KILIO CHA WANANCHI KWA SERIKALI YA ZNZ ENEO LAO KUJENGWA AIRPORT, "SISI PIA NI MALI YA SERIKALI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ค. 2024

ความคิดเห็น • 77

  • @hatibbaraka3956
    @hatibbaraka3956 17 วันที่ผ่านมา +13

    Ifahamike ya kua wananchi wa Paje na Jambiani hawapingi ujenzi wa hicho kiwanja ila wanataka itafutwe sehemu nyengine kutoka kutoka Jambiani hadi Muyuni ni zaidi ha kilometres 20 kuwafidia shamba ni aula kuliko kuwafidia nyumba ambazo watu wanaishi.
    Na ukweli hasa Kisauni inatosha International Airport ya nini kujitia gahrama kujenga International Airport mbili!

    • @OmerSuley-gl7go
      @OmerSuley-gl7go 14 วันที่ผ่านมา +1

      Imewashinda ya Pemba tu

    • @aimanshija4230
      @aimanshija4230 10 วันที่ผ่านมา

      Kweli kabisa airport moja inatosha ,,

  • @abdallahsuwed65
    @abdallahsuwed65 17 วันที่ผ่านมา +9

    Ni vyema wakajenga barabara tu.hakuna haja ya Airport.
    Kutoka Paje mpaka town ni dakika 50 tu kukiwa na Good Road.

  • @user-qe9ot4kl9u
    @user-qe9ot4kl9u 16 วันที่ผ่านมา +5

    Uchaguzi unakuja mtachagua tena Ccm 😅😅😂

  • @Grataaaaa
    @Grataaaaa 16 วันที่ผ่านมา +4

    Serekali hii baada kujenga viwanda watu wakapata ajira wanawakandamiza raiya wallah maisha magumu kula kupata kwa tabu wao wanaona powa tuu

  • @ginazngo4317
    @ginazngo4317 15 วันที่ผ่านมา +2

    Watu wanalia njaa wao ndio kwanza wanawakandamiza maskini daa poleni wazibabaria wenzangu

  • @MOHAMEDMBAROUK-tc4ch
    @MOHAMEDMBAROUK-tc4ch 15 วันที่ผ่านมา +2

    Mwinyi bana hvi Hana Imani hana mnafiki wallahi sasa wtu kwenye makazi yao munawaondosha

  • @ZalkhaRawahi
    @ZalkhaRawahi 17 วันที่ผ่านมา +7

    Ardhi mali ya serekali au mali ya sirikali mana mabango yashawekwa tayari kuzuia halafu unaambiwa sirikali haifanyi jambo bila kushirikishwa mwanachi angeshirikishwa tangu mnataka kupima

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 17 วันที่ผ่านมา +6

    Walipwe sehemu zao za makazi wasiwadhulumu hao ni wananchi wao

  • @mohammedbakar4142
    @mohammedbakar4142 16 วันที่ผ่านมา +3

    Kiufupi ni uwonevu Airport nyengine yanini zanzibar imekuwa NGOROGORO

  • @user-st9me2jn7o
    @user-st9me2jn7o 15 วันที่ผ่านมา +2

    Ya nn kujenga air port mbili kisiwa kidogo hicho jamani viongozi tumieni uwezo wa kufikiri mukijenga air port ya pili kipato kitapunguwa mtu anatumia 800000 kwa kuja kuchukuwa mgeni airport mjini kutoka shamba Jengeni barabara

  • @MeniJr
    @MeniJr 16 วันที่ผ่านมา +2

    Sidhani kama Kuna haja ya kijenga airport Kwa geographia ya unguja hizo PESA wengali Jenga Barbara na hospitali

  • @user-hn6kv6xe7m
    @user-hn6kv6xe7m 12 วันที่ผ่านมา

    Mh mwinyi Jenga uwanja wa ndenge usibabaike na kelele .hayo ndiyo maendeleo tupo pamoja 👏👏

  • @hassnsalim5156
    @hassnsalim5156 17 วันที่ผ่านมา +6

    Serikali sikiliza wananchi ndio wapiga kura wenu pls

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 16 วันที่ผ่านมา

      @@hassnsalim5156 Nyiye pigeni KURA na kupigwa viboko baada ya Kura baada ya hapo hakuna mtu anaye kujuweni subirini tena miaka mitano hebu wacheni UJINGAaaaa na mchezo huo huo unaendelea…..😀

  • @namisgiggah1571
    @namisgiggah1571 17 วันที่ผ่านมา +3

    Mimi nashangaa znz'unguja bado ndogo kiwanja kimoja kinatosha ikiwa kipo kiwanja cha ndege chajeshi tayari.! Maana zanziba sio kiwanja cha vitata mpaka ueneze viwanja vya ndege. Kama tatizo ni kupunguza masafa ya umbali bridge kujenga kunatosha ama reli za treni basi.

  • @saidalhinai1131
    @saidalhinai1131 17 วันที่ผ่านมา +4

    Nchi imeshauzwa nyie nendeni mwanaromango hapo ni wawekezaje ndio wenye nchi mliwatoa waarabu wamekuja waarabu weusi bora wale waarabu haikuhi kufanya dhulma kama hiyo

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 17 วันที่ผ่านมา +3

    Kwa hapo Unguja haina haja kweli ya Airport nyengine. Hizo pesa waongezeeni mishahara Wananchi.

    • @bukharysaid
      @bukharysaid 16 วันที่ผ่านมา +1

      Wananchi wenyewe hatuna uwezo wa kupanda ndege

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 16 วันที่ผ่านมา +1

      @@bukharysaid 🤣🤣🤣 Zimewekwa kwa wageni wanao ingiya nyiye mpande magari mabovu Wananchi maskini.

    • @bukharysaid
      @bukharysaid 13 วันที่ผ่านมา

      @@awatifalghanim1106 Kwa kweli mtihani😂😂

  • @user-ue2nz3vc4j
    @user-ue2nz3vc4j 17 วันที่ผ่านมา +2

    Waziri ardhi nenda kawasikilize wananchi wako pls.....

  • @lawskuli9876
    @lawskuli9876 16 วันที่ผ่านมา +1

    Watu wasiwe na wasiwasi na maamuzi ya Serikali hayajatoka ili hali mabango ya kuwakataza kutumia maeneo yamepachikwa. Jamani!

  • @salumnassornassor9733
    @salumnassornassor9733 16 วันที่ผ่านมา +1

    Uyo sio raisi ni rahisi mwinyi ungejenga ikamaliza uwo wazamani kuna barabara tele nyembamba tanueni njia gari zipite huku na huku zakwenda tu ziwe zake na kurudi ziwe kwake munajenga njia nyembamba halafu munazingua

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 17 วันที่ผ่านมา

    Wajengeeni Wananchi wenu nyumba za kuishi nzuri baada ya kuwadhalilisha . Wazungu imekuwa bora kuliko Wananchi hapo Unguja. Wananchi hawana kauli yoyote kwa kila kitu wanachokitaka kwenye maisha yao hawakipati. Airport hiyo itakuwa ya Wazungu tuu wakitoka kwenye ndege moja kwa moja baharini. Hii Unguja itakuja kuzama siku moja. Wacheni kudhulum watu.

  • @ericlondonmuwazijimmy1221
    @ericlondonmuwazijimmy1221 15 วันที่ผ่านมา +1

    Mapenda mzee wa kwanza

  • @rukayyaaliy9713
    @rukayyaaliy9713 12 วันที่ผ่านมา

    Jamani hiii dunia tunapita tunaondok na sanda nyeupe uwemtu wa serekal sio serekal nyanda yetu nimoja ubao wetu ni mmoja kilakitu unakiyacha mali ya mwenyenzi mungu allah ndie mmiliki wa kilakitu kwani yeye kamba uwonavo vitu vyote vya duniani vyote mmiliki ni yeye allh kwa iv tutumie akiri

  • @ambokileasheengai1140
    @ambokileasheengai1140 16 วันที่ผ่านมา +2

    DAH HII NDIO AFRIKA NYEUSI KWAHYO ARDHI WAO WANAWEKA BICONS NA KIONGOZI UNASEMA SERIKALI HAIJAAMUA?KWELI HUU SI ULAGHAI,,,KWANI ARDHI HAIKO KWA SERIKALI?

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 15 วันที่ผ่านมา +1

      Viongozi Africa hawawajali watu wao ,, wanawaona kama nyani tuu , hili ndio tatizo la Africa nzima

  • @ambokileasheengai1140
    @ambokileasheengai1140 16 วันที่ผ่านมา +1

    Ardhi mali ya serikali je Watu ni mai ya nani?sio serikali mnaambiwa nyie watu ni mali ya MUNGU

  • @alhudhaify7810
    @alhudhaify7810 9 วันที่ผ่านมา

    Ivi airport ya kiembesamaki na kigunda mnataka kuongeza nyengine? Khaaa kwa wasafiri gn? Hebu kajengeni kile cha pemba kwanza

  • @HafidhKhamis-ph8qg
    @HafidhKhamis-ph8qg 16 วันที่ผ่านมา +1

    Kwani sie hatujajua tu kama tuliondoa mkoloni mweupe na sasa karudi Kwa mlago mwengne Kwa muafrika

  • @Aisha-lj8bu
    @Aisha-lj8bu 16 วันที่ผ่านมา

    Najisikia kichefuchefu kwa serikali hii jamani viwanjahivo nataka kutuuza kwa wageni au vipi maana tayari mmeha jenga huko kaskazin kiwanja kipo Maashaallah Inter national Airport yakifakhari inatosha watu wanalka njaa Nyinyi najenga majengo yatakaliwa nani au huo uwanja watu watakula acheni ufisadi kufusidi mali zawananchi hakuna Ardhi ya serikali Ardhi zote zina wenyewe tangu enzi zamababu zetu

  • @muhammadkhamis5798
    @muhammadkhamis5798 16 วันที่ผ่านมา +2

    Ccm hoyeeee 😂😂😂😂

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 15 วันที่ผ่านมา

      Na uonevu na unyanyasaji wa mkololi wa kileo ccm oyee😂😂😂

  • @rukayyaaliy9713
    @rukayyaaliy9713 12 วันที่ผ่านมา

    Wewe unaona makelele ila munatukandamiz maisha magumu

  • @jumaabdalla3374
    @jumaabdalla3374 17 วันที่ผ่านมา +3

    Watu wanadanganya lakini bikon si zipo

    • @hatibbaraka3956
      @hatibbaraka3956 17 วันที่ผ่านมา +4

      Bikon wameeka miaka 7 iliyopita na wakati walipokuja kuomba eneo walikuja na kauli wapatiwe eneo la kujenga kituo cha uokozi maana tupo kwenye ukanda wa pwani tuna watalii wengi.
      Hili bango unaloliona wameweka mwaka jana na baadhi ya bikon wameweka juzi hata wiki 1 haijamaliza.
      Kuna watu wapo kuzitumia hizo arshi toka 1978 kaka.

  • @Bin_Sumai
    @Bin_Sumai 10 วันที่ผ่านมา

    Kwani kuna haja gani unapotaka kujenga nyumba yako ushauriane na watoto wako wakati kila mtu unamuwekea chumba chake ......
    Jenga nyumba BABA ukifa sisi watoto ndio warithi wako..... ijenge iwe na thamani ukiondoka itusaidie soteeeeee.

  • @OmarMbwana-c4h
    @OmarMbwana-c4h 7 วันที่ผ่านมา

    Nyie wezi 2

  • @user-wf8eb6nm4s
    @user-wf8eb6nm4s 15 วันที่ผ่านมา

    Israfu hiyo uwanja wandege SI upo Kuna haja gani kupoteza pesa za wananchi na ardhi kubwa kutumika bila umuhimu uwanja tulionao unatosha

  • @lmdos4382
    @lmdos4382 12 วันที่ผ่านมา

    hawa ccm dah, ccm paje uwanja wa ndege wa nini?

  • @yussuframa6598
    @yussuframa6598 17 วันที่ผ่านมา +4

    Uonevu serekali punguzeni ku2mia mabavu ungwana u2mike sio sahihi

  • @MOHAMEDMBAROUK-tc4ch
    @MOHAMEDMBAROUK-tc4ch 15 วันที่ผ่านมา

    Ww muongo bwana munataka kuondosha wtu kwenye makazi wkt hata alama mumeshaweka

  • @CrazyBon-p7h
    @CrazyBon-p7h 10 วันที่ผ่านมา

    Wanataka kutia umaskini wananchi wao tu

  • @LUBAINAMOHDRAJAB
    @LUBAINAMOHDRAJAB 14 วันที่ผ่านมา

    Kwani hujui kama bado ww ni koloni tu..

  • @salimsalimali8285
    @salimsalimali8285 15 วันที่ผ่านมา

    Wapeni fidia inayostahili hao wananchi, uwanja wa ndege ujengwe.

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 16 วันที่ผ่านมา

    Nchi mali ya wawekezaji kama mlikua hamjui Tanzania ime funguliwa iko wazi wananchi sisi kama mifugo

  • @afropanorama4730
    @afropanorama4730 17 วันที่ผ่านมา

    wazungu mpaka uko juu pia washajaa,naona mwisho mutakimbilia mtule

  • @msodokithesantz1655
    @msodokithesantz1655 17 วันที่ผ่านมา +1

    Nahukunungwi tayar weshakuja na madoza Yao kuchukuwa viwanja vya watu wanasena mali ya serekali Sasa tukajengewap tukae wap au tujengeeni nyumba tukae

    • @ilynpayne7491
      @ilynpayne7491 16 วันที่ผ่านมา

      Hi nchi mali ya wawekezaji😅😅 maeneo wame chukua wazungu na Waarabu wa nje ya nchi

    • @TunauzaSimu-fn2ff
      @TunauzaSimu-fn2ff 16 วันที่ผ่านมา

      @@ilynpayne7491 utalii/ utalia time ndio hii. Athar haiji haraka hasa kwa mambo makubwa na endelevu.

  • @aliyaaliya7213
    @aliyaaliya7213 17 วันที่ผ่านมา

    Watu wa tunguu kibele washachoka kuhusu barabara

  • @abdallaabdalla7026
    @abdallaabdalla7026 16 วันที่ผ่านมา

    Ana Hashuo mwnyi

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 17 วันที่ผ่านมา

    Mnaibishia serikali?

  • @hajikiame7551
    @hajikiame7551 16 วันที่ผ่านมา

    Sasa hawa wananchi hii mipoli wanaibakishia

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 15 วันที่ผ่านมา

    Wawalipe tuu

  • @othmanali5362
    @othmanali5362 17 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂

  • @FatmaAbdulhalim
    @FatmaAbdulhalim 16 วันที่ผ่านมา

    Mitihaniiii

  • @user-lp1gh7im3f
    @user-lp1gh7im3f 16 วันที่ผ่านมา

    Serikali ya Wezi

  • @FatmaAbdulhalim
    @FatmaAbdulhalim 16 วันที่ผ่านมา

    Mazali washaanza hao watamaliza mzeee tukae tuone.

  • @user-uk3iw1su4i
    @user-uk3iw1su4i 10 วันที่ผ่านมา

    Sawa mkuu

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 17 วันที่ผ่านมา

    Yangu Macho tu

  • @SharifTwahirAbdullqadir
    @SharifTwahirAbdullqadir 12 วันที่ผ่านมา

    Nasie mali yanani

  • @user-xv4tl8iv4l
    @user-xv4tl8iv4l 16 วันที่ผ่านมา

    HATA SIJUI TUNAELEKEA WAPI.HALAHALA MTI NA MACHO

  • @othmanali5362
    @othmanali5362 16 วันที่ผ่านมา

    Yametimia wala bado

  • @user-hh5ew8wb7d
    @user-hh5ew8wb7d 16 วันที่ผ่านมา

    Wacha zulma haidumu ww kwacha mwenyewe umedhulumu

  • @othmanali5362
    @othmanali5362 17 วันที่ผ่านมา

    Sawa baba

  • @SoudShuraim
    @SoudShuraim 16 วันที่ผ่านมา

    Mzee wa mabati ondoka

  • @abdulhial6176
    @abdulhial6176 16 วันที่ผ่านมา

    Nina kuomba ww wazir wa ardhi kwa akili yako nenda kwa wasikilize wana nchiì wa jambian na wa paje haraka iweze kanavyo huko ndiyo unguja ilipo ahhhhaaa mķonnĝooo

  • @YunusMwadini
    @YunusMwadini 16 วันที่ผ่านมา +2

    Serikal yet ni sikivu naamn rais wet atatatua hili kwa hekima na busara