Mpenzi wako hakuachi kama ukiyajua haya,..Darasa la bure.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @roseriakituku9750
    @roseriakituku9750 5 ปีที่แล้ว +26

    Asante kwa ushauri
    Nitajaribu kabiza kwa maneno n.a. vitendo. God bless me with a happy family,I Pray in Jesus Christ name.

  • @AsendeAndre
    @AsendeAndre 9 หลายเดือนก่อน +1

    Thank you very much ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ asante sana mama tunayafanyia kazi ubarikiwe

  • @dorineoyako4800
    @dorineoyako4800 5 ปีที่แล้ว +41

    😂😂😂😂wa kulia unakula,wa kushoto unakula🙌🙌🙌🙌

  • @halimaomar8087
    @halimaomar8087 3 ปีที่แล้ว

    Asante mama japokua cjaolewa ndio nakaribia kuolewa bac nimejifunza kitu asante sana

  • @brigitteyamungu3396
    @brigitteyamungu3396 5 ปีที่แล้ว +6

    Hahaahah😃😃😃 jamani nimecheka 😄😄 adi machoz yananitoka. Asante sana mama kwa mafunzo haya.

    • @Giveness-ce3hy
      @Giveness-ce3hy 5 หลายเดือนก่อน

      mama nimeipenda iyo

  • @juliusmatilya4025
    @juliusmatilya4025 5 ปีที่แล้ว +7

    Hongera sana Mama, kweli mwanaume Dhahabu kwa huduma hiyo! VIVA MAMA

  • @fatmawema572
    @fatmawema572 3 ปีที่แล้ว +19

    Nampenda sana huyu mama anamafunzo mazuri ubarikiwe mama

  • @tommytyga4417
    @tommytyga4417 5 ปีที่แล้ว +5

    I love this kipindi naitwa Tommy Tyga... Salute Dada Tira

    • @sintasmarty4974
      @sintasmarty4974 5 ปีที่แล้ว +1

      Du tommy sasa ujuzi umeshaujua nitakufanyiaje

    • @tommytyga4417
      @tommytyga4417 5 ปีที่แล้ว +1

      @@sintasmarty4974 0688455787 it's MA no.

  • @rizikihasan2198
    @rizikihasan2198 ปีที่แล้ว +1

    Wow nimependa sana nakufatiliy sana namimi nikijaliwa ndoa ntafatish ushaul wako ❤mung akulinde

    • @HappyCrescentMoon-ws8vj
      @HappyCrescentMoon-ws8vj 7 หลายเดือนก่อน

      😅kumbe nina wezangu tunawo sikiliza halafu hatujaolewa

  • @vipvip-zv7xv
    @vipvip-zv7xv 2 ปีที่แล้ว

    Shuqran jazzilah khery mungu akujalie umri ili uwez kutuelimisha inshallah..❤

  • @zainabumohammed8334
    @zainabumohammed8334 5 ปีที่แล้ว +30

    mama Angu Upo Sahihi But now Wanaume Wassaivi Ukiwafanyia Hivo Utaulizwa Kwani Vipi Unataka Kuniomba Nini Mbona Mbwembwe

  • @elizabethzephania6057
    @elizabethzephania6057 2 ปีที่แล้ว +2

    Aiseee!!!! Patamu hapo hongera mama Kwa mafunzo mazir 🌺

  • @majaliwamtemele4102
    @majaliwamtemele4102 5 ปีที่แล้ว +15

    Sio hawa wanawake watoto wa siku hizi maana unaweza ukawaoa woote na ukawaacha siku moja maana wao wanaume zao ni simu tu (smart phones) muda woote kwenye simu kujua umbea ya watu asiowajua wala kumjua tena walivyokuwa hawana adabu wanataka kukushirikisha na wewe kwa usiowajua.

    • @gloryavelin2583
      @gloryavelin2583 5 ปีที่แล้ว

      Majaliwa Mtemele kaka siyo wote wako hivyo

    • @chibochibz9917
      @chibochibz9917 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂🤣🤣🤣🤣

    • @moshiraelqady9513
      @moshiraelqady9513 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

    • @dorislema2465
      @dorislema2465 7 หลายเดือนก่อน

      Nyie wanaume mnajikutaga nani vile?mwanamke siyo mtumwa wako kama akikufanyia ivo na wew mfanyie ivo hakuna mtu ambae apendi raha

    • @salamasaidi6620
      @salamasaidi6620 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@dorislema2465😂😂😂😂😂😂

  • @samwelmagodi753
    @samwelmagodi753 3 ปีที่แล้ว +1

    😄😄😄😄 Kuna wanaume vichwa mama wewe hata ubaki uchi kama umenivuluga nakuvuruga kweli

  • @annahkimani344
    @annahkimani344 5 ปีที่แล้ว +9

    Haaahhh kali hio,but you only do that kama ako na shilingi....akija mkono mtupu tuna angaliana tu😅😅

  • @Ester-fp3pk
    @Ester-fp3pk ปีที่แล้ว +1

    Mhh mama ujakutana na wanaume wenye asila ata uwe wazi kias Gani jogoo hapand mtung, hata mfanyanye sio Hawa wanaume wa Sasa labda wazamani

  • @MwanaidyRashidy-i2k
    @MwanaidyRashidy-i2k 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akuweke nimekupenda bure ❤

  • @sitatinaomi5942
    @sitatinaomi5942 3 ปีที่แล้ว +2

    Mama nakuamini....tira hongera Kwa kumleta kwigi

  • @lovenessmathew7170
    @lovenessmathew7170 9 หลายเดือนก่อน

    Responsible man au mwanaume yeyote anapaswa kufanyiwa hivi 😂

  • @ednafiloteus5216
    @ednafiloteus5216 5 ปีที่แล้ว +21

    uwahiiiiiiiiii, mama unatufundisha mazuri tunayapenda kazi tunayafanyia ila kwa kweli hawa wanaume wa sasa uaminifu kwao ushapitwa na wakat kuchepuka kwao ndo kipaumbele Sijui hata wana nini uwiiiiiiiiii Mungu atuepushe tu STI'S

    • @janethkomba4485
      @janethkomba4485 2 ปีที่แล้ว +3

      wanaume km 👉🐓Ata uwawekee mchere ktk Sinia Ili wasichepuwe namchanga lakini SAWA nabureee🙆lazimaaa Atataka aparure nachini Mweeee🙄wamenishinda tabia❌

    • @jacklinebenjamine3936
      @jacklinebenjamine3936 ปีที่แล้ว

      😅❤🎺mama asnteee😆

    • @SidiAm-wn4vb
      @SidiAm-wn4vb ปีที่แล้ว +1

      Mmmmmmhhhhh mama hayo n kweli ila Hawa ndugu zetu sio

    • @rahimaessa2552
      @rahimaessa2552 ปีที่แล้ว

      ❤❤❤❤❤ Ahsante 👏 kipenzi Chang 🥰🥰🥰🥰

    • @abimelekifabian4047
      @abimelekifabian4047 ปีที่แล้ว

      ​@@rahimaessa2552😮😊😊😅😅😅plol lkkkkkkkkkkkkokkklklopopn

  • @KuvunaGonda-l4f
    @KuvunaGonda-l4f 9 หลายเดือนก่อน +1

    Haaaaaaaha asante mama nakupenda mnooo❤

  • @aminachiziamina
    @aminachiziamina 10 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mamake kwa usaha urii huoo

  • @rhinakiza
    @rhinakiza 5 ปีที่แล้ว +18

    Mashauri matamu kwa sisi abao atujaolewa😘

    • @Switielie
      @Switielie 9 หลายเดือนก่อน

      Umeona eeeeeh

    • @Zubeda-zx7wt
      @Zubeda-zx7wt 6 หลายเดือนก่อน

      Kwr shaa apo kama unahakili utajifunza kitu from🇧🇮🇧🇮

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 10 หลายเดือนก่อน

    Cha kwanza Mungu Sara na kazi ukikazana kumpetipeti mume bila kujua kuwa ndoa iliubwa bado kuachwa pamoja na hayo utaachwa

  • @salomegeorge7027
    @salomegeorge7027 5 ปีที่แล้ว +16

    Mwanamme hata umkunie nazi
    .umalaya wao huishi duniani..hata umpikie mkate wa sinia..tabia zao zile zile

    • @bettinajohn4985
      @bettinajohn4985 5 ปีที่แล้ว

      Jamn mama wafundishe maan sikuiz wanawk wanatak px xio kufundwa

    • @mgendimussa7224
      @mgendimussa7224 5 ปีที่แล้ว

      Nyie ndo hamfanyi hayo matokeo yake mbayaona maisha magumu na ndoa mby

    • @japharymsumule6550
      @japharymsumule6550 5 ปีที่แล้ว

      Salome George mhh

    • @davidnziku2492
      @davidnziku2492 9 หลายเดือนก่อน

      Kaa sio sio wote dada

  • @shtatsalfa1668
    @shtatsalfa1668 5 ปีที่แล้ว +6

    Hahaaaa asante mamaaaa!! Nakupenda bureeeee

  • @tausihasheem5169
    @tausihasheem5169 ปีที่แล้ว +1

    Something now...jmn mama unavituko wallah 😅😅😅😅

  • @zeyanaali5746
    @zeyanaali5746 5 ปีที่แล้ว +7

    Nataka ukande ukikunja siku ya kuachwa ikifika unamwagwa tu 😂😂

  • @sitihassan9439
    @sitihassan9439 5 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣🤣 Hongera sn bb kama namuona kungwi wng

  • @hassanparamana2215
    @hassanparamana2215 5 ปีที่แล้ว +24

    eti jangwani una pita pita 😀😀😀 I love u da ma hamisa natamani kipindi hiki mke wngu awe anakitazamaga maana kuna vitu vya nyongeza humu...mwarabu anasema ziada

  • @sarahmohamed337
    @sarahmohamed337 5 ปีที่แล้ว +8

    Nitaufanyia kazi ujumbe wako Bibi,ila Waume wasikuizi mitihani,wakutawamfanyia yote ayo,, na bado hakuthamini Wala hakujali,Ndoa Ni mitihani xikuizi.mwenyez" Mungu a2hifadhi.

  • @hasnatimazigo3492
    @hasnatimazigo3492 ปีที่แล้ว +4

    Mafunzo mazuri sana hakuna group la watsap jmn ili kupata hayo mafunzo zaidi

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira  ปีที่แล้ว +1

      Mafunzo ni kuwasiliana na nyakqnga mwenyewe.ila huyu hayupogi tena

  • @wycliffendege7785
    @wycliffendege7785 4 ปีที่แล้ว +1

    njoo kwetu kenya ujionee maajabu hivo mnavyo zungumza ni ndoto kwetu sie hatutambwi bora umwage uende ukabet

  • @ndaganoanastazia2658
    @ndaganoanastazia2658 5 ปีที่แล้ว

    Hayo ni ya bongo tu... kwa huku mko wote kazini mwatafuta hela ...hayo kwa huku mwanaume ndie ananiandalia...😆😆😆😆

  • @cissegabriel3074
    @cissegabriel3074 ปีที่แล้ว

    Jambo dada umeonge maneno sahihi Mungu akujalie nauendelee

  • @jamilamanariyojamila1487
    @jamilamanariyojamila1487 3 ปีที่แล้ว +3

    Wallah Mama mumenifurahish 🙌😍👍👌

  • @halimanindi8055
    @halimanindi8055 5 ปีที่แล้ว +1

    Dada nakupenda na nitazidi kukupenda zaidi sijaingia kwenye ndoa lakin mashaaala

  • @lazizerujanabose8802
    @lazizerujanabose8802 5 ปีที่แล้ว +6

    Mafunzo yahuyu Mama poa ila tatizo wanake wasasa wamekua wanaume kwa tabia ,sababu wakorofu saana na kusingizia sherti za haki na kusema, na wawo wanahaki na sio slaves, na ndio Mana mapenzi leo shiida.

  • @febroniamichu9046
    @febroniamichu9046 5 ปีที่แล้ว

    Ahahaa,hayo nahisi yalikua yazamn,wacku izi niziro tu..naumpate wakumfanyia hayo ,sasa mwanaume kukupigia cm au kukutumia msg nimala moja kwa mwezi,au akiwa nashida flan ndo anapiga kuuliza,hawezi kukumbuka kwamba huko nyuma nimemuacha mke wangu ngoja nimuandae mapema kwa vimeseji flan hivi vya mahaba,,sasa wewe hunifanyii hayo unafikili mi ntakufanyia.

  • @tausihasheem5169
    @tausihasheem5169 ปีที่แล้ว +1

    Sio kwa wanaume wa kibongo 😂

  • @jescajoseph3419
    @jescajoseph3419 5 ปีที่แล้ว

    ukute ana hasira zake kutoka kwa hawara ake..hilo teke au jicho utakalopigwa...hahahaaaa.....sio karne hii

  • @malaika4158
    @malaika4158 5 ปีที่แล้ว +6

    Hii pia imepitwa na wakati mum. sasa ni pamoja 00254 hatuwezi make hahaha lakini heshima kwako mama.

  • @glorywalter6895
    @glorywalter6895 5 ปีที่แล้ว +192

    😂😂😂😂😂🤣🤣kama umemuelewe twende sawa

  • @ummulkheirzubeir6320
    @ummulkheirzubeir6320 5 ปีที่แล้ว +10

    Mama nimekuelewa jmn nakupenda Burr asante kwa somo kungwi wangu

  • @airatkiyange3078
    @airatkiyange3078 ปีที่แล้ว

    ❤❤asantee viva mam nakupenda sana mam

  • @lucyjoseph6017
    @lucyjoseph6017 5 ปีที่แล้ว

    Ilikuwa rahisi kabla sijapata watoto, ila duuu saivi mtoto anafata kila kona mmmmh hahahaaaaa

  • @Laura-l6f
    @Laura-l6f 5 หลายเดือนก่อน

    Jaman na😂
    mpenz lakin gafula yup biz naumia San

  • @SbahHiai
    @SbahHiai 7 หลายเดือนก่อน

    Nimependa sana mafunzo❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @luqmanmwinyi7953
    @luqmanmwinyi7953 5 ปีที่แล้ว +1

    HAAHAAAHAAHAA haaaaa hee Mhh huyu kweli Mamamisaaa

    • @kaksridi6403
      @kaksridi6403 5 ปีที่แล้ว

      Maximum respect mamisaaa ndo kwamana na hishimu sana mwanamkeee

  • @catherinematoke2559
    @catherinematoke2559 5 ปีที่แล้ว

    Utaanza kumkanda kwenda kwa vidole akuite mchawi 😂😂😂 wanaume wa hekaya hizi ni tofauti sana na enzi zako mama

  • @coco_ve
    @coco_ve 5 ปีที่แล้ว +75

    Mama hayo mafunzo ni mazuri ila sio kwa karne hii kila mtu Yule busy kufanya kazi kupata chapaa hiyo muda kuosha miguu za kunuka hatuna,mijanaume yenyewe ya now days haina shukrani,hata upige acrobatic and be a porno star to him still litatoka tu kwenda kucheat.kwa kifupi mapenzi now days ni kama bongo flavor music siku mbili zimechuja..peee tusichoshane

    • @ndzmah47ali6
      @ndzmah47ali6 5 ปีที่แล้ว +1

      😀😀😀😀😀kweli kabisa zamani sio sai

    • @salomegeorge7027
      @salomegeorge7027 5 ปีที่แล้ว +3

      Hahahaha ha-ha aise I like yua point ...mme mmoja wanawake 20..na misuruali zafunguliwa zip na kila jangili

    • @fahmsaidi1010
      @fahmsaidi1010 5 ปีที่แล้ว +13

      Cyo kosa lako hujakutana tu na mwanaume ambaye anakupenda kiasi kwamba hata akiona wanawake wengine anawaona ni malaya tu! Au akawaona ni wabaya kwa jinsi anavyokupenda na wapo wengi sana ila kinachotokea ni bahat tu yakukutana nao

    • @sylviemutwale9527
      @sylviemutwale9527 5 ปีที่แล้ว

      Mh WW

    • @manasejames8404
      @manasejames8404 5 ปีที่แล้ว +1

      Sio wote

  • @violetgeorge5521
    @violetgeorge5521 2 ปีที่แล้ว +1

    Kkkkkk ila mama nime kupenda Bure from malawi

  • @UpendoEmanuel-cu5zu
    @UpendoEmanuel-cu5zu 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asanten imepenyaaaa iyooooo

  • @SamiaMdoe
    @SamiaMdoe 2 หลายเดือนก่อน

    asant mama nimepata darasa nzurmno

  • @mohamedkhamis1140
    @mohamedkhamis1140 5 ปีที่แล้ว +7

    Uyo dada mtangazaji nampenda sana sijui nitamuona wapi

    • @MtuSafi
      @MtuSafi 5 ปีที่แล้ว +2

      mohamed khamis clouds media ni department music clouds FM.

  • @nasrairunga7730
    @nasrairunga7730 5 ปีที่แล้ว +3

    Karneeeeee hiiii ht umnawishe kinyeo na ulimi ni kazi burrrreee😆😆🤦‍♂️

  • @farhatsuleymaan5625
    @farhatsuleymaan5625 5 ปีที่แล้ว +6

    Kwa ninachokiamini mimi
    "Hakuna mkate mgumu mbele ya supu"
    Sasa dadazangu tusilamu tu wanaume wa karne hii
    Je sisi wanawake wa karne hii je?
    Mi naamini kila kitu kinawezekana wanawake tubadili mienendo yetu....
    Nawatakia kila la kheri wanandoa
    Sio wapenzi maana wanandoa ndio wanapendana wapenzi tunadanganyana

  • @FrançoiseByiringiro
    @FrançoiseByiringiro 3 หลายเดือนก่อน

    Asante nashukuru saana

  • @HappyMathayo-t8n
    @HappyMathayo-t8n 5 หลายเดือนก่อน +1

    Haya mafunzo yananikosha Sana natamani Sana ndo angekuwa ananishauri Mimi Kila siku ubarikiwe mama

  • @OmanOman-sm6dv
    @OmanOman-sm6dv 4 ปีที่แล้ว

    Kungwi yupo vizuri 😂😂😂

  • @harrietajiambo229
    @harrietajiambo229 2 หลายเดือนก่อน

    Asante nimekuongezea sub dear

  • @nooornoor120
    @nooornoor120 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂asate mama kwamafunzo

  • @hamidhamiyanji
    @hamidhamiyanji 5 ปีที่แล้ว +11

    Waschna wa oshe mume mgu mume akitoka viyatu atoke kazini bibi yuko kwa mamake sagapi socks zi tolewe

  • @yunicejames4263
    @yunicejames4263 5 ปีที่แล้ว +49

    Mmmh je wamezetu wanalud saa6 uck tunafanyaje kuondok asubuhi kam upo pamoj namim gonga like twend sawa

  • @kaksridi6403
    @kaksridi6403 5 ปีที่แล้ว +2

    Mamisaaa wewe muhuni sanaaa but Naku hishimu sana mama nta mwambiya mkee wangu ajee umufunze

  • @JanethJaneth-b5f
    @JanethJaneth-b5f 9 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂Mikono yote inakulaaa ???

  • @rahmabenedicto6838
    @rahmabenedicto6838 5 ปีที่แล้ว +66

    Si kwawanaume wasasa hata ukifanya nn lazima litatoka tu

    • @juliethhenry2374
      @juliethhenry2374 5 ปีที่แล้ว +4

      Nilifanya yote mume anagubu

    • @joymasaki1657
      @joymasaki1657 5 ปีที่แล้ว +5

      Acha tuu kama wamerogwa wamevaa roho mbaya kama maibilisi utadhan amelazimishwa akuoe

    • @ibrahimamey3990
      @ibrahimamey3990 5 ปีที่แล้ว

      yafanyeni kweli muone atatoka mnasema tu

    • @jupiterbibi9630
      @jupiterbibi9630 5 ปีที่แล้ว +3

      Hata ukafanya nin kama hataki kuekwa at aenda tuu🙄🙄

    • @sophiashomari7896
      @sophiashomari7896 5 ปีที่แล้ว

      Yn

  • @lucygesimba7603
    @lucygesimba7603 9 หลายเดือนก่อน

    Haha😂😂😂 mtandioooo

  • @furahamudende6316
    @furahamudende6316 5 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante kwa maongezi,am learning

  • @tunnaika
    @tunnaika 5 ปีที่แล้ว +5

    Si Mapenzi tena hayo ni bizness na politics 🤪😀😀😀

  • @djrobie24
    @djrobie24 5 ปีที่แล้ว

    👀🔥hawajui visosi maslay queen aahahahhah #chama chao cha mapinduzi😇😇

  • @getrudegregory207
    @getrudegregory207 5 ปีที่แล้ว

    No comment huu ni mfumo dume ambao mwanaume tu ni yeye tu daa okey basi sawa

    • @gladymndala1061
      @gladymndala1061 5 ปีที่แล้ว

      Getrude Gregory 😂😂😂😂😂😂

  • @missjudytuwei3900
    @missjudytuwei3900 5 ปีที่แล้ว +6

    😄😄😄 you made my day

  • @zuwenayahya6767
    @zuwenayahya6767 5 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂shikamo bwana mkubwa nimejifindisha ki2

  • @salmasaidi2875
    @salmasaidi2875 5 ปีที่แล้ว +7

    Ahsante sana kwa mafunzo mazuri ya kiufundi 😘😘

  • @luqmanmwinyi7953
    @luqmanmwinyi7953 5 ปีที่แล้ว

    Haahaaha Dada Tiraa madaa km hizi zinamcgukuaaa km humini mchunguze Haahaaha

  • @jescamaro6226
    @jescamaro6226 5 ปีที่แล้ว +2

    Dada tira nakipenda sana kipindi chakoo... ❤❤

  • @jenipherclement2103
    @jenipherclement2103 5 ปีที่แล้ว

    Uko vzr mama ahsante kwa maneno mazur

  • @AminaSalim-i6j
    @AminaSalim-i6j 3 หลายเดือนก่อน

    Tatizo nkwamba wanaume zetu hawatupi fursa yakuwahudumia😢 sababu sisi ndio wataftaji wakubwa😂😂 mtu utaa kwenye karai wauza viazi mpaka saanne usiku 🥺

  • @annyrutty657
    @annyrutty657 5 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂 Chama chetu Cha Mapinduzi 😂😂😂

  • @florencejames-jo1cz
    @florencejames-jo1cz 8 หลายเดือนก่อน

    Hv haya mafunzo kwaajili ya kizazi cha 2024 au 2030 mwanamke wenyew wanasemaje huko 😂😂😂😂

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira  8 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣🤣🤣 kizazi cha 2000 hakijui mapenzi,wanarukiana tu

  • @marypaul8908
    @marypaul8908 5 ปีที่แล้ว

    Majendj na majuu tenaaaaah👌 hahaha ataondka yy Asante mama

  • @Kennedy-g6r
    @Kennedy-g6r 6 หลายเดือนก่อน

    Hongara mama kwa mafunzo

  • @FatmaAli-p8f
    @FatmaAli-p8f 10 หลายเดือนก่อน

    Heee mashallah❤❤❤😂😂

  • @jasminignas2034
    @jasminignas2034 5 ปีที่แล้ว +1

    Dah, Sio Kwa Wanaume Wa Sasaiv Hatareeee Tn Pasua Kichwa Hata Humpe ..... Hatatok Tu uuuuuu

  • @hijrakassim304
    @hijrakassim304 2 ปีที่แล้ว

    Tuungieni group jmn❤❤

  • @lovemonjemonje5777
    @lovemonjemonje5777 5 ปีที่แล้ว +3

    Onyesha mzigo😂😂😂😂😂😂😂

  • @faustapetro5051
    @faustapetro5051 3 ปีที่แล้ว

    Saw mama ila ndoa ilikuwa exi.xizo

  • @CatherineUpendo
    @CatherineUpendo 7 หลายเดือนก่อน

    Ushauri mzuri tatizo wote wapambanaji hayo utayafanya saa ngapi

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira  7 หลายเดือนก่อน

      Inaweza ikawa Mara moja moja sio lazima kila siku

  • @gloryjane4147
    @gloryjane4147 5 ปีที่แล้ว +5

    Nan kasikia chama kikongwe gonga like twende sawa😂😂😂👆

    • @na0m1fes51
      @na0m1fes51 5 ปีที่แล้ว +2

      jane mbwilo 😂😂😂

  • @marymaomar7592
    @marymaomar7592 5 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂nakukubali

  • @KarimyussufuYussufuKarimmane
    @KarimyussufuYussufuKarimmane 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kwasisi ambao Waume zetu ukiongea karibu anakwambia acha shobo ukimvuwa shati anakwambia mwenyewe anaweza kuvuwa

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira  9 หลายเดือนก่อน

      Hivyo hivyo kidogo atazoea,nimapenzi mapya kwao,na siku zote huwa hawajuagi kujieñeza,ni namna yao yakusikia haya

  • @emk6360
    @emk6360 5 ปีที่แล้ว +1

    Ningependa kupata mwanaume anayependeka nimfanyie haya yote.

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira  5 ปีที่แล้ว

      Wapo,nikuwa na Imani tu,kunawatu wanasema hakuna wakuoneshwa haya pamezi lakini mm nakataa.kiukweli wapo.

  • @sh4138
    @sh4138 2 ปีที่แล้ว

    Tumeelewa mpo wengine??? 💃💃💃

  • @deusmauka9626
    @deusmauka9626 5 ปีที่แล้ว +5

    Wanawake wa sasa ni jeuri, wabishi, wajuaji, mapenzi hawayawezi, wanawaza pesa muda wote utawasikia kwa kauli zao, eti mwanaume hata umfanyie nini anatoka tu, huo wote ni ujinga wa kuongozwa na hofu ya kuachwa. Wajibikeni na mjiamini.

  • @mulhatjamal6678
    @mulhatjamal6678 5 ปีที่แล้ว

    Sadkta ...nmefurahi kwamawaidha mazuri...ahsanthum

  • @fatimaharoon8218
    @fatimaharoon8218 4 ปีที่แล้ว

    Iyo ndoa naifikiria..... Acha nisafiri Warabuni mpaka nife koma

  • @salmambarouk3481
    @salmambarouk3481 2 ปีที่แล้ว

    Habari bi kungwi Mimi Nina binti nalea lakini anajasho Kali Kama naomba ushauri

  • @sarahwario9787
    @sarahwario9787 5 ปีที่แล้ว +1

    Heheheee... Karne hii kila mmoja ako busy kazini Nani atamkanda Nani....

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 5 ปีที่แล้ว

      Na Mimi nimesema labda tubembelezane sio Mimi tu kufanya

  • @abdillahiabdallah7530
    @abdillahiabdallah7530 ปีที่แล้ว

    aaah waanza kula ndo ule au utakula kwanza