WAMETUKOMOA AU WAMEJIKOMOA? SHEIKH KADOGOO AHOJI WATAWALA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • Tumepigika peke yetu au nao wamo?

ความคิดเห็น • 83

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 หลายเดือนก่อน +14

    AKILI KUBWA HII..❤

  • @kimalinganomhelela8377
    @kimalinganomhelela8377 หลายเดือนก่อน +11

    Huyu Bw.Kadogoo kaongea maneno manzito sana.Hongera yake.

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 หลายเดือนก่อน +9

    Kadogoo maneno yako ni ya haki ubarikiwe

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo หลายเดือนก่อน +16

    Huyu ni Mbegu ni mbegu ya ukombozi, "a seed revolution that needs to be irrigated" daily.
    Ni kichwa lazma ukipende kwa hoja zake!!
    Allah Akbar!!

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 หลายเดือนก่อน +10

    UNAJUA KUJENGA HOJA KIONGOZI ❤

  • @kenedyrocky4641
    @kenedyrocky4641 หลายเดือนก่อน +9

    Hongera Sana MH Shekhee Kadogoo.
    HOTUBA NZURI SANA KUWAHI KUTOKEA.

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 หลายเดือนก่อน +7

    Wengine ni mtaji tu wa kuwafanya wenye ccm yao kula maisha.

  • @Kwelihukuwekahuru
    @Kwelihukuwekahuru หลายเดือนก่อน +6

    Kiswahili fasaha unaeleweka ni bahati mbaya Watanganyika hatuna ufahamu bora Wazanzibar wanajielewa

  • @augustinemukandara9341
    @augustinemukandara9341 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu shehe Kadogoo anatisha!! Elimu anayotoa usipoelewa basi tukuombee!!! Hongera sana sana Kadogoo!! Tukiendelea hivi watu wataelewa watafunguka!!!

  • @kibabumlelwa71
    @kibabumlelwa71 หลายเดือนก่อน +1

    Uko vizuri sana sheikh Kadogoo. Waislamu wanahitaji watu revolutionary kama wewe sio wale wachukua bahasha za kakhi

  • @lekishonmolele1859
    @lekishonmolele1859 หลายเดือนก่อน +5

    Walai tena wanachi ni mtaji wa ccm huyu Sheeh ameonge ukweli Mungu amjalie 🙏🙏🙏

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 หลายเดือนก่อน +2

      Sio uongo hata kidogo lakini shida kuna watu hawajitambui na hawatokujakujitambua sijui wamerogwa na nani

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 หลายเดือนก่อน +5

    Hotuba hii inaniuma sana! Sisi ni mtaji wa kuwafanya wachache wafaidi matunda halisi ya nchi hii.

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 หลายเดือนก่อน +7

    Huyu she cdm watembee nae all over the country

    • @MajiiIfande
      @MajiiIfande หลายเดือนก่อน +1

      Anafaa kwa campain

  • @TidysonKatema-hf4jm
    @TidysonKatema-hf4jm หลายเดือนก่อน +5

    Ukweli mtupu

  • @user-xe8xv6so6s
    @user-xe8xv6so6s หลายเดือนก่อน +3

    Chadema mko vizuri Sana. Nawapenda. Mnajua kujenga hoja zenye mashiko ❤❤❤❤✌️✌️✌️✌️ chakwanza tuhakikishe daftari la kupigia kura.
    Ila wanaopiga kura kwa kupewa. 5000 ni kukosa maarifa saaaana. CCM wanacheza na akili za watu. Watu nao tamaa zinawaponza Sana. Tunakubali kuuza kura kwa 5000 baada ya hapo. Shida. Shekhe uko vizuri saaana❤❤

  • @donaldmaziku7915
    @donaldmaziku7915 หลายเดือนก่อน +3

    Shehe, Kadogoo..... uko vizuri & so bright

  • @jumahalifamkindi2175
    @jumahalifamkindi2175 หลายเดือนก่อน

    Sheikh Kadogoo uko vizuriii sana kwenye hoja👏👏👏

  • @vicentkisogo4970
    @vicentkisogo4970 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu tajiri❤❤❤❤

  • @samwelkavwanga4491
    @samwelkavwanga4491 หลายเดือนก่อน +2

    UNA AKILI KUBWA SANA SHEHE..WEE NI MZALENDO WA KWEL

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 หลายเดือนก่อน +3

    Madini konki! Angalia wasikuhonge kama Msigwa wakakutoa kwenye focus ya kupigania haki za wasio nacho

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂Festo bhana, khaaaa

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 หลายเดือนก่อน

      @@illomowerner7690 hujaona clip ya Nape? Kwa maoni yangu yule kijana hana dini hivyo hana hofu na Mungu na hii inategemea mazingira aliyozaliwamo japo twas ema "kitanda hakizai haramu"! Ni najisi tupu kutoka kinywani mwake

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 หลายเดือนก่อน +3

    Na zaidi Sheikh, hujaenda huko kusalisha!!

  • @nashonkibayayu3776
    @nashonkibayayu3776 6 วันที่ผ่านมา +1

    Ukweli mtupu!

  • @pennymahombo9528
    @pennymahombo9528 หลายเดือนก่อน +3

    Great minds

  • @nurumvungi2210
    @nurumvungi2210 18 วันที่ผ่านมา +1

    Nimemuelewa

  • @erickmsigala138
    @erickmsigala138 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni Shehe wa kweli siyo wale wachumia tumbo kweli Chadema ni mpango wa Mungu huyu Kadogoo ana ushawishi siyo wakawaida

  • @paulremigiuspaul3293
    @paulremigiuspaul3293 หลายเดือนก่อน +2

    Stand up with Justice being witnesses for God. And then even if it is against your own people. (Qur'an 4:135)

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 หลายเดือนก่อน

      Be blessed Pail for your smart lodt

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 หลายเดือนก่อน

      Smart post, sorry for the writing error

  • @stevendominic1844
    @stevendominic1844 หลายเดือนก่อน +1

    Kiongozi uko vizuri Kwa asiyekuelewa hatokaaa aelwe Hadi kiama.

  • @albertkamala6843
    @albertkamala6843 หลายเดือนก่อน +3

    >Ni uharibifu wa maisha ya jamii..athari mbaya sana ya muda mrefu!
    >Hali mbaya ya maisha inatukabili sote..umaskini wa wengi katikati ya utajiri!
    >Maisha bora ni kwa kundi dogo sana la walio madarakani!

  • @othmanali5362
    @othmanali5362 หลายเดือนก่อน +2

    ❤ hongera

  • @gabrieljoseph4603
    @gabrieljoseph4603 หลายเดือนก่อน

    Hotuba nzuri sana haija wahi tokea

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 หลายเดือนก่อน

    Asante sana shekhe

  • @japhethcharles5791
    @japhethcharles5791 หลายเดือนก่อน

    Mnhh .hii noma sana 😎

  • @kammunisi2296
    @kammunisi2296 หลายเดือนก่อน +4

    Chadema inakua ni dhahabu tuu inangaaaa

  • @gerkombo6512
    @gerkombo6512 หลายเดือนก่อน

    Well said ustaadh

  • @user-cp8df8ik5h
    @user-cp8df8ik5h หลายเดือนก่อน +2

    Duh!

  • @user-pf2qk8fz9o
    @user-pf2qk8fz9o หลายเดือนก่อน +1

    Mzee narudia Tena Ile clip iliyopita kwamba chadema haishiwi karama ya viongozi 😊😊

  • @MajiiIfande
    @MajiiIfande หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa anatufaa

  • @c.l.g.mchurch6426
    @c.l.g.mchurch6426 หลายเดือนก่อน

    Hongera kiongizi madini hayoo ❤🎉

  • @gabrielmahala9848
    @gabrielmahala9848 หลายเดือนก่อน

    Umenigusa kwaķweli 😭😭😭

  • @christophermalango1433
    @christophermalango1433 หลายเดือนก่อน

    Asante Sana kwa hotuba nzuri ubarikiwe sana

  • @YusufuMagembe
    @YusufuMagembe หลายเดือนก่อน

    Umeongea points nzl sana

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 หลายเดือนก่อน +3

    msgwa Kwa huyu jamaa saw na V8 na Bajaji

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 หลายเดือนก่อน

      Gift Kalenge bhana, unapiga kwenye mshono, daaaa

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu shehk mbona anatoa elimu kubwa hivi ni elimu

  • @HassanYellows
    @HassanYellows หลายเดือนก่อน

    Hatari

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉🎉❤❤❤

  • @user-kl8xf1yk2b
    @user-kl8xf1yk2b หลายเดือนก่อน

    Uyu jamaaa anaijuwa siasa

  • @JoshuaStanley-qu3im
    @JoshuaStanley-qu3im หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa

  • @Kwelihukuwekahuru
    @Kwelihukuwekahuru หลายเดือนก่อน +3

    Wamesahau kuwa CDM ndiyo walipiga kelele mpaka mashehe wakaachiliwa

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa, CHADEMA ndio waliowapaazia kelelw masheik walioonewa na kufunga gerezani

  • @user-yt8db6et9q
    @user-yt8db6et9q หลายเดือนก่อน +1

    Mbegu ya ukombozi wa fikra

  • @eunho9529
    @eunho9529 หลายเดือนก่อน

    Tanzania ikipata viongozi wa dini wa namna/aina hii, itakuwa imepata uhuru

  • @stevendominic1844
    @stevendominic1844 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏🙏🙏

  • @ga2revocatus91
    @ga2revocatus91 หลายเดือนก่อน +1

    Ccm wamekomoa wananch

  • @frankcharles3980
    @frankcharles3980 หลายเดือนก่อน +1

    HUYU SHEHE NIMTU NA NUSU CHADEMA NGOME IMARA

  • @Gahii-s5q
    @Gahii-s5q 16 วันที่ผ่านมา

    Mi naamn waliotufikisha apa tulipo ni viongozi wa dini kukaka upande wa ccm wote. Kwa sababu ya matumbo yao

  • @Gahii-s5q
    @Gahii-s5q 16 วันที่ผ่านมา

    Viongoz, wa dini ni machawa ccm, cjui we shee umeweza je kuchomoka uko!

  • @januarysila1569
    @januarysila1569 หลายเดือนก่อน +1

    urikuwa wapi

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 หลายเดือนก่อน

      Sheik alikuwa kusoma si unaona hoja zilivyoshiba na zinavyoakisi uhalisia wetu

  • @christophermalango1433
    @christophermalango1433 หลายเดือนก่อน

    Natamani nikupigie makofi mengi

  • @Worldunite
    @Worldunite หลายเดือนก่อน +1

    ...huenda baada ya miezi kadhaa unahamia ccm
    Siasa bwana😂😂

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅

    • @sebastianmwantuge5597
      @sebastianmwantuge5597 หลายเดือนก่อน +4

      Lakini kwa sasa tunashukuru anawafumbua watu macho

    • @Worldunite
      @Worldunite หลายเดือนก่อน

      @@sebastianmwantuge5597 hakika

    • @Henricovicent
      @Henricovicent หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @StephenLetta
    @StephenLetta หลายเดือนก่อน

    Anaongea lugha ambayo mtu wa kawaida anaweza kumwelewa

  • @BenjaminSululu-uz6sd
    @BenjaminSululu-uz6sd หลายเดือนก่อน

    IPO SIKU HUYU ATAKUWA TENA CCM KWA NENO NAUNGA JUHUDI NAKUANZA KUIPONDA CHADEMA OGOPA SANA SIASA

  • @cassimoa9217
    @cassimoa9217 หลายเดือนก่อน

    Hana lolote njaa inamsumbua kaenda tafuta mtaji cdm

    • @Kwelihukuwekahuru
      @Kwelihukuwekahuru หลายเดือนก่อน +3

      @@cassimoa9217 siyo kweli mkweli siku zote hupendwa na wenye kweli na hapendwi na wanafiki na waroho wenye ubinafsi mwenye kweli athibitishe uongo wa huyu Shehe huyu amekuwa sauti ya MUNGU hajapindisha wala hajajipendekeza

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 หลายเดือนก่อน +2

      Sio kila mtu ni mlafi sio wote wananunulika

    • @dribrahimmamboleo4435
      @dribrahimmamboleo4435 หลายเดือนก่อน +1

      Umetumia nini kuongea, au umekatika kichwa?

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 หลายเดือนก่อน

      ​@@Kwelihukuwekahuru @ cassimoa kwa busara kubwa sana bila kupaniv, hongera @kwelijukuwekahuru coz yawezekana haya yeye hajielewi, yaani badala ya KUJADILI fact anageneralize KUWA njaa imemleta sheik CDM, wakati anauona uhalisia WA anachokisema, daaaa.
      Halafu unaweza kuona ni kijana mwenzetu

    • @erickmsigala138
      @erickmsigala138 หลายเดือนก่อน

      Utakuwa na govi wewe unaye mpinga huyu Shehe