VITASA | Mussa Mareges vs Seleman Kidunda | CDF CUP 27/07/2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024
  • Tazama jinsi bondia Seleman Kidunda alivyoibuka na ushindi wa pointi dhidi ya Mussa Mareges, pambano la raundi tatu.....
    Ni katika mashindano ya majeshi Tanzania #CDFCup2024 , vitasa vikipigwa kambi ya Twalipo, Dar es Salaam.

ความคิดเห็น • 38

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sele siyo bondia mzuri
    Zimetua sana ngumi

  • @gabrielmsuta868
    @gabrielmsuta868 2 หลายเดือนก่อน

    Wote wanajesh hii ni show wameonesha 💯

  • @alexkajerelo5571
    @alexkajerelo5571 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu bondia kampa challenge nzuri Sana kidunda

  • @MwazoaMwazoa
    @MwazoaMwazoa 2 หลายเดือนก่อน +6

    Kidunda ni mpenda ngumi.Hata Akija na suti mazoezini Akiambiwa Acheze Sparing Atacheza hata na suti yake

  • @RabunaHuseni
    @RabunaHuseni 2 หลายเดือนก่อน

    Nakubali kaka kidunda chapa uyo

  • @georgemawale9548
    @georgemawale9548 2 หลายเดือนก่อน

    Kilo 10 ndani ya miezi 3 huyu kidunda discipline hana

  • @StanleyMakunzo
    @StanleyMakunzo 2 หลายเดือนก่อน

    Kidunda kawa bonge sana

  • @mtengwadj9390
    @mtengwadj9390 2 หลายเดือนก่อน

    Champion

  • @MwanaNgurumo
    @MwanaNgurumo 2 หลายเดือนก่อน

    Hapa rafiki yangu kidunda ni 50/50

  • @twalibmakau8380
    @twalibmakau8380 2 หลายเดือนก่อน

    Tusemen ukweli
    Ki performance kidunda yipo juu anakwepa, anemone, anamchi
    Na hata kub score pia

  • @nuhhumwakanyamale4771
    @nuhhumwakanyamale4771 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hv nyinyi wachambuz huwa mnakunywa mbege? Maana mnachokiongea na tunachoona haviendani

  • @KennedyNgusa
    @KennedyNgusa 2 หลายเดือนก่อน

    Kidunda mbona Kama kachezea ?

  • @SAIDTWALHATA
    @SAIDTWALHATA 2 หลายเดือนก่อน

    Kidunda kapewa tuu kutunza heshima yake ila kapigwa vizuri tuu, ngumi za mopinzani zte zimetua usoni mwake .

  • @bonifacelyimo7835
    @bonifacelyimo7835 2 หลายเดือนก่อน

    kidunda anabebwa sanaaaaaaaaa

  • @agpoison1
    @agpoison1 2 หลายเดือนก่อน

    Ndio maana nasema Tanzania bondia ni mwakinyo tu

  • @frankangosetravel7011
    @frankangosetravel7011 2 หลายเดือนก่อน

    Kuna ngumi hapo ingempata kidunda basi ingekuwa ndio mwanzo wa kutengeneza jeneza

  • @KiongoziMwandamizi
    @KiongoziMwandamizi 2 หลายเดือนก่อน

    Kidunda mbona kanenepa hvo, hii ilikua drawn bhana dogo yupo vzuri

  • @amourjuma5405
    @amourjuma5405 2 หลายเดือนก่อน

    Kodunda yuko levuli ya Mandonga

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 2 หลายเดือนก่อน +1

    hii ya mda kabla kidında hajaingia profesion boxing hapa
    ilikuwa Amarture

    • @fazeelshomary8743
      @fazeelshomary8743 2 หลายเดือนก่อน +2

      Si unaona hapo 2024 na tare 27/7/2024🤣🤣

    • @dazandavie9466
      @dazandavie9466 2 หลายเดือนก่อน

      Hayo ni mashindano ya majeshi

    • @IpyanaMsabaha
      @IpyanaMsabaha 2 หลายเดือนก่อน

      Cdf cup ayo mashindano mapya ya mjeshi 😂😂😂uyo jamaa sio mfatiliaji kakurupuka

    • @AdelaJohn-h1p
      @AdelaJohn-h1p 2 หลายเดือนก่อน

      Unaona kabisa Kidunda umri umeenda

    • @modestusmayowa-vc4gj
      @modestusmayowa-vc4gj 2 หลายเดือนก่อน

      Huyo afande anaepgn na kidunda Yuko vzur San,natamani angepewa yul msouz Wa kidunda acngetamba.Jamaa mzur sana

  • @IsmailChambuso
    @IsmailChambuso 2 หลายเดือนก่อน +1

    Alipotea t

  • @seifbalawa8537
    @seifbalawa8537 2 หลายเดือนก่อน

    Sio fear

  • @zahiruhamisi4162
    @zahiruhamisi4162 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani uyu ndo Kidunda ninaemjua mm au mwingne!!!

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo 2 หลายเดือนก่อน

      Anapiga sparing tu

    • @nuhhumwakanyamale4771
      @nuhhumwakanyamale4771 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@GibsonNtamamiloIlo unajua wewe chawa wake, hujajibu swali la msingi.

    • @RamadhaniSuru
      @RamadhaniSuru 2 หลายเดือนก่อน

      Hapa naona kidunda alikuwa hana mudi nahii mechi

  • @AdamuJuma-tp1xr
    @AdamuJuma-tp1xr 2 หลายเดือนก่อน

    Hii yalini tena

  • @saluuhans
    @saluuhans 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kindunda angestahafu ngumi tu

  • @AbdallahSaid-e1r
    @AbdallahSaid-e1r 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂

  • @sheyosquad5755
    @sheyosquad5755 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amna kitu apo BWANGA anawaua wote apo