KAKA AMUUA kwa KUMCHOMA KISU cha MOYO MDOGO WAKE -KISA WIVU wa MALI ARUSHA-WAZAZI WALAUMIWA KUPUUZIA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 14 พ.ค. 2024
- KAKA AMUUA kwa KUMCHOMA KISU cha MOYO MDOGO WAKE - KISA WIVU wa MALI ARUSHA - WAZAZI WALAUMIWA KUPUUZIA...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Ukiona kwenu kuna chuki sana, hama nenda kaishi maisha yako kwingine. Familia za kuzaliwa hatuchagui, ila familia za kuishi nazo ni uwamuzi wetu. Pole sana Matayo
Roho za Cain na abel
Alieona roho ya Kaini na Abel kwenye hii familia 😢
Ila maisha Aya amefariki baba angu akiwa mdogo sana kwa uwasama wa kaka ake kwajili ya maendeleo tena alimtamkia kabisa mwaka 2011 auta umaliza lazima nikuonyeshe atimae kweli mwezi wa tano tu amefariki tena Kwa kuugua miezi minne ugonjwa usio julikana ndugu wengine wabaya sana akisha anza kukuandama ww bora ukae nae mbali usichukulie mzaa nime jifunza mengi
Pole sana
Nimejifunza hii naishi nayo
Naye isaya ahukumiwe kunyongwa maana akirudi mtaan sisi ambaye siyo ndugu atatumaliza
Innalilah wa innalilah rajiun
So sad
Jamani kama inawezekana mtumiwa asitoke magereza maisha yake
Hili la wazazi ni tatizo hata mm ili ninalo Tena nimeamua kukimbia adi nchi kiumwwli hii imeniliza maan ata mm maisha yngu yapo mashakani ila wazazi ndio chanzo
Tupo wengi mpnz
Ata mim mama yangu hanipendi ata umfanyie mazur yapi hayaoni ata mtoto wangu hampendi,Mungu ndo anajua,
That’s sad 😢 sorry
@@Mina.15 thanks my dear
Chunguza sbb gani?
@@shifaaal-baity4503 ndugu tulizaliwa 2,mmoja alifriki ndo alikuwa kipenz chake,na uyo mtoto wa Dada yangu ndo rafiki yake,mimi na mwanangu hatupendi,akiugua ntaenda akipona kidogo visa vinaanza so huwa naondoka mapema,mama yangu ana nyumbani mwanza kamgawia mtu anakaa bure,mi napanga,na nimeshiriki ujenzi,nyie hiii dunia ina vioja sana,
Msamehe na u muombee wakati mwingine maisha yanatuchanganya.
Inasikitisha sana 😭😭mama na mtoto wote wagingwe. R.I.P matayo 💔
Baasi familia ya hao vijana wanamakosa
Maendeleo yapi mbona hamjayataja ??
Alafu wamepewa majina mazuri mno! ISAYA NA MATAYO SIJUI ISAYA KWANN AMEPOTOKA KIASI HICHO MPK KUJA KUMUUA NDUGU YAKE😢😢
Viongozi jifunzeni kitu Kuna mambo hata kama wanafamilia wanamtaka kumaliza kindugu na mmaona kimaadil c nzul chukueni mamuzi acheni kuogopa wanandugu sio mahakama puzieni2 mamuz Yao na mnusulu loho wa watu
Isaya kwanini umemuuwa mathayo jamani
Ifike wakati watanzania waacje mambo ya kumaliza matatizo kifamilia,
Huo Mkoa no changamoto
Arusha arusha arusha kunani kila siku nyie 2 huko kuna laana makonda kz anayo
Choyo kibaya na ndugu sasa ivi hatupendani na Ss Wazazi tusiwabague watoto wetu
KAMA NI WIVU , BASI HUYO KIJANA ANAWIVU MBAYA SANA . NA HIYO SIYO BANGI TUUU, BALI NDO ROHO YAKE YA MNYAMA.
Yaani huyo mama anajua kila kitu nayeye sijui kwanini police wamemuacha jamani R.I.P. kamanda wangu yaani uliongea na mimi jioni asubuhi hapo mathayo 😭😭😭😭😭😭😭 mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani
Arusha kuua wanaona jambo la kawaida tu bado kuua na kula tu
Kama south africa 🇿🇦 tu
Yaani hatari me hata sielewi Arusha Kwa nini wanakua kama wanyama wanakosa ofu ya Mungu
Asee mathayo R.I.P. lengajani
Uyojamaha inabidi akafiejera
HUKO ARUSHA KUNA LAANA. KILA SIKU MAUWAJI. YAANI HIZO MALI WANAARUSHA NDO WANAZIJUWA SANAA?.
Izi mambo za kuoneana wivu kikaendelea mpk ndoa yangu omevunjika kwa sababu ya mambo haya jamani
Mngeshamkamata yote yasingetokea sema majuto huja baada ya jambo kuharibika oowh maskin matayo pumzika kwa amani 😢
Yarabi tu aomba Toba kwako hata ss viongizi hatukusimama imara kumtetea Matayo kwa sababu visa vyote alivyofanyiwa na Matayo hayakustahili ofisi za serikali ila polisi hatimaye mahakama. Shida tunalindana maana site kabila moja. Je tunaenda wapi jamani Matayo kijana mpendwa watu heshima tele. Akukute barabarani huna nauli atakubebe tu.
Hw mashabiki wa yanga kz ipo
Sasa uyo mama na mwanawe wakafungwe na uyo mama asilie kabisa wazazi wengine ni shida
Nipo Zanzibar na sema wameru ni wakorofi Sana Nina mmeru kapanga Hana hata mwezi anakuja kalewa akiingia ndani husema nitaua humu ndani Mara akija na demu wake usiku mkubwa Ana kwambia nitakuchinga nimekwenda polis na amekimbia Bora shame kabisa hawanaga heri baadae
Ebwa mungu weka mkono wako
Mngekuwa mnavuta bangi hayamambo yasinge tokea . Mnachukulia bangi kama ndiyo tatizo Lakini very wrong
Balozi alievaa njano ni shabiki wa yanga ... namwambia yanga bingwa
Kila siku tuwasikilizeje nyie tu uko kwenu tumesha wachoka malizaneni tu na vilevi vyenu
TOO LATE. HATA KAMA ATAFU GWA, LAKINI AMESHAFANYA HASARA.
Yakobo na hesau
Caini na Abel. Caini alimua mdogo wake Abel kwa ajili ya maendeleo
Arusha Ina laana Sana na watu wake niwakorofi Sana
Kuna roho ya mauti inatembea inahitaji ukombozi wa kwelii kupitia jina la YESU KRISTO
We ndio mwenye laana
ISAYA amemchoma kisu MATHAYO