Mimi nampenda sana apostle Mutalemwa nakuombea uishi miaka 1000000000000000, nakuomba utangaze tena tufunge , mimi ni mgeni kanisan lakin toka tumefunga na apostle nimepokea miujiza mingi sanaaaaaaa
Wachungaji mnao ongea ukweli huwa mnachukiwa kwa sababu mnaongea ukweli uongezewa uwezo wa kukupa vitu vipya Asante stika zako nazipaje Niko mbezi ya juu
Nakosa cha kutype jinsi ninavyokupenda. Nabarikiwa sana na Neno la Bwana kutoka kwako. Kuhani wangu naomba maombi yako. Nitamkie Neno la Baraka hata sasa ukisoma. Kwa Imani napokea
Muchungaji nashukuru sana, kweli iyi mafundicho ndiyo maisha yenye Niko na Ichi , kulingana na iyi mafundicho ya leo na panuwa mipaka yangu na ule shetani ambaye aliingiliya watu ili wa niaribiye maisha Niko na mu bomowa leo sana, na Nina omba mutumishi wa Mungu uni ombeye kwa Mungu ani samehe zambi zangu zote na ani bariki.
Mungu akubariki mtumishi wa mungu aliyehai. Mara nyingi ninsposikiliza mafundisho yako mchungaji nafunguliwa. Mungu azidi kukutumia kwa ukubwa zaidi mtumishi wake ktk jina la YESU kristo . Amen
Amen hallelujah apostle mtalemwa mungu akupe miaka mingi sana kama Ibrahim napenda sana vile unatufundisha na kuelewa 254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪na mini ipo siku nitakuona macho kwa macho 🙇♀️🙇♀️🙇♀️🙇♀️🙇♀️🙇♀️
@@rachelpascal6900 you can do the work on this today ok poa kabisa my daughter has an ear is family and the kids and my daughter has an appt at la for a bit then 😬😕
@@rachelpascal6900 you haven't seen my dear kunamtu atakupigia to I have to go in the work and my mom said ok to do my hair I my name and number my love to the kids I my name 😘
Mimi nampenda sana apostle Mutalemwa nakuombea uishi miaka 1000000000000000, nakuomba utangaze tena tufunge , mimi ni mgeni kanisan lakin toka tumefunga na apostle nimepokea miujiza mingi sanaaaaaaa
Nimepokeaaaa
Asante mpakwa mafuta wa MUNGU BABA ALIYEHAI
Nakufuatilia saana huku ugaibuni najifunza sana sana,
Barikiwa sana sana.
Barikiwa Sana kaka...
Waoooo nimejifunza sana kupitia somo hili Mungu akubariki sana na akupe afya njema
AMEN AMEN . Mtumishi mafunzo yako yananinipa imani na kutnitia m oyo sana may God bless you watching you from kenya Nairobi
Aminaaa nitaenda kwa jina la yesu
I'm blessed through this massage God bless you man of God
Wachungaji mnao ongea ukweli huwa mnachukiwa kwa sababu mnaongea ukweli uongezewa uwezo wa kukupa vitu vipya Asante stika zako nazipaje Niko mbezi ya juu
Amen mtumishi wa Mungu,naenda mbele mahari baraka zangu zipo
Nakosa cha kutype jinsi ninavyokupenda. Nabarikiwa sana na Neno la Bwana kutoka kwako. Kuhani wangu naomba maombi yako. Nitamkie Neno la Baraka hata sasa ukisoma. Kwa Imani napokea
Mafunzo yako Mtumishi Yana nielimisha sana Mungu aendelee kupanua mipaka yako ili uendelee kutulisha chakula cha roho
Hallelujah
This is powerful mtumishi wa Mungu , nimefunuliwa pakubwa
Amen wataachia kwa Jina LA yesuu
Mtumishi Neno lako limenibariki Mungu azidi Kukuinua katika Huduma yako
Ameeeeeeen
Ameeeeeen
Thank you Jesus for this touching seminar, May AlmightyGod bless his servant Mutalemwa! Amen.
Amen.. poster be blessed in your life
What a blessing sir to hear that word! I will share
Amen ..am blessed and enlighten. Be blessed apostle and mwalimu
Woow wonderful message May God bless you man of God
Amen 🙌,,, apostle God bless you 🙏
Thank you Apostle. Be blessed
Honestly I'm blessed..barikiwa sana sana apostle
Tusaidie Mungu tuweze kuzifikia baraka zetu
Mungu akubariki sana mtumishi. Tunabarikiwa sana na mafundisho yako.
Amen,be blessed apostle 🙏
AMEN AMEN AMEN this is a powerful message
AMEN 🙏 🙏 🙏 That's great
Na chukuru sana kwa mafundicho Mungu akubari muchungaji. Mimi Niko Congo uku béni na jina langu mina itwa KASEKE BUKABA Moïse
Aminaa kubwa ubarikiwa pastor
Ameeen mtumishi am blessed with this l lesson ,watching yu in 973 🙏🙏
Amina chief somo hili limenibariki mno
Asante sana tunashukuru kwa somo❤
Ameen
Wow wow bro nice
Ubarikiwe sana mtumishii
Following just found my self shaking tears I understand why my life does move forward ,, As from today I wil never give up again in Jesus
Muchungaji nashukuru sana, kweli iyi mafundicho ndiyo maisha yenye Niko na Ichi , kulingana na iyi mafundicho ya leo na panuwa mipaka yangu na ule shetani ambaye aliingiliya watu ili wa niaribiye maisha Niko na mu bomowa leo sana, na Nina omba mutumishi wa Mungu uni ombeye kwa Mungu ani samehe zambi zangu zote na ani bariki.
amina be Blessed Dady🙏🙏🙏
God bless you Apostle
Amen Apostle
Very true pst be blessed kw somo nzuri
Wow! Powerful
Mungu akubariki mtumishi wa mungu aliyehai. Mara nyingi ninsposikiliza mafundisho yako mchungaji nafunguliwa. Mungu azidi kukutumia kwa ukubwa zaidi mtumishi wake ktk jina la YESU kristo . Amen
Be blessed man of God
Asante sana kwa mafundisho mazuri sana. Mungu aendelee kukutumia na akubariki.
BWANA MUNGU akubariki na kukulinda mtumishi hakika umenifungua macho mnoo
Ahsante sana mlezi wangu kwa nondo nzuri sana. Ubarikiwe my Aposlte.
Apostle na atukuzwe Mungu aliyekufunulia hata nasi tukapata ujumbe huu
Amen amen najiunga kufunja vizuizi vilivyo mbele yangu kwa jina la yesu.
Am yet to meet a teacher like you!!
You're more than a teacher!! So much wisdom
Amen Amen Amen Pst Sarah has a sati and then I
Mtumishi nakukubali sana toa vitabu tutanunua
i receive it,be blessed man or god
Ubarikiwe mtumishi mungu azidi kukuinuwa
Asante mtumishi wa Mungu.
Thank you Apostle..God bless you 🙏🏿
Barikiwa sana Mtalemwa Naomba kujua ulipo nije kanisani jumapili
Amen hallelujah apostle mtalemwa mungu akupe miaka mingi sana kama Ibrahim napenda sana vile unatufundisha na kuelewa 254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪na mini ipo siku nitakuona macho kwa macho 🙇♀️🙇♀️🙇♀️🙇♀️🙇♀️🙇♀️
Amen and Amen from USA
Amen Amen 🙏 🙌
Ameen..barikiwa sana ..
Wow am so so blessed God bless you chief double double in Jesus Christ u really change my life
Eee!! MUNGU nakuomba unisaidie kuzifikia Baraka zangu kwa Speed ya uweza wako na kwa nguvu zako.
Amen 🙌 ndafashijwe kweri
i am empowered sir.
Amen Baba unanifunguwa
Amen napokea
Hoo Mungu vwangu naenda Kwa jina la yesu
Ooyes My Apostle I hear you well well
Amen man of God am in Kenya my apostle I love your
Amen and I receive
Kweli Apostle huwa naota napanda ngazi alafu napotea sifiki juu. Yesu nifungue.
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
God bless you for sharpening me, may your annointing increase for the glory of his name
Amina nimejifunza kwa SoMo Hili. Chief naomba uniombee
Nabarikiwa Sana Na Mafundisho Yako, nataman kubarikiwa ,nipate Kazi Ama Biashara mambo Hovyo....Kila ninalolianzisha halifiki Mwisho....Yan...😪😭
Barikiwa mtumishi wa Mungu kwa mafundisho mazuri
Barikiwa sana mtumishi.
Mtu wa kwanza ku veew na ku coment. .....
Ee Mungu naingia kwenye mpka mpya
Amen nimebarikiwa Apostle
Namshukulu mungu tangu ninaanza kuisikilza hinjili ya apostolic mtalemwa imenijenga kilohoo
Amen and Amen 🙏🙌👏
Napokea mipaka mipya katika jina la Yesu.
Amen Amen and Amen, napanuwa mipaka in the name of Jesus Christ
Ameen,,,naenda!! N Jesus name.
Ubarikiwe sana kwa neno Zuri.
Pastor umenibari sana umenipa mwagaza
I receive it
Kanisa la huyu mtumishi lipo sehemu gani wapendwa
Lipo jirani na chuo cha ardhi barabara iendayo Makongo
Amina amina
Ameeen
Wao
Hallelujah
Amen Amen 🙏
Niguse na mm Mungu nimechoka na. Nilivyofungwa,axante mtumishi
Good Father
Bwana akubariki kwa ujumbe
Nashukuru
Ubarikiwe
I receive in Jesus name 🙏 from kenya be blessed alot pastor for the truth
I receive in the name of JESUS.
Hali anazoziweka shetani ili kuniziwia Leo ninaziondoa katika jina la yesu
@@rachelpascal6900 you can do the work on this today ok poa kabisa my daughter has an ear is family and the kids and my daughter has an appt at la for a bit then 😬😕
@@rachelpascal6900 you haven't seen my dear kunamtu atakupigia to I have to go in the work and my mom said ok to do my hair I my name and number my love to the kids I my name 😘
Amen...
Mungu atupe nguvu ya kupanuka mbali na mipaka yetu
MUNGU akubariki Sana Apostle
Mungu azidi kukubariki
Napanua Hema yangu kwa jina la Yesu