MZEE MAGOMA AIBUA MAPYA BAADA YA WITO MAHAKAMANI, AMJIA JUU INJINIA HERSI MBAGUZI BORA JAHAZI LIZAME

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 378

  • @AlexMwalende
    @AlexMwalende 29 วันที่ผ่านมา +1

    Haya mambo yamzee magoma mtakuja kuyakumbuka baadaye Sanaa

  • @adenyohana6618
    @adenyohana6618 หลายเดือนก่อน +6

    Congrats our dar yanga Africans

  • @saidkassim196
    @saidkassim196 หลายเดือนก่อน +1

    Yanga wana bahati kuwa na mtu kama Magoma. He is genius sana.

  • @user-ki7hd3lg2q
    @user-ki7hd3lg2q หลายเดือนก่อน +54

    Kiongozi hata awe mzuri vp? Hakosi maadui Eng hersi forever

    • @likimaro6
      @likimaro6 หลายเดือนก่อน +2

      Hoja hamjibu kazi kubwatuka kama mivichaa tu

    • @simonsikanyika1682
      @simonsikanyika1682 หลายเดือนก่อน

      Jubu ww izo hoja​@@likimaro6

    • @user-lv7zy7mx9i
      @user-lv7zy7mx9i หลายเดือนก่อน +1

      Msijizime data jibuni hoja harsi si halali

    • @zeddymourice4249
      @zeddymourice4249 หลายเดือนก่อน +5

      ​@@likimaro6wewe kolo pambana na lasta man na Kama unamuona huyu mpuuzi mwenzenu mali kampeni nafasi ya mangungu pale manguruwe fc

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-lv7zy7mx9iSasa si msubiri mahakamani?

  • @elibarikioffical
    @elibarikioffical หลายเดือนก่อน +6

    kumbe huyu mzeee ana mawazo mazuri sanaaaa mimi nilikuwakuwa sijamwelewa jaman ,,,Nikuahidi mzee magoma niko pamoja na wewe

    • @maclaudismail6606
      @maclaudismail6606 หลายเดือนก่อน

      Kanye.mbege.ulale bwege we

    • @elibarikioffical
      @elibarikioffical หลายเดือนก่อน

      @@maclaudismail6606 huna akili wewe makalio

    • @elibarikioffical
      @elibarikioffical หลายเดือนก่อน

      @@maclaudismail6606 madako yako unapigwa mti wewe

  • @barickprogrammer
    @barickprogrammer หลายเดือนก่อน +3

    Huyu mzee ana hoja😅😅😅 apewe sikio pevu!!

  • @allymtunge5530
    @allymtunge5530 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂 ila huyu mwamba anajiamini sana aisee

  • @kandidosamweli3194
    @kandidosamweli3194 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu mzee anaonekana anapenda media

  • @Josephineexsuper
    @Josephineexsuper หลายเดือนก่อน +3

    Huyu mzee ana hoja za msingi kabisa... Watu wasikurupuke wamsikilize. Je ukitokea mgogoro kweli baina ya team na mwekezaji GSM nani atasimamia upande wa team?? Hersi lazma yupo pale kwa kusimamia maslah ya GSM...mzee ana hoja. Tena mzee anasifu juhudi walizofanya za kuipaisha team

    • @isakajunior7139
      @isakajunior7139 หลายเดือนก่อน

      Mbona Mo kanunua team kwa 20B na mashabiki mnashangilia na kutaka kumtoa mangungu? Komboeni team yenu kwanza

    • @iskiji1240
      @iskiji1240 หลายเดือนก่อน

      Kwa logic ni kweli Hersi ana maslahi binafsi na Gsm, lakini kisheria huwezi mfunga maana kachaguliwa na wanachama wa Yanga.

    • @isackngole5491
      @isackngole5491 หลายเดือนก่อน +1

      Herse hata kua milele raisi wa yanga na GSM sio mwekezaji .yanga bado haina mwekezaji ina mfazili kama alivokua manji

  • @littlelunie.7653
    @littlelunie.7653 หลายเดือนก่อน +2

    Mzee ako na Logic sanaa

  • @jumawaziri8501
    @jumawaziri8501 หลายเดือนก่อน +17

    Anaongea point Sana magoma askilizwe hoja zake

    • @osumsafi2095
      @osumsafi2095 หลายเดือนก่อน +1

      Wew mjinga ujui kitu mapaka hapo tyr yuko kwenye makosa kisheria swala lipo makamani tyr why? Anafanya kipindi chann?

    • @nicholauskilosa5336
      @nicholauskilosa5336 หลายเดือนก่อน

      Kamsikilize wewe

    • @user-ul2qg8ds6f
      @user-ul2qg8ds6f หลายเดือนก่อน

      Mwambie mama ako amsikilize chiz we

    • @stanslausmteme8455
      @stanslausmteme8455 หลายเดือนก่อน

      Huyo mpuuzi km baba yake huyo mzee magoma.Huyu mzee anajulikana kwa uongo na uzushi tawi la pale Magomeni alikua ananongwa sana ni mzushi na muongo hd walimtoa ukatibu wa tawi huyo anatamaa hakuna, shida yake kuenguliwa ukatibu na wanatawi wenzake

    • @angellomarcel5677
      @angellomarcel5677 หลายเดือนก่อน

      MAGOMA OYEE

  • @evancemoevt8597
    @evancemoevt8597 หลายเดือนก่อน +9

    Mi Naona Timu tumpe Mzee Magoma itafika Mbali Sana!!!!!😂😂😂😂🎉

  • @adamlubawa1281
    @adamlubawa1281 หลายเดือนก่อน +9

    MAGOMA HATA CCM SIO WANACHAMA WOOTE WANAOENDA KUMCHAGUA MWENYEKITI
    WANAOENDA NI WAJUMBE KUTOKA MIKOA NA WILAYA NA SIO WANACHAMA WOOOTE

    • @raybirry3816
      @raybirry3816 หลายเดือนก่อน

      Huyu elimu ndio tatizo

    • @likimaro6
      @likimaro6 หลายเดือนก่อน

      Hiyo ni CCM, kwahiyo hoja ya mzee ni hiyo tu au akili nazo zimedumaa jamani

    • @athumanhatibumkombolaguha
      @athumanhatibumkombolaguha หลายเดือนก่อน

      Kurujuan itawahusu

    • @athumanhatibumkombolaguha
      @athumanhatibumkombolaguha หลายเดือนก่อน

      Kurujuan unaijua wewe😂

    • @SurprisedFullMoon-gg9vu
      @SurprisedFullMoon-gg9vu หลายเดือนก่อน

      ​@@raybirry3816we na magoma nan Hana elimu???wew ni fata mkumbo"magoma ana jielewa saaana"elimu imelala paleee

  • @user-pp7ug2bc1y
    @user-pp7ug2bc1y หลายเดือนก่อน +3

    Mwandishi hajafabya utafiti Ana maswali yasioibua hoja na majibu ya maana.

  • @MauBonde
    @MauBonde หลายเดือนก่อน

    Nakubali hoja za huyu jamaa ,yanga ni taasisi kubwa.

  • @elidiustudoy2640
    @elidiustudoy2640 หลายเดือนก่อน +1

    Mgeni rasmi simba day🎉🎉😂😂

  • @ibrahimally6455
    @ibrahimally6455 หลายเดือนก่อน +3

    Ata anachokiongea hakijui maskin 😅 kashajua mambo yanaenda kombo ss anataka kuwatisha viongoz et wasiende mahakaman 😅😂 we subr akili itakukaa sawa tu

    • @sadathboutique6253
      @sadathboutique6253 หลายเดือนก่อน

      Mzee ni mchawi sna anaona viongozi wa yanga wanapata pesa nyingi kutokana na tim anataka ajira,ni mchawi sna

  • @HawaSaid-ru4zq
    @HawaSaid-ru4zq หลายเดือนก่อน +6

    Were so mwanachama wetu Acha njaaa kings mzee mwanga waneed

    • @mikidadymohammedy7603
      @mikidadymohammedy7603 หลายเดือนก่อน

      Uwe na adabu bc huyu ni sawa na mzee wako mpira wenyewe umeanza kushangilia juz tu.

  • @isacksimonmahungilo
    @isacksimonmahungilo หลายเดือนก่อน +1

    Mwandishi alikaza baadae magoma kamlainisha

  • @silvesterrichardhelenya1319
    @silvesterrichardhelenya1319 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mzee ana PHD 3

  • @barickprogrammer
    @barickprogrammer หลายเดือนก่อน +1

    Ulongoni mabegani👍👍

  • @etufaniakahemela5879
    @etufaniakahemela5879 หลายเดือนก่อน +1

    Umeshakwama sehem ndogo sana miaka yote wewe ni mi gogolo tu

  • @SurprisedFullMoon-gg9vu
    @SurprisedFullMoon-gg9vu หลายเดือนก่อน

    Nakubali saaaaaana mzee magomaaa

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 หลายเดือนก่อน +17

    ENGINEER FUNGA MIANYA YOTE HAO WAZEE WALIZOEA KUNYONYA MILIJA FUNGA YOTE..

    • @halfaniabdallah2131
      @halfaniabdallah2131 หลายเดือนก่อน +1

      Yeyemwenyewe ananyonya iweje awazuie wenzake, wazee hawa walitumia uchumi wao kulea timu hizi msizione tu zipo.

    • @ellywachas
      @ellywachas หลายเดือนก่อน

      @@halfaniabdallah2131kila mtu akianza kufikilia huko kwenye nilileta nn basi hamna kusonga mbele

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 หลายเดือนก่อน


      💯%🤝

    • @SurprisedFullMoon-gg9vu
      @SurprisedFullMoon-gg9vu หลายเดือนก่อน +1

      Walizoea kunyonya matako yako au???magomaa piga Kaz tuko nyuma yakooo

    • @ikulunimahalipatakatifu7642
      @ikulunimahalipatakatifu7642 หลายเดือนก่อน

      , wachezaji wengi wa zamani wamekufa maskini lakini hawa wazee wao walijenga kwa kutumia pesa za milangoni wakati wachezaji wanavuja jasho.

  • @godlivingkoikan6297
    @godlivingkoikan6297 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee magoma ana kitu asikilizwe @daima mbele nyuma mwiko

    • @Bumutz-po2df
      @Bumutz-po2df หลายเดือนก่อน

      Naungana na Mzee magoma yupo sahihi ukimsikiliza vzr una kitu asikilizwe 🎉

  • @muhamedjaffar5653
    @muhamedjaffar5653 หลายเดือนก่อน +1

    Kiukweli wanataka kutumia viongoz wa serikali kufinyanga kesi.magoma usikubali.mda wa rufaa ushapita

  • @brownmasai774
    @brownmasai774 หลายเดือนก่อน

    The man is crazy

    • @brownmasai774
      @brownmasai774 หลายเดือนก่อน

      Something is wrong with his brain he needs to undergo a mental diagnosis, He is not his normal self

  • @Fred-Ma
    @Fred-Ma หลายเดือนก่อน +2

    Millard Ayo sasa mkamhoji Mzee Abeid Abeid maana hatujamsikia

    • @aminaomari2312
      @aminaomari2312 หลายเดือนก่อน

      Na sijui kwa nini wanamhoji Magoma tu kila siku,hawabalance kesi,wangemfuata mama karume,Abeid Abeid tungeona wanatenda haki.

  • @DouglasChuwa-ec7mv
    @DouglasChuwa-ec7mv หลายเดือนก่อน

    We we mwandishi pamoja magoma mnatumwa

  • @jareengeorge5478
    @jareengeorge5478 10 วันที่ผ่านมา

    Wote mnao muona magoma mjinga.nyie hata D moja hamna. Mngesoma mngemuelewa.lkn wote mmekutana mamuma watupu

  • @likimaro6
    @likimaro6 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli ukiangalia hoja za wana Yanga hapa unagundua kabisa Tz ina tatizo kubwa za udumavu

  • @queenmwasanguti2370
    @queenmwasanguti2370 หลายเดือนก่อน +5

    Tatizo unajifanya mkubwa kuliko wanachama. Historia yako ipo imetunzwa.

  • @mligogodfrey8882
    @mligogodfrey8882 หลายเดือนก่อน

    Magoma forever

  • @awazioga1823
    @awazioga1823 หลายเดือนก่อน +1

    Sio mzeee huyo acheni kumuita mzee njaaa tu

  • @hirizonetz9558
    @hirizonetz9558 หลายเดือนก่อน +13

    Hii yang haiwezi kuhangaika na mtu mmoja ila sema nyie waandishi ndo mnachochea ila tambueni mtu mmoja hawezi kuletea shida watu Milion 40

    • @SurprisedFullMoon-gg9vu
      @SurprisedFullMoon-gg9vu หลายเดือนก่อน

      Million 40 ya mkundu wako au??sis ni yanga tuko nyuma ya magomaaa

    • @angellomarcel5677
      @angellomarcel5677 หลายเดือนก่อน

      Sasa huyu mzee mnamuona hana ishu lkn ndo kashachafua BRAND ya Club sababu mko Mahakamani

    • @hirizonetz9558
      @hirizonetz9558 หลายเดือนก่อน

      @@SurprisedFullMoon-gg9vu yanga ya nyoko kolo ww Kaa mbali yanga Ina Mashabiki million 40 ko kama ww ni Wa 41 Kaa mbali hatukujui

    • @hirizonetz9558
      @hirizonetz9558 หลายเดือนก่อน

      @@angellomarcel5677 brand IPi imechafuka Kuna watu wangapi wameitukana serikali na je imewahi tokea serikali ikateteleka? Kiufupi huwezi kushindana na taasisi na Hilo suala hutoliskia linazungumziwa Tena

    • @hirizonetz9558
      @hirizonetz9558 หลายเดือนก่อน

      @@SurprisedFullMoon-gg9vu acha shobo yanga Haina malofa Baki uliko ama anzisheni timu yenu na magoma wako Kwan una mchango gan kwenye timu hata kadi tu huna kuma ww

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything หลายเดือนก่อน

    Mzee yuko smart sana, tuache chuki na ushabiki tumsikilize.

  • @millitarybattalion7515
    @millitarybattalion7515 หลายเดือนก่อน +1

    Hamna content nyingine zaidi ya hizi za Mzee magoma

  • @ephulaemsengo2816
    @ephulaemsengo2816 13 วันที่ผ่านมา

    Mkuma wamama ako magoma na govi la mama amo kwanza huja tairiwa mzeewewe

  • @jacobopaul6440
    @jacobopaul6440 หลายเดือนก่อน +1

    Magoma upo sawa asilimia 800😂😂

  • @mwitawakimara3649
    @mwitawakimara3649 หลายเดือนก่อน +1

    Njaaaaaaaaaa mbaya sana na utu uzima huuuu

    • @halfaniabdallah2131
      @halfaniabdallah2131 หลายเดือนก่อน

      Wewe unamwona ananjaa, kwa taarifa yako mzee hana njaa

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 หลายเดือนก่อน


      KBSAAAAAA 💯%🤝

    • @SurprisedFullMoon-gg9vu
      @SurprisedFullMoon-gg9vu หลายเดือนก่อน

      Njaaa unae wew sio magomaaa

    • @mikidadymohammedy7603
      @mikidadymohammedy7603 หลายเดือนก่อน

      Shida yenu ndio hiyo mtu akiongea point mnasema ananjaa

  • @perepetuajohn
    @perepetuajohn หลายเดือนก่อน

    Hana Hela huyo timu ni Pesa bwana utaendesha timu bila kipatoo?😂😂😂😂😂

  • @friminershayo5325
    @friminershayo5325 หลายเดือนก่อน +2

    Yanga kaeni na Magoma chini...
    Mpeni kazi ya mshauri wa Yanga❤

    • @markwiwi9833
      @markwiwi9833 หลายเดือนก่อน

      Ashauri nini wakati hata kwake ameshindwa kupasafisha vizuri? Sio kumalizia nyumba namaanisha usafi wa hata mali yake umemahinda atashauri nini sasa?

  • @ClassicUsed-jg6ri
    @ClassicUsed-jg6ri หลายเดือนก่อน +8

    Tumpe MAGOMA TEAM ITAFIKA MBALI

  • @SurprisedFullMoon-gg9vu
    @SurprisedFullMoon-gg9vu หลายเดือนก่อน +1

    Magoma uko vizur saaaana'achana na hao manyumbu fc"hayaelewagiii"hersi ni kiongoz batiliiii"hajachaguliwa"

    • @telvinnicholas
      @telvinnicholas หลายเดือนก่อน

      Tunamtaka huyo huyo Batili hao wa Haki walishindwa kuendesha Chama

    • @SurprisedFullMoon-gg9vu
      @SurprisedFullMoon-gg9vu หลายเดือนก่อน

      @@telvinnicholas na kweli ni chama cha siasa

    • @SurprisedFullMoon-gg9vu
      @SurprisedFullMoon-gg9vu หลายเดือนก่อน

      @@telvinnicholas hamna timu ya mpira hapoo

    • @bakarirajabu3783
      @bakarirajabu3783 หลายเดือนก่อน

      Nyie makolo subirini trh8 ndo mtajua hamjui

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 หลายเดือนก่อน

    Mzee wa Kurujuani upo vzr hawa kuwezii Kurujuani imewatisha wamenyamaza kimnyaa vitisho kush nehiii

  • @lukomanomaliki5442
    @lukomanomaliki5442 หลายเดือนก่อน

    Aliyemzaa huyu Babu,Katuletea balaa kweli duniani sisi wanayanga.

  • @sadathboutique6253
    @sadathboutique6253 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee ana njaaa balaa😂😂

  • @kamwagamwanjale1575
    @kamwagamwanjale1575 หลายเดือนก่อน

    Uhuru una mipaka ambayo mtu binafsi unampa kuwa na uhuru kwa kuzingatia taratibu , kanuni na katiba ya nchi, mfano huwezi kuingia eneo lililozuiliwa unless una kibali cha kuingia eneo hilo na hapo ndipo uhuru wa mtu binafsi unaishia

  • @brightnjau651
    @brightnjau651 หลายเดือนก่อน

    anataka hisaa😄😄😄 njaaa mbaya sana

  • @user-tb7qw5oh1h
    @user-tb7qw5oh1h หลายเดือนก่อน

    We Mzee pumbavu sana,sielewi enzi za ujana wako ulikuwaje.Kwa umri wako ulitakiwa uwe Mzee mstaarabu,wa kufanya mambo mazuri yatakayofundisha kizazi kipya.Lakini kwako imekuwa ni kinyume,Chunga mdomo wako,kama maisha yamekuwa magumu kwako ni Bora kuomba msaada badala ya kujidhalilisha.Au unataka kuuza sura kwenye mtandao????

    • @phiddeschacha3143
      @phiddeschacha3143 หลายเดือนก่อน

      Kwa kweli, lizee hili linataka kutrend tu muda wote

  • @biatusmkuwamkuwa1513
    @biatusmkuwamkuwa1513 หลายเดือนก่อน +1

    Utazama ww safar hii

  • @leoniaashery9337
    @leoniaashery9337 หลายเดือนก่อน

    Mbona mpole😊😊😊😊😊

  • @nouhamour545
    @nouhamour545 หลายเดือนก่อน

    Mzee magoma ana hoja asikilizwe

  • @allsportshighlite8027
    @allsportshighlite8027 หลายเดือนก่อน

    😂😂 Huyu Mzaramo ana kitu😂😂

  • @amenya-bl5md
    @amenya-bl5md หลายเดือนก่อน +1

    Mzee kumbe hazimo

  • @ministererickluhanga810
    @ministererickluhanga810 หลายเดือนก่อน

    Magoma Ni mwanachama Wa tawi Gani la Yanga?? Hawa Ndio wakiwa maraisi huwa hawataki kuachia madarasa

  • @littlelunie.7653
    @littlelunie.7653 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee asipofanyiwa figisu atashindaa
    Na tunaomba ashinde
    Yuko na point sanaa

  • @benwellyrichard6197
    @benwellyrichard6197 หลายเดือนก่อน

    Huyu Mzee asidharauliwe anavioja anavyo, either kuna watu wana remote hii…

  • @revocatusmshana
    @revocatusmshana หลายเดือนก่อน

    Magoma Yuko vema .Katiba ifuatwe.

  • @gwaluganosaiba629
    @gwaluganosaiba629 หลายเดือนก่อน +2

    Waonyeshe kazi Mzee wa kurujuani

  • @Swirtbethomi-gc7pj
    @Swirtbethomi-gc7pj หลายเดือนก่อน

    Nakubali acha paloane tugawane mbao mamae

  • @muharramyjongo1972
    @muharramyjongo1972 หลายเดือนก่อน +1

    Tokea hapo tim ipo chini yenu ilinufaika na nini au umeifanyia nini club unayosema yako

  • @bahatimellita6619
    @bahatimellita6619 หลายเดือนก่อน +1

    Jibunii hoja nyiieee mautovyoroooo

  • @john11278
    @john11278 หลายเดือนก่อน

    Mwandishi .. umeboa ... kwanini hujasoma hiyo barua.??? Unabayas

  • @MohamedFundikila
    @MohamedFundikila หลายเดือนก่อน +2

    Yaani wewe umesahau vita ya uganda ilikuwa lini unamuuliza huyo mtoto ndio atakumbuka nini sasa?

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 หลายเดือนก่อน

      Mtoto gani huyo? Sema fala tu we mwandishi wa habarii hujui historia ya nchi yako? Miaka 30+ kafikisha huyo Vita moja tu ya nchi yako usiijue? Mzee anajua ndio maana kauliza 77 au 78 , sababu ni mtu mzima memory inaenda inapotea lkn ndio Miaka hiyo alio itaja

    • @jebajr
      @jebajr หลายเดือนก่อน

      @@damianmcba9525 hivi watu wanatakaga waandishi wajue mambo yote....watu haina hii ni wajinga sana

  • @mamohamed1252
    @mamohamed1252 หลายเดือนก่อน

    Hwbu tamka sawasawa Hersi siyo Heris

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 หลายเดือนก่อน

    Maelezo yanakumbusha zamani sana, wakati nafasi za kazi zilipokuwa.nyingi sana,,,,,

  • @user-xc1vv5ut3l
    @user-xc1vv5ut3l หลายเดือนก่อน +5

    Uyu mzeee atakuwa mchawi

  • @littlelunie.7653
    @littlelunie.7653 หลายเดือนก่อน

    Nmemkubali sana mzee

  • @halimamwingu4478
    @halimamwingu4478 หลายเดือนก่อน +1

    Ukimwona tu machoni unajua tu mzee wa town huyo janja janja sn 😅😅😅😅

  • @YusufSwaibu
    @YusufSwaibu หลายเดือนก่อน

    Mzee uko vzr ila yanga kuna mazuzu

    • @mikidadymohammedy7603
      @mikidadymohammedy7603 หลายเดือนก่อน

      Tena wengi ndio maana wanashindwa kumwelewa huyu mzee

  • @ashahamza2822
    @ashahamza2822 หลายเดือนก่อน

    Ungeyajua hayo kama manara mwanao mbona uliropoka. Mpka akili zako za kipuuzi ukaonyesha nyumba yako

  • @vintz338
    @vintz338 หลายเดือนก่อน +2

    Yan wakiamua watu wengi kama ww pekeako ndo hutaki usilazmishe usikilizwe wew

    • @SurprisedFullMoon-gg9vu
      @SurprisedFullMoon-gg9vu หลายเดือนก่อน

      Sio ana lazimisha"yanga ni timu ya magoma"Mzee ana taka timu yakeee!

    • @IsayaSosolo-nx8zk
      @IsayaSosolo-nx8zk หลายเดือนก่อน

      Mandazi wapo wengi jitahidini kuwasikiliza wenye hoja siyo kukurupuka Magoma ana Kitu Cha kujibiwa siyo kumbeza like ambacho amini

  • @emanuelpetro9591
    @emanuelpetro9591 หลายเดือนก่อน

    Hiyo back ground music Yann?

  • @jacksonmsendo3478
    @jacksonmsendo3478 หลายเดือนก่อน

    Mzee magoma mbishi saba si atulie

  • @mwitamalwa2773
    @mwitamalwa2773 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee yupo sahihi

  • @SamsonSony-yc3iz
    @SamsonSony-yc3iz หลายเดือนก่อน

    Kagoma mtu wa maana kabisa mtu wa mpira yan anajua sana kuhusu mpira

  • @edgarkaijage1750
    @edgarkaijage1750 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee unampa kichwa

  • @awazioga1823
    @awazioga1823 หลายเดือนก่อน

    Kumbe ulikuwa berlin na jongo na rama majungu kaka yake Moshi aaaaa magoma wewe sio mzee hiyo ni ya kinondoni Brazil

  • @ismailchibonda5005
    @ismailchibonda5005 หลายเดือนก่อน

    Hili zee senge sana

  • @muharramyjongo1972
    @muharramyjongo1972 หลายเดือนก่อน

    Mzee tim ina CEO hakuna kitengo hapo nenda katafute kazi ya kufanya

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np หลายเดือนก่อน

    Wanachama au wananjaa

  • @norbertmakundi2305
    @norbertmakundi2305 หลายเดือนก่อน

    Hahaaa eng heris forever

  • @SurprisedFullMoon-gg9vu
    @SurprisedFullMoon-gg9vu หลายเดือนก่อน

    Magoma dai timu yakoo"wakaanzishe timu yao nyingineee

  • @sadathboutique6253
    @sadathboutique6253 หลายเดือนก่อน

    Uyu mzee mpuuzi anatoa m1 eti anaishtaki yanga uku yeye ana ata 100,

  • @PeterMgomela-k7f
    @PeterMgomela-k7f หลายเดือนก่อน

    Magoma ana kitu asikilizwe

  • @maclaudismail6606
    @maclaudismail6606 หลายเดือนก่อน

    Wewe mzee.kwanini.ulianza.mahakamani.na sasa unataka.maelewano.? Upo kama mpumbavu

  • @AllyFeruuz
    @AllyFeruuz หลายเดือนก่อน

    Ikiwa wanachama wote waingie ktk mkutano kutasikilizana kweli kwa umati wa wanachama wote hiyo ilikua zamani wanachams kidogo leo wanachama wameongezeka

  • @queenmwasanguti2370
    @queenmwasanguti2370 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee unavurugu

  • @ramah_yasyn
    @ramah_yasyn หลายเดือนก่อน

    noma sana 😁😁😁😁

  • @Tutindaga
    @Tutindaga หลายเดือนก่อน

    hakuna mwandishi hapo

  • @user-cv4jb1bm6i
    @user-cv4jb1bm6i หลายเดือนก่อน

    Shida ilianza baada ya mifumo ya unyonyaji kuzibwa sasa wazee wenye tamaa wanapata moto yanga ishatoka uko kwenye upigaji tulieni tu wazee wangu dawa iwaiingie

  • @MauBonde
    @MauBonde 28 วันที่ผ่านมา

    Hoja zake nimezikubali....japokuwa na vigisu .yanga ni taasisi kubwa afrika ..............wanachama wanatakiwa wajuwe hasara iko wapi kwenye kutangaza bishara na brand na ahadi kutimizwa ,faida na hasara mikopo ,tuwekewe wazi .namuunga mkono jamaa kwa maslahi ya club...............kama vyama vyetu vya siasa tusije tukaletewa utumwa mamboleo wa karne , uzalendo kwanza.........

  • @hassanchauluwa7308
    @hassanchauluwa7308 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂tishari limemtoa nduki magoma

  • @NaidaMfaume
    @NaidaMfaume หลายเดือนก่อน

    Manala kweli simba amesema mwenye kua alikuanawalushia mawe yanga wakishinda anasema hata mamayake anajua

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe ulitaka kitu sasa umekosa unaanza ngorowanje kenge kweli kesi imekuja baada kukosa pesa

    • @ukweli255
      @ukweli255 หลายเดือนก่อน

      Kitu gan mwenzako ana nyumba zaidi ya 3 zake tu...halafu sio mzee njaaa kama Mpili

    • @mikidadymohammedy7603
      @mikidadymohammedy7603 หลายเดือนก่อน

      Tumia kauli mzur bc mjinga ww

  • @gastonfuraha
    @gastonfuraha หลายเดือนก่อน

    Magoma, magom, magoma

  • @Ligobatov
    @Ligobatov หลายเดือนก่อน

    Kofia ya magoma na ile kit3 vina match😂😂

  • @mkolwebrown4599
    @mkolwebrown4599 หลายเดือนก่อน

    Katiba nayo ijua ni ya 68.magoma foreva😊

  • @baghabaghaingwengwe1750
    @baghabaghaingwengwe1750 หลายเดือนก่อน

    1978 vita