HIKI NDICHO WANAUME WANACHOKIPENDA.......

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 มิ.ย. 2019

ความคิดเห็น • 131

  • @tegeschannel2131
    @tegeschannel2131 3 หลายเดือนก่อน +1

    👏👏👏✅

  • @joymasaki1657
    @joymasaki1657 5 ปีที่แล้ว +15

    Kweli kabisa utani nliona kwa dadangu na mumewe wanataniana kama watoto na wanapendana wameushi siku zote bila ugomvi napenda maisha yao

  • @primitivayuvent9577
    @primitivayuvent9577 5 ปีที่แล้ว +5

    Ahsante kwa somo zuri mebarikiwa na wanaume pia wajufunze kuwashukuru wake zao kwa shughuli kwa majukumu wanayo watimizia

  • @aishahatosha7983
    @aishahatosha7983 5 ปีที่แล้ว +3

    nime neemishwa kuwasikiliza. asanteni saaaaaaaana kwa ushauri wenu. kwa izi dakika tu nimesha sawanyisha mausiyano yangu. asante sana

  • @delphinasenge3321
    @delphinasenge3321 5 ปีที่แล้ว +6

    Jamani kunawanaume wengine #Thexo,, nimanundu yani uwiiii

  • @maryammdoe5801
    @maryammdoe5801 3 ปีที่แล้ว +1

    Unavaa nguo na heshima masha Allah weemdada Allah akuhifadhi, hapo ingelikua huna hilo wigi ukapiga shungi ungenogaje👌 ungelikua bonge la ustadhaty

  • @yusrakamili6401
    @yusrakamili6401 5 ปีที่แล้ว +7

    Ndio kaka mwanamke lazima awe wakwanza kuamka aoge anukie ndio andae chakula

  • @mayasamayasa1205
    @mayasamayasa1205 ปีที่แล้ว +1

    Hii imekaa vzr sana

  • @arlettedebbiezaina6247
    @arlettedebbiezaina6247 5 ปีที่แล้ว +8

    Thank you for your teachings, I appreciate. Keep it up !

  • @agnestembo1446
    @agnestembo1446 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa somo naanza kuoata picha halisi as for me now my husband anapnda Sana nivae Raba..

  • @jacklindaudi9038
    @jacklindaudi9038 5 ปีที่แล้ว +2

    Thanks nice message

  • @liliankinigi8082
    @liliankinigi8082 4 ปีที่แล้ว +1

    mafundisho ni mazuri kwakweli nmeipenda

  • @viviancorner162
    @viviancorner162 5 ปีที่แล้ว +2

    Tjis giy speak good !! Welldone

  • @kuruthumuferooz9650
    @kuruthumuferooz9650 5 ปีที่แล้ว +5

    shukranii sana kwa somo zurii

  • @neemamoses6110
    @neemamoses6110 5 ปีที่แล้ว +2

    nashukuru Kwa kipindi chenu kimenihamisha na kimenifunza mengi saaaaan thanks

  • @erickendrick3330
    @erickendrick3330 5 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana Tira👏👏👏

  • @fatifatumashaaban6806
    @fatifatumashaaban6806 3 ปีที่แล้ว +2

    Sure pia mume wangu yupo open sn akifanya kitu lazma umpe pole au asante anafurahi sn

  • @hadijasalum6373
    @hadijasalum6373 4 ปีที่แล้ว +3

    Mubarikiwe

  • @gracynewa2576
    @gracynewa2576 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana kaka

  • @dottnatt7110
    @dottnatt7110 5 ปีที่แล้ว +3

    Unaweza mpa mwanaume tu badae anakuacha,

  • @aishasalimaishasalim1323
    @aishasalimaishasalim1323 4 ปีที่แล้ว

    Aki. Nikwele kabisa
    Wanaumewa wanatamani
    Araka.. (Ilisomo.. Inabidinifatilie
    Aki, ninaonakunafaida.. Dah.. 🖊👌👌

  • @zinabal-dubae3551
    @zinabal-dubae3551 4 ปีที่แล้ว +2

    Ana maana gani kusema shape imeharibika sijaelewa. Sisi wake mwili unageuka kwa uzazi

  • @husnajohn7466
    @husnajohn7466 5 ปีที่แล้ว +3

    Ukitaka kujua mkeo mzuri nenda wakati katoka kuamka

  • @annamlozi4538
    @annamlozi4538 ปีที่แล้ว

    Hongera Kaka kwa maelezo mazur sana. Lakini huyu dada hiki kipindi hakimfai kabisaàaa.

  • @njuka3515
    @njuka3515 4 ปีที่แล้ว

    KAKA upo vizuri sana

  • @elishamaligana5187
    @elishamaligana5187 3 ปีที่แล้ว +1

    Nashukuru sana mana wengi ndo tunapokosea.

  • @loongabnumbe8349
    @loongabnumbe8349 5 ปีที่แล้ว +4

    Asanteni sana

  • @veronicadeus8903
    @veronicadeus8903 5 ปีที่แล้ว +3

    hahaaaaahaa nmeipenda hii

  • @malickyhussein3460
    @malickyhussein3460 5 ปีที่แล้ว +7

    Unaongea sana na iyo simu VP sasa

  • @witjustine7931
    @witjustine7931 5 ปีที่แล้ว +2

    Duuh nimempenda uyo kaka

  • @elizabethmatanyanga46
    @elizabethmatanyanga46 5 ปีที่แล้ว +3

    hahahahahahahaaaaa warereeeeee ❤❤❤💞

  • @dancangichabasaka3369
    @dancangichabasaka3369 3 ปีที่แล้ว

    Nice one

  • @antashaal2257
    @antashaal2257 3 ปีที่แล้ว +1

    Kuna mijanadume hata uwafanyie nn hawajui hata asant unaenda kujisifu nje mk wangu ananipenda lkn mkiwa wote hata asant kwa chochot

  • @dvjgobathebestkipenzchakoa4082
    @dvjgobathebestkipenzchakoa4082 4 ปีที่แล้ว +1

    Dada unadakiq juu kwa juu hata hajamaliza kuongea 😎😎😎😎

  • @beatricemunisi3748
    @beatricemunisi3748 2 ปีที่แล้ว

    Ujumbe mzuri sana

  • @zainahyussuph5408
    @zainahyussuph5408 5 ปีที่แล้ว +5

    Kweli kabisa doctor 💯

  • @mwajumashabani48
    @mwajumashabani48 5 ปีที่แล้ว +1

    Nice

  • @naimaswaelee1656
    @naimaswaelee1656 4 ปีที่แล้ว

    asante kwa somo lako

  • @adrianowambura2850
    @adrianowambura2850 3 ปีที่แล้ว

    Huhuhhhuh sheeeedaa mpkaaa lahaaaaaaaa

  • @liliandamas3697
    @liliandamas3697 5 ปีที่แล้ว +1

    Nice Dr jiwa God bless you

  • @nurueliya2437
    @nurueliya2437 5 ปีที่แล้ว +2

    Kweli sio kuhoji bali anachangia mada wakati yeye siye mtoa hoja.
    Pia hiyo nguo siku nyingine usiivae kwenye kipindi kila saa unairekebisha haipendezi

  • @mwajumahamdu2324
    @mwajumahamdu2324 5 ปีที่แล้ว +2

    Kweli kabisa we kaka

  • @jacklinezebedayo2923
    @jacklinezebedayo2923 4 ปีที่แล้ว +1

    Thankx Tira

  • @merryn4891
    @merryn4891 5 ปีที่แล้ว +2

    Asante kwa somo

  • @vibestudio4707
    @vibestudio4707 5 ปีที่แล้ว +1

    asanteni sana

  • @jainaboman8952
    @jainaboman8952 5 ปีที่แล้ว +3

    Ukofresh swaibah nimeipenda 😘

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 3 ปีที่แล้ว +2

    Tendo la ndoa inachukua nafasi kubwa kuliko yote,mko hapo kwa kitu hicho,hakuna kitu eti tuishi pamoja bila tendo la ndoa, mpaka mnatafutana ili muishi pamoja ni tendo la ndoa asikwambie mtu,hilo ndo limefanya muwe pamoja mengine ni maajaliwa

  • @estermgaya5816
    @estermgaya5816 5 ปีที่แล้ว +11

    Unaboa unaongea sana akati unataka yeye aeleze kwa mapama

  • @elizabethkaroli3799
    @elizabethkaroli3799 5 ปีที่แล้ว +3

    Mazuri

  • @bahatimwansasu147
    @bahatimwansasu147 5 ปีที่แล้ว +1

    Hilo nalo neno

  • @frankjoseph6460
    @frankjoseph6460 3 ปีที่แล้ว +3

    I have become so much interested with this

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira  3 ปีที่แล้ว

      Thank u for being a xo show lover i promise to do more, on this Topic soon.

    • @totohussen4880
      @totohussen4880 3 ปีที่แล้ว

      ,

  • @mohamedghasia95
    @mohamedghasia95 4 ปีที่แล้ว +2

    Nadhani wanawake wanapaswa kuhofia zaidi mara zote ambazo wanashinda kwenye arguments/mijadala. Ukiona mwanaume kakukanya jambo kwamfano kuhusu tabia au mavazi au maamuzi flani kisha ukamshinda kwa hoja. Huwa wanaume wanatunza na kuwaza maamuzi mbadala. Wengine haumua kukuacha tu wakiamini ipo siku utakwama na utarudi tena..... Na hapo ndipo utawajua vizuri.

    • @musauyanjo8713
      @musauyanjo8713 2 ปีที่แล้ว +1

      Umeongea kweli kunasiku nilifaa blauzi ikowazi mgongoni kidg aiseee sitajakaa nisahau alichukia balaaa Ila nilivyo badilisha kidg aka smail

  • @mariamukajiru1898
    @mariamukajiru1898 5 ปีที่แล้ว +11

    AHSANTE KWA MAFUNZO YAKO, MNAOLAUMU DADA ANAONGEA SANA SASA MNATAKA AACHE KUHOJI NA KUCHANGIA MADA KAMA BUBU?

  • @beatricelugongo1253
    @beatricelugongo1253 5 ปีที่แล้ว +2

    Duh huyu kaka anaongea ukweli mtupu.

  • @abdulsaid4579
    @abdulsaid4579 4 ปีที่แล้ว

    Masha allah. ..kweli najifunza sana n kipindi chako...👍👍👍👍😅😅😅

  • @malususiri4889
    @malususiri4889 4 ปีที่แล้ว

    Asante nimependa

  • @somalibaibegathoni1241
    @somalibaibegathoni1241 ปีที่แล้ว

    nkwel ndoa nyingi sana watu wanaishi tu...

  • @neemaenocko9820
    @neemaenocko9820 5 ปีที่แล้ว +5

    Nimependa sana somo lako na nimala yangu ya kwanza kukusikiliza ombi langu kwako je naweza kupata darasa maana huwa napenda sana kufundisha mambo ya ndoa nipe muongozo tafadhari

  • @winfridapeter4458
    @winfridapeter4458 4 ปีที่แล้ว +1

    Fact🙋

  • @dancangichabasaka3369
    @dancangichabasaka3369 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante

  • @elizabethmatanyanga46
    @elizabethmatanyanga46 5 ปีที่แล้ว +1

    mazungumzo pambeee

  • @baranimkara3907
    @baranimkara3907 2 ปีที่แล้ว +1

    Wow perfectly

  • @pandungozi1072
    @pandungozi1072 3 ปีที่แล้ว

    tilaa jamani tilaa😍😎

  • @marcelinaghuliku6408
    @marcelinaghuliku6408 5 ปีที่แล้ว +1

    na kwa wanaume ambao wako bize kutafuta afu yeye anajua kuoa sawa na mfanyakazi afu ukiwa na hisia za kufanya anakwambia amechoka

  • @zadashbkary2247
    @zadashbkary2247 5 ปีที่แล้ว +1

    Tiraaaaa weeee

  • @marialushinge9608
    @marialushinge9608 5 ปีที่แล้ว +7

    napenda niwe nasikiliza kipindi hiki kila wakati God bless you guys msiwe mnachukua mda mrefu kuweka hewani vipindi vyenu jmn plz madam tira

    • @alafaissa8762
      @alafaissa8762 4 ปีที่แล้ว

      Weee kaka hongela nimejifunza kitu

    • @rebecasimba1979
      @rebecasimba1979 3 ปีที่แล้ว

      Kwemay5yyyý yyyùuùy I 6yùuùy

  • @jafaritego9498
    @jafaritego9498 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa anajua sana uyu🙌🏿😂

    • @darinshekhe4374
      @darinshekhe4374 4 ปีที่แล้ว

      NIMEJIFUNZA K2 KK YANGU YAAN UMETSHA

  • @esthermichael1800
    @esthermichael1800 7 หลายเดือนก่อน

    Sio kwawanaume wasaivi hawajui chchte nimateso tu na maumivu makali tu

  • @zulihanani7355
    @zulihanani7355 5 ปีที่แล้ว +2

    Issue ni staying in DOA siyo muhusiano

  • @pendoanthony6402
    @pendoanthony6402 5 ปีที่แล้ว +2

    Heeeee Dr. Njiwa umeacha kufundisha cku iz?? Haloooooo pambe hiyoooo

    • @novatilyamuya7490
      @novatilyamuya7490 5 ปีที่แล้ว

      Mbona unakosea majina ya watu so njiwa JIWA

  • @sarahsalim5759
    @sarahsalim5759 4 ปีที่แล้ว +3

    Ila dada mtangazaji kiatu na pozi lako tofaut

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 ปีที่แล้ว

    Maisha ya ndoa hayapo hivyo Kaka na hayana formula Ila Kuna Mambo ambayo ni mhimili mkuu

  • @mariamsokoro7983
    @mariamsokoro7983 4 ปีที่แล้ว

    I 😍 this

  • @mwanaidiramadhan3919
    @mwanaidiramadhan3919 5 ปีที่แล้ว +2

    The xo show

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel 4 ปีที่แล้ว

    Hutawezaje kufanya tendo wakati huko na stress
    Mwanamke akitaka kwa mwanaume huwa na tabia ya kupiga simu more the twice kwa mwanaume na huwa hawezi sema.
    Lakini kama mwanamke hanamueshimu mtu wake lakini wakati huohuo ni rafiki yake huwa wanatabia ya kutaniana hapo mwanamke ni laisi kumwambia mwanaume kama hanaitaji.

  • @antashaal2257
    @antashaal2257 3 ปีที่แล้ว

    Yaan unapigia sim Mme wangu chakula kama yuko free anakujibu kwani mm mtoto ,au unarud saangap jibu mm mgojwa na kila kitu unamfanyia has a akiwa na pesa

  • @marymamyunawezakuwafrendwa8991
    @marymamyunawezakuwafrendwa8991 4 ปีที่แล้ว

    Tira munazungumuziaje kuhusu uchumba hasa kwa watu wasio na uwezo wa maisha, hususani wanafunzi wa chuo tusaidie

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira  4 ปีที่แล้ว

      Ntalifikisha,kwa Jiwa Hassan

  • @lucymsigwa2066
    @lucymsigwa2066 5 ปีที่แล้ว +2

    hallo kaka hapo penye nguo umenigusa mume wangu alivaa suti siku ya harusi na hakuvaa tena mpaka ililiwa na panya.yaani duuuuuu

    • @user-rd7jt1vi5x
      @user-rd7jt1vi5x 5 ปีที่แล้ว +1

      Haa haa haa haa haa ni hatari hadi ikaliwa na panya nimecheka sana

    • @wakiokinyua5834
      @wakiokinyua5834 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣

  • @user-us6ze8bz3u
    @user-us6ze8bz3u ปีที่แล้ว +1

    Assalaam aleikum kaka.kwa kweli hapo umesema ya ukweli.mwanamume Ataka malezi..hata kama alikua Na shida flani inamsumbua anakua karibu Na ww kukutamkia..pia heshima ndio mpango mzima.

  • @antashaal2257
    @antashaal2257 3 ปีที่แล้ว

    Kuna wanaume wanajua thaman ya mke Kuna wale wanaotamani wa nje hawajui thaman ya mke hata utfanye nn

  • @lilianlilian2793
    @lilianlilian2793 5 ปีที่แล้ว +6

    Kaka Nioe bs

  • @rosejune7701
    @rosejune7701 5 ปีที่แล้ว +1

    niceee

  • @neemaneema5215
    @neemaneema5215 5 ปีที่แล้ว +4

    We mdada unakiherehere hatare

  • @restutamjuni4739
    @restutamjuni4739 5 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo yakubadilisha mtu jamani inakuwa ngumu kweli

  • @shamsilugundi8212
    @shamsilugundi8212 5 ปีที่แล้ว +3

    😂🤣 you guys are very funny

  • @neemaneema5215
    @neemaneema5215 5 ปีที่แล้ว +2

    Hahahahaha Lilian Lilian

  • @millicentjohn4743
    @millicentjohn4743 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamani hapa raha tuu nawapenda bure

  • @gloryngonyani4078
    @gloryngonyani4078 5 ปีที่แล้ว +5

    inabidi ukae kimya anapoelezea usimkatishe

  • @zainababeid8524
    @zainababeid8524 4 ปีที่แล้ว

    Need jiwa contact got some issues need his help plz.thank you Tira

  • @safiasaleh669
    @safiasaleh669 2 ปีที่แล้ว +1

    Nice😘😘

  • @ramaaboki6255
    @ramaaboki6255 5 ปีที่แล้ว +9

    We dada unaongea sana mpe nafasi watu wapate elimu pls.

  • @annamlozi4538
    @annamlozi4538 ปีที่แล้ว

    Hana maswali ya hisia pia hiyo cm ndo anaanza kuitumia nini? Ni mpya?

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira  ปีที่แล้ว

      Maswali yakihisia ni kama yapi?Hebu nifundishe?

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira  ปีที่แล้ว

      I think ntakuwa nimeanza kutumia simu kabla yako kipenzi.Swali lilitakiwa y the phone on my hand? Na jibu producer ndio alitaka iwe hivyo a mix video za cm na Camera but za cm hazikuwa nzuri ndio maana ikatoka hivyo

  • @stevstephano950
    @stevstephano950 5 ปีที่แล้ว

    Mh!!

  • @drmanager.products5284
    @drmanager.products5284 4 ปีที่แล้ว

    Are you guys husband and wife?Are you dating?

  • @zulihanani7355
    @zulihanani7355 5 ปีที่แล้ว +1

    There u are like promoting zina

  • @njuka3515
    @njuka3515 4 ปีที่แล้ว

    KAKA upo vizuri sana

  • @adrianowambura2850
    @adrianowambura2850 3 ปีที่แล้ว

    Huhuhhhuh sheeeedaa mpkaaa lahaaaaaaaa

  • @rose_Winchester86
    @rose_Winchester86 5 ปีที่แล้ว +3

    Nice

    • @magdalenazilimu4343
      @magdalenazilimu4343 5 ปีที่แล้ว

      dada stop talking saan unakera bhana

    • @suzysam2009
      @suzysam2009 5 ปีที่แล้ว

      Ni kweli kabisa watu wengi tunaishi hivyo maadamu watoto wakuwe

    • @hunaiyasuleiman1931
      @hunaiyasuleiman1931 5 ปีที่แล้ว

      mwanmme. kama ankupenda kweli hawez kukuambiy umpe tendo LA ndowa huo ni uongo hapo umekosea Anco

    • @hunaiyasuleiman1931
      @hunaiyasuleiman1931 5 ปีที่แล้ว

      lbd iwe ndani ya ndowa lkn kama hjakuowa huo ni uongo na nidhambi tup

    • @hopechidera
      @hopechidera 4 ปีที่แล้ว

      @@hunaiyasuleiman1931 wanaume wanaombaga bhan mwalimu wasomo kasema ukweli,ila akiomba tendo la ndoa inatokana na mwanamke kumkubalia au kumkatalia sababu wanakuwaga wanataka kupima waone kama huyo mwanamke ni raisi kumshika au sie wakuchezea

  • @njuka3515
    @njuka3515 4 ปีที่แล้ว

    KAKA upo vizuri sana

    • @evalineemmanuel8178
      @evalineemmanuel8178 2 ปีที่แล้ว

      tupo kwajili yakulea watoto lkn ndoa zna majaribu sana ila mungu atusaidie tuweze kuyashinda