PART 1: MZEE MAKAMBA AMVUNJA MBAVU KIKWETE HADI MACHOZI YAMEMTOKA...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ธ.ค. 2021
  • PART 1: MZEE MAKAMBA AMVUNJA MBAVU MSTAAFU KIKWETE HADI MACHOZI YAMEMTOKA...
    LEO Desemba 05, Rais mstaafu wa awamu wa Nne, Jakaya Kikwete na viongozi wengine wa serikali wameshiriki katika kumbukumbu ya kifo cha baba mzazi wa Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, Hayati Brigedia Moses Nnauye..
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

ความคิดเห็น • 306

  • @augustinesimwiya9091
    @augustinesimwiya9091 2 ปีที่แล้ว +5

    Asanteni kwa Kumbukizi hii Muhimu ya Mzee wetu Moses Nnauye imetujuza mengi kuhusu nchi yetu🇹🇿🇹🇿🙏

  • @naftalimhemi1208
    @naftalimhemi1208 2 ปีที่แล้ว +8

    Mzee Moses Nawye alitutembelea JKT Oljoro 1978.Anapopiga siasa yake alipiga na Kodiani.Makruti hadi walisahau muda wa kula.Walicheza sana.

  • @ooafrica3626
    @ooafrica3626 2 ปีที่แล้ว +14

    Kama ulikua huijui team kikwete ndo hii hapa, hii ndo team ilitaka kumuweka Membe awe rais lkn Mkapa akasema hapana tumpe Magufuli

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 2 ปีที่แล้ว +13

    Sio wakati wa siasa za maneno....Ni wakati wa maendeleo kwa vitendo....darasa tuliisha Pata... éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz

  • @rahimmarions5712
    @rahimmarions5712 2 ปีที่แล้ว +19

    Dunia hakuna Siri inayodumu maisha yote...tatizo huwa ni muda tu

  • @meryevance6944
    @meryevance6944 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu atayaweka azalani maovu yao timu kigogo mumuhue mtu heti mtamalaki nchi Mungu atawaumbua subiri wanafiki kubwa Mungu Mambo yenu niwkt tu yatakuwa qazi

  • @nassirmasoud2545
    @nassirmasoud2545 หลายเดือนก่อน

    Hayo sio maneno ya Mwenye ezi Mungu...bali ni maneno ni ya Mtumi Muhammad saw.shukrn

  • @modestwenceslaus9
    @modestwenceslaus9 2 ปีที่แล้ว +8

    Wanajeshi wasitaafu katika ubora wao, Kikwete, Makamba,Kinana wote ni Wanajeshi wasitaafu wanamkumbuka mjeshi mwenzao Moses.

  • @evampuya4552
    @evampuya4552 2 ปีที่แล้ว +2

    Namkumbuka mzee moses Nnauye alikuwa mlezi wa shule yetu sumve sec Kwimba Mwanza mungu amlaze mahali pema peponi

  • @costantinejoseph4907
    @costantinejoseph4907 2 ปีที่แล้ว +3

    Hizi namba mungu anaziona!! Pumzika baba

  • @alphoncehume9495
    @alphoncehume9495 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubariki zaidi mzee Yusuf Makamba hekima zako zinahitajika muda wote na hazitachuja. Mungu akupe maisha marefu zaidi na zaidi watanzania tukufaidi zaidi

  • @mussaabobakar7537
    @mussaabobakar7537 2 ปีที่แล้ว +1

    Wamzee muongo sema tu mwanao au watoto wenu mnatka watuongoze maisha manguful aliwayoosha kwel saf sana mlikuwa kimnya

  • @faridhassan6834
    @faridhassan6834 2 ปีที่แล้ว +7

    Mapungufu kwa kila mtu yapo,ila mazuri pia kila mtu anayo,wazee wangu mungu awape umri mrefu nyinyi ni motivation yetu.

  • @rosemongi5273
    @rosemongi5273 2 ปีที่แล้ว +10

    Mmmh ama kweli damu ya mtu nzito iko siku mtasema yote mliyo yafanya.

    • @itwaaky75
      @itwaaky75 2 ปีที่แล้ว

      Unamaanisha nini?

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 2 ปีที่แล้ว +16

    Hakuna Siri Duniani Hapa haitafichuliwa....

  • @malcomx4067
    @malcomx4067 2 ปีที่แล้ว +10

    Hii ndiyo team ya kigogo, ukitaka kujua nyuma ya panzia wanapongezana kumlaza uncle katika nyumba ya milele. Huu ni unafki wa hali ya juu. Mungu anawaona.

    • @itwaaky75
      @itwaaky75 2 ปีที่แล้ว +2

      Una ushahidi?

  • @alfredibrahim9251
    @alfredibrahim9251 2 ปีที่แล้ว +17

    Sawa nchi ya kurithiana tusubiri na januari mtoto wake apewe cheo na riziwani mwanae atapewa wale ambao hawana wazazi serikalini tusubiri mwaka 20100

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 ปีที่แล้ว +5

      Umeona eeeh ndo nimeelewa kwa nini hawakumpenda Magufuli, walilidhiana uangalizi wa watoto wao lol! Kisa wana historia ndani ya serikali. Angalau Magufuli hakupenda kuuendekeza huu upuuzi kwani na sisi hatufai kuongoza? Mafisadi wakubwa

    • @benardmapuga8370
      @benardmapuga8370 2 ปีที่แล้ว +1

      Nalo neno hilo ndg yangu maana majina yanaanza kurudi koo zilezile utadhani wengine hawajasoma

    • @thomaschengena6369
      @thomaschengena6369 2 ปีที่แล้ว

      kila mtu anahaki ya kuwa kiongozi

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 ปีที่แล้ว

      @@thomaschengena6369 ndo maana tunashangaa Kwa nini uongozi uwe WA kiukoo?

  • @rukkysayid6613
    @rukkysayid6613 2 ปีที่แล้ว +11

    Wamefurahi serikali imerudi mikononi mwao wanafiq wakubwa 😏

    • @mohammedshaaban9509
      @mohammedshaaban9509 2 ปีที่แล้ว

      Wew ndio mnafiki wa kwanzaa,kwa kuongea usichokijuaa

    • @rukkysayid6613
      @rukkysayid6613 2 ปีที่แล้ว

      @@mohammedshaaban9509 kwendaaa ww unakijua nn eeh😏😏

  • @erickcleophas682
    @erickcleophas682 2 ปีที่แล้ว +21

    Ila hawa siyo bure kuna kitu wanapongezana. Jogoo halijawika tutaona mengi.

  • @evampuya4552
    @evampuya4552 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awape Maisha marefu wazee wetu mna hekima utu na upendo tele

  • @mablogu5850
    @mablogu5850 2 ปีที่แล้ว +5

    Major Yusuph Makamba, Kanali Jakaya Kikwete, Kanali Abdurahman Kinana wakimzungumzia Brigedia Jenerali Moses Nnauye

  • @francisibrahim2206
    @francisibrahim2206 2 ปีที่แล้ว +7

    Siasa za maji taka! Hata mfanyeje, "Wa mbili havai moja"

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 2 ปีที่แล้ว +6

    RIP shujaa wawili wazalendo walimu wawili JK Nyerere na JPM ..,. Haya mliobaki uzeni nchi hata vijukuu vyenu siku moja vipige makaburi yenu kwa urafi na ubinafsi wenu..

  • @godfreyngajilo2653
    @godfreyngajilo2653 2 ปีที่แล้ว +2

    Haya maisha jamani Mungu ndo mbabe kuliko takataka yoyote hapa duniani,kuna bwana mmoja alitaka hawa wazee wale nyasi lakini sasa hivi wanakula bata kwa amani zote,

  • @rosemongi5273
    @rosemongi5273 2 ปีที่แล้ว +10

    Ishi miaka 1000 hapa duniani kwa mungu ni sawa na siku moja tu,endeleen na unafiki wenu mungu wetu anakuonen,na tunakuomba usituache pigana nao wanao iyumbisha Tzania kwani tangu JPM aondoke hatujui kinacho endelea ktk nchi yetu hatuwezi peke yetu hatuwezi tunaomba toba na rehema pale tulipokosea tukaenda kinyume na wewe unatujua vyema tunomba rehema zako mungu wetu ameren.

  • @getitdoneright1938
    @getitdoneright1938 2 ปีที่แล้ว +14

    Hii ni dalili ya Nape kusaka madaraka

  • @hamisiizadini3938
    @hamisiizadini3938 2 ปีที่แล้ว +1

    Mmmmmmmh mzee makamba amechanganyikiwa...kwahio hizo nyimbo ni swadakka tuljaaria...innalillah wa innaillah rajiuuun

  • @sleimbh
    @sleimbh 2 ปีที่แล้ว +3

    Dakika ya 3 Mzee kaongopa ! Ni hadith na sio Quran.

  • @clementkivegalo2604
    @clementkivegalo2604 2 ปีที่แล้ว +6

    Mungu aendelee kumjalia afya njema na maisha marefu Mzee Yusufu Makamba.

    • @peterbayo4677
      @peterbayo4677 2 ปีที่แล้ว

      Anafaa kuwa mwigizaji maana ni msanii mzuri sana!
      🤗🤗🤗🤗🤗🤗

    • @sememakolo9360
      @sememakolo9360 8 หลายเดือนก่อน

      Kwalupi alilolifanya

  • @nassirmasoud2545
    @nassirmasoud2545 หลายเดือนก่อน

    Nyerere ana sadaka jaria gani?usipeane sifa zikapitiliza mzee ama ndo huo uzee unakuingilia vbaya?chunga usemayo mzee wangu ulimi usikuponze

  • @davinaheven4794
    @davinaheven4794 2 ปีที่แล้ว +4

    Ma Yudaaa!

  • @yahkiwera3611
    @yahkiwera3611 2 ปีที่แล้ว +2

    Mhh kazi kweli kweli

  • @MegaAbby1010
    @MegaAbby1010 2 ปีที่แล้ว +3

    Hii historia tamu sana

  • @barnaba3037
    @barnaba3037 2 ปีที่แล้ว +23

    Shujaa JPM ameondoka ndo wanatoka adharani, tulikuwa tunasikia sauti za kurekodi tu dadek

  • @geraldbenjamin9302
    @geraldbenjamin9302 2 ปีที่แล้ว +5

    Wahuni

  • @modricseif1018
    @modricseif1018 2 ปีที่แล้ว +2

    Allah atuongoze inshaAllah 😥

  • @isayamganule1741
    @isayamganule1741 2 ปีที่แล้ว +16

    Ujue muangalie mara nyingi sura ya mtu inaendana na matendo yake kazee kanafiki hako na s yy na timu yote ilokoo hapa ni ya wanafiki na mafisad wa mali za taifa

    • @Emmadav1
      @Emmadav1 2 ปีที่แล้ว +1

      Mioyo yenu imejaa chuki na visasi

  • @athumanhassani9794
    @athumanhassani9794 2 ปีที่แล้ว +2

    Maisha tanaenda lesi mzee wakusambaa mnafiki aliongiza mkoa kibabe nakiwabomilea machinga leo yupowapi kazeeka kawaachia wengine wacheni ufisidi msiwanyonye maskini ikiwa mnakula nguvu zao

  • @kuntakinteomolo2832
    @kuntakinteomolo2832 2 ปีที่แล้ว +2

    Na Field marshall john okelo apewe mtaa gani Zanzibar?

  • @thadeusalucas2823
    @thadeusalucas2823 2 ปีที่แล้ว +17

    Kwa kauli ya Makamba baba yake Freeman Mbowe aliiachia nchi hii sadakat el jalia je yanayompata mbowe ndiyo malipo sahihi ya aina hiyo ya sadaka?

  • @emmanuelellymwakyusa2900
    @emmanuelellymwakyusa2900 2 ปีที่แล้ว +2

    Very crucial Makamba still active ameongea mambo ya msingi saaana kuhusu NNAUYE mhsrip wazee wenye TIJA ya kuacha URITHI na umoja wa KITAIFA

  • @thobiasmushangaki9470
    @thobiasmushangaki9470 2 ปีที่แล้ว +2

    Wazee wanaiharibu Nchi hii maskini RIP JPM

  • @conasmalale1073
    @conasmalale1073 2 ปีที่แล้ว +2

    kweli Jpm alikuwa anaogopeka kwa watu wote wasingeweza kuongelea maswala ya nnauye

  • @geofreynjanga6794
    @geofreynjanga6794 2 ปีที่แล้ว +5

    Dunia ni mapito mzee ....

  • @sweetbertmachomba4448
    @sweetbertmachomba4448 2 ปีที่แล้ว +14

    Fisi wameachiwa bucha kuuuzaaa !!!!!!!!!

  • @ooafrica3626
    @ooafrica3626 2 ปีที่แล้ว +4

    Hakuna mtu mbaya na anayeharibu hii nchi na kutengeneza makundi mabaya kama kikwete

    • @dadialidadi1622
      @dadialidadi1622 ปีที่แล้ว

      Achaa kumsemaa kikwete mbuz wewe kikwete aliajir mpaka wengne wakawa wanachaguaa kaz kaa kimyaaa nyau kutesaa kwa zamuuuu kwan huu uongoz wa saiv upo sawa tuu kikwete is the king of tz alikua anajua kuish na watuu

    • @dadialidadi1622
      @dadialidadi1622 ปีที่แล้ว

      Mbnaa mambo yako swa sisahau magu alirejesha watu jkt walivurugwaa mpakaa wengne wakajinyongaa lakn kikwete alikuaa ukingiaa jakata utaumiaaa lakn utapata japo panadol ya ajiraaaaa achaa aendeleeeee ding wetuu hahahahahahahaa

  • @malaakyakub2559
    @malaakyakub2559 2 ปีที่แล้ว +2

    Subxanallah nyinbo sio sadakatul jaaria ?

  • @isayamganule1741
    @isayamganule1741 2 ปีที่แล้ว +3

    Sura mbaya kama kibwengo sasa iv mnakula bata tu kwa mh.Magufuli mlikiona cha Moto kwanza CCM itakufa na kupotelea mbali

    • @jameskemege2663
      @jameskemege2663 2 ปีที่แล้ว

      Watu wanasherekea ushindi ila angalia pia zenu zinawaelekeza wapi

  • @mekin8684
    @mekin8684 2 ปีที่แล้ว +2

    Yaani huyu mzee anaona daraja kupewa jina la mtu ni kitu kikubwa sana kwake ndiyo maendeleo kwake. Hii ndiyo sababu mpaka leo miaka 60 baada ya Uhuru bado tunahangaika na umeme, maji, madawati, madarasa, Barabara. Tanzania tuko nyuma sana for 60 years tungelikuwa tunajenga blockchain infrastructures DeFi, POV, metaverse, tungelikuwa na research instructions kama research solar energy, cancer, diabetes. AI. Mambo kibao. Lakini kwa style hii 60 years hire kabisa. Omg brain ni bidhaa adimu sana

  • @jofreymanfred6560
    @jofreymanfred6560 2 ปีที่แล้ว

    Tz nakupenda nakupenda

  • @ibrahkimesu2402
    @ibrahkimesu2402 2 ปีที่แล้ว +13

    Madhulmati wanaoiteketeza nchi yetu, wanaodhani wanaimiliki nchi wako ndani. Iko siku Mungu atatulipia. Devils on the loose.

    • @davidchande
      @davidchande 2 ปีที่แล้ว

      Kweli kaka mashetani hawa

    • @jameskemege2663
      @jameskemege2663 2 ปีที่แล้ว

      Barakoa vipi leo

    • @Emmadav1
      @Emmadav1 2 ปีที่แล้ว

      Jisumbue kwa mawazo yasiyo na maana.

    • @mohammedshaaban9509
      @mohammedshaaban9509 2 ปีที่แล้ว

      Shetani wa kwanza ni wew

    • @kefajoseph158
      @kefajoseph158 ปีที่แล้ว

      @@mohammedshaaban9509 mwiisilamu hajawahi kuwa mwema

  • @akramissa3393
    @akramissa3393 2 ปีที่แล้ว +2

    Aliposema moyo wa ukarimu na upendo, Nape got emotional akakimbilia ndani kwenda kutoa chozi kidogo

  • @jamalrichmond2892
    @jamalrichmond2892 2 ปีที่แล้ว +2

    RIP MAGUFULI

  • @FIFO28
    @FIFO28 2 ปีที่แล้ว +11

    Dunia imefikia mwisho kwa kweli.... maneno mengi no results...

  • @bahiyalumelezy3016
    @bahiyalumelezy3016 2 ปีที่แล้ว +7

    Alijipachika jina lake mtaa wenye historia ya wapigania uhuru eneo la gerezani kariakoo mtaa wa mbaruku akaita makamba kuforce tu.maeneo ya kutoa jinalake yapo mengi nchini lkn kataka sifa ya kishamba tu.aende zake

  • @waheedahtanzania4912
    @waheedahtanzania4912 2 ปีที่แล้ว +5

    Mashalla baba yangu mzee makamba allah azidi kukupa umri mrefu na afya njema kila siku maana huwa unatupa faraja sana 😄❤️

  • @najumongdeoxcar6728
    @najumongdeoxcar6728 2 ปีที่แล้ว +4

    Dah kwer tuxhapigwa na kitu kizito Kama mwendo ndo huu

  • @luvangakalinga8698
    @luvangakalinga8698 2 ปีที่แล้ว +2

    Haya ndio mliokuwa mnayataka kurithishana watoto na vitukuu wenu kulipana fhadila na JPM Hakutaka na alitaka kuyavunja haya madudu yenu na hapa umeyasema yote na kuonyesha dhamila yenu na why mlimchukia. Story nyingi ohh sijui wazee wa nchi zaidi ya unafki tu

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 2 ปีที่แล้ว +4

    Mungu tuokoe na hili genge kwa namna yoyote ile eti wanaumia flyover kuitwa kijazi na mfugale ee mungu vunja hili genge kwa kukitoa kichwa Chao kichwa Chao unaijua wewe mungu wetu tutendee mungu watatumaliza mungu ni watu hatari sana hawa watu

    • @ghoststpatrick9878
      @ghoststpatrick9878 2 ปีที่แล้ว

      Mungu alishatuokoa na jambazi kuu limezikwa chato 😂

    • @omarymkamba3045
      @omarymkamba3045 2 ปีที่แล้ว +2

      unapotoa jina la eneo kuna utaratibu wake Rais Magufuli alikuwa anakurupuka tu na kutoa majina ya marafiki zake bila kufuata utaratibu.Kujenga miradi hakuanza magufuli Marais wote walikuwa wanatekeleza miradi lakini walikuwa hawatoi majina hovyo hovyo halmashauri na wananchi wa eneo husika.Ukweli lazima usemwe magufuli alifanya kazi yake vizuri lakini alikuwa na mapungufu pia lazima mapungufu yake lazima yasemwe.

    • @ghoststpatrick9878
      @ghoststpatrick9878 2 ปีที่แล้ว

      @@omarymkamba3045 100% real talk

  • @backsa6214
    @backsa6214 2 ปีที่แล้ว +7

    Kikwete a good leader..I can't forget his speech at Mandela funeral.

    • @adamhenrymwashambo6649
      @adamhenrymwashambo6649 2 ปีที่แล้ว +1

      That was super eloquent Speech ever...

    • @edwardmizambwa237
      @edwardmizambwa237 2 ปีที่แล้ว

      Good Leader - Good Speech!?!?!?!?!?

    • @mekin8684
      @mekin8684 2 ปีที่แล้ว

      What is a good leader to you !!!speech!!?. Look Tanzania was during his presidency term??? Drugs every corner, corruption, unemployment, fund mismanagement and then tell me where was his good leadership?

    • @boeihongoa1436
      @boeihongoa1436 2 ปีที่แล้ว

      @@mekin8684 unemployment? You are not serious bro.
      Get a life.

    • @annethebenezer5409
      @annethebenezer5409 2 ปีที่แล้ว

      E

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 2 ปีที่แล้ว +5

    Hiz comments za humu hatar sana mweee🙌🙌🙌🙌

  • @saidalsalmi9313
    @saidalsalmi9313 2 ปีที่แล้ว +15

    Wenye CCM yao wamerudi safii sana

    • @bepalilogathbepali9547
      @bepalilogathbepali9547 2 ปีที่แล้ว +1

      Mpaka rahaa jaman

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 ปีที่แล้ว +1

      Usafi uko wapi enzi zao ukivaa nguo ya ccm kaliakoo unazomewa au mmesahau

    • @ibrahkimesu2402
      @ibrahkimesu2402 2 ปีที่แล้ว +1

      Wanajijenga wakupigeni halafu nyie hao hao mnashangilia. Waafrika bwana

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 ปีที่แล้ว

      @@ibrahkimesu2402 wanafurahia dili Lao la bandali ya Bagamoyo hela inaingia siku si nyingi unaona mkwere anavyocheka Kwa raha zake na wabongo walioshikiwa akili wanafurahia anyway labda hao nao wako kwenye mikondo ya upigaji

  • @edithkovary5771
    @edithkovary5771 2 ปีที่แล้ว +13

    Lazima aongee alilolitaka ameshalipata.Alinyamza kimya baada ya JPM Kuondoka kila mtu anarudi. Japo wameshastaafu.

    • @ghoststpatrick9878
      @ghoststpatrick9878 2 ปีที่แล้ว +3

      Wacha watu wawe huru jambazi sugu limezikwa chato

    • @alimussa2655
      @alimussa2655 2 ปีที่แล้ว +1

      @@ghoststpatrick9878 😂😂😂

    • @ibrahkimesu2402
      @ibrahkimesu2402 2 ปีที่แล้ว +3

      Hawajastaafu kuiba wamestaafu uongozi tu. Upigaji una kustaafu?

    • @ibrahkimesu2402
      @ibrahkimesu2402 2 ปีที่แล้ว +1

      @@ghoststpatrick9878 baa yako angevaa condom kusingezaliwa takataka kama wewe nguruwe kasoro rangi. Mnashindana na marehemu wakatiijambazi halisi inaendelea kuwaibia! Lazima wewe ni ndugu zako hayo majangili yakipora unatumwa timwa nayo. Tunawazoom tu ipo siku mtatafuta pa kutokea

    • @ghoststpatrick9878
      @ghoststpatrick9878 2 ปีที่แล้ว +1

      @@ibrahkimesu2402 ahahahaha Ibrah umepanick ! Jambazi jambazi tuu we tukana unavyoweza it won't change anything ... Chaliiii in chato 😂😂😂

  • @madamuhimu9354
    @madamuhimu9354 ปีที่แล้ว

    Naomba baba utusaidie aya ya ngapi wengine hatujasoma

  • @SubilagaKabango-bu8tu
    @SubilagaKabango-bu8tu 8 หลายเดือนก่อน

    KWA kweli mh jakaya ni mtu wa mfano ktk ma Rais Tanzania!

  • @mathewbundu235
    @mathewbundu235 2 ปีที่แล้ว

    Ila huyu mzee aisee ni very fun na anajua kuteka jukwaa na attention ya wasikilizaji🤣🤣

  • @hamsinitimbersupplytanzani4928
    @hamsinitimbersupplytanzani4928 2 ปีที่แล้ว +3

    Tanzania ndio nchi mtu anakuchukia hata hajawahi kukuona😂😂😂😂😂

    • @benardmapuga8370
      @benardmapuga8370 2 ปีที่แล้ว

      Sio lzm uonekane tulifundishwa somo la history kuwa babu zetu walinyanyaswa na wakoloni nasi tukawachukia kwani tuliwaona?

  • @patricknyiti5303
    @patricknyiti5303 2 ปีที่แล้ว +1

    Maajabu

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 2 ปีที่แล้ว +9

    NAMBA CHAFU HIZO ZILIZOMDONDOSHA JAMAA...!....ZIMEKUTANA...!

  • @meshasjaguar6136
    @meshasjaguar6136 2 ปีที่แล้ว +2

    Sisi atutaki story zenu tunataka mabadiliko ya maisha

  • @meryevance6944
    @meryevance6944 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyu Mzee makamba nimunafiki ndio maana munapehana nafsi za ugozi nchi mumefanya yenu mpk magufuli mumemua naunafiki mtupu

    • @benardmapuga8370
      @benardmapuga8370 2 ปีที่แล้ว +1

      We nae jitahidi kuandika tukuelewe hoja nzuri lkn maneno unatuchanganya

  • @marcogodfreymboya7349
    @marcogodfreymboya7349 2 ปีที่แล้ว +2

    Tumepigwa

  • @emamkuyu4061
    @emamkuyu4061 2 ปีที่แล้ว +8

    Wafu hawana kumbukumbu lolote,sema usemavyo,lakini kila mtu atakufa

  • @SubilagaKabango-bu8tu
    @SubilagaKabango-bu8tu 8 หลายเดือนก่อน

    Yakima Mzee makamba amenikumbusha mbali Nyimbo hizo za CCM kuzaliwa moyo umeshtuka kumbe mpo?

  • @kaundasutikaunda7769
    @kaundasutikaunda7769 2 ปีที่แล้ว +1

    Dah nchi yangu...

  • @gipsonibushatabushata1646
    @gipsonibushatabushata1646 2 ปีที่แล้ว +1

    Wewe mzeell

  • @goodluckmunisi4340
    @goodluckmunisi4340 2 ปีที่แล้ว +7

    Wenye nchi yao wamefika moto tunao🤣🤣🤣

  • @ketrachupi4385
    @ketrachupi4385 2 ปีที่แล้ว +3

    🤗

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 2 ปีที่แล้ว +12

    wazee wa kuliangamiza Taifa🤣🤣

    • @princemucho6067
      @princemucho6067 2 ปีที่แล้ว +1

      Yaaaani nimecheka mbaya Daaah🤣🤣😅😅😅🤣

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 2 ปีที่แล้ว +6

    Mmh, acheni kujifanya miungu watu. Acheni KULITUMIA JINA LA NYERERE

  • @nassirmasoud2545
    @nassirmasoud2545 หลายเดือนก่อน

    Ni aya gani hyo ilosema mrumi kalia wakati mtto wake kafa?

  • @kastulideemay6721
    @kastulideemay6721 2 ปีที่แล้ว +3

    Makamba akikutana na Kikwete, nawe jiandae kuvunjika mbavu kwa kicheko kama huna nongwa nao! Anayosema ni ya kweli vijana wa ccm choteni katika historia ya hao wazee na hao wanaowafanyia dua, hawakua na mapito yaliyo mepesi!

  • @allygoodboytzsdoneintanzan3970
    @allygoodboytzsdoneintanzan3970 2 ปีที่แล้ว +1

    Ila Mungu 😉😉😭😭😭😭jpm Allah Huko Ulipo Akufanyie tafifu Tumewafaham wanafki wako

  • @kilamiko8299
    @kilamiko8299 2 ปีที่แล้ว

    Zeee snichi sana hili...

  • @fidelismwakanyamale6787
    @fidelismwakanyamale6787 2 ปีที่แล้ว +3

    CCM HOOYE

  • @BabuJuma-ze6to
    @BabuJuma-ze6to ปีที่แล้ว

    Wanaokufa wanadhambi kweli!

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 2 ปีที่แล้ว +4

    NAPE AMEIMBA KWA HISIA KUBWA TAIFA LINA HITAJI UMOJA KULIKO KITU CHOCHOTE. MAENDELEO YANAYO GAWA NA KUBAGUA WATU HAYAJENGI TAIFA BALI YANA BOMOA.

  • @vickykapama8386
    @vickykapama8386 2 ปีที่แล้ว +3

    Uongo mtupu! Hakuna kiumbe asiye na adui duniani, lol😭😭😭😭🙃

  • @jaffarichimbuvu9409
    @jaffarichimbuvu9409 2 ปีที่แล้ว

    Ndio Mike nnch ina wenyewe,ukionekana c o unazimishwa,unavunja katiba bunge lilikuwa la chama k 1,na gia za kutete wanyonge hutufai poreni,mataga

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 2 ปีที่แล้ว +3

    We mzee vipi nyimbo swadakatul jaaria
    Utubie usiku mzima we

    • @aishaally2611
      @aishaally2611 2 ปีที่แล้ว

      Amepotoka...! Porojo nyingi sana,mtu mwenye hekima ni yule anayekaa kimya.

  • @raphaelmrisho1520
    @raphaelmrisho1520 2 ปีที่แล้ว +4

    Mimi Nina mawazo tofauti namuona Mzee MAKAMBA kama Mzee anayetakiwa kugawa vipaji kwa watunwengine huyu mzee ana mambo mengi sana

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 2 ปีที่แล้ว

    Mzee makamba kama huijui dini bora unyamaze nyimbo sio sadakatul jariya unazusha mambo ktk dini na kuimba ktk dini ya uislamu makosa na ni dhambi

  • @atengitimkarichard6776
    @atengitimkarichard6776 2 ปีที่แล้ว +3

    Dunia hii asie adui ni nan? Naamini mtu mwenye hekima ni yule anae mpokea na kusamehe adui

  • @meddymushimaz4998
    @meddymushimaz4998 2 ปีที่แล้ว

    Tanzania tuloanayo kwasasa haifai kuongozwa na wanasiasa, wanasiasa wameiua Tanzania nakuifanya kuwa nchiyetu kuwa masikini, tunahitaji kumpata Raisi anaeotokana na wafanyakazi hiinchi itakuwa sana kiuchumi,

  • @oscarmisiru9725
    @oscarmisiru9725 2 ปีที่แล้ว

    Heeeee mzeeee

  • @mabubambassa2333
    @mabubambassa2333 2 ปีที่แล้ว +19

    Hii kumbukizi haikufanyika miaka yote, kwa nini sasa??

    • @davidmvukie3273
      @davidmvukie3273 2 ปีที่แล้ว

      Ungekuwa unasoma na kufuatilia vizuri.Usingekurupuka kuuliza hili swali

    • @mabubambassa2333
      @mabubambassa2333 2 ปีที่แล้ว

      @@davidmvukie3273hujui kinachoelendea wewe dogo. Sisi tunajua na lengo lao kubwa lilikuwa ni lipi? Kwa taarifa yako haikuwa kumbukizi tu hiyo, kuna hiden agenda nyuma yake. Endelea kulala tu hivyo hivyo, zwazwa wewe.

    • @davidmvukie3273
      @davidmvukie3273 2 ปีที่แล้ว

      @@mabubambassa2333 Sasa kama unaijua na umeamka,nend ucounteract

  • @sememakolo9360
    @sememakolo9360 8 หลายเดือนก่อน

    Hawa ndio WAHAINI WA inchi YETU hawafai hata kuongoza mtaa, wanatetea MADUDU.

  • @blaunclecleaning9492
    @blaunclecleaning9492 2 ปีที่แล้ว

    Team umekamilika, 2025 hiyo hapo Mipango ndipo inaposukwa

  • @mwigaali1942
    @mwigaali1942 2 ปีที่แล้ว +2

    Bado tena bado kabisa wazee waaina hii ktk dunia ya sasa ni mzigo tu hawanafaida kwa Taifa

    • @itwaaky75
      @itwaaky75 2 ปีที่แล้ว +1

      Punguza chuki

  • @faiditv5535
    @faiditv5535 2 ปีที่แล้ว +3

    Wazee wakukunja nne