NABII MKUU AFICHUA SIRI NZITO ZA BINTI WA MIAKA 19 NA KUMFUNGUA KINABII - GeorDavie TV
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 พ.ค. 2019
- Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
TUFUATILIE
▶︎ Facebook: / geordavietv
▶︎ Instagram: / geordavietv
▶︎@GeorDavie Maarifa
Nimempenda alivo mchangamfu na mzuri,, Mungu mwenyewe amrehemu,,,, ningekuwa mwanaume ninge muoa,😁
wanaume wabaya msichana mrembo namna hii kaachwa na katoto kaaaah
Ee Mungu niponye na kubariki kazi zangu maisha yangu ya shida nisaidie Baba
Nimeguswa mpaka nimetoa machozi, Nabii Mungu akubariki Uishi miaka mingi duniani
Amen Amen oh lordy save me too please
Nmeangalia history ya huo dada yetu mpaka ni kalia kabisa. Mungu akulinde sana dada yetu hayo yote ata pita. Kutoka Canada.
Pole madiha,nimejikuta nalia kwa mateso yako,Mungu akusaidie mdogo wangu.
AMEN AMEN AMEN BABA NAZIDI KUPOKEA KUPITIA HAYA MAOMBI YAKO PAMOJA NA SHUHUDA HAKIKA MUNGU NI MKUU NA WA REHEMA
This is so touching ooo my God little girl mchungaji mungu azidi kukubaliki
Mungu nibariki na huyu dada kwa jina la yesu Ameen!
Dah Mungu anatenda
Kinachoniumiza watu wanakuwa wagumu kukubali kuwa GeorDavie mbingu imemkubali baba songa mbele Yesu anakulinda na huyo bint apate kibali Kama ulivyomtabiria hakika nafurahia huduma yako baba
I reside in Europe. Iam touched about her sufferings,she`s too Young and Looks very intelligence and organised. Iam willing to donate the sum of 100 Euros for her start up.Let me know how.!!
Visit their website
God Bless your
God bless u
If you get replies I would like to match that donation too..
I am so so touched by her story , may she be annoiinted, n be blessed n the family by de Almighty ,
Bless Prophet
Mi naangalia tyu uzur wa huyo mrembo hayo mengine SIMOOOO du kazur eeee?
Baba GeorDavie ahsante kwa kazi njema Yesu aendelee kukulinda kazi yako ipo wazi hata mbingu Imekukubali
Asante mungu kutuletea nabii Davie shetani hana nafasi tena
Biti mzuri jamani
Kazi njema baba ..mungu asidi kukubariki
Amen, aki nitafika kwa huyu Nabii namkubali kabisa, may God bless you more and more, i believe God will open my way
amen
Mungu akutende mema Daddy, pray for our family and my husband too
I am truly inspired...this is so touching
Amen asante nabii
Mtumishi nasikilizaa Sanaa maombi yako nko marekani nilikuwaa naomba namba ya binti uyo
Ubarikiwe nabii mteule wa mungu
huyo mchungaji mbona amemkanyaga mguu huyo binti
Amen amen
Baba napenda kaziyako Mungu wako awe Mungu wangu
Amen jina la bwana libarikiwe
I have the same issue my God he me to come there
Mungu nimwema nabii naomba namba zako hats meme ninamatatizo
Merci seigneur Jésus christ.
Video hii imenitoa machoz naona Kama nalengwa na mm😭😭😭😭😢😢
Ameen
Amen Amen
Amina baba naitaji msaada wako nami ila nipo mbali sana cjui unanisaidiaje , plz help I, I blive you can move restraining plz plz help I
Bwana YESU asifiwe nabii wa MUNGU.
Jameni hio muziki iko juu sana punguza
Hi , naomba msaada wa maombi pia kwa nabi 🙏 Nina wagonjwa kwenye jamaa yangu
Huyubinti huwezi kujua kama alikuwa na matatizo makubwa kwa kwakumtazama kwamacho
Waooh safiii
Bint amechukua uamuzi mzuri, kua na imani na kuchukua hatua!!!! kwa Yesu kila kitu kinawezekana !!!!
hakika Mungu mkubwa
Madiha upo wapi nikustiri mwangu nimekupenda
mungu nimukubwa
Amen man of God bless you .nakufatilia hata mimi nikiwa Saudi Arabia ila mimi ni mkenya
Sarah Wanjala:What are doing there in the saudia arabia,, I want ask you a quation did you have a husband?? i want a good wife can you help me from ZANZIBAR.......
Barikiwa sana baba nam naamin kupokea muujiza
nimebarikiwa sana,nami nahitaji kufunguliwa.
Mungu alikuteuwa kwa kusudi..nami nakufuatilia nkiwa india..naitaji maombi yako.
Ô ! Les apparences sont trompeuses ! Qui peut connaître la détresse que vit cette fille mère d'à peine 19 ans !..Délivre nos enfants SEIGNEUR JÉSUS-CHRIST, delivre la jeunesse...
Dah inauma sana yaan huwez kuamin km anamatatizo hy
Mbona anamkanyaga jamanii
WOW I LIKE IT THIS YOUNG GIRL FOR REALLY DAH MUNGU AJALIYE WANANGU NAWO WATANGAZE JINA LA MUNGU HIVI 🙏🙏🇺🇸🇺🇸💖
Mimi Niko marekani nahomba mnitafutiye namba za uyo binti ,,,Asante Sana nabihi kwakumsahidiya uyo binti
Hahaha hati uko unataka upako ama namba ya bintii
Dah! Ubarikiwa Sister kwa moyo wa upendo na Mungu azidishe pale utakapopungukiwa.
AMEN
Amen mungu akubariki
Glory to Jesus
Napenda kazi za Nabii mkuu
Niko Murundi 🇧🇮nabafwatilia Leo hi nafurahi na kazi zetu sana nataka number zetu iyo kanisa fasi gani uko Tanzania naomba mniyelezey Asanta mungu aba bariki sana🙏
SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91.
Amen mungu akubaliki sana
Amazing
nimelia jaman ila lazima nifike kwa GeorDavie na mwanangu wa kiume ntaja mwita jina la GeorDavie
Napenda San baba
Asante kwa mungu
WhatsApp/Piga namba: +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu. Kwa iPhone au Android Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Natamani kuwasilina na nabi
Waileleani Nabii Mkuu
Hata mimi natamani nifike hapo jameni
GeorDavie TV ahsante
Kiufupi unaweza kumpa Namba zangu
Nice sana
Amen
He always not mention the name Jesus
Nasisimka sana jamn
Aminaa
naoba namba ya mchungaji
cool this great
Hakika Mungu niwaajabu
Nimetoa machozi MUNGU msaidie binti huyu
Sssa mm nfanyeje kukuona
AMAZING!!!!
ameni Mtumishi
Beuty
hamna kitu musipotee wanaadam kwa ujinga
Mnamchezea Mungu awasamehe kwa kweli eti unamuona mtu
Anaongea vizur sana
Nimebalikiwa sana
Natamani kukalimbia agarauo hio Alia
Maskin na mm nasubuliwa sana n mapepo kulala silali ndoto za maajabu kila kukicha naomba msaada +254
Kweli mungu nimkubwa naskia nguvu yamungu ndani yangu
Wonderful moment....Praise Almighty God....everything is possible.....be blessed Man of God
ubarikiwe nabii wa mungu
Amen Amen 🙏 nimefurah san jaman hata mm natamani nije huko tatizo nipo nnje ya Tz balikiwa sana Nabi
Namba za huyu na bii ningezipata jaman
Wow jamani Mungu akutunze
Amen 🙏🙏
Yani jamani Mimi napaga kuja munifugue yesu ni saidiye mimi
Binti mzuri Masha Allah
Amen barikiwa
najiunga na madhabau hii
Naomba maombi Niko mgonjwa
Watu wamebeba makov magum ndani ya miyoyo yao acheni kabisa yanii jmn dah 😭😭😭😭 mungu tuhurumie
Huyu nabii mbona hatowi namba yake tumtafute
Sikh moja ukumbuke pia kuja kushuudia