KIBANDA AWAJIA JUU WANAOMTANGAZA SAMIA KUWA MGOMBEA 2025, "WANAMHARIBIA RAIS"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►TH-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

ความคิดเห็น • 64

  • @andrewkissava9184
    @andrewkissava9184 5 หลายเดือนก่อน +13

    Nashauri raisi samia asipewe kipindi kingine tena kulingana na hali ya maisha ya watanzania kuwa magumi kwa kuwa ameshindwa kudhibiti mfumko wa Bei ya vitu ,kwa mahitaji ya watanzania kama vyakula,mafuta,hali ya kukatika kwa umeme, vifaa vya ujenzi ,kuwapuuza wananchi juu ya Bandari na kuiuza,kufukuzwa wa masai kwenye aridhi yao na ufisadi wakila namna juu ya taifa hili ,kwa hayo aachie ngazi tu amshukru MUNGU kwa kumtunuku kwa mda alio ongoza

    • @salummohamed2689
      @salummohamed2689 5 หลายเดือนก่อน +3

      Tena huyu akigombea, hiyo CCM itatumia NGUVU kubwa na kuvuja na rekodi Afrika, mbayo itawasambaratisha wtznia na kusababisha nasi tuundiwe tume ya usuluhishi! TUSUBIRI muone.

    • @HamisiMakasara-hb3nt
      @HamisiMakasara-hb3nt 5 หลายเดือนก่อน

      ⁉️

    • @jesaminzo
      @jesaminzo 5 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂. Na January Makamba alipokuwa anaongea na diaspora kajisalimisha kwa Samia.

    • @TPW_FLUXY
      @TPW_FLUXY 5 หลายเดือนก่อน

      Kabisa ila mijizi ambayo ni machawa wamekeisha anza kupigia debe na ushindi juu eti

    • @mkude
      @mkude 5 หลายเดือนก่อน +2

      Mtaumia sanaaa ila mama Samia atashinda Kwa urahisi sanaa, kwanza hakuna mtu makini atakayoweza kulishika nafasi kubwa kama ya urais.Mama Samia kathibitisha anaweza kaichukua nchi katika wakati mgumu kaitiza nchi na miradi yote mikubwa aliyoachiwa na rais magufuli kaitekeleza na mengine anaendelea kuitekeleza.

  • @mkude
    @mkude 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mama Samia atashinda urais kwa wepesi sanaa mwakani maana kathibitisha katika utawala wake anaweza kaichukua nchi katika kipindi kigumu katuvusha salama nchi ilo salama miradi yote mikubwa aliyoachiwa anaitekeleza mengine yameshakamilika.

    • @TPW_FLUXY
      @TPW_FLUXY 4 หลายเดือนก่อน

      Kipindi gani kigumu tulicho kuwanacho zaidi yahichi tulicho kuwanacho acha upuuzi mwajuma ndala ndefu anaipeleka nchi vibaya hafai hastahili kupewa nafasi nyingine huyo jambazi la kike hilo tumelichoka limeisha tuuza kwa waarabu siku nyingi liongezeni muda litumalishe

    • @AliAbdullah-oy6yo
      @AliAbdullah-oy6yo 3 หลายเดือนก่อน

      Mpuuzi ww usiekuwa na kumbukumbu kama taahira mshasahau magufuli ujatili wake? Wakosefu wa fadhila sana nyinyi.​@@TPW_FLUXY

    • @Expedito2512
      @Expedito2512 2 หลายเดือนก่อน

      Daaa!

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 5 หลายเดือนก่อน

    Mjadala mzuri sana journalists wetu. Hongereni sana

  • @mkude
    @mkude 5 หลายเดือนก่อน +1

    Chadema hakuna mtu makini wa kuweza kushindana na Mama Samia,Samia atashinda wa urahisi sanaaa mwakani

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 5 หลายเดือนก่อน +3

    Tatizo CCM wao ni watawala na wao ndiyo wavunja kila sheria. Tuko katika utawala wasio jali sheria walizo ziweka wao. Na ndiyo sababu wizi wa kila aina kwao ni rukusa. Wanaharibu tabia za watoto wetu. Najua wao wanafanya kichawa kujipendekeza arudi kywa waziri mkuu. Hata ukijipendekeza huwezi kusoma nyakati kuwa tayari ana waziri mkuu wake?

  • @mohamedisalimu
    @mohamedisalimu 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mwaka 2000 mama Getrude Mongela alitaka kuchukua fomu lakini alokuwa mwenyekiti wa umoja vijana ccm Emanuel Nchimbi alitoa tamko kwamba yoyote atakaejitokeza kuchukua fomu tutamsakama mpaka atoke ndani ya chama ..kwa iyo haya yalifanyika hata kwa mkapa

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 5 หลายเดือนก่อน +1

    WATANGANYIKA HATUNA AKILI, TUMUACHE HUYU MZANZIBARI BIBI SAMIA ATUONGOZE MAANA AMESOMA KUPITA SISI WATANGANYIKA👀!

    • @mkude
      @mkude 5 หลายเดือนก่อน

      Itakuwa wewe ndo unaugonjwa wa akili nenda milembe kajicheku, watanganyika na wanzanzibari.watanzania watamoa kura Kwa wingi sanaa mama Samia,

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 4 หลายเดือนก่อน

    Huyo ndiyo mgombea kwa tiketi ya Ccm wa vyama vingine watajijua wenyewe

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kibanda umenena lakini hawasikii, acha wavunje sheria ili matokeo yake itatengenezwa sheria ya kuisaidia nchi hii kwa ajili ya Watanzania wajao maana sisi tumeshindwa na "TUHUKUMIWE".

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 5 หลายเดือนก่อน +1

    Machawa wanawashwa washwa kutangaza mgombea kabla ya muda! Tunataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kabla ya uchaguzi ujao, ccm haifai kuongoza Taifa hili tena!

  • @karimmveyange280
    @karimmveyange280 5 หลายเดือนก่อน

    MAKOSA makubwanyanayo endelea no Uwekezaji usipende faa kabisaaa. Mambo men go Yarra yasimamiwe na kuendeshwa na Taifa lenyewe. Nakuto kule wabadhirifu,eti kwa homes ya Democracy

  • @RaphaelmagesaTaro
    @RaphaelmagesaTaro 5 หลายเดือนก่อน

    Hali ngumu inasabashwa na watu wachache walioushikilia uchumi na fedha!

  • @kisokimhagama9526
    @kisokimhagama9526 5 หลายเดือนก่อน

    Sikutegeea kama unataka kubwabwaja ujinga kama huj.

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 5 หลายเดือนก่อน

    Mpinzani wa kweli.atatoka CCM.

  • @borysaronge1493
    @borysaronge1493 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe usipende kuchosha watu kawasemee chadema

  • @1961nungwi
    @1961nungwi 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kibanda acha maneno mingi: Mama mitano tena!!

  • @user-ry3zq8vp5c
    @user-ry3zq8vp5c 5 หลายเดือนก่อน

    Niwogaru ndoma rais ariamrisha majeshiyaurinzi nausarama wajiandae niwogatu achawaenderee sheriazitasema

  • @mathayomwashambwa1238
    @mathayomwashambwa1238 5 หลายเดือนก่อน

    KUNA BARIDI SANA KISIASA WALA HAKUNA MOTO SIO UPINZANI AU CCM, SIJUI LABDA ATOKEE MOTO KWELI KWELI, SIJUI TUNGOJE UPEPO..

  • @evaemil856
    @evaemil856 5 หลายเดือนก่อน +1

    Act wanatuunga mkono CCM. Ni km Baba na mtoto wake.

  • @user-gd2xj3xd1b
    @user-gd2xj3xd1b 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kwailo hata CCM ZANZIBAR wanamuambia mwinyi kuwa mitano 5 tena

    • @hamisimuhunzi7916
      @hamisimuhunzi7916 5 หลายเดือนก่อน

      Tanzania haiwezi endelea kwa sbb ya wasomi wameamua badala ya kufikiri kwa kutumia matumbo yao badala ya kichwa

  • @solomoneglesias9752
    @solomoneglesias9752 5 หลายเดือนก่อน

    Akitangazwa wa CDM tu wanafungiwa hapo cdm wawe makini huu ni mutego mbaya sana kwa cdm hata ivo wanaompamba Samia mdomoni wako mbali sana moyoni

  • @karimmveyange280
    @karimmveyange280 5 หลายเดือนก่อน

    Mzungumze UKWELI jamani

  • @hamisimuhunzi7916
    @hamisimuhunzi7916 5 หลายเดือนก่อน

    Tume ya uchg Sio taasisi huru iko chini ya Rais na ni mali ya Rais hawawezi kuwakemea mabosi wao wanaowapa mkate wao wa kila siku..

  • @ibrahimmohamed8845
    @ibrahimmohamed8845 5 หลายเดือนก่อน

    Inaelekea demokrasia imefutwa CCM, maana uhuru wa kugombea kwa wenye nia.

  • @kiatu
    @kiatu 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ndio maana hawataki tume huru 😅

  • @januarysila1569
    @januarysila1569 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mwadishi acha kuchumia tumbo na maswari ya kujikomba kwa watawara

    • @philemonsnyanda9450
      @philemonsnyanda9450 5 หลายเดือนก่อน

      Umeona! Huyo anaehoji naona ni timu samia

  • @WilliamMwangwa
    @WilliamMwangwa 5 หลายเดือนก่อน

    Uchawa ni ugonjwa mbaya sana kwenye siasa

  • @borysaronge1493
    @borysaronge1493 5 หลายเดือนก่อน

    Kwani wanachama wakitoa mapendekezo yao wanashida gani hayo ni yao mbona tundulissu aliishasema anatamani kugombea urais kwani wewe ndugu kibanda mbona unakerekwa na mipango ya ndani ya ccm ulitaka chadema ndio waanza kusema kwa sababu hata Rais Samia asiposemewa na wanaccm bado mchakato wa chama utafuata taratibu zake na hayo ni mapendekezo ya akina mama wewe ndugu kibanda ndie umeingiwa na baridi na woga na hofu inawezekana kuna kundi ambalo wewe binafsi unalijua nawamekutuma useme hayo kama ni kutangaza msubiri yeye atatangazia umma wa watanzania na kwanini usiwaseme chadema ambao wanaowaaminisha wanachama wao kuwa ushindi kwao ni lazima na labda ccm waibe kura je wewe ndugu kibanda unaukweli kwamba chadema lazima washinde urais na ccm wataiba kura kwanini ukimbilie hoja nyepesi kama hizo na kuacha kukemea matamshi ya hovyo yanayotolewa na chadema wewe unasema kuwa ni mhariri hauoni kuwa hauna hoja hapo kwani umesikia kuwa hiyo hela zilizotolewa ndiyo bei ya uchukuaji wa fomu za kugombea Urais wewe unajambo lako na nyinyi ndio wanafki wenyewe utasemaje kuwa wanamharibia Rais Samia

  • @user-sl1ko9me7u
    @user-sl1ko9me7u 5 หลายเดือนก่อน

    TUWE WAKWELI.....HAKUNA DEMOKRASIA YA KWELI NA DHATI KATIKA UCHAGUZI WA MGOMBEA WAO WA URAIS NDANI YA CCM!

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 5 หลายเดือนก่อน

    Kuna ubabe ndani ya demokrasia au ikoje ? Maana uhuru wa kikatiba unapashwa uheshimiwe. 2020 kuna chama mgombea wa nafasi ya urais alikuwa mmoja tu aliyepewa fomu. Hiyo sasa inajirudia su ?!?

  • @user-ii3xo5jw9y
    @user-ii3xo5jw9y 5 หลายเดือนก่อน

    Shida msimlinde Bibikuku. yeye anawasiwasi anakubali kuwakuwa na Taharuki. Unajua hii inatokana na kuwa Rais anaye fanana kama ameupata Urais kama mtu aliyetoka kwenye sherehe za vigodoro? au mshereheshaji wa makapu ya mama. Samia she is not a president material. Kudhindwa kwake kuongoza nchi akajizungusha wacheza taarabu na kupenda maneno ya uswahilini mwana udaku,ndiyo yake Bibikuku. tumetawaliwa na watu mbali mbali wewe uliwahi kuona watu wa hovyo wapo na Rais karibu hata hadhi hawana lakini Samis ndyo Washburn wake! Afuatsna nao kika mahali wanazungumza mambo ya nchi kama ni mambo ya Simba na Yanga
    Mtamwibia kura? mtamtangaza lakini Samia she was born to be Vigodoro player or Air Hotess
    Sorry we are going to west onother six years. Poor Tanzanian? my God help us.

  • @user-sl1ko9me7u
    @user-sl1ko9me7u 5 หลายเดือนก่อน

    MH. RAIS SAMIA HAJIAMINI.....ANA WOGA MKUBWA NA ANAONA HAWEZI KUSHINDANA NA WANA CCM WENZAKE KUWANIA KUBEBA BENDERA YA MGOMBEA WA CCM 2025.

    • @mkude
      @mkude 5 หลายเดือนก่อน

      Wewe huna unalolijua,MAMA Samia anajiamini sanaa ,kaichukua nchi katika wakati mgumu ameweza kuituliza nchi IPO salama na amani mpaka hivi sasa,hizo ni sifa tosha kwamba anaweza na anajiamini na Hana papara kabisa na anahekima kubwa

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 5 หลายเดือนก่อน

    Je kama kwelikweli lakini mbona hakuna karipio kutoka tume au hawahusiki?😮

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 5 หลายเดือนก่อน

    Baba,tume ya uchaguzi haisikiagi hayo.

  • @luthermartin1098
    @luthermartin1098 5 หลายเดือนก่อน

    Wachukuliwe sheria ,Tume ya Uchaguzi Iko wapi?

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 5 หลายเดือนก่อน

    Tunataka katiba mpya..

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 waandishi wa JAMBO TV wanafanana uulizaji wa maswali kwa wapinzani 😂 Dawa yao ni Mwabukusi 😂 Anatoa majibu akiuliza maswali na yeye mpaka mwandishi anaonekana anaongea vitu asivyovijua 😂😂😂

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kibanda ameongea vuzuri, Ccm wamepaniki

    • @philemonsnyanda9450
      @philemonsnyanda9450 5 หลายเดือนก่อน

      Mbona lowasa alipotangaza nia yake ya safari ya matumaini walianza kumtukana

  • @user-sl1ko9me7u
    @user-sl1ko9me7u 5 หลายเดือนก่อน

    TUME YA UCHAGUZI MKO WAPI CCM NA ACT WAZALENDO WANAVUNJA SHERIA YA UCHAGUZI WAZI WAZI?

    • @salummohamed2689
      @salummohamed2689 5 หลายเดือนก่อน

      Eeeh, Kuna tume ipi ya uchaguzi? Hiyo ya kulinda maslahi ya watawala au?

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 5 หลายเดือนก่อน

    huyu samia hatumtaki

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 5 หลายเดือนก่อน

    Yani mpaka chadema mtakunya karanga.

  • @godwinshoo5032
    @godwinshoo5032 5 หลายเดือนก่อน

    Huo ni utaratibu wa CCM kuhakikisha kuwa rais aliyeko madarakani anapewa muda wa kipindi cha pili ili kutekeleza yale aliyoyawekea msingi kwenye kipindi cha kwanza.Hii ndiyo sababu viongozi wa chama hicho wanawakumbuka wale wasiofahamu hayo kama anayedai kuwa kuna uvunjwaji wa sheria! Asome hiyo sheria vizuri labda atasahihisha hayo anayosema!

    • @usembiphonedar5632
      @usembiphonedar5632 5 หลายเดือนก่อน +2

      Kama huo ndiyo utaratibu wa ccm,mbona JPM aliondolewa kwa usaliti kabla ya kumaliza kipindi chake cha pili!? acha wajitoe ufahamu ila wajue auwae kwa upanga atakufa kwa upanga!

    • @Zaikadena
      @Zaikadena 5 หลายเดือนก่อน

      Ww ndo hujamuelewa kaa kimya

    • @AliAbdullah-oy6yo
      @AliAbdullah-oy6yo 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@usembiphonedar5632Hahahahaaa ndio umejijibu Magufuli aliua Wazanzibari akadhani na yy atakuwa madarakani maisha sasa yuko wapi?

    • @usembiphonedar5632
      @usembiphonedar5632 3 หลายเดือนก่อน

      @@AliAbdullah-oy6yo Unaonekana udini na uzanzibar ndiyo umekujaa! ndiyo sababu unashabikia kifo cha mtu! Wewe mwenyewe ni marehemu mtarajiwa! Huijui kesho yako! aliua nani yako! au ndiyo zile maiti zinazotembea kila kitu ni kusifia,kupongeza na kutetea uovu unaofanywa na viongozi! wananchi wakiongea mnaleta udini na uzanzibar hapa! Hujui ya Mungu kuhusu kesho yako! Na huwazii Tanzania ya kesho na watoto wako! Au unatarajia kuacha Taifa na rasilimali ziuzwe ziishe kisha watoto wako utawarithisha huo UCHAWA wako! au kwa vile hamuuzi rasilimali za Zanzibar? mnauza za Tanganyika kwa sababu hamna uchungu nazo?!

  • @eliasmedutieki7578
    @eliasmedutieki7578 5 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ni kweli wanafanya mpango wa kuvuruga uchaguzi na ndio maana wameanza kusema mama anaupiga mwinbi na hii ni mchongo wa kina Nape kulinda maslahi yao