Ili uwe Mwanamke mbele ya Mwanaume ni hivi...Sheikh Abdulrazak

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 247

  • @kissamwamunyange1018
    @kissamwamunyange1018 ปีที่แล้ว

    Tira nakupenda🌹🌹♥️♥️unatusaidia Sana wanawake wenzio. Dah I have to change😍😍😍

  • @mohamedshaaban3297
    @mohamedshaaban3297 5 ปีที่แล้ว +60

    This Word Is Crazy,,,,,, This World Is So Sad 😔 😔 😔,,,, Walimu Wa Mapenzi Ni Wengi Na Watu Wko Busy Na Mapenzi,,,,Lkn Cha Ajabu Ndiyo Kizazi Kinacho Ongoza Kwa Talaka, Ukahaba, Umalaya, Usaliti Na Tamaa,,,, Mungu Tusaidiye Ichi Kizazi Na Hii Sayar Ya 21th

    • @khadijaraj
      @khadijaraj 5 ปีที่แล้ว +8

      tunakosea sana katika malezi ndo maana hata waalimu wa ndoa tukiwa wengi,bado inakua vigumu kubadilisha tabia aliyoiona kwao/aliyoizoea kwao. sio wote wapo tayari kwa mabadiliko ya kheir. Tuosome mtume wetu/mwalimu wetu mtume Mohammed S.A.W alivyoishi na wake zake. na kwa sasa tunafaa mafunzo ya ndoa yaanze kufundishwa Madrassa...ili watoto wakikua watapata muongozo mzuri. Madrassa tunafundishwa dini Alhamdulillah ila ndoa/dunia waalimu wanaogopa kuyasomesha. Utakuta hata Baadhi ya mashekhe ku quote Quran ayyat zinazowazungumzia wanandoa vipi wanapaswa kuingiliana wanazikwepa. je tutaona aibu hadi lini kulizungumzia tendo la ndoa na vizazi vinaharibika?
      Unaona usipomfunza mwanao kuhusu mitandao na dunia,wengi tu wanaingia na kujifunza wenyewe...unaona aibu kumweleza mwanao ubaya wa kupiga punyeto/kumfunza kuhusu hisia atakazozipitia akianza kuingia umri wa miaka 12....unaifanya siri nae akifikia anafanya siri. kwa nini sikjuizi vijana wadogo tu wanaongoza kwa ngono za mapema???? wazazi tunaona aibu kuwazungumzia watoto maisha watakayoyapitia. Hauelewi kua wakijua mapema wataweza kujichagulia maisha wanayoyataka? watajua ubaya na uzuri wa jambo flani na wataweza kufanya maamuzi yaliyo na busara?

    • @mohamedshaaban3297
      @mohamedshaaban3297 5 ปีที่แล้ว +1

      KHADIJA RAJ .Asante Umejaribu Kufafanuwa Vizur Kidgo Ila Ina Bidi Tuelewe Nn Hasa Chanzo ?!? Nn Hasa Ttzo.

    • @rahillhamidu2544
      @rahillhamidu2544 5 ปีที่แล้ว

      Wallai tena sijui tunakosea wapi Allah atunusuru

    • @mohamedshaaban3297
      @mohamedshaaban3297 5 ปีที่แล้ว +2

      Rahill Hamidu .Tusimsingiziye Mungu, Mungu Wala Hahusiki. Mungu Aliumba Dunia Kisha Alituwekeya Mipaka Ila Wanadamu Tumejitengezeya Mipaka Ya Kwetu Wenyewe. Ina bidi Turudi Nyuma Kwenye Fact Na Tujiulize !!!!!??

    • @khadijaraj
      @khadijaraj 5 ปีที่แล้ว

      @@mohamedshaaban3297 swadaqtah

  • @SafeHaven_TV
    @SafeHaven_TV 5 ปีที่แล้ว +13

    TIRA,napenda kuangalia The XO kwa sababu unajua sana ku-host,hauna papara,una maswali ya msingi alafu uko tayari kusikiliza sio tu kuongea kama ma-host wengine.
    Thank you.

  • @luckygyal6868
    @luckygyal6868 5 ปีที่แล้ว +4

    Hapo kwa kuingiliwa kumenifurahisha mno,love that part

  • @salmasaid1521
    @salmasaid1521 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah mashallah

  • @gayletete5769
    @gayletete5769 5 ปีที่แล้ว +12

    Hapo kwenye matunzo wanawake tunapapendaaaaaaa....like mingiii Anna from chugaaa

  • @jessymalembeka6181
    @jessymalembeka6181 5 ปีที่แล้ว +37

    Huyu kaka kanifurahisha tu hapo kwenye kutoa matunzo. Kuna wanaume wengine hawajiongezi kbs!

  • @jenniferomar786
    @jenniferomar786 5 ปีที่แล้ว +13

    True fact .. kwa pande zote mbili kwa mke & mume... swadaqta shekh... 👌Mola azidi kutuongoza🙏Jazakahlaulkhairàan 😊

  • @catenzeki678
    @catenzeki678 5 ปีที่แล้ว +7

    Alosema uyo shekhe ni kweli wanawake tunapenda kusifiwa...nlikua na ex wangu ata nkivaa dera alikua akinisifia

    • @angelmwandata2233
      @angelmwandata2233 5 ปีที่แล้ว

      Catherine Nzeki Mwau Mwau 😄😄😄😄

    • @emmakalou5920
      @emmakalou5920 5 ปีที่แล้ว

      Catherine Nzeki Mwau Mwau 😂😂😂

  • @neymarsuleyman8602
    @neymarsuleyman8602 5 ปีที่แล้ว +11

    Jamaa romantic voice,
    #na tira naeee dah...!

  • @hustlerlady3652
    @hustlerlady3652 5 ปีที่แล้ว +18

    Jamani sheikh ntafutie mume kamili kama ww una hekma na busara sana masha Allah😘😘😘

  • @billylovebilly9418
    @billylovebilly9418 5 ปีที่แล้ว +4

    Nimepend. hiki kipind kizur mno mashaa Allah

  • @yustakipenyakipenya9117
    @yustakipenyakipenya9117 5 ปีที่แล้ว +6

    Nakupenda sana nataman kila mwanaume aone mafunzo yako

  • @jamilamanariyojamila1487
    @jamilamanariyojamila1487 3 ปีที่แล้ว

    Kabs Mum Akikusifia Unasikiarah

  • @jacquekatarimo9107
    @jacquekatarimo9107 5 ปีที่แล้ว +1

    shukrani nimefaidi mengi katika mafunzo haya

  • @joxiahmendez1325
    @joxiahmendez1325 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwnye Kujamba apo mmh!.. Mwanamke kujamba mbele yangu daaaah hapana itakua ajieshimu!.

  • @hawamwajumahayat5053
    @hawamwajumahayat5053 5 ปีที่แล้ว +2

    Huyu kaka jamani sijaolewa ila huaga ananikosha sn jamani I love u for the sek of Allah ❤️❤️🇰🇪

  • @joycesamwely4132
    @joycesamwely4132 5 ปีที่แล้ว +2

    kaka uko vzr natamn nigempat mwanaume kam wew aliyeko na wew au atakayekupat ataenjoy life moreee

  • @veronicawaryoba1093
    @veronicawaryoba1093 5 ปีที่แล้ว

    Sheikh umenifurahisha kwakweli

  • @fatmaali4794
    @fatmaali4794 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah darsa zuri time ni chache

  • @mohameeddoaan2296
    @mohameeddoaan2296 2 ปีที่แล้ว +1

    Dada diva jiandae

  • @thurayyaomar655
    @thurayyaomar655 5 ปีที่แล้ว +1

    kaka nkupenda sana hongera kwa mafunzo Allah akubarik

  • @hawarassi5408
    @hawarassi5408 5 ปีที่แล้ว +3

    Theory is good real life asa afrika na Maisha yetu magumu impossible

  • @princessamnemuhamad3755
    @princessamnemuhamad3755 5 ปีที่แล้ว +5

    Huyu kaka namkubali sana ...anaongea ukweli na we Dada wacha kuongea kama upo kitandani

  • @gastonnkana8428
    @gastonnkana8428 3 ปีที่แล้ว

    Daah mungu anijalie nipate mwanaume.bor kama huy.kaka

  • @winfridapeter4458
    @winfridapeter4458 5 ปีที่แล้ว +1

    Mme wangu Kwa utani mashallah

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 5 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah shekh umenipunga apo ukipapata ucachie kbs pata apo 👫😁

  • @noelelinuru3012
    @noelelinuru3012 5 ปีที่แล้ว +1

    mashallah mada nzur shekhee

  • @marypaul8908
    @marypaul8908 5 ปีที่แล้ว +1

    Nipo sehemu sahihi Allhamdulilla 🙏

  • @uwingeneyeshadia7697
    @uwingeneyeshadia7697 5 ปีที่แล้ว

    👏👏👏👏👏 lazima wanaume washibishe wake zao ipasavyo👍

  • @jassygomoh4003
    @jassygomoh4003 4 ปีที่แล้ว +1

    Yani unajua kutunyambulia maneno Abdul

  • @zenamuhammed4057
    @zenamuhammed4057 3 ปีที่แล้ว

    Bro abdulrazzak nikiwepo pba napnda kufatlia THE XO ukiwepo wewe na dada Tira nawapenda sn mungu awabarki mzidi kutufunza cc bdo tunahtaj kujua ivo kbla hatujaingia ndoan

  • @mwanasulesalum8507
    @mwanasulesalum8507 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @ayubuishaka9614
    @ayubuishaka9614 5 ปีที่แล้ว +2

    nimeipendaa

  • @ChristineRobert-i6k
    @ChristineRobert-i6k 7 หลายเดือนก่อน

    Asante kaka ila Nina tatizo mwanaume wangu mpole ila ukikosea tu anakupiga haingie sana nisaidie please nashindwa kujitoa kwake

  • @Rylee_kerrueche
    @Rylee_kerrueche 5 ปีที่แล้ว +2

    Abdul jamaaaan hapo kwenye helaa mhmhm

  • @zuwenamaulid9473
    @zuwenamaulid9473 5 ปีที่แล้ว +2

    Jamani I just love this mada

  • @annaboniphace600
    @annaboniphace600 3 ปีที่แล้ว

    Jaman huyo shekh yuko vzr Mimi sijaolewa jmn nampataj

  • @nancynyaga7675
    @nancynyaga7675 4 ปีที่แล้ว

    Umegonga ndipo sheikh

  • @lupinamathiasikopowakitale6771
    @lupinamathiasikopowakitale6771 5 ปีที่แล้ว +1

    Unaongea vizuli mashalla nimependa

  • @jokhakhalef822
    @jokhakhalef822 5 ปีที่แล้ว +3

    Jamani umeongea kweli kabisa

  • @zanto3439
    @zanto3439 5 ปีที่แล้ว +3

    nmeipenda hii 😁😁

  • @salimalqartubi3038
    @salimalqartubi3038 5 ปีที่แล้ว

    Asante kaka kunakitu ni mejifunza

  • @merryn4891
    @merryn4891 5 ปีที่แล้ว +2

    Napata somo zuri

  • @rockfieldsailo9883
    @rockfieldsailo9883 5 ปีที่แล้ว +3

    🔥🔥🔥🔥🔥🙌

  • @mariajoseph2645
    @mariajoseph2645 4 ปีที่แล้ว

    Asante naomba no zako

  • @saumumboka8938
    @saumumboka8938 5 ปีที่แล้ว

    Da! Noma

  • @zuhuramwawimo997
    @zuhuramwawimo997 5 ปีที่แล้ว +3

    maneno mazuri kabisa mafunzo matamu😅😅😅😅💃💃💃💃

  • @ashnaomi2385
    @ashnaomi2385 5 ปีที่แล้ว +1

    Ehe safi sana

  • @allybukuku1391
    @allybukuku1391 5 ปีที่แล้ว +8

    Kitchen party za vyombo ndio zinaleta hizi shida

  • @buruhanimandazi8000
    @buruhanimandazi8000 5 ปีที่แล้ว +1

    Swadakta shehk

  • @marypaul8908
    @marypaul8908 5 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabis shekh maneno kuntu

  • @peterkailembo4101
    @peterkailembo4101 5 ปีที่แล้ว +2

    Kabisa sheikh mwanaume lazima mzigo wa kutosha, true yaani, labda huyo mwanaume mgonjwa

  • @marthajonathan6277
    @marthajonathan6277 5 ปีที่แล้ว +3

    Hapo kwenye kuingiliwa kumenifurahisha😂😂😂

  • @sammychibya9480
    @sammychibya9480 5 ปีที่แล้ว

    Shekhe lazma mtu aje ale maisha juu angu nakuapiaa kamwe 👏👏 lazma ni mjampiee🤣🤣🤣🤣

  • @binhussain3445
    @binhussain3445 2 ปีที่แล้ว

    Kujamba tenaa

  • @asiamohamed6101
    @asiamohamed6101 5 ปีที่แล้ว

    Haswaa nimeielewa hiyo kweli sherh anasema haki

  • @ndzmah47ali6
    @ndzmah47ali6 5 ปีที่แล้ว +1

    Upo sahihi kaka

  • @zaiiomary8970
    @zaiiomary8970 5 ปีที่แล้ว +4

    Wanaume wasikuhiz mapenz yamepunguwa saan wanapendag mwanamke mweny akili za kimaendeleo zaid nasio kweny mapenzi

  • @glorytwanga1611
    @glorytwanga1611 5 ปีที่แล้ว

    i lov ur voice dada

  • @leylaally3291
    @leylaally3291 5 ปีที่แล้ว +5

    Kwenye matumizi apo awajiongezi mpaka uombee kaaa

  • @jenolove7603
    @jenolove7603 5 ปีที่แล้ว

    Hahhahahaaaaaaahahahahhaaaaa vzr kaka hat kama unakifua kama naniii,,,,,,.....

  • @zawadiomari3757
    @zawadiomari3757 5 ปีที่แล้ว +1

    Maneno mazur sana

  • @lucymayelias3114
    @lucymayelias3114 5 ปีที่แล้ว +3

    Mambo madogo lkn makubwa kwa mwanamke

  • @jaffaryhassany9832
    @jaffaryhassany9832 5 ปีที่แล้ว

    Love you dada

  • @elizabethalex6138
    @elizabethalex6138 5 ปีที่แล้ว +1

    nimewapenda sana mnaongea vizur

  • @vyonneeugine7507
    @vyonneeugine7507 5 ปีที่แล้ว +3

    Sheikh Wafunze,wanaume engine wawe,na adabu

  • @naimaswaelee1656
    @naimaswaelee1656 4 ปีที่แล้ว +1

    kaka samahan namuomba mwenyezi mungu anipe mume kama wewe maana nishajikatia tamaa ya kuolewa

  • @rebekadanieli8395
    @rebekadanieli8395 5 ปีที่แล้ว +1

    Nimeonjoy sana jmn hongereni 😘😘sheikh😘😘tira

  • @catenzeki678
    @catenzeki678 5 ปีที่แล้ว +6

    Apo kwa matunzo wanaume wengi hua hawapapendi.Unapomuomba hela anakuuliza kwni we za kwako unazitumia na nn

    • @rizikifuraha1911
      @rizikifuraha1911 4 ปีที่แล้ว +1

      ☝️☝️☝️☝️☝️☝️🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @lilyanmongi1946
    @lilyanmongi1946 5 ปีที่แล้ว +14

    Wanaume wote wangekuwa kama huyu kaka watu wasingechepuka kabisa

  • @sylviemutwale9527
    @sylviemutwale9527 5 ปีที่แล้ว

    Nzuri jaman

  • @wennybarny168
    @wennybarny168 5 ปีที่แล้ว +6

    Wanume wanapenda ubabe kwenye mapenzi

  • @rehemacharles6159
    @rehemacharles6159 4 ปีที่แล้ว +2

    Doctor u make my day😂

  • @kipendarohozavery5148
    @kipendarohozavery5148 4 ปีที่แล้ว

    Nandomana ndoa xilizonyingi no 36.nasio 63.

  • @furahampanga486
    @furahampanga486 4 ปีที่แล้ว

    Sauti iko chini sana

  • @mwanahawaaishaii5222
    @mwanahawaaishaii5222 5 ปีที่แล้ว

    yupo vizuri sana huyu kaka

  • @munaaahmed9804
    @munaaahmed9804 5 ปีที่แล้ว +14

    Yani yani😂😂😂😂nipate mume kama sheikh mimi😂😂😂😂😂 ntaishi nikiona niko peponiiii

    • @idrisamohd9872
      @idrisamohd9872 5 ปีที่แล้ว +6

      Usihadaike na maneno hujui vitendo vyake

    • @geshonndezi9615
      @geshonndezi9615 5 ปีที่แล้ว +1

      Mtengeneze wako

    • @mourinebey_kenya7027
      @mourinebey_kenya7027 5 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣kumbe tunawaza pamoja 🤣🤣🤣🤣🙌

  • @vanillamziray2303
    @vanillamziray2303 5 ปีที่แล้ว

    ❤️

  • @joycemdoye8555
    @joycemdoye8555 2 ปีที่แล้ว

    Kwakweli mm unanisemesha vizuli
    Nakupa kilawakat

  • @AminaAmina-bs1qp
    @AminaAmina-bs1qp 5 ปีที่แล้ว

    WANAUME wasasa hakuna wanaume hasira kibaooo hawana mahaba.
    Bora nikae tu

  • @winfridadominancy3492
    @winfridadominancy3492 4 ปีที่แล้ว +1

    Jaman Nahis nilichelewa kuanza kuangalia vipindi vyako.

  • @glorymasunga2645
    @glorymasunga2645 5 ปีที่แล้ว +3

    Jamani mbona moto😜😜

  • @shefundisalehe3571
    @shefundisalehe3571 5 ปีที่แล้ว

    Uko vzur kak

  • @tommytyga4417
    @tommytyga4417 5 ปีที่แล้ว +1

    Noma

  • @angelalfred8128
    @angelalfred8128 5 ปีที่แล้ว

    Hahahaha zaituni ananijambia vizuriii nimecheka

  • @lucymayelias3114
    @lucymayelias3114 5 ปีที่แล้ว

    Asante shehee

  • @jennajenna4082
    @jennajenna4082 5 ปีที่แล้ว

    Nikweli

  • @carolinemhando9083
    @carolinemhando9083 5 ปีที่แล้ว +8

    Sauti ya uyo Dada ss😂😂😂😂

  • @Sam_me01
    @Sam_me01 2 หลายเดือนก่อน

    Mmmh hapo kwenye kuingiliwa apo 😅😅😅😅 balaaa

  • @rahelmakala2608
    @rahelmakala2608 5 ปีที่แล้ว +2

    Dah wewe mkaka mkeo km utamfanyia haya bas uko vzr sana leo umesemaa nakupenda buree

  • @fadhilamsangi3700
    @fadhilamsangi3700 5 ปีที่แล้ว

    💯🙌🙌🙌🙌🙌

  • @esterkapinga1336
    @esterkapinga1336 5 ปีที่แล้ว +2

    Apo kwenye kuhudumia kaka ndiyo wanaume wengi wana geli sana

  • @lucymayelias3114
    @lucymayelias3114 5 ปีที่แล้ว +3

    Jaman sheikh unatokea mkoa gani???????????

  • @nasmafarmsltd9146
    @nasmafarmsltd9146 5 ปีที่แล้ว

    kiislamu kwènýè nģuo hapana hata kama ñ mumeo

  • @saidatemoustapha1326
    @saidatemoustapha1326 4 ปีที่แล้ว

    Mimi ni mamy Niko Congo mutufundishe ngisi uke wetu ukuwe na misuti

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira  4 ปีที่แล้ว

      Kwanini msitu?kwani kuwa msitu ndio unakuwaje

  • @yusuphmaganga8193
    @yusuphmaganga8193 5 ปีที่แล้ว

    Haswaaaaaaaaaa

  • @belindamartin9265
    @belindamartin9265 5 ปีที่แล้ว +1

    Wah!where do we find such men? he's so sweet

  • @roseegongo3919
    @roseegongo3919 4 ปีที่แล้ว

    Yaan huyu kaka jaman

  • @victoriamefya6287
    @victoriamefya6287 5 ปีที่แล้ว +2

    ooh jmn hapo kwenye majukumu sasa😂😂😂