NIMEDANGANYA SANA SASA BASI INATOSHA| UKWELI HUMUWEKA MTU HURU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Rexy, amekutana na mume wake mtarajiwa kupitia mtandao wa kimahusiano. Ameeleza ugumu wa kusema ukweli juu ya wapi wamekutana kutokana na mtazamo wa online dating kwa watu wengine wanaotuzunguka.
    Ameeleza ndoto yake na namna alivyoipambania kuhakikisha anatimiza lengo.
    Enjoy and Learn !
    Thank you Rexy for allowing this to be online
    www.oda.international

ความคิดเห็น • 95

  • @user-wt7mm9lx8i
    @user-wt7mm9lx8i 10 หลายเดือนก่อน +5

    Mm mwenyewe mumewang nlimpata fb

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 ปีที่แล้ว +2

    Rex is very smart, endelea hivyohivyo utafika mbali, kazi kazi kazi muhimu sana mwanamke kuwa na kipato chako hata iwe laki 3 kwa mwezi ni yakwako,kwanza mwanaume anakuheshimu sana ukiwa na chanzo chako cha kipato mnashirikiana na majukumu it feels good.Rex ukihamia DK ukitulia mambo yakakaa sawa nakwenyewe kachape kazi/business/youtube etc

  • @CarolineSimon-zz5ed
    @CarolineSimon-zz5ed ปีที่แล้ว +7

    Kwakweli sio yeye pekeyake anaogopa kusema tupo wengi...IPO siku nitakuja Kwa interview dada

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  ปีที่แล้ว +2

      Woow i am happy to hear this
      Karibu sana tusaidie jamii yetu.. niandikie whatsapp +4367764790884

    • @BerthaKihanga-qd5hy
      @BerthaKihanga-qd5hy ปีที่แล้ว +1

      Big up sana mrembo Shennah.

  • @priscillachristiansen4331
    @priscillachristiansen4331 4 หลายเดือนก่อน

    Tunapenda unavyoleta watu positive na wenye brain.👌🏾🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @rosestigeneriksson8387
    @rosestigeneriksson8387 3 หลายเดือนก่อน +1

    Eti wazungu sio wambea hao ndio nummer one kwa umbea

  • @glorymasy7687
    @glorymasy7687 ปีที่แล้ว +5

    Napenda sama interview za shena jmn
    Big up dear 😘

  • @user-yp1if8qm5s
    @user-yp1if8qm5s ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda mno ❤❤ kingine nawaomba msada natamani mzungu ila kiingereza hamna najifunza Sasa ivi je nitakuja gufanikiwa.

  • @cathypeter
    @cathypeter ปีที่แล้ว +6

    Hongera dada unajitambua kazi ndio kila kitu ata uwe umeolewa na malaika

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 ปีที่แล้ว +2

    Shenna tunaomba muelezee namna ya kutumia hii online dating jamani. My dya we wish

  • @user-iz9ci4rs3d
    @user-iz9ci4rs3d 10 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli mnatujiza mengine mnoo Ahsanten acha nijifunze zaid

  • @CarolineSimon-zz5ed
    @CarolineSimon-zz5ed ปีที่แล้ว +3

    Wow

  • @milkanjeri
    @milkanjeri 8 หลายเดือนก่อน

    Big up ladies,,,dating site utatusaidia wengi asante kwa ushauri wenu.

  • @AgnesinSweden
    @AgnesinSweden ปีที่แล้ว +2

    Wow hongera sanaa Rex, its always not easy!!

  • @janethrichard2748
    @janethrichard2748 ปีที่แล้ว +2

    Nafurahia interview zako . Zinatufundisha sana

  • @swettyagy4921
    @swettyagy4921 ปีที่แล้ว +2

    Woww soon nitakuita namm tufanye interview napend San kpind chako ❤

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  ปีที่แล้ว

      Wooow thank you so much ❤️ karibu sana sana, i am very thrilled and waiting

    • @ashurajuma2024
      @ashurajuma2024 ปีที่แล้ว

      @@OfficialDatingAssistance napenda sana kufanya interview na wewe

  • @user-xj6rk8nv1k
    @user-xj6rk8nv1k 11 หลายเดือนก่อน +1

    I like you guys natamani namimi nifanye intervi😢 na da sh

  • @marykisoka4233
    @marykisoka4233 ปีที่แล้ว

    Hongera sana shena unazidi kutufundisha sana ubarikiwe rafiki

  • @twahaissack7887
    @twahaissack7887 4 หลายเดือนก่อน +1

    mm mke wang ananiuliza unapenda hizi interview bundle linaishiaa kwa shenaaa

  • @helinahenry2363
    @helinahenry2363 ปีที่แล้ว +2

    Wow!!,hogeraa,
    M kila nkijiunga inashndikana😢,cjui nakosea wapi!!

  • @mariamahmad8261
    @mariamahmad8261 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana my shenn napenda kufatilia vipindi vyako natamani nikupati ukiwa online

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  ปีที่แล้ว

      Ahsante sana.. nashukuru nipo dear karibu sana kwa ukurasa wetu wa instagram

  • @benjaminwabenga9068
    @benjaminwabenga9068 ปีที่แล้ว

    Aki fanya harusi hapa Danmark iki wezekana wani alike.

  • @cassiedamiyan9304
    @cassiedamiyan9304 ปีที่แล้ว +5

    Shoga angu umenifanya nitamani interview😂😂😂

  • @neemaseiler1122
    @neemaseiler1122 7 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤

  • @jacklinemrina456
    @jacklinemrina456 ปีที่แล้ว +1

    Kila siku muda relax naangalia video @shena

  • @neemalawrence6458
    @neemalawrence6458 ปีที่แล้ว +1

    Wow....my...hongera sana sana

  • @FamtamAli-vl2wx
    @FamtamAli-vl2wx 8 หลายเดือนก่อน

    Mm naomba nitafute mchumba ni mm ni mwanamke nina myaka 29 nipo Tanzania dar

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna wazungu matajiri, kuna wenye maisha ya kawaida ,kipato cha kati nk
    Km bongo tu

    • @allthingdranabeauty
      @allthingdranabeauty 4 หลายเดือนก่อน

      Nikweli kam bongo tu Muhimu kam mnapendana pesa mtatafuta wote

    • @ELIZABETH-uz6dv
      @ELIZABETH-uz6dv หลายเดือนก่อน

      ​@@allthingdranabeauty❤❤❤❤mimi nimepacha mchina na sasa tunaishi Beijing kikubwa Upendo tu.

    • @allthingdranabeauty
      @allthingdranabeauty หลายเดือนก่อน

      @@ELIZABETH-uz6dv kweli

  • @AshaMohamed-ib4le
    @AshaMohamed-ib4le 9 หลายเดือนก่อน

    Interview nzuri san

  • @alexharriskajjubi1914
    @alexharriskajjubi1914 ปีที่แล้ว

    Kama mentality yako ni hivi basi wewe na ulaya mutakua marafiki sana. Siku unapata kibali chako cha kuka denmark 🇩🇰 utambia: karibu den ila hapa ni kazi nenda kafanye kazi

  • @Riyovlogs789
    @Riyovlogs789 ปีที่แล้ว +3

    Mambo ya co wife😅 mnakutana airport mnasubiri mtu mmoja wote

  • @Evakibira
    @Evakibira 8 หลายเดือนก่อน

    haki majitu ndio wengi.. imagine

  • @user-od7le6vt5v
    @user-od7le6vt5v 10 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda sana dada😘😘😘

  • @happinessaaron245
    @happinessaaron245 7 หลายเดือนก่อน

    Dada, do you by any chance know this site ya Eharmony?

  • @majutoeliasi
    @majutoeliasi 11 หลายเดือนก่อน

    Dada zetu wanapenda sana wazungu kuriko wafrika sijui kwanini akati wawo wabaguzi sana wakiwa kwawo

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  11 หลายเดือนก่อน

      Sio wote
      Wabaguzi hata nyumbani Tanzania wapo kibao wamejaa

    • @immaculateakilimali7220
      @immaculateakilimali7220 10 หลายเดือนก่อน

      Sababu watu weusi wamezidi sana uongo,mwanaume mmoja anachumbia wadada hata wanne kwa mara moja,watu wamejichokea na uongo.

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 10 หลายเดือนก่อน

      Sio wote ...
      Lkn pia mmh,wabongo mnatupiga sana matukio😅

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@immaculateakilimali7220🤣🤣🤣

    • @mwajutailor820
      @mwajutailor820 3 หลายเดือนก่อน

      Wabongo wengi ni waongo

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 10 หลายเดือนก่อน

    Rehema ana akili
    Ila nimecheka eti alikuwa kimya ,sa kaomba acc ya nn😂

  • @user-wt7mm9lx8i
    @user-wt7mm9lx8i 10 หลายเดือนก่อน

    Hvyo watu watuache t hvyo wasituseme vibaya

  • @helinahenry2363
    @helinahenry2363 ปีที่แล้ว +1

    Naomba kuelekezwaaa wapendwa wangu

  • @mauasama43
    @mauasama43 ปีที่แล้ว

    naomba kujua namna ya kulipa pesa

  • @janembalinga7074
    @janembalinga7074 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu dada wa leo ameongea kitu ambacho watu wengi wanafanya wapoteze wanaume

  • @PureSoul-rf4xd
    @PureSoul-rf4xd ปีที่แล้ว +1

    Nitafanye je hili nijiunge na hizo sites za kumpata mzungu

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  ปีที่แล้ว

      Karibu darasani

    • @hidayaswai3119
      @hidayaswai3119 ปีที่แล้ว

      Hilo darasa ni la aje dada. Najiunga vipi. Shenna nimetuma text sana naomba unijibu please

    • @hidayaswai3119
      @hidayaswai3119 ปีที่แล้ว

      ​@@OfficialDatingAssistanceshenanigans tusaidie namna ya kuingia darasani

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 10 หลายเดือนก่อน

    1month kukutafuta
    4 mont ndo kuja kuonana 🙌🤣
    Sio mchezo lzm uwe mvumilivu

    • @ELIZABETH-uz6dv
      @ELIZABETH-uz6dv หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @mariamswedy4291
    @mariamswedy4291 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤ good interview da shena

  • @kemiivani2353
    @kemiivani2353 ปีที่แล้ว +1

    Nipe namna ya kupata mzungu

  • @abm9624
    @abm9624 11 หลายเดือนก่อน

    Nitainga aje dating siþe

  • @helinahenry2363
    @helinahenry2363 ปีที่แล้ว +1

    Nina hyo site ya Afro lakin nashndwa kujiunga jmn daah😭😭

  • @user-qo8eu1br6f
    @user-qo8eu1br6f ปีที่แล้ว +1

    Nakipenda sn hiki kipindi

  • @user-sn3gh7bg9y
    @user-sn3gh7bg9y 10 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤