MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - AZAM TV 10/07/2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ค. 2024
  • Azam TV
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 24

  • @MiriamMwanyelo
    @MiriamMwanyelo 18 วันที่ผ่านมา

    Azam TV hongera kwa kuinua Mpira wa tz Azam TV Burudan kwawote

  • @user-ik6yl2ky7u
    @user-ik6yl2ky7u 18 วันที่ผ่านมา +1

    A ziz ki kumbe yupo basi mambo yapo ❤❤❤❤

  • @PeterMalunde-pn4rf
    @PeterMalunde-pn4rf 18 วันที่ผ่านมา

    Mtangazaji wewe uko vizuri,tena ukiwa na wachambuz,na kipenga chamwisho honger

  • @user-ig8iq1ho4o
    @user-ig8iq1ho4o 18 วันที่ผ่านมา +2

    Kher minallah

  • @hirallychicco987
    @hirallychicco987 18 วันที่ผ่านมา +1

    Jamaa walijinasibu kwa watapita naye shwaaasaa😂😂

  • @JafaliChamenda-xj3yn
    @JafaliChamenda-xj3yn 18 วันที่ผ่านมา +1

    Kazi ipo🔑yupo kumbe

  • @dastopadady2402
    @dastopadady2402 18 วันที่ผ่านมา

    Yanga daima mbele nyuma mwiko🎉

  • @Seleman.msekwa
    @Seleman.msekwa 18 วันที่ผ่านมา +1

    Kazi wanayo

  • @GervasDomnik
    @GervasDomnik 17 วันที่ผ่านมา

    Ni kilangilo mdenge nipo nguruka aziziki ndani ya nyumba ya wananchiiiiiiiiiiii

  • @alisalmin512
    @alisalmin512 18 วันที่ผ่านมา

    AZAM TV HONGERA KWA KUINUA MPIRA WA TANZANIA KWA KIWANGO KIKUBWA. AZAM BURUDANI SANA.

  • @barackmoses7003
    @barackmoses7003 18 วันที่ผ่านมา

    Mtangazaji uko vizuri

  • @EdwardKisota
    @EdwardKisota 18 วันที่ผ่านมา +1

    Aziz Ki akiwaacha Yanga hivi hivi. Majin watamsumbuwa. Kwa akili ya kawaida. Huwezi kuacha million 97 za Warabu. Halafu ukubali million 35 ya Yanga

  • @EdwardEzekiel-nl9kv
    @EdwardEzekiel-nl9kv 17 วันที่ผ่านมา

    Yanga hii Tim sijui itakueje

  • @NassoroSipemba
    @NassoroSipemba 18 วันที่ผ่านมา

    Muachieni kocha kwani hiyo ndio kazi alio isomea.

  • @EldaMwamanda
    @EldaMwamanda 17 วันที่ผ่านมา

    0:32 Simba baba

  • @JumaSelemani-yp6bw
    @JumaSelemani-yp6bw 18 วันที่ผ่านมา

    Ligi ianze jamani

  • @JosephJackson-r6k
    @JosephJackson-r6k 16 วันที่ผ่านมา

    Yanga mbele

  • @mohamedkashindi7689
    @mohamedkashindi7689 18 วันที่ผ่านมา

    Muumba ibariki yanga

  • @SaidiTenge
    @SaidiTenge 17 วันที่ผ่านมา

    Nenda ukamhoji mayele Tena 😅😅😅😅😅

  • @user-iz3hs8jl5p
    @user-iz3hs8jl5p 18 วันที่ผ่านมา +1

    hamsa nyingine kuanzia ngao ya jamii

  • @IbrahimMmalugu-gw8jl
    @IbrahimMmalugu-gw8jl 18 วันที่ผ่านมา +2

    Timu Gani yanga amewahi kuipiga magoli 6au7 kwenye makundi Hana lolote kutoka droo na mamelod nikama kipofu kaonamwezi na nchi wataijangia Sana yanga kwenye bacheti

    • @AkidaYusuph-hw1ke
      @AkidaYusuph-hw1ke 18 วันที่ผ่านมา

      Tatizo wivu

    • @user-pn8bw4wp6r
      @user-pn8bw4wp6r 18 วันที่ผ่านมา +1

      Acha kuish Kwa kukarir

    • @user-np4om6hz4m
      @user-np4om6hz4m 18 วันที่ผ่านมา +1

      Tatizolako umefeli somo la hesabu iulize timu ya simba 5+2 utapata jibu la swali lako