonda ni kwa viongozi ambao sio waadilifu wameacha majukumu yao wanafanya ukinga wananyanyasa watu

  • @jacksonkoisi6189
    @jacksonkoisi6189 6 หลายเดือนก่อน

    Wachambuz inamaanisha makonda katoa.onyo kama Kuna anaye jipanga kuloga kayeyushwa tayari

  • @johnpella8703
    @johnpella8703 6 หลายเดือนก่อน

    Mama amekupa siyo mwingine.

  • @khalifanoti6974
    @khalifanoti6974 6 หลายเดือนก่อน

    Pambano ni Zuri tu wala hata msishangae huyu anampunguzia kazi rais wa nchi

  • @katabaroonlinetv9688
    @katabaroonlinetv9688 6 หลายเดือนก่อน

    Jamani mambo ya sumu yapo kuna mtu huko alishawahi kuisha nywele kwa sababu Mungu wa mbinguni anampigania kamsimamisha imara roho za husda na chuki zilianzia kwa kina habili na kaini jamani msipuuze😂😂😂

  • @elipidhugotesha1909
    @elipidhugotesha1909 6 หลายเดือนก่อน

    mjadala mzuri sana

  • @fadhilyassin5772
    @fadhilyassin5772 6 หลายเดือนก่อน

    Yaan makonda asiguswe na kenge yeyote wamuache kabisa

  • @AleiHadji-js3ed
    @AleiHadji-js3ed 6 หลายเดือนก่อน

    Sikia Kama Makonda ni Mtumishi wa Idara Jeee I akuaje

  • @emanueliwilsoni8485
    @emanueliwilsoni8485 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe baba Levo unanusara

  • @lusajomwakalinga5813
    @lusajomwakalinga5813 6 หลายเดือนก่อน

    Msisahau kuwa babalevo ni mwanasiasa aliwahi kuwa diwani.

  • @daudkhatib-qn5tr
    @daudkhatib-qn5tr 6 หลายเดือนก่อน

    Mtajijuwa wenyewee mliwatowa wapinani bungeni mmebakia wenyewe waovu watupuu nyiee

  • @issatwaha2768
    @issatwaha2768 6 หลายเดือนก่อน

    Acheni midomo yenu mbona magufuli aliwaikusema hivyo mbona hamjahoji

  • @mtalemwadenis1500
    @mtalemwadenis1500 6 หลายเดือนก่อน

    Utakufa kwa mipango ya mola

  • @user-oc8jo9cj6e
    @user-oc8jo9cj6e 6 หลายเดือนก่อน

    Wewe osker usiwe mpotoshaji acha makonda afanye kazi

  • @tonnyojambo1731
    @tonnyojambo1731 6 หลายเดือนก่อน

    We Eddo wewe, ukae kimya vipi? Support anaetetea wananchi

  • @user-uv3wi7yq8p
    @user-uv3wi7yq8p 6 หลายเดือนก่อน

    Huyo mheshimiwa makonda, Asiwemuoga huoniuvumi wa nyukiy, tu naukaliwake Lakini Asaliyake huwainaliwa, be, makonda ww pigamzigo tu, haowanaokutishia Sumu, wapuuzie tuu, munguyuko yukopamojana ww, pigakazy babaaa, Acha uogahuo malizahao mapapa wezzy, na wahujumu uchumiy, usitishwe na ukatishika, tiacherehe pangalako mpakakieweke

  • @KihwilyPlumbing-my6vs
    @KihwilyPlumbing-my6vs 6 หลายเดือนก่อน

    nataman siku awe rais

  • @dianasamson9311
    @dianasamson9311 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani Yanga kafunga ngapi? Wandugu maana sijaangalia match.

    • @katabaroonlinetv9688
      @katabaroonlinetv9688 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂mechi imehairishwa😂😂😂

    • @katabaroonlinetv9688
      @katabaroonlinetv9688 6 หลายเดือนก่อน

      Ilipofika dakika ya 88 wakasema yanga wanaonewa kwakuwa uwanja haukuwa mzuri dakika mbili zilizobaki watamalizia April 😂😂😂

  • @user-zk7td5bp5i
    @user-zk7td5bp5i 6 หลายเดือนก่อน

    Wasafi mnajichanganya mkiweka na siasa redio yenu itakosa mvuto, nyie tunajua mpo kwenye michezo saiv mnajichanganya

  • @FestonSimfukwe
    @FestonSimfukwe 6 หลายเดือนก่อน

    Hizo ni porojo tu na nyie watu wamezurumiwa

  • @fadhilisule
    @fadhilisule 6 หลายเดือนก่อน

    ayo anayo yasema makonda sio ya kupuuzwa Mzee wetu alianza ivo ivo kusema kuna watu ndani ya chama chao Wana nia ovu juu yake ,mwisho wa siku tuliona kilicho tokea asipuuzwe makonda

  • @user-zc2ms4wl6r
    @user-zc2ms4wl6r 6 หลายเดือนก่อน

    Wewe achana namakonda nani amuite ili iweje

  • @WilliamDaniel-hm4cr
    @WilliamDaniel-hm4cr 6 หลายเดือนก่อน

    Hiro ndio ttz la kuteua au kuteuriwa

  • @samniza1763
    @samniza1763 6 หลายเดือนก่อน

    Si ndio mambo yao hayo?

  • @piuspanga864
    @piuspanga864 6 หลายเดือนก่อน

    Utaondoka muda mfuki ujao

  • @Omarjumanne-zm9zh
    @Omarjumanne-zm9zh 6 หลายเดือนก่อน

    Dawa inachemka

  • @deogratiusyudatadei5658
    @deogratiusyudatadei5658 6 หลายเดือนก่อน

    Kama mkurugenzi kapewa hela kala je

  • @user-ut3gf1tg2n
    @user-ut3gf1tg2n 6 หลายเดือนก่อน

    MIM KWA USHAUR SERIKALI IPUNGUZE VYEO HUKU CHINI AWEPO TU DIWANI NA MWENYEKIT NA BALOZ NA MKUU WA WILAYA NA MKUU WA MKOA TUTOE HICHI CHEO CHA MKURUGENZI HICHI CHEO HAKIPO SAWA KABISA KIUTENDAJI

  • @gifatmahundi8750
    @gifatmahundi8750 6 หลายเดือนก่อน

    Mikutano ya makondo inawasaidia wapinzani kufanya kazi .

  • @RoseMtupa
    @RoseMtupa 6 หลายเดือนก่อน +1

    Si tuliambiwa anatafutwa!!

    • @mujwasteven
      @mujwasteven 6 หลายเดือนก่อน +2

      hata sisi sijui itakuwaje

  • @MosesJoseph-tp3dr
    @MosesJoseph-tp3dr 6 หลายเดือนก่อน

    Atusaidie na umeme

  • @JumaSovela
    @JumaSovela 6 หลายเดือนก่อน

    À

  • @AleiHadji-js3ed
    @AleiHadji-js3ed 6 หลายเดือนก่อน

    Munamwita Bashite nyie Vipi Munamjua Makonda Nyieeeeeee

  • @user-ht6wt6kt5f
    @user-ht6wt6kt5f 6 หลายเดือนก่อน

    Oscar akili zake bhn

  • @arrysterlyamchai4119
    @arrysterlyamchai4119 6 หลายเดือนก่อน

    Bashite ana wasiwasi kuwa wakati wowote atamalizwa kutokana na maafa ambayo alishawahi kufanya akiwa RC Dsm. Makonda ni mtu wa hivyo sana. I'm sorry!

    • @HamisMberwa
      @HamisMberwa 6 หลายเดือนก่อน +3

      Yaani wewe ndio bashite

    • @vanemmy6043
      @vanemmy6043 6 หลายเดือนก่อน +2

      unaongeya utumbo tu

    • @SharifaOmary-ui8vs
      @SharifaOmary-ui8vs 6 หลายเดือนก่อน

      Pole yako

    • @user-cb8ro1ly2i
      @user-cb8ro1ly2i 6 หลายเดือนก่อน +2

      Kaa kimya mbwa wewe hujui lolote

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 6 หลายเดือนก่อน +2

      Kaka kimnya mbwa koko wewe Bashite ni Babu yako mbwa we.
      Tuachiye Makonda wetu.

  • @gwakisakaswaga5249
    @gwakisakaswaga5249 6 หลายเดือนก่อน +3

    Baba Levo kumbe wewe ni kichwa.

  • @user-jl5un4wf3u
    @user-jl5un4wf3u 6 หลายเดือนก่อน

    Chama ndicho kiliweka serikali Madarakani nikazi yachamakuisimamia serikali tena tingatinga lipite kwawale wote wanao dhaniwa ndio vinara wamatatizo makubwa kwenye jamii zawatanzania wakawaida nawalio wrngi.

  • @WilisonBagumya
    @WilisonBagumya 6 หลายเดือนก่อน

    Jambo hilo si ajabu kwa mtanzania mwenye akili tunafajamu yaliyo kwisha kufanyika kwa Magufuli na wengine.

  • @user-ut3gf1tg2n
    @user-ut3gf1tg2n 6 หลายเดือนก่อน

    Pambano kali sana ten serikali ishapigwa KO