MCHUNGAJI HANANJA amtoa kasoro GEOR DAVIE hauna uwezo wa kuongea na mungu ,huo ni uongo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 457

  • @bugybuster5788
    @bugybuster5788 8 หลายเดือนก่อน +24

    Ananja na magufuli baba 1 mama 1 maana wate wanasimamia kwenye haki

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 8 หลายเดือนก่อน +11

    😂 Ukizungumza na mkuu wa wilaya tu hatulali... je Mungu tutakuwepo kweli😅

  • @nofaboy8624
    @nofaboy8624 8 หลายเดือนก่อน +9

    Nakuombea kwa Mungu akujaalie uijue haki ili uifuate Inshallah 🙏🏻🙏🏻 kwa ndugu zangu ktk iman tuitikie amin

  • @bakarisaidi3022
    @bakarisaidi3022 8 หลายเดือนก่อน +61

    uzuri wa mchungaji hananja anaongea facts,Mimi ni Muislamu lakini napenda sana kumskiza Hananja,

  • @bakarisaidi3022
    @bakarisaidi3022 8 หลายเดือนก่อน +14

    Juzi Namuona Geo Davy anahubiri kavaa Suruali inafanana na sketi😆😆😆 na waumini wapo wapo tu kama wamerogwa vile😆😆😆😆😆

    • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
      @RubenMtuwaMungu-bz8ee 8 หลายเดือนก่อน +1

      Illuminati Geordavie

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 8 หลายเดือนก่อน

      Fillmasson yule shweitwani anaabudu nawengi wataingizwa bilayakujijua alafu watajuta

    • @magrethmkira6250
      @magrethmkira6250 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @meekman1805
      @meekman1805 7 หลายเดือนก่อน

      Hahaaa😁😁😁

    • @KhadijaMwenda
      @KhadijaMwenda 7 หลายเดือนก่อน

      Shetan yule

  • @DamasjoachimPetro
    @DamasjoachimPetro 8 หลายเดือนก่อน +2

    Musa alikuwa anakusanya dhahabu chombo chake na pesa chombo chake sasa unaongea nini? Musa alikuwa anawaambia Mungu kasema toeni dhahabu na pesa

    • @LucyTengeneza-ej4rb
      @LucyTengeneza-ej4rb 8 หลายเดือนก่อน

      Hananja hajui mambo mengi sana. Yaani hata mimi sio mchungaji nampita kwa mbali! Haendani na viwango vya Serikali Tukufu ya Ufalme wa Mungu. Itabidi tumuombee macho na Roho vifunguliwe. He is in total darkness.. haoni kabisa. Hata maandiko hanyewe hawezi kuconsolidate akapata mafunuo sahihi

  • @gaspeldaniel1140
    @gaspeldaniel1140 8 หลายเดือนก่อน +78

    Huyu mchungaji angekua uraya naamini angekua mbali sana maana kwanza unafiki hataki na uongo hataki amesimama katika bibilia

    • @mohamedyahya6268
      @mohamedyahya6268 8 หลายเดือนก่อน +2

      Sio uraya ni ulaya😂

    • @wamisangi2801
      @wamisangi2801 8 หลายเดือนก่อน

      Ulaya kazi ya ulaghai inalipa?
      Joel 2:28.

    • @vickytorry100
      @vickytorry100 8 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kabisa huyu ni tunu ya Tz ila hatuthamini watu kama yeye. Ni Mungu atamlipa

    • @yjoo9807
      @yjoo9807 8 หลายเดือนก่อน

      Kwanini sasa unaamini mpaka awe ulaya??

    • @wamisangi2801
      @wamisangi2801 8 หลายเดือนก่อน

      @@vickytorry100
      Acha kujitoa ufahamu wewe, Mungu yupi amtumikiaye anaye mruhusu kukejeli kwa rejareja hivi. Hii ni tabia ya Goliati.

  • @ShamimMsofe
    @ShamimMsofe 8 หลายเดือนก่อน +7

    Hananja Mungu amuweke upo wazi Sana . Naomba Mwenyezi Mungu akuongoe

  • @ShaibuJuma-l9s
    @ShaibuJuma-l9s 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi nimwislm ila huyu jamaa namkubali cn

  • @Mwesige-s8q
    @Mwesige-s8q 25 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubaliki sana 🙏🙏🙏

  • @LeahKaboza-vb4ih
    @LeahKaboza-vb4ih 8 หลายเดือนก่อน +8

    Hongera mchungaji Mungu akubariki sana kwakweli hilo la michango watu wamefirisika

  • @Chery_cherryy
    @Chery_cherryy 8 หลายเดือนก่อน +34

    Safi sana, a good pastor who understands the scriptures, tunazungumza na Mungu kupitia maandiko yake matakatifu

    • @wamisangi2801
      @wamisangi2801 8 หลายเดือนก่อน

      Kupitia Roho Mtakatifu aka Roho wa Mungu anaye ishi ndani yetu ambaye anatuwezesha kudadavua hayo masndiko.
      Mchungaji wako mpaka hapo ni muongo tayari. Kwa umri wake amedanganya wangapi? Atubu na aache huu usanii utampleka jehanamu ya ziwa liwakalo moto milele..
      Yohana 14:16-18.

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@wamisangi2801yohana 17:3

  • @salmoncelestine6840
    @salmoncelestine6840 8 หลายเดือนก่อน +6

    Kristo aendelee kukutunza baba,, nakupenda..God bless you

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 8 หลายเดือนก่อน +22

    Mchungaji Mungu akutie nguvu

  • @mremagoodluck9401
    @mremagoodluck9401 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mchungaji kweli, hachoshi hakinaishi kusikilizwa mafundisho na vionjo vyake, na tunapata kitu kwake faida yetu ya kiroho na kimwili. Sio hao wanaojiita,mh,dr,nabii, mtukufu sijui ujinga na sifa. Mungu pekee apewe sifa na si mtu

  • @patientfazili4067
    @patientfazili4067 8 หลายเดือนก่อน +4

    Ndio Kuna watu waiwojaliwa neema hapa Dunia wanasikiya sauti ya Mungu kimono ao kupitiya mjumbe (Malaika)

    • @mustavic7750
      @mustavic7750 8 หลายเดือนก่อน +1

      Hayo ndo matatizo ya afya ya akili, 😂😂, yani usikie sauti ya mungu kupitia malaika.

    • @pascojm6816
      @pascojm6816 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂

    • @NeylaizerLaizer
      @NeylaizerLaizer 23 วันที่ผ่านมา

      Hahaaa

    • @BobgIsmail
      @BobgIsmail 20 วันที่ผ่านมา

      Huna akili chizi wewe

  • @jamesnzinga5354
    @jamesnzinga5354 8 หลายเดือนก่อน +4

    Uyu jamaa ni mwalimu, mzuri muhubiri mkweli na mwana falsafa katika elimu ya dini kenya tunamkubaliii

  • @destinmuzusa9163
    @destinmuzusa9163 4 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki man of GOD, the bible says give as you purporsed in the book of 2cor chapter 9:7. sio hizo za kutisha watu, Congo tuna tishiwa holy ghost

  • @Mayasa-o2w
    @Mayasa-o2w 4 วันที่ผ่านมา

    huyu.hananja yupo.kiimani sana.masha Allah namsikilizaga.sana.huyu.mbaba.sio.tapeli.kama.hao.wengine.wezi.tu.

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t 4 หลายเดือนก่อน

    Alimuona Mungu anafananaje? Wakati kitabu cha mwanzo kwenyekitabu chauumbaji wa dunia maandishi yanasema Rohoya Mungu ilituliajuuyakirindi chamaji.
    Kwa maana hanaumbile walahakunabinadamu aliyewahi kumuonaMungu. hizoteojia wanasomawapi haowachungaji wakujitegegemea.

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 8 หลายเดือนก่อน +4

    Kwakweli hananja na baadhi ya wenzako nawakubali, mungu awabariki mnooo mnasema ukweli tu

  • @RamaWaziri
    @RamaWaziri 7 หลายเดือนก่อน

    Ukiendelea kuongea utoporo we eti hananja unanjaa ya kubeba na punda mpumbavu wewe huwezi kumfikia Nabii Mkuu angalia kwanza tunavyomtaja kwa helufi kubwa inamanisha yeye ni MKUU kuliko ww ndo hujui chochote unaongea tu utoporo kama unakunya mbwa ww

  • @MichaelMagige
    @MichaelMagige 8 หลายเดือนก่อน +4

    Majambazi yameingia makanisani,watu hawana hofu wanajiita manabii wa mchongo,stukeni watanzania! Musa mwenyewe hakumuona Mungu,hakuna mwanadamu anayeweza kumuona Mungu akaishi!

  • @surveyor_dk
    @surveyor_dk 8 หลายเดือนก่อน +4

    Fact! 😂 Huyo Davie sijawahigi muelewa kabisa😂

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA 8 หลายเดือนก่อน

      KWASABABU HAUPO KIROHO BALI UPO KIMWILI .

    • @KhadijaMwenda
      @KhadijaMwenda 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@YOSHUAMWAMPETAmwabudu shetan mwenzio ushafungwa akili hujielewi

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA 7 หลายเดือนก่อน

      @@KhadijaMwenda 2YOHANA :20"Nasi twajua ya kuwa Mwana wa Mungu amekwisha kuja,naye ametupa akili kwamba tumjue yeye aliye wa kweli, nasi tumo ndani yake yeye aliye wa kweli, yaani ndani ya Mwana wake YESU KRISTO.HUYU (YESU) ndiye MUNGU wa kweli , na UZIMA WA MILELE." Ninajijua mimi ni NANI ndani ya YESU KRISTO WA NAZARETI MUNGU WA KWELI ,wewe Je?

  • @paschaljackson2584
    @paschaljackson2584 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ni kweli wachungaji wengi wanaanzisha makanisa ili wapate pesa. Wanafanys makanisa kuwa ndiyo biashara zao. Watu wanato sadaka kwa wachungaji wao bila kujua kuwa wanawaaminisha uongo tu. Soma biblia upate masrifa.

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi 8 หลายเดือนก่อน +4

    Maranyingi ananifurahisha na ananiimarisha sana kiimani

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 7 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji Hananja umesema ukweli Dini nyingi zote zilizofinguliwa hivi karibuni ni za kuwala wajinga ndiyo waliwa

  • @CLAUDIPHILIPO
    @CLAUDIPHILIPO 6 หลายเดือนก่อน +3

    Pastor upo sahihi sana

  • @mrgnotv9478
    @mrgnotv9478 หลายเดือนก่อน

    Mafundisho yako ni pamojana kucheka tunafurahi ila wengine wanafundisha kama wanatufokea

  • @ubunifulifestyle3492
    @ubunifulifestyle3492 8 หลายเดือนก่อน +6

    Eti we mkaanga chipsi utaongea na mungu wwww😂😂😂😂

    • @wamisangi2801
      @wamisangi2801 8 หลายเดือนก่อน

      Unachekelea kama mazuri vile? Mkaanga chips aliye mpokea Bwana Yesu kwa taratibu zilizo elekezwa na Neno. Si tu kuwa anaongea kupitia ndoto/maono na Mungu lakini Roho wa Mungu anaishi ndani yake. Mawakala wa shetani katika ubora wao kupotosha wwtu wa Mungu ili wawaunganishe waende nao moto.
      Joel 2:28.

    • @dicksonkilupa2258
      @dicksonkilupa2258 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@wamisangi2801Mungu anaweza kusema na mtu yeyote kwa lengo la kutimiza kusudi lake, ila Mungu anayesema na mtu mmoja tu wengine hataki na tuchunguze hilo alilolisema linalenga nini?

    • @yuzotv458
      @yuzotv458 8 หลายเดือนก่อน

      ​@wamisangi2801
      mzee unaamini geordevi kaongea na Mungu live sio???!,

    • @wamisangi2801
      @wamisangi2801 8 หลายเดือนก่อน

      @@yuzotv458
      Jiongeze wewe, hujui hawa manabii wa uongo wanavyo lindana na kusaidiani. Kwa akili zako unafikiri huyu mchungaji anampinga Geodavi. Juzi tu katoka kusifia nabii wa uongo TB Joshua ndio leo ampinge Geodavi.??? Hii ni scheme ambayo imepangwa ikapangika ya shetani na mawakala wake.
      Iko hivi,Wiseman Daniel mmoja wa wasaidizi wa karibu na kuaminika sana wa nabiibwa uongo TB Joshua, alitoa ushuhuda kuwa nabii wa uongo TB Joshua alikuwa anafanya Ubatizo wa uchi wa mnyama kwenye mlima wa maombezi hapo scoan. Huyu mchungaji alimtetea leo ndio apinge huyo wa Arusha. Kutoka 20:26 na Yohana 21:7.
      Hawa manabii wa uongo wanafanya hivi. Wanatoa tuhuma dhaifu kwa mwenzao wakiwa wameandaa hoja zenye nguvu kutetewa na wengine hapo baadaye kuendea kudanganya watu wa Mungu.
      Tuhuma zote anazopewa TB Joshua ni dhaifu na zinazo hoja zenye nguvu zitaendelea kutolewa kadiri muda unavyo enda kuzipinga hii ni kwa madhumuni ya kuendeleza umaarufu.
      Unajua kwa nini. Nabii wa uongo TB Joshua alishadanganya kuwa yeye ni masihi baada ya Bwana Yesu Kristo kwani Mungu huleta mwokozi duniani kila baada ya miaka 2000 yeye ndiye wa kizazi hiki. Huu ni mpango aliacha hata baadhi ya mikakati ya huu uongo akiwa karekodi matukio ya kupigia propoganda.

    • @wamisangi2801
      @wamisangi2801 8 หลายเดือนก่อน +1

      @@yuzotv458
      Geodavi na mchungaji wote manabii wa uongo.

  • @KennethChambilo-oh8pw
    @KennethChambilo-oh8pw 8 หลายเดือนก่อน +6

    Waisilam acheni kukosoa msiyo yajua wote tumekaliliswa tu hizi dini kwa madiko ukweli anao yule aliye kuwepo kwenye tukio

    • @hassanachunis1166
      @hassanachunis1166 8 หลายเดือนก่อน

      Tatizo lenu mnafanywa sana ngombe hilo ndio tatizo sasa mtu anakwambia ameongea na mungu na wamekaaa pale wanacheka 😊😅😅 sasa waislam ushawahi kuskiaa shekh kasema upuuzi kama huo

    • @Abcdefghijjjjjjjj
      @Abcdefghijjjjjjjj 8 หลายเดือนก่อน

      ​​Hassan usisahau waislam mnapenda kufanya kinyume Cha maumbile
      Halafu makundi mengi ya kigaidi ni yenu
      Halafu mna chuki za hali ya juu sana na ubinafsi umejaa sana kwenu
      Ila ni nyinyi sio msaafu wenu
      Hata sisi bible haijasema Geodav huyu nabii wa uongo eti ndio ukristo
      Kua kiimani sio unakua kwa chuki ya kidini​@@hassanachunis1166

    • @farajansekela5763
      @farajansekela5763 7 หลายเดือนก่อน

      Hata we dini umerithi unaijua vizuri ,,,,,Dini zote Ni biashara tuu,,,@hassanachunis116

    • @KassimuAhamadi06
      @KassimuAhamadi06 3 หลายเดือนก่อน

      Waislamu wanajutambua,huwez kuona upumbav huo msikitin

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ukizungumza na mkuu wawilaya hatulali.. Uzungumze na Mungu tutakuwepo kweli hahaha.!!!

  • @khamismgunya4519
    @khamismgunya4519 8 หลายเดือนก่อน

    Wambie ww mkristo mwenziwao maana tukisemz ss waislam wanasema tunawachokoza

  • @KOLASCLASSICDESIGNS
    @KOLASCLASSICDESIGNS 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kwahiyo mzee Hananja mtu kama hasomi Biblia hawezi kuongea na Mungu?, kina Adam, Nuhu, Ibrahim, Joseph, Paulo wao waliongea na Mungu kupitia Biblia gani mchungaji?. Mchungaji inamaana hata hujui maana ya Rhema na logos? mchungaji unasema Mungu anaongea kupitia biblia pekee na kazi ya roho mtakatifu kwako ni nini?.Inamaana Kama kuna ajali mbaya inakukabili kesho Mungu hatakuonesha mpaka ukasome biblia?. Biblia inaposema Mungu husema na watu kupitia ndoto wewe hilo andiko hujawahi kuliona tangu uanze kutumia Biblia?. Ila inasikitisha sana maana maandiko yanasema katika maneno mengi hapakosi........

    • @danielkabambi4199
      @danielkabambi4199 8 หลายเดือนก่อน

      Wewe hujaelewa maana Ake KUPITIA maandiko ambayo umeyashika na Mungu akaka kwako Mungu uzungumza nawe KUPITIA maandiko hayo

    • @shaibumbwilo9938
      @shaibumbwilo9938 8 หลายเดือนก่อน

      We hujamwelewa pastor,tulia ujifunze taratibu,haifai kwenda mbio

    • @Makala360
      @Makala360 8 หลายเดือนก่อน

      Ucpende kukurupuka mkundu ww

  • @KhadijaMwenda
    @KhadijaMwenda 7 หลายเดือนก่อน

    Sadaka ni hiari ndoman waslamu hatulazimishwi kutoa kiwango fulani

  • @ConfusedChicken-ze9fz
    @ConfusedChicken-ze9fz 7 หลายเดือนก่อน

    acha kupotosha wewe mzee maana hata Bwana Yesu aiishuhudia watu wakitoa sadaka na pia alimsifu mwanamke mjane ambae alitoa senti mbiili na wala Bwana Yesu akumuurumia kwamba asitoe sadaka kwaiyo naomba asipotoshe watu wasio na ufahamu wa maandiko

  • @elialawi4382
    @elialawi4382 8 หลายเดือนก่อน +4

    Upo sawa

  • @yasintamsuya
    @yasintamsuya 8 หลายเดือนก่อน

    Yaani wewe mchungaji mstaafu ungetulia tu ungeonekana na hekima kila mahali unaongea ongea

  • @ErnestagustKweka
    @ErnestagustKweka 4 หลายเดือนก่อน

    Kuna watu WA rohoni na WA mwilini ndicho kinchoonekana hap

  • @shepherdizotarimo8227
    @shepherdizotarimo8227 8 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂 Mkaanga chips ww huongee na mungu

    • @kenonpeter3692
      @kenonpeter3692 8 หลายเดือนก่อน

      Mungu akurehemu ujui unalo tamka ww

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 8 หลายเดือนก่อน +2

    Duu haponimekukubali. Mzee wachungajiwengi waongo. Etiwanajitia wameongeana Mungu. Kaniambia hivi.hivi watuwanakubali. .mtihani. Allhamdulillah kwakua mwiislam

  • @NasaniaMartin
    @NasaniaMartin 6 หลายเดือนก่อน

    Hivi kumwona mchungaji ni pesa hivi kulikon

  • @JumaAbdallah-n4e
    @JumaAbdallah-n4e หลายเดือนก่อน

    Asiy mkubali huy mchungaji akalie🖕

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 8 หลายเดือนก่อน +4

    Mwandishi hata Kuandika hujui,mungu ni mzimu na MUNGU ndiye wa kweli

    • @hanskidd2290
      @hanskidd2290 8 หลายเดือนก่อน

      Acha ushamba bn tfsri ni ile ile

    • @timotheojackson3021
      @timotheojackson3021 8 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa Sana ❤hii ni kweli

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA 8 หลายเดือนก่อน

      WAJUA KUANDIKA ILA KUFUNDISHA HUJUI.Sema MUNGU anaandikwa kwa Herufi kubwa Hususani Herufi ya Kuanzia.Ukiandika jina Mungu kwa kuanza na herufi ndogo kwa mfano kwa kimombo ukiandika gods itamaanisha miungu.

  • @estherdeborahsabuni9835
    @estherdeborahsabuni9835 8 หลายเดือนก่อน +2

    Aliyemchagua Mungu amemchagua. Mungu turehemu.

  • @BIGSTONE-lb9po
    @BIGSTONE-lb9po 7 หลายเดือนก่อน +2

    NIHATARI SANA.

  • @JacquilineNoah
    @JacquilineNoah 8 หลายเดือนก่อน +6

    Eti mkaanga chips aonane na mungu😂😂😂

    • @CindyJulias
      @CindyJulias 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 jamani nimecheka hadi machozi

    • @ChristianKiponda-d7e
      @ChristianKiponda-d7e 8 หลายเดือนก่อน

      Elijah alikuwa Mkulima, Musa alitokewa na Sauti ya Mungu pale alipokuwa akichunga ngombe wa baba mkwe wake, Kwa hiyo kutokewa au kuambiwa jambo na MUNGU ni Mpango wake Yeye Pekee ndiye mwenye Uwezo wa Kuomgea na Yeyote amtakaye, Haijalishi ni Muuza Chips au Mkulima.

  • @EzzyEddy-il3ce
    @EzzyEddy-il3ce 8 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂anatembea tembea utafikili nzengeli max😂😂😂

  • @vitalisherman2016
    @vitalisherman2016 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mchungaji Hananja hapa umechemka kubalikosa.Lakini pia mimi siwezi kumlaumu sana.Kutoka na mapokeo ya dhehebu lake.Mungu anaongea kwa njia ya Neno, Kwa Roho mtakatifu.na Yesu mwenyewe. Kuna njia nyingi

    • @BakariMsoka
      @BakariMsoka หลายเดือนก่อน

      Lakini mtu hawezi kuongea namungu kwasasa kama mussa

  • @mrgnotv9478
    @mrgnotv9478 หลายเดือนก่อน

    Baba wapewape maukwel wanajua ila wanaigiza wape wape

  • @AbuodSeleman
    @AbuodSeleman 2 หลายเดือนก่อน

    sanam lako utalkuta posta wki ijayo mzee

  • @sagazuukambad
    @sagazuukambad 2 หลายเดือนก่อน

    ww ndo uko viziri kwa KISASI chako

  • @EmanuelyThomas-ml7sf
    @EmanuelyThomas-ml7sf หลายเดือนก่อน

    MUNGU YUPO JANA LEO NA HATA MILELE UKIMUITA ATAITIKA WE UMESHAZEEKA NA HUYOMTANGAZAJI MWENYE NDIO KABISAA KUTWA KWENYE INTERVIEW KUMTAFUTA MUNGU AAAAH

    • @mwinjialiyetumwa2302
      @mwinjialiyetumwa2302 หลายเดือนก่อน

      nawewe utazeeka hakuna umri wa mtu unaorudi nyuma

  • @CJ-vd9wn
    @CJ-vd9wn 8 หลายเดือนก่อน +8

    Ila huyu mzee ni mwanafasihi mzuri sana😂😂😂

    • @vickytorry100
      @vickytorry100 8 หลายเดือนก่อน

      Mungu amemuumba wa pekee sana

  • @Joh-p9f
    @Joh-p9f 2 หลายเดือนก่อน

    Michango ni mingi sana bhana kweli 😅😅

  • @kefamsafiri1028
    @kefamsafiri1028 2 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji hupo vizuri na ni mkufunzi mzuri tu iLa kuna nafasi anakosea anasema eti hakuna binadamu anaweza kuongea na Mungu kwanini mbona zamani akina musa Elia nabii isaya na wengine tu kibao waliongea na Mungu iweje Leo apinge kwamba hakuna binadamu anae ongea na Mungu?? Sema kwa wakati tulio nao wameibuka manabii wengi wa uongo kama yasemavyomaandiko siku za mwisho kutatokekea manabii wa uongo duniani ndivyo yesu alisema

    • @BakariMsoka
      @BakariMsoka หลายเดือนก่อน

      Ndio hivyo kwazama hizi hakuna anaeeza kuongea namungu

  • @chrisbee7876
    @chrisbee7876 8 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂nimecheka sanaaa

  • @MasamaJanuary-ej1zz
    @MasamaJanuary-ej1zz 2 หลายเดือนก่อน

    Ananja ni mfano wa kila kiongozi wa dini

  • @felistermarco
    @felistermarco 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kabisaaa🤣🤣 tanzania sihami mimi.uko sawa mchungaji

  • @KadabraGadna-xu5ez
    @KadabraGadna-xu5ez 8 หลายเดือนก่อน +8

    Mchungaji wewe unajielewa sanaaaa mungu akubariki.hakuna mwanaadamu wakuongea na mungu wanakanisa laa Arusha pale kwa devi wahajielewi

  • @vickytorry100
    @vickytorry100 8 หลายเดือนก่อน +12

    Ukweli mtupu Dina za mchongo hizo, Mungu akuzidishie HEKIMA Mchungaji Hananja 🙏🏾

    • @wamisangi2801
      @wamisangi2801 8 หลายเดือนก่อน

      Manabii wa uongo watawapata wanaweke wajinga.

    • @Ban-w1u
      @Ban-w1u 6 หลายเดือนก่อน +1

      We nawe mjinga mwingine​@@wamisangi2801

  • @VascoKasambala
    @VascoKasambala 4 หลายเดือนก่อน

    Iiichi watu wake wengi ni ziro brn

  • @pommenuh5413
    @pommenuh5413 8 หลายเดือนก่อน +2

    My mcungaji

  • @johnmbitiyaza1254
    @johnmbitiyaza1254 8 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂Leo nmejikuta nacheka peke yangu.

  • @shafiimohamedi311
    @shafiimohamedi311 หลายเดือนก่อน

    Dah hananja unaongea Sawa kabisa

  • @josephmushi7097
    @josephmushi7097 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu mch ni mkweli kwa yeye Mungu hajawahi kuzungumza nae ila Mungu huzungumza na watu .Ni kwa njia gani kila mmoja kulingana na mahusiano yake aliyoyajenga mwenyewe.Mungu sio bubu .

  • @magaraombogo7335
    @magaraombogo7335 6 หลายเดือนก่อน

    Mchunguji mkweli huyu

  • @dilludillu2747
    @dilludillu2747 8 หลายเดือนก่อน +2

    The big brain

  • @jeremiajacksonlupora6731
    @jeremiajacksonlupora6731 8 หลายเดือนก่อน

    Namkubali sana Huyu mchungaji

  • @HaroldEliud
    @HaroldEliud 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu yupo anaongea na watu wachache, sio manabii tu, kuna watu walikuwa washirikina , wameonana na Mungu na waliacha, wapo waliokuwa icu wamezungumA na Mungu live wamepona

  • @lusekelowilliam2068
    @lusekelowilliam2068 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 dah nimecheka kweli

  • @Kamkono
    @Kamkono 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mchungaji wewe umeajiriwa na KKKT mziki wa Geo Davi achana nao kwepa kwepa hivyo subiri mshahara wako mwisho wa mwezi. Usilazimishe kila swali ulijibu mengine tulia. Kukaa kimya nalo nijibu.

    • @Makala360
      @Makala360 8 หลายเดือนก่อน

      Kwan amekwambia anashndana au mkundu wako unawasha.. anaweka watuu kwny mstari

  • @KijukuuMtemi
    @KijukuuMtemi 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu mchungaji angekua muislam bas ndo angekua shehe mkubwa tz mchungaji nakuombea Dua islimu kabla hujafa maana unaongea ukweli

  • @abisalomwasike8280
    @abisalomwasike8280 8 หลายเดือนก่อน +2

    Man of god really man

  • @MichaelWilliamsNyirenda
    @MichaelWilliamsNyirenda 2 หลายเดือนก่อน

    Jembe moja hatari

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel3380 8 หลายเดือนก่อน +2

    😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hilo kweli kabisa ,

  • @oscarjohn477
    @oscarjohn477 8 หลายเดือนก่อน +2

    St Francis mbeya

  • @jastinmkoba
    @jastinmkoba 8 หลายเดือนก่อน +2

    Wengi wanaomsifia hananja awajui biblia ......ingawa simtetei geo dav

    • @naseebjoseph5330
      @naseebjoseph5330 8 หลายเดือนก่อน

      Pole

    • @fatumakiwera7145
      @fatumakiwera7145 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @mwamakaassely2260
      @mwamakaassely2260 8 หลายเดือนก่อน

      Tulia matapeli mpo wengi

    • @Makala360
      @Makala360 8 หลายเดือนก่อน

      Ww na mkundu wako unajua nn na matako yako... Ww mbn umemckiliza inamaana naww hujui biblia watyu wengine akili mnaziweka mkunduni ama

  • @SamuelOpingoM
    @SamuelOpingoM 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu utusamehe

  • @HamisSaidi-h3u
    @HamisSaidi-h3u 8 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu Mchungaji Ana Akili za kiislamu kabsa Wallah Tena ipo siku mtasikia kasilimu huyo Maana Akili zake ni zakiislam Mwanzo Mwisho

    • @ShamimMsofe
      @ShamimMsofe 8 หลายเดือนก่อน

      Kabisa yaan IPO siku inshalah tumuombee

    • @timoliiisaya3824
      @timoliiisaya3824 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@ShamimMsofedini ya hovyo Islamic

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee 8 หลายเดือนก่อน +2

    Manabii jamii ya akina Geordavie wa mungu wao aitwaye mungu wa dunia ni kweli huwa wanaongea naye hata kukaa naye.

  • @richardmbaruku5494
    @richardmbaruku5494 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wachungaji au wahubiri wanao mahubiri Mungu kutoka miyoyoni mwao ni wachache sana. Tatizo ya wao kupata wafuasi hao wachungaji kanjanja wengi ni wajanja na wanajua kupangilia maneno

  • @shadrackjuliuskaboya5239
    @shadrackjuliuskaboya5239 8 หลายเดือนก่อน +8

    Hananja nimmoja tuu hatotokea tena

  • @CharlesMadondo
    @CharlesMadondo 8 หลายเดือนก่อน +2

    Michango mingi harafu mazngaombwe kbao

  • @francofrederick972
    @francofrederick972 7 หลายเดือนก่อน

    Unasifiwa na wengi sawa, lkn unategwa kwa maneo yako uikane imani, kumbuka Mungu ni yeye yule habadiriki, unamaanisha Mungu ameacha kusema?,
    Wakati unamkosoa mwenzio sawa hata akiwa hayuko sawa ,wewe ndo unakosea zaidi😂😂😂😂😂😂

  • @emoalembe4790
    @emoalembe4790 8 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji fanya tahadhari usije uka kufuru mahandiko .

  • @AlexMkwama
    @AlexMkwama 8 หลายเดือนก่อน +4

    Wokovu ni Wa Mtu Binafsi na MUNGU, kupangiwa sadaka ni ubakaji wa kiroho.
    Toa kwa kadri ulivyo barikiwa.

  • @omarmohamed312
    @omarmohamed312 8 หลายเดือนก่อน +8

    wajanja ndio wali wao. bora uwaelimishe wew huenda wakakusikiliza. unampa sadaka mtu kavaa suti za bei kali, ana na gari kali alafu wew umepanga na huna hata baiskeli. si bora umpatie sadaka jirani yako ambae unamuona ana hali ngumu, au maskini au yatima. watu wanakua wagumu sana kumsaidia mtu binafsi anaeonekana kabisa ana shida kila aina ila huyhuyo yupo tayari kwenda kumpelekea nabii tapeli. ili aonekane na wengine tu dah jamaa anatoa sadaka kweli.

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA 8 หลายเดือนก่อน +1

      👆👆👆HAKIKA HUJUI UNACHOONGEA.Mungu akusaidie. NEEMA YA UTUMISHI INATOFAUTIANA KATI YA MTUMISHI MMOJA NA MWINGINE.

    • @omarmohamed312
      @omarmohamed312 8 หลายเดือนก่อน

      acheni kuwadanganya watu na kuwachukulia hela zao kwa nguv zenu za giza.

    • @billmkushi849
      @billmkushi849 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@YOSHUAMWAMPETAacha ushenzi! Unamtisha Ili iweje?

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA 7 หลายเดือนก่อน

      @@billmkushi849 USHENZI NI UPI? Jifunze lugha kabla ya KUITUMIA ILI UWE SALAMA KIMAWASILIANO.

  • @JamaldaudlulyehoJamaldaudlulye
    @JamaldaudlulyehoJamaldaudlulye 2 หลายเดือนก่อน

    et mkaanga chips 😂😂😂

  • @hezronsanga5197
    @hezronsanga5197 8 หลายเดือนก่อน +2

    True

  • @didasmajor9288
    @didasmajor9288 8 หลายเดือนก่อน

    Jamani ukristo unaelekea wapi? Ee Yesu mwana wa Mariam plz rudi, angalau utunyakue wachache tuliobaki kukuamini ktk kweli ya neno lako, usikawie maana hata walio wateule wanaanguka, ushoga kanisani,
    Kamari kanisani,
    Vikoba kanisani,
    Ulawiti kanisani,
    Ufiraji kanisani,
    Utapeli kanisani,
    U-miss kanisani,
    Biashara kanisani,
    Ulevi kanisani
    na kila aina ya uchafu, waliobaki na msimamo wa dini ni watoto wa mama mdogo tu! Kumbuka ee Yesu ulisema, wema wetu usipozidi wema wa mafarisayo na masadukayo, hatufai kitu, siku hizi watt wa Ishmael wanalea watoto yatima, wanasaidia wagonjwa mahospitalini, wahi maana wateule nao wataisha, kazi yako pia itakuwa bure? Kufa kwako msalabani kutafaa nini? Njoo masiya njoo tunakungoja njoo uje uweke wazi mafumbo haya.

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ukifungua kanisa,nje andika kibao malizia na "Miracle Center" ukikosa pesa njoo unilaumu,utajenga,utanunua SUV'S utafurahi

  • @SURASHY24
    @SURASHY24 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mtu ambae si muislam hata afanye mema kiasgani hayatamnufaisha kwamungu salama yake kwanza atamke shahada halaf afate maamrisho ya Allah

    • @newforcejv9721
      @newforcejv9721 8 หลายเดือนก่อน

      Umekalilishwa hongera

    • @ernestcharles4288
      @ernestcharles4288 8 หลายเดือนก่อน

      Quran 40;60 wote mnaomuabudu allah mtaingia jehanam mzalilike 😅😅

    • @SURASHY24
      @SURASHY24 8 หลายเดือนก่อน

      @@ernestcharles4288 uongo wa hali ya juu sana umesema Quran 40.60 suragani Sasa acha uongo soma ujue ni ipi dini yahaki

    • @martinmkoba361
      @martinmkoba361 8 หลายเดือนก่อน

      Wote ndio nyie mnaojifanya mnazijua siri za Mungu pumbavu

  • @musicheals1545
    @musicheals1545 8 หลายเดือนก่อน

    hapo kwnye Sadaka na michango michango mingine, inabdi uende kwa viongozi dheheb flan ivi ukatoe somo kule maana.

  • @AmbweneNdapisi
    @AmbweneNdapisi 2 หลายเดือนก่อน

    Et mkaanga chips😅

  • @arnoldkea2903
    @arnoldkea2903 6 หลายเดือนก่อน

    Wape dose yao Mzee nakubali...watu wamezidisha utapeli..

  • @Shafikimanga7
    @Shafikimanga7 8 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu anamjua Mungu na Imani pia. Huu ndio werevu Kila mmoja afikie hapa walau kwanza

  • @AndreTadeuAlberto
    @AndreTadeuAlberto 2 หลายเดือนก่อน

    Peço ajuda família, nataka kujiunga mwezenu na uyu mchungaji

  • @hekimajohn3070
    @hekimajohn3070 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu ndo muchungaji wa kweli aliyebaki duniani wengine wote wapigaji

    • @yudatv4911
      @yudatv4911 8 หลายเดือนก่อน

      Mungu akuzidishie maarifa hananja

  • @godfreymasondaabel1904
    @godfreymasondaabel1904 7 หลายเดือนก่อน

    hahahahhaahaha.....😂😂😂