MWANAMKE MAKINI HUMDAKA MWANAUME HIVI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
- Kutoka AL FATAH TV .
Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
#AlfatahTvOnline
#AlfatahCharitableAssociation
#ZANZIBAR
Jazakallah kher wote mulioleta hiki kipindi,ila nampenda sana dada mwezangu Allah akubariki na akulinde
Dah namaliza MB kwa hivi vipindi vyenu Masha Allah mko vzr mnoo mwanamke usafiii .
Mashaallah uko vzr mama Allah akulipe kila la kheir
MashaAllah Somo mtoto na Sheikh Rashid muko sawa 🎉🎉🎉❤
Mashallah SoMo mtoto upo vizur kipindi nakipenda Sana sheh Rashid mw mungu akupe nguvu zaid kipindi kizid kupendeza zaid
Alhamdulillah yarabi nafurahia kipindi asanti natoka kongo mji wa beni
Jaman nafatlia sana ahsanten kwa mafunzo ila hapo kwenye nywele imebd nicheke, Na ni kweli jaman
Maashaallah mungu awape afya muzidi kutuelimisha
Watching from kenya 254
SOME MEN ARE DIRTY IN BODY N IN HIS HABITS ALSO😢! NOT ALL THE MEN! BUT MANY OF THEM!😢! N VERY FEW ARE GOOD N CLEAN N FAITHFUL IN HIS MARRIED❤ WITH LOVES N CARES❤
Mashaallh nimejifunza kitu
Ndoa nzur ila umpate alokua yupo tayar
Somo ni zuri tukifatilia kipindi hiki hakika ndoa zitakaa sawa
MashaAllah somo mtoto upo vizur Allah akuzidishie ❤❤❤
Sio dini tunaishi kimazoweya
Sasa somo ntapataje manukato maudi mbona niko mbali ila huwa nawatu kampala sijui unaweza uka vifikisha hapo nijuje
Tunaomba no za huyu dada
Mke wa mtu huyo
WHAT ABOUT THOSE WOMEN HAVE CURLY HAIR!? NEVER GROW BIG!? SO U WILL DEVORCES N MARRIE ANOTHER!? BEC. OF HER HAIR ONLY! N NOTHING ELSE ABOUT HER!??😢 MOST AFRICAN HAVE CURLY HAIR CANT GROW BIG! MAN N LADY THEIR HAIR ARE SHORT N NOT GROW BIG!😢 WHEN U LOVE❤ THE PERSON! LOVE THE WAY SHE IS! OR HE IS! GOD MADE HER N HIM👍💞👌
SOME TIMES MEN CAME BACK HOME FROM WORK! BUT HE ALREADY DID SOMETHING WITH ANOTHER WEMAN N HE WILL ACT ONLY TO HIS WIFE HE LIKES N LOVES HIS WIFE! BUT HE IS NOT! JUST HE PRETANTS ONLY! MOST OF THE MARRIED BROKEN! BY THE HUSBAND THE WAY HE IS! HIS ATITUED OF TOO PROUD N TOO JEURI HE HIS THINK HE OWN THAT WIFE! N HE CAN TREATS HER THE WAY HE WANTS😢! SOME THEY HAVE TOO MUCH EGOS INSIDE IN THEIR HEARTS😢!
❤❤❤❤❤ kipindi pambee
😂naijua iyo ya devu Tamu sana.
Hawa Farasi ni Sehemu gani? Na jee naweza kupata contact zao?
Tutakupataje dada???
Pambe sana
THE REST ALL U TALK ARE RUBBISH! U GUYS!😢!
Inaonesha Huna unachokitafuta isipokuwa mume