SAM APAGAWA NA KICHAPO CHA YANGA | YANGA TUWAPE JINA LINGINE WANATISHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 42

  • @issamlibwa9398
    @issamlibwa9398 2 หลายเดือนก่อน +12

    Sam ww ni mchabuz bora unaongeaga kimpira nikwel simba kwa sasa ni ngen huwez ongelea timu hujaion🔥🔥🔥🔥🔥

    • @brownmasai774
      @brownmasai774 2 หลายเดือนก่อน

      Na ukiisha usema ukweli ondoka huko. Njoo kwa Wananchi huku maisha ni "full kiyoyozi", Brother.

  • @FredySawani-w7m
    @FredySawani-w7m 2 หลายเดือนก่อน +3

    Unachambua vizuri sana,ila hiya nick Yanga.sio Daresalam yanga Africans

  • @swabrikhamis6327
    @swabrikhamis6327 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kila siku zinavyo songa unazidi kua improve kimaongezi uko vizuri

  • @MikidadiKambinda-tr6rl
    @MikidadiKambinda-tr6rl 2 หลายเดือนก่อน +5

    Asante. Sana. SAM. Simba. Nyie. Wawili. Tu. Wasema. Kweli. Yaani. Wewe. SAMI. Simba. Na. Mchomeee. Mapovu. Na. Mimi. Nasema. Hivi. Ukweli. Wenu. Utawaweka. Huru

    • @jumannemwakalinga2586
      @jumannemwakalinga2586 2 หลายเดือนก่อน +2

      Sam, Mchome, Miraji na Mzee Saidi ni wakweli, wanachambua mpira vizuri

    • @hassansalum2572
      @hassansalum2572 2 หลายเดือนก่อน

      Mchomee sio Simna

  • @janethmsangah8374
    @janethmsangah8374 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sam wew ni msema ukwel cku zote japo wanakuona adui mungu ajulinde Sam kaka

  • @DenisSanga-bj5ud
    @DenisSanga-bj5ud 2 หลายเดือนก่อน +4

    Sam nakufuatilia sana nipate madini ya mpira mm ni simba ila nilianza kupenda mpira kwwnza tupo pamoja

  • @saidiallahuakbarmliatangu2004
    @saidiallahuakbarmliatangu2004 2 หลายเดือนก่อน +3

    We saam na mchome kwakweli nawakubali nyinyi niwachambuzi namnaujuampila hamuweki ushabiki mnasemaukweli wa kile mnachokiona kogolekwenu

  • @prosperludovick2667
    @prosperludovick2667 2 หลายเดือนก่อน +5

    Lkn Sam possession alikuwa nayo chiefs
    Nabi bado ameonyesha taswira halisi ya chiefs ijayo

  • @stevensosipita
    @stevensosipita 2 หลายเดือนก่อน +7

    NA SIMBA HUKO MISRI ASHAPIGWA NA TELECOM TIMU DARAJA LA 3

    • @brownmasai774
      @brownmasai774 2 หลายเดือนก่อน

      @@stevensosipita Hilo ndo la kuvunda tena na kwa jezi hiyo ndo wameshajichulia msiba. Unajichongeaje coffin "coffin" kabla hujafa!?

  • @sylivesterm.mazigo2440
    @sylivesterm.mazigo2440 2 หลายเดือนก่อน +1

    Well said

  • @yusuphbenjaminkugaiwa7608
    @yusuphbenjaminkugaiwa7608 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kwa kuongezea Sam mimi ni mwana michezo hasa mpira lkn naamini unachokisema maana shida ya bongo ukisema ukweli tu basi wewe ni adui wa taifa

  • @juliusmachaku
    @juliusmachaku 2 หลายเดือนก่อน

    Makini

  • @HamadZahoro
    @HamadZahoro 2 หลายเดือนก่อน

    Nakukubali sana broo Sam mpira unaujua

  • @yusuphbenjaminkugaiwa7608
    @yusuphbenjaminkugaiwa7608 2 หลายเดือนก่อน +2

    Upo sawa tu kaka kwakua wewe siyo mtabiri

  • @Jackson-xv6dn
    @Jackson-xv6dn 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yan mi apa ndo sielew uyu jamaa ni simba au yanga daaa nakuelewa sana mwambaaa

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 2 หลายเดือนก่อน

    Simba wanacheza gizani..inabidi uwe na macho paka kuwaona.

  • @DoreenMlay-e8g
    @DoreenMlay-e8g 2 หลายเดือนก่อน +1

    hawa ndo wachambuzi wa mpira hawana mambo mengi

  • @NdayishimiyeEvelyne-ws6ts
    @NdayishimiyeEvelyne-ws6ts 2 หลายเดือนก่อน

    Uyu baba nimwana michezo kamili

  • @magrethmakauki235
    @magrethmakauki235 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sam apewe mauwa yake.

  • @ShabaniMasimba
    @ShabaniMasimba 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kweli kaka

  • @MwazambaMicrofinance
    @MwazambaMicrofinance 2 หลายเดือนก่อน

    Umeongea kisport sana Mkuu🔥🙏

  • @TumsifuLema
    @TumsifuLema 2 หลายเดือนก่อน

    Yanga hatari

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 2 หลายเดือนก่อน

    Nashauru tar 8, Simba itafute sabab yoyote isipeleke team uwanjan, itawagawanya tena 100%, itakua sikukuu ya wakulima na ya Yanga Duniani.

  • @MateusAmerico-k4l
    @MateusAmerico-k4l 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yani yanga wapewe maua yao tu tuache unazi

  • @yusuphbenjaminkugaiwa7608
    @yusuphbenjaminkugaiwa7608 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yes upo sawa kaka

  • @brownmasai774
    @brownmasai774 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sam, unapoteza muda wako hao wanasikia je, wanaelewa? Soma Qur'an: 2:171.

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 2 หลายเดือนก่อน

    Kama yeye ni Yanga sasa mnamfuatilia kwa ukweli wake?

  • @kalikenechota8606
    @kalikenechota8606 2 หลายเดือนก่อน

    Mwaikimba hakua na nyota yakupendwa,kuna mech moja yanga alicheza na zesco mashabiki wakaanza kumzomea na kumshawish mwalimu jack chamangwa amtoe na chamangwana akamtoa zesco wakapata nafas yakupanda kila mala na wakapata gol matokeo yakawa 2-1

  • @brownmasai774
    @brownmasai774 2 หลายเดือนก่อน +1

    DUA ZIMESOMWA:
    Sawa Kwani Dua humrejeshea al marhum uhai? Kama ni kufa, Simba ndotayari. Esha kufa, andaeni matanga watu tukae wanne wanne! Shughuli ni 8/8 Masheikh tukutane Lupaso.

    • @fatmaally7252
      @fatmaally7252 2 หลายเดือนก่อน

      Kaaaaaah jamani

  • @abedymtore2707
    @abedymtore2707 2 หลายเดือนก่อน

    Nasoma coment apa

  • @geniustechnologytz
    @geniustechnologytz 2 หลายเดือนก่อน

    Jamaa anaongea kama chumvi nyingi...

  • @amanilupembe9788
    @amanilupembe9788 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka nda timiza ahad sio mda

  • @hamisramadhan-eb3ie
    @hamisramadhan-eb3ie 2 หลายเดือนก่อน

    😅😅

  • @aishaadam9933
    @aishaadam9933 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akujalie kwa kulijua sok sio kama kisugu anaongea ongea tu

  • @FabiolaTriphon
    @FabiolaTriphon 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe niyanga kilasiku tunakufatilia

    • @magrethmakauki235
      @magrethmakauki235 2 หลายเดือนก่อน +1

      Yanga kivip?anaongea ukwel hajaiona timu ya simba ikicheza. Au wewe umeona?

  • @Evance-op4jw
    @Evance-op4jw 2 หลายเดือนก่อน

    wewe ni mtu wa mpira