Ukishayajua haya kuhusu wanaume......hautateseka na mapenzi...!!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 98

  • @catenzeki678
    @catenzeki678 5 ปีที่แล้ว +14

    Nimempenda huyu mwanasaikolojia anaelezea vitu kwa ufasaha zaidi.Napenda kipindi chako Tira.Big up guys u doing a GREAT job

  • @jenifaamosi7454
    @jenifaamosi7454 4 ปีที่แล้ว +3

    Nakukubal sanaa hichi kipind
    Madam Tira be blessed 👐👐

  • @خسنموس
    @خسنموس 5 ปีที่แล้ว +12

    Wapili kucoment, kipindi kizuri mnaelimisha sana, tira sauti yako MashaAllah.

  • @rehemaothuman3764
    @rehemaothuman3764 2 ปีที่แล้ว +1

    Dada unachat ad mtu anaweza Sema unazarau weka cm pemben unakera

  • @sharonkatunzi62
    @sharonkatunzi62 3 ปีที่แล้ว

    Jiwa hassan yuko vzr sana anaeleza vzuri sanaaa ,tira ur doing good go girl..

  • @zainababeid8524
    @zainababeid8524 5 ปีที่แล้ว +3

    Najifunza sana tira nice work dear.wish to meet you dear

  • @veileronesmo9219
    @veileronesmo9219 5 ปีที่แล้ว

    Tira keep moving ...sikujua hili chimbo before bt am right here now enjoying and learnin

  • @delphinasenge3321
    @delphinasenge3321 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana Dada kipindichako kizuri mno ,,,ilanashida nawewe sijiy nitakupataje

  • @jenifaamosi69
    @jenifaamosi69 5 ปีที่แล้ว +3

    najifunza vingi madam Tira I wish 1 day 2kutane 2ongee mengi

  • @aishasuleiman7600
    @aishasuleiman7600 5 ปีที่แล้ว +5

    I like you for really .I like how you educate us ,GOd bless you bro.

  • @khadijamohamed580
    @khadijamohamed580 5 ปีที่แล้ว +6

    Weeh baba hebu ongeya vizuri hujawahi kuongeya mimi niko huku ulaya mume wangu yuko nyubani wanaume niwanaume tu hata umfanyie nini ije ataenda

  • @rodneytheonest
    @rodneytheonest 5 ปีที่แล้ว +8

    I think trust is the hardest pillar of a good relationship 😳

  • @mdbafrica2299
    @mdbafrica2299 5 ปีที่แล้ว +4

    Guys Najihisi nipo darasani🤣🤣🤣🤣🤣

  • @martindeogratius6547
    @martindeogratius6547 5 ปีที่แล้ว +2

    Pls Tira naomba uzifungue video tuwe tuna download kwa faida ya wengine pia walio vijijini pls fanya hivyo.

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira  5 ปีที่แล้ว +1

      Sawa naifanyia kazi then I will get back to u

    • @martindeogratius6547
      @martindeogratius6547 5 ปีที่แล้ว

      Thanks my sister Tira may God be with u.

    • @caylakhamcbaby846
      @caylakhamcbaby846 4 ปีที่แล้ว

      @@thexoshowtira kuna kipind cha leo plzz cha mwanasaikologia Jorge Boniface

  • @janethkomba4485
    @janethkomba4485 2 ปีที่แล้ว +1

    🙏

  • @hfj9315
    @hfj9315 5 ปีที่แล้ว +5

    Mapenzi yambali yanausaliti huo ndo ukweli usio pingika

  • @lilliandavid3212
    @lilliandavid3212 5 ปีที่แล้ว +11

    Presenter anamfamnya huyo kaka kuonekana chizi
    Anaongea yeye anachezea simu mxiuuuuu!.

    • @julkakbar2290
      @julkakbar2290 5 ปีที่แล้ว

      Haimanishi anachezea... No

    • @mdbafrica2299
      @mdbafrica2299 5 ปีที่แล้ว

      Huwa wanasomaga vitu vinavohusu kipindi

  • @wennybarny168
    @wennybarny168 5 ปีที่แล้ว +6

    Mwanaume ht ukimheshimu vp ndo anazidi kukunynyasa ht sijui huwa wanataka nn mmmm

  • @mugabekaziaisha2243
    @mugabekaziaisha2243 4 ปีที่แล้ว +1

    Wanaume wa izi siku wanataka kutumia wa nawake tu hakuna kingine

  • @meddeck
    @meddeck 5 ปีที่แล้ว +10

    I beg to differ on women being pragmatic lovers. Women are very emotional, definitely not pragmatic i.e. reasonal. Women want dream relationships, not practical at all. I am a woman so I know.

    • @jiwahassan
      @jiwahassan 5 ปีที่แล้ว +2

      Upo Sahihi Dada. Womens are very emotional na huchunguza vitu kidogo kidogo kwa muda ili apende kweli. Vinginevyo huwenda akatamani MALI au Muonekano tu haraka. Ila ktk future plan huzingatia mengi kama kipaumbele. Utofauti wa kijinsia NI MKUBWA BAINA yetu hivyo ndio maana Tunaleta Hii elimu na sehemu A ya hiyo interview nimeelezea KWA UREFU hilo. Ila kama kuna Sehemu UNAHITAJI kuniuliza zaidi tuma meseji namba yangu ni 0713 807 734 Jiwa Hassan.

    • @nusaebahkeis6774
      @nusaebahkeis6774 5 ปีที่แล้ว

      @@jiwahassan tukufate whata app

  • @merryn4891
    @merryn4891 5 ปีที่แล้ว +2

    ❤💙❤ u tira

  • @rosenogo1489
    @rosenogo1489 4 ปีที่แล้ว

    Hata mimi mmenisaidia

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura 5 ปีที่แล้ว +1

    Mpo vzr Sana

  • @francinekabwe1211
    @francinekabwe1211 5 ปีที่แล้ว +7

    Sasa kaka hata kama una mfanyia mwenzawako vyote hivyo na yeye abadiriki mtu afanyeje sasa?

    • @joleenmasha
      @joleenmasha 4 ปีที่แล้ว +1

      Kabwe hapo sasa umeongea kabisa

  • @annaupendo4768
    @annaupendo4768 5 ปีที่แล้ว +6

    Kwa vimoji sikweli anaweza kumtumia mama yake dada yake kaka yake rafiki yake hio sio njia sahihi yakuwaza anakuchiti sikubaliani na hiro.😳😳😳

    • @rachelobedy8512
      @rachelobedy8512 5 ปีที่แล้ว

      Anna Upendo kabisa, wakati mwingine tuna vitu tunaona status au kuweka then unawekea hivyo vi emoj. nami sikubaliani naye🙉🙉🙉

    • @julkakbar2290
      @julkakbar2290 5 ปีที่แล้ว

      Real guys?

  • @elizagreen8098
    @elizagreen8098 5 ปีที่แล้ว +4

    Mkinyenyekewa ndo mnazidishaga ujinga wenu, yaani mimi mdomo ndo siwezi acha kwa kweli.

  • @امينهعلي-ض5ث
    @امينهعلي-ض5ث 3 ปีที่แล้ว

    Umbali ndio unapunguza mpenzi mara nyingi. Sasa hizo nikusudi ili ukae nyumbani

  • @famitoissanawanda6295
    @famitoissanawanda6295 5 ปีที่แล้ว +1

    Tira umejipanga vilivyo

  • @rosenaadolfu99
    @rosenaadolfu99 5 ปีที่แล้ว +1

    Huu sio mda wa kubembelezana hao wanaume ni pasua kichwa tu wakafie mbali huko kwanza wamekwisha laaniwa hao.

    • @alphasjoseph7542
      @alphasjoseph7542 5 ปีที่แล้ว

      Rosena Adolfu,Hao wanaume unaosema wamelaaniwa ndiyo unatarajia Siku moja uolewe nao na kuzaa nao,dah!!!

    • @kennyseleman4623
      @kennyseleman4623 3 ปีที่แล้ว

      😁😁😁😁😁

    • @bennycaleb5583
      @bennycaleb5583 3 ปีที่แล้ว

      Duh umekosewa na yupi huyo jamani😥

  • @sylviemutwale9527
    @sylviemutwale9527 5 ปีที่แล้ว

    Napenda sana iki kipindi

  • @imeldakadege2838
    @imeldakadege2838 5 ปีที่แล้ว

    Aiseeee kabisaaa unakuta ww hujawahi kukipata

  • @landrinebagalwa5919
    @landrinebagalwa5919 5 ปีที่แล้ว +10

    Mungu nipe mume anaye akili na kujuwa mapenzi

  • @mallyajoyce1
    @mallyajoyce1 5 ปีที่แล้ว +1

    This is wahooo

  • @wennybarny168
    @wennybarny168 5 ปีที่แล้ว +3

    Kaka mm binafsi sijawahi kukutana na mwanaume mwenye kauli nzuri. Kila mwanaume yuko very harsh yani daaaah hakunaga lugha laini ya upendo, never.

    • @stevstephano950
      @stevstephano950 5 ปีที่แล้ว +1

      Wenny Barny poleeeee

    • @stevstephano950
      @stevstephano950 5 ปีที่แล้ว +2

      Wenny Barny mwenye kaur nzur u njian

    • @amanimanase642
      @amanimanase642 5 ปีที่แล้ว

      Wenny Barny karibu kwangu mtt mzr ntafte whatsap 0777033660

    • @hajivuai3454
      @hajivuai3454 4 ปีที่แล้ว

      pole sana ila tupo hujabahatika tu

  • @rashidmtumwa7643
    @rashidmtumwa7643 5 ปีที่แล้ว +2

    Sema ww tira una haribu kipnd bn m2 anaongea ww unachezea sim ndonn sas si dhalau izo

    • @rashidmtumwa7643
      @rashidmtumwa7643 5 ปีที่แล้ว

      Sawa lkn inakuwa syo pcha nzur Kwa sbb m2 anasimulia unamkata my dear sister mbaya iyo

    • @rashidmtumwa7643
      @rashidmtumwa7643 5 ปีที่แล้ว

      Sis 2na kipend kipnd chak ujue

    • @violetjozey4425
      @violetjozey4425 5 ปีที่แล้ว +1

      She's not a good presenter,she has no manners...I can't even dare to touch my phone when someone is talking to me...

    • @pericykiko6198
      @pericykiko6198 5 ปีที่แล้ว

      Anaangalia jumbe zinazotumwa nakuchagua zinazoweza kuelezewa

  • @mariamsokoro7983
    @mariamsokoro7983 5 ปีที่แล้ว

    😘😘😘😘😘

  • @elizabethmatanyanga46
    @elizabethmatanyanga46 5 ปีที่แล้ว +2

    mependa haya maongezi

  • @yusrakamili6401
    @yusrakamili6401 5 ปีที่แล้ว +1

    Nasikiliza kimyakimya mSomo mazir

  • @p.kasongot979
    @p.kasongot979 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka ubarikiwe

  • @kalistusauzebi5707
    @kalistusauzebi5707 5 ปีที่แล้ว +5

    Sam taime wewe dada unabowa unamanagani sas kuiweka hiyo namba yako ukitafutwa unaliiiinga mtu anakwambi anashida na mkunga mndngeleko hata

  • @khdijaahmed8458
    @khdijaahmed8458 5 ปีที่แล้ว +2

    ❤❤❤

  • @aishabakari6426
    @aishabakari6426 5 ปีที่แล้ว

    Nisaidie nmbr yako anty tira kma hutojali

  • @stellachikando207
    @stellachikando207 5 ปีที่แล้ว

    Nimejifunza kitu hapo

  • @ruthnjuguna5476
    @ruthnjuguna5476 5 ปีที่แล้ว

    Wow,

  • @RickChazy
    @RickChazy 5 ปีที่แล้ว

    💣💣🙏

  • @zachariajorammwawaye1314
    @zachariajorammwawaye1314 5 ปีที่แล้ว

    Duh

  • @monnyselly2317
    @monnyselly2317 5 ปีที่แล้ว +1

    Mafundisho mazuri

    • @alicejoe450
      @alicejoe450 5 ปีที่แล้ว +2

      Huyo dada kaniuzi sana mwenzie anaongea ye yuko bize na sim

  • @خسنموس
    @خسنموس 5 ปีที่แล้ว +2

    Tira hassani umeolewa??

    • @catenzeki678
      @catenzeki678 5 ปีที่แล้ว

      Kila la kheri dada Tira.Unaonekane mpole n mtulivu.Nina imani utakua mke na mama bora

    • @خسنموس
      @خسنموس 5 ปีที่แล้ว

      @@catenzeki678 Nampenda tira ni mpole Sana ana anafaa kuwa mke

    • @catenzeki678
      @catenzeki678 5 ปีที่แล้ว

      @Mussa Hassan ndio ivo sasa kaka kakwambia ana mchumba labda urushe ndoano kwengine

  • @salomejacob4920
    @salomejacob4920 5 ปีที่แล้ว

    tunafanya yote mazuri kaka. ndo wanalala. nje

  • @albinishirima6981
    @albinishirima6981 5 ปีที่แล้ว

    Asante kwa elimu na ushauri mzuri

  • @rashidmtumwa7643
    @rashidmtumwa7643 5 ปีที่แล้ว +13

    Sema ww tira una haribu kipnd bn m2 anaongea ww unachezea sim ndonn sas si dhalau izo

    • @elizabethmatanyanga46
      @elizabethmatanyanga46 5 ปีที่แล้ว

      kweli ni mwehu rita

    • @mayahhajih2636
      @mayahhajih2636 5 ปีที่แล้ว

      No huyo tira alikuwa anasoma comments bhana
      Sio kuchezea sim bhana angalien vizur