YUKO WAPI MLINZI WA MAGUFULI?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024
  • Wakati enzi za utawala wa Rais DK John Pombe Magufuli katika timu ya walinzi nyuma yake alisimama mtu mmoja makini sana, mtu ambaye mbali na kutoongea chochote kile lakini alipendwa na kujizolea umaarufu mkubwa nchini. Mtu huyu alisifika kwa umakini wake na sura ya kibantu iliyoonekana kuwa makini na kazi yake.

ความคิดเห็น • 11

  • @mohamedsimba-t3i
    @mohamedsimba-t3i หลายเดือนก่อน

    Ulale. Kwa amani magu

  • @ChrissChristopher
    @ChrissChristopher 13 วันที่ผ่านมา

    Kafulia mbona hakulinda kifo kisimchue

  • @poyomakomba5634
    @poyomakomba5634 3 หลายเดือนก่อน

    jamaa nilimpenda sn huyo alikuwa anajua kazi yake haswaaa

  • @mgenifilm
    @mgenifilm 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pamoja san mkuu

  • @poyomakomba5634
    @poyomakomba5634 3 หลายเดือนก่อน

    aishi sn mwamba huyu!!

  • @SalehKatto
    @SalehKatto 3 หลายเดือนก่อน

    Karudi kwao

  • @mrenjoyfootball8403
    @mrenjoyfootball8403 4 หลายเดือนก่อน

    Good job

  • @leonarddamian
    @leonarddamian 4 หลายเดือนก่อน

    Siyo mlinzi ni mpambe

  • @flaviankitowa5439
    @flaviankitowa5439 4 หลายเดือนก่อน

    Natamani kumuona lakini siamini kama ataonekana tena

    • @chrismzia
      @chrismzia 3 หลายเดือนก่อน

      Yupo mbona,nimtu sipo sana hanamakuu na mtuu

  • @juliusjoseph6320
    @juliusjoseph6320 4 หลายเดือนก่อน

    Ufala surA inawatia kiwewe acheni ujinga ila kwakuwa mnatakaka views ok ila mnafanya ushambA