EXCLUSIVE: MUHUBIRI DR. GEORDAVIE AFUNGUKA YOTE, KUTEMBEA NA WALINZI, KUPANGA KIWANGO CHA SADAKA N.K

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 1.3K

  • @yohanamhagama8975
    @yohanamhagama8975 2 ปีที่แล้ว +21

    Huyu prophet ni mtoaji Sana namkubali ana moyo we kijitolea

  • @felistertsere2011
    @felistertsere2011 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu tupe macho ya rohoni siwezi kuongea mengi ila mwenyezi mungu ndo anayejua ila maandiko yameandikwa jihadharini mtu asikudanganye wengi watakuja kwa jina langu wakisema Mimi ndiye nao watawadanganya wengi lakini msitishwe haya hayana budi kutokea

  • @jay-nyeye1900
    @jay-nyeye1900 2 ปีที่แล้ว +12

    Atawadanganya wale ambao hawamjui Mungu na wale wasiomjua shetani

  • @mussamc641
    @mussamc641 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂 hatar kwa kweli .. allah akbar. ALLAH NI MMOJA TU . NA HANA MSHIRIKA .

  • @OLE8894
    @OLE8894 2 ปีที่แล้ว +48

    Milad is super genius he's so confident .

  • @dbarrik4108
    @dbarrik4108 2 ปีที่แล้ว +1

    Milard hayo maswali yako ni ya msingi

  • @atukuzwelameck4324
    @atukuzwelameck4324 2 ปีที่แล้ว +5

    Eheheeeeee😂💔🙌 Make apo kwanza ncheke😂 yesu angaliaga na watu wa kuwapa ufunguo basi😂

  • @husseinguyo4929
    @husseinguyo4929 ปีที่แล้ว +1

    Nabii wa mwisho ni mtume Muhammad hakuna nabii mwingne huyu ajiandae na adabu ya mungu kwa kuhipa cheo ambae mungu hajampa laana ya Allah iteremke juu yako kafiri mkubwa

  • @luckyvenance4576
    @luckyvenance4576 2 ปีที่แล้ว +10

    Huwa najiuliza mbona watu wakiona manabii wanafanya miujiza wanasema ni freemason,, kwani kwa Mungu Hakuna vitu vizuri!? Mpaka nabii awe anatumia nguvu za giza?, Mbona mtu akiambiwa kuna mganga kiboko na anataka pesa ya maana tu Ndo akuhudumiae asilalamike, lakini watumishi watu wanasema wanataka tu sadaka, Hakuna huduma inayoenda bila pesa

    • @oscarnyakunga3113
      @oscarnyakunga3113 2 ปีที่แล้ว

      Wajinga mtu akiwa tajiri wachawi

    • @massawegod5942
      @massawegod5942 2 ปีที่แล้ว

      True sema kwa wengi masikini huwaga wanawaza kuhusu sadaka sio huduma

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 2 ปีที่แล้ว +1

    Mue mnaaacha urimbukeni etiii nikajiona yesu jamaaaanii huyu ni ujinga. Gani nani aijuae sura ya yesu au yule muigizaji haaaahaaaa kweli duniaa Ina mengi

    • @fridahmasoi6693
      @fridahmasoi6693 2 ปีที่แล้ว

      Watu wanadanganywa Sana aiseee...badala watu wasome neno wamjue Yesu yupoje wamekalia kudanganywa tu Yesu yupo hivi..watu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa

  • @chumusamuel80
    @chumusamuel80 ปีที่แล้ว +5

    Mtumishi hongera kwa maelezo mazuri na huduma njema ila kumbuka usipasahau madugike p/school kuweka alama yako kwa namna Mungu alivyokuinua

  • @MohamedMambo-bb8ir
    @MohamedMambo-bb8ir ปีที่แล้ว +1

    Watanzania njaa tu akuna lolote apa unabii ulisha fungwa tuache kudanganyana kwa njaa kisa anagawa ella na magali ukweli usemwe uyu akuna lolote mwizi tu wa sadaka milad ayo uyu kama yule dada ila anakili ya kujielezea

  • @jamesobedy3687
    @jamesobedy3687 2 ปีที่แล้ว +6

    bora udang'anywe na anaye tumia neno la Mungukuliko udang'anywe na mganga 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🇧🇮🇧🇮

    • @emanuelmhoja2411
      @emanuelmhoja2411 2 ปีที่แล้ว

      Umewasahau wanasiasa

    • @preciousgrayson2021
      @preciousgrayson2021 2 ปีที่แล้ว

      Mbona wanganga ndo wengi makanisani sema wanajiita manabii na wachungaji sio wote wa ukweli

    • @ibrahkazoba3678
      @ibrahkazoba3678 ปีที่แล้ว

      Unamaanisha Kuna Dhambi Njema? 😁

    • @hindisaid2413
      @hindisaid2413 ปีที่แล้ว

      Mwizi ni mwizi hata awe mzungu

  • @dodwiedwin3944
    @dodwiedwin3944 ปีที่แล้ว +1

    Sidhani kama hapa Pana Mungu

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 2 ปีที่แล้ว +36

    Ni sihukumu ili nami nisije hukumiwa, Ee Bwana Yesu niombee pia niongoze imani yangu iongezeke kiroho 🙏🏽🙏🏽

    • @hancevalence4936
      @hancevalence4936 2 ปีที่แล้ว

      omba lolote kwa jina lak nawe utapata,sio akuombee,akuombee wapi

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 ปีที่แล้ว

      @@hancevalence4936 Unanitaka nn ndg yangu? Labd nikupe ili usinighabishe na kwann uparamie comment isio kuhusu? Sitaki kkujibu vibaya sawa

    • @japhethgeriad4519
      @japhethgeriad4519 2 ปีที่แล้ว +3

      @@hancevalence4936 “Watoto wangu wadogo, nawaandikia haya ili kwamba msitende dhambi. Na kama mtu akitenda dhambi tunaye MWOMBEZI kwa Baba, Yesu Kristo mwenye haki,

      - 1 Yohana 2:1 (Biblia Takatifu)

    • @maryaugustino8716
      @maryaugustino8716 ปีที่แล้ว

      Amina docras umenena vyema

    • @ibrahimsokoine
      @ibrahimsokoine ปีที่แล้ว

      ⌚️NASUBILI MAJIRA YA MUNGU KWAKWELI NIMEKUELEWA

  • @esterlatiniel9948
    @esterlatiniel9948 ปีที่แล้ว

    Utofauti wa shetani na mungu ni kuwa shetani hana mbingu ya kukupeleka,,,,,,sio mwaminifu.....kila anachokupa mwishowe ni majuto.........𝐢𝐥𝐚 𝐤𝐮𝐩𝐨𝐧𝐲𝐚,,, 𝐤𝐮𝐢𝐦𝐛𝐚,,,𝐤𝐮𝐟𝐮𝐟𝐮𝐚.....𝐦𝐢𝐮𝐣𝐢𝐳𝐚...𝐬𝐡𝐞𝐭𝐚𝐧𝐢 𝐚𝐧𝐚𝐟𝐚𝐧𝐲𝐚😅

  • @ramadhanimasudi6904
    @ramadhanimasudi6904 2 ปีที่แล้ว +37

    Kuna watu wanaweza kuponda watumishi ama watu wanaolitangaza neno la Mungu. Ila ukweli unabaki kua, ni heri hawa wanalifundisha neno la Mungu kuliko wewe unaeponda usie kua na mchango ama faida yoyote katika neno la Mungu.

    • @issamwakapiki5858
      @issamwakapiki5858 2 ปีที่แล้ว

      It to

    • @ejelanta7829
      @ejelanta7829 2 ปีที่แล้ว

      Umeongea kama wazee 20,hata mimi huwa nawaza hivyo hivyo.Hua najisemea bora yeye kuliko mimi hata kufanya usafi kanisani sifanyi

    • @castrokassoga7271
      @castrokassoga7271 2 ปีที่แล้ว +1

      Heri asiyemjua Mungu kuliko wanaomposha na kuhubiri uongo hao Mungu anawaita mbwa.soma yohana 8:44 ufunuo 21:6:ufunuo 22:15

    • @eliasitairo9546
      @eliasitairo9546 ปีที่แล้ว

      Siku hiyo Yesu atasema ondokeni kwangu Mimi (Yeye) siwajui mlio laaniwa, wao watasema tuliponja kwa jina lako nakufufua kwa jina lako tafakari hayo yakusaidie

  • @bellatvonline
    @bellatvonline 2 ปีที่แล้ว

    MCHUNGAJI MASHIMO AFUNGUKA
    HAKUNA WA KULINGANISHWA NA NABII GEORDAVIE
    th-cam.com/video/OgXM-YfZ4eQ/w-d-xo.html

  • @edwardzakayo3140
    @edwardzakayo3140 2 ปีที่แล้ว +44

    Daaah., Mungu atabaki kuwa Mungu ,yoote aliyoongea mtu wa Mungu ni kweli kabisa ,Mwaka wa 1994 nilikuwa kiongozi wa vijana nyumban kwake sebuleni na nilikuwa nikipiga naye story ya Neno la Mungu kila baada ya Ibada ,alikuwa akifundisha Sana kuhusu kuwa na Maono makubwa Sana!!!!!Mungu ni mwema...ni Mimi Edward Zakayo!

    • @Wamimedia
      @Wamimedia 2 ปีที่แล้ว

      Hatarii aisee

    • @husseinchiaseeds2653
      @husseinchiaseeds2653 ปีที่แล้ว +1

      Hamna kitu huyu nabii wa mchongo

    • @catherineramadhani33
      @catherineramadhani33 ปีที่แล้ว

      Hilo sio tatizo yawezekan alianza vzr na Bwana ila kwa sasa hpn kashakua wa mchongo

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 ปีที่แล้ว

      @@catherineramadhani33 ww ndio wa mchongo halafu acha kushambulia manabii wa Mungu

    • @catherineramadhani33
      @catherineramadhani33 ปีที่แล้ว

      @@madetetv6576 kakojoe ulale😏

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 2 ปีที่แล้ว +2

    Wemejiunga kwenye vyama
    Vyao bwana WAACHEN WALE BATA
    HAPA DUNIAN--kesho siku ya mwisho
    Ndiyo mutaujua ukweli

  • @goodluckjustin8579
    @goodluckjustin8579 2 ปีที่แล้ว +34

    Tunaishi kwenye dunia yenye dhambi ,Ambayo kwasasa hali ya dhambi mtaani imechukuliwa kua ya kawaida sana.Sitaki kuhukumu lolote ila ni kheri huyu anaeishi kwa neno la Mungu na kuiishi nalo kuliko wengi wetu tunaoishi kwenye dhambi ambayo tumezoea na kuona ni kawaida .
    Tuombe Mungu atupe neema na hekima ya kujua neno lake ili tuishi tukimtegemea yeye.🙏🏽

    • @SKILLS360TV
      @SKILLS360TV 2 ปีที่แล้ว +3

      Kweli kweli tupu.

    • @ejelanta7829
      @ejelanta7829 2 ปีที่แล้ว +2

      Kweli kabisa ndugu

    • @WillyMetta
      @WillyMetta 2 ปีที่แล้ว +1

      Kweli

    • @djejjjejeje2825
      @djejjjejeje2825 2 ปีที่แล้ว +1

      Amen

    • @Platnumz11
      @Platnumz11 2 ปีที่แล้ว +1

      Jama huyu mwongo sana daha shetani anaweza kukujiya kwa njiya nyingi sana na alijuwa imani ya huyu jama

  • @omarhababuu3159
    @omarhababuu3159 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi wamungu huwa halindwi wala hawi namabulgadi kwasababu ahadi yako ikifika kutolewa roho bulgadi hana uwezo wakukuzuiya usitoke roho wala mtutu wabunduki kwaiyo haina haja yakulindwa wewe muamini mungu tuu

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 2 ปีที่แล้ว +24

    Huyu alikuwa akijulikana kwa jina la George David Kasambala, enzi hizo anaimba sana nyimbo za Mungu. Anajua kuimba sana.

  • @patrobamalema8631
    @patrobamalema8631 2 ปีที่แล้ว

    Millard Mchokozi Wewe, Unamuuliza Nabii Imeandikwa Wapi ?😀😀🤣🤣🤣🤣

  • @leahchalresi5632
    @leahchalresi5632 2 ปีที่แล้ว +9

    Jamani ndungu naomba msipende kuwaziak watumishi sisi jukumu retu nikusikiliza tu ukiona umuerewi nibola uwache kumsikiliza kuliko kumuukumu

    • @vailethkinabo7961
      @vailethkinabo7961 2 ปีที่แล้ว

      Kweli nakupongeza ndugu yangu kwa kusema ivyo ivii unawezaje kumuongelea vibaya Mtumishi wa Mungu haki Mungu atusameehee

    • @djwise1887
      @djwise1887 2 ปีที่แล้ว

      @@vailethkinabo7961 kwani yeye ni mkamilifu?? Yeye ni mtu kama watu wengine Hata yesu alikosolewa akiwa ni Mungu. Je yeye ni nani?? Kinachotakiwa sisi sote tuwe wa unyenyekevu kwa Mungu na sio kuwapatia utukufu watumishi wa Mungu kama watu wengi wanavyowapatia heshima kubwa manabii kuliko Mungu. Na manabii hawa wengi hawana unyenyekevu kwa Mungu.

    • @jonathankyando2698
      @jonathankyando2698 2 ปีที่แล้ว

      @@vailethkinabo7961 acha uoga wa kijinga😂

  • @12322879
    @12322879 ปีที่แล้ว +1

    Millard anataka kujua Yesu anafanana na Mzungu au 😂

  • @samesmille7701
    @samesmille7701 2 ปีที่แล้ว +8

    millard ayo umeiteka tathinia ya habari we ndo mfalme wao

  • @michaelbengesi9838
    @michaelbengesi9838 2 ปีที่แล้ว +1

    NABII WA UWONGO, AKIWA KAZINI.

  • @shadrackjuliuskaboya5239
    @shadrackjuliuskaboya5239 2 ปีที่แล้ว +8

    *baba mimi nilizaliwa mwaka 92 na kipindi hicho wewe unaanza injiri mimi ni mtoto wako baba wa kiroho*

    • @dorispamela
      @dorispamela 8 หลายเดือนก่อน

      So what

    • @shadrackjuliuskaboya5239
      @shadrackjuliuskaboya5239 7 หลายเดือนก่อน

      @@dorispamela an u what so, inaonekana wewe nikamtu kenye roho yake mbaya kinyama kwan umeulizwa wewe naongea na baba

  • @AndrewGerayo
    @AndrewGerayo 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe nabii mkuu kwa huduma yako tuombee na sisi atuinue katika huduma zetu changa mchungaj andrew gerayo mwanza

  • @prophetsayitv1541
    @prophetsayitv1541 2 ปีที่แล้ว +6

    Nabii Mkuu, Kweli Mungu anakutumia Sana kwa miujiza mikubwa Sana,
    Nakumbuka ulifanya mkutano mkubwa Jijini mwanza vilema walitembea, vipofu waliona
    Lakini hata baada ya mkutano,
    Wagonjwa walipokanyaga eneo ulipokuwa mkutano waliponywa.

  • @dollarsheadquarters
    @dollarsheadquarters ปีที่แล้ว +1

    Watu wapo kwenye huduma kwa miaka 30 hafu bado mnataka awe masikini,

    • @mucci_AI
      @mucci_AI 9 หลายเดือนก่อน

      Fact

  • @mussahassan2937
    @mussahassan2937 2 ปีที่แล้ว +4

    Mchungaji kwenye mikono naon umeupiga mwingi 🤣🤣🤣🤣 au ndo funguo🗝️ ulopewa na yesu 🤣🤣🤣 🗝️

    • @rithadonatus8110
      @rithadonatus8110 2 ปีที่แล้ว +1

      Mikono ni meusi

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 ปีที่แล้ว +1

      Mbavu zangu mie 😂😂😂😂

    • @sudymwinyimvua9267
      @sudymwinyimvua9267 2 ปีที่แล้ว

      Mmesikia kuhusu sadaka?

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 ปีที่แล้ว

      @@sudymwinyimvua9267 hata sijamaliza kusikiliza niona kioande kwenye tktk eti kuna kiwango 😏😏😏😏

  • @Platnumz11
    @Platnumz11 2 ปีที่แล้ว +1

    Kawona jini huyo

  • @gracejosephy2242
    @gracejosephy2242 2 ปีที่แล้ว +3

    Nakumbuka 2006 nikiwa form two viwanja vya MRINGA Secondary ulikuwa unafundisha somo la imani.ilikuwa nzuri sana..

  • @aishahemedi8452
    @aishahemedi8452 2 ปีที่แล้ว +2

    Ukikutana na Nabii mkuu Geordavie, lazma maisha yako ya yabadilike. Kama ilivo kwangu.

  • @victorsanga2229
    @victorsanga2229 2 ปีที่แล้ว +17

    Poor people made this man extremely rich!

  • @annamulungu2876
    @annamulungu2876 21 วันที่ผ่านมา

    Nimempenda huyu mtumishi wa Mungu jamani!
    Mungu ambariki sasa!!
    Na huyu mwandishi naye apewe maua yake🎉!!gonga like hapa! Kama umewaelewa wote

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 2 ปีที่แล้ว +4

    Mpigaji kama wengine, wameanza kumkimbia. Dak 14 ni uwongo

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 ปีที่แล้ว +1

    Mtihani yarabi tuongoze kwenye njia ilio nyooka waja wako tunazidi kupoteya

  • @jameskenny1808
    @jameskenny1808 2 ปีที่แล้ว +4

    Starehe za duniani ni nyingi sawa na hali yenu ila vyote vina mwisho wao. Don’t forget about anything but remember that you have to pay back after everything you are doing

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 2 ปีที่แล้ว +2

    Milard naomba umtafute Nabii Shilawadu, sorry Shila, umuhoji,

  • @gabriellyadam9415
    @gabriellyadam9415 2 ปีที่แล้ว +4

    Millard jasiri kwel kumhoji nabii mkuu nadhan haikua kazi rahisi.congratulation millard.Mungu akubariki Nabii wa Bwana Mh.Geordavie.

    • @ericstephenm.844
      @ericstephenm.844 2 ปีที่แล้ว

      Huo Ukuu wa Unabii wake aliuidhinisha nani? Akina Isaya, Ezekieli na manabii wengine mbona hawakujiita wao wenyewe majina ya kujitutumua kama hawa?

    • @johnbernad3990
      @johnbernad3990 2 ปีที่แล้ว

      @@ericstephenm.844 Sahihi

  • @mshigilakarume4425
    @mshigilakarume4425 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna mwanadamu atayeuona uso wa mungu na akaishi. Soma KUTOKA 33:20

  • @oliversambala5999
    @oliversambala5999 2 ปีที่แล้ว +8

    Namuomba Mungu atupe kibali na watoto wangu tufike Ngulumo ya upako tufunguliwe.Amen.

    • @noelbryson7840
      @noelbryson7840 ปีที่แล้ว

      Ufunguliwe nini sasa?

    • @yuzotv458
      @yuzotv458 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@noelbryson7840anataka akamuone mtu aliemuona yesu bro😂😂😂😂.

  • @bivensofficial8866
    @bivensofficial8866 2 ปีที่แล้ว

    simhukumu siyokaziyangu MUNGU mwenyienzi amuoneye huruma moyowangu unampinga kbsa

  • @MyName-wd8cp
    @MyName-wd8cp 2 ปีที่แล้ว +3

    KUMBE MANABII BADO WAPO KWENYE HUU ULIMWENGU WA MIFUMUKO YA BEI😳😳 SI AFANYE KITU BASI MAMBO YAKAE MORORO🤪🤪

  • @lucymlack7005
    @lucymlack7005 ปีที่แล้ว +1

    Mbona kina mama ndio positivism na wanaume negativism

  • @hancevalence4936
    @hancevalence4936 2 ปีที่แล้ว +4

    mbona tunakuwa tunatoa hata ng'ombe kwa waganga tukiwa na matatizo makubwa,lakin huku tunaponywa mateso makubwa sana ,kwa nini tusitoe sadaka,tutatoa sanaaaa

  • @patrobamalema8631
    @patrobamalema8631 2 ปีที่แล้ว

    HIVI HUYU NA ZUMARIDI WANATOFAUTI GANI ?😀😀😀😀😀

  • @jumamiraji3081
    @jumamiraji3081 2 ปีที่แล้ว +17

    Mwanahabari pekee Alie na akili tumamu na anaekierew na kuerrwa mipaka ya habari hanaka story ya kutunga homgera sana miradi na nyie wengine wenye chanel za online tv iigeni kupitia miradi ACHENI stori za KUSADIKIKA

  • @djtiffa9664
    @djtiffa9664 2 ปีที่แล้ว +1

    MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI UPONE KANSA.DAWA YA KANSA
    .*#.*#
    th-cam.com/video/ZgfBwGAJlrQ/w-d-xo.html

  • @annehaysanday9214
    @annehaysanday9214 ปีที่แล้ว +3

    Nimeipenda hii interview imeondoa maswali yangu na sasa namuamini nabii mkuu.Naomba rehema kwa kwa kuwaza tofauti.

    • @eliasitairo9546
      @eliasitairo9546 ปีที่แล้ว

      Unaomba rehema kwa Nani?

    • @eliasitairo9546
      @eliasitairo9546 ปีที่แล้ว

      Mwamini Mungu pekee kupitia kwa Yesu, Mwanadamu atakutenda Nini?

  • @djtiffa9664
    @djtiffa9664 2 ปีที่แล้ว

    MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI UPONE KANSA.DAWA YA KANSA
    .*#.*#
    th-cam.com/video/ZgfBwGAJlrQ/w-d-xo.html

  • @shedracksimbeye8460
    @shedracksimbeye8460 2 ปีที่แล้ว +27

    🔥🔥🔥 So excellent interview ya kibabe Sana big up my brother Millard Ayo ufalme wa Mungu umewafikia wengi Heshima kwako Baba Mh Nabii Mkuu

  • @zerochanneltanzania3797
    @zerochanneltanzania3797 ปีที่แล้ว +1

    Minaki moja hiyooo

  • @dallasmusic764
    @dallasmusic764 2 ปีที่แล้ว +6

    Huyu jamaa Leo nimemuelewa ni mzur Sana kwenye kujibu maswali

  • @respeacemgawe7387
    @respeacemgawe7387 ปีที่แล้ว

    Unazungumzia PhD bila kutaja Bachelor wala Masters degree... Utapeli mtupu... wadanganye hao vipofu walokuzunguka

    • @respeacemgawe7387
      @respeacemgawe7387 ปีที่แล้ว

      Kaka PhD ni zile zile zetu, za magumashi.... hakuna jipya hapo. Fujo tupu

  • @ngwanafabian4612
    @ngwanafabian4612 2 ปีที่แล้ว +70

    Wengi wanaomsapoti utawasikia wakisema ameniponya amatusaidia sana ana upako sana nk. Niseme tu uponyaji na kusaidika siyo kipimo pekee cha kuhalalisha huduma fulani kuwa ni ya Yesu mashetani pia yametajirisha wengi na waganga wa kienyeji wangali wakitibu wengi na kupona. Swali langu ni je unauhakika gani jina lako limeandikwa kwenye kitabu cha uzima? Je wewe si mtumwa wa dhambi mbona tabia zako ni zilezile licha ya kupona shida yako? Kama huna badiliko la kitabia na mienendo hata upate kila kitu unachopenda ni bure tu.

    • @benjamenshepa1000
      @benjamenshepa1000 2 ปีที่แล้ว +11

      Ndugu yangu Mungu akukumbuke umeongea point suala la utakatifu ndo kila kitu Mungu awape macho watu wake waelew

    • @victoriajulius5072
      @victoriajulius5072 2 ปีที่แล้ว

      @@apostlej.rministiryprophet2219 jibu la ushindi 😀

    • @beatricemaroda6088
      @beatricemaroda6088 2 ปีที่แล้ว

      @@apostlej.rministiryprophet2219 . .

    • @basilisamsaka8469
      @basilisamsaka8469 2 ปีที่แล้ว

      Exctil

    • @hatari9591
      @hatari9591 2 ปีที่แล้ว +1

      Ng'wana jina lako tu ni mashaka tu......

  • @endtimes9850
    @endtimes9850 ปีที่แล้ว

    Ezekieli 33:11
    Waambie, Kama mimi niishivyo, asema Bwana MUNGU, sikufurahii kufa kwake mtu mwovu; bali aghairi mtu mwovu, na kuiacha njia yake mbaya, akaishi. Ghairini, ghairini, mkaache njia zenu mbaya; mbona mnataka kufa, Enyi nyumba ya Israeli?

  • @gracejosephy2242
    @gracejosephy2242 2 ปีที่แล้ว +21

    Huyu baba ni mchungaji smart since day one tatizo watu wamezoea kuona watumishi wa Mungu wakiwa wamepauka..

    • @florahemmanuel8323
      @florahemmanuel8323 2 ปีที่แล้ว +1

      Ndio tunapofail hapo yani
      Mitazamo haijabadikishwa

    • @micamathew2595
      @micamathew2595 2 ปีที่แล้ว

      Umepotea dada!! Kumbe hujui.

    • @gracejosephy2242
      @gracejosephy2242 2 ปีที่แล้ว +1

      @@micamathew2595 hongera wewe unaejua Geordavie namfahamu tokea 2005 wewe ambaye umemuona sasa hivi mtandaoni ndo unashangaa na amekuwa role model wa wachungaji wengi.

    • @giuseppemanaos75
      @giuseppemanaos75 2 ปีที่แล้ว +1

      Mimi naswali... Mwanzo alikuwa anasali wapi... Nini kimefanya afungue kanisa lake..? Why asingefanya ndani ya hilo.. Kanisa ambalo alikuwa anasali...?

    • @aishahemedi8452
      @aishahemedi8452 2 ปีที่แล้ว

      Very smart ndani mpaka nje

  • @charlesrongo3615
    @charlesrongo3615 2 ปีที่แล้ว +2

    KAKA MILAD SIJAWAH KUKOMENTI KWAKO HAKIKA UMETISHA SANA.... UR SUPer super super zaidi... kunywa soda nitalipa

  • @ngwanafabian4612
    @ngwanafabian4612 2 ปีที่แล้ว +3

    Moja kati ya muujiza mkubwa kabisa kwa mwanadamu yeyote ni uwezo wa kushinda dhambi na kuishi maisha matakatifu kama Yesu anavyotaka. Kama kuna nabii anayeweza kumfanya mtu mwenye dhambi kushinda dhambi na kuishi maisha matakatifu kama biblia inavyosema basi huyo atakuwa nabii mkuu sana. Lakini kujitukuza tu na kuvaa mavazi kama ya mfalme hakuna nabii yeyote wa Mungu aliyefanya hivyo. Wanamziki wa kidunia na wachezaji michezo ndiyo hujionyesha vivyo ktk jamii utaona wakionyesha magari ya kifahari na majumba ya kifahari. Maana ndiyo waliyoyataabikia. Yesu alisema itakufaidia nini ukipata ulimwengu wote kisha upate hasara ya nafsi yako?

    • @brysonuronu5862
      @brysonuronu5862 2 ปีที่แล้ว

      Yes mia ya mia

    • @josamjoel2079
      @josamjoel2079 2 ปีที่แล้ว

      Hakuna mahali palipoandikwa ili uwe nabii au mtumishi wa Mungu ni lazima uvae nguo za kuchanika zakupauka na kimaskini

    • @ngwanafabian4612
      @ngwanafabian4612 2 ปีที่แล้ว

      @@josamjoel2079 Hayo maneno ni wewe umejisemea wewe mimi sijasema hivyo nachomaanisha anapovaa taji ya kifalme maana yake nini kama si majivuno tu yasiyo na maana yoyote. Kila mtu amwaminiye kristo ni uzao wa kifalme. Sasa anapovaa taji anamaanisha nini kama siyo anawakilisha ufalme mwingine? Kwahiyo kila mkristo atembee na taji ya kifalme ya kimwili kichwani mwake!?

  • @kingdomofgod93
    @kingdomofgod93 ปีที่แล้ว

    Ukisikiza kwa makini maswali ya Millard utagundua kitu.🤔😂😂😂

  • @iammichaellukindo
    @iammichaellukindo 2 ปีที่แล้ว +8

    Interview nzuri Sana. Mm nikianzia career ya kutangaza kwenye Radio ya Dr Geordavie 2009

  • @bapesampendwa671
    @bapesampendwa671 2 ปีที่แล้ว +2

    We mzee ni muongoo kwenyee kumuona hapo umepigaa chengaa we ni muongoooooo %100, narudiaa tenaaa we ni muongoo mkubwaa mmeathirikaa vibayaaa sanaa na dini za watu, nasemaa hivii we ni muongoooooo ombea kongo shida iishe, magufuri alivokufaa hukuooonaa, muoongooo tenaaa sijakupendaaaa kabsaaaa

  • @josephmaganga7351
    @josephmaganga7351 2 ปีที่แล้ว +10

    Hapa kwa yesu tumepigwa

  • @florahemmanuel8323
    @florahemmanuel8323 2 ปีที่แล้ว +2

    Hakika Mambo ya Rohini ni ngumu kuelezea

  • @mako331
    @mako331 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimeipenda jamaa alivyobanwa kuhusu sura ya Yesu na funguo, nafikiri watu chunguzeni maandiko vizuri haya mambo ya kusema nilitokewa Yesu alinipa funguo wengi wamesema hivyo kwa uhuni tu kudanganya watu. Biblia unasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, soma biblia upate maarifa

  • @switbertchambulikazi3372
    @switbertchambulikazi3372 ปีที่แล้ว

    Je Sisi tulioona maono na kuponya vipofu na kuhubiri vizuri na tukabaki tulipo nini kosa letu. Wengine wanakuita Yesu waTongaren Bongoma mara Nabii wa Tz .bado Mungu sasa Mtandika enjoy Baba kabla ya mshangao tubu

  • @Adeen.1
    @Adeen.1 2 ปีที่แล้ว +3

    Samahani wananzengo namuelewa sana anachozungumza mchungaji ila ka naona kajichubua sijui

  • @kubewaiddy9690
    @kubewaiddy9690 2 ปีที่แล้ว +1

    hapo kuna uongo wa lini ameanza kuhuduma mara 1994 mara 2003 maelezo yanaonesha hapa tumepigwa

  • @Expedito2512
    @Expedito2512 2 ปีที่แล้ว +4

    Duuu! Dunia ina mengi jamani! Haki ya Mungu Millard wewe, mbona hujacheka sasa?

    • @nangatv9218
      @nangatv9218 2 ปีที่แล้ว

      Kajikaza kinafki kiukweli cheko lake nimeliona mjanja sana huyu dogo hahaaa

  • @mikidadiyussuf5219
    @mikidadiyussuf5219 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa sio nabii wa mungu ni muongo ti

  • @johnuswege3979
    @johnuswege3979 2 ปีที่แล้ว +23

    Nimesikiliza mahojiano haya vizuri sana na nimeona hekima ya mtumishi huyu, nimejifunza mengi na nimependa majibu yake yote.

  • @furahachuma9039
    @furahachuma9039 ปีที่แล้ว

    Yesu alimtokea? Real? Mwaka gani? Kuna ushuhuda wa kimaandishi?
    Habari hii inatafakarisha sana.

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 2 ปีที่แล้ว +5

    Ila mzee usoni mweupe mikoni na mdomoni ni kweusi?

    • @maryandason1815
      @maryandason1815 2 ปีที่แล้ว

      Tumuachieee MUNGU 🙏 kwa kwel

    • @nancynahum7567
      @nancynahum7567 2 ปีที่แล้ว +1

      Sasa mleteee basi Cha kumfanya awe mweusi tiiii au mweupe tiiiii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣binadamu bwana

    • @gracengonde8553
      @gracengonde8553 2 ปีที่แล้ว

      Kitaulo 😂😂😂😂😂😂😂

    • @mamananga2849
      @mamananga2849 2 ปีที่แล้ว

      Kijiko 😂😂😂😂😂

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂 mambo waa

  • @mulasaid2959
    @mulasaid2959 2 ปีที่แล้ว +1

    ナカナヤチ

  • @kyagaribabamwongera5271
    @kyagaribabamwongera5271 2 ปีที่แล้ว +25

    Ubarikiwe Millard kwa kutufikishia HUYU baba I feel blessed

  • @anyesmanga462
    @anyesmanga462 ปีที่แล้ว

    Bibilia inasema ukibahatika kumuona yesu sura huwez ukaishi lazima ufe mussa mwenyewe hakumuona YESU aliona mgongo binadamu tunaona malaika na so YESU kousitudanganye utaukumiwa vibaya sanaa tuzid kusoma bibilia jaman tusidanganywe

  • @bestkimali216
    @bestkimali216 2 ปีที่แล้ว +10

    Nmeheshimu kila kitu ulichokiongea mtumishi naku~respect sana na nmejifunza sana na ntasogea hatua moja katka huduma nuliyopewa na Mungu🙏🙏

  • @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
    @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 9 หลายเดือนก่อน

    Jini ilo unasema yesu kakutokea,,,zama hiz hatokei mtu wala malaika Muhammad ndio mtume wa mwsho,,,,koma.

  • @chrismassawe326
    @chrismassawe326 2 ปีที่แล้ว +4

    NABII WA UONGO KAMA WENGINE TU WALIVYO WA UONGO

    • @gracengonde8553
      @gracengonde8553 2 ปีที่แล้ว

      Muangalie vizuri hata uongeaji wake mpigaji tu alafu anamajigambo

    • @wemakingdaily1462
      @wemakingdaily1462 2 ปีที่แล้ว

      Wabongo bhana eti mchungaji muongo Sasa nani atawakumbusha neno la MUNGU?

    • @chrismassawe326
      @chrismassawe326 2 ปีที่แล้ว

      @@wemakingdaily1462 sasa huyo ana Neno la MUNGU?

    • @wemakingdaily1462
      @wemakingdaily1462 2 ปีที่แล้ว

      Bora huyo Kuliko kina Mwamposa na Zumaridi

    • @chrismassawe326
      @chrismassawe326 2 ปีที่แล้ว

      @@wemakingdaily1462 hamna bora labda kama hausomi NENO hautaelewa nabii yupoje na nini cha kufanya uamini kwamba huyu ni nabii lakini mi nakuambia chini ya jua sasaivi hakuna nabii wala mtume wapo wajanja wajanja tu

  • @catherinemasiga6666
    @catherinemasiga6666 ปีที่แล้ว

    Nabii kuhusu mwanga uliouona ndani nami dadangu Aliona mwanga Mkubwa ndani ya nyumba usiku na mtu akamshika mkono bila kuongea Yeyote. Ilikua siku ya ljumaa .akamwambia mtoto wake ampigie pastor wao kumuuliza maana yake nini. Mtoto alimpigia pastor na jibu la pastor Lilikua hivi Malaika wake walimfuata.alivyoambiwa jibu akacheka tu ila ndio hakuamka kweli ndio ilikua siku yake ya mwisho alikufa siku hiyohiyo. So nabii upo sahihi

  • @evancekaganda1250
    @evancekaganda1250 2 ปีที่แล้ว +2

    Kaka wewe ni Mwalimu fungua shule,
    Nimeipenda hii interview

  • @fahadtourszanzibar8244
    @fahadtourszanzibar8244 2 ปีที่แล้ว +1

    Wakristo mpaka siku mukijuwa kama dini yenu ya uwongo dunia itakuwa ishamaliza na huwezi kuingia pepon wakati ukifa kafiri

    • @prosperjuma905
      @prosperjuma905 2 ปีที่แล้ว +1

      Imani bhana, basi hapo mwenyewe una uhakikaaa...kwamba nyie tu ndo mtaenda peponi😂😂😂😂😂😂

  • @nassibabdallah566
    @nassibabdallah566 2 ปีที่แล้ว +16

    Mwenyezi mungu atuokoe kwa watu kama hawa

  • @HeslonRubhibhi-bg9ko
    @HeslonRubhibhi-bg9ko ปีที่แล้ว

    Tatizo wanalewa ktk huduma kureta komedi madhabahuni wasanii wabongo freva kuitwa washilika kuchora tattoo zanabii wao kitu ambacho nikinyume namaandiko

  • @benjaminmachange6239
    @benjaminmachange6239 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana mtumishi umetoka mbali na miladi yupo vzr kwa mahijiano safi sana milad

  • @corneliusforeverfuture5052
    @corneliusforeverfuture5052 2 ปีที่แล้ว

    Nikusaidie kujibu muandishi swali LA kumujuwa mughubiri wakweri awu waghongo wote waghongo kumbuka yesu alikataa Hera na mari za dunia alisema mari yangu yapo mbinguni lakiote wote apa dunia wamelusu sasa ukweri nikwamba yoyote mughubiri ambayo anamari juwa siyo waukweri

  • @shaluamagandi2184
    @shaluamagandi2184 2 ปีที่แล้ว +5

    Interview nzuri sana. Ubarikiwe na MUNGU Dr Davies. Mungu akuinue zaidi na kufanyika baraka kwa watu wote.AMEN 🙏 🙏 🙏

    • @joycemalima2790
      @joycemalima2790 ปีที่แล้ว

      Nabii mkuu, umesahau kutaja kiti chako cha ushuhuda, kiti Cha machozi Cha kuombea maono yako ya kazi, miaka 30 iliyopita. Ubarikiwe na mama Anna na watoto wenu

    • @mahubiritv
      @mahubiritv ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/sOhtHKQ6Cbc/w-d-xo.html

  • @dullahd336
    @dullahd336 ปีที่แล้ว

    make kwanza hapo ncheke. 😀😀😀 nyakati za mwisho kuna manabii feki watakuwa wengi sana

  • @gesha4759
    @gesha4759 2 ปีที่แล้ว +5

    Only God knows

  • @yassernasser3428
    @yassernasser3428 8 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂
    Dah wakristo wajinga sanaa yan huy jamaa mpigaj wazwaz kabix yan anaelez kama anatunga story yan hamna kit hapa

  • @shedrackdamian2870
    @shedrackdamian2870 2 ปีที่แล้ว +3

    Milad sautiii Jana iko powa sana

  • @mchinjanyau9055
    @mchinjanyau9055 ปีที่แล้ว

    YESU KAMTOKEA KWELI AU KATOKEWA NA YESU YULE WA SOUTHAFRICA AU YULE TUNAE MWONAGA KWENYE FILAMU #I T V KILA CRIXMAS." #WAKRISTO WANAONGOPEWA KILAISI MNO JAMAN WA KRISTO WOTE PEPONI KWA KUAMINI MUUJIZA

  • @jay-nyeye1900
    @jay-nyeye1900 2 ปีที่แล้ว +3

    Kama yeye ni mtumishi wa Mungu? Kwanini ameruhusu goodluck amsujudie? aache uongo bana

    • @magrethjohn8638
      @magrethjohn8638 2 ปีที่แล้ว

      Mhhh we nawe

    • @magrethjohn8638
      @magrethjohn8638 2 ปีที่แล้ว

      Kusujudu kivip

    • @jay-nyeye1900
      @jay-nyeye1900 2 ปีที่แล้ว

      @@magrethjohn8638 uliangalia Goodluck alipokuwa akikabidhiwa hilo gari? Kama hukuangalia nikwamba Goodluck alipiga goti kwa huyo mzee Kisha akaenda chini na akasujudu🙌

    • @magrethjohn8638
      @magrethjohn8638 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂bro unaona kwel au macho yako makengeza ,kwanza unajua maana ya kusujudu

  • @gabriellyadam9415
    @gabriellyadam9415 2 ปีที่แล้ว +2

    ivi wewe unaempinga huyu mtumishi wa Mungu ebu jaribu kujiita nabii nawewe tuone kama utafanikiwa.jaribu tu

  • @restitutanjau2585
    @restitutanjau2585 2 ปีที่แล้ว +8

    Ee Mwenyezi Mungu tupe macho ya rohoni tuijue kweli yako

    • @alhaddajmohammed4768
      @alhaddajmohammed4768 2 ปีที่แล้ว

      Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
      Shetani amepanda Magugu ktk mashina mbegu njema alizokwiaha panda Mpanzi.
      Tuaubiri siku ya mavuno.
      MWENYEMASIKIO ME ASIKIEEE

  • @talhiyaibrahim1074
    @talhiyaibrahim1074 ปีที่แล้ว

    Sikweli unadanganya kwa kweli muogp mungu funguo Jesu labda za nymbn kwako