Ongereeni sana sana mnaongelea maisha ya watu wengi,lakini ongeeni kiswahili sahihi acheni kizungu,mbona mchungaji EZEKIEL wa kenya anaongea kiswahili tu,!!
kweli mnajiita watumishi wa Mungu alafu mnashangaa Mungu kujibu maombi ya ma lesbian? Mbona hamshangai Mungu kujibu maombi yetu sisi waongo, wazinzi, walevi , mafisadi n.k !! Mungu huwanyeshea mvua wema na waovu, Mungu anachukia DHAMBI ila hamchukii MTENDA DHAMBI! na anatusubiri sote turejee tobani
Ulikuwepo?? Au nawewe unadakia uliyoyakuta mitandaoni?? 😂😂😂😂😂 Kwanini hamuwezagi kusikiliza Tu kipindi bila kuwaza watu na maisha yao mazuri wewe huna hata mia 😂😂😂😂😂.
Mama mwanamme hatapata mtu wa kumfanya feel like a man ndio wale huwa wanakuja kuwa wanawake na kuingia kwenye mapenzi ya jinsia moja kwa nini lazima awepo mtu wa kukufanya ujisikie kama mwanamme wakati wewe tayari ni mwanamme ina maana uanamme unatengenezwa na mtu mwingine na sio nature ulivyo zavyozaliwa?
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
Du😢😢
sukambi yupo vizuri kwa kweli somo zuri sana!!
Ongereeni sana sana mnaongelea maisha ya watu wengi,lakini ongeeni kiswahili sahihi acheni kizungu,mbona mchungaji EZEKIEL wa kenya anaongea kiswahili tu,!!
Na ndo mana uislam unamtaka mwanamke kukaa nyumbani na mwanaume amhangaikie kwa kila kitu
Nimependa hapo mwisho, ni kweli sio Mungu ndo anawajibu ....
Asante kwa mafundisho nimesaidika🎉🎉🎉
Ametalk sense kabisa
Pastor Deo umejibu vema issue ya Lesbians. I agree with you 💯 %
Wasn't boring for me. Nimejifunza
Mungu anajibu kila mtu 🎉🎉
Shikamoo Mr DEO
JAMANI TULIKI MISS SANA KIPINDI. NEXT TIME MLETE CHRIS MAUKI
Mbarikiwe sana watumish
Golden voice # Lilian Mwasha💪
Jamani tunaomba mpunguze au mtoe hiyo background sound/music. Binafsi napata shida kusikiliza kinachosemwa.
Nimejifunza kitu 👏👏👏
Umeniona mm
😮uko kunena kwaa lilian ndo kunaniachaga hoi😅😅😅😅😅
Mungu anisamehe ila huwa naona km ni kitu tu ambacho amekizoea😂, sio kunena kwa maana ya kunena kweli
Nakwambia cjui anajua na maana yake😅
THAT'S Deo Sukambi...
Sijui huujumbe utaupataje.mshirikiane kujenga hili
kweli mnajiita watumishi wa Mungu alafu mnashangaa Mungu kujibu maombi ya ma lesbian? Mbona hamshangai Mungu kujibu maombi yetu sisi waongo, wazinzi, walevi , mafisadi n.k !! Mungu huwanyeshea mvua wema na waovu, Mungu anachukia DHAMBI ila hamchukii MTENDA DHAMBI! na anatusubiri sote turejee tobani
Doctor mwaka next time
Ukiachia hao akina dada je nani anafikiri jana dhambi na anastahili kujibiwa na Mungu, Mungu habagui mtu
Sukambi yupo vizuri sana lakini tumemmiss Dr Ellie utuletee jamani
Bila Dr. Elie kwa kweli hapanogi
❤❤❤
Kama naona ishu ya mke wa masanja na katibu yanahadiliwa kinamna!!😊
Ulikuwepo?? Au nawewe unadakia uliyoyakuta mitandaoni?? 😂😂😂😂😂 Kwanini hamuwezagi kusikiliza Tu kipindi bila kuwaza watu na maisha yao mazuri wewe huna hata mia 😂😂😂😂😂.
Wanaumiza sana sitaki hata kuwa sikia uchungu nilionao munguvanajua
Dada mie Ni mmoja wa hao wanao chukia wanaume sana lla s
HUYU DADA ANAPENDA MAPENZI😂😂😂😂
Mapenzi ndiyo habarii ya mjin
Positive content🔥🔥🔥
❤
Mama mwanamme hatapata mtu wa kumfanya feel like a man ndio wale huwa wanakuja kuwa wanawake na kuingia kwenye mapenzi ya jinsia moja kwa nini lazima awepo mtu wa kukufanya ujisikie kama mwanamme wakati wewe tayari ni mwanamme ina maana uanamme unatengenezwa na mtu mwingine na sio nature ulivyo zavyozaliwa?
😂😂😂😂😂
Ilikuwa bored. Tuletee mauki then turudishie Dr Elie