ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Bwana yesu asifiwe mtumishi naitwa Martha nasumbuli na tatizo la uzazi mtumishi naomba maombi yako akina
Amen
Bwana yesu asifiwe baba
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
Niokoe baba
Baba
Mimi Imani adamu sifanikiw kwenyekazi zangu zaufundi nifungue mtumish
Bwana yesu hasifiwe baba mimi naitwa moses naomba uniombee nipate kufunguliwa nipate mke mwema
Wapi hiyo
Hakika mungu bado anatenda
Amina Baba Mungu wa mbinguni akubariki
Baba bwana yesu asifiwe,Naitwa ADRIANI naomba unifungue nyota yangu nipate kazi kama awali baba
Baba naomba muombee mtoto wangu anaitwa ziada mimi mzazi wake hanitaki wala hatukumbuki anasaidia ukweni na pesa zote anampa mwanaume
Nataka nipate wateja wengi kuanzia kesho na nipate pesa za kulipa madeni kwa kina la yesu
Jamani wapendwa wapi huko
Mfuateni Mungu wa kweli aliyemfufua kristo kutoka kwa wafu
Baba niombee mtoto kanikataa kasema mimi ni mchawi kakata mawasiliano kabisaa niokoe baba familiya yangu inayumba
Ameen
Ameeeeeen baba from nairobi
baba sema na maisha yangu baba
Aminaa
Nifungulurie mumewangu name arudi ana itwa kamangu hatupo ote
Mimi deo niko arusha namba uniombee nilipe madeni
Mtumishi naomba umuombee mtoto wangu anaitwa Martin Shedrack Balama ana miaka miwili tangia kuzaliwa ila bado hajakaza viungo hakai wala hatambai
Mm nahitaji kumuombea huyo mtoto mm lakin sio nabii natumia Duwa tu
Kanisa liko wapi
ARUSHA moshono kona kwa ayubu