NONGWA ZA MSIMU (Ep 3) | Simba bila Chama; Kambi ya Yanga Avic Town; Mashabiki washikana mashati

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • MASHABIKI WASHIKANA MASHATI | Ni Episode ya tatu ya #NongwaZaMsimu iliyoruka Julai 14, 2024 , mashabiki wakivutana mashabiki wakivutana mashati kuhusu mada ya Clatous Chama kuhamia Yanga na mambo yanayojiri kwenye kambi ya Yanga, Avic Town, ambako Singida Black Stars pia wamejichimbia.
    Je, Simba bila Chama na Azam bila Dube itakuwaje!!?
    Tazama mashabiki walivyochuana... vinara wakiwa ni Mwalimu Yanga na Kisugu wa Simba.
    Nongwa za Msimu ni kila Jumapili saa 3:30 usiku na Rais wa Nongwa, Jamal Abbas Doddy.

ความคิดเห็น • 236

  • @alishaplate6290
    @alishaplate6290 หลายเดือนก่อน +31

    Namkubali sana huyu mzeee walah konga laiki hapa

  • @MeddyRaymond
    @MeddyRaymond หลายเดือนก่อน +15

    😂😂😂😂😂 Watu woote tunamsikiliza mzee said

  • @huseinbusaba5064
    @huseinbusaba5064 หลายเดือนก่อน +35

    Kwa wanokubali kipindi cha nongwa za msimu tujuane kwenye like❤

  • @kimmusic7090
    @kimmusic7090 หลายเดือนก่อน +13

    Mm kiukweli aliye nogosha huu mdaharo ni mzee sadi nampendaga sana

  • @Bquality
    @Bquality หลายเดือนก่อน +4

    Asante kwa kutuletea mzee saidi napenda kumona alivyo mbishi khaaaa😅😅😅

  • @kefangendwa3336
    @kefangendwa3336 หลายเดือนก่อน +8

    Mzee said😂😂😂🎉❤❤

  • @youseph-tz
    @youseph-tz หลายเดือนก่อน +6

    Mzee said💥💥

  • @elishajohn455
    @elishajohn455 หลายเดือนก่อน +11

    Nilivyoona picha ya mzee said tu, nikachoma ndani npate burudanii😅

    • @angellomarcel5677
      @angellomarcel5677 หลายเดือนก่อน +1

      Mzee Said ni Sumu sana..💪💪

  • @youseph-tz
    @youseph-tz หลายเดือนก่อน +6

    Mzee said🔥🔥🔥🔥

  • @user-hs5nm1il8j
    @user-hs5nm1il8j หลายเดือนก่อน +5

    Mnafurahisha sana endeleeni

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 หลายเดือนก่อน +5

    Mzee saidi 😂😂😂😂 kubali sanaaa

  • @maimunaathumani9121
    @maimunaathumani9121 หลายเดือนก่อน +7

    Mzee saidi nakukubali

  • @SaidSalum-fl9mb
    @SaidSalum-fl9mb หลายเดือนก่อน +4

    Mzee saidi 💯💯💯

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy หลายเดือนก่อน +8

    Hapo station ukifanya masihara waweza kuchelewa job aisee😀😀

  • @rynesawaya7043
    @rynesawaya7043 หลายเดือนก่อน +2

    Tupo hapa kwa ajil ya mzee said 🔥🔥🔥🔥

  • @jimmymakwega3872
    @jimmymakwega3872 หลายเดือนก่อน +6

    Duh, hilo zengwe mimi mwenyewe hoi😂😂

  • @elizabethmgassa7243
    @elizabethmgassa7243 หลายเดือนก่อน +3

    Mi ni yanga lakini nampenda sana mzee saidi huwa ananifurahisha sana

  • @JolotaErastoJuma
    @JolotaErastoJuma หลายเดือนก่อน +10

    Mzee said atatuua kwa fulaha ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @user-qo6qv6mc5p
    @user-qo6qv6mc5p หลายเดือนก่อน +2

    Rahaaaa sana mzee said jmn

  • @soudally1448
    @soudally1448 หลายเดือนก่อน +4

    Mzee side wa motoo 🔥🔥🔥

  • @thomasgunje7640
    @thomasgunje7640 หลายเดือนก่อน +2

    Mzee said MAN OF THE MATCH

  • @IddiIddikassim
    @IddiIddikassim หลายเดือนก่อน +4

    Hizi team ukiangalia kwa ukaribu zimekaaa kisiasa sana,mpira umefunga akili za watu sana aisee,hasa hizi simba na yanga

  • @user-jg6ks5yd5x
    @user-jg6ks5yd5x หลายเดือนก่อน +4

    Hichi kipindi sio poa Asanter azm Muna ubunifu wa hali ya juu

  • @fatmasaaed144
    @fatmasaaed144 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂😂 mzee saidi khaaaaà

  • @amosmgaya4240
    @amosmgaya4240 หลายเดือนก่อน +5

    Kwa Mzee said mmetishaaa san azam

  • @SmilingCherryDumplings-np2wl
    @SmilingCherryDumplings-np2wl หลายเดือนก่อน +3

    Kazi

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 หลายเดือนก่อน +5

    Simba dam❤

  • @Hancy_barrow
    @Hancy_barrow หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂mzee saidi nimecheka kwa sautiii

  • @JenniferMjie
    @JenniferMjie หลายเดือนก่อน +7

    Mzee said😂😂😂

  • @jumamkuchutito1121
    @jumamkuchutito1121 หลายเดือนก่อน +6

    😂😂😂😂😂mzee said ukirudi tu sauti hana daah

    • @AlexMangena
      @AlexMangena 14 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 หลายเดือนก่อน +10

    Big up sana DODI unatufurahisha sana..Creativity nzuri sana ya kipindi lkn punguzeni Makelele yataleta kutokuheshimiana...

  • @PetroEmmanuel-v2b
    @PetroEmmanuel-v2b หลายเดือนก่อน +3

    Kiukwel hiki kipind kimenikoshaa sana❤

  • @SuleimanJuma-dv8gt
    @SuleimanJuma-dv8gt หลายเดือนก่อน +7

    Hichi ndicho kipindi bora chamizo Azam tv

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 หลายเดือนก่อน +4

    🎉yanga rushwa sanaaa

  • @ahmedalsaadi7108
    @ahmedalsaadi7108 22 วันที่ผ่านมา

    Good yanga💚

  • @HemedSeleman-qs4rh
    @HemedSeleman-qs4rh หลายเดือนก่อน +1

    Baba Dodi hlo jambo kubwa sana bonge la creativity naomba niongezee kdogo hapo kaka hcho hcho kjwe kinabid kiwe na magazine ya michezo ya cku huska pamoja kijewe cha kahawa

  • @fesalhumud6762
    @fesalhumud6762 หลายเดือนก่อน +4

    Mwanaume 1 tuu Mzee saidi😂😂😂

  • @isackphilipo5132
    @isackphilipo5132 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤ i like this guess

  • @ChangaNdorobo
    @ChangaNdorobo หลายเดือนก่อน +8

    Mzee said ananifulahusha sana la

  • @suleimansalum4049
    @suleimansalum4049 หลายเดือนก่อน +3

    Mzee Said bhanaah😂😂😂

  • @bahatisanga8664
    @bahatisanga8664 หลายเดือนก่อน +4

    Ila mzee SAID bwana nampenda bure

  • @Nkwera9186
    @Nkwera9186 หลายเดือนก่อน +3

    Mbona mzee magoma simuoni hapa

  • @user-cw8yt9pr8j
    @user-cw8yt9pr8j หลายเดือนก่อน +5

    Mze said chukuwa mahuwa Yako💐💐💐💐

  • @JolotaErastoJuma
    @JolotaErastoJuma หลายเดือนก่อน +4

    Mzee said kanogesha mdahalo sana

  • @komboarts7110
    @komboarts7110 หลายเดือนก่อน +2

    Mwenye kazi Hana akili kichwani ana takwimu za watu😅😅😅

  • @HamzaMduda
    @HamzaMduda หลายเดือนก่อน +5

    Mjadara mzuri

  • @user-mw5xs2wx8n
    @user-mw5xs2wx8n หลายเดือนก่อน +2

    Watovu wa nizamu fc😂😂😂wazee African

  • @mitanakadorho2356
    @mitanakadorho2356 หลายเดือนก่อน

    Asanteni saana jameni kweli tumeburusishwa na hiki kipindi, woote waliochangia mubarikiwe

  • @HamisMathias-b9u
    @HamisMathias-b9u 21 วันที่ผ่านมา

    Yanga

  • @abasschuru3755
    @abasschuru3755 26 วันที่ผ่านมา

    Mjadala uko vizuri

  • @YustinaMasatu
    @YustinaMasatu 23 วันที่ผ่านมา

    Mzee said bhana dah 😂😂❤

  • @abelimaganga417
    @abelimaganga417 หลายเดือนก่อน +3

    Kuwa shabiki wa Simba ni bahati kubwasana watu wa Simba ni waelewa mnooo na mpira wanaujua🦁🦁🦁🦁

    • @wizzyfernando8655
      @wizzyfernando8655 หลายเดือนก่อน

      Mzee saidiii😂😂😂😂

    • @ammyulediuledi5977
      @ammyulediuledi5977 หลายเดือนก่อน

      @@wizzyfernando8655 🦁🦁🫶🫶

  • @NavukaTV
    @NavukaTV หลายเดือนก่อน +5

    kipindi kizuri sana. kiendelee

  • @nasraahmed5834
    @nasraahmed5834 หลายเดือนก่อน

    Jamani mnatufurahisha wanayanga

  • @samleadertz5280
    @samleadertz5280 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa mara ya kwanza nacoment mzee said kanifanya nicheke bila kujizuia mzee hatar

  • @AmirliAmirli-p1z
    @AmirliAmirli-p1z หลายเดือนก่อน

    Hutubia km unahutubia serikali... Mzee said checheiiiii

  • @user-qo6qv6mc5p
    @user-qo6qv6mc5p หลายเดือนก่อน +1

    Mzee said oyee

  • @MeddyRaymond
    @MeddyRaymond หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂Mzee said ❤❤❤❤❤

  • @mecklion4710
    @mecklion4710 หลายเดือนก่อน +2

    Mzee saidi yupo ki shariii na ki vita vita 2 😂😂😂

  • @RichardHenjewele-gs8rk
    @RichardHenjewele-gs8rk หลายเดือนก่อน

    Aaaaaah side kapatikana 😊😊😊😊😊😊😊

  • @salimrajab3266
    @salimrajab3266 หลายเดือนก่อน +4

    BONGE LA SHOW. HONGERENI WATANI😄🤣

  • @BrackPetharm
    @BrackPetharm หลายเดือนก่อน +1

    Mada ya chama haiishi wallah 😂😂😂😂😂ikiisha inaanza upyaa😅😅

  • @komboarts7110
    @komboarts7110 หลายเดือนก่อน +2

    Hicho kimwalimu kinatinyanga kina mihemuko 😅😅😅

  • @RabsonSalmon-ys7bf
    @RabsonSalmon-ys7bf หลายเดือนก่อน

    Mzeee saidi oyeeeee

  • @SuleimanJuma-dv8gt
    @SuleimanJuma-dv8gt หลายเดือนก่อน +3

    Mwalimu yanga😂😂, utamuuwa mzee saidi😂😂😂

  • @albabaly8297
    @albabaly8297 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani mzee magoma awepo

  • @halidmauga96
    @halidmauga96 หลายเดือนก่อน +2

    Doddy anaendana na mada na jukwaa lenyewe

  • @bonnytv9263
    @bonnytv9263 หลายเดือนก่อน +1

    God yanga anaongea kishabiki

  • @DulaMudi
    @DulaMudi 27 วันที่ผ่านมา +1

    m bado Simba inajipanga m sijuwi rini itakaa viziri

  • @SmartOman-lp9uj
    @SmartOman-lp9uj หลายเดือนก่อน

    Mzeee saideeeeeeeeeeee😅😅😅😅😅❤❤❤❤❤

  • @nasirabdalla8646
    @nasirabdalla8646 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi Yanga Ila mpenzi mwenzetu wa Yanga dosa kuongea mpira hajui bana

  • @bugybuster5788
    @bugybuster5788 24 วันที่ผ่านมา

    Mngekua mnatumia nguvu kubwa km hii kwenye dini raha sanaa

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 หลายเดือนก่อน +2

    Kipindi kimechangamka 🤗🤗🤗🤗🤗

  • @user-zp3ek4cj5i
    @user-zp3ek4cj5i 19 วันที่ผ่านมา

    Doddy kazi anayo ap😂😂😂

  • @LuckyTemu
    @LuckyTemu หลายเดือนก่อน

    Mwalimu Yanga ana kitu🔥🙌🏽

  • @RebiamMwilike-ru8te
    @RebiamMwilike-ru8te หลายเดือนก่อน

    Daaaaaaaah kunawatu wako hapo duuuuu

  • @danielchamoto9376
    @danielchamoto9376 หลายเดือนก่อน

    Kimtu kimevaa hadi kanzu lkn hakina akili😅😅

  • @farajikitihu4558
    @farajikitihu4558 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu😂😂😂😂😂 Big up

  • @magambochaz609
    @magambochaz609 หลายเดือนก่อน +2

    Mashabiki wa yanga Leo ndo wanajua chama ni bola 😂

  • @magdalenapeter4851
    @magdalenapeter4851 หลายเดือนก่อน

    Ila Mzee said 😂😂😂😂😂😂 kipind kinanoga Sana ❤❤❤

  • @hamiduadm1629
    @hamiduadm1629 6 วันที่ผ่านมา

    Huyu mwalimu atafelisha sana wanafunzi

  • @gosachumatv
    @gosachumatv หลายเดือนก่อน +3

    Mwalimu Yanga watakuja kumpiga eti Simba alifungwa goli 90 nimecheka sana aiseee

  • @AngelMwalukunga
    @AngelMwalukunga หลายเดือนก่อน

    Sikiliza kwa makina mwalimu

  • @FatmaJumawazir
    @FatmaJumawazir หลายเดือนก่อน

    Anakwambia chama tena na shule😂😂😂😂😂 mzee said

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel หลายเดือนก่อน +1

    Dobi huwe na filimbi,na kadi
    Za Njano,Nyekundu,Nyeusi na nyeupe

  • @arlindozacarias4588
    @arlindozacarias4588 หลายเดือนก่อน +3

    Vocês Tanzanianos discutem o futebol como deve ser, por isso em termos de Ckubes estao indo para outro nivel daqui 2 anos estarão no mesmo nivel do Egito

  • @AbdillahNassor-ku9eo
    @AbdillahNassor-ku9eo หลายเดือนก่อน +2

    Tunaomba gb64 aalikwe hapa

  • @user-qo6qv6mc5p
    @user-qo6qv6mc5p หลายเดือนก่อน

    Mzee said hahahahahahahhaha

  • @jofreymwampamba1236
    @jofreymwampamba1236 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂 dah Mzee side anachekesha

  • @adelamtenjele9391
    @adelamtenjele9391 หลายเดือนก่อน

    Mzee Said punguza jazba baba

  • @wizzyfernando8655
    @wizzyfernando8655 หลายเดือนก่อน +1

    Mashabiki wa simba waliopo apo mzee said ty nd anaakili

  • @RichardHenjewele-gs8rk
    @RichardHenjewele-gs8rk หลายเดือนก่อน

    Mzee side daaaa anateseka sana chama😂😂😂😂

  • @NiceMussa
    @NiceMussa หลายเดือนก่อน +1

    Alafu mmiliki wa avic sio club ya yanga team yoyote inaruhusiwa kwenda

  • @farajikitihu4558
    @farajikitihu4558 หลายเดือนก่อน

  • @adelamtenjele9391
    @adelamtenjele9391 หลายเดือนก่อน

    Mzee Said kipindi hakimfai Kwan anajazba sana

  • @Evance-op4jw
    @Evance-op4jw หลายเดือนก่อน +1

    simba bila chama haiwezekani😂😂😂😂

  • @jjpenternumztz
    @jjpenternumztz หลายเดือนก่อน

    Mm ananichekesha dodi😂😂😂

  • @nasraahmed5834
    @nasraahmed5834 หลายเดือนก่อน

    Hao Bado wanamhitaji chama ndo maana ukimtaja chama wanapiga sana kelele

  • @SmartOman-lp9uj
    @SmartOman-lp9uj หลายเดือนก่อน

    Yan Leo ndio mnakubali chama yanga mnatia aibu

  • @aliabdulrahman1202
    @aliabdulrahman1202 หลายเดือนก่อน +1

    Next mjadala yanga wanavyo muongelea chama kama kaesaedia simba wanaeza muongelea fei km kaesaedia yanga