#EXCLUSIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 พ.ค. 2024
  • #EXCLUSIVE PART 2: DR SULLE - "NATUMIA MAJINI - MIMI SHEIKH wa CLASS ya JUU -LEVO ZANGU KAMA WAZIRI"...
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 319

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  13 วันที่ผ่านมา +3

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @kassimabdillah5998
    @kassimabdillah5998 12 วันที่ผ่านมา +7

    Usia wangu kwako Dr Sule mche Allah acha kujifagharisha na kujitapa Kwa Kumshirikisha Allah Ifanye Upya Imani yako Rudi Kwa Allah mpwekeshe yeye peke

  • @MirajiHanza
    @MirajiHanza 7 วันที่ผ่านมา +3

    Dokta sule Allah akuongoze,,,,dah umepotea shekhe wangu

  • @nubianqueen6700
    @nubianqueen6700 13 วันที่ผ่านมา +20

    Allah amemuweka wazi anajitangaza mwenyewe mchana peupe, mumjue ni "shekhe" aina gani. Amesema kuwa kuna mambo mengine lazma umshirikishe mwenyezi mungu. Hapo kashajisema.

    • @Lumumba-ep6ic
      @Lumumba-ep6ic 13 วันที่ผ่านมา

      Huko shih kabisa. ,mashehe wa mchongo

    • @Mohaa4309
      @Mohaa4309 13 วันที่ผ่านมา +4

      Mshirikina huyu Sheikh

    • @hubapessa913
      @hubapessa913 13 วันที่ผ่านมา +2

      Kasema lazima ushirikishe jini siyo Allah

    • @nubianqueen6700
      @nubianqueen6700 13 วันที่ผ่านมา +5

      @@hubapessa913 kufanya dua kwa Allah alafu ukaongezea kuitumia jini, ndo ushirikina haswa. Associating partners with Allah.

    • @ZubeirJuma-up7kb
      @ZubeirJuma-up7kb 13 วันที่ผ่านมา

      Ndo ukishirikisha jini nd unamaana ALLAH hana uwezo wa kutatuwa jambo​@@hubapessa913

  • @AminaAhmed999
    @AminaAhmed999 13 วันที่ผ่านมา +10

    ogopa Mungu. Hii ni ushirikina.
    wacha kudanganya watu.
    usiharibie uislamu sifa yake.
    Hatuna haja kutumia majini kwa kila hali.
    wewe unasaidia washirikina.
    Allah Mwenyezi Mungu wetu anatutosha.

  • @kharisbendera1406
    @kharisbendera1406 11 วันที่ผ่านมา +6

    ama kweli nimeamin watu elimu hawana hv mnamjua nabii wa allah suleiman alikua akiwatumia majini kwa kuwaongoza na majina ya allah yaliyokwenye pete kama huna elimu na jambo hlo nyamaza acheni kumuita dr sule mshirikina mnaujua ushirikina nyie dr niko pamoja na wewe upe elimu na allah akutunze inshaalllah!

    • @rajababrahman4365
      @rajababrahman4365 6 วันที่ผ่านมา

      Uongo Nabii Sulemani akutumia majini
      Qurani inasema uongo

    • @abuumunyrelbatwaawy7490
      @abuumunyrelbatwaawy7490 6 วันที่ผ่านมา +2

      Yule ni nabii na alikua mfalme
      Je sule yeye ni nani??
      Hakuna sahaba wala wanfunzi wa masahaba waliotumia majini, bali huyu ni mshirikina mkubwa sana

  • @mustaphaabbas2545
    @mustaphaabbas2545 12 วันที่ผ่านมา +3

    { وَكَذَ ٰ⁠لِكَ نُفَصِّلُ ٱلۡـَٔایَـٰتِ وَلِتَسۡتَبِینَ سَبِیلُ ٱلۡمُجۡرِمِینَ }
    [Surah Al-Anʿām: 55]

  • @IdrissaMoussa-tx7jy
    @IdrissaMoussa-tx7jy 12 วันที่ผ่านมา +2

    Allah akibar,laa illah ilallaah
    Kwangu naona dr sule anaofanya ni ushilikina tu,ila anacanganya naungo wa kujua dini kidogo.

  • @mlasalmas7615
    @mlasalmas7615 วันที่ผ่านมา

    Astaghfirullah. Kwamba rabbana aatina haifanyi kazi ila majin wana nguvu ya kujibu dua😢??? Subhanallah, Allah amuongoze dk Sulle

  • @Abdul-ghafurKhamis
    @Abdul-ghafurKhamis 5 วันที่ผ่านมา +1

    Rudi kwa mungu Dr sule unapotea na unapotosh umma brother

  • @petermgonja8547
    @petermgonja8547 2 วันที่ผ่านมา

    Tumkubali tu doctor sule. Maaana ndiye kiongozi mkuuu wa kiislamu

  • @mhogomchungu7168
    @mhogomchungu7168 13 วันที่ผ่านมา +6

    Huyu mshirikina na dhambi kumwita shehe. Mganga wa kienyeji katika koti la ushehe. Class ya ushehe ni taqwa na ucha Mungu sio nini anavaa au anayoendesha . Huyu hafai hata kuwa mfagia msikiti

  • @fatmaabdi7192
    @fatmaabdi7192 13 วันที่ผ่านมา +2

    ALLAH hapendi watu wenye kiburi sifa kwa mungu hakuna alie mzidi waziri m bunge cjui nani watu wote tuko sawa

  • @hamudseif
    @hamudseif 5 วันที่ผ่านมา +1

    Uyu jamaa anaongea pumba sana( haongei kielimu) anatumia kichwa chake kujibu maswala..lakin kama mm ningemuuliza “Unaweza kumjua jini mzuri na mbaya, wakati ni viumbe hawaonikani, na atakama umemuona unawezaje kumjua km huyu ni mwema au mbaya..?”
    Usitudanganye Sule kutaja neno “DUA”, ni ushirikina ndo unatumia.

  • @robertgeofrey4118
    @robertgeofrey4118 2 วันที่ผ่านมา

    Tuamini Yesu mwokozi pekee

  • @rashidiiddi2433
    @rashidiiddi2433 6 วันที่ผ่านมา +1

    Aisee Dunia ikomwisho sasa maana mashekh wanaeneza shiliki bc sowezi kumfatilia Tena kumbe nimshilikina

  • @BASHIRINAMYUNDU-dv5ff
    @BASHIRINAMYUNDU-dv5ff 7 วันที่ผ่านมา

    comment zako dokta zimeingiliwa unachafuliwa makusudi ,Allah akubariki inshaAllh

  • @dorcaskarago2876
    @dorcaskarago2876 12 วันที่ผ่านมา +1

    Siri imevuja Sule umemzoweya Mungu sana natabia yako mbaya kupotosha watu wa Mungu

  • @azizaalbreki3330
    @azizaalbreki3330 13 วันที่ผ่านมา +2

    Mwenyezi mungu akuhidi

  • @user-ng7fi7nl2r
    @user-ng7fi7nl2r 12 วันที่ผ่านมา +1

    Sule ww nimshirikina muogope allah akuna kumtumia jinni ktkt jambo lolote aijathibiti kisomo icho sio chakisheria isipokuwa icho nikisomo chakishirikina watu wote mjuwe uyo sule mungu ameamua kutujulisha kwamba nimshirikina na ayo anayoyasema nikinyume na uislam

  • @89_Media
    @89_Media 12 วันที่ผ่านมา +2

    Yaan Jini amepewa sifa kuliko malaika wa mwenyezi Mungu 😢Siku za mwisho zimekaribia😭😭😭😭😭

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 13 วันที่ผ่านมา +2

    Suleee! Waislamuuuuuu Semeni Mashallaah! Majini ni ndugu zenu katika Imani kwani Walisilimu wakawa Waislamu Qur'an 72:1-14

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 13 วันที่ผ่านมา

      Koma uko.

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 13 วันที่ผ่านมา

      ​@@sonnyr1899 kaiambie hilo neno Qur'an

    • @FeymaarOfficially-uu4nr
      @FeymaarOfficially-uu4nr 13 วันที่ผ่านมา

      Ndio wapo majini ndugu zetu wa Islam alhamdullilah NA wapo makafiri kama binaadamu

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 13 วันที่ผ่านมา

      ​@@FeymaarOfficially-uu4nr Basi kawatume utajirike!!

    • @FeymaarOfficially-uu4nr
      @FeymaarOfficially-uu4nr 12 วันที่ผ่านมา +2

      Mi ananitosha Allah sina haja ya majini sisi na wao tumeumbwa na Allah tumuabudu tu

  • @habibbeiyye
    @habibbeiyye 13 วันที่ผ่านมา +2

    انا لله و انا اليه راجعون....... (وما خلقة الجن و الانس إلا ليعبدون).

  • @MuhammadWesonga
    @MuhammadWesonga 13 วันที่ผ่านมา +4

    Mwenyezi Mungu amehalalisha talaka ikiwa kuna sababu zinazokubalika kisheria,sasa vipi ulazimishe ndoa kwa kutumia jini? Hivi ni kupinga qadari,Sule kumbe wewe ni mganga aliye na ilmu ya dini? Innalillahi wa innailaihi rajiun

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 8 วันที่ผ่านมา

      hahahaha

    • @abubakarecgondesi
      @abubakarecgondesi 7 วันที่ผ่านมา

      abubakare kutoka congo nataka nambaya dotasule

    • @taturajabukhalfani7953
      @taturajabukhalfani7953 5 วันที่ผ่านมา

      ​@@abubakarecgondesiunataka nawe umshirikishe Mwenyez Mungu au!??

  • @totonata5384
    @totonata5384 13 วันที่ผ่านมา +6

    Astaqafirulah. Mungu utuongoze na hii dunia

    • @firdaussheikh4817
      @firdaussheikh4817 13 วันที่ผ่านมา

      Atapoteza wengi lahaula walaquwata ila bilaah. Huyu achane na mchezo . Mungu ni mkubwa 😢😢😢😢😢

    • @IssaSimbilla-hw9ev
      @IssaSimbilla-hw9ev 13 วันที่ผ่านมา

      Wallah huyu ni jahili murakab shirikina

    • @taturajabukhalfani7953
      @taturajabukhalfani7953 5 วันที่ผ่านมา

      Tena ni li freemason kabisa!!!halina sifa ya ushekhe linatumia udini kuficha makucha yake

  • @mwakiosalim2914
    @mwakiosalim2914 2 วันที่ผ่านมา

    Dunia duara...mwalim naitaji number yako..unifundishe kiundani zaidi

  • @Mohaa4309
    @Mohaa4309 13 วันที่ผ่านมา +2

    Majivuno na kibri 😢😢 Innalilah wainna ilay rajiun

  • @andrewmhagama9816
    @andrewmhagama9816 13 วันที่ผ่านมา +5

    Duuuuh mtu unaamini majini yaani ni kilio kweli kweli mashehe majini.Kweli kuna watu akili ndogo na upeo yaani Mungu ajitoshelezi unamuongezea majini kwa nini usiite malaika basi, Jehanamu ya moto inawasubili
    Ukiambiwa neno Mungu ni uweza ushindao kila kitu Mbinguni na Duniani kufikiria na kutenda.

  • @AbbubakarHamad-nu1ug
    @AbbubakarHamad-nu1ug 5 วันที่ผ่านมา

    Naomba kuuliza Mimi majini kwan wanaonekana?

  • @sajadyomary821
    @sajadyomary821 13 วันที่ผ่านมา +2

    Mche allah

  • @user-qe9pd9zk8v
    @user-qe9pd9zk8v 6 วันที่ผ่านมา

    Dakika 2:44
    Kama si uganga na uchawi anazungumzia??

  • @RamadhaniOmary-hn4my
    @RamadhaniOmary-hn4my 13 วันที่ผ่านมา

    Subhanaallah

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 7 วันที่ผ่านมา

    subhanallah viongozi wetu wa kudini hebu muiteni huyu jamaa aombe radhi hadharani...Maana anapotosha umma waziwazi hakuna elimu ya hivi ktk dini ys kiislam

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 13 วันที่ผ่านมา +4

    Hapo waislamu na majini pete na kidole hamna mamlaka nyingine lazima majini yatumike

    • @saidimkwinzu9106
      @saidimkwinzu9106 13 วันที่ผ่านมา

      Uislam hauruhusu hayo anayoongelea sulle Bali yeye hadi Sasa ni mshirikina Kwa sheiria za uislam kashatoka kwenye uislam
      Mtume wetu Muhammadi Swalla llaahu alayhi wasallama anasema hakuna kushirikiana kati ya watu na majini hata kama wawe Majin WEMA Kila viumbe waishi ki mpango wao kwenye maisha ya Kila siku Sasa sulle anatuharibia uislam wetu na watu kama yeye sio waislam Bali wamebakia jina tu peke yake

    • @kaoretosha6668
      @kaoretosha6668 9 วันที่ผ่านมา

      Hujui usichokijua.

  • @gfydfdf8869
    @gfydfdf8869 13 วันที่ผ่านมา +1

    Hapo Mungu hayupo,kaka fabi,majini hapo mwanzo huko mbinguni,walikuwa nimalaika,Sasa walimuasi Mungu huko mbingu narusifa,ndio wakatipwa kuzimu,wengine wamefungwa wapo kuzimu na wengine wapo hapa dunia,wanateza wanadamu,kwa matezo mbarimbari,ndio wale unaona hawamwabudi, Mungu,ndio hao Leo unaona,wanafanya madhambi,mbari,wanazubili hukumu ,hakuna jini zuri Wala baya,wote wanaozujudi,jini,nijehanamu,yamoto,fabi njoo kwa Yesu,hata usiende kwa sule,akusomee majini,sule weweacha majini,kwanini Mungu,fabi anashangaa tu,hayo majini,una sema sure.

    • @Khmediy3241
      @Khmediy3241 13 วันที่ผ่านมา

      Wew iyoo kwa Iman Yako Malaika Hana jinsia Majin yanajinsia ya dunian Jini na Malaika ni viumbe viwili tofauti

    • @maryamadam5622
      @maryamadam5622 13 วันที่ผ่านมา

      :

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 12 วันที่ผ่านมา

    Jamani masheikh kina Sheikh Kishki,sheikh Walidi.mnamuona huyu anavyopotoka na masheikh wamekaa kimya tu.
    Kuna watu wenye elimu ndogo wanaamini haya anayoyasema huyu doctor Sule.

  • @shmohd11
    @shmohd11 11 วันที่ผ่านมา

    Nabii Suleimani aliomba dua hii
    ﴿ قَالَ رَبِّ اغْفِرْ لِي وَهَبْ لِي مُلْكًا لَّا يَنبَغِي لِأَحَدٍ مِّن بَعْدِي ۖ إِنَّكَ أَنتَ الْوَهَّابُ﴾
    [ ص: 35]
    "Allah nipe ufalme (uwezo) ambao hautostahiki kupewa yeyote baada yangu...".
    Hivi wewe umepewa uwezo huo baada ya Nabii Suleiman? Tupe ushahidi umeyapata wapi haya matango pori?

  • @aljalilatiba9873
    @aljalilatiba9873 13 วันที่ผ่านมา +1

    KUWATUMIA MAJINI KUTAFUTA MALI AU ULINZI NI DHAMBI KUBWA HUU UTHIBITISHO KATIKA QUR-AAN SURATUL JINNI
    وَأَنَّهُ كَانَ رِجَالٌ مِّنَ الْإِنسِ يَعُوذُونَ بِرِجَالٍ مِّنَ الْجِنِّ فَزَادُوهُمْ رَهَقًا
    Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi

  • @aminauwimana9976
    @aminauwimana9976 13 วันที่ผ่านมา

    Subhana'allah allah akuhogoze looo

  • @mwakiosalim2914
    @mwakiosalim2914 2 วันที่ผ่านมา

    Kwani huyu mtangazaji anamaswali kwli...lakini kweli kuna watu wanaekelewa makosa yauongo

  • @user-ps2om3fg8x
    @user-ps2om3fg8x 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nilichogundua watu ni wavivu wa kutafuta elmu"" MUNGU ametupa utukufu cc binadamu kwa viumbe ooooote wapo chini yetu, cyo jini tu ata jiwe unaweza ukalituma na cyo zambi. Watu ni wavivu kutafuta elmu. Babu yangu anaanika nguo bila kamba ye anarusha tu na nguo inanasa. Kuna vitabu ukivisoma mti unango'ka bila greda. Mi namuunga mkono sule ulimwengu upon chini yetu wanadamu. Tafuta elimu paka china.

  • @AliAlizo-hy8fp
    @AliAlizo-hy8fp 12 วันที่ผ่านมา

    Elimu elimu soo hiyo elimu yako ni mpya wataka kutuaminisha allah haezi kutumalizia matatizo yetu mpaka tutumie majini......wewe ni mchawi mkubwa sana tena ujue allah ameku fedhehesha sijawai kufikiria kama uko hivyo mungu ywakuona Insha'allah

  • @AminaAhmed999
    @AminaAhmed999 13 วันที่ผ่านมา +2

    Msimzikize.
    na watu wa habari msimpe huyu hewa au vipindi kudanganya watu.
    mtakua mnamsaidia

  • @talents7934
    @talents7934 11 วันที่ผ่านมา

    mimi Nawaza tu kama huyu angekuwa mkristo Waislam wangeporomosha comments za kejeli atari sasa Mwenyezi Mungu kaamua kuyaanika wazi ili muijue njia sahihi,kwanza majini yote yana majina ya kiislam yani jini maimuna jini Subiyaaa😂 ngoja nikae kimya tuko paleee kukingoja kihama

  • @wajisheikhabdulkherymruma7944
    @wajisheikhabdulkherymruma7944 8 วันที่ผ่านมา

    Shari ikikuzid uwez kuizuia itakuamrisha na kukusemesha chcht inachotaka wachch sn mtanielewa mnaojua shari na heri ni nn kwny watu 1000 hamtazid 3 mtakaonielewa

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku 12 วันที่ผ่านมา

    Alhamdulillah kumbeeee na vile alikufurisha harmo n yule n ujinga tu subhanallah sasa yeye ashaa tangaza wazi sasa watu wenyewe wataangalia kama watazidi kumfuata hata maneno yake hapa ya kufuru huyu

  • @frankshetuli6225
    @frankshetuli6225 11 วันที่ผ่านมา

    Ok

  • @JohnMustapher
    @JohnMustapher วันที่ผ่านมา

    Elimu ikizidi ndio ujinga wenyew 😮

  • @omarbinjaa2801
    @omarbinjaa2801 7 วันที่ผ่านมา

    Dr Sule ushirikina haufai na kutumia majini haifai Dua haitoshi mpaka utumie jini hapo atarudi kwa idhini ya jini na sio idhini yake

  • @mwinyikitupa167
    @mwinyikitupa167 4 วันที่ผ่านมา

    Na hayo ni maamrisho ya mungu kwamba tufanye hivyo

  • @jumakihiyo
    @jumakihiyo 9 วันที่ผ่านมา

    Unatumia jina la 8 katika majina ya barhatiyh linaitwa Gharmashin unasoma kwa idadi ya mara 1209 usiku wa kwanzia saa5 unafanya hivyo kwa siku 3 mfululizo

  • @florayoram9563
    @florayoram9563 12 วันที่ผ่านมา +1

    Shekhe sule unanikosha😅

  • @petermgonja8547
    @petermgonja8547 2 วันที่ผ่านมา

    Tunaomba huyu awe mkristo atayaaacha na hayatamzuru. Ila akiwa muilamu yatamnyonga.

  • @user-pt4qj4qh3r
    @user-pt4qj4qh3r 6 วันที่ผ่านมา

    Hap sheh suleiman amekosea,lakin msianze kuchukulia ndo njia ya kutukan din yet ya kiislam mana hamchelew nyinyi,kama kukosea amekosea yeye msianz kujumuisha din yet kwamba ndo ipo hivyo

  • @ThabitAsaaMbarouk-jz1fx
    @ThabitAsaaMbarouk-jz1fx 13 วันที่ผ่านมา +1

    Allah akuongoze uiyona haki🙏

    • @firdaussheikh4817
      @firdaussheikh4817 13 วันที่ผ่านมา

      Kabisaa anauzuri wake lakini hapa kwenye hizi 😢😢😢😢 atakuja kupoteza wengi .watu wamemwamini 😢😢😢

  • @RamaZuberi
    @RamaZuberi 13 วันที่ผ่านมา +4

    Allah akuongoze dk wangu nakukubali namajibu yameshiba tupe elimu shekhe wangu.

    • @firdaussheikh4817
      @firdaussheikh4817 13 วันที่ผ่านมา

      Achane na siasa sisi tunaamini Mungu tupu , yy ndio mwenye uwezo wa hali ya juu. Hatuhitaji majini kumsaidia waja wake. Allahu Akbar 🇬🇧

    • @Mohaa4309
      @Mohaa4309 13 วันที่ผ่านมา

      Hana lolote huyu Sheikh, nlisema mitandao itamponza huyu

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 13 วันที่ผ่านมา

      ​@@firdaussheikh4817 Majini Walisilimu wakawa Waislamu Soma Qur'an Surat Jinn 72: 1-14 majini ni ndugu zako katika Imani Sule Yuko sahihi

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 13 วันที่ผ่านมา

      ​@@Mohaa4309 Majini Walisilimu wakawa Waislamu Soma Qur'an Surat Jinn 72:1-14 majini ni ndugu zako katika Imani Sule Iko sahihi

    • @khaalidcheo5383
      @khaalidcheo5383 13 วันที่ผ่านมา

      Kwisha kazi yake lichawi ilo

  • @IssakaMisholo-wy7mf
    @IssakaMisholo-wy7mf 7 วันที่ผ่านมา

    Ndo ukweli huo sheikh good job mkuu..

  • @mohdshebe5640
    @mohdshebe5640 10 วันที่ผ่านมา

    Sasa majini na malaika wapi wenye nguvu bwana mdgo na why usiwatumie malaik kuliko kutumia majini ?

  • @usrahismail3196
    @usrahismail3196 11 วันที่ผ่านมา

    Nimesikia mwenyewe
    "Mi mganga wa hali ya juu"

  • @user-ih7nl5nv3c
    @user-ih7nl5nv3c 9 วันที่ผ่านมา

    Mtangazaji amemuweka kwenye trap kaingia mzima mzima uislamu hauluusu kutumia jini yeyote yule

  • @imraniqbal00765
    @imraniqbal00765 วันที่ผ่านมา

    Huyo mume alipomuona shemaji yake anaichezea pistol 🔫 yeye alimuacha tu akiichezea ?? Mnajua lkn pistol 🔫 halafu amuache achezee hapo kuna walakin

  • @muhammadbamba9445
    @muhammadbamba9445 12 วันที่ผ่านมา

    Hakuna Mfasiri Mkubwa wa Quraan kumshinda Mtume,Kuwashinda Wanafunzi wake,Kuwashinda wanafunzi wa wanafunzi wa Maswahaba na kizazi chote hicho mpaka Maimamu wa nne.Hakuna hata mmoja aliyetumia majini katika kujipatia mali,Kuwatumikisha nk ina maana wao hawakufahamu haya yote mpaka ukaja yafanya wewe mvaa isabaa,Mnyoa viduku??
    Ni wapi mtume muhammad aliwatumia hawa viumbe Bila ya shaka ww ni katika washirikina

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 13 วันที่ผ่านมา +1

    Leo nimeelewa kumbe Waislamu wanaweza kuwatuma majini walioamini Qur'an ili yaka mdhuru mtu Waislamu watu hatari sana!! Ndiyo maana Siwezi kabisa kuwa Mwislamu nyie ndiyo chuma ulete

  • @jumawaziri8501
    @jumawaziri8501 12 วันที่ผ่านมา

    masheikh wetu hawa wanamkosea sama MUNGU kesho ,masheikh hawa wana dhima kubwa sana kwa Mungu; masheukh weng wanafanya sana shirki kwa kuityaka dunia kwa kila namna

  • @MirajiHanza
    @MirajiHanza 7 วันที่ผ่านมา

    Unasema au mpenzi we dokta mshenzi

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 11 วันที่ผ่านมา

    Acha ushirikina wewe Dr Sulle muogope Mungu

  • @user-id1gz3ng3k
    @user-id1gz3ng3k 12 วันที่ผ่านมา

    Subehanallah musimkubali uyu jamaa, majini wawe wazuri ama wabaya usiwi na dili nawo. Kwasababu Allah nimuweza. Uyu anapoteza watu.

  • @MirajiHanza
    @MirajiHanza 7 วันที่ผ่านมา

    Kwahiyo unasaidia kurudisha wapenzi waendelelee kuzini

  • @kingjkingj2463
    @kingjkingj2463 10 วันที่ผ่านมา

    Sheikh kishki njoo umueke sawa huyu sule.kwa kweli atapata wafuasi wingi

  • @maxlattinokiki8105
    @maxlattinokiki8105 10 วันที่ผ่านมา

    Kwani huyu bwana kabila gani? Je mashekh wote waliopo Tanzania wana shidwa kujibu hoja zake za kishetani!!

  • @omarmzaham7248
    @omarmzaham7248 12 วันที่ผ่านมา

    shetani hili miongoni mwa ma shetani wa ki binaadamu....Umar bin khatab alipokua ameer ul mumineen hakuhitaji ulinzi zaidi ya ulinzi wa mungu Allah(s.w.t) ....kakosa akili nae?

  • @DafettyOg
    @DafettyOg 13 วันที่ผ่านมา

    Part 3 please 🙏😂😂😂

  • @hassanhass1721
    @hassanhass1721 12 วันที่ผ่านมา

    Hicho chako ni kibri umepitiliza bro

  • @aishakambenga6191
    @aishakambenga6191 13 วันที่ผ่านมา +3

    Shetani ni bin Adam mwenyew

  • @kaoretosha6668
    @kaoretosha6668 9 วันที่ผ่านมา

    Wengi hawana elimu, badala yake wanabisha wasichokijua.

  • @user-ih7nl5nv3c
    @user-ih7nl5nv3c 9 วันที่ผ่านมา

    Duh subhanallah awa mashekhe wa maulidi hawafai kuwapelekea watoto kusoma watakua wachawi

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 8 วันที่ผ่านมา

      na wapo wengi saana maana Quran inawaruhusu na Mtume alikuwa Mchawi tu haujajua

  • @mwantumuteketeke2898
    @mwantumuteketeke2898 12 วันที่ผ่านมา

    Mwaipopo aliwah kusema Sule mnafki kumbe ni kwel aisee...huyu ni mtihan kwa kwel Mwenyez Mungu amuongoze jaman...ana majivuno, anajidai anasikitisha sana...

  • @MuhammadWesonga
    @MuhammadWesonga 13 วันที่ผ่านมา

    Iblis ana tactics za kupoteza watu,aweza chukua hata miaka ishirini,ndio kamuanza sulle sasa ,hawezi tambua kwa sasa isipokuwa tu,aketi chini afikiri,maana sisi na majini ni viumbe wa Allah,ila iblis akishajua kwamba uneshajitegemeza kwa majini,ndio nafasi kubwa anayo, waislamu tusifwate waislamu,tufwate uislamu. Mwenyezi Mungu katuwekea malaika,mbona hakuweka majini kutulinda maana Sule anaona wana uwezo mkubwa? Sikapenda hili,Sule fanya istighfar,omba msamaha.majini wako watumie wakupe mali na wakusaidie kwa namna unayotaka lakini usipoteze waislamu.

  • @shmohd11
    @shmohd11 11 วันที่ผ่านมา

    Ooooho, UMESEMA MWENYEWE WEWE MGANGA, AAAH WEWE SIYO MTUMISHI WA MUNGU, MGANGA TU😂

  • @kingjkingj2463
    @kingjkingj2463 10 วันที่ผ่านมา

    Kibrii

  • @HamdaniMmbaga
    @HamdaniMmbaga 7 วันที่ผ่านมา

    We Dr sule unapagawa kiukweli punguza kuongea sana,unafikia Sasa unaharibu,we ni mtu unaheshimiwa Sana,Sasa shekhe hebu tuliza akili

  • @user-pt4qj4qh3r
    @user-pt4qj4qh3r 6 วันที่ผ่านมา

    Mtume(s.a.w) anasem kwamb kila mwanadamu anamajin??? Na ushahid kwamb kila mwanaadam ana majin manne na wengin ni kama ulinzi wa mwanadam.Vp mnavyosem ulinz wa majin kwa mwanadam ni shirk??

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 13 วันที่ผ่านมา +3

    Hallelujah hallelujah hallelujah Asante MWENYEZI MUNGU kwa kuniokoa katika MKRISTO YESU Na kuniepusha kuamini dini ya Uislamu yenye ushirika na Majini😊😊

    • @AminaAhmed999
      @AminaAhmed999 13 วันที่ผ่านมา

      wewe na yeye wote mko sawa mnaabudu viumbe mnaacha muumba.
      uislam uko mbali na nyie wote .
      uislam dini ya haki .Mungu wetu hana mshirika. yeye tu ndio tunamuabudu na yeye tu ndio tunamuomba msaada . hatuombi jini wala hatuombi yesu ambae ni binadami kama sisi

    • @mohamseyf6243
      @mohamseyf6243 13 วันที่ผ่านมา

      Akili huna,majini ya sule,uislamu ukombali na imanihiyo,

    • @aishahazary4097
      @aishahazary4097 13 วันที่ผ่านมา

      Yesu haokoi mtu amka wewe.Kama alishindwa kujiokoa msalabani atawezaje kukuokoa wewe

    • @faridithomas4859
      @faridithomas4859 13 วันที่ผ่านมา

      Siku ya kufa kwako ndio utaujua ukweli

    • @aishahazary4097
      @aishahazary4097 13 วันที่ผ่านมา

      @@faridithomas4859 yesu si lolote bali ni mtume wa MUNGU tu hakuna jipya mbali na hapo

  • @muhammadbamba9445
    @muhammadbamba9445 12 วันที่ผ่านมา

    Ni Elimu gani uliyoisoma wewe kiasi cha Quraan tu inakushinda kuisoma vyema
    MSHIRIKINA MKUBWA WEWE

  • @SaidiMiraji-lk3vm
    @SaidiMiraji-lk3vm 13 วันที่ผ่านมา +1

    Hiki kichwa bana

  • @shmohd11
    @shmohd11 11 วันที่ผ่านมา

    Yaani ukimuomba Allah haiwezekani ila Ukiwaomba hao Misukule yako ndiyo Dua inakubaliwa? Hakika "Aloachiwa na Allah kupotea hakuna wa kumuongoa"

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 12 วันที่ผ่านมา

    Na mafaili ambayo yamehifadhiwa kwenye computer mchwa wa kijini wanaweza kwenda kuyala we sheikh muogope Mungu wacha kufanya biashara ya dini kwa namna hiyo
    Fahamu unaiharibu akhera yako kwa dunia yampito tu

  • @sheikhabdillahmassawe5302
    @sheikhabdillahmassawe5302 11 วันที่ผ่านมา

    Sulley Angalia unavyo vuka mipaka yaani Duwa ya kumuomba Allah haiwezi ila mpaka utumie Majini? Acha ushawishi wa kishetani

  • @lilasuliman552
    @lilasuliman552 12 วันที่ผ่านมา

    Ngoja tuwasikilize na mashekhe wengine wanasemaje juu ya hii kauli ya shekhe mwenzao

  • @msemakweli243
    @msemakweli243 6 วันที่ผ่านมา

    Kila siku nasema uisilamu bila majini dini hakuna

  • @tyronemofekeng7152
    @tyronemofekeng7152 12 วันที่ผ่านมา

    Sasa kwa nini majini yasikulinde. Ita majini yakulinde.

  • @SurprisedCaptainHat-my4tw
    @SurprisedCaptainHat-my4tw 12 วันที่ผ่านมา

    Ila we shkh umenishtua xanaa

  • @shmohd11
    @shmohd11 11 วันที่ผ่านมา

    Huyu kishekapotoka kutoka njia ya sawa, ushirikina umeshamkaa

  • @GSaleh-xr3vn
    @GSaleh-xr3vn 12 วันที่ผ่านมา

    Kweli sheikh umekosea zinduka na tafakari juu ya majini

  • @rashidmasunzu9998
    @rashidmasunzu9998 7 วันที่ผ่านมา

    sule unajipa UKHIDHRIII wakati wa nabii MUSA - Unajipa elimu kuuubwa eti elimu ambazo wanazuoni wa haq hawana

  • @ashaabdalla924
    @ashaabdalla924 13 วันที่ผ่านมา

    Weye majini washakutia wazimu unawaabudu sana mshirikina mkubwa unaaibika kwa shirki

  • @malickngoma5291
    @malickngoma5291 11 วันที่ผ่านมา

    Mshezi tu hakuna skh hapo shirki yyte kumshirikisha Allah ni moja kwa moja motoni

  • @Legends_Interviews
    @Legends_Interviews 13 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu baba jamani 😅😅

  • @user-rk3ej3ej2h
    @user-rk3ej3ej2h 11 วันที่ผ่านมา

    acha ukenge hivi wewe na mtume nani anaetakiwa kufwatwa
    Halafu mtume alipigana vita ngapi mbona hakutaka kusaidiwa na majinni halafu ww ni mjinga huna elimu yoyote ktk dini acha kipotosha.

  • @mustaphaabbas2545
    @mustaphaabbas2545 12 วันที่ผ่านมา

    { وَكَذَٰلِكَ نُفَصِّلُ ٱلۡأٓيَٰتِ وَلِتَسۡتَبِينَ سَبِيلُ ٱلۡمُجۡرِمِينَ }
    [Surah Al-Anʿām: 55]
    Na ndio hivi tunavyo zieleza Ishara ili ibainike njia ya wakosefu.
    Ukiijuwa Aya hii ya Allah ﷻ ujinga wa dokta sule hautakusumbua. Wajinga wanamuda baadae Allah huwabainisha kama hivi wanayoyafanya.