Umeongea vizuri sana.Mungu akubariki na azidi kukulinda ,kukupa maisha marefu na kukupa maarifa zaidi,busara zaidi na hekima zaidi mr.Ngurumo.Shida ya nchi hii ni ujinga uliotujaa na cha kustaabisha hata wasomi pia wengi wao ni wajinga kupitiliza hadi najiuliza hawa wasomi walienda shule ili kuongeza ujinga au maarifa maana naona kama wasomi wengi waliopo wengi ni wajinga sana.Tatizo la nchi hii ni ujinga uliotujaa watamzania na watawala kutumia ujinga tulionao kutuongoza wanavyotaka.
Leo umeongea point sana watu wa tz tuemakini makonda kwel anafanya maigizo kwasababu watu walozulumu watu wachama chake na watu wenye akili ndogo wengi ashawateka #
✍️🎉🍾Ngurumo wewe mi zawsdi yetu🎁 toka kwa Mungu ✔️✔️✔️🇹🇿🇹🇿🕺🧑🦲🙏💃👭👪🤽 Mungu iponye ibariki TANZANIA tupe wenzetu wengi kma hao ktk jina la Yesu mnazareti. Amina. Alutacontinuaa 7 x70.🎉🎉❤
Inasikitisha sana ,kwani makonda analia na maovu yanayosababishwa na chama gani,watz wengi kukosa Elimu ndiyo tatizo kubwa ,haiwezekani kufikia hatua kama tulipo fika macho yapo yanaona lakini uwezo wakutambua haupo😊😊😊
Mtu haishi kwa mkate tu (................................)anayekushauri ushugulike na mambo ya kijamii peke y'ake, Mimi namkosoa siyo.Kwa taaruma au weredi ulionao we ni mtoto wa Mungu endelea kumtukuza kwa kipaji hiki alichokupa nakupa hongera Mungu akuongezee hekima uendelee. kutushauri usiache.Wewe unaitwa Ngurumo uendelee kunguruma kitakatifu.
Nakupongeza Sana mwandishi kwa busara luilizopewa na Mungu wako naunatushirikisha sisi viziri mungu akujalie zaidi hata wasiokuelewa awafungue macho na mioyo Yao ili wakuelewe
Kiukweli mtu anae ona kuwa makonda eti anafanya kutatua shida za wana nchi inatakiwe uwe na macho ya rohoni ndipo utajua nyuma ya pazia kinachoendelea kuwa ni maigizo
Kama wewe unavyotumia ukweli kutuchota akili tuichukie serikali na viongozi wake. Unatuambia haya ili iweje? Kama haupo sawa na makonda au hao viongozi wa serikali. Upo ktk nyumba nzuri na unaonekana hauwazi kuhusu maisha magumu, je majirani wasiojiweza wanaokuzunguka hapo mtaani kwako umewafanyia jambo gani?
NASHUKURU SANA KWA UCHAMBUZI MZURI SANA NA UMENIFANYA NIZIDI KUICHUKIA NA KUZIJUA HILA ZA KISHETANI ZA CCM ZINAZO LETWA KWETU WANANCHI KAMA JAMBO ZURI. KUMBE NI WIZI NA UJAMBAZI ULIO KOMAA NDANI YAO CCM.
Kondo LA nyuma ccm limeshawatoka du hatari,,safari hii kama wataendelea kuiba na kuupora uchaguzi KITAKUWEPO KIMEMBE KWASABABU WATANZANIA WENGI WANAJUWA CCM HAWASHINDI UCHAGUZI MPAKA WATUMIE FIGISU
@@michaelmulokozi1512 niliwahi kufika kibosho major seminary kumtembelea (Ngurumo) pamoja na rafiki yangu(Kahamba) 1997.. ni rafiki mpole,organist mzuri..
Nyerere alisema kuwa “ADUI YETU MKUBWA NI UJINGA, UMASKINI, NA MARADHI”… angalia jinsi awa MAADUI wawili wakubwa UJINGA NA UMASKINI wanavyoliteketeza Taifa na adui wa tatu MARADHI yeye ni kiulaini kuwapeleka wananchi kwa MOLA WAO…INASIKITISHA SANA.
Makonda Ni Mtu Wa Hovyo Sana, Inashangaza Ni Watawala Tulionao,Ilifaa Awe Magereza Chaajabu Nachakushangaza Eti Ndiyo Msemaji Wa Watesi Wa Watanzania MUNGU Tunusuru.
Huyo makonda anacheza na saikolojia za watanzania,ila wananchi wenzangu hawaijui hiyo habari.staili hii ni ya anko magu.sasa naye anakuja nayo kwa kuwa anawajua watanzania sisi ni wajinga sana.
kiongozi unafanya kazi nzuri sanaaa,,,,,hv huyu jamaa ajawah kufanya memaaaa na kama qmefanya mbona uzungumzi au utaratibu wako nkiona negativity?????¿
Mheshimiwa Ngurumo umempiga Makondo na kitu kizito kwenye utosi Hizi propaganda zake anazoeneza umezipanch kwa ngumi nzito hakika wewe ni miongoni mwa waandishi wa habari wachache sana mnaofanya kazi ya Mungu Endelea kuelimisha uma kuhusu hizi propaganda za makonda na genge lake Mungu akubari sana
Viongozi wa kaskazin ndio walioleta umasikini katika nchi hii sio makonda hawakuupenda ujamaa hivyo wakahakikisha unakufa ili kutimiza azma ya chifu mareale ya kujitenga fata hotuba ya mareale un 17/6/1958 ilio fuatiwa na ya mwl.nyerr 18/juni/1958 ,usidanganye watu na kuhusu wabunge kukaa dar ,ni upuuzi wao wa kutokujua wajibu wao kwa waliowachagua ziara hii ya makonda ina dhihirisha hawafanyi kazi hawana muda ya kusikiliza shida za wananchi wao kwenye majimbo yao ,
UKWELI MZURI SANA HUU NA POINT ZA MSINGI. KAMA UKIWEZA MZEE TUSAIDIANE UTUPE UTARATBU SAHIHI NA NJIA SAHIHI YA KUSAJILI KANISA MAANA TUNAKUMBANA NA CHANGAMOTO SANA KAMA UTAKUWA NA UELEWA JUU YA HILI TAFADHALI TUSAIDIANE MAANA KILA SEHEMU INABANWA HASA KWA MAKANISA YANAYOTAMANI KUHUBIRI NA KUFUNDISHA UKWELI WA MUNGU.
Umenilenga mzee kumbe ndiyo maana tumeshindwa kuwashinda Hawa maadui watatu tangu Uhuru, kumbe wataawala wanafaidika na ujinga pia umasikin, haki leo nimekupatia zote mia heko mzee.
Wewe ambae unamtetea makonda,huyu mchambuz hashindan na makonda ila anajaribu kuonesha watanzania wengi hatuangalii nyuma ya pazia,ndo ujinga huo kupitia shdaah yako ndo watu wanakamilisha mipango yao
Magu aliyafanya haya haya c kwa lengo la kumsaidia mtu ila kujijenga kisiasa ili waendelee kubaki madarakani. Hata hivyo haikusaidia wakalazimika kuhujumu uchaguzi.
Watanzania walio wengi hawajui mfumo ni kitu gani hasa na utautambuaje? Wanaona watu wanaofanya kazi kwenye mfumo ndio tatizo sio mfumo wasio uona. Mfano wana amini tatizo la kukatika katika kwa umeme ni tatizo la watendaji wa Tanesco na wauzaji wa majereta. na Mfano mwingine Utendaji mbovu wa Shirika la Reli ni mbinu zawenye mabasi na malori binafsi kuhujumu Reli.
Kama tutakuwa na vyama vya aina hii vya upinzani tutachelewa sana kuiondosha CCM madarakani. CCM ina miaka 47 lakini upinzani nao una miaka 32. Lengo la kila chama ni kushika Dola na mtaji hakuna mahsusi iwe ni kwa ujinga au busara. Watanzania hasa Bara hawana shida ya vyama shida yao ni kutatuliwa kero zao, hivyo yoyote ataefanikiwa ama kwa kusema ukweli au kudanganya hivyo Makonda anajenga chama chake ili kushike dola, anaeona anakosea atumie hiyo fursa.
ngenge la wahuni walio jificha limechanganyikiwa baada ya kuona mun gu kamwamusha maguful ndan ya makonda sasa wanatapatapa genge zima linahangaika na mtu mmoja,
@@AnsbertNgurumoUmenisaidia kujibu kama vile ulikua ndan yangu nilitaka nimjibu hivyo hivyo, maana nakumbuka Mrema kwa kukurupuka kwake akaenda air port kukamata pesa zao wenye nchi akaambiwa za vigogo akaacha zikapita.
Ungekuwa wewe umetumwa Na Rais ungefanya nn Acha Makonda afanye aliyotumwa na Rais Anafanya ili waonekane wasizidizi wa Rais walivyo wabovu Makonda yuko sahihi tu
Huna lolote wewe upo ulaya unakula raha huko Makonda ndo anatutatulia shida zetu huku halafu eti unamkebehi hiyo si sawa kabisa mimi nampenda Makonda kwa kua kanisaidia jee wewe unisaidia nini? Au umewasaidia nini wa Tanzania?
Hii ni tabia ambayo waafrika tunao. Waafrika wanagombea kushika dola kwa lengo kubwa kujitajirisha kwa mgongo wa rasilimali za wananchi. Hii ngozi nyeusi nadhani tumelaaniwa wote kwa ujumla wetu na Mwenyezi Mungu. Hapa kwetu Tanzania, ni nani nje ccm anaweza kua kiongozo wa kuzingatia kiapo chake? Hayupo kabisa na hakuna hakuna dalili kuwepo . Wote ni laana tu
Ccm kuanguka itaanguka ila si chadema itaangusha CCM coz hao Chadema hawako serious nawao wanatafuta kula tu. Nawatanzania tujuwe adui wa CCM ni mtu wa CCM na watakao idondosha CCM niwana CCM wenyewe na atakaye tawala baada ya CCM kuanguka ni mtu aliyetoka ndani ya CCM baada ya kuanguka.
Umeongea vizuri sana.Mungu akubariki na azidi kukulinda ,kukupa maisha marefu na kukupa maarifa zaidi,busara zaidi na hekima zaidi mr.Ngurumo.Shida ya nchi hii ni ujinga uliotujaa na cha kustaabisha hata wasomi pia wengi wao ni wajinga kupitiliza hadi najiuliza hawa wasomi walienda shule ili kuongeza ujinga au maarifa maana naona kama wasomi wengi waliopo wengi ni wajinga sana.Tatizo la nchi hii ni ujinga uliotujaa watamzania na watawala kutumia ujinga tulionao kutuongoza wanavyotaka.
Hana lolote pro western representative journalist
@@jumamnumbwa9483 acha ujinga
Leo umeongea point sana watu wa tz tuemakini makonda kwel anafanya maigizo kwasababu watu walozulumu watu wachama chake na watu wenye akili ndogo wengi ashawateka #
Asante baba Ngurumo
Stay blessed Mkuu
Hakika wewe ni kichwa jinias noma sanaaaa unaona na jicho la kipekeeee kabisa umetishaa sanaaaaa
❤❤❤❤❤❤Sana na ni kweli
✍️🎉🍾Ngurumo wewe mi zawsdi yetu🎁 toka kwa Mungu ✔️✔️✔️🇹🇿🇹🇿🕺🧑🦲🙏💃👭👪🤽 Mungu iponye ibariki TANZANIA tupe wenzetu wengi kma hao ktk jina la Yesu mnazareti. Amina.
Alutacontinuaa 7 x70.🎉🎉❤
my prophetic mzee ngurumo
Inasikitisha sana ,kwani makonda analia na maovu yanayosababishwa na chama gani,watz wengi kukosa Elimu ndiyo tatizo kubwa ,haiwezekani kufikia hatua kama tulipo fika macho yapo yanaona lakini uwezo wakutambua haupo😊😊😊
Fact and well saaid
Watu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa. Mungu tufumbue macho watanzania. Ubarkiwe Ngurumo kwa uchambuzi mahili
Hata hapa ni Mungu anatufumbua macho ila wangapi yafumbuka?????
Hakika ukweli utabaki ukweli Hongera sana Ngurumo
Sijawahi kuona umechangia kitu ukakisea ,mungu akujalie
Mungu akujariyeunakichwa mimi ningekuwa rais ungekuwa mushauri wa chama cha ccm
Uchambuzi mzuri Sana Kaka.
You cannot solve a problem using the same level of mind created it.
Nakupenda sana kutoka huku mbali sumbawanga.
Asante. Ngurumo. Sijui utume njia gani ili wote tukupate. Wajinga ni wengi Sana. Hasa penzoni mwa mikoa. Hawajui kitu. Mungu akubariki ngurumo 🙏
Sure sijuwi tutumie njia gan wengi wafikiwe na ukombozi wa fikra
Unatufundisha sana mkuu haihitaj ada kupata madin haya,ahsante mkuu
Yaani wewe ni msumari kweli. Wananchi wengi akili zimepumbaa sana
Fact kiongoz wangu
Mtu haishi kwa mkate tu (................................)anayekushauri ushugulike na mambo ya kijamii peke y'ake, Mimi namkosoa siyo.Kwa taaruma au weredi ulionao we ni mtoto wa Mungu endelea kumtukuza kwa kipaji hiki alichokupa nakupa hongera Mungu akuongezee hekima uendelee. kutushauri usiache.Wewe unaitwa Ngurumo uendelee kunguruma kitakatifu.
Huu ndio ukweli.
Kwa ufupi : Makonda ni matokeo ya Udhaifu wawatanzania !
Ngurumo uko sahihi kabisa, ujinga wetu ndo unaotuangamiza,
Waw andiko lime tumiwa vizuri sana ❤
Kweli mkuu mungu akubark
Very good content. Address few things. 1.Video qulity including lights and overall setup, background, graphics, some key captions as well as sound.
Thanks! Noted.
Nakupongeza Sana mwandishi kwa busara luilizopewa na Mungu wako naunatushirikisha sisi viziri mungu akujalie zaidi hata wasiokuelewa awafungue macho na mioyo Yao ili wakuelewe
🎉Ngurumo una maono ya ajabu huo ndio ukweli Makonda katumwa na Mungu kuonyesha uozo wa Ccm ili ianguke kifo cha mende!!! Kwaheri Ccm 😢😢😢😢😂
Amka haraka
Mm ccm bac
Kiukweli mtu anae ona kuwa makonda eti anafanya kutatua shida za wana nchi inatakiwe uwe na macho ya rohoni ndipo utajua nyuma ya pazia kinachoendelea kuwa ni maigizo
Ukovizur mh tunakuskiliza kwauzur kabsa.
Kama wewe unavyotumia ukweli kutuchota akili tuichukie serikali na viongozi wake. Unatuambia haya ili iweje? Kama haupo sawa na makonda au hao viongozi wa serikali. Upo ktk nyumba nzuri na unaonekana hauwazi kuhusu maisha magumu, je majirani wasiojiweza wanaokuzunguka hapo mtaani kwako umewafanyia jambo gani?
NASHUKURU SANA KWA UCHAMBUZI MZURI SANA NA UMENIFANYA NIZIDI KUICHUKIA NA KUZIJUA HILA ZA KISHETANI ZA CCM ZINAZO LETWA KWETU WANANCHI KAMA JAMBO ZURI.
KUMBE NI WIZI NA UJAMBAZI ULIO KOMAA NDANI YAO CCM.
Napenda sana uchambuzi wako endelea kuwafunulia watu hali halisi.
Kifo Cha Ccm kimefika
Kifo chako ndo kimefika
Makonda anaisaidia CCM kuanguka anguko takatifu. Kondo la nyuma lisipotoka halihitaji operesheni ni kifo . "TUSUBIRI".
😂aiseee
Salum upo sahihi. Makonda anasaidia kutuonesha uozo wa utawala. Mimi nadhani wapinzani ndio wangesema hayo. Kondo la nyuma linatoka
Jamaa umenichekesha kwelikweli, kondo la nyuma tunaliita placenta kitaalam
Ccm ikianguka si ndio vizuri au?
Kondo LA nyuma ccm limeshawatoka du hatari,,safari hii kama wataendelea kuiba na kuupora uchaguzi KITAKUWEPO KIMEMBE KWASABABU WATANZANIA WENGI WANAJUWA CCM HAWASHINDI UCHAGUZI MPAKA WATUMIE FIGISU
Hakika umenena
Nakukubali sana kukusikiliza tu ni kama kupewa bilauli ya maji balidi jangwani naomba usikate tamaa kutusemea nsi hatutakoma kukuombea
Wewe nani alikufundisha hekima hizo mungu akujariye ssna wewe ungekuwa rais elimu yako ni juu MN sana
Huyu ni philosopher, (sijui kama alisoma theology),mwandishi wa habari (mhariri),mwanasiasa, musician, blogger, mchambuzi wa siasa,baba wa familia nk
Ndugu yangu kama wengi wangekusikiliza na kuelewa wangeelika na kujitambua Elimu unayotoa ni muhimu sana kwa Taiga.
@josephlorri431, Alisoma Seminary Kuu Kibosho- ni Philosopher Wala hujakosea🎉
@@michaelmulokozi1512 niliwahi kufika kibosho major seminary kumtembelea (Ngurumo) pamoja na rafiki yangu(Kahamba) 1997.. ni rafiki mpole,organist mzuri..
Hawa watu wenye akili nyingi Kwa Nini Serikali Huwa haiwatumii kuleta mabadiliko Kwa jamii?
Nakukubali kaka unajua sana
🙏🙏🙏
Huwa naweka bando nisipitwe na busara katika darasa lako mkuu
Bravo sana kwako comrade Ngurumo laiti watanzania wangekuelewa!
Nyerere alisema kuwa “ADUI YETU MKUBWA NI UJINGA, UMASKINI, NA MARADHI”… angalia jinsi awa MAADUI wawili wakubwa UJINGA NA UMASKINI wanavyoliteketeza Taifa na adui wa tatu MARADHI yeye ni kiulaini kuwapeleka wananchi kwa MOLA WAO…INASIKITISHA SANA.
How true and pathetic!
Yawezekana ww si Mtanzania
Watu wanapelekwa machinjioni😢😢
Makonda Ni Mtu Wa Hovyo Sana, Inashangaza Ni Watawala Tulionao,Ilifaa Awe Magereza Chaajabu Nachakushangaza Eti Ndiyo Msemaji Wa Watesi Wa Watanzania MUNGU Tunusuru.
❤❤❤
Ikulu mnayapata hayo maneneno.
Mimi nakushairi ujikite kutuelimisha mambo ya kijamii na siasa. Isipokuwa vipindi vya mlengo wa dini HAPANA. Maana si wote tunaamini imani yako.
Nami nakushauri mwache Ngurumo afanye anavyo ona inafaa, wewe donoa unachoweza kumeza.
Kwa tz bado sana wajinga bado ni wengi sana, wanasahau matatizo yote haya chanzo ni ccm.
Makonda n mjinga na aliendelea kudhihilsha hata ujinga wachama cha ccm na samia anae mtumia katka kampeni.
👍✌️👊。
Broo umesema kweli
Huyo makonda anacheza na saikolojia za watanzania,ila wananchi wenzangu hawaijui hiyo habari.staili hii ni ya anko magu.sasa naye anakuja nayo kwa kuwa anawajua watanzania sisi ni wajinga sana.
KWA HAKIKA NGURUMO UMEMWELEZEA MAKONDA VIZURI SANA....TABIA YAKE, HULJA YAKE, ELIMU YAKE, UJINGA WAKE, CHUKI YAKE, MPENDA SIFA, N.K.
Kinacho endelea leo Kenya ni matokeo ya shule watu wamesoma sio wajinga tena. 0:22
kiongozi unafanya kazi nzuri sanaaa,,,,,hv huyu jamaa ajawah kufanya memaaaa na kama qmefanya mbona uzungumzi au utaratibu wako nkiona negativity?????¿
Mheshimiwa Ngurumo umempiga Makondo na kitu kizito kwenye utosi
Hizi propaganda zake anazoeneza umezipanch kwa ngumi nzito hakika wewe ni miongoni mwa waandishi wa habari wachache sana mnaofanya kazi ya Mungu
Endelea kuelimisha uma kuhusu hizi propaganda za makonda na genge lake Mungu akubari sana
Watu wanapigwa ganzi 😂
makonda anonesha jinsi ccm maiaka 60 walivyoshindwa kuleta maendeleo
Watanzania wengi ni wajinga sana. Hivyo hawawezi kumtambua mjinga
Njoo nyumbani tupambane na mafeluli hawa wa ccm mpaka wakimbie wenyewe
Asante. I'm doing exactly that. Siku hizi hatuhitaji kushikana mieleka.
Makonda anchafua Chama kuweka wazi machafu
Wasaka tonge
Kwa ufupi Makonda ni chui aliyevaa ngozi ya kondoo anayewadanganya kondoo kwamba atawatetea wakati chui atakapokuja kuwala.
Viongozi wa kaskazin ndio walioleta umasikini katika nchi hii sio makonda hawakuupenda ujamaa hivyo wakahakikisha unakufa ili kutimiza azma ya chifu mareale ya kujitenga fata hotuba ya mareale un 17/6/1958 ilio fuatiwa na ya mwl.nyerr 18/juni/1958 ,usidanganye watu na kuhusu wabunge kukaa dar ,ni upuuzi wao wa kutokujua wajibu wao kwa waliowachagua ziara hii ya makonda ina dhihirisha hawafanyi kazi hawana muda ya kusikiliza shida za wananchi wao kwenye majimbo yao ,
Hizo hela watakujakuzirudsha kwa gharama na majuto makubwa
Ignorance and poverty.
Sina lakusema baba ubarkiwe
Moyo na maneno yanatofautiana
UKWELI MZURI SANA HUU NA POINT ZA MSINGI.
KAMA UKIWEZA MZEE TUSAIDIANE UTUPE UTARATBU SAHIHI NA NJIA SAHIHI YA KUSAJILI KANISA MAANA TUNAKUMBANA NA CHANGAMOTO SANA KAMA UTAKUWA NA UELEWA JUU YA HILI TAFADHALI TUSAIDIANE MAANA KILA SEHEMU INABANWA HASA KWA MAKANISA YANAYOTAMANI KUHUBIRI NA KUFUNDISHA UKWELI WA MUNGU.
IKIWEZEKANA UTUPATIE UTARATBU WA KIKATIBA NA SHERIA ZOTE ZA USAJILI WA MAKANISA
Acha uongo nani mwana wa mungu😅😅
Umeongea ukweli hayo wanaofanya ni unafiki mtupu sehemu nyingi hauwezi yaona hayo yemefanywa Kwa kila raia wao siku nyingi blabla.
Maneno ya ni msuri wa moto maana niukweli mtupu
Tunauona sana huo uongo ukweli ila hatuna pa kusemea maana tumekaliwa kooni na watawala na huyo makonda na maigizo yake
Tobowa sisi wajinga sana .mimi siwezi kuwa mjinga kama walivyo na mai izo.
ngurumo unapokumbusha mambo ambayo wajinga usahau haraka sio wanafanya hivyo kwa makusudi ila ni kwasababu ya hicho kiitwacho ujinga.
Mwanaume taifa linakuhitaji
CV
Umenilenga mzee kumbe ndiyo maana tumeshindwa kuwashinda Hawa maadui watatu tangu Uhuru, kumbe wataawala wanafaidika na ujinga pia umasikin, haki leo nimekupatia zote mia heko mzee.
Wewe ambae unamtetea makonda,huyu mchambuz hashindan na makonda ila anajaribu kuonesha watanzania wengi hatuangalii nyuma ya pazia,ndo ujinga huo kupitia shdaah yako ndo watu wanakamilisha mipango yao
WEWE MAKONDA HUMWEZI HATA UTUNGE MANENO MPAKA KESHO YULE MAKONDA ANA KIPAJI
Wewe michaelmeshaki sidhan kama wew ni Mtanzania ...unajua maana ya kutunga na kunukuuu?..naona ht kiswahili kina kusumbua akili mgando .
Magu aliyafanya haya haya c kwa lengo la kumsaidia mtu ila kujijenga kisiasa ili waendelee kubaki madarakani. Hata hivyo haikusaidia wakalazimika kuhujumu uchaguzi.
Mnatumalizia bundles zetu
Watanzania walio wengi hawajui mfumo ni kitu gani hasa na utautambuaje? Wanaona watu wanaofanya kazi kwenye mfumo ndio tatizo sio mfumo wasio uona. Mfano wana amini tatizo la kukatika katika kwa umeme ni tatizo la watendaji wa Tanesco na wauzaji wa majereta. na Mfano mwingine Utendaji mbovu wa Shirika la Reli ni mbinu zawenye mabasi na malori binafsi kuhujumu Reli.
Kama tutakuwa na vyama vya aina hii vya upinzani tutachelewa sana kuiondosha CCM madarakani. CCM ina miaka 47 lakini upinzani nao una miaka 32.
Lengo la kila chama ni kushika Dola na mtaji hakuna mahsusi iwe ni kwa ujinga au busara.
Watanzania hasa Bara hawana shida ya vyama shida yao ni kutatuliwa kero zao, hivyo yoyote ataefanikiwa ama kwa kusema ukweli au kudanganya hivyo Makonda anajenga chama chake ili kushike dola, anaeona anakosea atumie hiyo fursa.
Wewe uliye na akili unatusaidia nini?!
Nakufikirisha. Wewe usiye nazo je?
ngenge la wahuni walio jificha limechanganyikiwa baada ya kuona mun
gu kamwamusha maguful ndan ya makonda sasa wanatapatapa genge zima linahangaika na mtu mmoja,
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Makonda anaumia kweli ila hana mamlaka ngj tumpe uwaziri mkuu ndo utamuelewa
Wambie watoto wadogo ambao hawakumwona Augustine Mrema au waongopee watu wazima ambao shule haikuwasaidia kujifunza kufikiri na kutafakari.
@@AnsbertNgurumoUmenisaidia kujibu kama vile ulikua ndan yangu nilitaka nimjibu hivyo hivyo, maana nakumbuka Mrema kwa kukurupuka kwake akaenda air port kukamata pesa zao wenye nchi akaambiwa za vigogo akaacha zikapita.
Watu wote hao katika mikutano ya Makonda ww unawaita wajinga .mm ninavyoona ww haupo sawa.
Ngurumo wewe ni nabii ira watanzania tutakuja kushituka siku muumba wetu atakapo kuita ndio tutajua kumbe turiishi na nabii
Ungekuwa wewe umetumwa Na Rais ungefanya nn Acha Makonda afanye aliyotumwa na Rais Anafanya ili waonekane wasizidizi wa Rais walivyo wabovu Makonda yuko sahihi tu
daaa ina uma sana baba wajinga mtaji tosha kwa wata wala
Huna lolote wewe upo ulaya unakula raha huko Makonda ndo anatutatulia shida zetu huku halafu eti unamkebehi hiyo si sawa kabisa mimi nampenda Makonda kwa kua kanisaidia jee wewe unisaidia nini? Au umewasaidia nini wa Tanzania?
Pole!
@@AnsbertNgurumo 🤣🤣🤣
@@AnsbertNgurumoMzee una busara Sana 🙏
Hii ni tabia ambayo waafrika tunao. Waafrika wanagombea kushika dola kwa lengo kubwa kujitajirisha kwa mgongo wa rasilimali za wananchi.
Hii ngozi nyeusi nadhani tumelaaniwa wote kwa ujumla wetu na Mwenyezi Mungu.
Hapa kwetu Tanzania, ni nani nje ccm anaweza kua kiongozo wa kuzingatia kiapo chake? Hayupo kabisa na hakuna hakuna dalili kuwepo . Wote ni laana tu
Tufanyaje?
@@aminimushi6945hujamuelewa mpaka hapo huyu ni waleee!kichwa kikubwa ubongo mdogo,
Unadhani afanye nini kama mwenezi
Aeneze sera na itikadi za chama chake.
Makonda nyima usingizi huyo mtu 😂😂😂
Ngurumo kisha sema, mko wengi mnaolaghaika kwa ukweli wa Kishetani ili hatimaye mfikishwe machinjioni. Wewe ni mmoja wapo.
@@charlesshitobelo6870 huyo mkimbizi wa mchongo nawewe unamuamini pole Sana dogo, 🤯
@@adiaygo8546nini kilimkimbiza
Wewe ungekuwa mkweli ungekimbilia ulaya?!si na magufuri ulimpinga!hivohivo Kwa nini hukwenda kijijini ?!unakula fedha za wazungu umenawiri sana unakula dorale maskini tupo tunaumia wewe unatuletea porojo za Yuda isikariote
Kwa vichwa vya aina hii, Makonda ana wateja wengi! 😆 😂
Wanyone na unyonge wetu tunamezwa na Uduni wa fikra
Ccm kuanguka itaanguka ila si chadema itaangusha CCM coz hao Chadema hawako serious nawao wanatafuta kula tu. Nawatanzania tujuwe adui wa CCM ni mtu wa CCM na watakao idondosha CCM niwana CCM wenyewe na atakaye tawala baada ya CCM kuanguka ni mtu aliyetoka ndani ya CCM baada ya kuanguka.
Fikiri vizuri tena fikiri mara mbili kwa utulivu zaidi
Kula sio shida, maana hakuna asiyekula. Sikia hoja ya msingi