PASTOR EZEKIELI WA KENYA AMUWASHIA MOTO GEORDAVIE KUPANDISHA MAMISI NA WASANII MADHABAHUNI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ค. 2023
  • PASTOR EZEKIELI WA KENYA AMUWASHIA MOTO GEORDAVIE KUPANDISHA MAMISI NA WASANII MADHABAHUNI
    Tafadhali tufatilie kwenye mitandao mengine ya kijamii kwa jila la Msomi news...

ความคิดเห็น • 261

  • @LucyRobi-iu5rr
    @LucyRobi-iu5rr 6 หลายเดือนก่อน +6

    Napenda pst ezekiel vile unavyo hubiri God bless you ❤

  • @wendynkya1309
    @wendynkya1309 6 หลายเดือนก่อน +1

    Uko vizuri Pastor shida watumishi wengine wako kimwili zaidi kuliko kiroho,huwezi kuchanganya mambo ya Mungu na ya dunia,huwezi kufanya hekalu la Mungu km soko au mahali pa michanganyo,sasa hapo anahubiri Yesu au anaubiri muziki wa kidunia?Mungu amrehemu

  • @upendofredrick8988
    @upendofredrick8988 10 หลายเดือนก่อน +42

    Uko sahihi kabisa Mtumishi wa Mungu, walio katika mwili hawataelewa ila walio katika Roho nadhani wamekuelewa Sana, Mungu azidi kukutunza na uendelee kuyanena maneno ya Mungu kwa ujasili

    • @LuciaSimeo-yc7hc
      @LuciaSimeo-yc7hc 7 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe nimtumishi, uyo Dev sio mtumishi wa Mungu aliyeumba mbingu na nchi, uyu mtumishi ni wakara wa sheitani.

    • @LuciaSimeo-yc7hc
      @LuciaSimeo-yc7hc 7 หลายเดือนก่อน

      Watumishi jitaidi kuwajua manabii wa uwongo na wakweli, utamuitaji wakara wa sheitani kusema ni mtumishi wa Mungu

    • @LivingstoneOdimba-qv5cm
      @LivingstoneOdimba-qv5cm 6 หลายเดือนก่อน

      That's true pastor.

    • @user-zf9ou8gb8t
      @user-zf9ou8gb8t 6 หลายเดือนก่อน

      Hallelujah 🙏🙏🙏 umesema ukweli mtubu kwa sababu ukiangalia hizo video mwanadada atembea mbele akiwa uji nusu

    • @labanmwamburi498
      @labanmwamburi498 6 หลายเดือนก่อน +1

      Roho ipi

  • @luckyngumbi4243
    @luckyngumbi4243 6 หลายเดือนก่อน +4

    Hakika mungu unibariki sikuzote hunipa uzima Asante mungu piya naomba unibariki zaidi sikumoja niweze Toka Tanzania nifike Kenya katika nyumba Yako mungu inayotumiwa na huyu mtumishi wako Ezekiel ni imani yangu🙏 Amina🙏

  • @sophianabintu6666
    @sophianabintu6666 7 หลายเดือนก่อน +8

    Ubarikiwe mtumishe Ezekeli

  • @elishabsimkokp8321
    @elishabsimkokp8321 6 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu Pastor Mungu ampe siku nyingi za kuishi na zenye furaha chini ya jua akizihubiri habarii za Bwana

  • @SelinaMalikula
    @SelinaMalikula 6 หลายเดือนก่อน +3

    Nabarikiwa nawew pastor wangu mungu akutunze maelfu ya miaka

  • @FortunataMrgwowe-fh2rx
    @FortunataMrgwowe-fh2rx 7 หลายเดือนก่อน +8

    Pastor Ezekiel Watumishi wote wa Mungu wakusikie na wawe kama wewe, uko vizuri sana pastor Mungu akutunze

    • @praisehappiness8312
      @praisehappiness8312 6 หลายเดือนก่อน +1

      MaPastor wote hawwezi kuwa kama ezekiel kila mtu ana mwito wake.kwa mfano ezekiel anavyouza maji na vitamba,Mchungaji mwingie hawezi

    • @HabilyTech
      @HabilyTech 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@praisehappiness8312Hilo neno analoongea wasikie na wazingatie

  • @naylukumay3393
    @naylukumay3393 7 หลายเดือนก่อน +6

    uko rohoni sana mchungaji kutoka Kenya umejibu vizuri 🎉🎉🎉🎉❤

  • @dadamuebrania1539
    @dadamuebrania1539 6 หลายเดือนก่อน +2

    Madhabahu ya Goege David haimuhubiru Yesu Kristo wanazareti definitely So, yanayoendelea hapo nisawa tu

  • @wakulampekazadi2987
    @wakulampekazadi2987 6 หลายเดือนก่อน +2

    Merci excellence pasteur pour tes conseils afin d'hériter la vie éternelle depuis DRC( Lubumbashi)

  • @dorothykalikamo
    @dorothykalikamo 6 หลายเดือนก่อน +6

    Very true, man of God

  • @humphreybilly7437
    @humphreybilly7437 5 หลายเดือนก่อน +1

    Pastor Ezekiel Mungu Akubariki sana.nitakuja Kenya.

  • @Solomonkarurek
    @Solomonkarurek 7 หลายเดือนก่อน +9

    God bless you pastor 🙏

  • @user-ny5we4kj3u
    @user-ny5we4kj3u 7 หลายเดือนก่อน +4

    Truly said man of God. Educative.

  • @fridaminja7191
    @fridaminja7191 7 หลายเดือนก่อน +3

    Dah Mungu atusaidie mkewake anapitia changamoto sana basi tuu anashindwa afanyaje. Mchungaj G hapana kwakwel

  • @johnsimbeye7692
    @johnsimbeye7692 6 หลายเดือนก่อน

    Amen watching you from Zambia Lusaka 🇿🇲

  • @user-do1ut4gb1e
    @user-do1ut4gb1e 6 หลายเดือนก่อน +5

    Hiyo siyo kanisa ni sinagogi la shetani ,Wala usimumunye maneno.Amen

    • @nyimbozakuabudu2650
      @nyimbozakuabudu2650 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@magretomondi8312haitaji kutumia akili sana , Yesu alisema utawajua kwa matendo Yao kama ni washetani au wana wa Mungu

  • @placidkomba9701
    @placidkomba9701 7 หลายเดือนก่อน +7

    it's very true man of God

  • @user-tj3wu4jw2p
    @user-tj3wu4jw2p 9 หลายเดือนก่อน +6

    Nihatari, heshima ya Mungu imepewa mwanadamu

  • @charlesmbunda6759
    @charlesmbunda6759 7 หลายเดือนก่อน +14

    Waana wa ULIMWENGU huu, watakubeza!! Ila tunaoipenda Mbingu, tunakubaliana 100% na wewe!

  • @user-sk9zr4bn2k
    @user-sk9zr4bn2k 6 หลายเดือนก่อน +1

    Naitwa james anton nipo tz mchungaji ukweli mungu akuongezee baraka ktk huduma zako zote zaibada nk,ubarikiwe pamoja na sis amen

  • @ChescoMartin-ni3ql
    @ChescoMartin-ni3ql 5 หลายเดือนก่อน

    Amen sana mtumishi Bwana aizidishe hekima ya utakatifu ulionao

  • @ConfusedChicken-ze9fz
    @ConfusedChicken-ze9fz 6 หลายเดือนก่อน

    Me too isay may God bless you so much man of God

  • @shirimaanthoni95
    @shirimaanthoni95 10 หลายเดือนก่อน +3

    I got you pastor

  • @endrewmwasomola6506
    @endrewmwasomola6506 7 หลายเดือนก่อน +8

    Mungu akutunze pastor kwa kusema ukweli

    • @MatiasMandi
      @MatiasMandi 6 หลายเดือนก่อน

      ubalikiwe pastor ezekiel kwakusema ukweli Mungu akuongezee nguvu zaidi

  • @DominaPatrick-ri8sc
    @DominaPatrick-ri8sc 6 หลายเดือนก่อน +3

    Ameen pastor ubarikiwe sana mungu azid kukueka zaid na zaid ameeeen naiwe ivyooooo kwa jina la yesu

  • @habililailo271
    @habililailo271 7 หลายเดือนก่อน +2

    Uko sahihi mtumishi Mungu akubariki sana

  • @peterodera5685
    @peterodera5685 6 หลายเดือนก่อน +1

    God bless you pastor.

  • @magrethtenga9217
    @magrethtenga9217 6 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe Mt...

  • @mcfinee7469
    @mcfinee7469 9 หลายเดือนก่อน +3

    Emen barikiwa Baba

  • @apostlesammymutachicfc.3744
    @apostlesammymutachicfc.3744 7 หลายเดือนก่อน +5

    Kwa dalili nyingi, zinaonyesha Geordavie amepoteza mwelekeo.

    • @OMEGATVTANZANIA
      @OMEGATVTANZANIA 7 หลายเดือนก่อน

      Sema ukweli pasta napenda nije kuimba kwako mwimbaji naitwa Obadiah Jackson toka tanzania

  • @amanimakombe7141
    @amanimakombe7141 6 หลายเดือนก่อน

    Amina baba ubarikiwe sanaa baba

  • @SifaelMpagike-gt1gz
    @SifaelMpagike-gt1gz 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli Amezidi sana anapiga bongo flavor kanisani😱😱😱 Ni hatari sana

  • @user-ii6oe7df2k
    @user-ii6oe7df2k 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amina baba umeogea vizuri sana pasta ezekili

  • @mamybaraka8115
    @mamybaraka8115 6 หลายเดือนก่อน

    Asante sana baba yangu.Mungu aendeleye kukutulindiya

  • @user-ty2lu6ip1m
    @user-ty2lu6ip1m 6 หลายเดือนก่อน

    Uko vizuri mchungaji,Mungu akutunze

  • @user-sw8fo7wz8i
    @user-sw8fo7wz8i 6 หลายเดือนก่อน +1

    Sawa Kabisa Mtumishi wa Mungu, huo ndiyo Ukweli Kabisa, Kabisa.!

  • @user-zz4qc2ww2x
    @user-zz4qc2ww2x 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana pastor umeeleza sahihi kabisa uje na tanzania

  • @user-xb3kc1lz9p
    @user-xb3kc1lz9p 6 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu nakuombea mema kama ww uniombeavyo mema Ichi za ugaibuni Aki ww Mungu alikutuma Kwa makusidi yake Be blessed dady

  • @bensonndigori
    @bensonndigori 6 หลายเดือนก่อน

    God bless you man of God

  • @mlewamlewa976
    @mlewamlewa976 8 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo godevi mpuuzi tu , hajitambuwi siku zote Giza na Nuru havifungaman, hyo ,ama abudi miungu sio mungu, mungu ampe mocho yarohon,

  • @johnmushi5836
    @johnmushi5836 5 หลายเดือนก่อน

    God bless u .. Big Postor

  • @mst1studio270
    @mst1studio270 6 หลายเดือนก่อน

    Asante Prophet Ezekiel

  • @babahilimollel5254
    @babahilimollel5254 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana Ezekiel

  • @AbrahamMjema-di1li
    @AbrahamMjema-di1li 6 หลายเดือนก่อน +1

    You speak the truth

  • @hamismabula9934
    @hamismabula9934 7 หลายเดือนก่อน +5

    Ev. Ezekiel ubarikiwe sana!

  • @helenayamwaka211
    @helenayamwaka211 7 หลายเดือนก่อน +4

    Geo dave aombewe rehema. Kamuacha Mungu zamani

    • @user-do2wb3rb7h
      @user-do2wb3rb7h 7 หลายเดือนก่อน

      Nabii WA uongo aliwahi Kua WA ukweli. Geordavie ashakengeuka

  • @user-cx6bn6kq5u
    @user-cx6bn6kq5u 5 หลายเดือนก่อน

    Amen barikiwa Sana Pastor huko sahihi kabisa YESU Azidi kukutunza

  • @user-og2sz9wp2i
    @user-og2sz9wp2i 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu anipe piya nafasi nimtumikie kwa roho na kwa kweli kama wewe BABA YANGU EZEKIEL

  • @germamassawe6968
    @germamassawe6968 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Pastor Ezekiel

  • @chrissmichaelmashouda1726
    @chrissmichaelmashouda1726 6 หลายเดือนก่อน

    Neno zuri mchungaji, hello from Dar es Salaam

  • @marklyanga3969
    @marklyanga3969 5 หลายเดือนก่อน

    Pasta Ezekiel, asante kwa mwongozo mzuri ktk jambo hili. Swali; ikiwa yuko msichana katika kanisa na anatumia uchawi ili aweze kuzini na mvulana wa kanisani nini kifanyike

  • @uwimanadady6563
    @uwimanadady6563 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akutunze

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 6 หลายเดือนก่อน

    God bless pastor 🙏

  • @user-zl3wg1xm2e
    @user-zl3wg1xm2e 6 หลายเดือนก่อน

    God bless you pastor

  • @user-ys3rf6ch8z
    @user-ys3rf6ch8z 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu wangu tuhurumie

  • @ramadhanwetoto8329
    @ramadhanwetoto8329 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki Ezekiel

  • @furahamwambola1517
    @furahamwambola1517 6 หลายเดือนก่อน +1

    Neno sana
    Barikiwa Pastor

  • @user-kt8xh9nj5v
    @user-kt8xh9nj5v 27 วันที่ผ่านมา

    Amina pastor Ezekiel Amen 🙏🙏🙏

  • @janetkalu3870
    @janetkalu3870 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akumbariki sana pastor

  • @NdolozKathele
    @NdolozKathele 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu azidi kukuongezea hekima mtumishi

  • @ShakuruFreeman
    @ShakuruFreeman 6 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe

  • @luckymsomba4818
    @luckymsomba4818 7 หลายเดือนก่อน +2

    amen pastor

  • @JemaMbwilo
    @JemaMbwilo 4 หลายเดือนก่อน

    Hakika mtumishi wa Bwana Yesu sisi ndo wa kuigwa na kufatwa na sio sisi wana wa Mungu kuwafuata wao

  • @Rashid-vm1fk
    @Rashid-vm1fk 7 หลายเดือนก่อน +4

    Wenye macho wanajua kuwa hii ni agenda ya shetani,tatizo sisi binadamu hatujui majira na nyakati, haya lazima yatokee ili kuyatimiza mandiko maana kila kitu lazima kitokee ili YESU KRISTO arudi ila ole wao.

  • @user-jm4sx9du9b
    @user-jm4sx9du9b 9 หลายเดือนก่อน +2

    Amen 🙏

  • @aliasha804
    @aliasha804 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli kabisa pastor wangu

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ila jmn tuwe wakweli mtumishi unaweza weka mambo umiss madhabahuni?

  • @user-zk2px8sm6f
    @user-zk2px8sm6f 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤barikiwa sana mtumwa wayesu🎉🎉

  • @DominicKimutai-te7md
    @DominicKimutai-te7md 6 หลายเดือนก่อน

    Educative talk.

  • @user-xb5ll1we8s
    @user-xb5ll1we8s 6 หลายเดือนก่อน

    Uko sahihi baba yangu Mungu akuweke

  • @HMOZ872
    @HMOZ872 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli kabisa pastor 🙏🙏🙏

  • @JemaMbwilo
    @JemaMbwilo 4 หลายเดือนก่อน

    Dunia ni dunia na ufalme ni ufalme wa Mungu kwanini tufanane na wadunia ndani ya kanisa Mungu akubariki mtumishi wa Mungu sana

  • @emmiemmi3861
    @emmiemmi3861 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante pastor Ezekiel sema baba

  • @salomondjumajoshua972
    @salomondjumajoshua972 6 หลายเดือนก่อน +1

    Daaaah shida sana...Kanisa limevamiwa .

  • @user-zz4qc2ww2x
    @user-zz4qc2ww2x 6 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa saaana

  • @user-eb3hf1lm9e
    @user-eb3hf1lm9e 6 หลายเดือนก่อน

    Hii kitu sio sawa jmn,wenye dhambi waingie kanisani abadilishwe sio kuishi na dhambi zake ndani ya kanisa

  • @paulmully3706
    @paulmully3706 6 หลายเดือนก่อน

    Mafunzo unayofunza yako sawa mtumishi wa Mungu Ezekiel.
    Mungu akutie nguvu zaidi.

  • @lucyngwale4365
    @lucyngwale4365 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutunze nakuelewa sana

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mmmmh ni wakati wa kumutafuta MUNGU kuliko chochote shetani anadanganya watu na manabii wa uongo ni wengi mno

  • @racheluwda6552
    @racheluwda6552 7 หลายเดือนก่อน

    Uko saa ii man of God🙏🙏

  • @user-pg1li2sq7y
    @user-pg1li2sq7y 6 หลายเดือนก่อน +2

    Uko sahihi mtumsh wa mungu

  • @baybeshayo18
    @baybeshayo18 6 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani mathabahuni mamisi ni wa nini jamani. tutawatambua kwa matendo

  • @EnockButiko
    @EnockButiko 6 หลายเดือนก่อน

    Great projection....

  • @user-db5nx3uc7d
    @user-db5nx3uc7d 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amina

  • @SelinaMalikula
    @SelinaMalikula 6 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda sana pastor

  • @williammwakipesile1111
    @williammwakipesile1111 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi upo sawa kabisa tulitoka wapi na tuenda wapi

  • @user-gn4ww9sx6v
    @user-gn4ww9sx6v 7 หลายเดือนก่อน +2

    True

  • @SaraphinaPhisoo
    @SaraphinaPhisoo 6 หลายเดือนก่อน +1

    Truee baba

  • @sellahmwakabuta8246
    @sellahmwakabuta8246 6 หลายเดือนก่อน

    Huo ndo ukweli kabisa hujakosea mtumish Asante

  • @teresanyoero5566
    @teresanyoero5566 6 หลายเดือนก่อน

    I support you pas

  • @AredFered
    @AredFered 6 หลายเดือนก่อน

    Asante baba yang wa kiroho

  • @user-br4tl7jv9j
    @user-br4tl7jv9j 6 หลายเดือนก่อน +1

    Daaah roman catholic hatunaga huu usenge 🙌🙌🙌🙌

  • @elizabethprosper7092
    @elizabethprosper7092 6 หลายเดือนก่อน

    Very true

  • @user-gh9oh6mt5o
    @user-gh9oh6mt5o 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hii kanisaaa😢😢😢😢

  • @josphenembunde5805
    @josphenembunde5805 6 หลายเดือนก่อน +2

    Be blessed our true man of God❤

  • @alexkibali6435
    @alexkibali6435 6 หลายเดือนก่อน

    Well spoken

  • @user-uw5wy2yj8d
    @user-uw5wy2yj8d 6 หลายเดือนก่อน +1

    Duh sasa hii ni kanisa ni wapi ? Mtu kavaa nusu uchi halafu anasimama madhabahuni duuuuh!eeee Mungu kweli siyo kila asemaye bwana bwana atarithi ufalme wa MUNGU

  • @Rockyline7386
    @Rockyline7386 5 หลายเดือนก่อน

    Hatariiii.