Penzi lako ni jipya?Zingatia haya JIWA HASSAN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 60

  • @josephinejumba9923
    @josephinejumba9923 ปีที่แล้ว +1

    True

  • @rahillhamidu2544
    @rahillhamidu2544 5 ปีที่แล้ว +8

    Kuhojiana kwa vp uko na simu we Tira

  • @amanamazanda748
    @amanamazanda748 5 ปีที่แล้ว +8

    Ukizaa tabu usizae tabu Khaaa!!

  • @restutamjuni4739
    @restutamjuni4739 5 ปีที่แล้ว +1

    Nimemwelewa sana Jiwa

  • @ziadasalim8807
    @ziadasalim8807 5 ปีที่แล้ว +6

    punguz ushamba na Sm dd

  • @nicephilbert6812
    @nicephilbert6812 5 ปีที่แล้ว +3

    iko vzur broo

  • @thumakajo4828
    @thumakajo4828 5 ปีที่แล้ว +6

    Acha mambo ya simu

  • @veronicacharles2427
    @veronicacharles2427 5 ปีที่แล้ว +1

    Lov u Tira

  • @AW-vt9pw
    @AW-vt9pw 4 ปีที่แล้ว

    Tira una muonekano wa kuvutia na kutamanisha kuanzia uso mwili hata sauti yako inavutia sana na wakati ukicheka 🌹❤️

  • @jescamaro6226
    @jescamaro6226 5 ปีที่แล้ว +2

    Da tira weee lv uuu sqnaaa napenda xo😍

  • @albinishirima6981
    @albinishirima6981 5 ปีที่แล้ว +12

    Wewe mdada hata mm umenikera mtu anazungumza na ww halafu unachezea simu kama mtoto haupo serious na kaz yako hata huyo docta anaona unamzarau kwa kile anachokizungumza kua attention na kaz yako😠😠😠

  • @fundijabir1234
    @fundijabir1234 5 ปีที่แล้ว +4

    Mpemgeni nafasi yakuongea

  • @zeyanaali5746
    @zeyanaali5746 5 ปีที่แล้ว +5

    Unaongea sana we dada mpe nafasi uyo mkaka na yy unamkatisha kuongea so annoying 🤨

  • @veronikakasuke148
    @veronikakasuke148 3 ปีที่แล้ว

    Duh rekebsh Tabia iyo

  • @beatricemunisi3748
    @beatricemunisi3748 2 ปีที่แล้ว

    Ujumbe mzuri

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 5 ปีที่แล้ว +3

    Huyu Tira hajui kaz yake maan badal ya kuulizwa aubwasilisha mad mtaala ajibu yy ndio anajibu sa alimualik wa nn😒😒😒😒😒😒😏😏😏

  • @mtegamohammed1460
    @mtegamohammed1460 5 ปีที่แล้ว +5

    hi Doc, kuna jambo hili ambalo; kawaida hasa ya wanaume kipindi cha kumchumbia wanawake huonesha tabia ambazo ni tofauti na uhalisia ulivyo. wewe doctor hapa una ushauri gani?

  • @mariamelia8688
    @mariamelia8688 5 ปีที่แล้ว +5

    Uko vzr but hiyo swala la simu unataka kuharib.....unamtoa mtu kwenywe mtirirko mzur wa mawazo

  • @makulaikuku6909
    @makulaikuku6909 5 ปีที่แล้ว +3

    simu weka pembeni tutizame kipindi kizuri

  • @shery553
    @shery553 ปีที่แล้ว +1

    si heshima n ni tabia mbaya wakati mtu anaongea na kujitahidi kupeana mafunzo ya maana kisha una concentrate kwa simu ,unamdhalilisha muongezi ,unawonesha kua anachokisema si la maana ,,, jirekebishe dada stop behaving like a spoilt brat ,, video ungechukua kabla ama baada ya show , we r trying to concentrate wwe unaanza kufanya visarakasi ,, production mfikishieni ujumbe

  • @estermgaya5816
    @estermgaya5816 5 ปีที่แล้ว +8

    Uwe unampa nafasi ya kuongea zaidi coz unataka tujifunze ww unaongea zaidi ya unaemhoji

  • @upendomwalupogo462
    @upendomwalupogo462 5 ปีที่แล้ว +1

    Hpo kweli jmon uhitaji wa mtu wako unakua nae na hamu htree

  • @TundaEmanuel-ns8kj
    @TundaEmanuel-ns8kj 7 หลายเดือนก่อน

    We Tira unajua km unafanna na Vera sindika sura sio shepu😂

  • @sistersade9039
    @sistersade9039 5 ปีที่แล้ว +4

    Yaani Vipi unakua bussy Na simu wakati Dr yuwazungumza kukujibu suala ulouliza? very annoying and unprofessional attitude, wakati wewe ndie mwenye program. Dr anaonesha hilo jambo linamkera, sema hawezi kukwambia!

  • @rufinasamwel1457
    @rufinasamwel1457 5 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo CD nisiikose jmn dada Tira

  • @zanzibaronlytv3470
    @zanzibaronlytv3470 5 ปีที่แล้ว +8

    Hili demu halijui kuilendesha kipindi coz anamuondoa huyu jamaaa kisaikolojia ktk kuelezea jambo

  • @uwingeneyeshadia7697
    @uwingeneyeshadia7697 5 ปีที่แล้ว +3

    We dada uko kwenye interview na mtu wewe ndo umemtafuta alafu unaanza kujiselfisha iyo sm yako nimpya ao ndo ya kwanza unamiliki we ni shoti kabisa sijuwi ni ushamba wakazi ao kuonekana mitandaoni? alafu ulie mwita anakushangaa ulivyo kosa haya unamwambia endelea pumbafu we, nilicho ona wewe nimkosa adabu uko kwenye kazi apo siyo kujiselfisha kwenye interview

  • @raifamussa1522
    @raifamussa1522 4 ปีที่แล้ว +2

    kipindi kizuri dada ila unaharibu kitu kimoja unafocus na simu zaidi your a not concentrate with your presentation jifunze nini maana ya presentation skills. Utazidi kufika level za kina kina #redtabletalk #therealdaytime #wendyshow #oprahshow...ukijitahidi kufanya hayo nitakuwa shabiki wako wa kwanza na famili yangu nzima watafollow page zako..Pull up Dada.

  • @aishahussein3879
    @aishahussein3879 5 ปีที่แล้ว +3

    Unajirecod nn wakati tayari unarekodiwa acha kumchanganya Dr pia punguza mboyoyo unaongea sana kuliko Dr kama unayajua sana kwann unaita washaur? acha kiherehere

    • @jacksonmathayo6510
      @jacksonmathayo6510 5 ปีที่แล้ว

      Kweli mjinga sana huyo dada ni bora aache Kaz kabsa

  • @maloqueen1160
    @maloqueen1160 4 ปีที่แล้ว +1

    Hufanyii poaa naiyoo sim yako madam

  • @annethmaleko1024
    @annethmaleko1024 5 ปีที่แล้ว +1

    Ilaaaa punguza kujirekod plz maana kunaondoa umakin wa somo

  • @irenedominick2297
    @irenedominick2297 4 ปีที่แล้ว +3

    Mamy unaongea sana
    Do the introduction ya unaehost nae mada and the mada yenyewe then acha mtu aongelee mada yake sasa unajua kabsa tym ya kpnd chako ni ndogo but 🙄🙄 unaongea had
    Change baby other wise kipind chako ni baddest

  • @irakozeazza7470
    @irakozeazza7470 4 ปีที่แล้ว +2

    Jitaidi kuwa unaweka sim pembeni wakati upo kwenye kazi

  • @mtegamohammed1460
    @mtegamohammed1460 5 ปีที่แล้ว +3

    Kwa nini hali hiyo imechukua nafasi kubwa katika jamii zetu?

  • @ignasbukombe8175
    @ignasbukombe8175 5 ปีที่แล้ว +3

    Unataka badae ukaweke WhatsApp status

  • @swaibamavoo5179
    @swaibamavoo5179 5 ปีที่แล้ว +2

    Unaboa na sim yako

  • @mauahussein9833
    @mauahussein9833 5 ปีที่แล้ว +2

    wewe mbona haujirekebishe kila siku unakosolewa dada jielewe na kazi yako

  • @sylviemutwale9527
    @sylviemutwale9527 5 ปีที่แล้ว +1

    Ichi kipindi kinaburudisha

  • @issaabdi9129
    @issaabdi9129 5 ปีที่แล้ว +4

    ushamba nae ni shida sasa simu ya nn

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 5 ปีที่แล้ว

    Hapa tatizo badala ya kujadili mada kwenda kweny mada anaanza kujielezea yy hisia zake

  • @sistersade9039
    @sistersade9039 5 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣mwisho program imekua kuzungumza hisia zako binafsi?😜
    Unazingua dada😃

  • @mtegamohammed1460
    @mtegamohammed1460 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwa wanawake wengi wanatendwa na wanume kipindi wana ujauzito?

    • @kingleejr2085
      @kingleejr2085 5 ปีที่แล้ว

      Achasimu mambo yakujirekodi ukimaliza

  • @estermwita6157
    @estermwita6157 4 ปีที่แล้ว

    Tira unaboa na hiyo cm yako

  • @ashaabdi2490
    @ashaabdi2490 5 ปีที่แล้ว

    So unprofessional with the phone.

  • @ziadasalim8807
    @ziadasalim8807 5 ปีที่แล้ว +1

    punguza kujikoboa

  • @jacksonchimomo554
    @jacksonchimomo554 4 ปีที่แล้ว

    Wew Dada huna Adamu kabisa hufai hata kuolewa mwanaume anaongea mbele yako Wew unachezea sim Acha ushamba pumbavu

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira  4 ปีที่แล้ว

      Sawa we mwenye adamu uko wapi?
      Njoo basi na wewe utufundishe basi

    • @hopechidera
      @hopechidera 4 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣sasa adamu ni nini tena🤣🤣🤣🤣

    • @mwasitiiddy7425
      @mwasitiiddy7425 4 ปีที่แล้ว

      The XO Show umpe nafas mgen aelezeee

    • @saumusanjiama6991
      @saumusanjiama6991 2 ปีที่แล้ว

      @@mwasitiiddy7425 🤣

  • @makulaikuku6909
    @makulaikuku6909 5 ปีที่แล้ว +2

    simu weka pembeni tutizame kipindi kizuri