UCHAGUZI MKUU, MHE TUNDU LISSU AMWEKEA PINGAMIZI MHE JOHN POMBE MAGUFULI NA PROF HARUNA LIPUMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2020
  • #ChademaMedia #Chadema

ความคิดเห็น • 2K

  • @Ndu-wa.uroony2
    @Ndu-wa.uroony2 3 ปีที่แล้ว +16

    Kama umeona huyu jamaa ana elimu na wapumbavu hawalioni hilo hebu gonga like.

  • @joycengoda6567
    @joycengoda6567 3 ปีที่แล้ว +50

    Tunahitaji walinzi wako zaidi kuwa makini baba Tundu Lisu unahitaji uliñnzi Rais wetu Mungu akutetee daima .God bless Tundu Lisu Love you much

    • @paperboy1921
      @paperboy1921 3 ปีที่แล้ว

      Ametumwa huyoo

    • @paperboy1921
      @paperboy1921 3 ปีที่แล้ว

      Ametumwa na mabeberu

    • @paperboy1921
      @paperboy1921 3 ปีที่แล้ว +1

      Ni mchochezi anataka kuifanya tanzania kama libya7 na wasihi wa tz wenzangu msimchague

    • @alfredsindani3114
      @alfredsindani3114 3 ปีที่แล้ว

      Joyce wewe haaa haaa

    • @moureenkirundwa8691
      @moureenkirundwa8691 3 ปีที่แล้ว +1

      Maneno yao utackia ametumwa na mabeberu, wala hawana hoja, kwisha habar yao

  • @sammaleko2632
    @sammaleko2632 3 ปีที่แล้ว +34

    Genius, talking fact's and points🙌

    • @kyaro5945
      @kyaro5945 3 ปีที่แล้ว

      fact not rumours

  • @merryseguti6455
    @merryseguti6455 3 ปีที่แล้ว +62

    Saruti kwa LISSU 🙏✌✌✌✌✌📣📣📣📣📣🕺

  • @emmanuellemalali3034
    @emmanuellemalali3034 3 ปีที่แล้ว +77

    Ee Mungu
    Baba tunaomba utusaidie katika uchaguzi mkuu huu

    • @obedkiswaga2790
      @obedkiswaga2790 3 ปีที่แล้ว +7

      Usiogope huyu Lisu tutamfunza kwenye sanduku la kura

    • @kenethfanuel4015
      @kenethfanuel4015 3 ปีที่แล้ว +3

      @@obedkiswaga2790 kweli kabisa. Hana sera yoyote.

    • @melkiorndemera862
      @melkiorndemera862 3 ปีที่แล้ว +1

      Sheria ni mudumeno Kama amekiuka tume intense hski

    • @melkiorndemera862
      @melkiorndemera862 3 ปีที่แล้ว +1

      Msumeno

    • @kenethfanuel4015
      @kenethfanuel4015 3 ปีที่แล้ว +3

      @@melkiorndemera862 lissu anatia huruma hana lolote. Sera yake ni magufuli hivi hamuoni au ndo washabiki.

  • @rawiboy3867
    @rawiboy3867 3 ปีที่แล้ว +48

    Ahsante kamanda

  • @estherminnahboaz6956
    @estherminnahboaz6956 3 ปีที่แล้ว +76

    Jamani Rais Antipas Lissu ananifurahisha msomi sana yupo smart uwiiiiii🙌🙌🙌🙌😁👏👏🔥🔥✌✌✌✌✌✌✌

    • @paperboy1921
      @paperboy1921 3 ปีที่แล้ว +3

      Ametumwa na mabeberu 😏

    • @paperboy1921
      @paperboy1921 3 ปีที่แล้ว +2

      Amekuja kuchochea nchi

    • @jandpelectronics363
      @jandpelectronics363 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/hG9YzjqSNcc/w-d-xo.html

    • @yohanamalima4323
      @yohanamalima4323 3 ปีที่แล้ว +5

      Amekufurahisha kwa sababu wewe mwenyewe umekubali kufanywa mjinga. Inamaana wewe pia hujui nini maana ya passport size

    • @tufichelwanzali5323
      @tufichelwanzali5323 3 ปีที่แล้ว +2

      We bwege kweli Kama uyo Kuma anaeongea

  • @julianamassay9531
    @julianamassay9531 3 ปีที่แล้ว +82

    Lissu kweli ni gwiji wa sheria wa taifa na kimataifa

    • @salminisalehe9417
      @salminisalehe9417 3 ปีที่แล้ว

      Elimu Yake Inalisaidia nn Taifa Yeye Kama Mzalendo

    • @niganilekabigi4870
      @niganilekabigi4870 3 ปีที่แล้ว +3

      @@salminisalehe9417 kama huoni tulia!!......... Kipofu mkubwa

    • @frankdiamond8848
      @frankdiamond8848 3 ปีที่แล้ว +3

      Inatusaidia nn ss bwege tu huyo .au na nynyi Nia mashoga mabwege na Sheria zenu mabwe mabwege mabwege

    • @rajabumilambo1761
      @rajabumilambo1761 3 ปีที่แล้ว +1

      ww umesaau arisema tutashitakiwa hishu ya madini anajuwa wapi sheria anaropoka tu akuna kitu

    • @rajabumilambo1761
      @rajabumilambo1761 3 ปีที่แล้ว +1

      Unamimarizia bado ww sema utatufanyia nini sio kumnadi raisi makufuri ww aupiti ata useme nini

  • @mcjogopah8513
    @mcjogopah8513 3 ปีที่แล้ว +73

    Alafu jama anaongea kwa vituo sana, Intelligent guys

    • @tizzomushi4072
      @tizzomushi4072 3 ปีที่แล้ว +3

      Yaan jamaaa ni kifauru hatari kura yangu achukue kabisaaaaaa....

    • @abdullahalkindi9374
      @abdullahalkindi9374 3 ปีที่แล้ว +2

      Not easy to get a intelligent president like him

    • @gracemima5234
      @gracemima5234 3 ปีที่แล้ว +5

      Tizzo Mushi unaipoteza. Huyu ni mkimbizi. Hawezi kuwa Rais wa Tanzania, unapoteza kura yako. Mpe Gwajima

    • @abdullahalkindi9374
      @abdullahalkindi9374 3 ปีที่แล้ว

      Grace Kinsella apate kuwafufua wa kenya 🇰🇪?

    • @lordhilpolithrothschild5955
      @lordhilpolithrothschild5955 3 ปีที่แล้ว

      @@gracemima5234 mkimbizi kivipi? Huko ni kumcriminalise mtu ujue afu kuna sheria hii nchi ivi nyie mnachoongea mnajifikilia future yenu ikifanyika censorship??

  • @arizonamtui2285
    @arizonamtui2285 3 ปีที่แล้ว +61

    Asante sana kura yangu nakupa akili nying

    • @paperboy1921
      @paperboy1921 3 ปีที่แล้ว

      Plz usimchague

    • @paperboy1921
      @paperboy1921 3 ปีที่แล้ว

      Ni mchochezi

    • @sabinarocky8656
      @sabinarocky8656 3 ปีที่แล้ว

      Jaman msimchague lissu plz, Tz itayumba

    • @kobelochamanga9757
      @kobelochamanga9757 3 ปีที่แล้ว +2

      Uyu ndie raisi wa kumchagua

    • @kobelochamanga9757
      @kobelochamanga9757 3 ปีที่แล้ว +2

      Tume watapindisha sheria ila mwaka huu ni lisu kura zitaisabiwa Kama ccm kwenye kura za maoni

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 3 ปีที่แล้ว +71

    Jamani Kusoma Raha, na Kuwa na ELIMU RAHA

    • @azmiabdallaazmi5931
      @azmiabdallaazmi5931 3 ปีที่แล้ว +1

      Kweli maana yskusoma mbali na kuwa naelimu mbali

    • @danielwanchage8734
      @danielwanchage8734 3 ปีที่แล้ว +4

      Kweli kabisaa....
      We Kenyans we're supporting Lissu 💯

    • @KibwanaRich
      @KibwanaRich 3 ปีที่แล้ว +2

      @@danielwanchage8734 aende akagombee kenya hapa tz ni Magufuli tu

    • @mishibakarikanwa3055
      @mishibakarikanwa3055 3 ปีที่แล้ว +2

      Usisema wakenya wanafunga mkono lissu..wala usichulie watu shamaba hiyo ww pekeako

    • @abdullahalkindi9374
      @abdullahalkindi9374 3 ปีที่แล้ว +2

      This time you have a real president

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 3 ปีที่แล้ว +6

    Mungu Amlinde sana Mzee Wangu Magufuli Akupe Afya njema Wewe na familia yako....Akupe Busara sana kwa kila Jambo Jema... (Mimi naitaji hoja za Msingi zakulipeleka mbele Taifa letu na sio Mivutano....Mumtangulize Mungu mbele kwa kila Jambo)na tupendane sote. Sisi sote niwamoja Taifa ni Moja.

    • @alabypembe1699
      @alabypembe1699 3 ปีที่แล้ว

      Kweli kaka lakini uongozi bila Sheria Ni fujo

    • @husseinshabani9522
      @husseinshabani9522 3 ปีที่แล้ว

      @@alabypembe1699 kuna vitu vyakuangalia kama Wewe kiongozi..vinatija kwa Nchi au !!Unajiuliza kwanza...Sasa pingamizi gani lakuvutana ili litamsaidia nini Mwananchi Unaetaka kumuongoza?Mi Nafikiri Muda Mwingine Tutumie Busara sana kwa kila Jambo. Sio kuvutana vutana kila kukicha..Na Upinzani sio kila kitu kupinga tu.Kiongozi Mwenzio Akifanya jambo jema mpongeze.Akikosea kosowa.lakini Ukosowe kwa Ustaharabu na Waheshimiane pia. Mungu Atusimamie In sha Allah.

    • @alisultantz
      @alisultantz 3 ปีที่แล้ว

      Hii nchi yetu haina chochote kile kinacho ashiria usalam au umoja au haki au mabadiliko brothe kila mwaka mimi nalipa kodi ya duka langu lisilozidi mtaji wa milio 4 ila kila mwak nalipa kodi ya laki tisa na arubaini kumbe raisi wangu anchanga changa anunuuwe ndege ambayo hata kuigusa sjajuwa itakuwa lini halafu nimuombe maisha marefu itakuwa nna akili kweli

    • @husseinshabani9522
      @husseinshabani9522 3 ปีที่แล้ว

      @@alisultantz hapo Unakosea.Nenda TRA wakakufafanulie kwanini Wengine wako kwenye Makadirio na Wengine wanalipa Elfu 20 kwa Mwaka....Ukishakuwa na Duka Lazima Ukate Reseni Elfu 72 .ninavyojuwa mimi Machinga na Wenye Biashara ndogondogo zile zakupanga chini ndo wanatakiwa kulipa Elfu 20 kwa Mwaka....

    • @alisultantz
      @alisultantz 3 ปีที่แล้ว

      @@husseinshabani9522 Sjakuelewa ila nahisi bado unamtetea huyu raisi wetu ambaye Octoba mwaka huu sina shaka itabidi ache nchi, Ila Nataka sababu kubwa 4 ambazo zimekufanya umtete na kujiandaa kumtilia kura tena. Kwasababu siasa nimajadiliano ila yeye anataka kutumia ujanja sasa basi kama una ukaribu na mtu wake wakaribu mwambie amshauri bora asigombe tena maana kuna hatari ya kutokupata kura hata kipande mwaka huu hata alale kanisani myezi yote hii iliobakia maana naskia huyo mtu wa mungu sana lakini mashehe wa kule zanzibar hadi leo kawaweka ndani sjuw yeye huyo mungu wake niyup, Basi aambiwe hakutatokea tena miujiza yakumfanya awe raisi wa nchi ya Tanzania mwaka huu.

  • @sabrimohammed2799
    @sabrimohammed2799 3 ปีที่แล้ว +43

    Chukuwa nchi baba ututolee ndugu zetu majail na case za uongo

    • @sudikhalfan1365
      @sudikhalfan1365 3 ปีที่แล้ว +1

      Labda nchi ya ubelgiji na si Tz yetu

    • @danielvitus8903
      @danielvitus8903 3 ปีที่แล้ว

      Kiraisi ivyo labda alipo toka, huyu anatafuta mwanakulipa mwana kulifaindi

    • @emanuelymgaya7313
      @emanuelymgaya7313 3 ปีที่แล้ว

      Sio tanzania

    • @alisultantz
      @alisultantz 3 ปีที่แล้ว

      Alokuwa hajaelewa niwazi kuwa anamatatizo ya uwelewa lisu hana shida na nchi ya tz hataki zulma tu kama huyo rasi aliepo sasa anaweza kuteda haki japo asilimia 30basi pasingekuwa na nguvu ya upinzani kama hii ya sasa watanzani wingi san niwajinga ila kama tumeona ukweli basi itakuwa nimaajabu magufuli kupata uraisi tena octoba 2020

  • @topotachilemba9196
    @topotachilemba9196 3 ปีที่แล้ว +45

    LISSU NI GENIOUS KWELI

    • @unaonaniniplatform5244
      @unaonaniniplatform5244 3 ปีที่แล้ว

      Katika ujinga. Tutaona kama pingamizi litafanikiwa

    • @jevinjacob5439
      @jevinjacob5439 3 ปีที่แล้ว +2

      Unaona Nini Platform nyie hamjui sheria na mmeweza kuongoz miaka 59 na bado hamna kitu mmefanya... na kukataa kutoka hutak sasa tutawatoa

    • @joycengoda6567
      @joycengoda6567 3 ปีที่แล้ว

      CCM unawanyoosha kweli mwaka haujaisha wanaharisha vibaya mfano wa Msiba halali

    • @arqamibnarqam.7185
      @arqamibnarqam.7185 3 ปีที่แล้ว

      @@joycengoda6567 simsikii Musiba

    • @ramadhanihamisi7566
      @ramadhanihamisi7566 3 ปีที่แล้ว

      @@arqamibnarqam.7185 hamna kitu hapo

  • @ahmedaliahmedahmed3003
    @ahmedaliahmedahmed3003 3 ปีที่แล้ว +8

    Kama unaamini tundu lissu yuwafaa kuwa askari jela gonga like twende sawa MAGUFULI TENA MPAKA 2030🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @hemedykhamis6118
    @hemedykhamis6118 3 ปีที่แล้ว +41

    Wafundishe kamanda lissu somi la kimataifa la sheria

    • @sulaimanabdallah4088
      @sulaimanabdallah4088 3 ปีที่แล้ว

      Wewe unaemuunga mkono hujui lolote hamuoni maendeleo

  • @seifalzakwan5663
    @seifalzakwan5663 3 ปีที่แล้ว +45

    mr president

  • @vicentmayanda3935
    @vicentmayanda3935 3 ปีที่แล้ว +44

    dah Genius huyu jamaa anajua sana

    • @charlesnoafekwalipibayaali2662
      @charlesnoafekwalipibayaali2662 3 ปีที่แล้ว +2

      Fala tu anaongea vitu bila contrite avidance yupo kwenye timing watu wanasubiri tu ajae waweke mambo yake adharani. Tukisema kweli tufuate sheria kwa kila kitu kuna mambo mengine huwa hayawezekani sasa yeye kwa sababu ni idiot ndio watakapo mnasa si anataka sheria msumeno sawa basi subiri na asilalamike na wewe siku hiyo usigeuke geuke kama huyo mumeo sawa?

    • @issaally8817
      @issaally8817 3 ปีที่แล้ว

      anajua nini anachokiongea hakina point

    • @barryryoba1489
      @barryryoba1489 3 ปีที่แล้ว +2

      @@charlesnoafekwalipibayaali2662
      We Charles Ndo Fala Namba Moja.. Kwanza Hata Hujui Kuandika Neno "evidence" Alafu Unamuita Huyu Msomi Na Genius Fala!! Yani Nimekuona We Kama CHIZI Kuliko Maelezo.

    • @charlesnoafekwalipibayaali2662
      @charlesnoafekwalipibayaali2662 3 ปีที่แล้ว +1

      @@barryryoba1489 mimi naandika ninavyojisikia mimi ndio uhuru wa kujieleza naandika kwa kukosea makusudi wewe fala i have been many contry in the word sim yangu inaweza pia ku correct tundu marisasi wako mbio zake ni za sakafuni ambazo zinaishia ukingoni keep my words anajifanya yeye ana akili sana kuliko watanzania wote ni falla tu shaise!

    • @prospershempemba5986
      @prospershempemba5986 3 ปีที่แล้ว

      @@charlesnoafekwalipibayaali2662 Kwahio ulitaka sheria iliowekwa kupitia TUME isitumike, kila mgombea aende kama atakavyo, ingekua ni Lissu kafanya hayo ungesema hivyo kweli , tuwe serious watanzania , hakuna Aliye juu ya sheria. Tatizo watanzania wengi hatujui sheria hata haki yako yakikatiba unaogopa kuidai kwakua umekandamizwa na sheria tuamke.

  • @stevenezekiel2442
    @stevenezekiel2442 3 ปีที่แล้ว +43

    Lissu Genius, from singida

    • @paperboy1921
      @paperboy1921 3 ปีที่แล้ว

      Ametumwa na mabeberu

    • @charlesmwisera7175
      @charlesmwisera7175 3 ปีที่แล้ว

      Lisu ni kichwaaa

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 3 ปีที่แล้ว +2

      Tangu liseme tutashitakiwa ktk makinikia kwa mujibu wa sheria, nililidharau na kuona kumbe wakati mwingine huwa halijajua kama dish lake limeyumba lenyewe linakuwa linajiropokea tu!

    • @shebyymakame6073
      @shebyymakame6073 3 ปีที่แล้ว

      Heyhyy

    • @jumabakari1468
      @jumabakari1468 3 ปีที่แล้ว

      @@paperboy1921 Nenda naww ukatumwe

  • @OmarOmar-tf6ph
    @OmarOmar-tf6ph 3 ปีที่แล้ว +55

    KWA MAELEZO YA LISU UTAJUA MWAKA HUU KAMA TANZANIA INATUMIA SHERIA AU INATUMIA CHEO NA MADARAKA KUONGOZA RAIA WAKE.

    • @etengedavid7297
      @etengedavid7297 3 ปีที่แล้ว +2

      Hilo neno na ndo mana inchi ina hendeswa kibabebabe

    • @tizzomushi4072
      @tizzomushi4072 3 ปีที่แล้ว +4

      Lazima tushinde mjomba lissu hoeeeeee......

    • @agueromachien794
      @agueromachien794 3 ปีที่แล้ว

      Ndio tatizo ra watanzani hatufuatilii habari hao walirudusha form Leo anatuongopea wtz

    • @agueromachien794
      @agueromachien794 3 ปีที่แล้ว

      @@tizzomushi4072 na njaaa au

  • @johanesdeocles6337
    @johanesdeocles6337 3 ปีที่แล้ว +33

    Nipo nyuma yako lisu kila siku napiga duwa mungu atuepushe na hiki kombe cha ccm

  • @emmanuelmnyonzi6143
    @emmanuelmnyonzi6143 3 ปีที่แล้ว +32

    Huyu ni tundu lissu sio morison , piga kazi mwamba

  • @simonfundi3609
    @simonfundi3609 3 ปีที่แล้ว +25

    Asante sana Raisi

  • @neemamakelo696
    @neemamakelo696 3 ปีที่แล้ว +43

    Kuna wehu utakuta wanasema picha ni sababu ndogo

    • @csato9415
      @csato9415 3 ปีที่แล้ว

      Ni kwa sababu nchi yetu inaendeshwa kwa kuvunja sheria, tena watunzi wengi ni CCM.

    • @m2kwe210
      @m2kwe210 3 ปีที่แล้ว

      hiyo ni sheria hata kama ni sababu ndogo, hilo limetajwa na sheria, wewe unaliitaje dogo?

    • @csato9415
      @csato9415 3 ปีที่แล้ว

      @@m2kwe210 Ndo kwa Magufuli inaonekana haina maana na wakambeba na kibaraka wao. Lkn ingekuwa amewekewa mgombea ambaye ni adui yao ingefanya kazi.
      Hii hali haitaondoka mpk watanzania tujitambue kwa kuyapinga hayo, hawa wachache tunaowaachia hawataweza bila nguvu ya umma.

  • @talaabdallah8912
    @talaabdallah8912 3 ปีที่แล้ว +26

    This guy is elite!

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 3 ปีที่แล้ว +36

    Bye Bye magufuli bye bye🖐🖐🖐. Bye bye Lipumba bye bye🖐🖐🖐.

  • @piusipartience175
    @piusipartience175 3 ปีที่แล้ว +20

    Tundulissu ur so genius

  • @o.gtheking2102
    @o.gtheking2102 3 ปีที่แล้ว +58

    Lissu mungu anakuona🤣🤣🤣🤣
    Wewe ni genius sijawai ona mungu akujalie afya njema hakika ni miujiza ndo maana mungu alikulinda ana jambo na wewe

  • @elibarikiyohana4870
    @elibarikiyohana4870 3 ปีที่แล้ว +43

    Tundu Kama tundu wakili msomi 🔥 duniani

    • @baltezalfredjr3891
      @baltezalfredjr3891 3 ปีที่แล้ว

      Wakili msomi gani huyu shoga

    • @busta_malik5971
      @busta_malik5971 3 ปีที่แล้ว +1

      @@baltezalfredjr3891 mamaako shoga

    • @ricadojunior7239
      @ricadojunior7239 3 ปีที่แล้ว

      @@baltezalfredjr3891 shoga baba ako mwenzako huyo alikuwa wakili wa jacob zuma rais wa zaman south africa unafikir ni mbulula kama wewe...

  • @lukagulagekidehele5788
    @lukagulagekidehele5788 3 ปีที่แล้ว +24

    Ama kwa hakika kujua sheria ni ngao imara ya kujilinda kunyanyaswa na kudharauliwa na kuporwa haki yako, ahsante Mh. Tundulisu

  • @dicksontheobald5677
    @dicksontheobald5677 3 ปีที่แล้ว +51

    Tufundishe mweshimiwa maana tunaenda kama treni hii walio leta arusha

  • @gastonmaheng8256
    @gastonmaheng8256 3 ปีที่แล้ว +40

    Tume watatema ndoano safari hii

  • @jacksonngimba9065
    @jacksonngimba9065 3 ปีที่แล้ว +49

    Lissu wewe ni mwalimu Wa sheria

    • @shebyymakame6073
      @shebyymakame6073 3 ปีที่แล้ว

      Heey

    • @Nkya
      @Nkya 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwa vile ameweka pingamizi?

    • @tinyaanosiatha1118
      @tinyaanosiatha1118 3 ปีที่แล้ว +1

      JACKSON NGIMBA anajua sheria gani mbumbu tu mwambia ataambulia manyonya.

    • @sifaerkilimhana5484
      @sifaerkilimhana5484 3 ปีที่แล้ว +1

      Abaki kwenye Sheria lakini Hana busara ya kuwa rais anaharuka

    • @jumaasaadun3182
      @jumaasaadun3182 3 ปีที่แล้ว

      LISU NI MPUMBAVU NA WAFUWAC WAKE WOOTE

  • @simonmadiba2053
    @simonmadiba2053 3 ปีที่แล้ว +8

    Tundu hana facts

  • @tizzomushi4072
    @tizzomushi4072 3 ปีที่แล้ว +13

    Mjomba wangu wewe ni kiboko yaani wanyonyaji mwaka huu matumbo yanawaka moto💪💪💪💪

    • @laurentmsakila4531
      @laurentmsakila4531 3 ปีที่แล้ว

      Ndugu yangu unaongea usichokijua pole saaana

  • @glorymoshi2552
    @glorymoshi2552 3 ปีที่แล้ว +43

    Kweli wewe ni shida .. pingamizi hadi kwa magufuli

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 3 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂

    • @israelhekima6382
      @israelhekima6382 3 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @flavym8154
      @flavym8154 3 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂

    • @mathiaszakaria7052
      @mathiaszakaria7052 3 ปีที่แล้ว +2

      Ahhhhhh anataka kuangusha Mbuyu

    • @saudahassan82
      @saudahassan82 3 ปีที่แล้ว +1

      Halina akili hili

  • @mwakaloboambele5161
    @mwakaloboambele5161 3 ปีที่แล้ว +64

    Tundu lisu tunaomba wasaidie wenye vyombo cya habari kisheria

    • @gracemima5234
      @gracemima5234 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwanza ajisadie mwenyewe. Ana kesi kibao. Hivi nyinyi munafikiri Tundu Lissu kubwata ndiyo ana nguvu kushinda taifa? Hana lolote mwishowe kelele zote zitaisha. Hilo ni debe tupu lazima lipige kelele

    • @ricadojunior7239
      @ricadojunior7239 3 ปีที่แล้ว +2

      @@gracemima5234 wewe acha kupaniki kasikilize anachoongea wewe kwani kesi za jinai hizo alizonazo unahisi watamfunga unavyohisi mana yeye ndo anajitetea na mwaka kuanzia sasa mtaona km ataguswa unafikir yeye mbulula mpk kuongea anajua hakutenda kosa. Lolote

    • @sulaimanabdallah4088
      @sulaimanabdallah4088 3 ปีที่แล้ว

      Wewe hujui lolote

    • @niganilekabigi4870
      @niganilekabigi4870 3 ปีที่แล้ว +1

      @@gracemima5234 umevunja ungo?!,,,,,,,,, au bado mtoto kinda unanuka maziwa!!??

    • @philipokuzenza3896
      @philipokuzenza3896 3 ปีที่แล้ว

      @@ricadojunior7239 unasema ayo kwa sbabu hujui chochote,,,, hiv unazn anayosema n ya kwel?,,,,,mwachen atafte Kik tu but he iz nothing,, kama unabisha mwambie akutane na wanasheria wenzie kama atachomoka elim yake yenyew n master's tu

  • @frankkimboka7491
    @frankkimboka7491 3 ปีที่แล้ว +32

    Sisi tunawasomi tuu
    Rahaa sana

    • @lotimwansule5017
      @lotimwansule5017 3 ปีที่แล้ว +1

      Hivi nyie washauri wa Rais wetu JPM mnafanya nn ,na Katibu wa Rais mna kazi gani mmesgindwa kumsaidia Rais wetu kwa yote aliyoyasema Lisu ,mwanasheria wa Rais wetu upo? Kama ni kweli aliyosema Lisu mnatakiwa kujiuzuru.

  • @michasonjudge7348
    @michasonjudge7348 3 ปีที่แล้ว +45

    Sheria inasemaje jamani nani kaimanya hiyo# ni yeye 2020

    • @majijabombasa3785
      @majijabombasa3785 3 ปีที่แล้ว

      Hata hivo hutotoboa kamwe ww jisumbue tuu magu ndo kibiko chao wadanganye wasiokua naupeo wa akiri skupend bac tuu

    • @khadijashabani2895
      @khadijashabani2895 3 ปีที่แล้ว +1

      @@majijabombasa3785 km humpendi inyomwe

  • @barakamshiu7146
    @barakamshiu7146 3 ปีที่แล้ว +40

    Huyu jamaa ni nondoo wa sheriaa ...... NONDO HASWAAA

  • @jome60
    @jome60 3 ปีที่แล้ว +35

    Itabid mwanangu asome sheria

    • @johnny.j.nyondo
      @johnny.j.nyondo 3 ปีที่แล้ว

      Teh Teh Teh Teh Teh kweli kabisa unaona inavotia moyo kuona mwanao anapambania haki
      Mpaka unatamani uzae wengine kumi

    • @AmosBPeter
      @AmosBPeter 3 ปีที่แล้ว

      Kusoma sheria t hakutoshi mzee pia awe jasiri na msimamo

    • @havebahat651
      @havebahat651 3 ปีที่แล้ว

      Ujasili pia

  • @simonchambo1230
    @simonchambo1230 3 ปีที่แล้ว +51

    Lissu ww noma sheria imelala kichwan aise.

    • @tinyaanosiatha1118
      @tinyaanosiatha1118 3 ปีที่แล้ว +1

      Simon Chambo hana lolote tahira tu

    • @gizakazeno1688
      @gizakazeno1688 3 ปีที่แล้ว +2

      Anamuogopa magufuli

    • @obedkiswaga2790
      @obedkiswaga2790 3 ปีที่แล้ว

      Hiv kwa akili yake anajua kuwa tume itakubali mapingamizi yake

    • @AK-is9xi
      @AK-is9xi 3 ปีที่แล้ว

      @@obedkiswaga2790 juu yao tena na ivi unafikiri magufuli akishinda nae atakubali nahali haikupaswa agombee cheki hii movie na nakushauri usije ukakosa hata episode moja

  • @sixmangwela4543
    @sixmangwela4543 3 ปีที่แล้ว +32

    mgombea kua msomi raha sana tena kua mwanasheria

  • @rachelwilly863
    @rachelwilly863 3 ปีที่แล้ว +23

    Mungu Ndie Hakimu Wa kweli Na Haki

  • @zephaniapaul4437
    @zephaniapaul4437 3 ปีที่แล้ว +25

    Lissu ww geneous wa sheria

    • @shabanmohamed1545
      @shabanmohamed1545 3 ปีที่แล้ว

      Huyu jamaa ni noma sana .anajua sheria mpaka basi .

    • @shabanmohamed1545
      @shabanmohamed1545 3 ปีที่แล้ว

      Huwezi kurahisisha mambo kwa kuvunja sheria .daaa!!!natamani niwe mwanasheria .

  • @shabankuchanda9489
    @shabankuchanda9489 3 ปีที่แล้ว +36

    Hongera sana rais mtarajiwa

  • @vicentsaguda752
    @vicentsaguda752 3 ปีที่แล้ว +33

    Aise nakukubali wewe sana sijapata kiongozi yeyote mahili Kama huyu

  • @goodluckyabsalom516
    @goodluckyabsalom516 3 ปีที่แล้ว +44

    Wameshazoeea kufanya utopolo mzee. Wa kaz pga kaz mkuu lisuu

    • @pasklchales5570
      @pasklchales5570 3 ปีที่แล้ว

      Hunajipya wewe

    • @pasklchales5570
      @pasklchales5570 3 ปีที่แล้ว

      Unafulahisha balaza wewe huna lolote liache jembe letu cc hatukutaki ata ufanye nn ata yakitoka maamuzi wakupe urais cc tutaonana nawewe utupishe

    • @shabanihassan8305
      @shabanihassan8305 3 ปีที่แล้ว

      Yaaani wewe pps iache tusimchague jembe. Ume kwama

    • @mbowefadhily9034
      @mbowefadhily9034 3 ปีที่แล้ว

      @@pasklchales5570 unafeli ww au ni mtoto wa dada yake

    • @mbowefadhily9034
      @mbowefadhily9034 3 ปีที่แล้ว

      @@pasklchales5570 utajua mwenyewe

  • @isayadeus1609
    @isayadeus1609 3 ปีที่แล้ว +38

    akika jemb

    • @swaibamnzanva6537
      @swaibamnzanva6537 3 ปีที่แล้ว

      Ww ndo rais tunaye kuitj

    • @georgekassembe5485
      @georgekassembe5485 3 ปีที่แล้ว

      Mtu anayekimbilia Ikulu tumuogope kama ukoma.Tumuache Magufuli amalizie muda wake na mambo yakae sawa!

  • @nyamanig13
    @nyamanig13 3 ปีที่แล้ว +24

    Hapa spana kama zote. Yani mpaka leo hii watu hawajui kupiga passport

    • @Sokesia
      @Sokesia 3 ปีที่แล้ว

      😂

  • @apolotemba6993
    @apolotemba6993 3 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU. Ibarki Africa. MUNGU IBARKI TANZANIA

  • @dr.njipaysophon3209
    @dr.njipaysophon3209 3 ปีที่แล้ว +46

    Hoja zako zina mashiko but nothing is going to be done. Aliyeshika mpini ni yeye. Hakuna awezaye kumkata hilo linabaki tu kuwa jaribu zito kwa tume ya uchaguzi.

    • @obedkiswaga2790
      @obedkiswaga2790 3 ปีที่แล้ว +5

      Kabisa, yaani mwenyekiti amkate Magu, anaanzia wapi

    • @dr.njipaysophon3209
      @dr.njipaysophon3209 3 ปีที่แล้ว +1

      @@obedkiswaga2790 kwa vyovyote vile hawezi kumkata bosi wake. Akijaribu tu kuleta ujinga utasikia usiku huu huu ametumbuliwa

    • @asafudaudi1230
      @asafudaudi1230 3 ปีที่แล้ว +1

      Exactly

    • @OmarOmar-tf6ph
      @OmarOmar-tf6ph 3 ปีที่แล้ว +2

      BA's walikua wasiweke sheria kwa mhe: rais

    • @jonathankyandojr8345
      @jonathankyandojr8345 3 ปีที่แล้ว +1

      @@dr.njipaysophon3209 natamani sana sheria ifuatwe maaana nobody is above the law

  • @petermasilili2220
    @petermasilili2220 3 ปีที่แล้ว +4

    Ongea sana lakini ushindi utausikia tu

  • @mirhatrashidy2813
    @mirhatrashidy2813 3 ปีที่แล้ว +39

    Mueshimiwa awakuwezi 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @obedkiswaga2790
      @obedkiswaga2790 3 ปีที่แล้ว +3

      Chezeni makida makida tu

    • @KibwanaRich
      @KibwanaRich 3 ปีที่แล้ว +1

      @@obedkiswaga2790 tukutane 28oct tumrudishe mtu ubelgiji

    • @solemba595
      @solemba595 3 ปีที่แล้ว

      The game is not over until it's over...

  • @sophiaharidi4672
    @sophiaharidi4672 3 ปีที่แล้ว +17

    Yaallah mjalie lisu wetu🙏🙏🙏2020 niyeye

  • @joycengoda6567
    @joycengoda6567 3 ปีที่แล้ว +35

    Wape vidonge vyao wakimeza wakitema nishauri yao🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈

    • @mariaalenge2106
      @mariaalenge2106 3 ปีที่แล้ว

      Watanzania watanzani iwenimacho iweni macho mtu uyo anafanya chini juu ili apate uraisi uwo uraisi anaoutaka kwanguvu mtajuta sana sana sana sana mukumbuke inchi zote zilizo na vita leo hii azifurahii kuwa na vita aya tuna subiri tuorozeshe tanzania kwenye oroza ya vita tena siyo mbali kabisa tena uyo atakimbia na familia yake uberjiji amkeni tanzania.

    • @elsonkibasindila7526
      @elsonkibasindila7526 3 ปีที่แล้ว

      @@mariaalenge2106 acha ujinga wako

    • @patrickilugoya6886
      @patrickilugoya6886 3 ปีที่แล้ว +1

      Mwanaume huyo nchi nzima inamuogopa

    • @patrickilugoya6886
      @patrickilugoya6886 3 ปีที่แล้ว

      @@mariaalenge2106 kwani kuna ukombozi wa kiurahis ivo unavofikria ww

    • @AK-is9xi
      @AK-is9xi 3 ปีที่แล้ว

      @@mariaalenge2106 vita imewekwa kwa ajili ya watu wacha tuchapane tu ikiwa mtu kuizungumza sheria ni kosa

  • @tizzomushi4072
    @tizzomushi4072 3 ปีที่แล้ว +21

    Me nakupenda sana mjomba lissu wewe ndio kifaru

  • @humaidalnaamani4183
    @humaidalnaamani4183 3 ปีที่แล้ว +34

    Naona waunga mkono wanaanza kuisha nguvu kwa kuanza kugunduwa ujinga na uwongo wa mkubwa wao

    • @pascalmstaarabu4372
      @pascalmstaarabu4372 3 ปีที่แล้ว

      Tunawachora tu.hatubabaishwi na vitoto

    • @agnessmwendwa7542
      @agnessmwendwa7542 3 ปีที่แล้ว

      Kaisha ona Moto sasa anahangaika pole wewe ona anavyohangaika mwaka hui mtaisoma

    • @csato9415
      @csato9415 3 ปีที่แล้ว

      Na hiyo ndo maana Rais akapewa madaraka makubwa ya kuteua ili wambebe hata akipindisha sheria.

    • @mathiaszakaria7052
      @mathiaszakaria7052 3 ปีที่แล้ว

      Hahhhhh wamechoka vibaya😂

    • @csato9415
      @csato9415 3 ปีที่แล้ว

      @@mathiaszakaria7052 Ndo hivyo sasa wateuliwa hawawezi kumwangusha boss wao, wameshatupilia mbali mapingamizi.

  • @emanuelshirima9236
    @emanuelshirima9236 3 ปีที่แล้ว +18

    Mwanangu imepitishwa na baba ako hapa ukasome sheriaaa

  • @barryryoba1489
    @barryryoba1489 3 ปีที่แล้ว +33

    Mungu Alikua Na Maksudi Alipomnusuru Kifo Na Zile RISASI 16.

    • @godfreyorago7501
      @godfreyorago7501 3 ปีที่แล้ว

      Haswaaaa

    • @adilhabibu7958
      @adilhabibu7958 3 ปีที่แล้ว

      Mtihan yasikitisha tukitaka potezewa hazina ya tz hivi hivi lkn mwenyezmungu amemlinda

    • @salmahassan3521
      @salmahassan3521 3 ปีที่แล้ว

      Huyu ni Falao aliachwa ili ashuudie Wana wa Israel wakikatiza bahari

    • @masoudchegeka9752
      @masoudchegeka9752 3 ปีที่แล้ว

      Mungu anashani yake bwana "ALLAH AKBAR"

    • @shubackmashinga3535
      @shubackmashinga3535 3 ปีที่แล้ว

      Atapita eti

  • @deuswerema7985
    @deuswerema7985 3 ปีที่แล้ว +30

    Lisu noma sana jmn we mzee ambao hawakuelewi n mamtu ambayo hayajaenda shule

    • @OmarOmar-tf6ph
      @OmarOmar-tf6ph 3 ปีที่แล้ว +1

      Jamani lisu lisu lisu lisu lisu lisu lisu lisu unaonekana chizi ila unahatari mtoto wewe inamaana hapa kama sheria itatumika basi jpm hatokua mgombea duuhhh!!! We we lisu nahisi wamejuta kwanin hukufa wakat walipokupiga risasi

    • @jonathankyandojr8345
      @jonathankyandojr8345 3 ปีที่แล้ว +1

      Lissu ana akili za kutisha

    • @jafethmnyeti7320
      @jafethmnyeti7320 3 ปีที่แล้ว

      Ila n kwel demokrasia haifai kwa nchi maskin,,,,

    • @jafethmnyeti7320
      @jafethmnyeti7320 3 ปีที่แล้ว

      Ila n kwel demokrasia haifai kwa nchi maskin,,,,

  • @denismbongo6865
    @denismbongo6865 3 ปีที่แล้ว +18

    Tell them

  • @drichyrichard740
    @drichyrichard740 3 ปีที่แล้ว +1

    napata Raha mie eeeh mungu simamia haki ktka huu mwaka uchaguz uwe wa haki na mwema ili tuone uhuru wa nchi...✌✌

  • @bishopmosesmagadula7572
    @bishopmosesmagadula7572 3 ปีที่แล้ว +15

    Goood wamekutana na mtaaalamu wa sheria

    • @baltezalfredjr3891
      @baltezalfredjr3891 3 ปีที่แล้ว

      Sheria gani anajua huyu taka taka, hafai hata kwa dawa n chizi tuu huyu hata hawezi kuwa Rais wa nchi hii Mavi ya popo

    • @busta_malik5971
      @busta_malik5971 3 ปีที่แล้ว

      @@baltezalfredjr3891 hata mamaako takataka alie kuzaa wewe na mavi yakamtoka 🖕🖕

    • @gracejonas8883
      @gracejonas8883 3 ปีที่แล้ว

      @@baltezalfredjr3891 hujielewi wewe kama kuku

    • @baltezalfredjr3891
      @baltezalfredjr3891 3 ปีที่แล้ว

      @@gracejonas8883
      Ww ndiyo hujielewi km nyumbu
      Hata ckuelewi unachoongea Mavi ya popo weeee

    • @nozesybafikege8417
      @nozesybafikege8417 3 ปีที่แล้ว

      Tuone kama mwaka huu kura zitaibwa vip mana huyu ni mzaliwa wa upinzani na ni mtalaam wa sheria na sio mnafiki wa chama chake kama Lowasa

  • @khadijashabani2895
    @khadijashabani2895 3 ปีที่แล้ว +25

    Wataelewa tuuuu. Tusingeyajua yote hayo

  • @mohamedhashim6728
    @mohamedhashim6728 3 ปีที่แล้ว +12

    Una jua raisi wetu asante sana mwenyezi mungu akujalie kheli na afya njema siku zote

    • @yassiniferuzi2867
      @yassiniferuzi2867 3 ปีที่แล้ว

      Kinyesi tu

    • @mohamedhashim6728
      @mohamedhashim6728 3 ปีที่แล้ว

      Akuna jingine urilo sahau ndugu luksa kuandika andika chochote kile

    • @agnessmwendwa7542
      @agnessmwendwa7542 3 ปีที่แล้ว

      Tena tutamtandika Sisi wenyewe hata upenyo wakukimbia hataupata ngoja achonge Dino risasi wametwangana wenyewe wamuogope Mungu wataibika

  • @miketzee806
    @miketzee806 3 ปีที่แล้ว +12

    Kweli sheria unaijua ndugu yetu, lakini ni maagizo kutoka juu, ni vigumu sana muheshimiwa, tuangalie katika kura tu

  • @mrgardendesignerluta4667
    @mrgardendesignerluta4667 3 ปีที่แล้ว +28

    Aenguliwe tu hakuna namna ,tunataka viongoz wanaofuata Sheria sio mbambarambambara..viva lissu

  • @joelmilendo4705
    @joelmilendo4705 3 ปีที่แล้ว +25

    ✌Part of M4C history✌

  • @onesmomaruti5256
    @onesmomaruti5256 3 ปีที่แล้ว +44

    Je wanajuwa sheriya au
    Ni siasa za udicteta tu walikata katiba mpya tume huru

    • @issackchalahani1235
      @issackchalahani1235 3 ปีที่แล้ว

      Ni udikteta na huo wa kuteuana kwa kuhakikisha MTU ana lindwa na kupitishwa hata kama taratibu kanuni na Sharia kufuatwa.

    • @gracemima5234
      @gracemima5234 3 ปีที่แล้ว +1

      Onesmo Maruti katiba itasaidia nini? Kenya wana katiba nzuri sana. Mafisadi wameiteka nchi na katiba yake.

    • @smarty1064
      @smarty1064 3 ปีที่แล้ว

      @@gracemima5234 hmm Grace kuna ukweli na usemayo ila ya Kenya hayatuhusu

    • @gracemima5234
      @gracemima5234 3 ปีที่แล้ว +1

      Smarty Yanatuhusu. Dunia ni kijiji kimoja. Na Tanzania ni moja iko kwenye kijiji hiki. Tuangalie kama wenzetu wamefanikiwa. Dunia nzima unaishi kwa kuigana. Tuchukuwe mazuri yaliyofanikiwa tuige. Tusifumguwe midomo na kuiga yasioyowezekana

    • @smarty1064
      @smarty1064 3 ปีที่แล้ว

      @@gracemima5234 Ni kweli, ila lazima tutoe kwanza boriti kwenye macho yetu , uzuri wa sheria sio kwamba ndo tutazalisha watu bora sana au ndo tutakuwa wasimamizi wazurisana hawa wanaoongea sana wengi wao sio watelekezaji na wote tunajua kula uhondo kwataka matendo na asiye matendo hula uvundo (shaaban robert)

  • @gladnessthomas6363
    @gladnessthomas6363 3 ปีที่แล้ว +1

    Wewe bweka2 haijalishi unajua sheria kiasi gani, hyo haituhusu kuongoza nchi wewe huwezi sisi tunamjua raisi wa Tanzania mwaka 2020 up to 2025 ni Dr. John Joseph Pombe Magufuli kama unampenda Anko Maguu ebu weka like yako hapoo penda sana Maguu kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji Magufuli oyeeeeeee😘😘😘😘😘

  • @adammkimbo9956
    @adammkimbo9956 3 ปีที่แล้ว +38

    nimefulahishwa Sana

  • @leonardbrown181
    @leonardbrown181 3 ปีที่แล้ว +68

    Hahaa! Mbona comment za wale jamaa sizion!

    • @khamissnassor1462
      @khamissnassor1462 3 ปีที่แล้ว +9

      wana comments nn wakati wanapewa madongo ya ukweli

    • @sharoshine9984
      @sharoshine9984 3 ปีที่แล้ว +8

      Wamelala kwanza wapo ndotoni

    • @zuleyvendor6577
      @zuleyvendor6577 3 ปีที่แล้ว +8

      @@sharoshine9984 wakiamka wamekojoa kitandani😂😂😂😂😂

    • @abassmtemekelemkovizuritv7231
      @abassmtemekelemkovizuritv7231 3 ปีที่แล้ว +8

      @@sharoshine9984 kweli hawacoment chochot lisu mtu nyie jaman duuh mungu ampe maisha marefu aendelee kutufumbua mambo makubwa kama haya

    • @sharoshine9984
      @sharoshine9984 3 ปีที่แล้ว +2

      @@abassmtemekelemkovizuritv7231 aaamin dua zetu zipokelewe

  • @peterkumongishu4122
    @peterkumongishu4122 3 ปีที่แล้ว +4

    Thank you sir

  • @alanlugano18
    @alanlugano18 3 ปีที่แล้ว +11

    Mmmh!
    Let's watch!

  • @zakayoezekiel7500
    @zakayoezekiel7500 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu hakutaka ufe kwasababu ya kutetea wanyonge na kutufumbua macho ya wasiyojua. like zenu tafadhali

  • @savioponera7886
    @savioponera7886 3 ปีที่แล้ว +28

    Hakika lissu kwel ni chuma✌️

  • @shaurikibwiru8588
    @shaurikibwiru8588 3 ปีที่แล้ว +46

    Wewe samehe ila umeandika historia mwaka huu sijawai

    • @alexnzota23
      @alexnzota23 3 ปีที่แล้ว

      Wewe sio historia ,bali tundulisu nimchochezi wavurugu nchini

    • @agnessmwendwa7542
      @agnessmwendwa7542 3 ปีที่แล้ว

      Kwao Hana hata makazi mazuri anauraia WA nje familia kaiacha uko awadanganye wajinga wachache mtakiona cha mtema kun

    • @laghanganuwagi7602
      @laghanganuwagi7602 3 ปีที่แล้ว

      @@agnessmwendwa7542 mtema kuna cha mkojo wa mkeo???

    • @arqamibnarqam.7185
      @arqamibnarqam.7185 3 ปีที่แล้ว

      @@alexnzota23 uwezo mdogo wa kufikiri.

    • @abbywise6942
      @abbywise6942 3 ปีที่แล้ว +2

      @@agnessmwendwa7542 vichwa jinga hawawezi kuelewa lisu ni nani huyu jamaa ni innocent ila kwasabab hajapata nafas ni ngumu kumwelew huyu ndiye rais 2021 miaka buku

  • @boratz2034
    @boratz2034 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi

  • @amosmerama3680
    @amosmerama3680 3 ปีที่แล้ว +15

    I'm very interested and interactively concerned with this person he is accurate,persionate,he can and he knows,mungu wetu tuletee mtu sahihi atakaeacha majigambo yasiyofkirika kwa watu wako wa tz

    • @innocentjoseph4694
      @innocentjoseph4694 3 ปีที่แล้ว

      Kifo kinakuita wewe

    • @allyanyigulilemlaghilajumb5829
      @allyanyigulilemlaghilajumb5829 3 ปีที่แล้ว

      Ndugu yangu akili za kuambiwa changanya na zako. Mtu anawatamkia na nyie mnakubari, hakuna kitu kama hicho someni msisubiri kutafuniwa na Lisu

    • @amosmerama3680
      @amosmerama3680 3 ปีที่แล้ว

      @@innocentjoseph4694 aliekutuma mwambie atatangulia kabla yangu mm,

    • @amosmerama3680
      @amosmerama3680 3 ปีที่แล้ว

      @@allyanyigulilemlaghilajumb5829 nikasome nn ndg,natafuniwa nn,mbona mnapenda kushambulia hoja Zaid ya kuzijibu,toa majibu vinginevyo kunifata mm inbox it's time wastage bro,km kichwa kipo empty cool

    • @maxesh5135
      @maxesh5135 3 ปีที่แล้ว

      Sure

  • @sefaniakalinga3456
    @sefaniakalinga3456 3 ปีที่แล้ว +10

    Yaaaaa Lisu Big up to you

    • @laurentmsakila4531
      @laurentmsakila4531 3 ปีที่แล้ว

      Acha kusapot mambo yanayo chochea uvunjifu wa amani mwenzio anapakukimbilia wewe je????

    • @sefaniakalinga3456
      @sefaniakalinga3456 3 ปีที่แล้ว

      @@laurentmsakila4531 Kat Ya ccm na chadema Nan Anavunja Aman

    • @laurentmsakila4531
      @laurentmsakila4531 3 ปีที่แล้ว

      @@sefaniakalinga3456 we sikiliza katika hotuba pande zote utajua tyu nan anania ya kuvunja amani

  • @estherminnahboaz6956
    @estherminnahboaz6956 3 ปีที่แล้ว +10

    Oyooo🔥🔥🔥🔥✌✌✌

  • @evancetesha3836
    @evancetesha3836 3 ปีที่แล้ว +15

    Sisi wote humu tunakukubali mh lissu kaza

  • @tensonmzumbwe1701
    @tensonmzumbwe1701 3 ปีที่แล้ว +1

    Brilliant, kwa wale tuliosoma vitin badala ya Vitabu Vya sheria tunatoa tuu macho

  • @faustinepeter3139
    @faustinepeter3139 3 ปีที่แล้ว +26

    😂😂😂😂😂 Leo nimeishia kucheka hahaaaa mlizoea kutofata sheria sasa muarobain wenu karud

    • @khamissnassor1462
      @khamissnassor1462 3 ปีที่แล้ว +3

      Ni mwendo wa madongo japo CCM wanajifanya nchi ni kama yao

    • @ephraimmahambo8516
      @ephraimmahambo8516 3 ปีที่แล้ว +2

      Lissu kichwa kweli anajua Mungu amlipe mema

    • @joycengoda6567
      @joycengoda6567 3 ปีที่แล้ว +1

      Wape darasa warudishe shule tena hao

    • @joycengoda6567
      @joycengoda6567 3 ปีที่แล้ว +1

      Wamezoea kujifanya wao ndoo wao tu he he fuck dem

  • @allybakari7888
    @allybakari7888 3 ปีที่แล้ว +41

    Tume mtajuta kumpitisha huyo mwana sheria

    • @gizakazeno1688
      @gizakazeno1688 3 ปีที่แล้ว +1

      Urais ni system kesho anakuta kila kitu kiko sawa,,,!

    • @evancetesha3836
      @evancetesha3836 3 ปีที่แล้ว

      @@gizakazeno1688 unajipa moyoee? huyu ndie lissu bana rais wetu

    • @thomasmwambwiga1724
      @thomasmwambwiga1724 3 ปีที่แล้ว

      @@gizakazeno1688 sheria ndio inaongea tume kama tume haiwezi kutengua mwaka huu ccm mtsjuta

    • @OmarOmar-tf6ph
      @OmarOmar-tf6ph 3 ปีที่แล้ว

      Natena tume kama kweli watatumia sheria BA's wamemfelisha rais magufuli.

    • @OmarOmar-tf6ph
      @OmarOmar-tf6ph 3 ปีที่แล้ว

      AMA KWELI NDEGE MJANJA HUNASWA NA TUNDU BOVU DUUH!!! JINS MAGUFULI ALIVO NAASIWE NASIFA YA UGOMBEA AMA KWELI HUU MWAKA MHHH!!!

  • @jeronimonyakangala6659
    @jeronimonyakangala6659 3 ปีที่แล้ว

    Namkubali sana kamanda MUNGU akulinde kwa Damu ya Yesu

  • @seifseif3258
    @seifseif3258 3 ปีที่แล้ว +2

    Njaaaa mbaya

  • @waltermbelwa4973
    @waltermbelwa4973 3 ปีที่แล้ว +14

    Ni mtihani kwa Jaji.

  • @muselematiku2100
    @muselematiku2100 3 ปีที่แล้ว +16

    Hakika lisu Ww ninakupenda bure

  • @jeremiahgodson7389
    @jeremiahgodson7389 3 ปีที่แล้ว +17

    Sheria bwana

  • @saidmungulu7053
    @saidmungulu7053 3 ปีที่แล้ว +1

    Tundu antipus lissu respect sana
    Chadema damun

  • @aronnasloyaljr7945
    @aronnasloyaljr7945 3 ปีที่แล้ว +29

    Uyu jamaa ni genius

    • @ashelybadyana4449
      @ashelybadyana4449 3 ปีที่แล้ว +2

      Ugineus gan umeona hapo huyo shoga tu

    • @godblessjrtz.8652
      @godblessjrtz.8652 3 ปีที่แล้ว +3

      @@ashelybadyana4449 pingeni kwa hoja, sio mnatukana hapo ndio mnadhihirisha kuwa nyinyi ni vilaza wa kiwango cha lami

    • @unaonaniniplatform5244
      @unaonaniniplatform5244 3 ปีที่แล้ว

      Kwa tume ile ile.wanayodai siyo huru. Kazi wanayo na ndiyo inayowapitisha.

    • @unaonaniniplatform5244
      @unaonaniniplatform5244 3 ปีที่แล้ว +1

      Mtajichanganya sana pole sana

    • @khamisrajabu6082
      @khamisrajabu6082 3 ปีที่แล้ว +1

      Siku ya uchaguzi jingakweli hili

  • @frenkfrancis4151
    @frenkfrancis4151 3 ปีที่แล้ว +14

    Emungu tusaidiye 😭😭😭😭

    • @mathiaszakaria7052
      @mathiaszakaria7052 3 ปีที่แล้ว

      Hahhhhhh kapatikana mbabe wa mbabe

    • @mathiaszakaria7052
      @mathiaszakaria7052 3 ปีที่แล้ว

      @@teddyt4587 naaammm gwiji kapatikana,Raha Sana😂

    • @mutagoridianisixbert9641
      @mutagoridianisixbert9641 3 ปีที่แล้ว +1

      Apo mm ninachokiomba ni Mungu kusimama ,,make tunako erekea sipazuri. Mutu kakoswa oja kakimbilia kwenye pinga mizi ,, sisi tunataka kiongozi mwenye sela za kuinua nchi kiuchumi sio pingamizi tu ,,,kama wewe ni mwanasheria nakuliza maswari matatu ,1' tulipokua tunapambana na muchanga ulitusaidiaje kama wewe mzalendo na mwanasheria mukuu, , 2' ndege ilipokamatwa canada ulitusaidiaje kama kweri unapenda nchi hii iwe na maendereo ,, tatu,, kuhusu ndoa ya jinsia moja iyo sheria utaibadilashaje mm ukinijibu kiufasaa nageuka nakua mwana chadema ,kazi kwako

  • @lameckysulumbi4727
    @lameckysulumbi4727 3 ปีที่แล้ว +26

    Kwa hilo apo nakuunga mkono mh✌

  • @anthonymwidongo9818
    @anthonymwidongo9818 3 ปีที่แล้ว +14

    Sawa kiongozi

    • @shabanmohamed1545
      @shabanmohamed1545 3 ปีที่แล้ว

      Chuma cha singida hicho.

    • @naturafooda3172
      @naturafooda3172 3 ปีที่แล้ว

      We bweka tuuu. Halafu tutaona kama utapata kira milioni moj

  • @spykespark8477
    @spykespark8477 3 ปีที่แล้ว +17

    Anacho sema tundulisu ni No one is above the law..

  • @colethamwatija6322
    @colethamwatija6322 3 ปีที่แล้ว +26

    Kusoma sheria ni vizuri jaman naona raha

    • @KibwanaRich
      @KibwanaRich 3 ปีที่แล้ว

      Sheria sawa ni nzuri..
      Lakini sayansi iliokuokoa na corona is something beyond..
      Sheria haijengi, haileti maendeleo kazi ni kupinga tu, shtuka my friend

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 3 ปีที่แล้ว +1

      @@KibwanaRich sio kweli sheria inazaa haki sio kupinga

    • @hagaisanga7286
      @hagaisanga7286 3 ปีที่แล้ว +2

      @@KibwanaRich sheria ilikuepo hata kabla ya sayansi unayoisemea wewe, na ilitumika ku settle disputes mbalimbli,vile vile sheria haipingi inatoa haki sheria inaweza save maisha yako na inaweza ruhusu kutoa maisha yako sheria ndio inatoa maamuzi yoyote jUU ya lolote lile DUNIANI
      Law itabaki juu
      NEMO EST SUPRA LEGES.

    • @michaelmandia4405
      @michaelmandia4405 3 ปีที่แล้ว

      Ninavyo jua nchi inaongozwa kwa sheria na taratibu zilizowekwa Sasa Tindu Lissu yeye anajua sheria to taratibu Hana habari nazo

    • @KibwanaRich
      @KibwanaRich 3 ปีที่แล้ว +1

      @@hagaisanga7286 bro sayansi ilikuepo kabla ya unazosema hizo sheria...all innovations and creations are results of science..
      Na walofata sheria kama unavosena mpk sasa wanapambana na korona ila alielewa chemisstry ya corona virus ametuokoa, na ndio huyo alisema hakuna kutumia uzazi wa mpango bcoz he knows, na hizo vision ni kama prophet tu mzee..
      Ndio mana nikasema sheria ni nzuri just for ruling, but science is what redeems yourmind..
      Wake up

  • @samsonwilson3762
    @samsonwilson3762 3 ปีที่แล้ว +23

    Sheria jamani wanasheria mnasemeje

    • @ethannando6839
      @ethannando6839 3 ปีที่แล้ว

      Wametengua kauli yake na amevyosema hivyo vyote magufuri alishavifanya muda😊 nahisi walikuwa wamelala😀

    • @gracemima5234
      @gracemima5234 3 ปีที่แล้ว

      Samson Wilson Hakuna kitu hapo Huyo ni kichaa.

  • @adolphembonakazi7639
    @adolphembonakazi7639 3 ปีที่แล้ว +3

    Uyu jamaha nichuki Tu kwa Magufuli amna kingine
    Yaani chuki nimbaya 😄✅📱 from USA 🇺🇸