WANAUME WALIKUA HAWANITAKI KWASABABU YA UFUPI WANGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 202

  • @jn19882
    @jn19882 ปีที่แล้ว +5

    Huyu Tuppy msichana mrembo roho safi... Nmempenda sana. Vichekesho kibao. Nakutakia maisha mazuri wewe na familia yako mrembo.... Mob love from Kenya 🇰🇪

  • @xhdhdhhdnxhx913
    @xhdhdhhdnxhx913 ปีที่แล้ว +5

    Tappy uko na talent unaezakuwa comedian maarufu duniani love u mommy from kenya

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 ปีที่แล้ว +5

    SHENA UWE UNATULETEA WADADA KAMA HAWA ,MAANA UNAENJOY NA ANAFURAHISHA NA NIMZURI MIE NIMEMPENDA SHE So NATURAL , and REALLY NA SHEMU WETU ALOMPATA AMEPATA MKE MWEMA , HONGERA DADA TUPPY ,
    SEMA WAINGEREZA WANAONEKANA KICHOMIII

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 11 หลายเดือนก่อน +5

    Nimekupenda bure your so real

  • @neemanyove9130
    @neemanyove9130 11 หลายเดือนก่อน +4

    Dada amejua kunivunja mbavu jmn,,, she's so funny 😂😂😂 tunazidi kujifunza asante da Shena

  • @estersaul8180
    @estersaul8180 9 หลายเดือนก่อน +4

    Love you Tuppy

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 ปีที่แล้ว +3

    Relly dada TUPPY NIMEPENDA STORY YAKO DADA ,YOU ARE SO UNIQUE, BARIKIWA DADA , WALA SI DHAMBI KUOLEWA NA UNAYEMTAKA UZALENDO NI MOYONI NA SI DHAMBI KUKAA NA TAIFA LOLOTE UKIONA MTU ANAKUPINGA KWENDA NJE YA NCHI YAKO KUTAFUTA MWENZA ,MASIHA , BIASHARA NK JUA HUYO HAPENDI HUFANIKIWE ,ANAKUHOFIA , NA HAPENDI UFANIKIWE

  • @singalongwithirene6134
    @singalongwithirene6134 ปีที่แล้ว +2

    My dear Prisca great to see you again here ...❤

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kipindi kizuri Goodjob,jaman tuppy mzuri sna ananatural Beauty Nzuri sna

  • @Nguvuzauniverse.
    @Nguvuzauniverse. 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona tuppy n mrembo Sana jamani❤

  • @hijalijuba3742
    @hijalijuba3742 3 หลายเดือนก่อน

    Nimempenda sana dada Tupi, Ningependa tufanye biashara ya italii. Ameshapata mzungu sasa atafute pesa, walete Wajerumani hiku nyumbani.

  • @hawababy120
    @hawababy120 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂😂😂tuppy nacheka san duuh uko mcheshi aiii😂😂

  • @mariamkibindo1741
    @mariamkibindo1741 ปีที่แล้ว +2

    Wow wow Da Tupi amerudi Tena mashaallah hope ntaenyoj hii interview ngoja niangalie🥰

  • @mariambakari8065
    @mariambakari8065 9 หลายเดือนก่อน +3

    Dada mchangamfu sana pongezi kwako

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 11 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani sijawahi kucheka hivi maisha yangu yote huyu dada is so real amejua kunichekesha leo

  • @MadinaMalk-yd6kp
    @MadinaMalk-yd6kp ปีที่แล้ว +3

    Nawapenda ❤️😘😘

  • @suzanalucasemanuel7006
    @suzanalucasemanuel7006 9 หลายเดือนก่อน +2

    Yan huyu dada me nampenda sana ni mcheshi sana😂😂😂😂😂😂

  • @haikamasoud2982
    @haikamasoud2982 25 วันที่ผ่านมา

    Umependeza Tupi

  • @ishramajuto105
    @ishramajuto105 8 หลายเดือนก่อน

    one among the best interview❤❤❤

  • @verachikulupi8063
    @verachikulupi8063 6 หลายเดือนก่อน

    Nimependa sana huyu dada❤❤❤

  • @MadinaMalk-yd6kp
    @MadinaMalk-yd6kp ปีที่แล้ว +5

    Umependeza Sana da tuppy

  • @EmiliaYona-g9e
    @EmiliaYona-g9e 5 หลายเดือนก่อน

    l love da tupy ❤❤❤

  • @sarahgustaph2710
    @sarahgustaph2710 ปีที่แล้ว +1

    Mtu kama kakuchoka atakutaftia sababu hakuna Cha ufupi..Yote maisha riziki n popote...❤❤Mungu mwema...Leo wako paleee Wana watch...hii..interview..aibu kwao😅😅😅WAUKWELI WAPO....inauma sana jamani...Mapito Yana mwisho amabo ni furaha tuu❤❤🙏🇹🇿Nakupenda Tupphy.

  • @teresiamathias8636
    @teresiamathias8636 ปีที่แล้ว +6

    Kwakweli kanipa moyo kumbe na mm nitapata tuu asante mdogowangu Tupi

  • @annwangai5814
    @annwangai5814 ปีที่แล้ว +1

    Nimejua mengi hapa nashukuru sana

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 ปีที่แล้ว +1

    Uyu dada Mungu ambariki ukimsikiliza unajifunza mambo mengi na yuko muwaz sana dahh ila haya maisha watu tunapitia mengi kikubwa hakuna kukata tamaa

  • @ElizabethPeterChiwalo
    @ElizabethPeterChiwalo ปีที่แล้ว +9

    Mimi tangu 2017,bado natafuta sijakata tamaa

    • @twaibasalim-lq2kk
      @twaibasalim-lq2kk 9 หลายเดือนก่อน +1

      tuelekezeni t unafanyajee kuingia huko

    • @angelinamwenda4133
      @angelinamwenda4133 4 หลายเดือนก่อน

      Mimi mwenyewe natafuta sijapata

  • @dayana5513story
    @dayana5513story ปีที่แล้ว +1

    Watu wenye mapito tuko wegi nyinyi acheni , but bado sijakata tamaa stii believe God l hope siku atanikumbuka,shena nije nikupe, love this girl she so really ❤

  • @nahaisha7631
    @nahaisha7631 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli kbsa wazungu hawanaga shukran

  • @helentelemla5623
    @helentelemla5623 ปีที่แล้ว +1

    Leo mimecheka mbavu zangu😂❤ nimejikuta nampenda sana tuppy

  • @zainabufeka87
    @zainabufeka87 9 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani leo zamu ya tup nilikuwa na wish😅😅kukuona ukihojiwa😊

  • @marthakimia4075
    @marthakimia4075 ปีที่แล้ว +1

    Umenifurahisha sana

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 ปีที่แล้ว +2

    Mbona ana sura nzuri
    Huyo kaka alikuwa mshenzi

  • @BerthaKihanga-qd5hy
    @BerthaKihanga-qd5hy ปีที่แล้ว +2

    Mungu awabariki sana,Good work.

  • @WinfridaJuma-vm2wp
    @WinfridaJuma-vm2wp ปีที่แล้ว +1

    Da shena ana tabasam zur jamani🥰 mie kila akicheka tu macho kwaKe😊

  • @madame-w5b
    @madame-w5b 8 หลายเดือนก่อน

    Hongera dada umenifanikiwa lkni😂😂😂😂tumejifunza

  • @modelroseoscarphilip6482
    @modelroseoscarphilip6482 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤ i love her 😀😀

  • @Realhope-x5p
    @Realhope-x5p ปีที่แล้ว

    😅😅😅 aluta continua umenipa ujasiri naendelea kutafuta siachi asante da tupy

  • @aminakawawa5800
    @aminakawawa5800 ปีที่แล้ว +3

    Nampendaga huyu dada ni fun sana rafiki yangu tiktok huwa nachekaga mno 😂😂😂😂

    • @marthamlove1342
      @marthamlove1342 ปีที่แล้ว

      Hata mimi nampenda hivi anatumia jina gani tiktok?

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 ปีที่แล้ว +12

    Mapito yakizidi, ushangai likija jingine yaani (hakuna jipya) Mungu ni mwema

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 ปีที่แล้ว +2

    Usikate tamaa

  • @adrianochieno6131
    @adrianochieno6131 7 หลายเดือนก่อน

    Dada this is the best lady you have ever enteviewed😂😂😂!!! She is so honest to the core and quite cynical😂!! Please give me her contact🇰🇪

  • @rayfissoo6477
    @rayfissoo6477 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Mungu ambariki

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 11 หลายเดือนก่อน

    She is so real

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 ปีที่แล้ว +1

    Ila tuppy😂😂😂
    ana vituko
    Asante kwa kukutia moyo

  • @ramsrafiki1212
    @ramsrafiki1212 4 หลายเดือนก่อน

    You are so funny girl I like your funny

  • @tanzaniaoman6423
    @tanzaniaoman6423 ปีที่แล้ว +1

    Haya tunakusubiria dada mpk mwakani inshaaAllaah tutajiunga darasa

  • @gewatv
    @gewatv 10 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂Huyu dada nampenda bureee, I mean the interviewee. Yani ukiwa naye huchoki kumsikiliza, maana kama mchekeshaji vile, 😂yani ukikaa naye utacheka kutwa kucha

  • @ElionaraBandola
    @ElionaraBandola 8 หลายเดือนก่อน

    Umenifurahisha sana Tumpilike😅😅😅

  • @joelirunde2823
    @joelirunde2823 9 หลายเดือนก่อน +2

    Umenikumbusha kunguni
    Nililala hotel moja Zanzibar nilikesha!!
    Kunguni hadi kwenye net.

  • @ajabburundi6043
    @ajabburundi6043 5 หลายเดือนก่อน

    Tuppy Sorry zako nzuri

  • @rahyanadam8328
    @rahyanadam8328 5 หลายเดือนก่อน

    Nice interview 😂😂

  • @Thyme938
    @Thyme938 ปีที่แล้ว +3

    Lkn tuppy mbona we ni mzur na ni mrembo, Kwa Nini walikua wanakuambia ivyo! Lkn wanadamu

  • @ShemsaKiobya
    @ShemsaKiobya 7 หลายเดือนก่อน

    Ana vichekesho. Sana

  • @Jeff_Tz
    @Jeff_Tz ปีที่แล้ว +1

    😅😅😅😅😅😂 nakuf kwa kucheka jmn

  • @leonardmary83
    @leonardmary83 ปีที่แล้ว

    Mmependeza ,tupi kabadilika

  • @SubiraMhina-w7l
    @SubiraMhina-w7l ปีที่แล้ว

    Nifundishe namna ya kupta mzungu na mimi jmn😊😊

  • @LucyJoseph-pb4um
    @LucyJoseph-pb4um 11 หลายเดือนก่อน

    Tupiy nimekupenda Bure

  • @otatchabeartrice5569
    @otatchabeartrice5569 ปีที่แล้ว

    Unanichekesha sana wanje 😂😂😂😂😂mpaka nalia sana

  • @nishamwenendi-vh4wk
    @nishamwenendi-vh4wk ปีที่แล้ว

    Leo tumeingilia humu😂😂😂😂ila nime enjoy

  • @JazilaSiraja-st8cu
    @JazilaSiraja-st8cu 5 หลายเดือนก่อน

    Mm mbona mfup lakn nmezaa kawaida tu

  • @Thyme938
    @Thyme938 ปีที่แล้ว

    Isee, kweli maisha yanatafutwa

  • @nashalyjoseph1755
    @nashalyjoseph1755 9 หลายเดือนก่อน

    Ila Tuppy mnyakyusa mwenzangu😂sishangai wanyakyusa tukogo real hatunaga kupinda pinda halafu tunajikubarigi balaaa

  • @sophiakassim6784
    @sophiakassim6784 ปีที่แล้ว +5

    Yani Tuppy anachekesha jamn eti ukitafuta mzungu unakua kama tour guide kula kitu wewe😂😂😂 nimecheka sanaaa huboi mamii kukuskiliza

  • @Ashreystar8465
    @Ashreystar8465 ปีที่แล้ว +1

    mm napata taab sana nahangaika kutafta bali nashindwa hapa pakulipia,

  • @helinahenry2363
    @helinahenry2363 ปีที่แล้ว

    😂😂😂Manager masoko, wateja tumetaradadi hapa😂😂

  • @immaculatakadyanji5927
    @immaculatakadyanji5927 11 หลายเดือนก่อน

    Kirikuu😂😅😂

  • @EsterShirima-vr7cv
    @EsterShirima-vr7cv ปีที่แล้ว

    Mhh kiasi chake

  • @Adam.k202
    @Adam.k202 ปีที่แล้ว +1

    Nimempenda dada huyu.

  • @Sumaiya-h7m1p
    @Sumaiya-h7m1p 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu dada anavibe yaan😅😅😅😅

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 ปีที่แล้ว +3

    Da shena sio pete ina legea ni ngozi ina sinyaa kidogo ili usipitishe joto nje na lipaki ndani ya mwili ili kuweka joto ndani ya mwili .na kipindi cha joto ngozi ina tanuka ili usipate joto la kupitiliza ndio una kuta pete ina bana sana.

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 ปีที่แล้ว +1

    Nilienda ukweni Nyeri (Kenya), mama mkwe akasema ‘eh, huyu ni mrefu!’

  • @gracekessy9150
    @gracekessy9150 ปีที่แล้ว

    Aww ❤tuppy wetu ana story tiktok ndio usiseme

  • @TikTokwin-xi8cd
    @TikTokwin-xi8cd 9 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂nakupenda sana dada

  • @immaculatakadyanji5927
    @immaculatakadyanji5927 11 หลายเดือนก่อน

    Hizi story zinaondoa stress, uwiii😂😅😂

  • @sophiakassim6784
    @sophiakassim6784 ปีที่แล้ว +3

    Kidali kishachukuliwa na kunguru kitambo sanaaaaa😂😂😂 eti Tuppy anatafuta kidali cha mzungu kiko wapi😂😂😂😂

  • @immaculatakadyanji5927
    @immaculatakadyanji5927 11 หลายเดือนก่อน

    Achiko😂😅😂

  • @annatemu4488
    @annatemu4488 ปีที่แล้ว +1

    Nimempenda sana Tuppy❤❤

  • @floraemeeelias7840
    @floraemeeelias7840 ปีที่แล้ว

    Dada kujiunga na darasa lako Ni shingapi? Na unalipia Kwa njia gani?

  • @florencegamaya9277
    @florencegamaya9277 8 หลายเดือนก่อน +1

    Tuppy napenda tuwe na mawasiliano na mimi niko Germany pia

  • @neemakiravu7755
    @neemakiravu7755 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂et nyundo

  • @MathayoLoboi-uw2uj
    @MathayoLoboi-uw2uj 9 หลายเดือนก่อน

    Je mwisho wake?

  • @christinarussambi2161
    @christinarussambi2161 6 หลายเดือนก่อน

    Online zote huwa lazima ulipie? Kama zipo ambazo hazilipiwi naomba unisaidie unitajie

  • @AbigaelAroni
    @AbigaelAroni 5 หลายเดือนก่อน

    Naomb connection ya kaz wapendw

  • @alesiundole8046
    @alesiundole8046 ปีที่แล้ว

    😂 Daaaaah mbavu zngu

  • @sophiakassim6784
    @sophiakassim6784 ปีที่แล้ว

    Mbona kidali hakuonekani tenaaa😂😂😂😂🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️

  • @immaculatakadyanji5927
    @immaculatakadyanji5927 11 หลายเดือนก่อน

    Hapa kuna kunguni uwiii😂😅😂

  • @IreneMwanaa-zo2wz
    @IreneMwanaa-zo2wz ปีที่แล้ว

    Daaa! Tupy hatari

  • @siasia5469
    @siasia5469 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mmejua kunichekesha tuppy na mzungu wake wote kimo sawa 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣

  • @skbonita4117
    @skbonita4117 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka sana

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 ปีที่แล้ว +1

    Nimegundua uwe unakubaliana na ukwer usifos sana mambo na using'ang'anie vitu wakati mwengine ujifunze kuwa muelewa

  • @atislady3400
    @atislady3400 ปีที่แล้ว

    Naomba installed ta tuppy 😅😅😅😅niwe nacheka zangu

  • @KasminaCreation
    @KasminaCreation ปีที่แล้ว

    Nimecheka Hadi najikojoleaaaa😂😂😂

  • @salhakyande3905
    @salhakyande3905 หลายเดือนก่อน

    Ok

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 ปีที่แล้ว +2

    Hata sijaanza kusikiliza nishaumia jamani..,ati mfupi atazaa na upatesheni nayo kosa? Unampenda mtu kumbe anakuita sura mbaya? Namshukuru Mungu sikudeti na hao watu, tena sisi wa kike wenye sura za baba zetu, ningepitia.

  • @olivianiwagila3109
    @olivianiwagila3109 ปีที่แล้ว

    Mimi napenda tu Tuppy,jinsi anavyojua kujipoza na kuchukua commission zake...😂

  • @siasia5469
    @siasia5469 ปีที่แล้ว

    Eti sunche na kapetoo😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Serenawilson11
    @Serenawilson11 ปีที่แล้ว +2

    Hata mzungu wangu hatak nivae mawigi

  • @rithersospeterkati3355
    @rithersospeterkati3355 ปีที่แล้ว +2

    Mbona naona wewe siyo mfupi na sura yako siyo mbaya.

  • @gra8098
    @gra8098 5 หลายเดือนก่อน

    "Tumechelewa... wake za wazingu"...